An intergalactic guide to using a defibrillator | Todd Scott

52,692 views ・ 2017-05-09

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Clarence Bitegeko Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
Last year, I got a chance to watch the new "Star Wars" movie,
0
12486
2898
Mwaka jana, niliweza kutazama sinema mpya ya "Star Wars",
ilifana sana,
00:15
which was fantastic,
1
15408
1155
ila kitu kimoja kimenisumbua sana.
00:16
but one thing kept bugging me.
2
16587
1437
Sijui kama nyinyi mmekiona au la
00:18
I don't know if you noticed this or not.
3
18048
1932
katika ulimwengu huu wa kitekinolojia,
00:20
In this entirely technically advanced world,
4
20004
2080
sikuona hata AED moja pahala popote
00:22
I did not see a single AED anywhere,
5
22108
2162
00:24
which was totally shocking --
6
24294
1408
kitu ambacho kilishangaza sana
00:25
almost as shocking as not knowing what an AED is,
7
25726
2321
cha kushangaza kama kutokujua AED ni nini
ambayo nyinyi mwafahamu
00:28
which you guys do know.
8
28071
1393
00:29
But for those at home,
9
29488
1151
Lakini kwa walio nyumbani
00:30
an AED is an automated external defibrillator.
10
30663
3022
AED ni kifaa cha kupima na kurekebisha mapigo ya moyo
00:33
It's the device you use when your heart goes into cardiac arrest
11
33709
3058
ni kifaa unachotumia upatapo mshtuko wa moyo,
00:36
to shock it back into a normal rhythm,
12
36791
1980
kuurudisha katika mapigo ya kawaida,
00:38
or, as one of the guys I was teaching a class to referred to it as:
13
38795
3479
au kama mwanafunzi wangu mmoja alipenda kukiita
"Sanduku la moyo unaoshtuka"
00:42
"The shocky-hearty-box thing."
14
42298
1550
00:43
(Laughter)
15
43872
1657
(Kicheko)
00:45
But I really can't blame the Empire,
16
45553
2511
Lakini kwa kweli siwezi kuulaumu utawala
sababu kanuni za afya na usalama hakika
00:48
since health and safety regulations
17
48088
1668
00:49
aren't really their first order of business.
18
49780
2146
si mambo ya kipaumbele kwao
00:51
Though, even if we --
19
51950
2114
Ingawa, hata kama tuta --
00:54
I think worse than not having an AED would be if there was one there,
20
54088
3839
Nafikiri kibaya kuliko kukosa AED kingekuwa kama ingekuwepo moja pale
00:57
but just, no one knew where to find it.
21
57951
2048
lakini, hakuna anayejua wapi inapatikana
Vifaa hivi vinaweza kwa kiasi kikubwa kuongeza nafasi yako ya kuishi -
01:00
These devices can drastically increase your chance of survival --
22
60023
3790
01:03
almost like a tauntaun on Hoth.
23
63837
2610
yaani kama mijusi ya Hoth.
01:06
(Laughter)
24
66471
1022
(Kicheko)
01:07
But I'm pretty sure that stormtrooper is going to be toast,
25
67517
3178
Lakini nina uhakika stormtrooper atakauka tu,
01:10
regardless if we have an AED or not,
26
70719
2185
vyovyote vile tuwe na AED ama la
01:12
since what happens is the chest plate is going to be quite hard to get off,
27
72928
3717
sababu kitakachotokea ni kuwa vazi la kifuani litakuwa gumu kulivua
01:16
and like that tauntaun,
28
76669
1990
na kama yule mjusi
01:18
the AED has a very short window of time at which it's highly effective.
29
78683
3412
AED ina muda mfupi sana kuweza kuwa na ufanisi
01:22
In this case -- basically, we've got to use it within the first 10 minutes.
30
82119
4388
Kwa muktadha huu -- kimsingi, tunatakiwa kuitumia ndani ya dakika 10 za kwanza
01:26
The Jedi, on the other hand, have no problems with their outfits.
31
86531
3102
01:29
Those robes open straight up,
32
89657
1732
Mavazi yale hufunguka moja kwa moja juu
01:31
you can place the pads right onto the chest --
33
91413
2510
unaweza kuweka pedi moja kwa moja kifuani
01:33
so upper-right-hand side of the chest,
34
93947
1878
kwa hiyo upande wa juu-kulia wa kifua,
01:35
lower left,
35
95849
1159
chini kushoto
subiria kifaa kibaini kama ni mapigo yanayoweza kushtuliwa
01:37
wait for the unit to determine if it's a shockable rhythm
36
97032
3148
na kuwa tayari kushtua
01:40
and get ready to shock.
37
100204
1518
01:41
But, the Jedi do have a problem.
38
101746
1525
Lakini, Jedi wana tatizo.
01:43
They have a head appendage issue.
39
103295
1642
Wana minyiri vichwani.
01:44
And so I can be totally clear, thinking I'm ready to go,
40
104961
3195
Kwa hiyo naweza kuwa nafikiri niko tayari
01:48
but I'm accidentally touching a tentacle
41
108180
2250
lakini bahati mbaya nikagusa mnyiri
01:50
and inadvertently shocking myself.
42
110454
1911
na ghafla nikajishtua mwenyewe.
01:52
(Laughter)
43
112389
1420
[Kicheko]
01:53
So before you hit that button, make sure you are clear
44
113833
4538
Kwa hiyo kabla hujabonyeza kile kitufe, hakikisha uko salama
na kila mtu yuko salama
01:58
and everyone else is clear.
45
118395
1871
02:00
Going back to that stormtrooper:
46
120290
2477
Tukirudi kwa stormtrooper
02:02
If I did get that chest plate off in time,
47
122791
2398
kama ningeweza kutoa lile vazi la kifuani ndani ya muda
02:05
what would you do if you suddenly found there was a Wookiee under there,
48
125213
3830
utafanyaje kama ghafla utakuta kuna Wookiee mule ndani
[Kicheko] au pengine Ewok mmoja au wawili?
02:09
or possibly two Ewoks?
49
129067
2508
02:11
(Laughter)
50
131599
1351
(Kicheko)
02:12
Well, lucky for us,
51
132974
1273
Naam, bahati nzuri kwetu,
02:14
in the kit there's actually a razor,
52
134271
2200
ndani ya kisanduku kuna wembe,
02:16
and we can use that to shave the chest on the upper right-hand side
53
136495
3555
na tunaweza kuutumia kunyoa nywele za kifuani za upande wa juu kulia
02:20
and the lower left.
54
140074
1529
na chini kushoto.
02:22
Wookiees also have another problem.
55
142571
1746
Wookiees pia wana tatizo jingine.
Wana viambata vingi.
02:24
They have an accessory issue.
56
144341
1428
02:25
What we want to do is remove these --
57
145793
2556
Tunachotaka kufanya ni kuviondoa --
02:28
anything between the two pads we want to remove,
58
148373
3415
chochote kati ya pedi mbili tunataka kukiondoa
02:31
since it can cause something called "arcing."
59
151812
2187
sababu kinaweza kusababisha kitu kinaitwa "shoti ya umeme"
02:34
For those who don't know what arcing is,
60
154023
1950
Kwa wale wasiojua shoti,
02:35
do you remember the Emperor,
61
155997
1413
mnamkumbuka Mfalme,
anaporusha umeme kutoka ncha za vidole vyake --
02:37
when he shoots electricity out the ends of his fingers --
62
157434
2736
[Kicheko]
ule ndio mfano wa shoti ya umeme
02:40
(Laughter)
63
160194
1013
02:41
that would be kind of like arcing.
64
161231
1631
02:42
Another thing that --
65
162886
1151
Kitu kingine --
Oh! Pamoja na hayo, anafanya vile kwa kuvaa soksi ya sufu kwenye vazi lake
02:44
Oh! By the way, he creates that by wearing wool socks under his robes.
66
164061
3329
(Kicheko)
02:47
(Laughter)
67
167414
1008
Tunaweza pia kupata shoti ya umeme kama tuna kifua kilicholowana sana
02:48
We can also get arcing if we have an extremely wet chest.
68
168446
3117
02:51
The electricity travels across the surface instead of through the heart.
69
171587
3443
Umeme utatembea juu ya kifua badala ya kupitia kwenye moyo.
Tunaweza kurekebisha hii kwa maneno yasiyosahaulika ya Douglas Adams "Usihofu"
02:55
We can correct this with the immortal words of Douglas Adams:
70
175054
2899
02:57
"Don't panic," which most of us have done today --
71
177977
2770
ambavyo wengi wetu tumefanya leo --
03:00
and also always having a towel.
72
180771
2245
na pia daima kuwa na taulo.
Hivyo, maneno mazuri ya kukumbuka.
03:03
So, good words to go by.
73
183040
2007
03:05
The metal bikini -- unfortunately, this is where panic sets in --
74
185071
3759
Bikini ya chuma -- bahati mbaya, hapa ndipo hofu huanza --
03:08
like the modern bra,
75
188854
1202
kama sidiria ya kisasa,
tunatakiwa kuhakikisha tumeondoa,
03:10
we have to make sure we remove,
76
190080
1869
03:11
because this can cause severe arcing along with burns.
77
191973
4871
kwa sababu hii inaweza kusababisha shoti kubwa pamoja na kuungua.
03:16
But unfortunately this opens up an issue
78
196868
2353
Lakini kwa bahati mbaya hii inafungua mjadala mwingine
03:19
that's almost as controversial as talking about the prequels.
79
199245
2923
ambalo ni wa utata kama kuongelea matukio ya awali
03:22
(Laughter)
80
202192
1096
(Kicheko)
03:23
The mere mention of the word "nipples,"
81
203312
1886
Kutaja tu neno "chuchu,"
03:25
and people get into a little bit of a tizzy.
82
205222
2144
watu wanapagawa
03:27
By the way, that is not a nipple, that's a cupcake.
83
207390
2451
Pamoja na hayo, ile siyo chuchu, ile ni keki ndogo.
03:29
(Laughter)
84
209865
2423
(Kicheko)
03:32
Chances are, if you do have to use this,
85
212312
2873
Uwezekano ni kuwa, kama utahitaji kukitumia,
itakuwa kwa mtu unayemfahamu.
03:35
this is going to be on someone you know.
86
215209
1938
Na kumbuka kila mtu ana chuchu,
03:37
And remember, everyone has nipples,
87
217171
1700
03:38
except for Jabba.
88
218895
1168
isipokuwa kwa Jabba.
(Kicheko)
03:40
(Laughter)
89
220087
1265
Lakini anapenda keki ndogo.
03:41
But he does love cupcakes.
90
221376
2188
03:43
Speaking about Jabba,
91
223588
1151
Kumwongelea Jabba,
03:44
if we do have to use an AED on him,
92
224763
2516
ikiwa tunatakiwa kutumia AED kwake,
03:47
remember pad placement is the same,
93
227303
1842
kumbuka uwekaji wa pedi ni ule ule,
ingawa hana chuchu.
03:49
even though he doesn't have nipples.
94
229169
1781
03:50
So it's going to be upper right-hand side, lower left.
95
230974
3123
Kwa hiyo itakuwa upande wa juu kulia, chini kushoto
03:54
If we were going through, we're shocking, getting ready to go --
96
234121
3172
Kama tunaendelea na zoezi, tunakuwa tayari
Tukimaliza kushtua,
03:57
after we've done the shock,
97
237317
1347
03:58
one of the things we need to do is remember to do compression.
98
238688
3046
kitu tunachopaswa kufanya kumbuka ni kumkandamiza
04:01
The preferred method is 30 compressions and two breaths
99
241758
3632
Njia nzuri ni kukandamiza mara 30 kumpa pumzi mara mbili
04:05
in the center of the chest, between the nipples,
100
245414
2513
katikati ya kifua, kati ya chuchu,
04:07
pressing down at least two inches,
101
247951
1829
kukandamiza chini angalau inchi mbili,
04:09
no more than two and a half,
102
249804
1944
si zaidi ya mbili na nusu,
04:11
at a rate of at least 100 beats a minute,
103
251772
3023
kwa kiwango cha angalau mapigo 100 kwa dakika,
04:14
no more than 120.
104
254819
1675
si zaidi ya 120.
04:17
Unfortunately, due to the size of Jabba's mouth
105
257770
2832
Bahati mbaya, kutokana na ukubwa wa mdomo wa Jabba
04:20
and also what he puts in said mouth,
106
260626
1765
na pia anachoweka mdomoni,
04:22
we may not want to actually do the mouth-to-mouth part.
107
262415
4433
tunaweza tusitake kufanya sehemu ya mdomo-kwa-mdomo.
04:26
So instead, we can do compression-only CPR.
108
266872
2481
Badala yake tunaweza kufanya CPR ya mkandamizo pekee.
04:29
The way of remembering the compression-only part
109
269377
2440
Njia ya kukumbuka sehemu ya mgandamizo pekee
04:31
is we can actually use the Imperial March.
110
271841
2819
tunaweza kutumia tuni ya Gwaride la Kifalme
04:34
I would sing it for you --
111
274684
1917
Ningewaimbia
[Kicheko]
04:36
(Laughter)
112
276625
1441
04:38
Unfortunately, that would be more something an interrogation droid would do.
113
278090
4857
Kwa bahati mbaya, hiyo ingeweza kufanywa sana sana na roboti wa mahojiano.
04:42
Yoda.
114
282971
1222
Yoda.
Kajamaa kadogo, kama katoto.
04:44
Small little guy, like a baby.
115
284217
1655
04:45
What we do is basically treat him like a baby,
116
285896
2435
Tunachofanya, kimsingi ni kumchukulia kama mtoto
04:48
in the sense that we're going to place one pad in the center of the chest
117
288355
3524
Kwa maana ya kuwa tunaweka pedi moja katikati ya kifua
04:51
and one in the back.
118
291903
1151
na moja nyuma.
Kama tutaweka zote mbele,
04:53
If we place them both in the front,
119
293078
1668
04:54
they can be too close and cause severe arcing,
120
294770
2570
zinaweza kuwa karibu sana zikasababisha shoti kubwa
04:57
so we want to avoid that.
121
297364
1485
kwa hiyo tunataka kuepuka hiyo.
04:58
Hopefully, this helped to clarify
122
298873
2127
Natumaini, hii imesaidia kufafanua
05:01
and put some light on some of the darker issues
123
301024
2302
na kuleta mwanga kwa maswala yaliyokuwa kiza
05:03
of using an AED in the Star Wars universe,
124
303350
2220
juu ya kutumia AED katika ulimwengu wa "Star Wars"
05:05
or any universe in total.
125
305594
1464
au ulimwengu wowote kwa ujumla.
05:07
I'll leave you with one point.
126
307082
1441
Nawaacha na jambo moja.
05:08
Remember, if you do find yourself dealing with a Wookiee,
127
308547
2792
Kumbuka, kama utajikuta unashughulika na Wookiee
05:11
do not shave the entire Wookiee.
128
311363
1648
Usimnyoe mwili mzima.
Hii itachukua muda mwingi sana,
05:13
This takes way too much time,
129
313035
1466
05:14
and it only pisses them off.
130
314525
1488
na itawakasirisha.
(Kicheko)
05:16
(Laughter)
131
316037
1008
Asanteni sana.
05:17
Thank you very much.
132
317069
1164
[Makofi na Vifijo]
05:18
(Applause)
133
318257
2529
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7