The gospel of doubt | Casey Gerald

143,595 views ・ 2016-04-04

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Doris Mangalu Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
There we were,
0
12823
1286
Pale tulikuwepo,
00:15
souls and bodies packed into a Texas church
1
15354
3384
nafsi na miili imejaa kwenya kanisa la Texas
00:19
on the last night of our lives.
2
19428
2221
usiku wa mwisho wa maisha yetu.
00:22
Packed into a room just like this,
3
22856
1843
Tumejaa kwenye chumba kama tu hiki,
00:25
but with creaky wooden pews draped in worn-down red fabric,
4
25542
4752
Ila kina viti vya mbao vitoavyo sauti vilivyo- pambwa na kitambaa chekundu kilichochoka
00:31
with an organ to my left and a choir at my back
5
31287
2671
na kinanda kushoto kwangu na kwaya nyuma yangu
00:33
and a baptism pool built into the wall behind them.
6
33982
2880
na dimbwi la ubatizo lililojengewa ukutani nyuma yao.
00:37
A room like this, nonetheless.
7
37502
2769
Chumba kama hiki, hata hivyo.
00:41
With the same great feelings of suspense,
8
41356
2704
Na hisia ile ile nzuri ya kusisimua,
00:45
the same deep hopes for salvation,
9
45080
2488
matumaini ya kina yale yale ya wokovu,
00:48
the same sweat in the palms
10
48743
1636
jasho lile lile mikononi
00:50
and the same people in the back not paying attention.
11
50403
3491
na watu wale wale kwa nyuma ambao hawasikilizi.
00:53
(Laughter)
12
53918
1927
(Kicheko)
00:56
This was December 31, 1999,
13
56770
3646
Hii ilikua Desemba 31, 1999,
01:01
the night of the Second Coming of Christ,
14
61033
2503
usiku wa Ujio wa Pili wa Kristo,
01:04
and the end of the world as I knew it.
15
64222
2470
na mwisho wa dunia kama nilivyoujua.
01:08
I had turned 12 that year
16
68022
1626
Nilikua na miaka 12 huo mwaka
01:09
and had reached the age of accountability.
17
69672
2319
na nilifika umri wa uwajibikaji.
01:12
And once I stopped complaining
18
72742
1800
Na mara nilipoacha kulalamika
01:14
about how unfair it was that Jesus would return
19
74566
2451
kuhusu jinsi isivyo haki kua Yesu angerudi
01:17
as soon as I had to be accountable for all that I had done,
20
77041
3489
mara tu nilivyokua ninawajibika kwa yote niliyofanya,
01:20
I figured I had better get my house in order very quickly.
21
80554
2963
nikagundua ni bora niweke nyumba yangu sawa haraka.
01:24
So I went to church as often as I could.
22
84448
1943
Hivyo nikaenda kanisani kadri niwezavyo.
01:26
I listened for silence as anxiously as one might listen for noise,
23
86415
4832
Nilisikilizia ukimya kwa wasiwasi kama mtu angesikilizia kelele,
01:31
trying to be sure that the Lord hadn't pulled a fast one on me
24
91271
3090
kujaribu kua na uhakika kua Bwana hajanivutia ya haraka
01:34
and decided to come back early.
25
94385
1575
na kuamua kurudi mapema.
01:36
And just in case he did,
26
96813
1491
kama tu akifanya hivyo,
01:38
I built a backup plan,
27
98988
1626
nilitengeneza mpango wa ziada,
01:41
by reading the "Left Behind" books that were all the rage at the time.
28
101277
3881
kwa kusoma vitabu vya "Kuachwa Nyuma" ambavyo vilivuma mda huo.
01:45
And I found in their pages
29
105651
1464
Na kupata kwenye kurasa zao
01:47
that if I was not taken in the rapture at midnight,
30
107139
2741
kua kama sikuchukuliwa kwa mnyakuo kati kati ya usiku,
01:49
I had another shot.
31
109904
1254
Nilikua nina bahati nyingine.
01:51
All I had to do was avoid taking the mark of the beast,
32
111958
3047
Nilichotakiwa kufanya ni kuepuka kuchukua alama ya mnyama,
01:55
fight off demons, plagues and the Antichrist himself.
33
115808
3112
kupigana na mapepo, mapigo na mpinga Kristo mwenyewe.
01:58
It would be hard --
34
118944
1187
Ingekua ngumu --
02:00
(Laughter)
35
120155
3169
(Kicheko)
02:03
but I knew I could do it.
36
123348
1558
lakini nilijua ningeweza.
02:04
(Laughter)
37
124930
1503
(Kicheko)
02:06
But planning time was over now.
38
126457
1788
Lakini mda wa kupanga uliisha sasa.
02:08
It was 11:50pm.
39
128269
1816
Ilikua saa 11:50 usiku.
02:10
We had 10 minutes left,
40
130109
1162
Tulibakiwa na dakika 10,
02:11
and my pastor called us out of the pews and down to the altar
41
131295
2994
na mchungaji akatuita tutoke kwenye viti tuelekee madhabahuni
02:14
because he wanted to be praying when midnight struck.
42
134313
4136
kwa sababu alitaka awe anasali saa sita ikigonga.
02:19
So every faction of the congregation
43
139808
2010
Hivyo kila sehemu ya usharika
02:21
took its place.
44
141842
1303
ilichukua nafasi yake.
02:23
The choir stayed in the choir stand,
45
143169
1746
kwaya ilibaki kwenye nafasi yake,
02:24
the deacons and their wives --
46
144939
1473
mashemasi na wake zao --
02:26
or the Baptist Bourgeoisie as I like to call them --
47
146436
2503
au Wabaptisti Wabepari kama ninavyopenda kuwaita --
02:28
(Laughter)
48
148963
1286
(Kicheko)
02:30
took first position in front of the altar.
49
150273
2207
walichukua nafasi ya kwanza mbele ya madhabahu.
02:32
You see, in America,
50
152504
1685
Unaona, Marekani,
02:34
even the Second Coming of Christ has a VIP section.
51
154824
3061
hata Ujio wa Pili wa Kristo kuna sehemu ya VIP.
02:37
(Laughter)
52
157909
2330
(Kicheko)
02:40
(Applause)
53
160263
2000
(Makofi)
02:45
And right behind the Baptist Bourgeoisie
54
165187
2389
Na nyuma tu ya Wabaptisti Wabepari
02:47
were the elderly --
55
167600
1929
walikua wazee --
02:49
these men and women whose young backs had been bent under hot suns
56
169553
4888
hawa wanaume na wanawake ambao migongo yao ya ujana iliinamia jua kali
02:54
in the cotton fields of East Texas,
57
174465
1981
kwenye mashamba ya pamba Texas Mashariki,
02:57
and whose skin seemed to be burnt a creaseless noble brown,
58
177137
3716
na ngozi zao zilionekana zimeungua kama ukahawia mgumu unaofaa
03:00
just like the clay of East Texas,
59
180877
1674
kama tu udongo wa Texas Mashariki,
03:03
and whose hopes and dreams for what life might become
60
183119
2485
na ambao ndoto zao na matumaini ya maisha yangekuwaje
03:05
outside of East Texas
61
185628
1151
nje ya Texas Mashariki
03:06
had sometimes been bent and broken
62
186803
1643
ambazo zimekiukwa na kuvunjika
03:08
even further than their backs.
63
188470
1499
tena zaidi hata ya migongo yao.
03:09
Yes, these men and women were the stars of the show for me.
64
189993
3880
Ndio, na hawa wanaume na wanawake walikua nyota wa onyesho kwangu.
03:14
They had waited their whole lives for this moment,
65
194742
2338
Ilibidi wasubirie maisha yao yote kwa huu wakati.
03:17
just as their medieval predecessors had longed for the end of the world,
66
197104
3975
kama tu waliowatangulia mapema walivyotamani mwisho wa dunia,
03:21
and just as my grandmother waited for the Oprah Winfrey Show
67
201900
2997
na kama tu bibi yangu alivyongoja kipindi cha Oprah Winfrey
03:24
to come on Channel 8 every day at 4 o'clock.
68
204921
2245
kuanza kwenye Chaneli 8 kila siku saa 4 kamili.
03:28
And as she made her way to the altar,
69
208242
1949
Na alivyokua akielekea madhabahuni,
03:30
I snuck right in behind her,
70
210215
2095
nilinyata nyuma yake,
03:32
because I knew for sure
71
212334
1974
kwa sababu nilijua kabisa
03:34
that my grandmother was going to heaven.
72
214332
2076
kua bibi yangu alikua anaenda mbinguni.
03:37
And I thought that if I held on to her hand during this prayer,
73
217126
4305
Na nikawaza kama nikimshikilia wakati wa maombi,
03:42
I might go right on with her.
74
222282
1873
ninaweza kwenda nae pia.
03:44
So I held on
75
224976
1325
Hivyo nikashikilia
03:46
and I closed my eyes
76
226802
1666
na nikafunga macho
03:49
to listen,
77
229070
1150
kusikiliza,
03:50
to wait.
78
230678
1150
kusubiri.
03:52
And the prayers got louder.
79
232314
1524
Na maombi yakawa na kelele.
03:54
And the shouts of response to the call of the prayer
80
234428
2441
Na kelele za kujibu wito wa maombi
03:56
went up higher even still.
81
236893
1403
yakaenda juu zaidi.
03:58
And the organ rolled on in to add the dirge.
82
238725
2401
Na kinanda kikaunga kuongezea wimbo.
04:01
And the heat came on to add to the sweat.
83
241150
2193
Na joto likaja juu kuongezea kwenye jasho.
04:03
And my hand gripped firmer,
84
243660
1316
Na nikakaza mkono zaidi,
04:05
so I wouldn't be the one left in the field.
85
245000
2013
ili nisiwe wakuachwa kwenye shamba.
04:07
My eyes clenched tighter
86
247037
1199
Macho yakabana zaidi
04:08
so I wouldn't see the wheat being separated from the chaff.
87
248260
2972
ili nisione ngano ikitengwa na makapi.
04:11
And then a voice rang out above us:
88
251256
2369
Na sauti ikaita kutoka juu yetu:
04:14
"Amen."
89
254269
1174
"Amina."
04:17
It was over.
90
257474
1154
Ilikua imeisha.
04:20
I looked at the clock.
91
260044
1302
Nikaangalia saa.
04:22
It was after midnight.
92
262643
1293
Ilikua imepita saa sita.
04:25
I looked at the elder believers
93
265081
1937
Nikaangalia waumini wazee
04:27
whose savior had not come,
94
267697
1868
ambao mwokozi wao hakuja,
04:30
who were too proud to show any signs of disappointment,
95
270205
2817
waliokua na majivuno sana kuonyesha ishara zozote za kusikitika,
04:33
who had believed too much and for too long
96
273046
2393
ambao waliamini mengi na kwa mda mrefu
04:35
to start doubting now.
97
275972
1613
kuanza kua na mashaka sasa.
04:39
But I was upset on their behalf.
98
279029
2813
Lakini nilisikitika kwa niaba yao.
04:42
They had been duped,
99
282650
1689
Walikua wamedanganywa,
04:44
hoodwinked, bamboozled,
100
284363
1509
wamedhulumiwa, wamepumbazwa,
04:45
and I had gone right along with them.
101
285896
2025
na nilienda kabisa pembeni yao.
04:48
I had prayed their prayers,
102
288659
1371
Nilisali sala zao,
04:50
I had yielded not to temptation as best I could.
103
290054
2946
nilisalimika dhidi ya vishawishi kadri ninavyoweza.
04:53
I had dipped my head not once, but twice
104
293024
2420
Nilizamisha kichwa sio mara moja, ila mara mbili
04:56
in that snot-inducing baptism pool.
105
296074
2365
kwenye dimbwi la ubatizo lililojaa kamasi.
04:58
I had believed.
106
298463
1263
Niliamini.
05:01
Now what?
107
301355
1176
Sasa nini?
05:03
I got home just in time to turn on the television
108
303706
3115
Nilifika nyumbani kwa mda kuwasha televisheni
05:06
and watch Peter Jennings announce the new millennium
109
306845
2444
na kumwona Peter Jennings akitangaza milenia mpya
05:09
as it rolled in around the world.
110
309313
1689
ilivyoingia duniani kote.
05:11
It struck me that it would have been strange anyway,
111
311475
4366
Ikanijia kua ingekua ajabu hata hivyo,
05:15
for Jesus to come back again and again
112
315865
2380
kwa Yesu kurudi tena na tena
05:18
based on the different time zones.
113
318269
1636
kulingana na kutofautiana mda.
05:19
(Laughter)
114
319929
5313
(Kicheko)
05:27
And this made me feel even more ridiculous --
115
327037
2173
Na hii ilinifanya nijihisi mjinga zaidi --
05:30
hurt, really.
116
330354
1201
kuumia, kweli.
05:33
But there on that night, I did not stop believing.
117
333076
3169
Lakini hapo huo usiku, sikuacha kuamini.
05:37
I just believed a new thing:
118
337197
1584
Niliamini tu kitu kipya:
05:39
that it was possible not to believe.
119
339487
2432
kua inawezekana kutokuamini.
05:42
It was possible the answers I had were wrong,
120
342894
2412
Inawezekana majibu niliokua nayo hayakua sawa,
05:45
that the questions themselves were wrong.
121
345330
2347
kua maswali yenyewe yalikua yamekosewa.
05:47
And now, where there was once a mountain of certitude,
122
347701
3562
Na sasa, palipokua mwanzoni na mlima wa uhakika,
05:51
there was, running right down to its foundation,
123
351772
2811
palikua, ukishuka chini ya chemchemi yake,
05:55
a spring of doubt,
124
355168
1553
bubujiko la mashaka,
05:57
a spring that promised rivers.
125
357691
1770
bubujiko lililoahidi mito.
06:00
I can trace the whole drama of my life
126
360357
3133
Ninaweza kufuatilia mchezo mzima wa maisha yangu
06:03
back to that night in that church
127
363514
1626
mpaka usiku ule kwenye lile kanisa
06:05
when my savior did not come for me;
128
365164
2082
pale mwokozi wangu hakuja kwa ajili yangu;
06:08
when the thing I believed most certainly
129
368069
2522
pale kitu nilichoamini kwa hakika
06:11
turned out to be, if not a lie,
130
371328
1997
kikageuka kua, kama sio uongo,
06:13
then not quite the truth.
131
373841
1620
basi sio hasa ukweli.
06:16
And even though most of you prepared for Y2K in a very different way,
132
376355
3795
Na hata kama wengi wenu walijiandaa kwa Y2K kwa njia tofauti,
06:20
I'm convinced that you are here
133
380937
2385
ninaamini kua upo hapa
06:23
because some part of you has done the same thing that I have done
134
383346
3908
kwa sababu kuna sehemu yako imefanya kitu sawa na nilichofanya
06:27
since the dawn of this new century,
135
387278
2023
tangu mwanzoni mwa karne hii,
tangu mama yangu aivyoniacha na baba yangu kukaa mbali
06:30
since my mother left and my father stayed away
136
390014
2446
06:32
and my Lord refused to come.
137
392484
1681
na Bwana wangu akakataa kuja.
06:34
And I held out my hand,
138
394867
1487
Na nikatoa mkono wangu nje,
06:36
reaching for something to believe in.
139
396378
2952
nikitafuta kitu cha kuamini.
06:40
I held on when I arrived at Yale at 18,
140
400587
2892
Niliendelea nilipofika Yale miaka 18,
06:44
with the faith that my journey from Oak Cliff, Texas
141
404318
2514
na imani ambayo safari yangu kutoka Oak Cliff, Texas
06:46
was a chance to leave behind all the challenges I had known,
142
406856
3689
ilikua ni nafasi ya kuacha nyuma changamoto zote nilizojua,
06:50
the broken dreams and broken bodies I had seen.
143
410569
2831
ndoto zilizovunjika na miili iliovunjika niliyoona.
06:54
But when I found myself back home one winter break,
144
414542
3537
Lakini nilivyojikuta nimerudi nyumbani pumziko moja la winta,
06:59
with my face planted in the floor,
145
419133
2075
na uso wangu ukiwa umezama sakafuni,
07:02
my hands tied behind my back
146
422268
2335
mikono yangu imefungwa mgongoni
07:05
and a burglar's gun pressed to my head,
147
425538
1974
na bunduki ya mwizi ikiwa kichwani kwangu,
07:07
I knew that even the best education couldn't save me.
148
427536
3843
nilijua hata elimu bora isingeweza kuniokoa.
07:12
I held on when I showed up at Lehman Brothers
149
432181
3112
Niliendelea nilipofika pale Lehman Brothers
07:15
as an intern in 2008.
150
435317
2014
kama mfanyakazi tarajali 2008.
07:19
(Laughter)
151
439048
4667
(Kicheko)
07:23
So hopeful --
152
443739
1315
Na matumaini --
07:25
(Laughter)
153
445078
3262
(Kicheko)
07:28
that I called home to inform my family
154
448364
2019
nikapiga nyumbani kujulisha familia yangu
07:30
that we'd never be poor again.
155
450407
1550
kua hatutakua maskini tena.
07:31
(Laughter)
156
451981
2090
(Kicheko)
07:34
But as I witnessed this temple of finance
157
454767
2034
Lakini niliposhuhudia hili hekalu la uchumi
07:36
come crashing down before my eyes,
158
456825
1815
likianguka chini mbele ya macho yangu,
07:38
I knew that even the best job couldn't save me.
159
458664
3276
nilijua kua hata kazi bora isingeweza kuniokoa.
07:42
I held on when I showed up in Washington DC as a young staffer,
160
462599
5853
Niliendelea nilipofika Washington DC kama mfanyakazi mdogo,
07:48
who had heard a voice call out from Illinois,
161
468476
2225
ambae alisikia sauti ikiita kutoka Illinois,
07:50
saying, "It's been a long time coming,
162
470725
2128
ikisema, "Imekua mda mrefu kuja,
07:53
but in this election, change has come to America."
163
473621
3751
lakini kwenye huu uchaguzi, mabadiliko yamekuja Marekani."
07:58
But as the Congress ground to a halt
164
478549
1742
Lakini kongamano liliposimama
08:00
and the country ripped at the seams
165
480315
1718
na nchi iliponyofolewa kwenye pande
08:02
and hope and change began to feel like a cruel joke,
166
482057
2433
matumaini na mabadiliko yalianza kua kama utani,
08:04
I knew that even the political second coming
167
484514
3307
nilijua kua hata ujio wa pili wa kisiasa
08:07
could not save me.
168
487845
1223
usingeniokoa.
08:09
I had knelt faithfully at the altar of the American Dream,
169
489856
4460
Nilipiga makoti kwa imani madhabahuni mwa ndoto ya Marekani,
08:14
praying to the gods of my time
170
494340
2178
nikiombea miungu ya wakati wangu
08:17
of success,
171
497261
1150
wa mafanikio,
08:18
and money,
172
498834
1150
na fedha,
08:20
and power.
173
500358
1150
na nguvu.
08:22
But over and over again,
174
502211
1826
Lakini tena na tena,
08:24
midnight struck, and I opened my eyes
175
504619
3043
saa sita iligonga, na nikafungua macho yangu
08:27
to see that all of these gods were dead.
176
507686
2468
kuona kua miungu yote hio imekufa.
08:31
And from that graveyard,
177
511447
1381
Na kutoka kwenye hayo makaburi,
08:32
I began the search once more,
178
512852
1445
nilianza kutafuta tena upya,
08:34
not because I was brave,
179
514321
1270
sio kwa sababu ya ujasiri,
08:35
but because I knew that I would either believe
180
515615
3405
ila ni kwa sababu nilijua kua ningeamua kuamini
08:39
or I would die.
181
519044
1227
au ningekufa.
08:40
So I took a pilgrimage to yet another mecca,
182
520963
2791
Hivyo nikachukua hija kwenda bado mecca nyingine,
08:44
Harvard Business School --
183
524409
1346
Shule ya Biashara Harvard --
08:45
(Laughter)
184
525779
2504
(Kicheko)
08:48
this time, knowing that I could not simply accept the salvation
185
528307
3885
wakati huu, nikijua kua siwezi kukubali wokovu kirahisi
08:52
that it claimed to offer.
186
532216
1230
ambayo ilidai kutoa.
08:53
No, I knew there'd be more work to do.
187
533470
2595
Hapana, nilijua kutakua na kazi za kufanya zaidi.
08:56
The work began in the dark corner of a crowded party,
188
536981
4295
Kazi ilianza kwenye kona ya giza katika sherehe iliojaa,
09:02
in the late night of an early, miserable Cambridge winter,
189
542138
3414
kwenye usiku wa manane wa winta ya Cambridge ya mapema inayosumbua,
09:06
when three friends and I asked a question
190
546457
2036
pale marafiki watatu na mimi tuliuliza swali
09:08
that young folks searching for something real have asked
191
548517
2650
ambalo vijana wanaotafuta kitu cha halisi waliuliza
09:11
for a very long time:
192
551191
1767
kwa mda mrefu sana:
09:12
"What if we took a road trip?"
193
552982
1674
"Inakuaje tukienda safarini?"
09:14
(Laughter)
194
554680
3044
(Kicheko)
09:18
We didn't know where'd we go or how we'd get there,
195
558299
2430
Hatukujua tungeenda wapi au jinsi tungefika huko,
09:20
but we knew we had to do it.
196
560753
1761
lakini tulijua tulipaswa kufanya hivyo.
09:23
Because all our lives we yearned, as Jack Kerouac wrote,
197
563108
3016
Kwa sababu maisha yote tumetamani, kama Lack Kerouac alivyoandika,
09:26
to "sneak out into the night and disappear somewhere,"
198
566148
3952
"kutoroka nje usiku na kupotea popote,"
09:30
and go find out what everybody was doing
199
570991
2053
na kwenda kuona watu wengine wanachofanya
09:33
all over the country.
200
573068
1272
nchi nzima.
09:35
So even though there were other voices who said
201
575242
2277
Hata kama kulikua na sauti nyingine zilizosema
09:37
that the risk was too great and the proof too thin,
202
577543
2453
kua hatari ni kubwa sana, na ushahidi mdogo sana,
09:40
we went on anyhow.
203
580020
1356
tulienda hivyo hivyo.
09:42
We went on 8,000 miles across America in the summer of 2013,
204
582354
5272
Tulienda maili 8,000 tukizunguka Marekani kwenye kiangazi cha 2013,
09:48
through the cow pastures of Montana, through the desolation of Detroit,
205
588358
3440
kupita malisho ya ng'ombe ya Montana, kupita magofu ya Detroit,
09:51
through the swamps of New Orleans,
206
591822
1623
kupita mabwawa ya New Orleans,
09:53
where we found and worked with men and women
207
593469
2602
ambapo tulipata na kufanya kazi na wanaume na wanawake
09:56
who were building small businesses
208
596095
1685
waliokua wakijenga biashara ndogo
09:57
that made purpose their bottom line.
209
597804
2945
zilizofanya sababu kua kiini chao.
10:01
And having been trained at the West Point of capitalism,
210
601962
2686
Na kuweza kufundishwa kwenye West Point ya ubepari,
10:04
this struck us as a revolutionary idea.
211
604672
2104
hii iligonga kama wazo la mapinduzi.
10:06
(Laughter)
212
606800
1016
(Kicheko)
10:07
And this idea spread,
213
607840
1984
Na hili wazo lilisambaa,
10:10
growing into a nonprofit called MBAs Across America,
214
610412
3738
na kukua kua shirika lisilo na faida liitwalo MBAs Kupitia Marekani,
10:14
a movement that landed me here on this stage today.
215
614820
3409
harakati ilionifikisha hapa kwenye hili jukwaa leo.
10:19
It spread because we found a great hunger in our generation
216
619620
4177
Ilisambaa kwa sababu tulipata njaa kubwa zaidi kwenye kizazi chetu
10:23
for purpose, for meaning.
217
623821
2443
kwa dhumuni, kwa maana.
10:27
It spread because we found countless entrepreneurs
218
627317
2698
Ilisambaa kwa sababu tulipata wajasiriamali wasiohesabika
10:30
in the nooks and crannies of America
219
630039
1908
kwenye nyufa na mapengo ya Marekani
10:31
who were creating jobs and changing lives
220
631971
2453
ambao walikua wakitengeneza ajira na kubadili maisha
10:34
and who needed a little help.
221
634448
1529
na waliohitaji msaada kidogo.
10:37
But if I'm being honest, it also spread
222
637082
3286
Lakini kama nikiwa muaminifu, ilisambaa pia
10:40
because I fought to spread it.
223
640392
1702
kwa sababu nilipigana kuisambaza.
10:43
There was no length to which I would not go
224
643204
2243
Hakukua na umbali ambao nisingeenda
10:45
to preach this gospel,
225
645471
1156
kuhubiri injili hii,
10:46
to get more people to believe
226
646651
2836
kupata watu zaidi kuamini
10:49
that we could bind the wounds of a broken country,
227
649511
2399
ili tuweze kufunga majeraha ya nchi iliyovunjika,
10:51
one social business at a time.
228
651934
2157
biashara moja ya kijamii kwa mda.
10:55
But it was this journey of evangelism
229
655116
3173
Lakini ilikua hii safari ya uinjilisti
10:59
that led me to the rather different gospel
230
659239
2258
ilionipeleka kwenye injili tofauti
11:02
that I've come to share with you today.
231
662136
2636
ambayo nimekuja kuwashirikisha leo.
11:05
It began one evening almost a year ago
232
665867
3212
Ilianza jioni moja, karibia mwaka uliopita
11:10
at the Museum of Natural History in New York City,
233
670199
3194
kwenye Makumbusho ya Asili ya Historia ya jiji la New York,
11:14
at a gala for alumni of Harvard Business School.
234
674371
2752
kwenye sherehe ya wahitimu wa Shule ya Biashara Harvard.
11:18
Under a full-size replica of a whale,
235
678341
2535
Chini ya ukubwa wa mfano wa nyangumi mzima,
11:21
I sat with the titans of our time
236
681573
2351
nilikaa na matitan wa wakati wetu
11:23
as they celebrated their peers and their good deeds.
237
683948
2721
wakisherehekea na wenzao na matendo yao mema.
11:27
There was pride in a room
238
687727
1284
Kiburi kilikua kwenye chumba
11:29
where net worth and assets under management
239
689035
2879
ambapo thamani halisi na raslimali chini ya utawala
11:31
surpassed half a trillion dollars.
240
691938
2379
zilizidi nusu ya dola trilioni.
11:35
We looked over all that we had made,
241
695196
2007
Tuliangalia juu ya vyote tulivyotengeneza,
11:37
and it was good.
242
697863
1165
na ilikua nzuri.
11:39
(Laughter)
243
699927
1987
(Kicheko)
11:42
But it just so happened,
244
702868
1428
Lakini ilitokea tu kua,
11:44
two days later,
245
704959
1186
siku mbili baadae,
11:46
I had to travel up the road to Harlem,
246
706610
2083
Ilibidi nisafiri juu kuelekea Harlem,
11:49
where I found myself sitting in an urban farm
247
709455
2439
ambapo nilijikuta nimekaa kwenye shamba la mjini
11:51
that had once been a vacant lot,
248
711918
1785
ambalo mwanzoni lilikua eneo la wazi,
11:54
listening to a man named Tony tell me of the kids
249
714416
2900
nikimsikiliza mtu aitwae Tony akiniambia kuhusu watoto
11:57
that showed up there every day.
250
717340
1558
waliotokea hapo kila siku.
11:59
All of them lived below the poverty line.
251
719944
3323
Wote hao waliishi chini ya mstari wa umasikini.
12:04
Many of them carried all of their belongings in a backpack
252
724075
3420
Wengi wao walibeba mali zao kwenye mabegi ya mgongoni
12:07
to avoid losing them in a homeless shelter.
253
727519
2185
kuepuka kuzipoteza mahali pa wasio na makazi.
12:10
Some of them came to Tony's program,
254
730432
3248
Baadhi yao walikuja kwenye mradi wa Tony,
12:13
called Harlem Grown,
255
733704
1347
uitwao Harlem Grown,
12:15
to get the only meal they had each day.
256
735677
2347
kupata mlo pekee waliopata kila siku.
12:19
Tony told me that he started Harlem Grown with money from his pension,
257
739465
4615
Tony aliniambia kua alianzisha Harlem Grown na hela ya pensheni yake,
12:24
after 20 years as a cab driver.
258
744954
2253
baada ya miaka 20 kama dereva wa teksi.
12:28
He told me that he didn't give himself a salary,
259
748232
2319
Aliniambia kua hakujipa mshahara,
12:31
because despite success, the program struggled for resources.
260
751342
3842
kwa sababu licha ya mafanikio, mradi ulipambana na rasilimali.
12:35
He told me that he would take any help
261
755993
2107
Aliniambia kua angechukua msaada wowote
12:38
that he could get.
262
758665
1157
ambao angeweza.
12:40
And I was there as that help.
263
760490
2646
Na nilikua pale kama huo msaada.
12:44
But as I left Tony, I felt the sting and salt of tears
264
764863
4295
Lakini nilipomuacha Tony, nilihisi uchungu na chumvi ya machozi
12:49
welling up in my eyes.
265
769838
1537
ikijaa kwenye macho yangu.
12:52
I felt the weight of revelation
266
772509
1965
nilihisi uzito wa ufunuo
12:55
that I could sit in one room on one night,
267
775187
3132
kua ningeweza kukaa kwenye chumba kimoja usiku mmoja,
12:59
where a few hundred people had half a trillion dollars,
268
779206
4102
ambapo watu mia kadhaa wenye nusu ya dola trilioni,
13:04
and another room, two days later,
269
784187
2061
na chumba kingine, siku mbili baadae,
13:06
just 50 blocks up the road,
270
786820
2297
mitaa 50 tu juu ya barabara,
13:09
where a man was going without a salary
271
789971
2244
ambapo mtu alikua anaenda bila mshahara
13:12
to get a child her only meal of the day.
272
792897
2894
kumpa mtoto mlo wake pekee wa siku.
13:16
And it wasn't the glaring inequality that made me want to cry,
273
796887
3530
Na haikua ukosefu wa hali ulio dhahiri uliyonifanya nitake kulia,
13:20
it wasn't the thought of hungry, homeless kids,
274
800441
2811
haikua wazo la watoto wasio na makazi wenye njaa,
13:23
it wasn't rage toward the one percent
275
803276
1836
haikua hasira juu ya ile asilimia moja
13:25
or pity toward the 99.
276
805136
2278
au huruma kwa wale 99.
13:27
No, I was disturbed because I had finally realized
277
807787
3785
Hapana, nilisumbuliwa kwa sababu hatimae niligundua
13:32
that I was the dialysis
278
812330
2269
kua nilikua msafisha damu
13:34
for a country that needed a kidney transplant.
279
814623
3197
kwa nchi iliyohitaji upandikizo wa figo.
13:38
I realized that my story stood in for all those
280
818647
3669
Niligundua kua hadithi yangu ilisimama kwa wale wote
13:42
who were expected to pick themselves up by their bootstraps,
281
822340
2842
ambao walitegemea kujinyenyua wenyewe na kamba za buti,
13:45
even if they didn't have any boots;
282
825206
2146
hata kama hawakua na buti zozote;
13:48
that my organization stood in
283
828182
1673
ndipo shirika langu liliingia kati
13:49
for all the structural, systemic help that never went to Harlem
284
829879
3750
kwa misaada yote ya miundo, utaratibu ambayo haikuwahi kwenda Harlem
13:53
or Appalachia or the Lower 9th Ward;
285
833653
1945
au Appalachia au huko Lower 9th Ward;
13:55
that my voice stood in for all those voices
286
835622
4779
ambapo sauti yangu ilisimama kwa niaba ya sauti zote hizo
14:01
that seemed too unlearned, too unwashed, too unaccommodated.
287
841098
5143
zilizoonekana sio za kisomi sana, zisizosafi sana, zisizobebeka sana.
14:07
And the shame of that,
288
847273
1265
Na aibu ya hilo,
14:09
that shame washed over me
289
849721
1387
hio aibu ilifurika juu yangu
14:11
like the shame of sitting in front of the television,
290
851132
2861
kama aibu ya kukaa mbele ya televisheni,
14:14
watching Peter Jennings announce the new millennium
291
854898
2499
kuangalia Peter Jennings akitangaza milenia mpya
14:17
again
292
857421
1208
tena
14:18
and again
293
858653
1150
na tena
14:20
and again.
294
860257
1150
na tena.
14:21
I had been duped,
295
861796
1150
Nilikua nimedanganywa,
14:24
hoodwinked,
296
864084
1150
nimedhulumiwa,
14:25
bamboozled.
297
865696
1150
nimepumbazwa.
14:27
But this time, the false savior was me.
298
867403
3074
Lakini wakati huu, mkombozi wa uongo alikua mimi.
14:31
You see, I've come a long way from that altar
299
871600
3702
Unaona, nimepita njia ndefu kutoka madhabahuni
14:35
on the night I thought the world would end,
300
875326
2096
usiku niliodhani dunia ingeisha,
14:38
from a world where people spoke in tongues
301
878371
2205
kwenye dunia ambayo watu wananena kwa lugha
na kuona mateso kama kama tendo la lazima la Mungu
14:41
and saw suffering as a necessary act of God
302
881107
2638
14:44
and took a text to be infallible truth.
303
884222
2068
kuchukua nakala kua ukweli usio na dosari.
14:46
Yes, I've come so far
304
886314
1525
Ndio, nimetoka mbali sana
14:48
that I'm right back where I started.
305
888607
2536
mpaka nimerudi pale nilipoanzia.
14:52
Because it simply is not true to say
306
892103
2215
Kwa sababu sio tu kweli kusema
14:54
that we live in an age of disbelief --
307
894342
1881
kua tunaishi wakati wa kutoamini --
14:56
no, we believe today just as much as any time that came before.
308
896247
4316
hapana, tunaamini leo kama tu wakati wowote uliokuja kabla
15:01
Some of us may believe in the prophecy of Brené Brown
309
901409
2843
Baadhi yetu wangeamini kwenye unabii wa Brene Brown
15:04
or Tony Robbins.
310
904276
1176
au Tony Robbins.
15:06
We may believe in the bible of The New Yorker
311
906003
2100
Tunaweza kuamini Biblia ya The New Yorker
15:08
or the Harvard Business Review.
312
908127
1610
au ya Harvard Business Review.
15:10
We may believe most deeply
313
910146
1579
Tungeamini kwa kina zaidi
15:12
when we worship right here at the church of TED,
314
912150
2602
tunapoabudu hapa hapa kwenye kanisa la TED,
15:15
but we desperately want to believe,
315
915347
2181
lakini tunataka sana kuamini,
15:17
we need to believe.
316
917552
1546
tunahitaji kuamini.
15:20
We speak in the tongues of charismatic leaders
317
920001
2185
Tunaongea kwa lugha za viongozi wa karismatik
15:22
that promise to solve all our problems.
318
922210
2192
wanaoahidi kutatua matatizo yetu yote.
15:24
We see suffering as a necessary act of the capitalism that is our god,
319
924426
4080
Tunaona mateso kama tendo muhimu la ubepari ambao ni mungu wetu,
15:28
we take the text of technological progress
320
928530
2232
tunachukua nakala za maendeleo ya teknolojia
15:31
to be infallible truth.
321
931540
1693
kuwa ukweli usio na dosari.
15:34
And we hardly realize the human price we pay
322
934034
3616
Na ni vigumu kugundua bei ya binadamu tunayolipa
15:38
when we fail to question one brick,
323
938412
2350
tunaposhindwa kuuliza tofali moja,
15:41
because we fear it might shake our whole foundation.
324
941692
2949
kwa sababu tunahofu litatikisa msingi wetu wote.
15:45
But if you are disturbed
325
945677
1601
Lakini kama unasumbuliwa
15:48
by the unconscionable things that we have come to accept,
326
948080
3130
na vitu visivyo na busara ambavyo tumekuja kukubali,
15:51
then it must be questioning time.
327
951777
2906
basi inakua mda wa kuuliza maswali.
15:55
So I have not a gospel of disruption or innovation
328
955987
4047
Hivyo sina hapa injili ya uvunjaji au uvumbuzi
16:00
or a triple bottom line.
329
960058
1450
au hatima ya mara ya tatu.
16:02
I do not have a gospel of faith to share with you today, in fact.
330
962380
3605
Sina hapa injili ya imani kuwashirikisha leo, kwa kweli.
16:07
I have and I offer a gospel of doubt.
331
967125
3842
Ninayo na ninatoa injili ya mashaka.
16:12
The gospel of doubt does not ask that you stop believing,
332
972000
3020
Injili ya mashaka haikuombi kua uache kuamini,
16:15
it asks that you believe a new thing:
333
975737
1920
inaomba kua uamini kitu kipya:
16:18
that it is possible not to believe.
334
978200
2537
ambacho kinawezekana kutokuamini.
16:21
It is possible the answers we have are wrong,
335
981512
2170
Inawezekana majibu tuliyonayo yamekosewa.
16:23
it is possible the questions themselves are wrong.
336
983706
2583
Inawezekana maswali yenyewe yamekosewa.
16:26
Yes, the gospel of doubt means that it is possible that we,
337
986313
3822
Ndio, injili ya mashaka inamaanisha kua inawezekana kua sisi,
16:30
on this stage, in this room,
338
990619
2126
kwenye jukwaa hili, kwenye chumba hiki,
16:33
are wrong.
339
993178
1157
tumekosea.
16:34
Because it raises the question, "Why?"
340
994779
2265
Kwa sababu inaleta swali, "Kwanini?"
16:37
With all the power that we hold in our hands,
341
997789
3175
Na nguvu zote tulizonazo mikononi mwetu,
16:40
why are people still suffering so bad?
342
1000988
3380
kwanini watu bado wanateseka vibaya sana?
16:45
This doubt leads me to share that we are putting my organization,
343
1005209
4555
Haya mashaka yananipeleka mimi kuwashirikisha kua tunaweka shirika letu,
16:49
MBAs Across America,
344
1009788
1266
MBAs Kupitia Marekani,
16:51
out of business.
345
1011078
1628
nje ya biashara.
16:52
We have shed our staff and closed our doors
346
1012730
2492
Tumeondoa wafanyakazi wetu na kufunga milango yetu
16:55
and we will share our model freely
347
1015246
2028
na tutashirikisha muundo wetu bure
16:57
with anyone who sees their power to do this work
348
1017298
2886
na yeyote atakaeona nguvu zao kufanya hii kazi
17:00
without waiting for our permission.
349
1020208
1848
bila kungoja ruhusa yetu.
17:02
This doubt compels me
350
1022434
2321
Haya mashaka yananilazimisha
17:05
to renounce the role of savior
351
1025236
1773
kukataa jukumu la mkombozi
17:07
that some have placed on me,
352
1027033
1395
ambao baadhi wameniwekea,
17:08
because our time is too short and our odds are too long
353
1028901
3095
kwa sababu mda wetu ni mfupi sana na bahati zetu ni ndefu sana
17:12
to wait for second comings,
354
1032020
1780
kungojea ujio za pili,
17:13
when the truth is that there will be no miracles here.
355
1033824
3484
wakati ukweli ni kua hakutakua na miujiza hapa.
17:18
And this doubt, it fuels me,
356
1038305
1744
Na haya mashaka, yananichochea,
17:20
it gives me hope
357
1040737
1291
inanipa matumaini
17:22
that when our troubles overwhelm us,
358
1042606
2250
kua pale matatizo yanapotuzidia,
17:25
when the paths laid out for us seem to lead to our demise,
359
1045760
4119
pale njia zilizowekwa kwa ajili yetu kuonekana zinatupeleka kwenye kifo chetu,
17:30
when our healers bring no comfort to our wounds,
360
1050528
3028
pale waponyaji wetu wasipoleta faraja kwenye majeraha yetu,
17:34
it will not be our blind faith --
361
1054286
2331
haitakua imani yetu yenye upofu --
17:37
no, it will be our humble doubt
362
1057423
2387
hapana, itakua mashaka yetu nyenyekevu
17:40
that shines a little light into the darkness of our lives
363
1060730
3311
yatakayoangaza mwanga kidogo kwenye giza la maisha yetu
17:44
and of our world
364
1064065
1233
na la dunia yetu
17:45
and lets us raise our voice to whisper
365
1065870
2169
na kuturuhusu kunyenyua sauti yetu kunong'oneza
17:48
or to shout
366
1068833
1150
au kupiga kelele
17:50
or to say simply,
367
1070437
1715
au kusema tu,
17:52
very simply,
368
1072176
1150
kawaida sana,
17:53
"There must be another way."
369
1073706
2516
"Lazima kuwe na njia nyingine."
17:57
Thank you.
370
1077011
1151
Asanteni.
17:58
(Applause)
371
1078186
20222
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7