The healing power of reading | Michelle Kuo

246,032 views ・ 2019-07-09

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Miriam Loivotoki Elisha Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
I want to talk today about how reading can change our lives
0
12917
5476
Ninataka kuzungumza namna kusoma kunavyoweza kubadilisha maisha yetu
00:18
and about the limits of that change.
1
18417
2375
na kuhusu mipaka ya mabadiliko hayo
00:21
I want to talk to you about how reading can give us a shareable world
2
21750
4268
Ninataka kuzungumza na wewe namna kusoma kunavyoweza kutupa ulimwengu wa ushirika
00:26
of powerful human connection.
3
26042
2708
wa muunganiko wenye nguvu wa kibinadamu
00:29
But also about how that connection is always partial.
4
29833
3560
pia namna ambavyo muunganiko huo ni sehemu tu mara zote
00:33
How reading is ultimately a lonely, idiosyncratic undertaking.
5
33417
5083
Kusoma mwisho wa siku ni kitendo cha upweke na kisicho cha kawaida.
00:39
The writer who changed my life
6
39625
2851
Muandishi aliyebadilisha maisha yangu
00:42
was the great African American novelist James Baldwin.
7
42500
4434
Ni mmarekani mweusi na mwandishi wa riwaya James Baldwin
00:46
When I was growing up in Western Michigan in the 1980s,
8
46958
3268
Wakati ninakuwa katika eneo la Magharibi mwa Michigan miaka ya 1980,
00:50
there weren't many Asian American writers interested in social change.
9
50250
3917
hakukuwa na wamarekani wenye asili ya asia wengi wanaoandika kuhusu mabadiliko ya kijamii
00:55
And so I think I turned to James Baldwin
10
55292
3226
Na ndio maana nilimgeukia James Baldwin
00:58
as a way to fill this void, as a way to feel racially conscious.
11
58542
4041
kama namna ya kuliziba hili ombwe, kama namna ya kuwamakini na rangi
01:03
But perhaps because I knew I wasn't myself African American,
12
63958
3976
lakini haswa kwa sababu nilifahamu mimi sikuwa mmarekani mweusi,
01:07
I also felt challenged and indicted by his words.
13
67958
4518
Pia nilisikia kupata changamoto na kuthibitishwa na maneno yake.
01:12
Especially these words:
14
72500
2125
Hasusani maneno haya:
01:15
"There are liberals who have all the proper attitudes,
15
75458
3601
"Ni watu huria walio na mitazamo sahihi,
01:19
but no real convictions.
16
79083
1959
lakini hawana misimamo halisi.
01:22
When the chips are down and you somehow expect them to deliver,
17
82083
3935
pale ambapo vipande vipo chini na unawategemea kuleta matokeo,
01:26
they are somehow not there."
18
86042
2476
na huenda hawako hapo kwa namna fulani".
01:28
They are somehow not there.
19
88542
2809
Hawako hapo kwa namna fulani.
01:31
I took those words very literally.
20
91375
2351
Nikayachukua hayo maneno nikitafakari.
01:33
Where should I put myself?
21
93750
1708
Nijiweke wapi?
01:36
I went to the Mississippi Delta,
22
96500
2018
Nilikwenda kwenye delta ya Mississippi,
01:38
one of the poorest regions in the United States.
23
98542
3142
mojawapo ya maeneo masikini sana ya Marekani.
01:41
This is a place shaped by a powerful history.
24
101708
2893
Hii ni sehemu ambayo imejengwa na historia yenye nguvu.
01:44
In the 1960s, African Americans risked their lives to fight for education,
25
104625
5143
Katika mwaka wa 1960, Wamarekani weusi walijitoa maisha yao kupigania Elimu,
01:49
to fight for the right to vote.
26
109792
1708
kupigania haki ya kupiga kura.
01:52
I wanted to be a part of that change,
27
112625
2434
Nilitaka kuwa sehemu ya badiliko hilo,
01:55
to help young teenagers graduate and go to college.
28
115083
3709
kuwasaidia vijana wadogo wamalize shule na kujiunga na vyuo.
02:00
When I got to the Mississippi Delta,
29
120250
2726
Nilipoenda kwenye Delta ya Mississipi,
02:03
it was a place that was still poor,
30
123000
2434
Palikuwa ni mahali duni bado,
02:05
still segregated,
31
125458
1726
bado pametengwa,
02:07
still dramatically in need of change.
32
127208
2542
Bado panahitaji mabadiliko ya kasi.
02:10
My school, where I was placed,
33
130958
3435
Shule yangu, pale nilipokuwa nasoma,
02:14
had no library, no guidance counselor,
34
134417
4309
haikuwa na maktaba, hakuna mshauri,
02:18
but it did have a police officer.
35
138750
2976
lakini ilikuwa na afisa wa polisi.
02:21
Half the teachers were substitutes
36
141750
2559
Nusu ya walimu walikuwa ni mbadala
02:24
and when students got into fights,
37
144333
1976
na wanafunzi walipoingia kwenye ugomvi,
02:26
the school would send them to the local county jail.
38
146333
3875
Shule iliwapeleka kwenye jela ya mahali hapo.
02:32
This is the school where I met Patrick.
39
152250
2976
Hii ndiyo shule nilipokutana na Patrick.
02:35
He was 15 and held back twice, he was in the eighth grade.
40
155250
4934
Alikuwa na miaka 15 na alikamatwa mara mbili, alikuwa darasa la nane.
02:40
He was quiet, introspective,
41
160208
2476
Alikuwa ni mkimya na mndani,
02:42
like he was always in deep thought.
42
162708
2810
ni kama kila wakati alikuwa mwenye mawazo.
02:45
And he hated seeing other people fight.
43
165542
2791
Na alichukia kuona wengine wakipigana.
02:49
I saw him once jump between two girls when they got into a fight
44
169500
3809
Nilimuona mara moja akiruka kati ya mabinti wawili walipokuwa wakipigana
02:53
and he got himself knocked to the ground.
45
173333
2709
Na akajikuta akidondoka na kuanguka chini.
02:57
Patrick had just one problem.
46
177375
2518
Patrick alikuwa na tatizo moja.
02:59
He wouldn't come to school.
47
179917
1791
Hakuwa akifika shuleni.
03:03
He said that sometimes school was just too depressing
48
183249
2477
Alisema kuwa shule wakati mwingine humfanya kuwa na msongo
03:05
because people were always fighting and teachers were quitting.
49
185750
3042
Sababu wanafunzi hupigana mara zote na walimu wanaondoka.
03:10
And also, his mother worked two jobs and was just too tired to make him come.
50
190042
5458
Lakini pia, mama yake anafanya kazi mbili na huwa anachoka kuweza kumfanya aje shule.
03:16
So I made it my job to get him to come to school.
51
196417
2767
Hivyo nikafanya iwe kazi yangu kumfanya awe anakuja shule.
03:19
And because I was crazy and 22 and zealously optimistic,
52
199208
4060
Na sababu nilikuwa na wazimu na miaka 22 na mwenye bidii ya matumaini
03:23
my strategy was just to show up at his house
53
203292
2142
Njia yangu ilikuwa ni kwenda nyumbani kwao
03:25
and say, "Hey, why don't you come to school?"
54
205458
2125
na kusema "Eti, kwanini hauji shuleni?"
03:28
And this strategy actually worked,
55
208542
1642
Na njia hii ilifanya kazi,
03:30
he started to come to school every day.
56
210208
2435
akaanza kuja shuleni kila siku.
03:32
And he started to flourish in my class.
57
212667
2392
Na akaanza kufanikiwa katika darasa langu.
03:35
He was writing poetry, he was reading books.
58
215083
2917
Aliandika mashairi, alisoma vitabu.
03:38
He was coming to school every day.
59
218917
2291
Alikuja shuleni kila siku.
03:43
Around the same time
60
223042
1476
takriban muda ule ule
03:44
that I had figured out how to connect to Patrick,
61
224542
2684
Nilipogundua namna ya kushirikiana na Patrick,
03:47
I got into law school at Harvard.
62
227250
2208
Nilikwenda shule ya sheria Harvard.
03:51
I once again faced this question, where should I put myself,
63
231583
3351
Nilikutana tena na swali hili, nijiweke wapi,
03:54
where do I put my body?
64
234958
1709
niuweke wapi mwili wangu?
03:57
And I thought to myself
65
237458
2643
Na nikawaza mwenyewe
04:00
that the Mississippi Delta was a place where people with money,
66
240125
3518
Kuwa Mississipi Delta ni mahali ambapo watu wenye fedha,
04:03
people with opportunity,
67
243667
1892
watu wenye fursa,
04:05
those people leave.
68
245583
1250
watu hao huondoka.
04:07
And the people who stay behind
69
247875
1434
Na watu wanaobakia
04:09
are the people who don't have the chance to leave.
70
249333
2500
ni watu ambao hawana fursa ya kuondoka.
04:12
I didn't want to be a person who left.
71
252833
2268
Sikutaka kuwa mtu anayeondoka.
04:15
I wanted to be a person who stayed.
72
255125
2042
Nilitaka kuwa mtu anayebakia.
04:18
On the other hand, I was lonely and tired.
73
258333
2935
Kwa upande mwingine, nilikuwa mpweke na mchovu.
04:21
And so I convinced myself that I could do more change
74
261292
3458
Na hivyo nilijishawishi mwenyewe kuwa ninaweza kufanya mabadiliko
04:26
on a larger scale if I had a prestigious law degree.
75
266125
3583
Kwa kiasi kikubwa kama ningekuwa na shahada yenye heshima ya sheria.
04:31
So I left.
76
271541
1250
Hivyo nikaondoka.
04:34
Three years later,
77
274750
1601
Miaka mitatu baadaye,
04:36
when I was about to graduate from law school,
78
276375
2393
Nilipokaribia kuhitimu shule ya sheria,
04:38
my friend called me
79
278792
1726
rafiki yangu alinipigia simu
04:40
and told me that Patrick had got into a fight and killed someone.
80
280542
4916
na kuniambia kuwa Patrick amepigana na kuua mtu.
04:47
I was devastated.
81
287333
2060
Nilitaharuki.
04:49
Part of me didn't believe it,
82
289417
2434
Sehemu ya mimi haikuamini,
04:51
but part of me also knew that it was true.
83
291875
2667
na sehemu ya mimi pia iliamini kuwa ni kweli.
04:55
I flew down to see Patrick.
84
295583
2000
Nilisafiri kwenda kumuona Patrick.
04:58
I visited him in jail.
85
298750
2708
Nilimtembelea gerezani.
05:02
And he told me that it was true.
86
302542
3642
Na aliniambia kuwa ilikuwa kweli.
05:06
That he had killed someone.
87
306208
2393
Ya kwamba ameua mtu.
05:08
And he didn't want to talk more about it.
88
308625
2250
Na asingependa kuzungumzia suala hilo.
05:11
I asked him what had happened with school
89
311833
2018
Nilimuuliza nini kiliendelea kuhusu shule
05:13
and he said that he had dropped out the year after I left.
90
313875
4143
na akasema aliacha shule mwaka mooja baada ya mimi kuondoka.
05:18
And then he wanted to tell me something else.
91
318042
2642
Na alitaka kuniambia kuhusu kitu kingine
05:20
He looked down and he said that he had had a baby daughter
92
320708
3268
Alitazama chini akasema ya kwamba amepata mtoto wa kike
05:24
who was just born.
93
324000
1768
ambaye ndiye kwanza amezaliwa.
05:25
And he felt like he had let her down.
94
325792
2583
Na anahisi kuwa amemuangusha binti yake.
05:30
That was it, our conversation was rushed and awkward.
95
330625
3375
Hivyo ndivyo ilivyokuwa, mazungumzo yetu yalikuwa ya haraka na mabaya.
05:35
When I stepped outside the jail, a voice inside me said,
96
335417
5059
Nilipotoka nje ya gereza, sauti ndani yangu iliniambia,
05:40
"Come back.
97
340500
1268
"Rudi.
05:41
If you don't come back now, you'll never come back."
98
341792
3291
Usiporudi sasa, hutarudi kamwe".
05:48
So I graduated from law school and I went back.
99
348292
3583
Hivyo nikahitimu shule ya sheria na nikarudi.
05:52
I went back to see Patrick,
100
352833
1685
Nikarudi kumuona Patrick,
05:54
I went back to see if I could help him with his legal case.
101
354542
2958
Nikarudi kuona kama ninaweza kumsaidia na kesi yake ya sheria.
05:58
And this time, when I saw him a second time,
102
358917
3351
Muda huu, nilipomuona kwa mara ya pili,
06:02
I thought I had this great idea, I said,
103
362292
2267
Nilidhani nina hili wazo zuri, nikamwambia,
06:04
"Hey, Patrick, why don't you write a letter to your daughter,
104
364583
3601
"Hey, Patrick, kwanini usiandike barua kwa binti yako,
06:08
so that you can keep her on your mind?"
105
368208
3768
ili uweze kumuweka katika fikra zako?"
06:12
And I handed him a pen and a piece of paper,
106
372000
3684
Nikampatia kalamu na kipande cha karatasi,
06:15
and he started to write.
107
375708
1625
na akaanza kuandika.
06:18
But when I saw the paper that he handed back to me,
108
378542
2809
Lakini nilipoiona karatasi aliyonipatia,
06:21
I was shocked.
109
381375
1333
Nilipigwa na butwaa.
06:25
I didn't recognize his handwriting,
110
385000
2101
Sikuutambua mwandiko wake,
06:27
he had made simple spelling mistakes.
111
387125
2833
alikuwa amefanya makosa machache ya matamshi.
06:31
And I thought to myself that as a teacher,
112
391167
2684
na nikawaza mwenyewe kama mwalimu,
06:33
I knew that a student could dramatically improve
113
393875
3476
Ninafahamu ya kuwa mwanafunzi anaweza kufanya vizuri kwa kasi
06:37
in a very quick amount of time,
114
397375
3059
Kwa muda mfupi sana,
06:40
but I never thought that a student could dramatically regress.
115
400458
3667
lakini sikuwahi kuwaza kuwa mwanafunzi anaweza kurudi nyuma kwa kasi.
06:46
What even pained me more,
116
406375
1893
kilichoniumiza zaidi,
06:48
was seeing what he had written to his daughter.
117
408292
3184
ni kuona kile alichokiandika kwa binti yake.
06:51
He had written,
118
411500
1393
aliandika,
06:52
"I'm sorry for my mistakes, I'm sorry for not being there for you."
119
412917
4291
"Ninasikitika kwa makosa yangu, ninasikitika kutokuwa pamoja nawe."
06:58
And this was all he felt he had to say to her.
120
418458
2834
Na hiki ndicho alichojisikia anataka kusema naye.
07:02
And I asked myself how can I convince him that he has more to say,
121
422250
4309
Nikajiuliza ni namna gani ninaweza kumshawishi kuwa anaweza kumwambia zaidi,
07:06
parts of himself that he doesn't need to apologize for.
122
426583
3417
ile sehemu yake ambayo hahitaji kuomba radhi kwayo.
07:10
I wanted him to feel
123
430958
1268
Nilitaka yeye ajisikie
07:12
that he had something worthwhile to share with his daughter.
124
432250
3958
kuwa anakitu cha thamani kumshirikisha binti yake.
07:17
For every day the next seven months,
125
437917
3184
Kwa kila siku kwa miezi saba iliyofuatia,
07:21
I visited him and brought books.
126
441125
2684
Nilimtembelea na kumpelekea vitabu.
07:23
My tote bag became a little library.
127
443833
3851
Mkoba wangu uligeuka kuwa maktaba ndogo.
07:27
I brought James Baldwin,
128
447708
2060
Nilimpelekea James Baldwin,
07:29
I brought Walt Whitman, C.S. Lewis.
129
449792
4892
Nilipeleka Walt Whitman, C.S.Lewis.
07:34
I brought guidebooks to trees, to birds,
130
454708
4810
Nilileta vitabu vya mwongozo wa miti, wa ndege,
07:39
and what would become his favorite book, the dictionary.
131
459542
3208
na kitabu alichotokea kukipenda zaidi, kamusi.
07:43
On some days,
132
463667
1684
Kwa baadhi ya siku,
07:45
we would sit for hours in silence, both of us reading.
133
465375
3792
tulikaa kimya kwa masaa, wote wawili tukisoma.
07:50
And on other days,
134
470083
1851
Na siku nyingine,
07:51
we would read together, we would read poetry.
135
471958
3518
tulisoma pamoja, tulisoma mashairi.
07:55
We started by reading haikus, hundreds of haikus,
136
475500
3893
tulianza kwa kusoma haikus, mamia ya haikus,
07:59
a deceptively simple masterpiece.
137
479417
2892
ni kito rahisi na danganyifu.
08:02
And I would ask him, "Share with me your favorite haikus."
138
482333
2810
Na ningemuuliza, "Nishirikishe haiku zako unazozipenda".
08:05
And some of them are quite funny.
139
485167
3059
Na baadhi yake ni za kufurahisha sana.
08:08
So there's this by Issa:
140
488250
1851
Kuna hii ya Issa:
08:10
"Don't worry, spiders, I keep house casually."
141
490125
3708
"Usijali, buibui, ninaweka nyumba kikawaida."
08:14
And this: "Napped half the day, no one punished me!"
142
494750
4542
Na hii: "Nimelala nusu ya siku, na hakuna aliyeniadhibu!"
08:20
And this gorgeous one, which is about the first day of snow falling,
143
500667
4434
Na hii nyingine ya kuvutia, inayohusu siku ya kwanza barafu ilipodondoka,
08:25
"Deer licking first frost from each other's coats."
144
505125
4458
"Kulungu wakilamba baridi ya kwanza kutoka kwenye koti la kila mmoja wao."
08:31
There's something mysterious and gorgeous
145
511250
3018
Kuna kitu cha ajabu na cha kuvutia
08:34
just about the way a poem looks.
146
514292
2642
kuhusu namna shairi linavyoonekana.
08:36
The empty space is as important as the words themselves.
147
516958
4625
Nafasi ya shairi ni muhimu kama maneno yenyewe.
08:43
We read this poem by W.S. Merwin,
148
523375
2518
Tunasoma shairi hili lililoandikwa na W.S.Merwin,
08:45
which he wrote after he saw his wife working in the garden
149
525917
4226
ambalo aliliandika baada ya kumuona mkewe akifanya kazi kwenye bustani
08:50
and realized that they would spend the rest of their lives together.
150
530167
3875
na akakumbuka kuwa wataishi maisha yao yote yaliyobaki wakiwa pamoja.
08:55
"Let me imagine that we will come again
151
535167
2351
"Wacha nifikiri kuwa tutakuja tena
08:57
when we want to and it will be spring
152
537542
3392
tutakapotaka na itakuwa wakati wa masika
09:00
We will be no older than we ever were
153
540958
3185
hatutakuwa na umri mkubwa kuliko tulivyowahi kuwa
09:04
The worn griefs will have eased like the early cloud
154
544167
3934
na majonzi yatakuwa mepesi kama mawingu ya mapema
09:08
through which morning slowly comes to itself"
155
548125
3768
ambayo kwayo asubuhi huja yenyewe taratibu"
09:11
I asked Patrick what his favorite line was, and he said,
156
551917
3392
Nikamuuliza Patrick mstari alioupenda zaidi ni upi, na akasema
09:15
"We will be no older than we ever were."
157
555333
3542
"Hatutakuwa na umri mkubwa kuliko tulivyokuwa."
09:20
He said it reminded him of a place where time just stops,
158
560375
4434
Alisema inamkumbusha mahali ambapo muda husimama,
09:24
where time doesn't matter anymore.
159
564833
2935
pale ambapo muda haumaanishi kitu chochote.
09:27
And I asked him if he had a place like that,
160
567792
2059
Na nikamuuliza kama amewahi kuwa na mahali pa jinsi hiyo.
09:29
where time lasts forever.
161
569875
2393
pale ambapo muda hudumu milele.
09:32
And he said, "My mother."
162
572292
1666
Na akasema, "Mama yangu".
09:35
When you read a poem alongside someone else,
163
575875
4309
Na pale unaposoma shairi pamoja na mtu mwingine,
09:40
the poem changes in meaning.
164
580208
1875
shairi hubadilika katika maana.
09:43
Because it becomes personal to that person, becomes personal to you.
165
583333
4667
Kwa sababu huwa la kibinafsi kwa mtu huyo, huwa la kibinafsi kwako.
09:49
We then read books, we read so many books,
166
589500
2684
Halafu tulisoma vitabu, tulisoma vitabu vingi sana,
09:52
we read the memoir of Frederick Douglass,
167
592208
3143
tulisoma kumbukumbu za Frederick Douglass,
09:55
an American slave who taught himself to read and write
168
595375
3601
Mtumwa wa Marekani aliyejifunza mwenyewe kusoma na kuandika
09:59
and who escaped to freedom because of his literacy.
169
599000
3333
na aliyetoroka na kuwa huru sababu ya kuelimika kwake.
10:03
I had grown up thinking of Frederick Douglass as a hero
170
603875
2643
Nimekua nikimfikiria Frederick Douglass kama shujaa
10:06
and I thought of this story as one of uplift and hope.
171
606542
3208
na niliiona hii simulizi kama iliyojaa matumaini na yenye kuinua
10:10
But this book put Patrick in a kind of panic.
172
610917
2833
Lakini kitabu hiki kilimuweka Patrick katika hofu.
10:14
He fixated on a story Douglass told of how, over Christmas,
173
614875
5059
Alibakia katika simulizi aliyoielezea Douglass jinsi ambavyo, katika Christmas,
10:19
masters give slaves gin
174
619958
3101
Mabwana waliwapa watumwa jini(pombe kali)
10:23
as a way to prove to them that they can't handle freedom.
175
623083
3476
kama namna ya kuwaaminisha kuwa hawawezi kuumudu uhuru.
10:26
Because slaves would be stumbling on the fields.
176
626583
2792
Kwa sababu watumwa waliweweseka katika mashamba.
10:31
Patrick said he related to this.
177
631500
2000
Patrick alisema anajifananisha na hili.
10:34
He said that there are people in jail who, like slaves,
178
634333
3476
Alisema kuwa kuna watu gerezani ambao, kama watumwa,
10:37
don't want to think about their condition,
179
637833
2226
hawataki kuwaza juu ya hali zao,
10:40
because it's too painful.
180
640083
1810
kwa sababu inawaumiza sana.
10:41
Too painful to think about the past,
181
641917
2184
Inaumiza sana kuwaza mambo ya nyuma,
10:44
too painful to think about how far we have to go.
182
644125
3333
inaumiza sana kuwaza kuhusu umbali gani tunapaswa kwenda.
10:48
His favorite line was this line:
183
648958
2893
Mstari alioupenda sana ulikuwa huu:
10:51
"Anything, no matter what, to get rid of thinking!
184
651875
3601
"Chochote kile, bila kujali chochote, kujiondoa katika kuwaza!
10:55
It was this everlasting thinking of my condition that tormented me."
185
655500
5042
Ilikuwa ni huku kuwaza kusiko koma kuhusu hali yangu ndiko kunako kipa mateso."
11:01
Patrick said that Douglass was brave to write, to keep thinking.
186
661958
3959
Patrick alisema Douglass alikuwa jasiri kuandika, ili aendelee kuwaza.
11:07
But Patrick would never know how much he seemed like Douglass to me.
187
667083
5560
Lakini Patrick hakufahamu kuwa alionekana kufanana sana na Douglass kwangu.
11:12
How he kept reading, even though it put him in a panic.
188
672667
3750
Namna alivyoendelea kusoma, ijapokuwa ilimuweka katika hofu.
11:17
He finished the book before I did,
189
677250
3059
Alimaliza kitabu kabla yangu,
11:20
reading it in a concrete stairway with no light.
190
680333
3709
akisoma katika ngazi za zege zisizo na taa.
11:25
And then we went on to read one of my favorite books,
191
685583
2726
Halafu tukaendelea kusoma mojawapo ya vitabu ninavyovipenda,
11:28
Marilynne Robinson's "Gilead,"
192
688333
2185
Cha Marilynne Robinson's "Gilead,"
11:30
which is an extended letter from a father to his son.
193
690542
4142
ambayo ni barua endelevu kutoka kwa baba kwenda kwa mwanae.
11:34
He loved this line:
194
694708
2351
Alipenda mstari huu:
11:37
"I'm writing this in part to tell you
195
697083
2185
"Ninaandika hii kwa sehemu kukuambia
11:39
that if you ever wonder what you've done in your life ...
196
699292
3309
ya kwamba kama umewahi kujiuliza kile umekifanya katika maisha yako...
11:42
you have been God's grace to me,
197
702625
2018
umekuwa neema ya Mungu kwangu,
11:44
a miracle, something more than a miracle."
198
704667
3166
muujiza, kitu ambacho ni zaidi ya muujiza."
11:49
Something about this language, its love, its longing, its voice,
199
709375
5643
Kitu kimoja kuhusu hii lugha, upendo wake, subira yake, sauti yake,
11:55
rekindled Patrick's desire to write.
200
715042
2458
iliamsha shauku ya Patrick katika kuandika.
11:58
And he would fill notebooks upon notebooks
201
718292
3101
Na alijaza daftari kwa daftari
12:01
with letters to his daughter.
202
721417
3309
na barua kwenda kwa binti yake.
12:04
In these beautiful, intricate letters,
203
724750
2934
katika barua hizi nzuri na imara,
12:07
he would imagine him and his daughter going canoeing down the Mississippi river.
204
727708
5976
alijiwazia yeye na binti yake wakipanda mtumbwi katika mto Mississipi
12:13
He would imagine them finding a mountain stream
205
733708
2810
Alijiwazia yeye na binti yake wakipata vijito vya milimani
12:16
with perfectly clear water.
206
736542
2166
vikiwa na maji masafi bila kasoro.
12:20
As I watched Patrick write,
207
740042
2041
Nilipomtazama Patrick akiandika,
12:23
I thought to myself,
208
743250
2143
Nilijiwazia mwenyewe,
12:25
and I now ask all of you,
209
745417
2059
na sasa ninawaulizeni nyote,
12:27
how many of you have written a letter to somebody you feel you have let down?
210
747500
5292
ni wangapi wenu mmewahi kuandika barua kwa mtu unayehisi umemwangusha?
12:34
It is just much easier to put those people out of your mind.
211
754042
5083
Ni rahisi sana kuwaweka hao watu nje ya fikra zako.
12:40
But Patrick showed up every day, facing his daughter,
212
760083
4643
Lakini Patrick alijitokeza kila siku, akimkabili binti yake,
12:44
holding himself accountable to her,
213
764750
2934
akijiwajibisha kwake,
12:47
word by word with intense concentration.
214
767708
3709
neno kwa neno kwa umakini wa hali ya juu.
12:54
I wanted in my own life
215
774417
2541
Ningependa katika maisha yangu binafsi
12:58
to put myself at risk in that way.
216
778042
3059
kujiweka katika hatari kwa namna hiyo.
13:01
Because that risk reveals the strength of one's heart.
217
781125
3625
Kwa sababu hatari hiyo inadhihirisha nguvu za moyo wa mtu.
13:08
Let me take a step back and just ask an uncomfortable question.
218
788625
4059
Ngoja nirudi hatua moja nyuma na niulize swali ambalo linaleta wasiwasi.
13:12
Who am I to tell this story, as in this Patrick story?
219
792708
3709
Mimi ni nani kusimulia simulizi hii, hii simulizi ya Patrick?
13:18
Patrick's the one who lived with this pain
220
798042
2976
Patrick ndiye aliyeishi kwenye maumivu haya
13:21
and I have never been hungry a day in my life.
221
801042
4166
na mimi sijawahi kukaa na njaa hata kwa siku moja kwenye maisha yangu
13:27
I thought about this question a lot,
222
807250
1768
Ninawaza sana kuhusu swali hili,
13:29
but what I want to say is that this story is not just about Patrick.
223
809042
3726
lakini ninachotaka kusema ni kuwa hii simulizi sio tu kuhusu Patrick.
13:32
It's about us,
224
812792
1517
Inatuhusu sisi,
13:34
it's about the inequality between us.
225
814333
2500
ni kuhusu tofauti kati yetu.
13:37
The world of plenty
226
817667
1416
Ulimwengu wa vingi
13:40
that Patrick and his parents and his grandparents
227
820375
3643
ambao Patrick na wazazi wake na mababu zake
13:44
have been shut out of.
228
824042
1809
hawajawahi kuuona.
13:45
In this story, I represent that world of plenty.
229
825875
3083
Katika simulizi hii, mimi ninawakilisha huo ulimwengu wa vingi.
13:49
And in telling this story, I didn't want to hide myself.
230
829792
3809
Na katika kueleza simulizi hii sikutaka kujificha mwenyewe.
13:53
Hide the power that I do have.
231
833625
2667
Kuficha nguvu ambazo ninazo.
13:57
In telling this story, I wanted to expose that power
232
837333
3560
Katika kueleza simulizi hii, ninataka kuifichua nguvu hiyo
14:00
and then to ask,
233
840917
2392
halafu kuuliza,
14:03
how do we diminish the distance between us?
234
843333
2917
tunawezaje kuipunguza umbali kati yetu?
14:08
Reading is one way to close that distance.
235
848250
3601
Kusoma ni njia mojawapo ya kuipunguza hiyo nafasi.
14:11
It gives us a quiet universe that we can share together,
236
851875
4434
Kunatuma ulimwengu wa ukimya ambao tunaweza kuushiriki pamoja,
14:16
that we can share in equally.
237
856333
2250
ambao tunaweza kuushiriki kwa usawa.
14:20
You're probably wondering now what happened to Patrick.
238
860500
3101
Inawezekana unajiuliza sasa kuwa ni nini kilitokea kwa Patrick.
14:23
Did reading save his life?
239
863625
1708
Je kusoma kuliokoa maisha yake?
14:26
It did and it didn't.
240
866583
2125
Kuliyaokoa na hakukuyaokoa.
14:29
When Patrick got out of prison,
241
869875
2893
Patrick alipotoka gerezani,
14:32
his journey was excruciating.
242
872792
2333
safari yake ilikuwa ya maumivu.
14:36
Employers turned him away because of his record,
243
876292
3476
Waajiri hawakumkubali kwa sababu ya historia yake,
14:39
his best friend, his mother, died at age 43
244
879792
3142
rafiki yake mpenzi, mama yake, alifariki katika umri wa miaka 43
14:42
from heart disease and diabetes.
245
882958
2476
kwa ugonjwa wa moyo na kisukari.
14:45
He's been homeless, he's been hungry.
246
885458
2709
Alikuwa hana pa kuishi, amekuwa hana chakula.
14:50
So people say a lot of things about reading that feel exaggerated to me.
247
890250
4542
Kwa hiyo watu wanasema mengi kuhusu kusoma ambayo kwangu ninahisi wanazidisha chumvi.
14:55
Being literate didn't stop him form being discriminated against.
248
895792
3976
Uwezo wa kusoma haukumzuia yeye asitengwe na jamii.
14:59
It didn't stop his mother from dying.
249
899792
2625
Hakukumzuia mama yake asifariki.
15:03
So what can reading do?
250
903708
2375
Kwa hiyo kusoma kunaweza kufanya nini?
15:07
I have a few answers to end with today.
251
907375
3958
Nina majibu machache ninapomalizia leo.
15:12
Reading charged his inner life
252
912667
2750
Kusoma kulibadili utu wake wa ndani
15:17
with mystery, with imagination,
253
917083
3060
kwa mambo yaliyofichika na uwezo wa kuwaza kwa picha.
15:20
with beauty.
254
920167
1250
kwa uzuri.
15:22
Reading gave him images that gave him joy:
255
922292
4333
Kusoma kulimpa taswira zilizompa furaha:
15:27
mountain, ocean, deer, frost.
256
927417
5559
milima, bahari, kulungu, theluji.
15:33
Words that taste of a free, natural world.
257
933000
4125
Maneno yenye ladha ya ulimwengu huru na halisi.
15:39
Reading gave him a language for what he had lost.
258
939625
3518
Kusoma kulimpa lugha kwa yale aliyopoteza.
15:43
How precious are these lines from the poet Derek Walcott?
259
943167
4642
Ni jinsi gani yalivyo mazuri haya maneno kutoka kwa mshairi Derek Walcott?
15:47
Patrick memorized this poem.
260
947833
2226
Patrick alilikariri hili shairi.
15:50
"Days that I have held,
261
950083
2101
"Siku ambazo nilizishikilia,
15:52
days that I have lost,
262
952208
2268
siku ambazo nilizipoteza,
15:54
days that outgrow, like daughters,
263
954500
3226
siku ambazo zinakuwa kupitiliza, kama mabinti,
15:57
my harboring arms."
264
957750
1833
mikono yangu inayoshikilia."
16:00
Reading taught him his own courage.
265
960667
2976
Kusoma kulimfundisha ujasiri wake mwenyewe.
16:03
Remember that he kept reading Frederick Douglass,
266
963667
3309
Kumbuka kwamba aliendelea kusoma Frederick Douglass,
16:07
even though it was painful.
267
967000
2143
ijapokuwa ilikuwa ya kuumiza.
16:09
He kept being conscious, even though being conscious hurts.
268
969167
3708
Aliendelea kuwa makini, ijapokuwa kuwa makini kunauma.
16:14
Reading is a form of thinking,
269
974208
2560
Kusoma ni aina ya kutafakari,
16:16
that's why it's difficult to read because we have to think.
270
976792
4059
ndio maana ni vigumu sana kusoma kwa sababu tunataka kutafakari.
16:20
And Patrick chose to think, rather than to not think.
271
980875
4250
Na Patrick alichagua kutafakari, badala ya kutokutafakari.
16:28
And last, reading gave him a language to speak to his daughter.
272
988000
3958
Na mwishoni, kusoma kulimpa lugha ya kuongea na binti yake.
16:33
Reading inspired him to want to write.
273
993375
3226
Kusoma kulimpa shauku ya kutaka kuandika.
16:36
The link between reading and writing is so powerful.
274
996625
4143
Muunganiko kati ya kusoma na kuandika ni wenye nguvu sana.
16:40
When we begin to read,
275
1000792
2059
Tunapoanza kusoma,
16:42
we begin to find the words.
276
1002875
2083
tunaanza kupata maneno.
16:45
And he found the words to imagine the two of them together.
277
1005958
4643
Na alipata maneno ya kutafakari wao wawili wakiwa pamoja.
16:50
He found the words
278
1010625
1708
Alipata maneno
16:53
to tell her how much he loved her.
279
1013958
2250
ya kumwelezea ni namna gani anampenda.
16:58
Reading also changed our relationship with each other.
280
1018042
3934
Kusoma pia kulibadilisha mahusiano baina yetu.
17:02
It gave us an occasion for intimacy,
281
1022000
2059
Kunatupa nyakati za kuwa karibu,
17:04
to see beyond our points of view.
282
1024083
2893
kuweza kuona zaidi ya mitazamo yetu.
17:07
And reading took an unequal relationship
283
1027000
2684
Na kusoma kulichukua mahusiano ya kutokuwa sawa
17:09
and gave us a momentary equality.
284
1029708
2667
na kulitupa usawa wa muda mfupi.
17:14
When you meet somebody as a reader,
285
1034125
2934
Ukikutana na mtu kama msomaji,
17:17
you meet him for the first time,
286
1037083
1976
unakutana naye kwa mara ya kwanza,
17:19
newly, freshly.
287
1039083
1708
kwa upya kabisa.
17:21
There is no way you can know what his favorite line will be.
288
1041875
3208
Hakuna namna unaweza kufahamu mstari anaoupenda sana ni upi.
17:26
What memories and private griefs he has.
289
1046458
3208
Ni kumbukumbu zipi na huzuni zipi za siri alizonazo.
17:30
And you face the ultimate privacy of his inner life.
290
1050833
4000
Na unakutana na sitara ya hali ya juu ya utu wake wa ndani.
17:35
And then you start to wonder, "Well, what is my inner life made of?
291
1055666
3435
Na halafu unaanza kushangaa, "Eti,utu wangu wa ndani umejengwa na nini?
17:39
What do I have that's worthwhile to share with another?"
292
1059125
3250
Ni kitu gani nilichonacho cha thamani cha kumshirikisha mwingine?"
17:45
I want to close
293
1065000
1333
Ninataka kufunga
17:48
on some of my favorite lines from Patrick's letters to his daughter.
294
1068208
4292
kwa mistari yangu ninayoipenda kutoka kwa barua za Patrick kwa bintiye.
17:53
"The river is shadowy in some places
295
1073333
2768
"Mto una kivuli kwenye baadhi ya maeneo
17:56
but the light shines through the cracks of trees ...
296
1076125
3268
lakini mwanga unaangaza kupitia mianya ya miti...
17:59
On some branches hang plenty of mulberries.
297
1079417
3559
Kwenye baadhi ya matawi muliberi nyingi zimening'inia.
18:03
You stretch your arm straight out to grab some."
298
1083000
3458
Unanyoosha mkono wako ili uweze kuyachukua baadhi".
18:08
And this lovely letter, where he writes,
299
1088042
2434
Na barua hii ya upendo, anapoandika,
18:10
"Close your eyes and listen to the sounds of the words.
300
1090500
4351
"Fumba macho yako na usikilize sauti ya maneno.
18:14
I know this poem by heart
301
1094875
2184
Ninafahamu shairi hili kwa moyo
18:17
and I would like you to know it, too."
302
1097083
2834
na ningependa pia wewe ulifahamu."
18:21
Thank you so much everyone.
303
1101375
1809
Ninawashukuruni nyote.
18:23
(Applause)
304
1103208
3292
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7