The refugee crisis is a test of our character | David Miliband

110,140 views ・ 2017-06-20

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
Ninaenda kuongea nanyi kuhusu janga la kidunia la wakimbizi
00:12
I'm going to speak to you about the global refugee crisis
0
12380
3776
00:16
and my aim is to show you that this crisis
1
16180
3816
na lengo langu ni kuwaonyesha kwamba janga hili
00:20
is manageable, not unsolvable,
2
20020
2600
Linaweza kusimamiwa, halishindikani kutatuliwa,
00:23
but also show you that this is as much about us and who we are
3
23780
5296
lakini pia kuwaonyesha kwamba hili jambo ni zaidi kuhusu sisi na vile tulivyo
00:29
as it is a trial of the refugees on the front line.
4
29100
3240
kama lilivyo ni jaribu kwa wakimbizi waliopo mstari wa mbele.
00:33
For me, this is not just a professional obligation,
5
33140
2816
Kwangu mimi, hili sio jukumu la kikazi tu,
00:35
because I run an NGO supporting refugees and displaced people around the world.
6
35980
4936
kwa vile ninaendesha taasisi isiyo ya kiserikali inayoshughululika na wakimbuzi duniani kote.
00:40
It's personal.
7
40940
1200
nachukulia kama jukumu la kibinafsi.
00:43
I love this picture.
8
43140
1800
Naipenda picha hii.
00:45
That really handsome guy on the right,
9
45740
2096
Yule kijana mtanashati sana upande wa kulia,
00:47
that's not me.
10
47860
1200
yule sio mimi.
00:49
That's my dad, Ralph, in London, in 1940
11
49580
3576
Ni baba yangu, Ralph, akiwa London, mwaka 1940
00:53
with his father Samuel.
12
53180
1800
akiwa na baba yake Samwel.
00:55
They were Jewish refugees from Belgium.
13
55740
2496
Walikuwa wakimbizi wa Kiyahudi tokea Ubelgiji.
00:58
They fled the day the Nazis invaded.
14
58260
3320
Walikimbia siku ambazo Nazi wa Ujerumani walivamia.
01:02
And I love this picture, too.
15
62420
1434
Na naipenda picha hii, pia.
01:04
It's a group of refugee children
16
64460
2160
Ni kundi la watoto wakimbizi
01:07
arriving in England in 1946 from Poland.
17
67300
2680
walipowasili Uingereza mwaka 1946 kutokea Poland.
01:10
And in the middle is my mother, Marion.
18
70820
3080
Na katikati ni mama yangu, Marion.
01:14
She was sent to start a new life
19
74460
3016
Alitumwa kwenda kuanza maisha mapya
01:17
in a new country
20
77500
1496
katika nchi mpya
01:19
on her own
21
79020
1256
yeye mwenyewe
01:20
at the age of 12.
22
80300
1440
akiwa na miaka 12.
01:22
I know this:
23
82740
1616
Najua hili;
01:24
if Britain had not admitted refugees
24
84380
3256
Kama Waingereza wasingeruhusu wakimbizi
01:27
in the 1940s,
25
87660
1200
mwaka 1940,
01:29
I certainly would not be here today.
26
89620
3080
Nina uhakika nisingekuwa hapa leo.
01:34
Yet 70 years on, the wheel has come full circle.
27
94060
4120
Bado katika miaka 70, gurudumu limezunguka kuwa kamili.
01:38
The sound is of walls being built,
28
98660
3016
Sauti za kuta ambazo zimejengwa,
01:41
vengeful political rhetoric,
29
101700
2496
siasa za visasi,
01:44
humanitarian values and principles on fire
30
104220
3680
thamani ya ubinadamu na misingi katika moto
01:48
in the very countries that 70 years ago said never again
31
108580
3896
katika nchi ambazo miaka 70 iliyopita zilisema hakuna tena kamwe
01:52
to statelessness and hopelessness for the victims of war.
32
112500
4640
wataokuwa bila mataifa na matumaini ambao ni wahanga wa vita.
01:58
Last year, every minute,
33
118420
2680
Mwaka uliopita, kila dakika,
02:02
24 more people were displaced from their homes
34
122140
3336
zaidi ya watu 24 walikuwa wakiondolewa kutoka majumbani mwao
02:05
by conflict, violence and persecution:
35
125500
2520
kwa mafarakano, machafuko na unyanyapaa wa kibaguzi:
02:08
another chemical weapon attack in Syria,
36
128980
2696
shambulio lingine la silaha za kemikali nchini Syria,
02:11
the Taliban on the rampage in Afghanistan,
37
131700
3456
Watalibani na machafuko nchini Afghanistan,
02:15
girls driven from their school in northeast Nigeria by Boko Haram.
38
135180
5279
wasichana waliotekwa na Boko Haram wakiwa shule Kaskazini- Mashariki mwa Nigeria.
02:21
These are not people moving to another country
39
141620
3496
Hawa sio watu ambao wanahamia nchi nyingine
02:25
to get a better life.
40
145140
1240
kupata maisha bora.
02:27
They're fleeing for their lives.
41
147100
1680
Wanahama kwa kuokoa maisha yao.
02:30
It's a real tragedy
42
150900
1200
Ni jambo la kuhuzunisha mno
02:33
that the world's most famous refugee can't come to speak to you here today.
43
153340
5160
kwamba mkimbizi maarufu duniani hawezi kuja kuongea hapa leo hii.
02:39
Many of you will know this picture.
44
159060
1720
Wengi wenu mtaitambua picha hii.
02:41
It shows the lifeless body
45
161620
2616
Inaonyesha mwili usio na maisha
02:44
of five-year-old Alan Kurdi,
46
164260
2096
mwa mvulana wa miaka mitano aitwaye Alan Kurdi,
02:46
a Syrian refugee who died in the Mediterranean in 2015.
47
166380
4456
mkimbizi wa Syria aliyefariki Mediterenian mwaka 2015.
02:50
He died alongside 3,700 others trying to get to Europe.
48
170860
4400
Alifariki na wengine 3700 wakati wakijaribu kuingia Ulaya.
02:56
The next year, 2016,
49
176260
1560
Mwaka uliofata, 2016,
02:58
5,000 people died.
50
178540
2360
Watu 5000 walifariki.
03:02
It's too late for them,
51
182660
1200
Walikuwa wamechelewa mno,
03:05
but it's not too late for millions of others.
52
185060
2736
lakini ni mapema kwa wengine mamilioni.
03:07
It's not too late for people like Frederick.
53
187820
2048
Bado ni mapema kwa watu kama Frederick.
03:10
I met him in the Nyarugusu refugee camp in Tanzania.
54
190460
3496
Nilikutana nae katika kambi ya wakimbizi inayofahamika kama Nyarugusu nchini Tanzania.
03:13
He's from Burundi.
55
193980
1200
Anatokea Burundi.
03:15
He wanted to know where could he complete his studies.
56
195540
2576
Alitaka kujua ni wapi angeweza kumaliza masomo yake.
03:18
He'd done 11 years of schooling. He wanted a 12th year.
57
198140
3096
Amesoma madarasa 11, na alitaka malizia mwaka wa 12.
03:21
He said to me, "I pray that my days do not end here
58
201260
4616
Aliniambia, "Ninaomba kwa Mungu siku zangu zisiiishie hapa
03:25
in this refugee camp."
59
205900
1200
katika kambi hii ya wakimbizi."
03:28
And it's not too late for Halud.
60
208020
2280
Na bado ni mapema kwa Halud.
03:31
Her parents were Palestinian refugees
61
211300
2696
Wazazi wake walikuwa ni wakimbizi wa Kipalestina
03:34
living in the Yarmouk refugee camp outside Damascus.
62
214020
2800
wanaoishi katika kambi ya Yarmouk nje ya mji mkuu wa Damascus.
03:37
She was born to refugee parents,
63
217300
1526
Alizaliwa wazazi wakimbizi,
03:38
and now she's a refugee herself in Lebanon.
64
218860
2760
na sasa ni mkimbizi akiwa peke yake nchini Lebanon.
03:42
She's working for the International Rescue Committee to help other refugees,
65
222340
3640
Anafanya kazi katika kamati ya kimataifa ya kusaidia wakimbizi wengine,
03:46
but she has no certainty at all
66
226660
2976
lakini hana uhakika wowote
03:49
about her future,
67
229660
2136
kuhusu maisha yake ya baadaye,
03:51
where it is or what it holds.
68
231820
1680
yapo wapi na yana ahadi gani.
03:54
This talk is about Frederick, about Halud
69
234220
3896
Hotuba hii ni kuhusu Frederick, na kuhusu Halud
03:58
and about millions like them:
70
238140
1400
na kuhusu mamilioni ya wengine;
04:00
why they're displaced,
71
240140
1936
na walikuwa wameondolewa,
04:02
how they survive, what help they need and what our responsibilities are.
72
242100
4440
wanaishi vipi, msaada gani wanahitaji na majukumu yetu ni yapi.
04:07
I truly believe this,
73
247420
1640
Ninaamini katika hili,
04:10
that the biggest question in the 21st century
74
250260
2560
kwamba swali kubwa katika karne ya 21
04:13
concerns our duty to strangers.
75
253580
3040
linahusu majukumu yetu kwa watu tusiowafahamu.
04:17
The future "you" is about your duties
76
257140
3256
Kesho yako inahusu majukumu yako
04:20
to strangers.
77
260420
1200
kwa usiowafahamu.
04:22
You know better than anyone,
78
262260
1376
Unajua vyema kuliko mwingine yoyote,
04:23
the world is more connected than ever before,
79
263660
3800
dunia imeunganishwa kirahisi sana kuliko miaka ya nyuma,
04:28
yet the great danger
80
268339
1897
lakini hatari kubwa
04:30
is that we're consumed by our divisions.
81
270260
2519
ni kwamba tunatumia muda mwingi katika utengano wetu.
04:33
And there is no better test of that
82
273820
2256
Na hakuna jaribio bora kwa hilo
04:36
than how we treat refugees.
83
276100
1960
kuliko jinsi tunavyowajali wakimbizi.
04:38
Here are the facts: 65 million people
84
278660
2936
Huu ni ukweli: watu milioni 65
04:41
displaced from their homes by violence and persecution last year.
85
281620
3216
waliondolewa kutoka majumbani mwao kwa machafuko mwaka uliopita.
04:44
If it was a country,
86
284860
1736
Kama ingekuwa ni nchi,
04:46
that would be the 21st largest country in the world.
87
286620
3280
ingekuwa ni nchi kubwa kuliko zote duniani katika karne ya 21.
04:50
Most of those people, about 40 million, stay within their own home country,
88
290700
4896
Wengi ya hawa watu, takribani milioni 40, wanaishi katika nchi zao,
04:55
but 25 million are refugees.
89
295620
1576
lakini milioni 25 ni wakimbizi.
04:57
That means they cross a border into a neighboring state.
90
297220
3000
Hii inamaanisha wanavuka mpaka kwenda nchi jirani.
05:00
Most of them are living in poor countries,
91
300940
4016
Wengi wao wanaishi katika nchi masikini,
05:04
relatively poor or lower-middle-income countries, like Lebanon,
92
304980
3016
nchi za umasikini wa ulinganifu au zilizo na kipato cha chini cha kati, kama Lebanon,
05:08
where Halud is living.
93
308020
1280
ambapo Halud anaishi.
05:10
In Lebanon, one in four people is a refugee,
94
310700
3960
Nchini Lebanon, mtu mmoja kati ya wanne ni mkimbizi,
05:15
a quarter of the whole population.
95
315380
3256
robo ya watu wote.
05:18
And refugees stay for a long time.
96
318660
2096
Na wakimbizi hukaa kwa muda mrefu.
05:20
The average length of displacement
97
320780
2096
Muda wa wastani wa kukimbia
05:22
is 10 years.
98
322900
1200
ni miaka kumi.
05:25
I went to what was the world's largest refugee camp, in eastern Kenya.
99
325140
4360
Nilikwenda katika kambi kubwa ya wakimbizi duniani, mashariki ya Kenya.
05:29
It's called Dadaab.
100
329900
1216
Inafahamika kama Dadaab.
05:31
It was built in 1991-92
101
331140
2136
Ilijengwa kati mwaka 1991 hadi 92
05:33
as a "temporary camp" for Somalis fleeing the civil war.
102
333300
3920
kama kambi ya muda kwa Wasomali waliokimbia kutokana na vita ya kisiasa.
05:37
I met Silo.
103
337740
1200
Nilikutana na Silo.
05:39
And naïvely I said to Silo,
104
339540
2816
Na nikajisemea kwa Silo,
05:42
"Do you think you'll ever go home to Somalia?"
105
342380
2200
"Unadhani utaweza kurudi nyumbani Somalia?"
05:45
And she said, "What do you mean, go home?
106
345700
1960
Na alisema, "Unamaanisha nini, kurudi nyumbani?
05:48
I was born here."
107
348140
1200
Nimezaliwa hapa."
05:50
And then when I asked the camp management
108
350540
2096
Na kisha nilipouliza utawala wa kambi ile
05:52
how many of the 330,000 people in that camp were born there,
109
352660
4056
ni wangapi kati ya watu 330,000 walizaliwa palepale kambini,
05:56
they gave me the answer:
110
356740
1200
Walinipa jibu;
05:58
100,000.
111
358980
1520
100,000
06:01
That's what long-term displacement means.
112
361660
2400
Hii ndiyo maana ya ukimbizi wa muda mrefu.
06:05
Now, the causes of this are deep:
113
365260
2456
Sasa, chanzo cha haya matatizo kina kina kirefu;
06:07
weak states that can't support their own people,
114
367740
2239
mataifa dhaifu ambayo hayawezi kujali watu wao,
06:10
an international political system
115
370660
2416
mfumo wa kimataifa wa siasa
06:13
weaker than at any time since 1945
116
373100
2280
dhaifu kuliko muda wowote kuanzia 1945
06:16
and differences over theology, governance, engagement with the outside world
117
376140
4096
na tofauti za imani za kidini, utawala, mahusiano na dunia ya nje
06:20
in significant parts of the Muslim world.
118
380260
2160
katika sehemu muhimu ya dunia ya Kiislamu
06:24
Now, those are long-term, generational challenges.
119
384500
3176
Sasa, hizi ni changamoto za vizazi ambazo ni za muda mrefu.
06:27
That's why I say that this refugee crisis is a trend and not a blip.
120
387700
3480
Ndiyo maana ninasema hili janga la wakimbizi ni jambo ambalo ni muendelezo na sio la kushtukiza.
06:32
And it's complex, and when you have big, large, long-term, complex problems,
121
392180
4536
Ni tata, na pale unapokuwa na matatizo ambayo ni makubwa, ya muda mrefu,
06:36
people think nothing can be done.
122
396740
1880
watu hufikiri hamna jambo linaloweza fanyika.
06:39
When Pope Francis went to Lampedusa,
123
399940
2120
Wakati Papa Francis alipokwenda Lampedusa,
06:43
off the coast of Italy, in 2014,
124
403180
1576
katika pwani za Italia, mwaka 2014,
06:44
he accused all of us and the global population
125
404780
3296
alitushutumu sisi sote na dunia nzima
06:48
of what he called "the globalization of indifference."
126
408100
3440
ambapo aliita ni dunia ya "utandawazi wa wasiojali."
06:52
It's a haunting phrase.
127
412580
1216
Ni msemo ambao upo nasi mara zote.
06:53
It means that our hearts have turned to stone.
128
413820
3440
Ina maana kwamba mioyo yetu imegeuka kuwa ya mawe.
06:58
Now, I don't know, you tell me.
129
418380
1816
Sasa, sifahamu, uniambie.
07:00
Are you allowed to argue with the Pope, even at a TED conference?
130
420220
3880
Unatakiwa kulumbana na Papa, hata katika mkutano wa TED?
07:04
But I think it's not right.
131
424700
1416
Lakini nafikiri si sahihi.
07:06
I think people do want to make a difference,
132
426140
2096
Nadhani watu wanataka kufanya mabadiliko,
07:08
but they just don't know whether there are any solutions to this crisis.
133
428260
3696
lakini hawajui kama kuna utatuzi wowote wa hili janga.
07:11
And what I want to tell you today
134
431980
1816
Na ninachotaka kuwaambia leo
07:13
is that though the problems are real, the solutions are real, too.
135
433820
3108
Ni kwamba ingawa matatizo ni makubwa, na ufumbuzi wake ni mkubwa pia
07:17
Solution one:
136
437620
1336
Ufumbuzi wa kwanza:
07:18
these refugees need to get into work in the countries where they're living,
137
438980
3576
wakimbizi hawa wanatakiwa wajishughulishe katika nchi wanazoishi.
07:22
and the countries where they're living need massive economic support.
138
442580
3256
na nchi ambazo wanaishi zinatakiwa kupewa msaada mkubwa wa kiuchumi.
07:25
In Uganda in 2014, they did a study:
139
445860
1880
Mwaka 2014 nchini Uganda, walifanya utafiti:
07:28
80 percent of refugees in the capital city Kampala
140
448500
2896
Asilimia 80 ya wakimbizi katika mji mkuu wa Kampala
07:31
needed no humanitarian aid because they were working.
141
451420
2736
hawakuhitaji msaada wa kibinadamu kwa sababu walikuwa wakifanya kazi.
07:34
They were supported into work.
142
454180
1429
Walikuwa wakisaidiwa katika kazi.
07:36
Solution number two:
143
456220
1776
Ufumbuzi namba mbili:
07:38
education for kids is a lifeline, not a luxury,
144
458020
4056
elimu kwa watoto ni msingi wa maisha, sio starehe,
07:42
when you're displaced for so long.
145
462100
1640
Unapokuwa umekimbia kwa muda mrefu.
07:45
Kids can bounce back when they're given the proper social, emotional support
146
465300
4096
Watoto wanaweza shindwa pale wanapopewa msaada sahihi wa kijamii na kihisia
07:49
alongside literacy and numeracy.
147
469420
1736
pamoja na maarifa
07:51
I've seen it for myself.
148
471180
1200
Nimejionea mwenyewe.
07:54
But half of the world's refugee children of primary school age
149
474500
3336
Lakini nusu wa wakimbizi watoto duniani walio katika umri wa elimu ya msingi
07:57
get no education at all,
150
477860
1976
hawapati elimu kabisa,
07:59
and three-quarters of secondary school age get no education at all.
151
479860
3376
na robo tatu ya umri wa shule ya sekondari hawapati elimu kabisa.
08:03
That's crazy.
152
483260
1200
Inachanganya akili sana!
08:05
Solution number three:
153
485580
2496
Ufumbuzi namba tatu:
08:08
most refugees are in urban areas, in cities, not in camps.
154
488100
3456
wakimbizi wengi wapo katika maeneo ya mijini, katika majiji, na sio katika makambi.
08:11
What would you or I want if we were a refugee in a city?
155
491580
2656
Ni kipi utachotaka au nitachotaka kama tungekuwa wakimbizi katika jiji?
08:14
We would want money to pay rent or buy clothes.
156
494260
3000
Tungehitaji fedha kwa ajili ya kulipa kodi na kununua nguo.
08:18
That is the future of the humanitarian system,
157
498420
2176
Hiyo ni kesho ya mfumo wa kibinadamu,
08:20
or a significant part of it:
158
500620
1376
au nyanja muhimu:
08:22
give people cash so that you boost the power of refugees
159
502020
2656
wape watu fedha ili uongeze nguvu ya wakimbizi
08:24
and you'll help the local economy.
160
504700
1976
na utasaidia uchumi wa eneo husika.
08:26
And there's a fourth solution, too,
161
506700
1976
Na kuna ufumbuzi wa nne, pia,
08:28
that's controversial but needs to be talked about.
162
508700
2736
unatatiza lakini unatakiwa kuongelewa.
08:31
The most vulnerable refugees need to be given a new start
163
511460
3496
Wale wakimbizi ambao wapo katika mazingira hatarishi wanatakiwa kupewa mwanzo mpya
08:34
and a new life in a new country,
164
514980
2080
na maisha mapya katika nchi mpya,
08:37
including in the West.
165
517940
1200
ukijumuisha na nchi za Magharibi.
08:39
The numbers are relatively small, hundreds of thousands, not millions,
166
519900
3560
Takwimu ni ndogo sana ukilinganisha, mamia ya maelfu, na sio mamilioni,
08:44
but the symbolism is huge.
167
524140
2680
lakini ubaguzi ni mkubwa.
08:47
Now is not the time to be banning refugees,
168
527700
2696
Sasa sio muda wa kukataa wakimbizi,
08:50
as the Trump administration proposes.
169
530420
1816
kama vile utawala wa Trump unavyohimiza.
08:52
It's a time to be embracing people who are victims of terror.
170
532260
3200
Ni muda wa kuwapa msaada wale ambao ni wahanga wa machafuko.
08:55
And remember --
171
535979
1217
Na kumbuka --
08:57
(Applause)
172
537220
2560
(Makofi)
09:04
Remember, anyone who asks you, "Are they properly vetted?"
173
544300
3736
Kumbuka, kila anayekuuliza, "Wamechunguzwa vyema?"
09:08
that's a really sensible and good question to ask.
174
548060
3200
hilo ni swali muhimu mno kuuliza.
09:12
The truth is, refugees arriving for resettlement
175
552100
4136
Ukweli ni kwamba, wakimbizi wanaowasili kutokana na machafuko
09:16
are more vetted than any other population arriving in our countries.
176
556260
3656
huchunguzwa kuliko wakimbizi wengine wote wanaoingia katika nchi.
09:19
So while it's reasonable to ask the question,
177
559940
2136
Kwa hiyo pale ambapo ina maana kuuliza swali,
09:22
it's not reasonable to say that refugee is another word for terrorist.
178
562100
3880
si sahihi kusema kwamba mkimbizi ni neno lingine linalomaanisha gaidi.
09:26
Now, what happens --
179
566940
1216
Sasa, kipi kinatokea --
09:28
(Applause)
180
568180
3376
(Makofi)
09:31
What happens when refugees can't get work,
181
571580
3136
Kipi kinatokea kama wakimbizi hawawezi kupata kazi,
09:34
they can't get their kids into school,
182
574740
1856
hawawezi peleka watoto wao shuleni,
09:36
they can't get cash, they can't get a legal route to hope?
183
576620
3056
hawawezi kupata fedha, hawawezi kupata njia halali ya matumaini?
09:39
What happens is they take risky journeys.
184
579700
2080
Kinachotokea ni kwamba wanaamua kufanya njia hatarishi.
09:42
I went to Lesbos, this beautiful Greek island, two years ago.
185
582260
4736
Nilikwenda Lesbos, kisiwa kizuri kilichopo Ugiriki, miaka miwili iliyopita.
09:47
It's a home to 90,000 people.
186
587020
1856
Kina wakazi 90,000.
09:48
In one year, 500,000 refugees went across the island.
187
588900
3480
Katika mwaka mmoja, wakimbizi 500,000 walikwenda katika kisiwa hiki.
09:53
And I want to show you what I saw
188
593060
1816
Na ninataka kuwaonyesha nilichoshuhudia
09:54
when I drove across to the north of the island:
189
594900
3336
Nilipokuwa nikiendesha kuelekea kaskazini ya kisiwa:
09:58
a pile of life jackets of those who had made it to shore.
190
598260
3480
mrundikano wa makoti ya kuokoa maisha ya wale waliofankiwa kufika katika kile kisiwa.
10:02
And when I looked closer,
191
602660
1576
Na nilipoangalia kwa ukaribu,
10:04
there were small life jackets for children,
192
604260
2456
kulikuwa na makoti madogo ya kuokoa maisha ya watoto,
10:06
yellow ones.
193
606740
1376
ya rangi ya njano.
10:08
And I took this picture.
194
608140
1240
Na nikachukua picha hii.
10:10
You probably can't see the writing, but I want to read it for you.
195
610300
3136
Huwezi kuona maandishi, lakini nataka nikusomee.
10:13
"Warning: will not protect against drowning."
196
613460
3070
"Ilani: haitakukinga na dhidi za kuzama."
10:17
So in the 21st century,
197
617740
1560
Katika katika karne ya 21,
10:20
children are being given life jackets
198
620260
2256
watoto wanapewa makoti ya kuokoa maisha
10:22
to reach safety in Europe
199
622540
2136
ili kufika salama Ulaya
10:24
even though those jackets will not save their lives
200
624700
3336
hata kama yale makoti hayawezi kuokoa maisha yao
10:28
if they fall out of the boat that is taking them there.
201
628060
2600
kama wataanguka kutoka katika mtumbwi ambao unawavusha.
10:32
This is not just a crisis, it's a test.
202
632620
3400
Hili sio janga, ni jaribio.
10:37
It's a test that civilizations have faced down the ages.
203
637580
2920
Ni jaribio kwamba ustaarabu unaangalia chini.
10:41
It's a test of our humanity.
204
641380
1560
Ni jaribio la ubinadamu wetu.
10:43
It's a test of us in the Western world
205
643820
2296
Ni jaribio la sisi tuliopo dunia ya Magharibi
10:46
of who we are and what we stand for.
206
646140
2200
ya jinsi tulivyo na msimamo wetu.
10:50
It's a test of our character, not just our policies.
207
650980
2640
Ni jaribio la tabia zetu, sio sera zetu.
10:54
And refugees are a hard case.
208
654780
2176
Na wakimbizi ni kesi ngumu.
10:56
They do come from faraway parts of the world.
209
656980
2320
Wanatokea mbali katika pande za dunia.
10:59
They have been through trauma.
210
659980
1440
Wamepitia magumu.
11:01
They're often of a different religion.
211
661900
2096
Wengi wao ni wa dini tofauti.
11:04
Those are precisely the reasons we should be helping refugees,
212
664020
3176
Hizi ni sababu sahihi ambazo zinatupasa kuwasaidia wakimbizi,
11:07
not a reason not to help them.
213
667220
1440
na sio sababu za kutowasaidia.
11:09
And it's a reason to help them because of what it says about us.
214
669220
3200
Na ni sababu ya kuwasaidia kwa sababu ya vile inavyosema kuhusu sisi.
11:14
It's revealing of our values.
215
674300
1840
Inaonyesha thamani yetu.
11:16
Empathy and altruism are two of the foundations of civilization.
216
676940
4960
Uelewa na kujali ni misingi miwili ya ustaarabu.
11:23
Turn that empathy and altruism into action
217
683140
2416
Badili uelewa na kujali katika vitendo
11:25
and we live out a basic moral credo.
218
685580
2240
na tutaishi katika mila ya kistaarabu.
11:28
And in the modern world, we have no excuse.
219
688780
2256
Na katika dunia ya sasa, hatuwezi toa sababu.
11:31
We can't say we don't know what's happening in Juba, South Sudan,
220
691060
4096
Hatuwezi sema hatufahamu kinachotokea Juba, Sudani Kusini
11:35
or Aleppo, Syria.
221
695180
1576
au Aleppo, Syria.
11:36
It's there, in our smartphone
222
696780
2896
Kipo hapa, katika simujanja zetu
11:39
in our hand.
223
699700
1376
zilizopo mikononi mwetu.
11:41
Ignorance is no excuse at all.
224
701100
2576
Ukosefu wa maarifa sio sababu kabisa.
11:43
Fail to help, and we show we have no moral compass at all.
225
703700
4400
Kushindwa kusaidia, tutaonyesha hatuna dira ya ustaarabu kabisa.
11:48
It's also revealing about whether we know our own history.
226
708900
3080
Na pia inaonyesha kuhusu pengine kama tunatambua historia yetu.
11:52
The reason that refugees have rights around the world
227
712780
2496
Sababu ya kwamba wakimbizi wana haki duniani kote.
11:55
is because of extraordinary Western leadership
228
715300
2776
ni kwa sababu ya uongozi usio wa kawaida ya Magharibi
11:58
by statesmen and women after the Second World War
229
718100
2336
wa viongozi wake kwa waume baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia
12:00
that became universal rights.
230
720460
1960
ikaja kuwa haki ya wote.
12:03
Trash the protections of refugees, and we trash our own history.
231
723460
3640
Ukitupa jalalani ulinzi wa wakimbizi, unatupa historia yetu pia.
12:08
This is --
232
728220
1216
Hii ni --
12:09
(Applause)
233
729460
1696
(Makofi)
12:11
This is also revealing about the power of democracy
234
731180
4016
Hii inadhihirisha nguvu ya demokrasia
12:15
as a refuge from dictatorship.
235
735220
2256
kama kimbilio kutokana na udikteta.
12:17
How many politicians have you heard say,
236
737500
2200
Ni wanasiasa wangapi umewahi kuwasikia wakisema,
12:20
"We believe in the power of our example, not the example of our power."
237
740580
4320
"Tunaamini katika nguvu ya mifano yetu, na sio mifano ya nguvu yetu."
12:25
What they mean is what we stand for is more important than the bombs we drop.
238
745420
3680
Wanachomaanisha ndicho tunachoamini ni muhimu sana kuliko mabomu tunayodondosha.
12:30
Refugees seeking sanctuary
239
750180
1800
Wakimbizi wanaotafuta utakatifu
12:32
have seen the West as a source of hope and a place of haven.
240
752620
3840
wameona Magharibi ndiyo chanzo cha matumaini na bandari salama.
12:38
Russians, Iranians,
241
758540
1920
Warusi, Wairan,
12:41
Chinese, Eritreans, Cubans,
242
761300
2296
Wachina, Waeritrea, Wakyuba,
12:43
they've come to the West for safety.
243
763620
2600
wamekuja magharibi kwa ajili ya usalama.
12:47
We throw that away at our peril.
244
767300
1680
Hatujali ili kuepuka maafa.
12:49
And there's one other thing it reveals about us:
245
769940
2256
Na kuna kitu kimoja kingine kinachodhihirisha kuhusu sisi:
12:52
whether we have any humility for our own mistakes.
246
772220
2334
kama tuna unyenyekevu wowote kutokana na makosa yetu.
12:55
I'm not one of these people
247
775140
1856
Mimi sio mmoja ya watu hawa
12:57
who believes that all the problems in the world are caused by the West.
248
777020
3336
ambae naamini kwamba matatizo yote ya dunia yanasababishwa na nchi za Magharibi.
13:00
They're not.
249
780380
1216
Hapana.
13:01
But when we make mistakes, we should recognize it.
250
781620
2360
Lakini tunapofanya makosa, lazima tuyatambue.
13:04
It's not an accident that the country which has taken
251
784700
2496
Sio ajali kwamba nchi ambayo imechukua
13:07
more refugees than any other, the United States,
252
787220
2256
wakimbizi wengi zaidi kuliko nchi nyingine, Marekani,
13:09
has taken more refugees from Vietnam than any other country.
253
789500
3280
imechukua wakimbizi wengi zaidi kutoka Vietnam kuliko nchi yoyote ile.
13:13
It speaks to the history.
254
793780
1200
Inaongea katika historia.
13:16
But there's more recent history, in Iraq and Afghanistan.
255
796020
2680
Lakini kuna historia ya hivi karibuni, nchini Iraq na Afghanistan.
13:19
You can't make up for foreign policy errors
256
799380
3736
Huwezi rekebisha makosa ya siasa za nje
13:23
by humanitarian action,
257
803140
1576
kwa kutumia hatua za kibinadamu,
13:24
but when you break something, you have a duty to try to help repair it,
258
804740
3896
lakini unapovunja kitu fulani, una jukumu la kusaidia katika kujaribu kukiunga tena,
13:28
and that's our duty now.
259
808660
2280
na ni jukumu letu sasa.
13:33
Do you remember at the beginning of the talk,
260
813340
2136
Unakumbuka mwanzo wa hii hotuba yangu,
13:35
I said I wanted to explain that the refugee crisis
261
815500
2496
Nilisema nataka kueleza kwamba janga la wakimbizi
13:38
was manageable, not insoluble?
262
818020
1640
linaweza kusimamiwa, na sio lisiloshindikana?
13:40
That's true. I want you to think in a new way,
263
820860
2616
Ni ukweli, Nataka muwaze katika namna mpya,
13:43
but I also want you to do things.
264
823500
2720
lakini pia nataka mfanye vitu.
13:47
If you're an employer,
265
827500
2176
Kama wewe ni mwajiri,
13:49
hire refugees.
266
829700
1200
ajiri mkimbizi.
13:52
If you're persuaded by the arguments,
267
832260
2816
Kama unapitishwa katika malumbano,
13:55
take on the myths
268
835100
1496
waza mambo ya nyuma
13:56
when family or friends or workmates repeat them.
269
836620
2240
pale familia au marafiki au wafanyakazi wenzio wanaporudia.
14:00
If you've got money, give it to charities
270
840260
2256
Kama una hela, toa kama msaada
14:02
that make a difference for refugees around the world.
271
842540
2776
inaleta utofauti kwa wakimbizi wote duniani.
14:05
If you're a citizen,
272
845340
1200
Kama wewe ni mwananchi,
14:07
vote for politicians
273
847860
2336
mpigie kura mwanasiasa
14:10
who will put into practice the solutions that I've talked about.
274
850220
3616
ambaye atafanyia kazi utatuzi wa haya niliyoongelea.
14:13
(Applause)
275
853860
4216
(Makofi)
14:18
The duty to strangers
276
858100
2176
Jukumu la asiyejulikana
14:20
shows itself
277
860300
1976
hujionyesha
14:22
in small ways and big,
278
862300
2536
katika njia ndogo na kubwa,
14:24
prosaic and heroic.
279
864860
1720
kawaida na kishujaa.
14:27
In 1942,
280
867620
1400
Mwaka 1942,
14:30
my aunt and my grandmother were living in Brussels
281
870420
2376
shangazi yangu na bibi yangu walikuwa wakiishi Brussels
14:32
under German occupation.
282
872820
1280
chini ya utawala wa Ujerumani.
14:35
They received a summons
283
875820
1600
Walipokea wito
14:38
from the Nazi authorities to go to Brussels Railway Station.
284
878180
3840
kutoka katika mamlaka ya Nazi, kwenda katika stesheni ya reli ya Brussels.
14:44
My grandmother immediately thought something was amiss.
285
884100
3080
Bibi yangu mara moja alitambua kwamba kuna kitu hakipo.
14:48
She pleaded with her relatives
286
888540
2496
Aliwasihi ndugu zake
14:51
not to go to Brussels Railway Station.
287
891060
2120
wasiende stesheni ya reli ya Brussels.
14:54
Her relatives said to her,
288
894060
1560
Ndugu zake walimwambia,
14:57
"If we don't go, if we don't do what we're told,
289
897260
2776
"Kama hatutakwenda, kama hatutafanya tulichoambiwa,
15:00
then we're going to be in trouble."
290
900060
1667
tutakuwa katika hatari kubwa."
15:02
You can guess what happened
291
902580
1936
Unaweza tabiri nini kilitokea
15:04
to the relatives who went to Brussels Railway Station.
292
904540
2524
kwa wale ndugu waliokwenda stesheni ya reli ya Brussels.
15:07
They were never seen again.
293
907980
1286
Hawakuonekana tena.
15:09
But my grandmother and my aunt,
294
909980
1640
Lakini bibi yangu na shangazi yangu,
15:12
they went to a small village
295
912540
2536
walikwenda katika kijiji kidogo
15:15
south of Brussels
296
915100
1360
kusini mwa Brussels
15:17
where they'd been on holiday in the decade before,
297
917540
3536
ambapo walishawahi kwenda likizo muongo mmoja uliopita,
15:21
and they presented themselves at the house of the local farmer,
298
921100
3656
na walifikia katika nyumba ya mwanakijiji ambaye ni mkulima,
15:24
a Catholic farmer called Monsieur Maurice,
299
924780
2080
wa Kikatoliki aliyeitwa Monsieur Maurice,
15:27
and they asked him to take them in.
300
927660
2040
na waliomba kuishi pale.
15:30
And he did,
301
930700
1656
na aliwakubalia,
15:32
and by the end of the war,
302
932380
1720
na baada ya vita kuisha,
15:34
17 Jews, I was told, were living in that village.
303
934740
3600
Wayahudi 17, niliambiwa, walikuwa wakiishi katika kijiji kile.
15:40
And when I was teenager, I asked my aunt,
304
940180
1976
Na nilipokuwa kijana, nilimuuliza shangazi yangu,
15:42
"Can you take me to meet Monsieur Maurice?"
305
942180
2040
"Unaweza nipeleka nikamuone Monsieur Maurice?"
15:45
And she said, "Yeah, I can. He's still alive. Let's go and see him."
306
945220
3216
Na alisema, "Ndiyo, ninaweza. Bado yupo hai. Twende ukamuone."
15:48
And so, it must have been '83, '84,
307
948460
1800
Hivyo, ilikuwa ni mwaka '83,'84
15:51
we went to see him.
308
951140
1376
tulikwenda kumuona.
15:52
And I suppose, like only a teenager could,
309
952540
2816
Na tuseme, kama kijana tu ningeweza,
15:55
when I met him,
310
955380
1256
pale nilipoonana nae,
15:56
he was this white-haired gentleman,
311
956660
3456
alikuwa ni mwanaume mstaarabu aliye na mvi,
16:00
I said to him,
312
960140
1200
Nikamwambia,
16:02
"Why did you do it?
313
962980
1200
"Kwanini ulifanya vile?
16:05
Why did you take that risk?"
314
965220
2760
Kwanini ulikubali kuingia katika hatari?"
16:09
And he looked at me and he shrugged,
315
969060
1736
Aliniangalia
16:10
and he said, in French,
316
970820
1520
na akasema, katika lugha ya Kifaransa,
16:13
"On doit."
317
973060
1336
"On doit."
16:14
"One must."
318
974420
1200
ikimaanisha "Yatupasa."
16:16
It was innate in him.
319
976100
2240
Ilikuwa ndani yake.
16:18
It was natural.
320
978940
1256
Ni asili.
16:20
And my point to you is it should be natural and innate in us, too.
321
980220
4216
Na hoja yangu kwenu inatakiwa halisi na asili ndani yetu, pia.
16:24
Tell yourself,
322
984460
1200
Iambie nafsi yako,
16:26
this refugee crisis is manageable,
323
986900
2496
hili janga la wakimbizi linaweza simamiwa,
16:29
not unsolvable,
324
989420
1576
lina ufumbuzi,
16:31
and each one of us
325
991020
1320
na kila mmoja wetu
16:33
has a personal responsibility to help make it so.
326
993140
3896
ana jukumu binafsi la kuhakikisha jambo hili linafanikiwa.
16:37
Because this is about the rescue of us and our values
327
997060
4176
Kwa sababu hili jambo ni kuhusu wokozi wetu na thamani yetu
16:41
as well as the rescue of refugees and their lives.
328
1001260
2856
vile vile na wokozi wa wakimbizi na maisha yao.
16:44
Thank you very much indeed.
329
1004140
1296
Asante sana.
16:45
(Applause)
330
1005460
3120
(Makofi)
16:56
Bruno Giussani: David, thank you. David Miliband: Thank you.
331
1016940
2856
Bruno Giussani: David, asante. David Miliband: Asante.
16:59
BG: Those are strong suggestions
332
1019820
1576
BG: Haya ni mapendekezo yenye nguvu
17:01
and your call for individual responsibility is very strong as well,
333
1021420
3176
na wito wako kwa kila mmoja ni wenye nguvu pia,
17:04
but I'm troubled by one thought, and it's this:
334
1024620
2216
lakini ninatatizwa na wazo moja, ni hili hapa:
17:06
you mentioned, and these are your words, "extraordinary Western leadership"
335
1026860
4016
umetaja, na haya ni maneno yako,"utawala usio wa kawaida wa Magharibi"
17:10
which led 60-something years ago
336
1030900
1856
ambao umeongoza kwa miaka 60 hivi iliyopita
17:12
to the whole discussion about human rights,
337
1032780
2056
kuhusu majadiliano mazima kuhusu haki za binadamu,
17:14
to the conventions on refugees, etc. etc.
338
1034860
2720
hadi kwenye makongamano kuhusu wakimbizi, kadhalika na kadhalika.
17:19
That leadership happened after a big trauma
339
1039060
2376
Uongozi huu ulitokea baada ya mkanganyiko mkubwa
17:21
and happened in a consensual political space,
340
1041460
3976
na ulitokea katika nafasi ya makubaliano ya kisiasa,
17:25
and now we are in a divisive political space.
341
1045460
2136
na sasa tupo mgawanyiko wa kisiasa.
17:27
Actually, refugees have become one of the divisive issues.
342
1047620
2736
Kiuhalisia, wakimbizi wamekuwa moja ya jambo la mgawanyiko.
17:30
So where will leadership come from today?
343
1050380
1960
Kwa hiyo ni wapi uongozi utatokea leo hii?
17:32
DM: Well, I think that you're right to say
344
1052980
2456
DM: Ninadhani upo sahihi kusema
17:35
that the leadership forged in war
345
1055460
2400
uongozi uliozua vita
17:38
has a different temper and a different tempo
346
1058580
2256
una hasira tofauti na mwendo tofauti
17:40
and a different outlook
347
1060860
1256
na muonekano tofauti pia
17:42
than leadership forged in peace.
348
1062140
2680
kuliko uongozi uliozua amani.
17:45
And so my answer would be the leadership has got to come from below,
349
1065380
3736
Na kwa hiyo jibu langu litakuwa kwamba uongozi unatakiwa kutokea chini,
17:49
not from above.
350
1069140
1456
na sio juu.
17:50
I mean, a recurring theme of the conference this week
351
1070620
3336
Ninamaanisha, maudhui yanayojirudia ya mkutano wiki hii
17:53
has been about the democratization of power.
352
1073980
3816
yamekuwa kuhusu kuleta demokrasia katika nguvu.
17:57
And we've got to preserve our own democracies,
353
1077820
2176
Na tunatakiwa kulinda demokrasia yetu,
18:00
but we've got to also activate our own democracies.
354
1080020
2496
lakini pia tunatakiwa amsha demokrasia yetu wenyewe.
18:02
And when people say to me,
355
1082540
1816
Na pale watu wanaponiambia,
18:04
"There's a backlash against refugees,"
356
1084380
1856
"Kuna upinzani katika suala la wakimbizi,"
18:06
what I say to them is,
357
1086260
1256
ninachowaambia ni hiki,
18:07
"No, there's a polarization,
358
1087540
2096
"Hapana, kuna matabaka,
18:09
and at the moment,
359
1089660
1216
na kwa wakati huu,
18:10
those who are fearful are making more noise
360
1090900
2000
wale ambao wanaogofya wanapiga kelele zaidi
18:12
than those who are proud."
361
1092924
1512
kuliko wale ambao wenye fahari."
18:14
And so my answer to your question is that we will sponsor and encourage
362
1094460
3976
Kwa hiyo jibu langu kuhusu swali lako ni kwamba tutadhamini na kuhamasisha
18:18
and give confidence to leadership
363
1098460
1776
na kutoa ujasiri katika uongozi
18:20
when we mobilize ourselves.
364
1100260
1776
pale tunapoungana.
18:22
And I think that when you are in a position of looking for leadership,
365
1102060
3296
Na ninadhani pale pale ambapo unakuwa katika nafasi ya kutafuta uongozi,
18:25
you have to look inside
366
1105380
1336
unatakiwa kuangalia ndani
18:26
and mobilize in your own community
367
1106740
1696
na kuunganisha jamii yako
18:28
to try to create conditions for a different kind of settlement.
368
1108460
3216
kujaribu kutengeneza mazingira ya tofauti kwa makazi.
18:31
BG: Thank you, David. Thanks for coming to TED.
369
1111700
2216
BG: Asante, David. Asante kwa kuja TED.
18:33
(Applause)
370
1113940
3400
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7