My journey to thank all the people responsible for my morning coffee | A.J. Jacobs

130,018 views

2018-12-04 ・ TED


New videos

My journey to thank all the people responsible for my morning coffee | A.J. Jacobs

130,018 views ・ 2018-12-04

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Doris Mangalu Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
So, I don't like to boast,
0
12760
2920
Basi, sipendi kujivunia,
00:15
but I am very good at finding things to be annoyed about.
1
15719
5537
ila ni mzuri sana kutafuta vitu vitakavyo niudhi.
00:21
It is a real specialty of mine.
2
21280
2096
Ni utaalamu wangu wa kweli.
00:23
I can hear 100 compliments and a single insult,
3
23400
3896
Naweza kusikia sifa 100 na tusi moja,
00:27
and what do I remember?
4
27320
1496
na ni nini ninakumbuka?
00:28
The insult.
5
28840
1376
Hilo tusi.
00:30
And according to the research, I'm not alone.
6
30240
2696
Na kulingana na utafiti, siko peke yangu.
00:32
Unfortunately, the human brain is wired to focus on the negative.
7
32960
5536
Bahati mbaya, akili ya binadamu imeungwa kulenga mabaya.
00:38
Now, this might have been helpful when we were cave people,
8
38520
3336
Sasa, hii inaweza kuwa imesaidia pale tulivyokua watu wa pangoni,
00:41
trying to avoid predators,
9
41880
1856
kujaribu kuepuka wanyama pori,
00:43
but now it's a terrible way to go through life.
10
43760
2696
lakini sasa ni njia mbaya ya kwenda na maisha.
00:46
It is a real major component of anxiety and depression.
11
46480
6456
Ni sehemu muhimu kweli ya wasiwasi na huzuni.
00:52
So how can we fight the brain's negative bias?
12
52960
4056
Hivyo tutapiganaje jinsi ubongo unavyopendelea ubaya?
00:57
According to a lot of research, one of the best weapons is gratitude.
13
57040
5320
Kulingana na tafiti nyingi, moja ya silaha nzuri ni shukrani.
01:03
So knowing this, I started a new tradition in our house a couple of years ago.
14
63080
5016
Kwa kujua hili, nimeanza desturi mpya nyumbani miaka kadhaa iliopita.
01:08
Before a meal with my wife and kids,
15
68120
2456
Kabla ya chakula na mke na watoto wangu,
01:10
I would say a prayer of thanksgiving.
16
70600
2840
Ninasemaga sala ya kutoa shukrani.
01:14
Prayer is not quite the right word.
17
74560
1816
Sala sio neno sahihi sana.
01:16
I'm agnostic, so instead of thanking God,
18
76400
4696
Mimi ni agnostiki, hivyo badala ya kumshukuru Mungu,
01:21
I would thank some of the people who helped make my food a reality.
19
81120
4336
ninashukuru baadhi ya watu ambao wamesaidia kufanya chakula kua ukweli.
01:25
I'd say, "I'd like to thank the farmer who grew these tomatoes,
20
85480
4336
Ningesema, "Napenda kushukuru mkulima aliekuza nyanya hizi,
01:29
and the trucker who drove these tomatoes to the store,
21
89840
2696
na dereva alieendesha lori kupeleka nyanya hizi dukani,
01:32
and the cashier who rang these tomatoes up."
22
92560
2856
na keshia aliezigongea nyanya hizi."
01:35
And I thought it was going pretty well, this tradition.
23
95440
2600
Na nikadhani inaenda vizuri sana, hii desturi.
01:39
Then one day, my 10-year-old son said,
24
99040
2536
Ndipo siku moja, kijana wangu wa miaka 10 akasema,
01:41
"You know, Dad, those people aren't in our apartment.
25
101600
3336
"Unajua Baba, hao watu hawapo kwenye hili ghorofa.
01:44
They can't hear you.
26
104960
1216
Hawawezi kukusikia.
01:46
If you really cared, you would go and thank them in person."
27
106200
4056
Kama kweli unajali, ungeenda na kuwashukuru binafsi."
01:50
And I thought, "Hmm. That's an interesting idea."
28
110280
3176
Na nikawaza, "Hmm. Hilo ni wazo la kuvutia."
01:53
(Laughter)
29
113480
1296
(Kicheko)
01:54
Now I'm a writer, and for my books I like to go on adventures.
30
114800
5056
Sasa mimi ni mwandishi, na kwa vitabu vyangu napenda kwenda kwenye shani.
01:59
Go on quests.
31
119880
1416
Kwenda kwenye safari.
02:01
So I decided I'm going to take my son up on his challenge.
32
121320
4056
Hivyo nikaamua nitamchukua kijana wangu kwenye changamoto yake.
02:05
It seemed simple enough.
33
125400
1696
Ilionekana rahisi sana.
02:07
And to make it even simpler,
34
127120
1856
Na kufanya ili iwe rahisi zaidi,
02:09
I decided to focus on just one item.
35
129000
3496
nikaamua kulenga kitu kimoja tu.
02:12
An item I can't live without:
36
132520
1816
Kitu ambacho siwezi kuishi nikikikosa:
02:14
my morning cup of coffee.
37
134360
1640
kikombe changu cha kahawa asubuhi.
02:16
Well, it turned out to be not so simple at all.
38
136840
3216
Basi, ikasemekana kua sio rahisi kabisa.
02:20
(Laughter)
39
140080
1016
(Kicheko)
02:21
This quest took me months.
40
141120
1615
Hii safari imenichukua miezi.
02:22
It took me around the world.
41
142759
2457
Imenizungusha duniani.
02:25
Because I discovered that my coffee would not be possible
42
145240
5456
Kwa sababu niligundua kua kahawa yangu isingewezekana
02:30
without hundreds of people I take for granted.
43
150720
3056
bila ma mia ya watu ninowachukulia poa.
02:33
So I would thank the trucker
44
153800
1896
Hivyo ningemshukuru dereva lori
02:35
who drove the coffee beans to the coffee shop.
45
155720
2696
alieendesha kahawa kwenda kwenye duka la kahawa.
02:38
But he couldn't have done his job without the road.
46
158440
3296
Lakini asingeweza kufanya kazi yake bila barabara.
02:41
So I would thank the people who paved the road.
47
161760
2896
Hivyo ningeshukuru watu waliotengeneza barabara.
02:44
(Laughter)
48
164680
1096
(Kicheko)
02:45
And then I would thank the people who made the asphalt for the pavement.
49
165800
5016
Halafu ningeshukuru watu waliotengeneza saruji ya lami.
02:50
And I came to realize that my coffee,
50
170840
4056
Na nimekuja kutambua kua kahawa yangu,
02:54
like so much else in the world,
51
174920
2056
kama vingine vingi duniani,
02:57
requires the combined work
52
177000
2496
inahitaji nguvu ya muungano
02:59
of a shocking number of people from all walks of life.
53
179520
3576
ya idadi ya kushangaza ya watu kutoka kwenye maeneo yote ya maisha.
03:03
Architects, biologists, designers, miners, goat herds,
54
183120
5776
Wasanifu,wanabiolojia, wabunifu, wachimbaji, wachunga mbuzi,
03:08
you name it.
55
188920
1496
taja yeyote.
03:10
I decided to call my project
56
190440
2256
Nimeamua kuita mradi wangu
03:12
"Thanks a Thousand."
57
192720
1976
"Asante Mara Elfu."
03:14
Because I ended up thanking over a thousand people.
58
194720
2760
Kwa sababu niliishia kushukuru zaidi ya watu elfu moja.
03:18
And it was overwhelming, but it was also wonderful.
59
198400
3576
Na ilikua ni inachosha, lakini ilikua pia ni ajabu.
03:22
Because it allowed me to focus
60
202000
2256
Kwa sababu iliniruhusu mimi kulenga
03:24
on the hundreds of things that go right every day,
61
204280
3336
kwenye vitu mia vinavyoenda sawa kila siku,
03:27
as opposed to the three or four that go wrong.
62
207640
2736
tofauti na vile vitatu au vinne vinavyoenda vibaya.
03:30
And it reminded me of the astounding interconnectedness or our world.
63
210400
6216
Na ikanikumbusha jinsi muungano wa dunia unavyoshangaza.
03:36
I learned dozens of lessons during this project,
64
216640
3856
Nilijifunza mafundisho mengi sana kwenye mradi huu,
03:40
but let me just focus on five today.
65
220520
2896
lakini ngoja nilenge vitano leo.
03:43
The first is: look up.
66
223440
2896
Cha kwanza ni: angalia juu,
03:46
I started my trail of gratitude
67
226360
2016
Nilianza njia yangu ya shukrani
03:48
by thanking the barista at my local coffee shop,
68
228400
3296
kwa kumshukuru muuza kahawa kwenye duka la kahawa la mtaani,
03:51
Joe Coffee in New York.
69
231720
1656
Joe Coffee ilioko New York.
03:53
Her name is Chung,
70
233400
1696
Jina lake ni Chung,
03:55
and Chung is one of the most upbeat people you will ever meet.
71
235120
4736
na Chung ni mmoja wa watu wachangamfu unaweza kutana nao.
03:59
Big smiler, enthusiastic hugger.
72
239880
3336
Tabasamu kubwa, kumbatio lenye shauku.
04:03
But even for Chung, being a barista is hard.
73
243240
3496
Lakini hata kwa Chung, kua muuza kahawa ni ngumu.
04:06
And that's because you are encountering people in a very dangerous state.
74
246760
4896
Na hio ni kwa sababu unakutana na watu kwenye hali ya hatari.
04:11
(Laughter)
75
251680
1256
(Kicheko)
04:12
You know what it is -- precaffeination.
76
252960
2736
Unajua hio ni nini -- hali ya kutokua na kahawa.
04:15
(Laughter)
77
255720
2136
(Kicheko)
04:17
So, Chung has had people yell at her until she cried,
78
257880
3736
Hivyo, Chung ameshakua na watu wanampigia kelele mpaka akalia,
04:21
including a nine-year-old girl,
79
261640
2016
ikiwemo binti wa miaka tisa,
04:23
who didn't like the whipped cream design that Chung did on her hot chocolate.
80
263680
4256
ambae hakupenda mchoro wa malai ambao Chung aliweka kwenye chokoleti yake.
04:27
So I thanked Chung,
81
267960
2896
Hivyo nikamshukuru Chung,
04:30
and she thanked me for thanking her.
82
270880
3175
na akanishukuru kwa kumshukuru.
04:34
I cut it off there.
83
274079
1257
Nikaikatia hapo.
04:35
I didn't want to go into an infinite thanking loop.
84
275360
2416
Sikutaka uwe kwenye mzunguko wa shukrani usioisha.
04:37
(Laughter)
85
277800
1576
(Kicheko)
04:39
But Chung said that the hardest part
86
279400
3736
Lakini Chung alisema sehemu ngumu ya zote
04:43
is when people don't even treat her like a human being.
87
283160
3496
ni pale watu wanavyomtendea kama sio binadamu.
04:46
They treat her like a vending machine.
88
286680
1856
Wanamfanya kama ni mashine ya mahitaji.
04:48
So, they'll hand her their credit card
89
288560
2496
Hivyo, watampatia kadi yao
04:51
without even looking up from their phone.
90
291080
2816
bila hata kutoa macho kwenye simu.
04:53
And while she's saying this, I'm realizing I've done that.
91
293920
4816
Na huku akisema haya, nagundua kua nimeshafanya hivyo.
04:58
I've been that a-hole.
92
298760
1856
Nimewahi kua mpumbavu huyo.
05:00
And at that moment, I pledged:
93
300640
2936
Na mda huo huo, nika ahidi:
05:03
when dealing with people, I'm going to take those two seconds
94
303600
3296
ninapo shughulika na watu, nitakua nachukua hizo sekunde mbili
05:06
and look at them, make eye contact.
95
306920
2856
na kuwatazama, nikiwaangalia machoni.
05:09
Because it reminds you, you're dealing with a human being
96
309800
2856
Kwa sababu inakukumbusha, unashughulika na binadamu
05:12
who has family and aspirations
97
312680
3736
alie na familia na matarajio
05:16
and embarrassing high school memories.
98
316440
2576
na kumbukumbu za shule zinazoaibisha.
05:19
And that little moment of connection
99
319040
3056
Na kipindi hicho kidogo cha mwunganisho
05:22
is so important to both people's humanity and happiness.
100
322120
4696
ni muhimu sana kwa zote ubinadamu na furaha ya watu.
05:26
Alright, second lesson was:
101
326840
1776
Sawa, somo la pili lilikua:
05:28
smell the roses. And the dirt. And the fertilizer.
102
328640
4736
nusa mawaridi. Na mchanga. Na mbolea.
05:33
After Chung, I thanked this man.
103
333400
2736
Baada ya Chung, nikamshukuru huyu mtu.
05:36
This is Ed Kaufmann.
104
336160
1856
Huyu ni Ed Kaufmann.
05:38
And Ed is the one who chooses which coffee they serve at my local coffee shop.
105
338040
5536
Na Ed anachagua kahawa ipi wanahudumia kwenye duka la kahawa mtaani.
05:43
He goes around the world, to South America, to Africa,
106
343600
3656
Anazunguka duniani, kwenda Amerika Kusini, kwenda Afrika,
05:47
finding the best coffee beans.
107
347280
1816
akitafuta buni yenye ubora.
05:49
So I thanked Ed.
108
349120
1416
Hivyo nikamshukuru Ed.
05:50
And in return, Ed showed me how to taste coffee like a pro.
109
350560
5776
Na kwa malipo, Ed akaionyesha jinsi ya kuonja kahawa kama mtaalamu.
05:56
And it is quite a ritual.
110
356360
1936
Na ni kitu cha kawaida kabisa.
05:58
You take your spoon and you dip it in the coffee
111
358320
2256
Unachukua kijiko chako na kuingiza kwenye kahawa
06:00
and then you take a big, loud slurp.
112
360600
2776
halafu unakunywa nyingi na kwa sauti.
06:03
Almost cartoonishly loud.
113
363400
1936
Karibia kelele ya katuni.
06:05
This is because you want to spray the coffee all over your mouth.
114
365360
3296
Hii ni kwa sababu unataka kufukiza kahawa mdomoni kwako.
06:08
You have taste buds in the side of your cheeks,
115
368680
3136
Una sehemu za ladha pembezoni mwa mashavu yako,
06:11
in the roof of your mouth,
116
371840
1416
ndani ya paa la mdomo wako,
06:13
you've got to get them all.
117
373280
1536
unatakiwa kuzipata zote.
06:14
So Ed would do this
118
374840
2736
Hivyo Ed angefanya hivi
06:17
and he would --
119
377600
2496
na ange --
06:20
his face would light up and he would say,
120
380120
2696
uso wake ungewaka na angesema,
06:22
"This coffee tastes of Honeycrisp apple
121
382840
3976
"Kahawa hii ina ladha ya tufaa ya honey-crisp
06:26
and notes of soil and maple syrup."
122
386840
3536
na ladha za udongo na sukari ya maple."
06:30
And I would take a sip and I'd say,
123
390400
2616
Na ningekunywa kidogo na kusema,
06:33
"I'm picking up coffee.
124
393040
2736
"Napata ladha ya kahawa.
06:35
(Laughter)
125
395800
1816
(Kicheko)
06:37
It tastes to me like coffee."
126
397640
1856
Kwangu ina ladha kama kahawa."
06:39
(Laughter)
127
399520
2016
(Kicheko)
06:41
But inspired by Ed, I decided to really
128
401560
2936
Lakini kwa msukumo wa Ed, nikaamua kabisa
06:44
let the coffee sit on my tongue for five seconds --
129
404520
3136
kuacha kahawa ikae kwenye ulimi wangu kwa sekunde tano --
06:47
we're all busy, but I could spare five seconds,
130
407680
2216
wote tuna kazi, lakini ningetoa sekunde tano,
06:49
and really think about the texture and the acidity and the sweetness.
131
409920
6536
na kuwaza kabiza kuhusu mfumo na ukali na utamu wake.
06:56
And I started to do it with other foods.
132
416480
2336
Na nika anza kufanya hivyo na vyakula vingine.
06:58
And this idea of savoring is so important to gratitude.
133
418840
5656
Na hili wazo la kufurahia ladha ni muhimu kwenye shukrani.
07:04
Psychologists talk about how gratitude
134
424520
3336
Wanasaikolojia wanaongelea jinsi shukrani
07:07
is about taking a moment and holding on to it as long as possible.
135
427880
5336
ni kuhusu kuchukua mda na kuushikilia kwa mda mrefu unaowezekana.
07:13
And slowing down time.
136
433240
3656
Na kupunguza kasi ya mda.
07:16
So that life doesn't go by in one big blur, as it often does.
137
436920
4776
Ili maisha yasipite kama ukungu mkubwa, kama yanavyofanyaga.
07:21
Number three is:
138
441720
1456
Namba tatu ni:
07:23
find the hidden masterpieces all around you.
139
443200
2976
tafuta vito vilivyojificha vinavyokuzunguka.
07:26
Now, one of my favorite conversations during this year
140
446200
2896
Sasa, moja ya mazungumzo niliyoyapenda mwaka huu
07:29
was with the guy who invented my coffee cup lid.
141
449120
4456
yalikua na mtu alievumbua mfuniko wa kikombe changu cha kahawa.
07:33
And until this point,
142
453600
1656
Na hadi mda huu,
07:35
I had given approximately zero thought to coffee cup lids.
143
455280
4176
Nilikua sijawaza kabisa kuhusu vifuniko vya vikombe vya kahawa.
07:39
But I loved talking to this inventor, Doug Fleming,
144
459480
3256
Lakini nilipenda kuongea na mvumbuzi huyu, Doug Fleming,
07:42
because he was so passionate.
145
462760
1856
kwa sababu alikua ana shauku sana.
07:44
And the blood and sweat and tears he put into this lid,
146
464640
3976
Na ile jitihada alioweka kwenye mfuniko huu,
07:48
and that I had never even considered.
147
468640
3296
na kua sijawahi hata kuzingatia.
07:51
He says a bad lid can ruin your coffee.
148
471960
2856
Anasema mfuniko mbaya unaweza kuharibu kahawa yako.
07:54
That it can block the aroma,
149
474840
1936
Kua inaweza kukinga harufu,
07:56
which is so important to the experience.
150
476800
2256
ambayo ni muhimu kwenye zoezi hilo.
07:59
So he -- he's very innovative.
151
479080
2536
Hivyo aka -- ni mbunifu kweli.
08:01
He's like the Elon Musk of coffee lids.
152
481640
2056
Yuko kama Elon Musk wa vifuniko vya kahawa.
08:03
(Laughter)
153
483720
1016
(Kicheko)
08:04
So he designed this lid that's got an upside-down hexagon
154
484760
4216
Hivyo akabuni hichi kifuniko kilicho na pembe-sita iliogeuka
08:09
so you can get your nose right in there and get maximum aroma.
155
489000
3976
hivyo unaweza ingiza pua yako huko ndani na kupata harufu ya kutosha.
08:13
And so I was delighted talking to him,
156
493000
3656
Na hivyo nilikua na furaha kuongea nae,
08:16
and it made me realize there are hundreds of masterpieces all around us
157
496680
4616
na ikanifanya nitambue kua kuna ma mia ya vito vinavyotuzunguka
08:21
that we totally take for granted.
158
501320
1736
ambavyo hatuvichukulii uzito.
08:23
Like the on-off switch on my desk lamp has a little indentation for my thumb
159
503080
6456
Kama swichi ya kuwasha na kuzima taa mezani kwangu ina jongezo ya kidole
08:29
that perfectly fits my thumb.
160
509560
1776
inayokaa kikamilifu na gumba langu.
08:31
And when something is done well,
161
511360
3216
Na pale kitu kinavyofanywa vizuri,
08:34
the process behind it is largely invisible.
162
514600
3256
mchakato uliohusika ni mkubwa na usioonekana.
08:37
But paying attention to it
163
517880
2216
Lakini ukiwa makini nayo
08:40
can tap into that sense of wonder and enrich our lives.
164
520120
4216
inaweza kugusa ndani ya hisia ya kustaajabu na kuimarisha maisha yetu.
08:44
Number four is: fake it till you feel it.
165
524360
2976
Namba nne ni: igiza mpaka uihisi.
08:47
By the end of the project, I was just in a thanking frenzy.
166
527360
3936
Mwishoni mwa mradi, nilikua kwenye hamkani ya shukrani.
08:51
So I was -- I would get up and spend a couple hours,
167
531320
3176
Kwahiyo nilikua -- ningesimama na kutumia masaa kadhaa,
08:54
I'd write emails, send notes,
168
534520
3856
ningeandika barua pepe, tuma kumbukumbu,
08:58
make phone calls, visit people
169
538400
2536
piga simu, tembelea watu
09:00
to thank them for their role in my coffee.
170
540960
2176
kuwashukuru kwa majukumu kwenye kahawa yangu.
09:03
And some of them, quite honestly --
171
543160
2256
Na baadhi yao, kiukweli kabisa --
09:05
not that into it.
172
545440
1856
hawajapenda.
09:07
They would be like, "What is this?
173
547320
2256
Wangesema hivi, "Ni nini hiki?
09:09
Is this a pyramid scheme, what do you want, what are you selling?"
174
549600
4160
Ni mpango wa piramidi, unataka nini, unauza nini?"
09:14
But most people were surprisingly moved.
175
554560
4256
Lakini watu wengi walipata mguso wa kushangaza.
09:18
I remember, I called the woman who does the pest control
176
558840
3776
Nakumbuka, nilimpigia mwanamke anaedhibiti wadudu
09:22
for the warehouse where my coffee is served --
177
562640
3176
kwenye ghala ambapo kahawa yangu inatumiwa --
09:25
I'm sorry -- where my coffee is stored.
178
565840
2576
samahani -- ambapo kahawa yangu inatunzwa.
09:28
And I said,
179
568440
2456
Na nikasema,
09:30
"This may sound strange,
180
570920
1496
"Hii inaweza kusikika kiajabu,
09:32
but I want to thank you for keeping the bugs out of my coffee."
181
572440
4376
lakini nataka kukushukuru kwa kuondoa wadudu kwenye kahawa yangu."
09:36
And she said, "Well, that does sound strange,
182
576840
2616
Na akasema, "Kweli, hio inasikika kiajabu,
09:39
but you just made my day."
183
579480
2096
lakini umefanya siku yangu kuwa nzuri."
09:41
And it was like an anti-crank phone call.
184
581600
3576
Na ilikua kama tofauti ya simu za udanganyifu.
09:45
And it didn't just affect her, it affected me.
185
585200
3376
Na haikumuathiri yeye tu, iliniathiri mimi.
09:48
Because I would wake up every morning in my default mood, which is grumpiness,
186
588600
5976
Kwa sababu ninaamka kila asubuhi na hali yangu ya kawaida, ambayo ni harara.
09:54
but I would force myself to write a thank-you note
187
594600
3256
lakini ninajilazimisha kuandika kumbukumbu ya asante
09:57
and then another and then another.
188
597880
2096
na nyingine na nyingine.
10:00
And what I found was that if you act as if you're grateful,
189
600000
4816
Na nilichopata ni kua unaigiza kama una shukrani,
10:04
you eventually become grateful for real.
190
604840
3016
hatimae unakua na shukrani kweli.
10:07
The power of our actions to change our mind is astounding.
191
607880
4896
Nguvu ya matendo yetu kubadili mawazo yetu inashangaza.
10:12
So, often we think that thought changes behavior,
192
612800
4056
Hivyo, mara nyingi tunafikiri kua mawazo hubadilisha tabia,
10:16
but behavior very often changes our thought.
193
616880
4200
lakini tabia mara nyingi sana hubadilisha mawazo yetu.
10:22
And finally, the last lesson I want to tell you about is:
194
622720
4456
Na hatimae, somo la mwisho nataka kuwaambia ni kuhusu:
10:27
practice six degrees of gratitude.
195
627200
3416
jizoeshe digrii sita za shukrani.
10:30
And every place, every stop on this gratitude trail
196
630640
4576
Na kila sehemu, kila kituo kwenye hii njia ya shukrani
10:35
would give birth to 100 other people that I could thank.
197
635240
3896
kingezaa watu 100 wengine ambao ningewashukuru.
Hivyo nikaenda huko Colombia kuwashukuru wakulima wa kahawa yangu.
10:39
So I went down to Colombia to thank the farmers who grow my coffee beans.
198
639160
5256
10:44
And it was in a small mountain town,
199
644440
2216
Na ilikua kwenye mji mdogo wa mlima,
10:46
and I was driven there along these curvy, cliffside roads.
200
646680
5176
na niliendeshwa huko kwenye njia za kupinda.
10:51
And every time we went around a hairpin turn
201
651880
3736
Na kila mara tulipozunguka kona za kujirudia
10:55
the driver would do the sign of the cross.
202
655640
3656
dereva angefanya ishara ya msalaba.
10:59
And I was like, "Thank you for that.
203
659320
2856
Na nilisema, "Asante kwa hilo.
11:02
(Laughter)
204
662200
1816
(Kicheko)
Lakini unaweza kufanya hivyo huku mikono iko kwenye usukani?
11:04
But can you do that while keeping your hands on the wheel?
205
664040
3816
11:07
Because I am terrified."
206
667880
1576
Kwa sababu nilikua na hofu."
11:09
But we made it.
207
669480
1216
Lakini tulifika.
11:10
And I met the farmers, the Guarnizo brothers.
208
670720
3496
Na nikakutana na wakulima, ndugu wa Guarnizo.
11:14
It's a small farm, they make great coffee,
209
674240
3256
Ni shamba dogo, wanatengeneza kahawa nzuri
11:17
they're paid above fair-trade prices for it.
210
677520
2896
wanalipwa juu ya kiwango cha biashara kwa sababu hio.
11:20
And they showed me how the coffee is grown.
211
680440
3016
Na wakanionyesha jinsi kahawa inavyokua.
11:23
The bean is actually inside this fruit called the coffee cherry.
212
683480
4576
Buni kiukweli iko ndani ya tunda liitwalo cheri ya kahawa.
11:28
And I thanked them.
213
688080
2176
Na nikawashukuru.
11:30
And they said, "Well, we couldn't do our job
214
690280
3216
Na wakasema, "Basi, tusingeweza kufanya kazi yetu
11:33
without 100 other people."
215
693520
2216
bila wati 100 wengine."
11:35
The machine that depulps the fruit is made in Brazil,
216
695760
3856
Machine inayomenya hilo tunda inatengenezwa Brazil,
11:39
and the pickup truck they drive around the farm,
217
699640
3056
na lori la kubebea wanalozunguka nalo shambani,
11:42
that is made from parts from all over the world.
218
702720
3416
iliotengenezwa na sehemu zilizotoka duniani kote.
11:46
In fact, the US exports steel to Colombia.
219
706160
4096
kwa kweli, Marekani wanauza chuma kwenda Colombia.
11:50
So I went to Indiana, and I thanked the steel makers.
220
710280
4976
Hivyo nikaenda Indiana, na nikawashukuru watengeneza chuma.
11:55
And it just drove home
221
715280
3136
Na ikanipeleka tu nyumbani
11:58
that it doesn't take a village to make a cup of coffee.
222
718440
3576
kua haichukui kijiji kutengeneza kikombe cha kahawa.
12:02
It takes the world to make a cup of coffee.
223
722040
3136
Inachukua dunia kutengeneza kikombe cha kahawa.
12:05
And this global economy, this globalization,
224
725200
5096
Na huu uchumi wa dunia, huu utandawazi,
12:10
it does have downsides.
225
730320
1816
unakua na hasara.
Lakini na amini faida zake za muda mrefu ni kubwa zaidi,
12:12
But I believe the long-term upsides are far greater,
226
732160
3456
12:15
that progress is real.
227
735640
1576
kua maendeleo ni ya kweli.
12:17
We have made improvements in the last 50 years,
228
737240
2416
Tumefanya uboreshaji ndani ya miaka 50 iliopita,
12:19
poverty worldwide has gone down.
229
739680
2696
umasikini duniani kote umeshuka.
12:22
And that we should resist the temptation
230
742400
3256
Na kua tunatakiwa kupinga ushawishi
12:25
to retreat into our silos.
231
745680
3016
wa kurejea kwenye maghala yetu.
12:28
And we should resist this upsurge
232
748720
3056
Na tunatakiwa kupinga muongezeko huu
12:31
in isolationism and jingoism.
233
751800
4536
wa hali za kujitenga na uzalendo.
12:36
Which brings me to my final point.
234
756360
2376
Ambayo inanileta kwenye hatua yangu ya mwisho.
12:38
Which is my hope that we use gratitude as a spark to action.
235
758760
5600
Ambayo ni tumaini langu tutumie shukrani kama cheche kwenye hatua.
12:45
Some people worry that gratitude has a downside.
236
765360
3736
Baadhi ya watu wana wasiwasi kua shukrani ina hasara.
Kua tutakua na shukrani sana, mpaka tutakua haturidhiki.
12:49
That we'll be so grateful, that we'll be complacent.
237
769120
3816
12:52
We'll be so, "Oh, everything's wonderful, I'm so grateful."
238
772960
3656
Tutasema, "Oh, kila kitu ni chema, nashukuru sana."
12:56
Well, it turns out, the opposite is true.
239
776640
3600
Basi, inaonekana, kinyume chake ni kweli.
Utafiti unaonyesha
13:01
The research shows
240
781120
2296
13:03
that the more grateful you are, the more likely you are to help others.
241
783440
4656
kua unavyozidi kua na shukrani, unazidi kua na uwezo wa kusaidia wengine.
Ukiwa kwenye hali mbaya,
13:08
When you're in a bad state,
242
788120
2056
13:10
you're often more focused on your own needs.
243
790200
2576
mara nyingi unakua unalenga mahitaji yako mwenyewe.
13:12
But gratitude makes you want to pay it forward.
244
792800
3216
Lakini shukrani inakufanya utake kuilipa mbeleni.
Na nimepitia hii binafsi.
13:16
And I experienced this personally.
245
796040
2416
13:18
I mean, I'm not Mother Teresa,
246
798480
1696
Yani, mimi sio Mama Teresa,
13:20
I'm still a selfish bastard a huge amount of the time.
247
800200
3456
mimi bado ni mwanaharamu mchoyo mara nyingi sana.
13:23
But I'm better than I was before this project.
248
803680
3976
Lakini ni bora kuliko nilivyokua kabla ya mradi huu.
13:27
And that's because it made me aware
249
807680
2736
Na hii na kwa sababu ilinifanya nifahamu
13:30
of the exploitation on the supply chain.
250
810440
3576
kuhusu utumiaji wa mlolongo wa usambazaji.
Ikanikumbusha kua ninachokichukulia poa
13:34
It reminded me that what I take for granted
251
814040
2936
13:37
is not available to millions of people around the world.
252
817000
3776
hakipatikani kwa mamilioni ya watu duniani.
13:40
Like water.
253
820800
1256
Kama maji.
13:42
Coffee is 98.8 percent water.
254
822080
4296
Kahawa ni asilimia 98.8 maji.
13:46
So I figured I should go and thank the people at the New York reservoir,
255
826400
3536
Hivyo nikaona niende na nishukuru watu wa maji wa New York,
13:49
hundreds of them, who provide me water,
256
829960
2616
ma mia ya hao, wanaonipatia maji,
13:52
and this miracle that I can turn a lever and get safe water.
257
832600
3096
na huu muujiza kua naweza geuza mtambo na kupata maji salama.
13:55
And that millions of people around the world don't have this luxury
258
835720
3576
Na kua mamilioni ya watu duniani hawana anasa hii
13:59
and have to walk hours to get safe water.
259
839320
2976
na inabidi kutembea masaa kupata maji salama.
14:02
It inspired me to see what I could do to help people get more access,
260
842320
4696
Ilinihamasisha kuona ninachoweza kufanya kusaidia watu kuwa na upatikanaji,
14:07
and I did research and found a wonderful group
261
847040
3056
na ninafanya utafiti na kukuta kundi zuri
14:10
called Dispensers for Safe Water.
262
850120
2656
linaitwa Vitoaji vya Maji Salama.
14:12
And I got involved.
263
852800
1336
Na nikajihusisha.
14:14
And I'm not expecting the Nobel Prize committee
264
854160
2776
Na sitarajii kamati ya Nobel Prize
14:16
to knock down my door,
265
856960
1256
kunigongea mlangoni,
14:18
but it's a baby step, it's a little something.
266
858240
4296
lakini ni hatua ndogo, ni kitu kidogo.
14:22
And it's all because of gratitude.
267
862560
2816
Na yote ni kwa sababu ya shukrani.
Na ndio maana natia moyo watu, marafiki, familia,
14:25
And it's why I encourage people, friends, family,
268
865400
3536
14:28
to follow gratitude trails of their own.
269
868960
2976
kufuata njia zao za shukrani.
14:31
Because it's a life-transforming experience.
270
871960
2816
Kwa sababu ni jambo la kubadilisha maisha.
14:34
And it doesn't have to be coffee.
271
874800
1616
Na sio lazima iwe kahawa.
14:36
It could be anything.
272
876440
1216
Inaweza kua chochote.
14:37
It could be a pair of socks, it could be a light bulb.
273
877680
2536
Inaweza kua soksi, inaweza kua taa ya mwanga.
14:40
And you don't have to go around the world, you can just do a little gesture,
274
880240
3576
Na sio lazima uzunguke duniani unaweza kufanya tu ishara ndogo,
14:43
like make eye contact or send a note to the designer of a logo you love.
275
883840
5136
kama kuangalia machoni au kutuma kumbukumbu kwa aliebuni alama unayopenda.
Ni zaidi kuhusu mawazo.
14:49
It's more about a mindset.
276
889000
1976
Kutambua maelfu ya watu wanaohusika kwenye kila tunachofanya,
14:51
Being aware of the thousands of people involved in every little thing we do.
277
891000
4480
14:56
Remembering that there's someone in a factory
278
896880
3096
Kukumbuka kua kuna mtu kwenye kiwanda
alietengeneza kitambaa cha viti mnavyokalia sasa hivi.
15:00
who made the fabric for the chairs you're sitting in right now.
279
900000
4216
Kua mtu kaenda kwenye mgodi na kupata shaba kwa ajili ya kipaza sauti hiki
15:04
That someone went into a mine and got the copper for this microphone
280
904240
6136
15:10
so that I could say my final thank you,
281
910400
2576
ili niweze kusema shukrani zangu za mwisho,
15:13
which is to thank you.
282
913000
1856
ambayo ni kuwashukuru.
15:14
Thank you a thousand for listening to my story.
283
914880
2880
Asanteni mara elfu kwa kusikiliza hadithi yangu.
15:18
(Applause)
284
918400
2216
(Makofi)
(Hekaheka)
15:20
(Cheering)
285
920640
1720
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7