How the arts help homeless youth heal and build | Malika Whitley

22,732 views ・ 2018-05-03

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Clarence Bitegeko Reviewer: Samuel Njenga
00:12
Don't you love a good nap?
0
12760
1536
Hupendi usingizi mzuri?
00:14
(Laughter)
1
14320
2216
(Kicheko)
00:16
Just stealing away that small block of time
2
16560
3416
Kuiba kidogo kale kamuda kafupi
00:20
to curl up on your couch for that sweet moment of escape.
3
20000
2800
kujikunja kwenye kochi kwa muda mfupi mtamu wa kutoroka.
00:23
It's one of my favorite things,
4
23760
1496
Ni moja ya vitu nivipendavyo,
00:25
but something I took for granted
5
25280
1576
lakini sikuvitilia maanani
00:26
before I began experiencing homelessness as a teenager.
6
26880
2920
kabla sijaanza kupitia hali ya ukosefu wa makazi kama kijana.
00:31
The ability to take a nap is only reserved for stability and sureness,
7
31440
4816
Uwezo wa kusinzia kidogo ni kwa waliothabiti na wenye uhakika,
00:36
something you can't find
8
36280
1216
kitu usichoweza kupata
00:37
when you're carrying everything you own in your book bag
9
37520
2656
unapokuwa umebeba mali zako zote kwenye begi lako
00:40
and carefully counting the amount of time you're allowed to sit in any given place
10
40200
4776
na ukihesabu kwa makini kiasi cha muda unaoruhusiwa kukaa sehemu yoyote ile
00:45
before being asked to leave.
11
45000
1600
kabla hujaombwa kuondoka.
00:48
I grew up in Atlanta, Georgia,
12
48000
2016
Nimekulia Atlanta, Georgia,
00:50
bouncing from house to house
13
50040
1816
nikihamahama nyumba moja hadi nyingine
00:51
with a loving, close-knit family
14
51880
2296
na familia kipenzi ya karibu sana
00:54
as we struggled to find stability
15
54200
3336
tulipokuwa tukipambana kupata kutengamaa
00:57
in our finances.
16
57560
1200
kifedha.
01:00
But when my mom temporarily lost herself to mania
17
60280
4096
Lakini pale mama alipopata wazimu kidogo
01:04
and when that mania chose me as its primary scapegoat
18
64400
2736
na pale wazimu uliponichagua mimi kuwa msingiziwa namba 1
01:07
through both emotional and physical abuse,
19
67160
3656
kwa unyanyasaji wa kihisia na kimwili,
01:10
I fled for my safety.
20
70840
1400
nilikimbia kwa usalama wangu.
01:13
I had come to the conclusion that homelessness was safer for me
21
73600
3615
Nilfikia hitimisho kuwa kutokuwa na makazi kulikuwa salama kwangu
01:17
than being at home.
22
77239
1201
kuliko kuwa nyumbani.
01:19
I was 16.
23
79240
1200
Nilikuwa na miaka 16.
01:22
During my homelessness, I joined Atlanta's 3,300 homeless youth
24
82520
4096
Nilipokuwa asiye na makazi, nilijiunga na vijana wasio na makazi 3,300 wa Atlanta
01:26
in feeling uncared for,
25
86640
1976
katika kuhisi kutojaliwa,
01:28
left out and invisible each night.
26
88640
2280
kuachwa na kutoonekana kila usiku
01:32
There wasn't and still is not any place
27
92120
2096
Hakukuwa na bado hakuna sehemu yoyote
01:34
for a homeless minor to walk off the street
28
94240
2376
kwa mtoto mdogo asiye na makazi kutoka nje ya mtaa
01:36
to access a bed.
29
96640
1400
na kupata kitanda.
01:39
I realized that most people thought of homelessness
30
99400
2416
Nilitambua kuwa wengi hufikiri kuwa kukosa-makazi
01:41
as some kind of lazy, drug-induced squalor and inconvenience,
31
101840
5256
ni aina ya uzembe, udhalili na usumbufu utokanao na dawa za kulevya,
01:47
but that didn't represent my book bag full of clothes and schoolbooks,
32
107120
3696
lakini hilo halikuakisi begi langu lililojaa nguo na vitabu vya shule,
01:50
or my A+ grade point average.
33
110840
2720
au wastani wangu wa point wa A+.
01:54
I would sit on my favorite bench downtown
34
114880
2096
Ningekaa kwenye benchi nilipendalo mtaani
01:57
and watch as the hours passed by
35
117000
1816
na kuangalia huku masaa yakienda
01:58
until I could sneak in a few hours of sleep
36
118840
3656
hadi ningepenyeza masaa machache ya kulala
02:02
on couches, in cars,
37
122520
2816
kwenye makochi, kwenye magari,
02:05
in buildings or in storage units.
38
125360
2280
kwenye majengo au sehemu za stoo.
02:08
I, like thousands of other homeless youth, disappeared into the shadows of the city
39
128840
4616
Mimi, kama maelfu ya vijana wengine waso- makazi, nilififia katika vivuli vya jiji
02:13
while the whole world kept spinning
40
133480
2256
wakati dunia nzima ikiendelea kuzunguka
02:15
as if nothing at all had gone terribly wrong.
41
135760
2560
kama vile hakuna kitu chochote kilichokwenda vibaya
02:19
The invisibility alone almost completely broke my spirit.
42
139400
4200
Kutokuonekana pekee kulikuwa karibu kunivunja moyo kabisa.
02:25
But when I had nothing else, I had the arts,
43
145320
2800
Lakini nilipokuwa sina kitu kingine, nilikuwa na sanaa,
02:29
something that didn't demand
44
149040
1416
kitu ambacho hakikuhitaji
02:30
material wealth from me in exchange for refuge.
45
150480
2520
utajiri wa mali kutoka kwangu kubadilishana na usalama
02:33
A few hours of singing, writing poetry
46
153960
3976
Masaa machache ya kuimba na kuandika ushairi
02:37
or saving up enough money
47
157960
1976
au kuweka akiba ya pesa ya kutosha
02:39
to disappear into another world at a play
48
159960
2656
kupotelea katika ulimwengu mwingine katika igizo
02:42
kept me going and jolting me back to life when I felt at my lowest.
49
162640
3560
kuliniwezesha kwenda mbele na kunirejesha kwenye maisha nilipojihisi duni sana.
02:47
I would go to church services on Wednesday evenings
50
167520
2776
Nilikwenda kwenye huduma za kanisa kila Jumatano jioni
02:50
and, desperate for the relief the arts gave me,
51
170320
3496
na, nikitamani sana ahueni ambayo sanaa ilinipa,
02:53
I would go a few hours early,
52
173840
2216
Nilienda masaa machache mapema,
02:56
slip downstairs
53
176080
2336
na kushuka chini
02:58
and into a part of the world where the only thing that mattered
54
178440
3416
na kuingia sehemu ya ulimwengu ambayo kitu pekee cha msingi
03:01
was whether or not I could hit the right note in the song
55
181880
2696
kilikuwa ni kama nitapata noti sahihi kwenye wimbo ama la
03:04
I was perfecting that week.
56
184600
1320
Nilikuwa nikilikamilisha juma lile
03:06
I would sing for hours.
57
186560
1720
Ningeimba kwa masaa.
03:09
It gave me so much strength to give myself permission
58
189240
2936
Ilinipa nguvu nyingi kujiruhusu
03:12
to just block it all out and sing.
59
192200
3280
kufunguka mzima na kuimba.
03:17
Five years later, I started my organization, ChopArt,
60
197280
3936
Miaka mitano baadaye, Nilianzisha shirika langu, ChopArt,
03:21
which is a multidisciplinary arts organization for homeless minors.
61
201240
4120
ambalo ni shirika la sanaa mchanganyiko la watoto wasio na makazi.
03:26
ChopArt uses the arts as a tool for trauma recovery
62
206320
4216
ChopArt hutumia sanaa kama nyenzo ya kupunguza maumivu
03:30
by taking what we know about building community
63
210560
2736
kwa kuchukua tunachojua juu ya ujenzi wa jamii
03:33
and restoring dignity
64
213320
1816
na urejeshaji heshima
03:35
and applying that to the creative process.
65
215160
2200
na kutumia hiyo kwa utaratibu wa kibunifu
03:38
ChopArt is headquartered in Atlanta, Georgia,
66
218600
2576
ChopArt ina makao yake makuu Atlanta, Georgia,
03:41
with additional programs in Hyderabad, India, and Accra, Ghana,
67
221200
3816
pamoja na programu za nyongeza Hyderabad, India, na Accra, Ghana,
03:45
and since our start in 2010,
68
225040
2256
na tangu tuanze mwaka 2010,
03:47
we've served over 40,000 teens worldwide.
69
227320
2480
tumehudumia zaidi ya vijana 40,000 duniani.
03:51
Our teens take refuge
70
231080
2136
Vijana wetu hupata msaada
03:53
in the transformative elements of the arts,
71
233240
2400
katika vipengele vya sanaa vyenye kubadilisha
03:56
and they depend on the safe space ChopArt provides for them to do that.
72
236840
3720
na wanategemea nafasi salama ambayo ChopArt huwapa ili wafanye hivyo.
04:01
An often invisible population uses the arts to step into their light,
73
241360
5736
Jamii ambayo mara nyingi haionekani hutumia sanaa kupiga hatua kwenye mwanga,
04:07
but that journey out of invisibility is not an easy one.
74
247120
3240
lakini safari hiyo kutoka kutokuonekana siyo rahisi sana.
04:11
We have a sibling pair, Jeremy and Kelly,
75
251720
3256
Tuna ndugu wawili, Jeremy na Kelly,
04:15
who have been with our program for over three years.
76
255000
2440
ambao wamekuwa na programu yetu kwa zaidi ya miaka 3.
04:18
They come to the ChopArt classes every Wednesday evening.
77
258520
3480
Huja kwenye vipindi vya ChopArt kila Jumatano jioni.
04:23
But about a year ago,
78
263280
1200
Lakini yapata mwaka mmoja nyuma,
04:25
Jeremy and Kelly witnessed their mom seize and die right in front of them.
79
265760
3560
Jeremy na Kelly walishuhudia mama yao akikakamaa na kufa mbele yao.
04:30
They watched as the paramedics failed to revive her.
80
270480
2919
Waliangalia huku wanahuduma ya kwanza wakishindwa kumhuisha.
04:34
They cried as their father
81
274560
2176
Walilia pale baba yao
04:36
signed over temporary custody to their ChopArt mentor, Erin,
82
276760
3776
alipotia sahihi hati ya usimamizi ya muda kwa mnasihi wao wa ChopArt, Erin,
04:40
without even allowing them to take an extra pair of clothes on their way out.
83
280560
3640
bila hata ya kuwaruhusu kuchukua jozi moja zaidi ya nguo wanapoondoka.
04:45
This series of events broke my heart,
84
285560
2480
Mfululizo huu wa matukio ulivunja moyo wangu,
04:49
but Jeremy and Kelly's faith and resolve in ChopArt
85
289240
3536
lakini imani na azma ya Jeremy na Kelly katika ChopArt
04:52
is what keeps me grounded in this work.
86
292800
2240
ndicho kinachonishikilia katika kazi hii
04:56
Kelly calling Erin in her lowest moment,
87
296320
2176
Kelly akimwita Erin awapo chini sana,
04:58
knowing that Erin would do whatever she could
88
298520
2336
akijua kuwa Erin atafanya chochote awezacho
05:00
to make them feel loved and cared for,
89
300880
2976
kuwafanya wajisikie wakipendwa na wakijaliwa,
05:03
is proof to me that by using the arts as the entry point,
90
303880
5096
ni ushahidi kwangu kuwa kwa kutumia sanaa kama pa kuingilia,
05:09
we can heal and build our homeless youth population.
91
309000
2720
tunaweza kuponya na kujenga umati wa vijana wasio na makazi
05:13
And we continue to build.
92
313240
1400
Na tunaendelea kujenga.
05:15
We build with Devin,
93
315480
1736
Tunajenga na Devin,
05:17
who became homeless with his family
94
317240
2176
ambaye amekosa makazi pamoja na familia yake
05:19
when his mom had to choose between medical bills or the rent.
95
319440
3680
pale ambapo mama alitakiwa kuchagua kati ya bili za madawa na kodi ya pango.
05:24
He discovered his love of painting through ChopArt.
96
324000
2640
Aligundua mapenzi yake ya kuchora kupitia ChopArt.
05:27
We build with Liz,
97
327360
1656
Tunajenga na Liz,
05:29
who has been on the streets most of her teenage years
98
329040
3176
ambaye amekuwa mtaani miaka yake mingi ya ujana
05:32
but turns to music to return to herself
99
332240
3016
lakini ameelekea muziki kurudi kwa nafsi yake
05:35
when her traumas feel too heavy for her young shoulders.
100
335280
3720
ambapo mateso yake yamekuwa mazito sana kwa mabega yake machanga.
05:40
We build for Maria,
101
340240
1976
Tunajenga na Maria,
05:42
who uses poetry to heal
102
342240
2336
ambaye hutumia ushairi kujiponyesha
05:44
after her grandfather died in the van
103
344600
2496
baada ya babu yake kufa ndani ya gari
05:47
she's living in with the rest of her family.
104
347120
2240
anaishi na familia yake iliyobaki.
05:50
And so to the youth out there experiencing homelessness,
105
350800
5576
Na kwahiyo kwa vijana nje huko wanaopitia kukosa makazi,
05:56
let me tell you,
106
356400
1200
wacha niwaambie,
05:58
you have the power to build within you.
107
358760
2160
mna uwezo wa kujenga ndani yenu.
06:02
You have a voice through the arts
108
362040
1616
Mna sauti kupitia sanaa
06:03
that doesn't judge what you've been through.
109
363680
2816
ambayo haihukumu umepitia mambo gani.
06:06
So never stop fighting to stand in your light
110
366520
2456
Hivyo usiache kupambana kusimama kwenye mwanga wako
06:09
because even in your darkest times,
111
369000
3336
sababu hata kwenye wakati wako wa kiza kinene,
06:12
we see you.
112
372360
1200
tunakuona.
06:14
Thank you.
113
374120
1216
Asanteni.
06:15
(Applause)
114
375360
3240
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7