Light seconds, light years, light centuries: How to measure extreme distances - Yuan-Sen Ting

3,492,230 views

2014-10-09 ・ TED-Ed


New videos

Light seconds, light years, light centuries: How to measure extreme distances - Yuan-Sen Ting

3,492,230 views ・ 2014-10-09

TED-Ed


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: roina ochieng Reviewer: Joachim Mangilima
00:07
Light is the fastest thing we know.
0
7166
2868
Mwanga ndio kitu kilicho na kasi zaidi tunalojua.
00:10
It's so fast that we measure enormous distances
1
10034
3079
Lina kasi sana tunapima umbali mkubwa sana
00:13
by how long it takes for light to travel them.
2
13113
3208
kutumia muda ambao mwanga hutumia kuisafiri.
00:16
In one year, light travels about 6,000,000,000,000 miles,
3
16321
4076
Kwa mwaka mmoja, mwanga husafiri takriban maili bilioni sita,
00:20
a distance we call one light year.
4
20397
2518
umbali tunaoita mwaka mmoja wa mwanga.
00:22
To give you an idea of just how far this is,
5
22915
2355
Kukupa wazo la umbali huu,
00:25
the Moon, which took the Apollo astronauts four days to reach,
6
25270
3926
mwezi, lililowachukua wanaanga wa Apollo siku nne kuifikia,
00:29
is only one light-second from Earth.
7
29196
3080
ni sekundi moja tu la mwanga kutoka dunia.
00:32
Meanwhile, the nearest star beyond our own Sun is Proxima Centauri,
8
32276
4422
Wakati huo huo, nyota lililo karibu kupita jua letu ni Proxima Centauri,
00:36
4.24 light years away.
9
36698
3033
umbali wa miaka ya mwanga 4.24.
00:39
Our Milky Way is on the order of 100,000 light years across.
10
39731
4545
Milky Way yetu iko kwenye mpango wa miaka ya mwanga 100,000 toka upande mmoja.
00:44
The nearest galaxy to our own, Andromeda,
11
44276
2606
Galaksi iliyo karibu sana na yetu, Andromeda,
00:46
is about 2.5 million light years away
12
46882
2975
ni umbali wa takriban miaka ya mwanga millioni 2.5
00:49
Space is mind-blowingly vast.
13
49857
2759
Anga una upana mkubwa kushangaza.
00:52
But wait, how do we know how far away stars and galaxies are?
14
52616
4343
Lakini ngoja, tuanjuaje ubali wa nyota na magalaksi?
00:56
After all, when we look at the sky, we have a flat, two-dimensional view.
15
56959
4275
Ata hivyo, tunapotazama anga, tuna mtazamo wa mielekeo miwili.
01:01
If you point you finger to one star, you can't tell how far the star is,
16
61234
4087
Ukielekeza kidole chako kwa nyota moja, huwezi kujua umbali wa nyota hio,
01:05
so how do astrophysicists figure that out?
17
65321
3363
kwa hivyo wanaastrofysik wanajuaje?
01:08
For objects that are very close by,
18
68684
2231
Kwa vitu vilivyo karibu sana,
01:10
we can use a concept called trigonometric parallax.
19
70915
3861
tunaweza kutumia dhana inayoitwa "trigonometric parallax".
01:14
The idea is pretty simple.
20
74776
1774
Wazo hili ni rahisi sana.
01:16
Let's do an experiment.
21
76550
1412
Tufanye jaribio.
01:17
Stick out your thumb and close your left eye.
22
77962
3327
Elekeza gumba lako na ufumbe jicho lako la kushoto.
01:21
Now, open your left eye and close your right eye.
23
81289
3605
Sasa, fumbua jicho lako la kushoto na ufumbe jicho lako la kulia.
01:24
It will look like your thumb has moved,
24
84894
1988
Itaonekana ni kama gumba lako limesonga,
01:26
while more distant background objects have remained in place.
25
86882
4187
wakati ambapo vitu vingine vilivyo mbali kwenye usuli vimebaki pale pale.
01:31
The same concept applies when we look at the stars,
26
91069
2821
Wazo hilo linatumika tunapotazama nyota,
01:33
but distant stars are much, much farther away than the length of your arm,
27
93890
4185
lakini nyota za mbali ziko na umbali mkubwa sana kuliko mkono wako,
01:38
and the Earth isn't very large,
28
98075
1851
na dunia sio kubwa sana,
01:39
so even if you had different telescopes across the equator,
29
99926
3153
kwa hivyo hata kama ungekuwa na darubini tofauti kwenye ikweta,
01:43
you'd not see much of a shift in position.
30
103079
2823
huautaona mbadiliko mkubwa wa nafasi.
01:45
Instead, we look at the change in the star's apparent location over six months,
31
105902
5328
Badala ya hivyo, tunatazama mabadiliko ya msimamo wa nyota baada ya miezi sita,
01:51
the halfway point of the Earth's yearlong orbit around the Sun.
32
111230
4408
msimamo nusu wa mzunguko mmoja wa dunia kwa jua.
01:55
When we measure the relative positions of the stars in summer,
33
115638
3171
Tunapohesabu misimamo wa nyota kwenye msimu wa kiangazi,
01:58
and then again in winter, it's like looking with your other eye.
34
118809
4030
na tena kwenye msimu wa majira ya baridi, ni kama kutazama na jicho lako jingine.
02:02
Nearby stars seem to have moved against the background
35
122839
2601
Nyota za karibu zinaonekana zimesongea kwenye usuli
02:05
of the more distant stars and galaxies.
36
125440
2887
wa nyota na galaksi na nyota zilizo mbali.
02:08
But this method only works for objects no more than a few thousand light years away.
37
128327
4763
Lakini mbinu hii inatumika kwa vitu vilivyo chini ya miaka ya mwanga elfu.
02:13
Beyond our own galaxy, the distances are so great
38
133090
2692
Kupita galaksi yetu, umbali ni mkubwa sana
02:15
that the parallax is too small to detect with even our most sensitive instruments.
39
135782
5029
kiasi cha parallax ni ndogo sana kuchunguza na vyombo vyetu vyovyote.
02:20
So at this point we have to rely on a different method
40
140811
2908
Kwa hivyo kwa wakati huu inabidi tutumie mbinu nyingine
02:23
using indicators we call standard candles.
41
143719
3740
kutumia viashiria tunavyoita mishumaa ya kiwangogezi.
02:27
Standard candles are objects whose intrinsic brightness, or luminosity,
42
147459
4620
mishumaa ya kiwangogezi ni vile vitu ambavyo mwangaza wao
02:32
we know really well.
43
152079
2298
tunaujua vizuri sana.
02:34
For example, if you know how bright your light bulb is,
44
154377
3057
Kwa mfano, kama unaujua mwangaza wa taa lako,
02:37
and you ask your friend to hold the light bulb and walk away from you,
45
157434
3375
na umuulize rafiki yako alichukue hilo taa na atembee mbali na wewe,
02:40
you know that the amount of light you receive from your friend
46
160809
2927
unajua kiasi cha mwangaza utakayopata kutoka rafiki yako
02:43
will decrease by the distance squared.
47
163736
3417
itapungua na umbali.
02:47
So by comparing the amount of light you receive
48
167153
2435
Kwa hivyo kufananisha kiasi cha mwanga utakayopata
02:49
to the intrinsic brightness of the light bulb,
49
169588
2344
na mwangaza wa taa ile,
02:51
you can then tell how far away your friend is.
50
171932
3102
unaweza kujua umbali wa rafiki yako.
02:55
In astronomy, our light bulb turns out to be a special type of star
51
175034
3250
Kwa somo la falaki, taa lako linakua aina spesheli ya nyota
02:58
called a cepheid variable.
52
178284
2507
inayoitwa "cepheid variable".
03:00
These stars are internally unstable,
53
180791
2237
Nyota hizi hazina msimamo wa kindani,
03:03
like a constantly inflating and deflating balloon.
54
183028
3969
kama baluni inayofutuka na kutoa hewa.
03:06
And because the expansion and contraction causes their brightness to vary,
55
186997
3692
Na kwa ajili kufutuka na kupoteza hewa inarekebisha mwangaza wao,
03:10
we can calculate their luminosity by measuring the period of this cycle,
56
190689
4525
tunaweza kuhesabu mwanga wao kwa kuhesabu muda wa mzunguko huo,
03:15
with more luminous stars changing more slowly.
57
195214
3945
na nyota zilizo na mwanga nyingi na zinazobadilika polepole.
03:19
By comparing the light we observe from these stars
58
199159
2375
Kwa kufananisha mwangaza wa nyota hizi
03:21
to the intrinsic brightness we've calculated this way,
59
201534
2916
kwa mwangaza tuliohesabu kwa mbinu hii,
03:24
we can tell how far away they are.
60
204450
2486
tunagundua umbali wao.
03:26
Unfortunately, this is still not the end of the story.
61
206936
3309
Kwa bahati mbaya, huu sio mwisho wa hadithi.
03:30
We can only observe individual stars up to about 40,000,000 light years away,
62
210245
4551
Tunaweza kutazama nyota zilizo takriban miaka milioni arubaini ya nyota pekee,
03:34
after which they become too blurry to resolve.
63
214796
3097
Baada ya hapo, hazionekani vizuri.
03:37
But luckily we have another type of standard candle:
64
217893
3192
Kwa bahati nzuri tunayo aina nyingine ya mshumaa:
03:41
the famous type 1a supernova.
65
221085
3380
ya umaarufu aina ya "1a supernova".
03:44
Supernovae, giant stellar explosions are one of the ways that stars die.
66
224465
5282
"Supernovae", milipuko mikubwa ndio moja wa njia ambazo nyota hufa.
03:49
These explosions are so bright,
67
229747
1833
Milipuko hii ina mwangaza sana,
03:51
that they outshine the galaxies where they occur.
68
231580
2932
inashinda mwangaza wa galaksi zilipo.
03:54
So even when we can't see individual stars in a galaxy,
69
234512
3189
Kwa hivyo tunaposhindwa kuona nyota moja-moja ya galaksi,
03:57
we can still see supernovae when they happen.
70
237701
3142
bado tunaweza kuona "supernovae" zinapotokea.
04:00
And type 1a supernovae turn out to be usable as standard candles
71
240843
4168
Na aina ya "type 1a supernovae" inaweza kutumika kama mishumaa
04:05
because intrinsically bright ones fade slower than fainter ones.
72
245011
3627
kwa ajili zilizo na mwanga mkubwa sana hufifia polepole kushinda zile dhaifu.
04:08
Through our understanding of this relationship
73
248638
2287
Kwa kuelewa uhusiano huu
04:10
between brightness and decline rate,
74
250925
2218
kati ya mwanga na kiwango cha kufifia,
04:13
we can use these supernovae to probe distances
75
253143
2419
tunaweza kutumia "supernovae"kupata umbali
04:15
up to several billions of light years away.
76
255562
3177
wa bilioni kadhaa ya miaka ya mwanga.
04:18
But why is it important to see such distant objects anyway?
77
258739
4809
Lakini ni nini umuhumu wa kutazama vitu vilivyo mbali nasi?
04:23
Well, remember how fast light travels.
78
263548
3114
Basi kumbuka kasi ambao mwangaza husafiri.
04:26
For example, the light emitted by the Sun will take eight minutes to reach us,
79
266662
3959
Kwa mfano, mwangaza wa jua unachukua dakika nane kutufikia,
04:30
which means that the light we see now is a picture of the Sun eight minutes ago.
80
270621
5947
kumaanisha kuwa mwangaza tunaouona sasa hivi ni picha ya jua dakika 8 zilizopita
04:36
When you look at the Big Dipper,
81
276568
1630
Unapoiangalia "Big Dipper",
04:38
you're seeing what it looked like 80 years ago.
82
278198
3548
unaangalia jinsi ilivyokuwa miaka 80 iliyopita.
04:41
And those smudgy galaxies?
83
281746
1688
Na galaksi zisizoonekana vyema?
04:43
They're millions of light years away.
84
283434
2247
Zina umbali wa mamilioni ya miaka ya mwangaza .
04:45
It has taken millions of years for that light to reach us.
85
285681
3707
Imezichukua mamilioni ya miaka kutufikia.
04:49
So the universe itself is in some sense an inbuilt time machine.
86
289388
5288
Kwa hivyo ulimwengu wenyewe kwa njia, ina mashine ya wakati.
04:54
The further we can look back, the younger the universe we are probing.
87
294676
4572
Tunapotazama mbali zaidi, tunagundua ulimwengu mchanga zaidi.
04:59
Astrophysicists try to read the history of the universe,
88
299248
3049
Wanaastrofysiks hujaribu kusoma historia ya ulimwengu,
05:02
and understand how and where we come from.
89
302297
3758
na kugundua lini na wapi tunapotoka.
05:06
The universe is constantly sending us information in the form of light.
90
306055
4815
Ulimwengu unaendelea kututumia habari kwa njia ya mwangaza.
05:10
All that remains if for us to decode it.
91
310870
2875
Kilichobaki ni sisi kuisimbua.
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7