A lesson on looking | Amy Herman

155,866 views ・ 2018-12-10

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Doris Mangalu
00:12
Take a look at this work of art.
0
12719
1560
Tazama usanifu huu.
00:16
What is it that you see?
1
16178
1519
Ni kipi ambacho unaona?
00:19
At first glance, it looks to be a grandfather clock
2
19064
3651
Kwa mtazamo wa kwanza, inaonekana kuwa ni saa ya babu
00:22
with a sheet thrown over it
3
22739
1743
ikiwa na karatasi lililotupiwa juu
00:24
and a rope tied around the center.
4
24506
1896
na kamba iliyozunguka katikati.
00:27
But a first look always warrants a second.
5
27657
3048
Ila mtazamo wa kwanza mara zote huruhusu wa pili.
00:31
Look again.
6
31591
1150
Angalia tena.
00:33
What do you see now?
7
33751
1150
Unaona nini sasa?
00:35
If you look more closely,
8
35830
1913
Ukiangalia kwa karibu zaidi,
00:37
you'll realize that this entire work of art
9
37767
4150
utatambua kwamba usanifu huu mzima
00:41
is made from one piece of sculpture.
10
41941
2528
umetengenezwa na kipande kimoja cha sanamu.
00:44
There is no clock,
11
44845
1593
Hakuna saa.
00:46
there is no rope,
12
46462
1540
Hakuna kamba,
00:48
and there is no sheet.
13
48026
1430
na hakuna karatasi.
00:50
It is one piece of bleached Honduras mahogany.
14
50022
3783
Ni kipande kimoja cha mkangazi wa Honduras uliong'arishwa.
00:54
Now let me be clear:
15
54969
1690
Sasa ngoja nieleze kwa ufasaha:
00:56
this exercise was not about looking at sculpture.
16
56683
4518
zoezi hili halikuwa kuhusu kuangalia sanamu.
01:02
It's about looking
17
62509
1150
Ni kuhusu kutazama
01:04
and understanding that looking closely can save a life,
18
64440
4775
na kuelewa kwamba kuangalia kwa ukaribu huokoa maisha,
01:09
change your company
19
69239
1470
kubadili kampuni yako
01:10
and even help you understand why your children behave the way they do.
20
70733
4263
na hata kuelewa kwanini watoto wako wanafanya tabia fulani.
01:15
It's a skill that I call visual intelligence,
21
75574
2834
Ni ujuzi ambao nauita maarifa ya uono,
01:18
and I use works of art to teach everybody,
22
78432
2579
na natumia kazi za sanaa kufundisha kila mtu,
01:21
from everyday people to those for whom looking is the job,
23
81035
4689
kutoka watu wa kila siku hadi wale ambao kutazama ni ajira kwao,
01:25
like Navy SEALs and homicide detectives and trauma nurses.
24
85748
4765
kama wanamaji wa SEAL na wapelelezi wa mauaji na wauguzi wa majeraha.
01:31
The fact is that no matter how skilled you might be at looking,
25
91464
3806
Ukweli ni kwamba haijalishi ni ujuzi gani ulionao katika kutazama,
01:35
you still have so much to learn about seeing.
26
95294
3314
bado una mambo mengi ya kujifunza kuhusu kuona.
01:38
Because we all think we get it in a first glance and a sudden flash,
27
98632
4429
Kwa sababu huwa tunadhani tunaelewa katika mtazamo wa kwanza na ule wa kushtukiza,
01:43
but the real skill is in understanding how to look slowly
28
103085
4491
lakini ujuzi halisi ni katika kuelewa namna ya kuangalia taratibu
01:47
and how to look more carefully.
29
107600
1875
na kuangalia kwa umakini zaidi.
01:49
The talent is in remembering --
30
109499
2372
Kipaji ni katika kukumbuka --
01:51
in the crush of the daily urgencies that demand our attention --
31
111895
4053
katika mambo tukutananayo kila siku yanayohitaji umakini wetu --
01:55
to step back and look through those lenses to help us see
32
115972
4053
kurudi nyuma na kuangalia kupitia lenzi kutusaidia kuona
02:00
what we've been missing all along.
33
120049
1753
ni yapi tuliyoyakosa muda wote.
02:03
So how can looking at painting and sculpture help?
34
123026
3212
Sasa namna gani kuangalia mchoro na sanamu husaidia?
02:06
Because art is a powerful tool.
35
126702
2181
Kwa sababu sanaa ni nyenzo yenye nguvu.
02:10
It's a powerful tool that engages both sight and insight
36
130187
4584
Ni nyenzo yenye nguvu ambayo inahusisha uoni na maarifa
02:14
and reframes our understanding of where we are and what we see.
37
134795
4483
na kutengeneza uelewa wetu wa wapi tulipo na kipi tunachoona.
02:20
Here's an example of a work of art
38
140535
3041
Huu ni mfano wa kazi ya sanaa
02:23
that reminded me that visual intelligence --
39
143600
2929
ambao umenikumbusha kwamba maarifa ya uono --
02:26
it's an ongoing learning process
40
146553
1950
ni mchakato endelevu
02:28
and one that really is never mastered.
41
148527
2052
na ambao hauwezi fikiwa tamati kamwe.
02:31
I came across this quiet, seemingly abstract painting,
42
151121
3790
Nilikutana na hii sanaa ya kufikirika ambayo ni tulivu,
02:34
and I had to step up to it twice,
43
154935
2303
na ilibidi nisogee kwa ukaribu mara mbili,
02:37
even three times,
44
157262
1216
hata mara tatu,
02:38
to understand why it resonated so deeply.
45
158502
3062
kuelewa kwanini inavuma kwa undani sana.
02:42
Now, I've seen the Washington Monument in person thousands of times,
46
162146
4310
Sasa, binafsi nimeona mnara wa Washington mara elfu moja,
02:46
well aware of the change in the color of marble a third of the way up,
47
166480
3974
ninatambua vizuri badiliko la rangi ya marumaru kwa theluthi kwenda juu,
02:50
but I had never really looked at it out of context
48
170478
3200
lakini sijawahi angalia katika nje ya muktadha
02:53
or truly as a work of art.
49
173702
1933
katika uhalisia wa kazi ya sanaa.
02:56
And here, Georgia O'Keeffe's painting of this architectural icon made me realize
50
176670
5864
Na hapa, mchoro wa Georgia O'Keefe's wa huu usanifu maarufu umenifanya kutambua
03:02
that if we put our mind to it,
51
182558
2190
kwamba kama tukiweka akili zetu hapo,
03:04
it's possible to see everyday things
52
184772
3162
inawezekana kuona vitu vya kila siku
03:07
in a wholly new and eye-opening perspective.
53
187958
2943
katika muonekano mpya unaofungua macho.
03:11
Now, there are some skeptics that believe that art just belongs in an art museum.
54
191863
4088
Sasa, kuna wabishi wanaoamini kua sanaa inatakiwa kuwepo tu katika jumba la sanaa.
03:17
They believe that it has no practical use beyond its aesthetic value.
55
197849
3766
Wanaamini kwamba haina matumizi halisia zaidi ya thamani ya urembo wake.
03:21
I know who they are in every audience I teach.
56
201639
2541
Najua ni kina nani katika kila umati ambao nafundisha.
03:24
Their arms are crossed, their legs are crossed,
57
204204
2745
Mikono yao wamekunja, miguu yao wamekunja,
03:26
their body language is saying,
58
206973
1652
lugha ya miili yao inasema,
03:28
"What am I going to learn from this lady who talks fast
59
208649
2573
"Nitajifunza nini kwa huyu mwanamke anayeongea haraka
03:31
about painting and sculpture?"
60
211246
1941
kuhusu michoro na sanaa?"
03:34
So how do I make it relevant for them?
61
214875
2466
Hivyo nafanyaje ili kufanya iendane nao?
03:39
I ask them to look at this work of art,
62
219078
2231
Nawaambia kuangalia hii sanaa,
03:41
like this portrait by Kumi Yamashita.
63
221333
2261
kama hii picha na Kumi Yamashita.
03:44
And I ask them to step in close,
64
224388
2018
Nawauliza kusogea karibu,
03:46
and even closer still,
65
226430
2221
na karibu zaidi,
03:48
and while they're looking at the work of art,
66
228675
2237
na wakati wakiangalia kazi ya sanaa,
03:50
they need to be asking questions about what they see.
67
230936
2700
wanahitaji kuuliza maswali kuhusu wanachoona.
03:54
And if they ask the right questions,
68
234341
1742
Na kama watauliza swali sahihi,
03:56
like, "What is this work of art?
69
236107
1618
kama, "Hii ni kazi gani ya sanaa?
03:57
Is it a painting? Is it a sculpture?
70
237749
1775
Ni mchoro? Ni sanamu?
03:59
What is it made of?" ...
71
239548
1150
Imetengenezwa na nini?" ...
04:00
they will find out that this entire work of art
72
240722
3229
watatambua kwamba hii kazi nzima ya sanaa
04:03
is made of a wooden board,
73
243975
1744
imetengenezwa na ubao wa mbao,
04:05
10,000 nails
74
245743
1629
misumari 10,000
04:07
and one unbroken piece of sewing thread.
75
247396
2606
na kipande kizima cha kamba ya kushonea.
04:10
Now that might be interesting to some of you,
76
250663
2178
Sasa hii inaweza vutia baadhi yenu,
04:12
but what does it have to do with the work that these people do?
77
252865
3021
lakini inahusiana nini na kazi wanayofanya watu hawa?
04:15
And the answer is everything.
78
255910
1843
na jibu ni kila kitu.
04:17
Because we all interact with people multiple times on a daily basis,
79
257777
4284
Kwamba tunakutana na watu mara kadhaa katika maisha ya kila siku,
04:22
and we need to get better at asking questions
80
262085
2406
na tunahitaji kuwa bora katika kuuliza maswali
04:24
about what it is that we see.
81
264515
1812
kuhusu ni kitu gani tunachoona.
04:27
Learning to frame the question in such a way
82
267420
2561
Kujifunza kutengeneza swali katika namna hiyo
04:30
as to elicit the information that we need to do our jobs,
83
270005
3051
katika kusisimua taarifa tunazohitaji kufanya kazi zetu,
04:33
is a critical life skill.
84
273080
1775
ni ujuzi wa maisha ambao muhimu sana.
04:35
Like the radiologist who told me
85
275664
2286
Kama mtaalamu wa mionzi ambaye aliniambia
04:37
that looking at the negative spaces in a painting
86
277974
2500
kwamba kuangalia nafasi hasi katika mchoro
04:40
helped her discern more discreet abnormalities in an MRI.
87
280498
4026
kulimsaidia kutambua hali zisizo za kawaida katika MRI.
04:45
Or the police officer who said that understanding the emotional dynamic
88
285072
5165
Au afisa polisi aliyesema kwamba kuelewa mabadiliko ya hisia
04:50
between people in a painting
89
290261
1558
kati ya watu katika mchoro
04:51
helped him to read body language at a domestic violence crime scene,
90
291843
4289
kulimsaidia kutambua lugha ya mwili katika palipotendeka unyanyasaji wa nyumbani,
04:56
and it enabled him to think twice before drawing and firing his weapon.
91
296156
5399
na ilimsaidia kuwaza mara mbili kabla ya kutoa na kufyatua bunduki yake.
05:01
And even parents can look to see absences of color in paintings
92
301579
5006
Na hata wazazi wanaweza angalia kuona utupu wa rangi katika mchoro
05:06
to understand that what their children say to them
93
306609
3518
kuelewa kwamba kile watoto wanachowaambia
05:10
is as important as what they don't say.
94
310151
2300
ni muhimu kama kile wasichosema.
05:13
So how do I --
95
313766
1714
Kwa hiyo namna gani --
05:16
how do I train to be more visually intelligent?
96
316472
3088
Najifunzaje kuwa na maarifa ya uono?
05:20
It comes down to four As.
97
320384
2277
Inaelezewa na kama nne.
05:22
Every new situation, every new problem --
98
322685
2482
Kila hali mpya, kila tatizo jipya --
05:25
we practice four As.
99
325191
1534
huwa tunafanyia kazi kama nne.
05:26
First, we assess our situation.
100
326749
1489
Kwanza, tunatathmini hali yetu.
05:28
We ask, "What do we have in front of us?"
101
328262
2235
Tunauliza, " Ni kipi tulichonacho mbele yetu?"
05:30
Then, we analyze it.
102
330521
1538
Kisha, tunakichambua.
05:32
We say, "What's important?
103
332083
1325
Tunasema, "Kipi ni muhimu?
05:33
What do I need? What don't I need?"
104
333432
1732
Nahitaji nini? Kipi sihitaji?"
05:35
Then, we articulate it in a conversation, in a memo, in a text, in an email.
105
335188
3766
Kisha, tunakiunda katika maongezi, katika kumbukumbu, maandishi, barua pepe.
05:38
And then, we act: we make a decision.
106
338978
2599
Na kisha, tunatenda: tunafanya maamuzi.
05:42
We all do this multiple times a day,
107
342461
2358
Wote tunafanya hili mara kadhaa kwa siku,
05:44
but we don't realize what a role seeing and looking plays
108
344843
3644
lakini hatutambui jukumu la kutazama na kuona linavyofanya kazi
05:48
in all of those actions,
109
348511
1579
katika matendo yote,
05:50
and how visual intelligence can really improve everything.
110
350114
3664
na namna gani maarifa ya uono yanavyoweza kuboresha kila kitu.
05:54
So recently, I had a group of counterterrorism officials
111
354625
2666
Karibuni, nilipata kundi la wataalamu wa kupinga ugaidi
05:57
at a museum in front of this painting.
112
357315
1959
katika makumbusho mbele ya huu mchoro.
05:59
El Greco's painting, "The Purification of the Temple,"
113
359298
3430
mchoro wa El Greco, "Utakasaji wa Hekalu,"
06:02
in which Christ, in the center, in a sweeping and violent gesture,
114
362752
4087
ambapo Kristo, katikati, katika ishara ya kupangusa na yenye vurugu,
06:06
is expelling the sinners from the temple of prayer.
115
366863
2907
anawafukuza watenda dhambi kutoka katika hekalu la maombi.
06:10
The group of counterterrorism officials had five minutes with that painting,
116
370321
3611
Kundi la wapambana na ugaidi walikuwa na dakika tano katika mchoro ule,
06:13
and in that short amount of time, they had to assess the situation,
117
373956
3912
na katika muda huo mfupi, walitakiwa kuichambua hali ile
06:17
analyze the details,
118
377892
1690
kutambua taarifa,
06:19
articulate what, if anything,
119
379606
1692
kuchanganua kwamba, kama chochote
06:21
they would do if they were in that painting.
120
381322
2523
wangefanya kama wangekuwepo katika mchoro ule.
06:25
As you can imagine, observations and insights differed.
121
385329
3400
Unavyoweza kuwaza, mtazamo na ufahamu ulitofautiana.
06:28
Who would they talk to?
122
388753
1151
Nani wangeongea nae?
06:29
Who would be the best witness?
123
389928
1506
Nani angekuwa shuhuda mzuri?
06:31
Who was a good potential witness?
124
391458
1586
Nani ni shahidi mzuri wa muhimu?
06:33
Who was lurking?
125
393068
1151
Nani alikuwa anavizia?
06:34
Who had the most information?
126
394243
1400
Nani alikuwa na taarifa zaidi?
06:36
But my favorite comment came from a seasoned cop
127
396131
3472
Lakini moja ya maoni nililopenda lilitoka kwa polisi wa msimu
06:39
who looked at the central figure and said,
128
399627
2115
aliyeangalia mtu wa katikati na kusema,
06:41
"You see that guy in the pink?" --
129
401766
1635
"Unaona jamaa mwenye pinki?" --
06:43
referring to Christ --
130
403425
1230
akimaanisha Kristo --
06:44
he said, "I'd collar him, he's causing all the trouble."
131
404679
2642
alisema, "Ningemkaba, ndie anayesababisha vurugu yote."
06:47
(Laughter)
132
407345
3128
(Kicheko)
06:50
So looking at art gives us a perfect vehicle to rethink how we solve problems
133
410497
5397
Hivyo kuangalia sanaa kunatupa nyenzo bora ya kuwaza tena jinsi tunatatua matatizo
06:55
without the aid of technology.
134
415918
1642
bila msaada wa teknolojia.
06:57
Looking at the work of Felix Gonzalez-Torres,
135
417584
2683
Ukiangalia kazi ya Felix Gonzalez-Torres,
07:00
you see two clocks in perfect synchronicity.
136
420291
3087
unaona saa mbili zinazoenda sambamba kabisa.
07:03
The hour, minute and second hand perfectly aligned.
137
423949
4017
Saa, dakika na mshale wa sekunde vinafanana sawa sawa.
07:07
They are installed side by side and they're touching,
138
427990
3302
Vimewekwa upande kwa upande na zinagusana,
07:11
and they are entitled "'Untitled' (Perfect Lovers)."
139
431316
3078
na zimepewa jina "'Isiyo na jina'(Wapenzi Kamilifu)."
07:15
But closer analysis makes you realize
140
435431
2112
Lakini mtazamo wa karibu unafanya utambue
07:17
that these are two battery-operated clocks,
141
437567
3149
kwamba hizi ni saa mbili zitumiazo betri,
07:20
which in turn makes you understand --
142
440740
1835
ambapo inakufanya kuelewa --
07:22
"Hey, wait a minute ...
143
442599
1242
"Hebu, subiri kidogo ...
07:23
One of those batteries is going to stop before the other.
144
443865
2703
Moja ya betri itasimama kabla ya nyenzake.
07:26
One of those clocks is going to slow down and die before the other
145
446592
3156
Moja ya hizi saa itakuja kupunguza mwendo na kufa kabla ya nyingine
07:29
and it's going to alter the symmetry of the artwork."
146
449772
2483
na itaenda kuongeza usawa wa kazi hii ya sanaa."
07:33
Just articulating that thought process
147
453073
3108
Vile tu unavyoliwaza hilo jambo
07:36
includes the necessity of a contingency plan.
148
456205
3292
hujumuisha uhitaji wa mpango wa dharura.
07:40
You need to have contingencies for the unforeseen,
149
460687
2680
Unahitaji kuwa na dharura kwa yale yasiyoonekana,
07:43
the unexpected and the unknown,
150
463391
2476
yasiyotegemewa na yasiyojulikana,
07:45
whenever and however they may happen.
151
465891
2653
muda yanapotokea na namna yanavyotokea.
07:50
Now, using art to increase our visual intelligence
152
470150
3597
Sasa, kwa kutumia sanaa kuongeza maarifa ya uono
07:53
involves planning for contingencies,
153
473771
2061
hujumuisha kupanga kwa dharura,
07:55
understanding the big picture and the small details
154
475856
2398
kuelewa picha kubwa na taarifa ndogo
07:58
and noticing what's not there.
155
478278
1635
na kugundua kipi kinachokosekana.
08:00
So in this painting by Magritte,
156
480399
2454
Hivyo mchoro huu uliochorwa na Magritte,
08:02
noticing that there are no tracks under the train,
157
482877
3150
kugundua kwamba hakuna reli chini ya treni,
08:06
there is no fire in the fireplace
158
486051
2164
hakuna moto katika sehemu ya moto
08:08
and there are no candles in the candlesticks
159
488239
2178
na hakuna mishumaa ndani ya vinara
08:10
actually more accurately describes the painting
160
490441
2817
kiuhalisia inaelezea mchoro
08:13
than if you were to say, "Well, there's a train coming out of a fireplace,
161
493282
3515
zaidi ya ungesema, "Sasa, kuna treni inayotokea sehemu palipo na moto,
08:16
and there are candlesticks on the mantle."
162
496821
2086
na kuna vinara katika pazia
08:18
It may sound counterintuitive to say what isn't there,
163
498931
2663
Itaonekana kisicho cha kawaida kusema kisichokuwepo,
08:21
but it's really a very valuable tool.
164
501618
2037
lakini ni nyenzo yenye thamani.
08:24
When a detective who had learned about visual intelligence
165
504398
2760
Pale mpelezi aliyejifunza kuhusu uono wa maarifa
08:27
in North Carolina
166
507182
1151
huko Carolina Kaskazini
08:28
was called to the crime scene,
167
508357
1476
aliitwa katika eneo la tukio,
08:29
it was a boating fatality,
168
509857
1440
ilikuwa mashua yenye majeruhi,
08:31
and the eyewitness told this detective that the boat had flipped over
169
511321
3560
na shuhuda alimwambia huyu mpelelezi kwamba mashua ilipinduka
08:34
and the occupant had drowned underneath.
170
514905
2711
na aliyekuwepo alizama chini.
08:38
Now, instinctively, crime scene investigators look for what is apparent,
171
518055
3650
Sasa, kwa haraka, wapelelezi wa uhalifu huangalia kile kinachoonekana,
08:41
but this detective did something different.
172
521729
2200
lakini mpelelezi huyu alifanya kitu tofauti.
08:43
He looked for what wasn't there, which is harder to do.
173
523953
2587
Aliangalia ambacho hakipo, ambapo ni ngumu kufanya.
08:47
And he raised the question:
174
527045
1315
Na aliuliza swali:
08:48
if the boat had really tipped flipped over --
175
528384
2912
kama kweli mashua ilipinduka --
08:51
as the eyewitness said that it did --
176
531320
2218
kama mashuhuda wanavyosema --
08:53
how come the papers that were kept at one end of the boat
177
533562
2755
inakuwaje makaratasi yaliyowekwa mwisho mmoja wa mashua
08:56
were completely dry?
178
536341
1601
yapo makavu kabisa?
08:58
Based on that one small but critical observation,
179
538900
3388
Kulingana na mtazamo huo mdogo lakini muhimu,
09:02
the investigation shifted from accidental death to homicide.
180
542312
3961
upelelezi ulihama kutoka katika kifo mpaka mauaji.
09:08
Now, equally important to saying what isn't there
181
548257
2640
Sasa, muhimu kusema kipi kisichokuwepo pale
09:10
is the ability to find visual connections where they may not be apparent.
182
550921
4619
ni uwezo wa kutafuta muunganiko wa uono ambapo vitu havionekani.
09:16
Like Marie Watt's totem pole of blankets.
183
556442
3052
Kama tambiko la Marie Watt la nguzo ya matandiko.
09:19
It illustrates that finding hidden connections in everyday objects
184
559518
4084
Inaelezea kwamba kutafuta muunganiko uliojificha katika vitu vya kila siku
09:23
can resonate so deeply.
185
563626
1731
unaweza sisimua kiundani sana.
09:25
The artist collected blankets from all different people
186
565796
2681
Msanii alikusanya matandiko kutoka kwa watu mbalimbali
09:28
in her community,
187
568501
1468
katika jamii yake,
09:29
and she had the owners of the blankets write, on a tag,
188
569993
3254
na aliwaambia wamiliki wa matandiko hayo kuandika, katika nembo,
09:33
the significance of the blanket to the family.
189
573271
2544
umuhimu wa kitandiko hicho kwa familia.
09:36
Some of the blankets had been used for baby blankets,
190
576448
2665
Baadhi ya matandiko yametumika kwa ajili ya watoto,
09:39
some of them had been used as picnic blankets,
191
579137
2200
baadhi yametumika kama matandiko ya mandari,
09:41
some of them had been used for the dog.
192
581361
2412
baadhi yalikuwa yakitumika kwa ajili ya mbwa.
09:44
We all have blankets in our homes
193
584386
2806
Wote tuna matandiko majumbani mwetu
09:47
and understand the significance that they play.
194
587216
2551
na tunaelewa umuhimu yaliyonao.
09:50
But similarly, I instruct new doctors:
195
590704
2341
Lakini kwa usawa, nawaelekeza matabibu wapya:
09:53
when they walk into a patient's room,
196
593069
1896
wanapokwenda katika chumba cha mgonjwa,
09:54
before they pick up that medical chart,
197
594989
3192
kabla ya kuchukua chati ya mgonjwa,
09:58
just look around the room.
198
598205
1802
jaribu kutazama katika kile chumba.
10:00
Are there balloons or cards,
199
600031
2295
Kuna mapulizo au kadi,
10:02
or that special blanket on the bed?
200
602350
2212
au kile kitandiko mahususi katika kitanda?
10:05
That tells the doctor there's a connection to the outside world.
201
605471
3700
Hiyo inamueleza daktari kuna uhusiano na dunia ya nje.
10:09
If that patient has someone in the outside world
202
609195
3697
Kama mgonjwa huyo ana mtu katika dunia ya nje
10:12
to assist them and help them,
203
612916
1913
wa kuwaongoza na kuwasaidia,
10:14
the doctor can implement the best care with that connection in mind.
204
614853
4364
daktari anaweza pendekeza matunzo bora akiwa na uelewa na yale mahusiano akilini.
10:20
In medicine, people are connected as humans
205
620075
3186
Katika utabibu, watu wanaunganika kama wanadamu
10:23
before they're identified as doctor and patient.
206
623285
3232
kabla hawajatambulika kama daktari na mgonjwa.
10:27
But this method of enhancing perception --
207
627699
2555
Lakini njia hii ya kuongeza utambuzi --
10:30
it need not be disruptive,
208
630278
1478
haitakiwi kuwa haribifu,
10:31
and it doesn't necessitate an overhaul in looking.
209
631780
2800
na haina mahitaji ya kukarabati namna ya kutazama.
10:35
Like Jorge Méndez Blake's sculpture of building a brick wall
210
635173
3969
Kama sanamu ya Jorge Méndez ya kujenga ukuta wa matofali
10:39
above Kafka's book "El Castillo"
211
639166
2834
juu ya kitabu cha Kafka "El Castillo"
10:42
shows that more astute observation can be subtle and yet invaluable.
212
642024
4835
inaonyesha utazamaji wa kistaarabu unaweza kuwa kiuerevu lakini ulio na thamani.
10:47
You can discern the book,
213
647835
1778
Unaweza tambua kitabu,
10:49
and you can see how it disrupted the symmetry
214
649637
2326
na unaweza kuona namna gani umeharibu msawazo
10:51
of the bricks directly above it,
215
651987
2351
wa matofali juu yake,
10:54
but by the time you get to the end of the sculpture,
216
654362
2476
lakini muda ambao unafika mwisho wa sanamu,
10:56
you can no longer see the book.
217
656862
1808
huwezi kuona kitabu.
10:59
But looking at the work of art in its entirety,
218
659108
3120
Lakini kuangalia kazi ya sanaa katika ukamilifu wake,
11:02
you see that the impact of the work's disruption on the bricks
219
662252
4280
unaona kwamba matokeo ya uharibifu katika matofali
11:06
is nuanced and unmistakable.
220
666556
2308
ni wa dhahiri na usiokoswea.
11:09
One thought,
221
669529
1397
Wazo moja,
11:10
one idea,
222
670950
1662
jambo moja,
11:12
one innovation can alter an approach,
223
672636
3662
ubunifu mmoja unaweza ongeza namna,
11:16
change a process
224
676322
1530
kubadili mchakato
11:17
and even save lives.
225
677876
1894
na hata kuokoa maisha.
11:20
I've been teaching visual intelligence for over 15 years,
226
680599
3753
Nimekuwa nikifundisha maarifa ya uono kwa miaka zaidi ya 15,
11:24
and to my great amazement and astonishment --
227
684376
3216
na kwa mshangao wangu mkubwa na ustaajabu --
11:27
to my never-ending astonishment and amazement,
228
687616
2776
kwa mshangao na ustaajabu usiokoma,
11:30
I have seen that looking at art with a critical eye
229
690416
3528
Nimeona kwamba kuangalia kazi ya sanaa na jicho la ukaribu
11:33
can help to anchor us in our world of uncharted waters,
230
693968
3412
kunaweza kutusaidia katika dunia yetu ya maji yasiyopimwa,
11:37
whether you are a paramilitary trooper,
231
697404
2239
kama upo katika jeshi,
11:39
a caregiver, a doctor or a mother.
232
699667
2949
mtoa msaada, tabibu au mama.
11:43
Because let's face it, things go wrong.
233
703156
2574
Kwa sababu tukubali, mambo huenda mrama.
11:46
(Laughter)
234
706678
1001
(Kicheko)
11:47
Things go wrong.
235
707703
1210
Mambo yanaenda vibaya.
11:48
And don't misunderstand me,
236
708937
1347
Na usinielewa vibaya,
11:50
I'd eat that doughnut in a minute.
237
710308
1647
Nitakula hilo andazi kwa dakika.
11:51
(Laughter)
238
711979
1058
(Kicheko)
11:53
But we need to understand the consequences of what it is that we observe,
239
713061
4645
Lakini tunahitaji kuelewa matokeo ya kipi ambacho tunatazama,
11:57
and we need to convert observable details into actionable knowledge.
240
717730
4371
na tunahitaji kubadili taarifa zionekanazo katika maarifa ya matendo.
12:02
Like Jennifer Odem's sculpture of tables standing sentinel
241
722918
3995
Kama sanamu ya Jennifer Odem ya meza ya mlinzi
12:06
on the banks of the Mississippi River
242
726937
2052
katika kingo ya mto wa Mississippi
12:09
in New Orleans,
243
729013
1418
huko New Orleans,
12:10
guarding against the threat of post-Katrina floodwaters
244
730455
3215
zikilinda hatari ya mafuriko ya maji baada ya kimbunga cha Katrina
12:13
and rising up against adversity,
245
733694
2785
na kunyanyuka dhidi ya majanga,
12:16
we too have the ability to act affirmatively
246
736503
2849
pia tuna uwezo wa kuhakikisha
12:19
and affect positive change.
247
739376
1787
na kufanya yale yaliyo chanya.
12:21
I have been mining the world of art
248
741923
2298
Nimekuwa nikichimba katika dunia ya sanaa
12:24
to help people across the professional spectrum
249
744245
3053
kuwasaidia watu katika utaalamu
12:27
to see the extraordinary in the everyday,
250
747322
2684
kuona visivyo vya kawaida kila siku,
12:30
to articulate what is absent
251
750030
2411
kutafuta kile ambacho hakipo
12:33
and to be able to inspire creativity and innovation,
252
753727
3393
na kuweza kuchochea ubunifu,
12:37
no matter how small.
253
757144
1461
bila kujali udogo.
12:38
And most importantly,
254
758629
1559
Na kilicho muhimu,
12:40
to forge human connections where they may not be apparent,
255
760212
3800
kutengeneza muunganisho wa kibinadamu pale ambao haupo.
12:44
empowering us all to see our work and the world writ large
256
764036
4873
kutupa uwezo wote kuona kazi zetu na dunia kwa ujumla
12:48
with a new set of eyes.
257
768933
1488
katika namna mpya ya macho.
12:50
Thank you.
258
770879
1151
Asante.
12:52
(Applause)
259
772054
6223
(Makofi)

Original video on YouTube.com
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7