Why I have coffee with people who send me hate mail | Özlem Cekic

109,329 views ・ 2018-11-27

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Doris Mangalu Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
My inbox is full of hate mails and personal abuse
0
12960
4576
Kisanduku pokezi changu kimejaa barua za chuki na matusi binafsi
00:17
and has been for years.
1
17560
1360
na imekua hivi kwa miaka.
00:20
In 2010, I started answering those mails
2
20240
4096
Mwaka 2010, nilianza kujibu barua hizo
00:24
and suggesting to the writer that we might meet for coffee and a chat.
3
24360
4400
na kumshauri anaeandika kua tunaweza kukutana kwa kahawa na maongezi.
00:30
I have had hundreds of encounters.
4
30160
2120
Nimeshakuwa na mamia ya hali hizo.
00:33
They have taught me something important that I want to share with you.
5
33640
3480
Wamenifundisha kitu muhimu ninachotaka kuwashirikisha.
00:39
I was born in Turkey from Kurdish parents
6
39560
3016
Nimezaliwa Uturuki kwa wazazi kutoka Kurdish
00:42
and we moved to Denmark when I was a young child.
7
42600
2680
na tukahamia Denmark nilivyokua mtoto mdogo.
00:46
In 2007, I ran for a seat in the Danish parliament
8
46200
3936
Mwaka 2007, niligombania kiti kwenye bunge la Denmark
00:50
as one of the first women with a minority background.
9
50160
2920
kama moja wa wanawake wa kwanza walio na chimbuko kutoka jamii ndogo.
00:54
I was elected,
10
54040
1496
Nikachaguliwa,
00:55
but I soon found out that not everyone was happy about it
11
55560
3976
lakini mara nikagundua kua si kila mtu alifurahishwa
00:59
as I had to quickly get used to finding hate messages in my inbox.
12
59560
5200
ilivyonibidi kuzoea haraka kupata ujumbe wa chuki kwenye kisanduku pokezi.
01:06
Those emails would begin with something like this:
13
66840
4096
Hizo barua zingeanza na kitu kama hiki:
01:10
"What's a raghead like you doing in our parliament?"
14
70960
2840
"Mvaa kilemba kama wewe anafanya nini bungeni kwetu?"
01:15
I never answered.
15
75000
1616
Sikuwahi kujibu.
01:16
I'd just delete the emails.
16
76640
2096
Ninafuta tu hizo barua.
01:18
I just thought that the senders and I had nothing in common.
17
78760
4160
Nawaza tu kua watumaji na mimi hatuna mfanano wowote.
01:23
They didn't understand me,
18
83920
2016
Hawakunielewa mimi,
01:25
and I didn't understand them.
19
85960
2320
na mimi sikuwaelewa wao.
01:29
Then one day, one of my colleagues in the parliament said
20
89880
3096
Ndipo siku moja, mwenzangu mmoja kwenye bunge akasema
01:33
that I should save the hate mails.
21
93000
2040
kua ningetakiwa kutunza barua za chuki.
01:36
"When something happens to you, it will give the police a lead."
22
96080
3280
"Pale kitu kinapokutokea, itawapa polisi mwongozo."
01:40
(Laughter)
23
100120
1736
(Kicheko)
01:41
I noticed that she said, "When something happens" and not "if."
24
101880
4256
Niliona kua alisema, "Pale kitu kinapotokea" na sio "kama."
01:46
(Laughter)
25
106160
1640
(Kicheko)
01:48
Sometimes hateful letters were also sent to my home address.
26
108480
4040
Mara nyingine barua za chuki zilitumwa kwenye anwani ya nyumbani pia.
01:53
The more I became involved in public debate,
27
113440
3536
Kadri nilivyozidi kuhusika kwenye mjadala wa umma,
01:57
the more hate mail and threats I received.
28
117000
2600
nilipokea barua za chuki na vitisho kwa wingi.
02:01
After a while, I got a secret address
29
121080
2496
Baada ya mda, nikapata anwani ya siri
02:03
and I had to take extra precautions to protect my family.
30
123600
3320
na ilibidi nichukue tahadhari ya ziada kulinda familia yangu.
02:09
Then in 2010, a Nazi began to harass me.
31
129840
3936
Kisha mwaka 2010, Mnazi alianza kuniyanyasa.
02:13
It was a man who had attacked Muslim women on the street.
32
133800
3480
Ilikua ni mtu alieshambulia wanawake Waislamu barabarani.
02:18
Over time, it became much worse.
33
138320
2840
Baada ya muda, ikawa mbaya zaidi.
02:22
I was at the zoo with my children, and the phone was ringing constantly.
34
142479
4721
Nilikua bustani ya mwanyama na wanangu, na simu ilikua ikiita mara kwa mara.
02:28
It was the Nazi.
35
148240
1280
Ilikua ni yule Nazi.
02:30
I had the impression that he was close.
36
150560
2976
Nilikua na hisia kua yuko karibu.
02:33
We headed home.
37
153560
1200
Tukaelekea nyumbani.
02:35
When we got back,
38
155800
1776
Tulivyorudi,
02:37
my son asked, "Why does he hate you so much, Mom,
39
157600
5976
kijana wangu akauliza, "Kwanini anakuchukia sana, Mama,
02:43
when he doesn't even know you?"
40
163600
1920
wakati hata hakujui?"
02:47
"Some people are just stupid," I said.
41
167960
1960
"Kuna watu ni wajinga tu," Nilisema.
02:50
And at the time, I actually thought that was a pretty clever answer.
42
170800
3520
Na mda huo, ki ukweli niliwaza kua hilo lilikua jibu lenye werevu.
02:55
And I suspect that that is the answer most of us would give.
43
175520
3240
Na nikahisi kua hilo ndo jibu wengi wetu wangetoa.
02:59
The others --
44
179560
1200
Wengine --
03:01
they are stupid, brainwashed, ignorant.
45
181600
2920
ni wapumbavu, wafwata mikumbo, wajinga.
03:05
We are the good guys and they are the bad guys, period.
46
185640
3720
Sisi ndio watu wazuri na wao ndio watu wabaya, mwisho.
03:11
Several weeks later I was at a friend's house,
47
191200
2416
Wiki kadhaa baadae nilikua nyumbani kwa rafiki yangu,
03:13
and I was very upset and angry about all the hate and racism I had met.
48
193640
5920
na nilikua nimesikitika kweli na hasira kuhusu chuki zote na ubaguzi wa rangi nliokutana nao.
03:20
It was he who suggested that I should call them up
49
200840
3016
Ilikua ni yeye aliependekeza natakiwa niwapigie
03:23
and visit them.
50
203880
1200
na niwatembelee.
03:26
"They will kill me," I said.
51
206680
1440
"Wataniua," nilisema.
03:29
"They would never attack a member of the Danish Parliament," he said.
52
209560
3536
"Hawawezi kushambulia mshiriki wa bunge la Denmark," alisema.
03:33
"And anyway, if they killed you, you would become a martyr."
53
213120
4016
"Na hata hivyo, kama wakikuua, utakua shahidi."
03:37
(Laughter)
54
217160
2136
(Kicheko)
03:39
"So it's pure win-win situation for you."
55
219320
2576
"Hivyo kwako utakua umeshinda pande zote."
03:41
(Laughter)
56
221920
2240
(Kicheko)
03:45
His advice was so unexpected,
57
225880
2776
Ushauri wake ulikua usiotarajiwa,
03:48
when I got home,
58
228680
1256
nilipofika nyumbani,
03:49
I turned on my computer
59
229960
1256
nikawasha kompyuta
03:51
and opened the folder where I had saved all the hate mail.
60
231240
3480
na nikafungua kabrasha ambalo nilitunza barua zote za chuki.
03:55
There were literally hundreds of them.
61
235760
1840
Ki halisi ilikua ma mia ya barua.
03:58
Emails that started with words like "terrorist,"
62
238600
4456
Barua zilizoanza na maneno kama "ugaidi,"
04:03
"raghead,"
63
243080
1616
"mvaa kilemba,"
04:04
"rat," "whore."
64
244720
1480
"panya," "kahaba."
04:08
I decided to contact the one who had sent me the most.
65
248120
3480
Nikaamua kuwasiliana na yule alienitumia nyingi.
04:12
His name was Ingolf.
66
252920
1760
Jina lake lilikua Ingolf.
04:17
I decided to contact him just once so I could say at least I had tried.
67
257080
5760
Niliamua kuwasiliana nae mara moja tu ili niseme angalau nilijaribu.
04:23
To my surprise and shock,
68
263880
2696
Kwa mshangao na mshtuko wangu,
04:26
he answered the phone.
69
266600
1320
alijibu simu yake,
04:28
I blurted out, "Hello, my name is Özlem. You have sent me so many hate mails.
70
268959
4937
Nikaropoka, "Habari, jina langu ni Ozlem. Umenitumia barua pepe nyingi za chuki.
04:33
You don't know me, I don't know you.
71
273920
1736
Hunijui, sikujui.
04:35
I was wondering if I could come around and we can drink a coffee together
72
275680
3456
Nilikua nawaza kama naweza kuja na kunywa kahawa pamoja
na kuongelea kuhusu hilo?"
04:39
and talk about it?"
73
279160
1256
04:40
(Laughter)
74
280440
2320
(Kicheko)
04:43
There was silence on the line.
75
283920
2280
Kulikua na ukimya kwenye laini.
04:47
And then he said,
76
287160
1600
Na kisha akasema,
04:50
"I have to ask my wife."
77
290160
1936
"Itabidi nimuulize mke wangu,"
04:52
(Laughter)
78
292120
1376
(Kicheko)
04:53
What?
79
293520
1216
Nini?
04:54
The racist has a wife?
80
294760
1416
Mbaguzi wa rangi ana mke?
04:56
(Laughter)
81
296200
1856
(Kicheko)
04:58
A couple of days later, we met at his house.
82
298080
3056
Siku kadhaa mbeleni, tulikutana nyumbani kwake.
05:01
I will never forget when he opened his front door
83
301160
4256
Sitokaa kusahau alivyofungua mlango wake wa mbele
05:05
and reached out to shake my hand.
84
305440
2440
na kutoka na kunipa mkono.
05:08
I felt so disappointed.
85
308880
2016
Nilisikitika sana.
05:10
(Laughter)
86
310920
1216
(Kicheko)
05:12
because he looked nothing like I'd imagined.
87
312160
3080
kwa sababu hakuonekana chochote nilichomfikiria.
05:16
I had expected a horrible person --
88
316400
2896
Nilitegemea mtu wa kutisha --
05:19
dirty, messy house.
89
319320
2136
mchafu, nyumba chafu.
05:21
It was not.
90
321480
1240
Haikua hivyo.
05:23
His house smelled of coffee
91
323720
1776
Nyumba yake ilinukia kahawa
05:25
which was served from a coffee set identical to the one my parents used.
92
325520
4000
iliohudumiwa kwenye kiwekea kahawa kilichofanana na cha wazazi wangu.
05:30
I ended up staying for two and a half hours.
93
330760
2560
Nikaishia kubaki kwa masaa mawili na nusu.
05:34
And we had so many things in common.
94
334840
3120
Na tulikua na vitu vingi vya tunafanana.
05:39
Even our prejudices were alike.
95
339120
2816
Ata chuki zetu zilikua zinafanana.
05:41
(Laughter)
96
341960
1896
(Kicheko)
05:43
Ingolf told me that when he waits for the bus
97
343880
3056
Ingolf aliniambia kua anapongojea basi
05:46
and the bus stops 10 meters away from him,
98
346960
3456
na basi linasimama mita 10 mbali na yeye,
05:50
it was because the driver was a "raghead."
99
350440
2960
ilikua kwa sababu dereva alikua "mvaa kilemba."
05:55
I recognized that feeling.
100
355120
1896
Nilitambua hio hisia.
05:57
When I was young
101
357040
1280
Nilivyokua mdogo
05:59
and I waited for the bus
102
359560
1496
na nikingoja basi
06:01
and it stopped 10 meters away from me,
103
361080
2056
na lingesimama mita 10 mbali na mimi,
06:03
I was sure that the driver was a racist.
104
363160
2440
nilikua nina uhakika dereva alikua mbaguzi wa rangi.
06:09
When I got home,
105
369600
2096
Nilipofika nyumbani,
06:11
I was very ambivalent about my experience.
106
371720
2440
nilikua nina mashaka kuhusu hio hali.
06:15
On the one hand, I really liked Ingolf.
107
375120
2600
Kwa upande mmoja, nilipendezwa kweli na Ingolf.
06:18
He was easy and pleasant to talk to,
108
378920
3240
Alikua rahisi na mzuri kuongea nae,
06:23
but on the other hand,
109
383400
1576
ila kwa upande mwingine,
06:25
I couldn't stand the idea of having so much in common
110
385000
4696
sikuweza kuvumilia wazo la kua na vitu vingi vinanvyofanana
06:29
with someone who had such clearly racist views.
111
389720
3200
na mtu ambae ni wazi ana mtazamo wa ubaguzi wa rangi.
06:36
Gradually,
112
396080
1216
Taratibu,
06:37
and painfully,
113
397320
1696
na kwa maumivu,
06:39
I came to realize
114
399040
1256
nikaja kutambua
06:40
that I had been just as judgmental of those who had sent me hate mails
115
400320
4880
kua nilikua mhukumu kama tu wale waliokua wakinitumia barua za chuki
06:46
as they had been of me.
116
406320
1760
kama zilivyokua kwangu.
06:50
This was the beginning of what I call #dialoguecoffee.
117
410640
4960
Huu ulikua mwanzo wa nilichoita #mazungumzokahawa.
06:56
Basically, I sit down for coffee
118
416960
2096
Kimsingi, nakaa kwa kahawa
06:59
with people who have said the most terrible things to me
119
419080
3816
na watu waliosema mambo ya kutisha kwangu
07:02
to try to understand why they hate people like me
120
422920
3816
na kujaribu kuelewa kwanini wanachukia watu kama mimi
07:06
when they don't even know me.
121
426760
1840
wakati hata hawanijui.
07:10
I have been doing this the last eight years.
122
430800
2360
Nimekua nikifanya hivi miaka nane iliopita.
07:14
The vast majority of people I approach agree to meet me.
123
434760
3416
Idadi kubwa ya watu ninaowafuata wanakubali kukutana nami.
07:18
Most of them are men,
124
438200
1336
Wengi wao ni wanaume,
07:19
but I have also met women.
125
439560
1480
lakini nimekutana pia na wanawake.
07:22
I have made it a rule to always meet them in their house
126
442000
3896
Nimefanya kama kanuni kukutana nyumbani kwao daima
07:25
to convey from the outset that I trust them.
127
445920
2400
kuonyesha kwa nje kua ninawaamini.
07:28
I always bring food because when we eat together,
128
448960
3816
Naleta chakula mara kwa mara kwa sababu tunapokula pamoja,
07:32
it is easier to find what we have in common
129
452800
2416
ni rahisi kujua nini tunacho cha kufanana
07:35
and make peace together.
130
455240
1480
na kuwa na amani kwa pamoja.
07:38
Along the way, I have learned some valuable lessons.
131
458480
4416
Pamoja na njia hii, nimejifunza mafunzo ya thamani.
07:42
The people who sent hate mails are workers,
132
462920
3096
Watu waliotuma barua za chuki ni wafanyakazi,
07:46
husbands, wives,
133
466040
2296
waume, wake,
07:48
parents like you and me.
134
468360
1360
wazazi kama wewe na mimi.
07:50
I'm not saying that their behavior is acceptable,
135
470520
4336
Sisemi kua tabia yao inakubalika,
07:54
but I have learned to distance myself from the hateful views
136
474880
4736
lakini nimejifunza kujiweka mbali na maoni ya chuki
07:59
without distancing myself from the person who's expressing those views.
137
479640
5600
bila kujiweka mbali na mtu anayetoa hayo maoni.
08:07
And I have discovered
138
487240
2056
Nimegundua
08:09
that the people I visit are just as afraid of people they don't know
139
489320
4896
kua watu ninaowatembelea wana uwoga kama tu wa watu wasiowajua
08:14
as I was afraid of them before I started inviting myself for coffee.
140
494240
5080
kama nilivyokua nawaogopa kabla sijaanza kujialika kwenye kahawa.
08:21
During these meetings, a specific theme keeps coming up.
141
501440
3496
Kwenye vikao hivi, mandhari maalum inaibuka.
08:24
It shows up regardless whether I'm talking to a humanist or a racist,
142
504960
4336
Inaonyesha kua bila kujai ninaongea na mwenye utu au mbaguzi wa rangi,
08:29
a man, a woman,
143
509320
1496
mwanaume. mwanamke,
08:30
a Muslim or an atheist.
144
510840
2056
Muislamu au mkanamungu.
08:32
They all seem to think
145
512920
1936
Wote wanaonekana kufikiri
08:34
that other people are to blame for the hate
146
514880
3136
kua watu wengine ndio wa kulaumiwa kwa hizo chuki
08:38
and for the generalization of groups.
147
518040
2256
na kwa kujumuisha makundi.
08:40
They all believe that other people have to stop demonizing.
148
520320
4736
Wote wanaamini kua watu wengine wanatakiwa kuacha ushetani.
08:45
They point at politicians, the media, their neighbor
149
525080
2776
Wananyooshea wanasiasa, vyombo vya habari, na jirani zao
08:47
or the bus driver who stops 10 meters away.
150
527880
2440
au dereva wa basi anaesimama mita 10 mbali.
08:51
But when I asked, "What about you?
151
531600
2600
Lakini nilivyouliza, "Wewe je?
08:55
What can you do?",
152
535039
1241
Wewe unaweza kufanya nini?",
08:57
the reply is usually,
153
537360
2216
jibu ni kama kawaida,
08:59
"What can I do?
154
539600
1776
"Nini naweza kufanya?
09:01
I have no influence.
155
541400
2056
Sina ushawishi.
09:03
I have no power."
156
543480
1680
Sina nguvu."
09:06
I know that feeling.
157
546400
1936
Najua hiyo hisia.
09:08
For a large part of my life,
158
548360
1616
Kwa mda mkubwa wa maisha yangu,
09:10
I also thought that I didn't have any power or influence --
159
550000
5976
Niliwaza pia kua sina nguvu au ushawishi --
09:16
even when I was a member of the Danish parliament.
160
556000
2920
hata nilivyokua mshiriki wa bunge la Denmark.
09:20
But today I know the reality is different.
161
560120
2736
Lakini leo najua ukweli ni tofauti.
09:22
We all have power and influence where we are,
162
562880
2896
Sisi sote tuna nguvu na ushawishi popote tulipo,
09:25
so we must never,
163
565800
2416
hivyo hatutakiwi kamwe,
09:28
never underestimate our own potential.
164
568240
3280
kamwe kushusha uwezo wetu.
09:35
The #dialoguecoffee meetings have taught me
165
575040
2056
Vikao vya #mazungumzokahawa vimenifundisha
09:37
that people of all political convictions can be caught demonizing
166
577120
4016
watu wa hukumu zote za kisiasa wanaweza jikuta wanawachukulia vibaya
09:41
the others with different views.
167
581160
1840
wale wengine wenye maoni tofauti.
09:44
I know what I'm talking about.
168
584000
1856
Najua ninachokiongelea.
09:45
As a young child, I hated different population groups.
169
585880
4696
Nikiwa mtoto mdogo, nilichukia makudi tofauti ya watu.
09:50
And at the time, my religious views were very extreme.
170
590600
3160
Na mda huo, maoni yangu ya kidini yalikua yamekithiri.
09:54
But my friendship with Turks, with Danes, with Jews and with racists
171
594720
4736
Lakini urafiki wangu na Waturuki, na Wadeni, na Wayahudi na wabaguzi wa rangi
09:59
has vaccinated me against my own prejudices.
172
599480
3360
umenichanjia dhidi ya chuki zangu mwenyewe.
10:04
I grew up in a working-class family,
173
604280
2176
Nilikua kwenye familia ya wafanya kazi,
10:06
and on my journey I have met many people who have insisted on speaking to me.
174
606480
5600
na kwenye safari yangu nimekutana na watu wengi waliosisitiza kuongea nami.
10:13
They have changed my views.
175
613120
1560
Wamebadilisha maoni yangu.
10:16
They have formed me as a democratic citizen and a bridge builder.
176
616160
4120
Wamenifanya kama mwananchi wa demokrasia na mjenga daraja.
10:22
If you want to prevent hate and violence,
177
622000
2296
Kama unataka kuzuia chuki na vurugu,
10:24
we have to talk to as many people as possible
178
624320
3416
tunatakiwa tuongee na watu wengi iwezekanavyo
10:27
for as long as possible
179
627760
2296
kwa mda mrefu uwezekanao
10:30
while being as open as possible.
180
630080
2200
tukiwa wawazi tunavyoweza.
10:33
That can only be achieved through debate,
181
633120
3256
Hio inaweza kufanikiwa kupitia malumbano,
10:36
critical conversation
182
636400
1896
maongezi ya muhimu
10:38
and insisting on dialogue that doesn't demonize people.
183
638320
4000
na kusisitiza kwenye mazungumzo yasiyofanya watu kuwa wabaya.
10:44
I'm going to ask you a question.
184
644960
1680
Nitawauliza swali moja.
10:47
I invite you to think about it when you get home and in the coming days,
185
647520
4296
Ninawakaribisha kulifikiria mkifika nyumbani na siku zinazokuja,
10:51
but you have to be honest with yourself.
186
651840
2696
lakini unatakiwa uwe mkweli na wewe mwenyewe.
10:54
It should be easy, no one else will know it.
187
654560
2400
Inatakiwa kuwa rahisi, hakuna mwingine atakaejua.
10:58
The question is this ...
188
658560
1440
Hilo swali ni hili ...
11:02
who do you demonize?
189
662600
1520
Ni nani unaemuona mbaya?
11:06
Do you think supporters of American President Trump are deplorables?
190
666600
4200
Unafikiri wafuasi wa Raisi wa Marekani Trump wana bahati mbaya?
11:12
Or that those who voted for Turkish President Erdoğan are crazy Islamists?
191
672920
5440
Au wale waliompigia kura Raisi wa Turkey Erdogan ni Waislamu wenye wazimu?
11:20
Or that those who voted for Le Pen in France are stupid fascists?
192
680360
5080
Au wale waliopiga kura kwa Le Pen Ufaransa ni wafashisti wajinga?
11:27
Or perhaps you think that Americans who voted for Bernie Sanders
193
687480
4096
Au pengine unafikiri kua Wamarekani waliompigia kura Bernie Sanders
11:31
are immature hippies.
194
691600
1616
ni wahuni wachanga.
11:33
(Laughter)
195
693240
1520
(Kicheko)
11:35
All those words have been used to vilify those groups.
196
695800
4040
Maneno yote hayo yametumika kuhakiri hayo makundi.
11:41
Maybe at this point, do you think I am an idealist?
197
701640
3920
Labda kwenye hatua hii, unafikiri mimi ni mdhanifu?
11:48
I want to give you a challenge.
198
708280
2496
Nataka nikupe changamoto.
11:50
Before the end of this year,
199
710800
1776
Kabla mwisho wa mwaka huu,
11:52
I challenge you to invite someone who you demonize --
200
712600
4696
nawaita kumkaribisha mtu unaemuona mbaya --
11:57
someone who you disagree with politically and/or culturally
201
717320
4056
mtu usiekubaliana nae kisiasa na/au kiutamaduni
12:01
and don't think you have anything in common with.
202
721400
2320
na unaefikiri hauna chochote mnachofanana.
12:06
I challenge you to invite someone like this to #dialoguecoffee.
203
726440
3320
Nawaita kualika mtu kama huyo kwenye #mazungumzokahawa.
12:11
Remember Ingolf?
204
731360
1200
Mnamkumbuka Ingolf?
12:13
Basically, I'm asking you to find an Ingolf in your life,
205
733320
4096
Kimsingi, nawaomba mmtafute Ignolf kwenye maisha yenu,
12:17
contact him or her
206
737440
1656
wasiliana nae
12:19
and suggest that you can meet for #dialoguecofee.
207
739120
2480
na pendekeza kua mkutane kwa #mazungumzokahawa.
12:23
When you start at #dialoguecoffee, you have to remember this:
208
743200
3456
Unapoanza kwenye #mazungumzokahawa, unatakiwa kukumbuka hili:
12:26
first, don't give up if the person refuses at first.
209
746680
5096
kwanza, usikate tamaa kama mtu akikataa mwanzoni.
12:31
Sometimes it's taken me nearly one year to arrange a #dialoguecoffee meeting.
210
751800
4000
Mara nyingine inanichukua karibia mwaka kupanga kikao cha #mazungumzokahawa.
12:36
Two:
211
756600
1256
Pili:
12:37
acknowledge the other person's courage.
212
757880
2376
tambua ujasiri wa yule mtu mwingine.
12:40
It isn't just you who's brave.
213
760280
2296
Sio wewe tu ambae ni jasiri.
12:42
The one who's inviting you into their home is just as brave.
214
762600
4136
Yule anaekualika nyumbani kwake ni jasiri pia.
12:46
Three:
215
766760
1336
Tatu:
12:48
don't judge during the conversation.
216
768120
2296
usihukumu kwenye mazungumzo.
12:50
Make sure that most of the conversation focuses on what you have in common.
217
770440
3840
Hakikisha kua mazungumzo mengi yanalenga vitu mnavyofanana.
12:55
As I said, bring food.
218
775640
1600
Kama nilivyosema, leta chakula.
12:58
And finally, remember to finish the conversation in a positive way
219
778120
4296
Na mwisho, kumbuka kumaliza mazungumzo vyema
13:02
because you are going to meet again.
220
782440
2016
kwa sababu mtakutana tena.
13:04
A bridge can't be built in one day.
221
784480
2800
Daraja haliwezi kujengwa siku moja.
13:09
We are living in a world where many people hold definitive and often extreme opinions
222
789640
4816
Tunaishi kwenye dunia ambayo watu wengi wanashikilia kiyakinifu na sana maoni yaliokithiri
13:14
about the others
223
794480
1216
kuhusu wengine
13:15
without knowing much about them.
224
795720
1600
bila kujua chochote kuhusu wao.
13:18
We notice of course the prejudices on the other side than in our own bases.
225
798000
6176
Tunaona bila shaka zile chuki za upande mwingine kuliko za kwetu.
13:24
And we ban them from our lives.
226
804200
2000
Na tunazizuia kwenye maisha yetu.
13:27
We delete the hate mails.
227
807440
1320
Tunafuta barua za chuki.
13:29
We hang out only with people who think like us
228
809600
3176
Tunatembea na watu wenye fikra kama zetu tu
13:32
and talk about the others in a category of disdain.
229
812800
2720
na kuongelea wengine kwenye aina isiyostahili.
13:36
We unfriend people on Facebook,
230
816960
2216
Tunasitisha urafiki huko Facebook,
13:39
and when we meet people who are discriminating
231
819200
3176
na tunapokutana watu wenye ubaguzi
13:42
or dehumanizing people or groups,
232
822400
1736
au wasio na utu kwa watu au makundi,
13:44
we don't insist on speaking with them to challenge their opinions.
233
824160
4480
hatusisitizi kuongea nao ili maoni yao yawe na changamoto.
13:50
That's how healthy democratic societies break down --
234
830720
4456
Hivyo ndivyo jinsi demokrasia yenye afya kwenye jamii inavunjika --
13:55
when we don't check the personal responsibility for the democracy.
235
835200
3320
tusipokagua wajibu wa mtu binafsi kwa ajili ya demokrasia.
14:00
We take the democracy for granted.
236
840240
1920
Tunachukua demokrasia kwa kupuuzia.
14:03
It is not.
237
843200
1200
Ambayo sio.
14:06
Conversation is the most difficult thing in a democracy
238
846120
3760
Mazungumzo ni jambo gumu sana kwenye demokrasia
14:10
and also the most important.
239
850920
3080
na pia muhimu sana.
14:16
So here's my challenge.
240
856080
1440
Hivyo, changamoto yangu ni hii.
14:18
Find your Ingolf.
241
858760
1656
Tafuta Ingolf wako.
14:20
(Laughter)
242
860440
1016
(Kicheko)
14:21
Start a conversation.
243
861480
1680
Anza mazungumzo.
14:23
Trenches have been dug between people, yes,
244
863760
3536
Mifereji imechimbwa kati ya watu, ndio,
14:27
but we all have the ability to build the bridges that cross the trenches.
245
867320
5400
lakini tunauwezo wa kujenga madaraja yanayovuka hio mifereji.
14:35
And let me end by quoting my friend,
246
875560
2936
Na naomba nimalizie kwa kumnukuu rafiki yangu,
14:38
Sergeot Uzan,
247
878520
1200
Sergeot Uzan,
14:40
who lost his son, Dan Uzan, in a terror attack
248
880640
4016
aliempoteza mwanae, Dan Uzan, kwenye shambulizi la kigaidi
14:44
on a Jewish synagogue in Copenhagen, 2015.
249
884680
3200
kwenye sinagogi la Kiyehudi huko Copenhagen, 2015.
14:49
Sergio rejected any suggestion of revenge
250
889480
3160
Sergio alikataa wazo lolote la kisasi
14:53
and instead said this ...
251
893920
1600
na badala yake akasema hivi ...
14:58
"Evil can only be defeated by kindness between people.
252
898160
4200
"Ubaya unashindwa tu kwa wema kati ya watu.
15:03
Kindness demands courage."
253
903640
3080
Wema unadai ujasiri."
15:07
Dear friends,
254
907960
1816
Wapendwa marafiki,
15:09
let's be courageous.
255
909800
1816
tuwe wajasiri.
15:11
Thank you.
256
911640
1216
Asanteni.
15:12
(Applause)
257
912880
4560
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7