Why you should shop at your local farmers market | Mohammad Modarres

66,611 views ・ 2019-10-24

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Joachim Mangilima Reviewer: Joyce Nyakale
imetimia kama miaka 10, toka mtikisiko wa mwisho wa uchumi
00:13
It's been about a decade since the last financial crisis,
0
13507
3245
00:16
yet this industry has never been bigger.
1
16776
2326
lakini bado tasnia ni kubwa sana
00:19
Legislation that was meant to better regulate its largest players
2
19725
3540
Sheria ambazo zilipaswa kusimamia vema mashirika makubwa.
00:23
has hurt its smaller ones,
3
23289
1561
yameishia kuumiza mashirika madogo,
00:24
resulting in most of the industry's assets to be controlled by the top one percent.
4
24874
5071
ikisababisha mali nyingi kudhibitiwa na asilimia moja ya juu.
00:30
They've become too big to fail.
5
30550
1594
wamekuwa wakubwa sana kuanguka
00:33
I'm not referring to big banks,
6
33386
2203
Simaanishi benki kubwa,
00:35
but the world of Big Agriculture.
7
35613
2494
lakini namaanisha ulimwengu wa Kilimo Kikubwa.
00:39
As a public health practitioner
8
39470
1496
Kama mtendaji wa afya ya jamii
00:40
who has worked with small-scale farmers in Rwanda
9
40990
2708
ambaye amefanya kazi na wakulima wadogo Rwanda
00:43
and now as a small food business owner
10
43722
2504
na sasa kama mmiliki wa biashara ndogo ya chakula
00:46
who sits at the intersection between our consumers and producers,
11
46250
3927
ambaye yuko kati ya walaji na wazalishaji
00:50
I've been exposed to one of the most
12
50201
1735
nimeonyeshwa moja kati ya
00:51
ecologically and economically intensive industries in the world,
13
51960
3424
tasnia zinazotumia nguvu sana kiuchumi na kiikolojia duniani,
00:55
and throughout my work,
14
55408
1280
na kupitia kazi yangu,
00:56
I've witnessed a chilling irony.
15
56712
1739
nimeona kitu cha ajabu,
00:59
Our farmers, who feed our communities, cannot afford the very foods they grow.
16
59881
4890
wakulima wetu, wanaolisha jamii zetu, hawawezi kumudu chakula wanachokilima.
01:06
Today, a handful of corporations continue to consolidate
17
66927
3840
Leo, mashirika kadhaa yanaendelea kuungana
01:10
the entire food supply chain,
18
70791
1625
mnyororo wote wa usambazaji chakula,
01:13
from the intellectual property of seeds to produce and livestock
19
73095
3799
kutoka katika hatimiliki ya mbegu na wanyama
01:16
all the way to the financial institutions who lend to these farmers.
20
76918
3408
mpaka mashirika ya kifedha yanayokopesha wakulima hawa.
01:21
And the recent results have been rising bankruptcies for family farms
21
81268
4625
matokeo yake yamekuwa ongezeko la kufilisika kwa mashamba ya kifamilia
01:25
and little control for those who are just trying to survive in the industry.
22
85917
3825
na udhibiti kidogo kwa wale wanaotaka kudumu katika tasnia hii.
01:30
Left unchecked, we will head into another economic collapse,
23
90931
4140
Ikiachwa hivi, tutaenda katika anguko jingine la kiuchumi,
01:35
one very similar to the farm crisis of the 1980s,
24
95095
3345
linalofanana na anguko la kilimo la miaka ya 1980
01:38
when commodity market prices crashed,
25
98464
2233
pale ambapo bei za mazao zilipoanguka
01:40
interest rates doubled,
26
100721
1638
riba zilipoongezeka kwa mara mbili
01:42
and many farmers lost everything.
27
102383
2025
wakulima wengi wakapoteza kila kitu.
01:45
Fortunately, there's a very simple, three-part solution
28
105670
4435
Bahati nzuri,kuna ufumbuzi rahisi wa sehemu tatu
01:50
you can be part of right now
29
110129
2725
unaweza sasa hivi kuwa sehemu ya
01:52
to help us transform our food industry from the bottom up.
30
112878
3658
kusaidia kubadilisha tasnia ya chakula kutoka chini kwenda juu
01:58
Step one: shop at your local farmers markets.
31
118470
3716
Hatua ya kwanza: fanya manunuzi katika masoko ya wakulima
02:03
Buying from your local market
32
123181
1557
Kununua toka katika soko la eneo lako husika
02:04
and subscribing to a community-supported agricultural produce box,
33
124762
4560
na mazao ya kilimo katika jamii yako.
02:09
better known as a CSA,
34
129346
1905
yajulikanayo kama CSA,
02:11
may be the single greatest purchasing decision you can make
35
131275
2974
inaweza kuwa ni uamuzi bora kabisa unaoweza kufanya
02:14
as a consumer today.
36
134273
1372
kama mlaji leo.
02:16
Last year, American farmers made the least they have
37
136210
3302
Mwaka jana, Wakulima wa Marekani walipato kipato kidogo
02:19
in almost three decades,
38
139536
2283
sana ndani ya miongo mitatu
02:21
because they now own fewer parts of the supply chain
39
141843
3031
kwa sababu sasa wanamiliki sehemu kidogo sana ya mnyororo wa ugavi
02:24
than ever before.
40
144898
1633
Kuliko wakati mwingine.
02:27
Under exclusive contracts with Big Ag and big box stores,
41
147018
3628
kupitia mikataba na mashirika na maduka makubwa ya kilimo
02:30
farmers are not offered a fair price for their goods.
42
150670
3141
wakulima hawapati bei nzuri ya mazao yao.
02:34
In fact, the average farmer in America
43
154559
2718
Kwa hakika, mkulima wa kawaida Marekani
02:37
makes less than 15 cents of every dollar on a product that you purchase at a store.
44
157301
6321
anapata chini ya senti 15 kwa kila dola moja ya bidhaa unayonunua dukani.
02:44
On the other hand, farmers who sell their goods at a farmers market
45
164877
4066
kwa pande mwingine, wakulima wanaouza mazao yao kwenye masoko ya wakulima
02:48
take home closer to 90 cents of every dollar.
46
168967
2749
wanapata karibia senti 90 kwa kila dolla 1
02:52
But beyond taking home a larger share,
47
172412
2583
lakini zaidi ya kuchukua kiasi kikubwa,
02:55
farmers use markets as an opportunity
48
175019
2524
wakulima wanatumia masoko haya kama fursa
02:57
to cultivate the next generation of agriculturalists
49
177567
2713
ya kujenga kizazi kijacho cha wakulima
03:00
who shepherd our farmlands and our pastures.
50
180304
3065
watakaolinda mashamba na wanyama wetu.
03:03
In our fight against climate change, we need them now more than ever
51
183393
4022
katika kupambana na mabadiliko ya tabia nchi,
03:07
to promote and preserve diverse land use.
52
187439
2823
kuhimiza na kudumisha matumizi mbalimbali ya ardhi
03:10
When multigenerational farms are lost to Big Ag consolidation,
53
190960
3941
Pale mashamba ya vizazi kadhaa yanapochukuliwa na makampuni makubwa ya kilimo,
03:14
our communities suffer in countless ways.
54
194925
2385
jamii zetu zinapata shida kwa namna nyingi.
03:17
Rural America has now jumped above the national average in violent crime.
55
197814
4830
Kiwango cha uhalifu wa kutumia nguvu Marekani vijijini kimepanda kuzidi wastani wa kitaifa
03:23
Three out four farmworkers surveyed have been directly impacted
56
203153
3599
wakulima watatu kati ya wanne waliohojiwa wameathirika moja kwa moja
03:26
by our opioid epidemic.
57
206776
1844
na mlipuko wa madawa ya kulevya
03:28
Now oftentimes disguised as accidents,
58
208644
2882
mara nyingi ikifichwa kama ajali,
03:31
farmer suicide is now on the rise.
59
211550
2099
kujiua kwa wakulima kunazidi kupanda
03:35
Step two: shop at your local farmers markets.
60
215971
4635
Hatua ya pili: nunua katika masoko ya wakulima katika eneo lako
03:40
(Laughter)
61
220630
1689
(vicheko)
03:43
Produce from a large retail store is harvested before it's ripe
62
223454
4362
mazao kutoka maduka makubwa yanavunwa kabla hayajaiva
03:47
to travel more than a thousand miles before it ultimately sits on your shelf
63
227840
3859
ili kusafiri zaidi ya maili elfu moja kabla ya kufikishwa dukani
03:51
roughly two weeks later.
64
231723
1755
kama wiki mbili hivi baadae
03:53
Alternatively, because most farmers markets
65
233502
2295
mbadala wa hali hii, ni kwa kuwa masoko mengi ya wakulima
03:55
have proximity and production requirements,
66
235821
2801
yako karibu na maeneo ya uzalishaji,
03:58
farmers travel less than 50 miles to offer you local produce
67
238646
4734
wakulima wanasafiri chini maili 50 kukupatia mazao ya eneo husika
04:03
with minimal packaging waste.
68
243404
2376
bila uharibifu mwingi wa vifungashio
04:06
With the advent of online grocers and trending meal kits,
69
246363
4689
kukiwa na ongezeko la wanunuzi mtandaoni na vyakula vilivyoandaliwa kabla
04:11
consumers are increasingly disconnected
70
251076
2527
wateja wanazidi kutohusiana
04:13
with their farmers and the economics of food production.
71
253627
2758
na wakulima wao na uchumi wa uzalishaji chakula
04:16
Since the rise of the smartphone revolution,
72
256906
2315
Toka kuibuka kwa mapinduzi ya simu janja
04:19
direct-to-consumer goods have stagnated.
73
259245
2813
huduma ya bidhaa moja kwa moja kwa mteja imefifia
04:24
While local and sustainable foods have been trending for almost a decade,
74
264081
5127
Lakini vyakula vya eneo husika na endelevu vimeshika chati kwa miaka karibia kumi,
04:29
terms like "healthy" and "natural"
75
269232
1977
maneno kama "ya kiafya" na "asilia"
04:31
have no legal framework in the United States.
76
271233
2488
hayana mfumo wa kisheria nchini Marekani.
04:34
Your best bet for fresh, nutrient-rich foods
77
274371
3717
Unataka kubahatisha chakula kizuri chenye virutubisho vingi
04:38
without the marketing jargon?
78
278112
1563
bila maneno ya wauzaji?
04:40
Go to your farmers market.
79
280378
1355
Nenda kwenye soko lako la wakulima.
04:42
Buying local is not a new idea,
80
282940
2418
Kununua vitu vya eneo husika sio wazo jipya,
04:45
but turning it into a habit in today's world still is.
81
285382
3285
lakini kufanya hilo kama tabia katika dunia ya leo bado ni kitu kipya.
04:49
If we want to avoid the high costs of cheap food,
82
289136
3198
kama tunataka kuondokana na gharama kubwa ya chakula rahisi
04:53
protect our environment,
83
293321
1631
kulinda mazingira yetu,
04:54
rebuild our communities
84
294976
2324
kujenga upya jamii zetu.
04:57
and save our farmers -- literally --
85
297324
3030
na kuwaokoa wakulima wetu --kwa hakika --
05:01
we're going to need to vote with our food purchases.
86
301426
2817
tunahitaji kupiga kura kwa manunuzi yetu ya chakula.
05:05
The success of our food systems is directly attached to us.
87
305150
4052
Mafanikio ya mifumo yetu ya chakula ina uhusiano wa moja kwa moja nasi.
05:09
If we want to break up Big Ag's hold on our food supply chain,
88
309961
4290
Kama tunataka kuvunja kuhodhiwa kwa mnyororo wa ugavi wa chakula na makampuni makubwa
05:14
then we're going to need to connect with our farmers.
89
314275
3271
tutahitaji kuwa na uhusiano na wakulima wetu
05:17
We're going to need to rebuild relationships
90
317993
2464
tutahitaji kujenga mahusiano
05:20
with the hands that feed us three times a day.
91
320481
3223
na mikono inayotulisha mara tatu kwa siku.
05:24
Plus, two more for snacks.
92
324750
1698
na mara mbili kwa ajili ya vitafunwa.
05:27
Come on.
93
327465
1176
Inawezekana
05:30
With a government online database of more than 8,600 farmers markets
94
330541
4580
Kukiwa na hifadhidata ya mtandaoni ya serikali ya masoko ya wakulima zaidi ya 8,600
05:35
across the country,
95
335145
1165
nchi nzima.
05:36
you can easily find the nearest one to you.
96
336334
2336
unaweza kirahisi kupata lililo karibu nawe.
05:39
Just think of yourself as an investor in food,
97
339590
2846
Jifikirie tu kama mwekezaji katika chakula,
05:43
where your purchasing power helps create a more equitable society for everyone.
98
343343
3792
ambapo nguvu yako ya manunuzi inasaidia kutengeneza jamii yenye uwiano kwa kila mtu.
05:48
Oh!
99
348062
1167
Oh!
05:49
Almost forgot step three,
100
349788
1437
Nilitaka kusahau hatua ya tatu,
05:52
which may surprise you:
101
352270
1474
ambayo inawez kukushangaza:
05:55
shop at your local farmers markets.
102
355595
2280
nunua kwenye masoko ya wakulima wa eneo husika.
05:57
(Laughter)
103
357899
1070
(Vicheko)
05:58
Thank you.
104
358993
1058
Asante
06:00
(Applause)
105
360075
4538
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7