A simple new blood test that can catch cancer early | Jimmy Lin

86,795 views ・ 2017-08-08

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Leah Ligate Reviewer: Nelson Simfukwe
00:13
Cancer.
0
13573
1167
Saratani.
00:15
Many of us have lost family, friends or loved ones
1
15121
3065
Wengi wetu tumepoteza ndugu wa familia marafiki au wapendwa wetu
00:18
to this horrible disease.
2
18210
1680
kwa ugonjwa huu mbaya sana.
00:19
I know there are some of you in the audience
3
19914
2096
Nafahamu kuna baadhi yenu katika hadhira hii
00:22
who are cancer survivors,
4
22034
1241
ni manusura wa saratani,
00:23
or who are fighting cancer at this moment.
5
23299
2155
au ambao wanapambana na saratani kwa sasa.
00:25
My heart goes out to you.
6
25478
1991
Moyo wangu unaguswa nanyi.
00:27
While this word often conjures up emotions of sadness and anger and fear,
7
27493
5274
Wakati neno hili linaleta hisia za huzuni na hasira na hofu,
00:32
I bring you good news from the front lines of cancer research.
8
32791
3514
Ninakuletea habari njema kutoka kwenye utafiti wa saratani
00:36
The fact is, we are starting to win the war on cancer.
9
36329
3860
Ukweli ni kwamba tunaanza kushinda vita ya saratani.
00:41
In fact, we lie at the intersection
10
41138
1703
Kiukweli, tupo katikati
00:42
of the three of the most exciting developments within cancer research.
11
42865
4189
kwenye mambo matatu endelevu ndani utafiti wa Saratani wa kusisimua
00:47
The first is cancer genomics.
12
47078
2285
Ya kwanza ni genome ya Saratani
00:49
The genome is a composition
13
49387
2025
Genome ni uundwaji
00:51
of all the genetic information encoded by DNA
14
51436
2936
wa taarifa za kijenetikia zilizosimbwa na DNA
00:54
in an organism.
15
54396
1367
ndani ya kiumbehai
00:55
In cancers, changes in the DNA called mutations
16
55787
2841
Kwenye saratani, mabadiliko ya DNA yaitwayo ubadilikaji seli
00:58
are what drive these cancers to go out of control.
17
58652
2802
ni kile kinachosukuma saratani hizi kushindwa kudhibitiwa
01:01
Around 10 years ago, I was part of the team at Johns Hopkins
18
61890
3292
Karibia miaka 10 iliyopita nilikuwa sehemu ya timu ya John Hopkins
01:05
that first mapped the mutations of cancers.
19
65206
2598
watu wa kwanza kuunda ramani ya mabadiliko ya saratani
01:07
We did this first for colorectal,
20
67828
2186
Tulifanya kwanza kwa ya utumbo,
01:10
breast, pancreatic and brain cancers.
21
70038
2526
matiti, kongosho na saratani ya ubongo
01:12
And since then, there have been over 90 projects in 70 countries
22
72984
3512
Na kuanzia hapo,, kumekuwa na zaidi ya miradi 90 kwenye nchi 70
01:16
all over the world,
23
76520
1590
duniani kote
01:18
working to understand the genetic basis of these diseases.
24
78134
3375
inayofanyia kazi kuelewa msingi wa jenetikia ya magonjwa haya.
01:21
Today, tens of thousands of cancers are understood
25
81533
3054
Leo hii, maelfu ya magonjwa ya saratani yanaeleweka
01:24
down to exquisite molecular detail.
26
84611
2295
hadi kipengele bora cha mwanzo cha molekyuli
01:28
The second revolution is precision medicine,
27
88020
2302
Mapinduzi ya pili ni tiba mahsusi,
01:30
also known as "personalized medicine."
28
90346
2404
yajulikanayo pia kama "tiba kulingana na ugonjwa".
01:32
Instead of one-size-fits-all methods to be able to treat cancers,
29
92774
3577
badala ya njia ya tiba aina moja kutumika kutibu saratani zote,
01:36
there is a whole new class of drugs that are able to target cancers
30
96375
3655
kuna madaraja mapya ya dawa ambazo yanaweza kulenga saratani
01:40
based on their unique genetic profile.
31
100054
2207
kulingana na wasifu wake wa kipekee kijenetikia
01:42
Today, there are a host of these tailor-made drugs,
32
102737
2930
Leo kuna makazi ya hizi dawa zilizotengenezwa
01:45
called targeted therapies,
33
105691
1330
ziitwazo tiba za kulenga,
01:47
available to physicians even today
34
107045
2183
zinazopatikana kwa kila daktari hata leo
01:49
to be able to personalize their therapy for their patients,
35
109252
3263
kuweza kupanga tiba mahsusi kwa wagonjwa wao,
01:52
and many others are in development.
36
112539
1926
na nyingine nyingi zinaendelezwa.
01:55
The third exciting revolution is immunotherapy,
37
115116
3298
mapinduzi ya tatu ya kusisimua ni tiba ya kingamaradhi
01:58
and this is really exciting.
38
118438
1776
na hii inasisimua kweli.
02:00
Scientists have been able to leverage the immune system
39
120865
2710
Wanasanyansi wameweza kutumia vizuri mfumo wa kinga
02:03
in the fight against cancer.
40
123599
1495
kupambana dhidi ya saratani.
02:05
For example, there have been ways where we find the off switches of cancer,
41
125652
4196
Kwa mfano, kumekuwa na njia ambazo tunakuta huzima saratani,
02:09
and new drugs have been able to turn the immune system back on,
42
129872
3444
na dawa mpya zimeweza kugeuza mfumo wa kinga tena,
02:13
to be able to fight cancer.
43
133340
1588
kuweza kupambana na saratani.
02:14
In addition, there are ways where you can take away immune cells
44
134952
4091
Kwa kuongezea, kuna njia ambazo unaweza kuondoa seli za kinga
02:19
from the body,
45
139067
1160
kutoka mwilini,
02:20
train them, engineer them and put them back into the body
46
140251
3087
kuzifunza, kuziunda na kuzirudisha tena mwilini
02:23
to fight cancer.
47
143362
1377
kupambana na saratani.
02:24
Almost sounds like science fiction, doesn't it?
48
144763
2678
Inaonekana kama hadithi ya sayansi ya kutunga si ndio?
02:27
While I was a researcher at the National Cancer Institute,
49
147910
3016
Wakati nilipokuwa mtafiti kwenye Chuo cha Taifa cha Saratani,
02:30
I had the privilege of working with some of the pioneers of this field
50
150950
3455
Nilibahatika kufanyakazi na baadhi ya waanzilishi wa idara hii
02:34
and watched the development firsthand.
51
154429
2246
na kuangalia maendeleo ya awali.
02:36
It's been pretty amazing.
52
156699
1443
imekuwa ya kustaajabisha sana.
02:38
Today, over 600 clinical trials are open,
53
158166
3005
Leo, kuna zaidi ya majaribio 600 ya kikliniki,
02:41
actively recruiting patients to explore all aspects in immunotherapy.
54
161195
4185
yakuwafunza wagonjwa kuangalia vipengele vyote vya tiba ya kingamaradhi
02:46
While these three exciting revolutions are ongoing,
55
166484
3061
Wakati mapinduzi haya matatu ya kusisimua yanaendelea,
02:49
unfortunately, this is only the beginning,
56
169569
2024
bahati mbaya huu ni mwanzo tu,
02:51
and there are still many, many challenges.
57
171617
3211
na bado kuna changamoto nyingi.
02:54
Let me illustrate with a patient.
58
174852
1749
Ngoja nitolee mfano kwa mgonjwa
02:58
Here is a patient with a skin cancer called melanoma.
59
178021
2911
Hapa ni mgonjwa mwenye saratani ya ngozi iitwayo melanoma.
03:00
It's horrible; the cancer has gone everywhere.
60
180956
3047
ni mbaya sana; saratani imeenea kila mahali.
03:05
However, scientists were able to map the mutations of this cancer
61
185026
3720
Ingawa wanasayansi waliweza kuunda ramani ya mabadiliko ya saratani hii
03:08
and give a specific treatment that targets one of the mutations.
62
188770
4056
na kutoa tiba mahsusi kwa kulenga mabadiliko
03:13
And the result is almost miraculous.
63
193770
2453
Na matokeo ni karibia muujiza.
03:16
Tumors almost seem to melt away.
64
196247
2446
Uvimbe ulionekana kuyeyuka kabisa.
03:19
Unfortunately, this is not the end of the story.
65
199730
2512
Bahati mbaya huu sio mwisho wa hadithi.
03:22
A few months later, this picture is taken.
66
202897
2479
Miezi michache baadae, hii picha ilipigwa.
03:25
The tumor has come back.
67
205977
1487
Uvimbe umerudi tena.
03:28
The question is: Why?
68
208447
1580
Swali ni: Kwanini?
03:30
The answer is tumor heterogeneity.
69
210712
2432
Jibu ni uvimbe mbalimbali
03:33
Let me explain.
70
213927
1249
Ngoja nifafanue zaidi.
03:36
Even a cancer as small as one centimeter in diameter
71
216944
3488
Hata saratani ndogo kiasi cha sentimita moja katika mduara
03:40
harbors over a hundred million different cells.
72
220456
2693
huhifadhi seli zaidi ya milioni mia moja tofauti.
03:43
While genetically similar,
73
223668
1881
Pamoja na kufanana kijenetikia,
03:45
there are small differences in these different cancers
74
225573
2709
kuna tofauti ndogo katika saratani hizi tofauti
03:48
that make them differently prone to different drugs.
75
228306
2857
inazozifanya zigeuke tofauti kwa dawa tofauti.
03:51
So even if you have a drug that's highly effective,
76
231187
2428
Hivyo hata kama una dawa yenye kufanya kazi vizuri,
03:53
that kills almost all the cells,
77
233639
1735
ambayo huua karibia seli zote,
03:55
there is a chance that there's a small population
78
235398
3190
kunauwezekano kwamba kuna idadi ndogo ya seli
03:58
that's resistant to the drug.
79
238612
1774
ambayo ni sugu kwa dawa.
04:00
This ultimately is the population
80
240410
2022
Hii hatimaye ni idadi ya seli
04:02
that comes back,
81
242456
1164
ambazo hurudi,
04:03
and takes over the patient.
82
243644
1318
na kumchukua tena mgonjwa.
04:05
So then the question is: What do we do with this information?
83
245707
2859
Sasa basi swali ni: Tunafanyia nini taarifa hii?
04:08
Well, the key, then,
84
248590
1262
Chamsingi basi,
04:09
is to apply all these exciting advancements in cancer therapy earlier,
85
249876
4870
Ni kutumia maboresho yote haya ya kusisimua kwa tiba ya saratani mapema,
04:14
as soon as we can,
86
254770
1222
mapema tunavyoweza,
04:16
before these resistance clones emerge.
87
256016
2339
kabla ya seli sugu zinazojinakili kuibuka
04:19
The key to cancer and curing cancer is early detection.
88
259050
4359
Kitu muhimu kwa saratani na kuitibu ni kuigundua mapema
04:24
And we intuitively know this.
89
264259
1669
na wote tunaelewa haraka hili.
04:25
Finding cancer early results in better outcomes,
90
265952
3086
Kugundua saratani mapema hupelekea matokeo mazuri,
04:29
and the numbers show this as well.
91
269062
2046
na takwimu zinaonyesha hili pia.
04:31
For example, in ovarian cancer, if you detect cancer in stage four,
92
271132
4243
Mfano, katika saratani ya ovari, ukiigundua ikiwa hatua ya nne,
04:35
only 17 percent of the women survive at five years.
93
275399
3129
ni asilimia 17 pekee ya wanawake husalia kwa miaka mitano
04:39
However, if you are able to detect this cancer as early as stage one,
94
279088
4428
Ingawa, ikiwa utaweza kugundua saratani hii mapema ikiwa hatua ya kwanza,
04:43
over 92 percent of women will survive.
95
283540
2692
zaidi ya asilimia 92 watasalia.
04:46
But the sad fact is, only 15 percent of women are detected at stage one,
96
286745
4803
Kinachohuzuni sha ni, asilimia 15 tu ya wanawake hugundua ikiwa hatua ya kwanza,
04:51
whereas the vast majority, 70 percent, are detected in stages three and four.
97
291572
5572
ambapo wengi wao, asilimia 70 hugunduka katia hatua ya tatu au ya nne.
04:57
We desperately need better detection mechanisms for cancers.
98
297168
4181
Tunahitaji bila kukata tamaa njia bora za kugundua saratani.
05:01
The current best ways to screen cancer fall into one of three categories.
99
301873
4278
Njia bora za sasa za kupima saratani ziko kwenye moja ya vipengele vitatu,
05:06
First is medical procedures,
100
306175
2175
Kwanza ni vipimo vya kitabibu,
05:08
which is like colonoscopy for colon cancer.
101
308374
2908
kama vile kolonoskopi kiangaza utumbo kwa saratani ya utumbo.
05:11
Second is protein biomarkers, like PSA for prostate cancer.
102
311306
4616
Pili ni vipimo vya protini, kama PSA kwa saratani ya tezi dume.
05:15
Or third, imaging techniques,
103
315946
2912
Au tatu vipimo vya picha,
05:18
such as mammography for breast cancer.
104
318882
2363
kama mamografi kwa saratani ya matiti.
05:22
Medical procedures are the gold standard;
105
322239
2426
Vipimo vya kitatibu ni viwango bora;
05:24
however, they are highly invasive
106
324689
2096
ingawa, hutumia vifaa vyenye ncha
05:26
and require a large infrastructure to implement.
107
326809
2805
na huhitaji miundombinu itumiayo eneo kubwa kwa upimaji.
05:30
Protein markers, while effective in some populations,
108
330502
3204
Vipimo ya Protini, vikiwa na matokeo mazuri kwa baadhi ya majaribio,
05:33
are not very specific in some circumstances,
109
333730
2489
havitoi majibu kamili kwa hali nyingine za majaribio
05:36
resulting in high numbers of false positives,
110
336243
2583
ambayo hupelekea matokeo ya kiwango kisicho sahihi,
05:38
which then results in unnecessary work-ups and unnecessary procedures.
111
338850
5205
ambayo pia hupelekea utafiti zaidi usio na lazima au upasuaji
05:45
Imaging methods, while useful in some populations,
112
345142
2964
utafiti kwa njia ya picha waweza kuwa na manufaa kwa baadhi
05:48
expose patients to harmful radiation.
113
348781
2897
huweka wagonjwa kwenye mionzi hatarishi.
05:51
In addition, it is not applicable to all patients.
114
351702
2614
kwa kuongezea, haitumiki kwa wagonjwa wote.
05:54
For example, mammography has problems in women with dense breasts.
115
354340
4043
Mfano, kipimo cha mamografia kina matatizo kwa wanawake wenye matiti yaliyojaa
05:58
So what we need is a method that is noninvasive,
116
358856
3394
Hivyo tunachohitaji ni njia ambazo hazihitaji upasuaji
06:02
that is light in infrastructure,
117
362274
1767
huo ni mwanga kwa miundombinu,
06:04
that is highly specific,
118
364065
1263
na ni bayana kikamillifu
06:05
that also does not have false positives,
119
365968
3221
ambayo pia haina majibu yasiyo sahihi
06:09
does not use any radiation
120
369213
1966
haitumii mionzi yoyote
06:11
and is applicable to large populations.
121
371203
2931
na inatumika kwa idadi kubwa
06:14
Even more importantly,
122
374158
1174
na cha muhimu zaidi
06:15
we need a method to be able to detect cancers
123
375356
2196
tunahitaji njia itakayoweza kugundua saratani
06:17
before they're 100 million cells in size.
124
377576
2692
kabla kufikia ukubwa wa seli milioni 100
06:20
Does such a technology exist?
125
380880
1565
Teknolojia ya aina hiyo ipo?
06:22
Well, I wouldn't be up here giving a talk if it didn't.
126
382828
2921
Nisingkuwepo hapa kufanya mjadala kama isingekuwepo.
06:26
I'm excited to tell you about this latest technology we've developed.
127
386722
3471
Nina shauku ya kuwaambia kuhusu teknolojia mpya tuliyoendeleza
06:31
Central to our technology is a simple blood test.
128
391035
2702
Kiini cha teknolojia yetu ni kipimo rahisi cha damu
06:34
The blood circulatory system, while seemingly mundane,
129
394202
3730
Mfumo wa mzunguko wa damu, wakati unaonekana ni wa kawaida
06:37
is essential for you to survive,
130
397956
2330
ni muhimu sana kwa wewe kuishi
06:40
providing oxygen and nutrients to your cells,
131
400310
2505
kutoa hewa ya oksijeni na virutubisho kwa seli zako,
06:42
and removing waste and carbon dioxide.
132
402839
2605
na kuondoa taka na kaboni daioksidi
06:45
Here's a key biological insight:
133
405468
1853
Haya ni melezo ya msingi kibaolojia:
06:48
Cancer cells grow and die faster than normal cells,
134
408240
3083
Seli za saratani hukua na kufa haraka kuliko seli za kawaida,
06:51
and when they die,
135
411347
1196
na zinapokufa,
06:52
DNA is shed into the blood system.
136
412567
2721
DNA hunyambuka kwenye mfumo wa damu,
06:55
Since we know the signatures of these cancer cells
137
415312
2770
Kwakuwa tunajua alama ya seli hizi za saratani
06:58
from all the different cancer genome sequencing projects,
138
418106
2704
kwenye saratani tofauti za kazi za mfuatano wa genome
07:00
we can look for those signals in the blood
139
420834
2041
tunaweza kuona hivyo viashiria kwenye damu
07:02
to be able to detect these cancers early.
140
422899
2172
kuweza kugundua saratani hizi mapema.
07:06
So instead of waiting for cancers to be large enough to cause symptoms,
141
426229
3799
Hivyo badala ya kusubiri kwa saratani kuwa kubwa kiasi cha kuonyesha dalili,
07:10
or for them to be dense enough to show up on imaging,
142
430052
2899
au kwa zenyewe kujaa kiasi cha kuonekana kwa vipimo vya picha
07:12
or for them to be prominent enough
143
432975
2442
au kwa zenyewe kujitokeza vyakutosha
07:15
for you to be able to visualize on medical procedures,
144
435441
3240
kwa wewe kuweza kuziona kwenye mchakato wa kitabibu
07:18
we can start looking for cancers while they are relatively pretty small,
145
438705
3992
tunaweza kuanza kutafuta saratani zingali bado ndogo sana,
07:22
by looking for these small amounts of DNA in the blood.
146
442721
3604
kwa kuangalia hiki kiasi kidogo cha DNA kwenye damu.
07:27
So let me tell you how we do this.
147
447635
1675
Hivyo ngoja niwaambie tunavyofanya
07:29
First, like I said, we start off with a simple blood test --
148
449334
2864
Kwanza kama nilivyosema, tunaanza na kipimo rahisi cha damu--
07:32
no radiation, no complicated equipment --
149
452222
2575
bila mionzi, bila vifaa vya kutatanisha--
07:34
a simple blood test.
150
454821
1466
kipimo rahisi cha damu.
07:36
Then the blood is shipped to us,
151
456311
1536
Kisha damu huletwa kwetu,
07:37
and what we do is extract the DNA out of it.
152
457871
2389
na tunachofanya tunatoa DNA kutoka kwenye damu
07:40
While your body is mostly healthy cells,
153
460930
2396
Wwakati mwili wako una seli zenye afya
07:43
most of the DNA that's detected will be from healthy cells.
154
463350
3646
DNA nyingi zinazogundulika zinakuwa kutoka kwenye seli zenye afya.
07:47
However, there will be a small amount, less than one percent,
155
467654
3067
Ingawa kunaweza kuwa na kiasi kidogo, pungufu ya asilimia moja,
07:50
that comes from the cancer cells.
156
470745
1732
zinazotoka kwenye seli za saratani
07:53
Then we use molecular biology methods to be able to enrich this DNA
157
473365
4206
Kisha hutumia njia za molekyuli kibaolojia kurutubisha hii DNA
07:57
for areas of the genome which are known to be associated with cancer,
158
477595
4412
kwa maeneo ya genome ambayo hufahamika kuhusishwa na saratani.
08:02
based on the information from the cancer genomics projects.
159
482031
2953
kutokana na taarifa kutoka kwenye kazi za genome za saratani
08:05
We're able to then put this DNA into DNA-sequencing machines
160
485484
3877
Tunaweza kuweka hii DNA kwenye mashine za mfuatano wa DNA
08:09
and are able to digitize the DNA into A's, C's, T's and G's
161
489385
4690
na zinaweza kuweka DNA kidigitali kuwa A,C,T na G
08:14
and have this final readout.
162
494099
1598
na kufikia tamati kuzisoma
08:16
Ultimately, we have information of billions of letters
163
496271
5990
Hatimaye , tuna taarifa ya mabilioni ya herufi
08:22
that output from this run.
164
502285
3010
matokeo hayo kwa majaribio haya,
08:26
We then apply statistical and computational methods
165
506455
3220
Tunayatumia njia za kitakwimu na za ukokotoaji
08:29
to be able to find the small signal that's present,
166
509699
2672
kuweza kupata viashiria vidogo vilivyopo
08:32
indicative of the small amount of cancer DNA in the blood.
167
512395
3656
vinavyoonyesha kiasi kidogo cha DNA za saratani kwenye damu.
08:37
So does this actually work in patients?
168
517098
2425
Kwahiyo hii inafanya kazi kwa wagonjwa?
08:39
Well, because there's no way of really predicting right now
169
519547
3490
Hivyo, kwakuwa hakuna njia ya kutegemea kutabiri sasa hivi
08:43
which patients will get cancer,
170
523061
1508
wagonjwa wapi watapata saratani
08:44
we use the next best population:
171
524593
2057
tunatumia idadi bora inayofuata:
08:47
cancers in remission;
172
527261
1435
saratani zilizotulia:
08:49
specifically, lung cancer.
173
529372
2422
hususan, saratani ya mapafu
08:52
The sad fact is, even with the best drugs that we have today,
174
532225
3309
kinachosikitisha, pamoja na dawa bora tulizonazo hivi leo,
08:55
most lung cancers come back.
175
535558
2212
saratani nyingi za mapafu hurudi.
08:57
The key, then, is to see
176
537794
1300
kitu muhimu basi ni kuona
08:59
whether we're able to detect these recurrences of cancers
177
539118
3651
ikiwa tunaweza kugundua kujirudia huku kwa saratani
09:02
earlier than with standard methods.
178
542793
1867
mapema zaidi ya kutumia njia za kawaida
09:05
We just finished a major trial
179
545159
2377
Hivi karibuni tumemaliza jaribio kubwa
09:07
with Professor Charles Swanton at University College London,
180
547560
3747
pamoja na Profesa Charles Swaton kwenye Chuo kikuu London,
09:11
examining this.
181
551331
1166
kuchunguza hili.
09:12
Let me walk you through an example of one patient.
182
552521
2518
Ngoja niwaelekeze kupitia mfano wa mgonjwa mmoja.
09:16
Here's an example of one patient who undergoes surgery
183
556586
2827
Hapa ni mfano wa mgonjwa mmoja anayefanyiwa upasuaji
09:19
at time point zero,
184
559437
1168
kwa wakati nukta sifuri,
09:20
and then undergoes chemotherapy.
185
560629
2482
na kisha anapitia tibakemo inayotumia kemikali
09:23
Then the patient is under remission.
186
563529
2485
Kisha mgonjwa huingia kipindi cha ugonjwa kutulia
09:26
He is monitored using clinical exams and imaging methods.
187
566038
4609
Hufuatiliwa kwa kutumia njia za uchunguzi na picha
09:30
Around day 450, unfortunately, the cancer comes back.
188
570969
4903
ikifika siku ya 450, bahati mbaya saratani inarudi.
09:37
The question is: Are we able to catch this earlier?
189
577086
2485
Swali ni: tunaweza kuigundua mapema?
09:39
During this whole time, we've been collecting blood serially
190
579595
3745
Kwa kipindi chote hiki tumekuwa tukikusanya damu kwa mfululizo
09:43
to be able to measure the amount of ctDNA in the blood.
191
583364
3278
kuweza kupima kiasi cha ctDNA kwenye damu.
09:47
So at the initial time point, as expected,
192
587380
3297
Kwa muda cha awali , kama ilivyotegemewa
09:50
there's a high level of cancer DNA in the blood.
193
590701
3698
kuna kiwango kikubwa cha DNA ya saratani kwenye damu.
09:54
However, this goes away to zero in subsequent time points
194
594423
3667
Ingawa hii huenda kuwa sifuri katika pointi za muda unaofuata
09:58
and remains negligible after subsequent points.
195
598114
3457
na kubakia isiyo na umuhimu baada ya pointi zinazofuata
10:02
However, around day 340, we see the rise of cancer DNA in the blood,
196
602813
5273
Ingawa, karibia siku ya 340, tunaona ongezeko la DNA kwenye damu,
10:08
and eventually, it goes up higher for days 400 and 450.
197
608110
4565
na hatimaye inaongezeka kwa siku ya 400 na 450,
10:13
Here's the key, if you've missed it:
198
613235
2432
Hiki ni muhimu, kama ilikupita:
10:15
At day 340, we see the rise in the cancer DNA in the blood.
199
615691
4981
kwenye siku ya 340 tunaona ongezeko la DNA ya saratani kwenye damu.
10:20
That means we are catching this cancer over a hundred days earlier
200
620696
4216
Hii inamaanisha tunaikamata hii saratani zaidi ya siku mia moja mapema
10:24
than traditional methods.
201
624936
1477
kuliko njia zilizo zoeleka.
10:26
This is a hundred days earlier where we can give therapies,
202
626921
2813
Hii ni siku mia moja mapema ambapo tunaweza kutoa tiba,
10:29
a hundred days earlier where we can do surgical interventions,
203
629758
3319
siku mia moja mapema tunaweza kuzuia kwa kufanya upasuaji
10:33
or even a hundred days less for the cancer to grow
204
633101
3033
au hata pungufu ya siku mia moja kwa saratani kukua
10:36
or a hundred days less for resistance to occur.
205
636158
3122
au pungufu ya siku mia moja kwa usugu wa ugonjwa. kutokea
10:40
For some patients, this hundred days means the matter of life and death.
206
640502
4175
Kwa baadhi ya wagonjwa siku hizi mia moja ni suala la kufa au kupona
10:45
We're really excited about this information.
207
645237
2323
Tuna shauku kubwa kuhusu taarifa hii.
10:48
Because of this assignment, we've done additional studies now
208
648359
3097
Kwa sababu ya kazi hii tumefanya utafiti wa ziada sasa
10:51
in other cancers,
209
651480
1262
katika saratani nyingine
10:52
including breast cancer, lung cancer
210
652766
3335
ikijumuisha saratani ya matiti, mapafu
10:56
and ovarian cancer,
211
656125
1221
na saratani ya ovari,
10:57
and I can't wait to see how much earlier we can find these cancers.
212
657888
4350
nina hamu kubwa kuona ni mapema kiasi gani tutagundua saratani hizi.
11:04
Ultimately, I have a dream,
213
664174
1468
Hatimaye, nina ndoto,
11:06
a dream of two vials of blood,
214
666214
2266
ndoto ya vichupa viwili vya damu,
11:09
and that, in the future, as part of all of our standard physical exams,
215
669356
3865
na hiyo, mbeleni, kama sehemu ya uchunguzi wetu wa kawaida wa mwili,
11:13
we'll have two vials of blood drawn.
216
673245
1928
tutakuwa na vichupa 2 vilivyotolewa damu
11:15
And from these two vials of blood we will be able to compare
217
675641
3342
na kwenye vichupa hivi vya damu tutaweza kulinganisha
11:19
the DNA from all known signatures of cancer,
218
679007
3511
DNA kutoka kwenye alama zote za saratani
11:22
and hopefully then detect cancers months to even years earlier.
219
682542
3947
kwa matumaini ya kugundua saratani miezi au hata miaka mapema
11:27
Even with the therapies we have currently,
220
687179
2171
Hata pamoja na tiba tulizonazo sasa,
11:29
this could mean that millions of lives could be saved.
221
689374
2601
hii inamaanisha mamilioni ya maisha yanaweza kuokolewa.
11:31
And if you add on to that recent advancements in immunotherapy
222
691999
4171
na ukiongezea maendeleo hivi karibuni ya tiba ya kingamaradhi
11:36
and targeted therapies,
223
696194
1292
na tiba za kulenga
11:37
the end of cancer is in sight.
224
697510
2172
mwisho wa saratani unaonekana.
11:40
The next time you hear the word "cancer,"
225
700754
2157
Utakapo sikia tena neno "saratani"
11:42
I want you to add to the emotions: hope.
226
702935
2426
Nataka uongeze kwenye hisia: matumaini.
11:46
Hold on.
227
706123
1158
Subiri kwanza.
11:48
Cancer researchers all around the world are working feverishly
228
708162
3573
Watafiti wa saratani duniani wanafanya kazi kwa msisimko mkubwa
11:51
to beat this disease,
229
711759
1156
kuushinda ugonjwa huu
11:52
and tremendous progress is being made.
230
712939
2030
na maendeleo makubwa yanafanywa.
11:55
This is the beginning of the end.
231
715776
1968
Huu ni mwanzo wa mwisho wake.
11:58
We will win the war on cancer.
232
718200
2129
Tutashinda vita dhidi ya saratani.
12:00
And to me, this is amazing news.
233
720681
1864
Na kwangu, hizi ni habari za kustaajabu
12:03
Thank you.
234
723013
1167
Ahsanteni.
12:04
(Applause)
235
724204
4521
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7