Billy Graham: Technology, faith and human shortcomings

3,007,034 views ・ 2008-07-16

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Joachim Mangilima Reviewer: Nelson Simfukwe
00:37
As a clergyman,
0
37160
2000
Kama Mtumishi wa Mungu,
00:39
you can imagine how
1
39160
2000
unaweza ukafikiri jinsi
00:41
out of place I feel.
2
41160
2000
ninavyojiona kuwa sipo mahali napostahili kuwepo,
00:43
I feel like a fish out of water,
3
43160
3000
ninajihisi kama samaki aliye nje ya maji
00:46
or maybe an owl out of the air.
4
46160
3000
au labda kama popo ambaye ametolewa angani
00:49
(Laughter)
5
49160
3000
vicheko
00:52
I was preaching in San Jose some time ago,
6
52160
3000
Nilikuwa nahubiri huko San Jose muda kiasi uliopita
00:55
and my friend Mark Kvamme,
7
55160
3000
na rafiki yangu Mark Kvamme,
00:58
who helped introduce me
8
58160
2000
ambaye alinisaidia kunitambulisha mimi
01:00
to this conference,
9
60160
2000
katika mkutano huu,
01:03
brought several CEOs
10
63160
2000
aliwaleta baadhi ya wakurugenzi
01:05
and leaders
11
65160
3000
na viongozi
01:08
of some of the companies here in the Silicon Valley
12
68160
3000
wa baadhi ya makampuni hapa Silicon Valley
01:11
to have breakfast with me, or I with them.
13
71160
3000
kunywa chai pamoja na mimi
01:15
And I was so stimulated.
14
75160
3000
nilipata hamasa sana
01:18
And had such -- it was an
15
78160
2000
ulikuwa ni uzoefu
01:20
eye-opening experience
16
80160
4000
ulionisaidia kufungua macho yangu
01:24
to hear them talk about
17
84160
2000
nilipowasikia wakiongea kuhusu
01:26
the world that is yet to come
18
86160
3000
dunia ambayo hatujaifikia
01:30
through technology
19
90160
2000
kupitia teknolojia
01:32
and science.
20
92160
3000
na sayansi
01:35
I know that we're near the end of this conference,
21
95160
3000
ninajua kuwa tunakaribia mwisho wa mkutano huu
01:39
and some of you may be wondering
22
99160
2000
na baadhi yenu mtakuwa mnajiuliza
01:41
why they have a speaker
23
101160
2000
kwa nini wana mzungumzaji
01:43
from the field of religion.
24
103160
3000
kutoka katika mambo ya dini
01:48
Richard can answer that,
25
108160
2000
Richard anaweza kujibu hilo
01:50
because he made that decision.
26
110160
2000
Kwa sababu yeye ndiye aliyefanya uamuzi huo
01:52
But some years ago I was on an elevator in Philadelphia,
27
112160
3000
Lakini miaka kadhaa iliyopita nilikuwa katika lifti katika mji wa Philadelphia,
01:55
coming down.
28
115160
2000
nikishuka chini
01:57
I was to address a conference
29
117160
2000
Nilikuwa natakiwa kwenda kuwa mzungumzaji katika mkutano
01:59
at a hotel.
30
119160
2000
katika hoteli
02:01
And on that elevator a man said,
31
121160
2000
Na katika lifti ile mtu mmoja akasema,
02:03
"I hear Billy Graham is staying in this hotel."
32
123160
3000
"Nasikia Billy Graham anakaa katika hotel hii."
02:06
And another man looked in my direction and said,
33
126160
3000
Na mtu mwingine akaangalia upande wangu na akasema,
02:09
"Yes, there he is. He's on this elevator with us."
34
129160
3000
"Ndio, yule pale.Yuko katika lifti hii pamoja nasi."
02:12
And this man looked me up and down
35
132160
2000
Na mtu huyu akaniangalia kutoka chini mpaka juu
02:14
for about 10 seconds,
36
134160
2000
kwa kama sekunde 10,
02:16
and he said, "My, what an anticlimax!"
37
136160
2000
Na akasema," yaani mbona msisimko wote unatoweka!"
02:18
(Laughter)
38
138160
5000
(Vicheko)
02:23
I hope
39
143160
3000
natumaini
02:27
that you won't feel that these few moments with me
40
147160
2000
kuwa hamtajisikia kuwa muda huu mfupi pamoja nami
02:29
is not a -- is an anticlimax,
41
149160
3000
hautawaondolea msisimko
02:32
after all these tremendous
42
152160
2000
baada ya masimulizi yote haya ya ajabu
02:34
talks that you've heard,
43
154160
3000
ambayo mmeyasikiliza,
02:37
and addresses, which I intend to listen to every one of them.
44
157160
3000
masimulizi ambayo hata mimi nakusudia kuyakiliza kila moja
02:40
But I was
45
160160
3000
lakini
02:43
on an airplane in the east some years ago,
46
163160
3000
nikiwa katika ndege mashariki miaka kadhaa iliyopita
02:47
and the man sitting across the aisle from me
47
167160
3000
na mtu ambaye alikuwa amekaa pembeni yangu
02:50
was the mayor of Charlotte, North Carolina.
48
170160
2000
alikuwa ni meya wa mji wa Charlotte, North Carolina.
02:52
His name was John Belk. Some of you will probably know him.
49
172160
3000
Jina lake lilikuwa ni John Belk.Baadhi yenu mnaweza mkawa mnamjua
02:56
And there was a drunk man on there,
50
176160
2000
na pia kulikuwa na mtu aliyelewa pia mahali pale
02:58
and he got up out of his seat two or three times,
51
178160
2000
na aliinuka kutoka kiti chake mara mbili au tatu,
03:00
and he was making everybody upset
52
180160
2000
na alisababisha kila mtu akasirike
03:02
by what he was trying to do.
53
182160
2000
kwa kile alichokuwa anajaribu kufanya
03:04
And he was slapping the stewardess
54
184160
2000
alikuwa anampiga mhudumu wa ndege
03:06
and pinching her as she went by,
55
186160
3000
alipokuwa anapita mahali pale,
03:09
and everybody was upset with him.
56
189160
4000
na kila mtu alikuwa amemkasirikia.
03:13
And finally, John Belk said,
57
193160
2000
Mwishowe,John Belkin akasema,
03:15
"Do you know who's sitting here?"
58
195160
3000
"Hivi unajua nani amekaa hapa?"
03:18
And the man said, "No, who?"
59
198160
2000
na mlevi yule akasema,"hapana, kwa ni nani?"
03:20
He said, "It's Billy Graham,
60
200160
2000
Akasema, "Billy Graham,
03:22
the preacher."
61
202160
2000
Mhubiri."
03:24
He said, "You don't say!"
62
204160
2000
Mlevi yule akasema,"haiwezekani!"
03:26
And he turned to me, and he said, "Put her there!"
63
206160
3000
Na akanigeukia, na kusema, "Mweke huyo muhudumu pale!"
03:29
He said, "Your sermons have certainly helped me."
64
209160
3000
Akasema, " Mahubiri yako yamenisaidia sana."
03:32
(Laughter)
65
212160
8000
(Vicheko)
03:40
And I suppose that that's true
66
220160
2000
Na nafikiri ndivyo ilivyo
03:42
with thousands of people.
67
222160
2000
kwa maelfu ya watu.
03:44
(Laughter)
68
224160
7000
(vicheko)
03:51
I know that as you have been peering into the future,
69
231160
3000
Najua kuwa mmekuwa mkijadiliana kuhusu maendeleo yanayokuja
03:55
and as we've heard some of it here tonight,
70
235160
3000
na kama tulivyoyasikia hapa leo
03:59
I would like to live in that age
71
239160
3000
na mimi pia natamani kuishi kipindi hicho
04:02
and see what is going to be.
72
242160
3000
na kuona nini kitakachotokea.
04:05
But I won't,
73
245160
2000
Lakini sitaweza,
04:07
because I'm 80 years old. This is my eightieth year,
74
247160
3000
Kwa sababu nina miaka 80.
04:10
and I know that my time is brief.
75
250160
3000
na ninajua muda uliobaki ni mfupi
04:15
I have phlebitis at the moment, in both legs,
76
255160
3000
nina matatizo ya kujaa miguu,
04:18
and that's the reason that I had to have a little help in getting up here,
77
258160
3000
na ndio maana nilihitaji msaada ili kupanda hapa juu,
04:21
because I have Parkinson's disease
78
261160
1000
kwa sababu nina ugonjwa wa Parkinson's
04:22
in addition to that,
79
262160
2000
na pamoja hayo,
04:24
and some other problems that I won't talk about.
80
264160
3000
na matatizo mengine ambayo sitayaongelea
04:27
(Laughter)
81
267160
2000
(vicheko)
04:29
But this is not the first time
82
269160
2000
Lakini hii si mara ya kwanza
04:31
that we've had a technological revolution.
83
271160
3000
ambapo tumekuwa na mapinduzi ya teknolojia
04:36
We've had others.
84
276160
2000
tumekuwa nayo mengine.
04:38
And there's one that I want to talk about.
85
278160
3000
na kuna moja ambalo ningependa kuliongelea.
04:42
In one generation,
86
282160
2000
Katika kizazi kimoja,
04:44
the nation of the people of Israel
87
284160
3000
Taifa la wana wa Israel
04:47
had a tremendous and dramatic change
88
287160
3000
lilikuwa na mabadiliko makubwa sana
04:51
that made them a great power in the Near East.
89
291160
3000
ambayo yalilifanya kuwa taifa lenye nguvu sana katika mashariki ya kati.
04:55
A man by the name of David
90
295160
2000
Mtu aitwaye Daudi
04:57
came to the throne,
91
297160
2000
aliingia madarakani,
04:59
and King David became one of the great leaders
92
299160
3000
Na mfalme Daudi alikuwa mmoja kati ya viongozi wakuu sana
05:02
of his generation.
93
302160
3000
wa kizazi cha chake.
05:07
He was a man of tremendous leadership.
94
307160
2000
Alikuwa ni mtu mwenye uwezo wa uongozi wa hali ya juu sana.
05:10
He had the favor of God with him.
95
310160
3000
Alikuwa na kibali cha Mungu pamoja naye.
05:13
He was a brilliant poet,
96
313160
3000
Alikuwa ni mshairi mzuri,
05:17
philosopher, writer, soldier --
97
317160
3000
mwanafilosofia, mwandishi , mpiganaji
05:21
with strategies in battle and conflict
98
321160
3000
aliyekuwa na mbinu za kivita
05:24
that people study even today.
99
324160
2000
ambazo watu mpaka leo wanajifunza.
05:27
But about two centuries before David,
100
327160
4000
Lakini kama karnembili kabla ya Daudi,
05:31
the Hittites
101
331160
2000
Wahiti
05:33
had discovered the secret
102
333160
2000
waligundua siri
05:35
of smelting and processing of iron,
103
335160
3000
ya kuyayusha na kutengeneza bidhaa za chuma,
05:39
and, slowly, that skill spread.
104
339160
2000
na ,taratibu, ujuzi huu ulisambaa.
05:41
But they wouldn't allow the Israelis
105
341160
3000
lakini hawakutaka waisraeli
05:44
to look into it, or to have any.
106
344160
3000
kujua kuhusu ujuzi huu.
05:48
But David changed all of that,
107
348160
2000
Lakini Daudi alibadilisha hali hii,
05:50
and he introduced the Iron Age
108
350160
2000
na akaanzisha zama za chuma
05:52
to Israel.
109
352160
2000
katika taifa la Israeli.
05:54
And the Bible says that David laid up great stores of iron,
110
354160
3000
Na Biblia inasema Daudi aliweka akiba kubwa ya chuma,
05:58
and which archaeologists have found,
111
358160
2000
ambayo wavumbuzi wa mambo ya kale wamezigundua,
06:00
that in present-day Palestine,
112
360160
2000
katika eneo ambalo leo ipo Palestina,
06:02
there are evidences of that generation.
113
362160
3000
kuna ushahidi wa zama hizo.
06:06
Now, instead of crude tools
114
366160
3000
Kwa hiyo, baada ya zana za kuu kuu
06:09
made of sticks and stones,
115
369160
3000
zilizotengenezwa kwa miti na mawe,
06:12
Israel now had iron plows,
116
372160
3000
Israeli sasa walikuwa na majembe ya kukokotwa na ng'ombe,
06:15
and sickles, and hoes
117
375160
2000
na majembe ya mkono
06:17
and military weapons.
118
377160
3000
na silaha za kivita.
06:20
And in the course of one generation,
119
380160
2000
na katika kipindi cha kizazi kimoja,
06:23
Israel was completely changed.
120
383160
3000
Israel ilibadilika kabisa
06:26
The introduction of iron, in some ways,
121
386160
3000
Kuingizwa kwa chuma, kwa namna moja
06:29
had an impact
122
389160
3000
kulileta mabadiliko makubwa
06:32
a little bit like the microchip
123
392160
2000
kama ambavyo vifaa vya elektroniki
06:34
has had on our generation.
124
394160
2000
vilivyoleta mabadiliko katika kizazi chetu.
06:41
And
125
401160
2000
na
06:43
David found
126
403160
2000
Daudi akagundua
06:45
that there were many problems that technology could not solve.
127
405160
3000
kuwa kuna matatizo mengi ambayo teknolojia haiwezi kuyatatua
06:49
There were many problems still left.
128
409160
3000
kulikuwa na matatizo mengi ambayo yaliendelea kuwepo.
06:54
And they're still with us, and you haven't solved them,
129
414160
3000
na baada tunayo pamoja nasi,na bado hamjayatatua,
06:57
and I haven't heard anybody here speak to that.
130
417160
3000
na sijamsikia mtu yeyote hapa akiyaongelea hayo.
07:01
How do we solve these three problems
131
421160
2000
Tunayatatuaje matatizo haya matatu
07:03
that I'd like to mention?
132
423160
2000
ambayo ningependa kuyaongelea?
07:06
The first one that David saw
133
426160
2000
La kwanza aliloliona Daudi
07:08
was human evil.
134
428160
2000
ilikuwa ni uovu wa wanadamu.
07:10
Where does it come from?
135
430160
3000
unatoka wapi?
07:13
How do we solve it?
136
433160
2000
tunautatuaje?
07:15
Over again and again
137
435160
2000
Mara nyingi sana
07:17
in the Psalms,
138
437160
2000
katika kitabu cha Zaburi,
07:19
which Gladstone said was the greatest book in the world,
139
439160
3000
Ambacho Gladstone alisema kuwa ni kitabu kikuu sana kuliko vyote duniani,
07:24
David describes the evils of the human race.
140
444160
3000
Daudi anaeleza juu ya uovu wa wanadamu.
07:27
And yet he says,
141
447160
2000
lakini bado akasema,
07:29
"He restores my soul."
142
449160
3000
"Hunihuisha nafsi yangu"
07:32
Have you ever thought about what a contradiction we are?
143
452160
3000
umeshawahi kufikiri jinsi sisi tulivyokuwa ni mkanganyiko wa kipekee?
07:35
On one hand, we can probe the deepest secrets of the universe
144
455160
4000
kwa upande mmoja, tunaweza kugundua mambo mazito kuhusu ulimwengu
07:39
and dramatically push back the frontiers of technology,
145
459160
4000
na kufanya mapinduzi makubwa ya kiteknolojia,
07:43
as this conference vividly demonstrates.
146
463160
4000
kama ambavyo mkuano huu unavyoonyesha.
07:48
We've seen under the sea,
147
468160
2000
tumeona chini ya bahari,
07:50
three miles down,
148
470160
2000
maili tatu kwenda chini,
07:52
or galaxies hundreds of billions of years
149
472160
3000
au nyota na sayari ambazo ziko miaka , mamia ya mabilioni
07:55
out in the future.
150
475160
2000
mbali nasi.
07:58
But on the other hand,
151
478160
2000
lakini kwa upande mwingine,
08:01
something is wrong.
152
481160
2000
kuna tatizo.
08:05
Our battleships,
153
485160
2000
mapigano yetu,
08:07
our soldiers,
154
487160
2000
wanajeshi wetu,
08:09
are on a frontier now,
155
489160
2000
wako katika mstari wa mbele kwa sasa,
08:11
almost ready to go to war
156
491160
2000
wakiwa tayari kupigana
08:13
with Iraq.
157
493160
2000
na Iraki.
08:15
Now, what causes this?
158
495160
2000
Nini kinachosababisha hali hii?
08:17
Why do we have these wars in every generation,
159
497160
3000
kwa nini tunavita hizi katika kila kizazi,
08:20
and in every part of the world?
160
500160
3000
na katika kila eneo la dunia?
08:23
And revolutions?
161
503160
2000
na mapinduzi?
08:26
We can't get along with other people,
162
506160
2000
kwa nini hatuwezi kukaa na watu wengine vizuri,
08:28
even in our own families.
163
508160
2000
hata katika familia zetu wenyewe.
08:30
We find ourselves in the paralyzing grip
164
510160
2000
tunajikuta katika hali ya kuchanganyikiwa
08:32
of self-destructive habits we can't break.
165
512160
3000
na tabia zinatoharibia mambo amabazo hatuwezi kuziacha.
08:36
Racism and injustice and violence sweep our world,
166
516160
3000
Ubaguzi wa rangi na uvunjaji wa haki na machafuko yametapakaa duniani kote,
08:39
bringing a tragic harvest of heartache and death.
167
519160
4000
yakileta mavuno mabaya ya vifo na kuumizwa kwa mioyo.
08:45
Even the most sophisticated among us
168
525160
2000
Hata wale ambao ni werevu sana kati yetu,
08:47
seem powerless to break this cycle.
169
527160
3000
wanaonekana kuwa hawana uwezo wa kuvunja hali hii.
08:50
I would like to see Oracle
170
530160
2000
Ningependa kuona kampuni ya Oracle
08:52
take up that,
171
532160
2000
ikifanyia kazi tatizo hili,
08:55
or
172
535160
3000
au
08:58
some other
173
538160
2000
wataalamu wengine
09:00
technological geniuses work on this.
174
540160
4000
wa teknolojia wakifanyia kazi tatizo hili.
09:04
How do we change man,
175
544160
3000
Tunambadilishaje mwanadamu,
09:08
so that he doesn't lie and cheat,
176
548160
2000
ili asiweze kudanganya,
09:10
and our newspapers are not filled with stories
177
550160
3000
na magazeti yetu yasijazwe na habari za
09:13
of fraud in business or labor
178
553160
2000
utapeli katika biashara au kazi,
09:15
or athletics or wherever?
179
555160
3000
au katika michezo au chochote kile?
09:20
The Bible says the problem is within us,
180
560160
4000
Biblia inasema tatizo liko ndani yetu,
09:24
within our hearts and our souls.
181
564160
3000
ndani ya mioyo na nafsi zetu.
09:27
Our problem is that we are separated
182
567160
2000
Tatizo ni kwa sababu tumetengwa
09:29
from our Creator,
183
569160
3000
na muumba wetu,
09:32
which we call God,
184
572160
2000
ambaye tunamwita Mungu,
09:34
and we need to have our souls restored,
185
574160
2000
na tunahitaji nafsi zetu zihuishwe,
09:39
something only God can do.
186
579160
2000
kitu ambacho ni Mungu pekee awezaye kukifanya.
09:41
Jesus said, "For out of the heart
187
581160
2000
Yesu alisema, " Kwa maana moyoni
09:43
come evil thoughts:
188
583160
2000
hutoka mawazo mabaya:
09:45
murders, sexual immorality,
189
585160
3000
uuaji, uzinzi, uasherati,
09:48
theft, false testimonies,
190
588160
3000
wizi, ushuhuda wa uongo,
09:51
slander."
191
591160
2000
na matukano."
09:53
The British philosopher Bertrand Russell
192
593160
2000
Mwanafalsafa wa Uingereza Bertrand Russell
09:55
was not a religious man,
193
595160
3000
hakuwa mtu aliyeamini mambo ya Mungu,
09:58
but he said, "It's in our hearts that the evil lies,
194
598160
3000
lakini alisema,"ni ndani ya mioyo yetu ndiko uovu unakokaa,
10:01
and it's from our hearts
195
601160
2000
na ni ndani ya mioyo yetu
10:03
that it must be plucked out."
196
603160
3000
unahitaji kutolewa."
10:06
Albert Einstein --
197
606160
2000
Albert Einstein --
10:08
I was just talking to someone, when I was speaking at Princeton,
198
608160
3000
Nilikuwa naongea na mtu,nilipokuwa naongea katika chuo kikuu cha Princeton,
10:11
and I met
199
611160
2000
na nikakutana na
10:13
Mr. Einstein.
200
613160
2000
Bwana Einstein.
10:15
He didn't have a doctor's degree, because he said
201
615160
2000
Hakuwa na shahada ya udaktari, kwa sababu alisema
10:17
nobody was qualified to give him one.
202
617160
2000
hakuna yeyote ambaye alikuwa na sifa za kumtunuku yeye shahada hiyo.
10:19
(Laughter)
203
619160
4000
(Vicheko)
10:23
But he made this statement.
204
623160
2000
lakini akasema maneno haya.
10:25
He said, "It's easier to denature plutonium
205
625160
3000
Alisema, "ni rahisi sana kubadilisha umbo la asili la madini ya plutonium
10:28
than to denature the evil spirit of man."
206
628160
3000
kuliko kubadilisha asili ya uovu ndani ya moyo wa mwanadamu."
10:31
And many of you, I'm sure,
207
631160
2000
na wengi wenu, ni hakika,
10:33
have thought about that
208
633160
2000
mmeshawahi kuwaza juu ya kitu hiki
10:35
and puzzled over it.
209
635160
2000
na kujiuliza maswali mengi juu yake.
10:37
You've seen people
210
637160
2000
mmewaona watu
10:39
take beneficial technological advances,
211
639160
3000
wakichukua faida za maendeleo ya kiteknolojia,
10:42
such as the Internet we've heard about tonight,
212
642160
2000
kama Intaneti, ambayo tumesikia habari zake usiku huu,
10:44
and twist them into something corrupting.
213
644160
4000
na kuibadilisha kuwa ni kitu kinacholeta uharibifu na madhara.
10:48
You've seen brilliant people devise computer viruses
214
648160
3000
Mmesikia watu mahiri ambao wanatengeneza virusi ya kompyuta
10:51
that bring down whole systems.
215
651160
3000
ambavyo ninaleta uharibifu katika mifumo mizima ya mawasiliano.
10:54
The Oklahoma City bombing was simple technology,
216
654160
3000
Bomu lililolipuliwa katika mji wa Oklahoma, ilikuwa ni teknolojia rahisi tu,
10:57
horribly used.
217
657160
2000
ambayo ilitumika vibaya
11:00
The problem is not technology.
218
660160
2000
Tatizo sio teknolojia
11:02
The problem is the person or persons using it.
219
662160
4000
Tatizo no mtu au watu ambao wanaitumia.
11:07
King David said
220
667160
2000
Mfalme Daudi alisema
11:09
that he knew the depths of his own soul.
221
669160
3000
alijua vilindi vya nafsi yake.
11:12
He couldn't free himself from personal problems
222
672160
3000
hakuweza kujiweka huru na matatizo yake
11:15
and personal evils
223
675160
3000
na uovu ndani yake
11:18
that included murder and adultery.
224
678160
2000
ambao ulikuwa ni pamoja na mauaji na uzinzi.
11:21
Yet King David sought God's forgiveness,
225
681160
2000
Lakini mfalme Daudi alitafuta msamaha wa Mungu,
11:23
and said, "You can restore my soul."
226
683160
3000
na akasema, "unaweza ukahuisha nafsi yangu."
11:26
You see, the Bible teaches
227
686160
3000
BiBlia inafundisha
11:29
that we're more than a body and a mind.
228
689160
3000
kuwa sisi ni zaidi tu ya miili ma mawazo.
11:33
We are a soul.
229
693160
3000
sisi ni nafsi.
11:36
And there's something inside of us
230
696160
3000
na kuna kitu ndani yetu
11:39
that is beyond our understanding.
231
699160
3000
ambacho kinazidi ufahamu wetu.
11:42
That's the part of us that yearns
232
702160
3000
hiyo ni sehemu yetu ambayo inamwonea shauku
11:45
for God, or something more
233
705160
3000
Mungu, au kitu kikubwa zaidi
11:48
than we find in technology.
234
708160
3000
ya vkile tunachokipata ndani ya teknolojia.
11:51
Your soul is that part of you that
235
711160
2000
Nafsi yako ni ile sehemu yako
11:53
yearns for meaning in life,
236
713160
2000
ambayo ina hamu yakuona maisha yakiwa na maana,
11:55
and which seeks for something beyond this life.
237
715160
3000
na ambacho kinatafuta kitu kilicho mbele maisha haya ya sasa.
11:58
It's the part of you that yearns, really, for God.
238
718160
2000
Ni sehemu yako ambayo ina shauku na Mungu.
12:00
I find [that] young people all over the world
239
720160
2000
Nimeona kuwa vijana kote duniani
12:02
are searching for something.
240
722160
3000
wanatafuta kitu fulani
12:05
They don't know what it is. I speak at many universities,
241
725160
3000
Hawajui ni kitu gani. ninaongea katika vyuo vikuu vingi,
12:08
and I have many questions and answer periods, and
242
728160
3000
ninakuwa na vipindi vingi vya maswali na majibu, na
12:11
whether it's Cambridge, or Harvard,
243
731160
2000
haijalishi kama ni chuo kikuu cha Cambridge, au Harvard,
12:13
or Oxford --
244
733160
2000
au Oxford--
12:15
I've spoken at all of those universities.
245
735160
2000
nimeshaongea katika vyuo vyote hivyo.
12:17
I'm going to Harvard in about three or four --
246
737160
2000
Ninaenda Harvard katika kipindi cha miezi mitatu au minne
12:19
no, it's about two months from now --
247
739160
2000
hapana, ni miezi miwili kutoka sasa --
12:21
to give a lecture.
248
741160
2000
kutoa mhadhara.
12:23
And I'll be asked the same questions that I was asked
249
743160
2000
na najua nitaulizwa maswali yale yale niliyoulizwa
12:25
the last few times I've been there.
250
745160
3000
mara kadhaa nilivyokuwa mahali hapo.
12:28
And it'll be on
251
748160
2000
na yatakuwa ni juu ya
12:30
these questions:
252
750160
2000
maswali haya:
12:32
where did I come from? Why am I here? Where am I going?
253
752160
3000
Nimetokea wapi? Kwa nini niko hapa? ninaenda wapi?
12:35
What's life all about? Why am I here?
254
755160
3000
Ni nini maana ya maisha hasa? Kwa nini niko hapa?
12:39
Even if you have no religious belief,
255
759160
2000
Hata kama hauna imani ya dini
12:41
there are times when you wonder that there's something else.
256
761160
3000
kuna nyakati ambazo unawaza kuwa kuna kitu kingine
12:44
Thomas Edison also said,
257
764160
3000
Thomas Edison alisema
12:47
"When you see everything that happens in the world of science,
258
767160
3000
"kila unapoona kila kinachotokea katika ulimwengu wa sayansi.
12:50
and in the working of the universe,
259
770160
2000
na ufanyaji kazi wa ulimwengu,
12:52
you cannot deny that there's a captain on the bridge."
260
772160
3000
hauwezi ukakataa kuwa kuna mwongozaji wa hayo yote upande wa pili
12:56
I remember once,
261
776160
2000
ninakumbuka kuna wakati
12:58
I sat beside Mrs. Gorbachev
262
778160
2000
nilikaa pembeni ya mke wa rais wa urusi , mama Gorbachev
13:00
at a White House dinner.
263
780160
2000
katika ikulu ya Marekani ya white house,
13:03
I went to Ambassador Dobrynin, whom I knew very well.
264
783160
2000
nilienda kwa balozi Dobrynin
13:05
And I'd been to Russia several times under the Communists,
265
785160
4000
na nilikuwa nimeshaenda Urusi mara kadhaa chini ya utawala wa kikomunisti
13:09
and they'd given me marvelous freedom that I didn't expect.
266
789160
4000
na walinipatia uhuru wa ajabu ambao sikuutegemea.
13:15
And I knew Mr. Dobrynin very well,
267
795160
2000
Nilimjua ndugu Dobrynin vizuri sana,
13:17
and I said,
268
797160
2000
na nikamwambia,
13:19
"I'm going to sit beside Mrs. Gorbachev tonight.
269
799160
3000
" ninaenda kukaa karibu na mama Gorbachev leo usiku.
13:22
What shall I talk to her about?"
270
802160
2000
niongee naye nini?
13:24
And he surprised me with the answer.
271
804160
2000
Na alinishangaza kwa jibu lake.
13:26
He said, "Talk to her about religion and philosophy.
272
806160
3000
Alisema," ongea nae kuhusu dini na filosofia.
13:29
That's what she's really interested in."
273
809160
3000
hicho ndicho anachopenda."
13:32
I was a little bit surprised, but that evening
274
812160
3000
nilishangaa kidogo, lakini jioni ile
13:35
that's what we talked about,
275
815160
2000
hicho ndicho tulichoongea.
13:37
and it was a stimulating conversation.
276
817160
2000
na yalikuwa ni mazungumzo ya kusisimua sana.
13:39
And afterward, she said,
277
819160
2000
na baadae akasema,
13:41
"You know, I'm an atheist,
278
821160
2000
" unajua , mimi siamini juu ya uwepo wa Mungu,
13:43
but I know that there's something up there
279
823160
2000
lakini najua kuwa kuna kitu huko juu
13:45
higher than we are."
280
825160
3000
kikubwa zaidi yetu."
13:48
The second problem
281
828160
2000
taizo la pili
13:50
that King David realized he could not solve
282
830160
3000
ambalo Mfalme Daudi aligundua kuwa hawezi kulitatua
13:54
was the problem of human suffering.
283
834160
2000
ilikuwa ni tatizo la mateso mbalimbali ya wanadamu.
13:56
Writing the oldest book in the world was Job,
284
836160
3000
aliyeandika kitabu cha zamani kabisa dunianialikuwa ni Ayubu,
13:59
and he said,
285
839160
2000
na akasema,
14:01
"Man is born unto trouble as the sparks fly upward."
286
841160
3000
"Mwanadamu huzaliwa ili apate mashaka, kama cheche za moto zirukavyo juu".
14:05
Yes, to be sure, science has done much to push back
287
845160
3000
Na kwa uhakika, sayansi imefanya mengi kupunguza
14:08
certain types of human suffering.
288
848160
3000
baadhi ya machungu ya wanadamu.
14:11
But I'm --
289
851160
2000
lakini mimi
14:13
in a few months, I'll be 80 years of age.
290
853160
3000
ndani ya miezi michache ijayo nitakuwa na miaka, 80.
14:16
I admit that I'm very grateful
291
856160
2000
Nakubali kuwa ninashukuru sana
14:18
for all the medical advances
292
858160
2000
kwa ajili ya maendeleo ya kitabibu
14:20
that have kept me in relatively good health
293
860160
2000
ambayo yamenifanya niendelee kuwa mzima na afya nzuri.
14:22
all these years.
294
862160
2000
kwa miaka yote hii.
14:24
My doctors at the Mayo Clinic urged me
295
864160
2000
Madaktari wangu katika kliniki ya Mayo walinisihi
14:26
not to take this trip out here to this -- to be here.
296
866160
3000
nisisafiri kuja mahali hapa.
14:30
I haven't given a talk in nearly four months.
297
870160
3000
sijaongea mbele ya watu kama hivi kwa karibia miezi minne
14:35
And when you speak as much as I do,
298
875160
2000
na ukiwa unaongea mara nyingi kama ambavyo mimi naongea
14:37
three or four times a day,
299
877160
2000
mara tatu au mara nne kwa siku,
14:39
you get rusty.
300
879160
2000
nguvu yako inapungua.
14:41
That's the reason I'm using this podium
301
881160
2000
Ndio maana natumia kifaa hiki cha kuegemea
14:43
and using these notes.
302
883160
3000
na kutumia maandishi haya niliyoyandaa kabla.
14:46
Every time you ever hear me on the television or somewhere,
303
886160
3000
Kila mara unaponisikia mimi katika televisheni au mahali pengine,
14:49
I'm ad-libbing.
304
889160
2000
ninakuwa ninaongea kwa kutoa maneno hapo kwa hapo kwa kufuata muongozo fulani
14:51
I'm not reading. I never read an address.
305
891160
3000
sisomi, huwa sisomi maelezo yoyote
14:55
I never read a speech or a talk or a lecture.
306
895160
2000
sisomi hotuba , mahubiri au mihadhara
14:59
I talk ad lib.
307
899160
2000
ninaongea hapo kwa hapo
15:01
But tonight, I've
308
901160
2000
lakini usiku huu, nina
15:03
got some notes here so that if
309
903160
2000
maandishi ambayo kama ikitokea
15:05
I begin to forget,
310
905160
2000
ninataka kusahau,
15:07
which I do sometimes,
311
907160
3000
kitu ambacho hutokea wakati mwingine,
15:10
I've got something I can turn to.
312
910160
3000
nitakuwa na kitu cha kuniongoza.
15:13
But even here among us,
313
913160
2000
Lakini hata hata hapa kati kati yetu,
15:17
most --
314
917160
2000
wengi--
15:21
in the most advanced society in the world,
315
921160
3000
katika jamii iliyoendelea sana kuliko zote duniani,
15:24
we have poverty.
316
924160
2000
tuna umaskini.
15:26
We have families that self-destruct,
317
926160
3000
Tuna familia ambazo zinaharibu mambo yake zenyewe,
15:29
friends that betray us.
318
929160
2000
marafiki wanaotusaliti.
15:31
Unbearable psychological pressures bear down on us.
319
931160
3000
tunaelemewa na misongo ya mawazo
15:34
I've never met a person in the world
320
934160
2000
sijawahi kukutana na mtu yeyote duniani
15:36
that didn't have a problem
321
936160
2000
ambaye hana tatizo
15:38
or a worry.
322
938160
2000
au wasiwasi fulani.
15:40
Why do we suffer? It's an age-old question
323
940160
3000
Kwa nini tunapatwa na magumu? ni swali ambalo limeulizwa kwa muda mrefu
15:43
that we haven't answered.
324
943160
2000
ambalo bado hatujalijibu.
15:45
Yet David again and again said
325
945160
3000
Lakini Daudi tena na tena alisema
15:49
that he would turn to God.
326
949160
3000
atamgeukia Mungu.
15:52
He said, "The Lord is my shepherd."
327
952160
3000
Alisema, "Bwana ndiye mchungaji wangu."
15:56
The final problem that David knew he could not solve
328
956160
4000
Tatizo la mwisho ambalo Daudi alijua hawezi kulitatua
16:00
was death.
329
960160
2000
ilikuwa ni Kifo.
16:03
Many commentators have said that death
330
963160
2000
Watu wengi wamesema kwamba kifo
16:05
is the forbidden subject of our generation.
331
965160
3000
ni jambo ambalo limekuwa gumu kuzungumzwa na kizazi chetu.
16:08
Most people live as if
332
968160
3000
Watu wengi wanaishi kama vile
16:11
they're never going to die.
333
971160
2000
hawatakufa.
16:13
Technology projects the myth
334
973160
3000
Teknolojia inaleta udanganyifu
16:16
of control over our mortality.
335
976160
3000
kuwa tunaweza tukatawala kuishi kwetu.
16:20
We see people on our screens.
336
980160
2000
Tunaona watu katika vioo vya TV.
16:22
Marilyn Monroe is just as beautiful on the screen
337
982160
2000
Marilyn Monroe ni mzuri katika TV
16:24
as she was in person,
338
984160
2000
kama alivyokuwa hai,
16:26
and our -- many young people think she's still alive.
339
986160
3000
na vijana wengi wanafikiri kuwa bado anaendelea kuishi.
16:30
They don't know that she's dead.
340
990160
2000
Hawajui kuwa alishakufa.
16:32
Or Clark Gable, or whoever it is.
341
992160
2000
Au Clark Gable, au yeyote yule mwingine.
16:34
The old stars, they come to life.
342
994160
4000
Nyota wa zamani, wanarudi tena kuwa hai.
16:38
And they're --
343
998160
2000
Na wanakuwa
16:41
they're just as great on that screen as they were in person.
344
1001160
3000
Na wanakuwa mahiri katika TV kama walivyokuwa mahiri walipokuwa hai.
16:46
But death is inevitable.
345
1006160
2000
Lakini kifo hakina ushindani.
16:48
I spoke some time ago to
346
1008160
3000
Nilikuwa naongea kipindi fulani hapo nyuma
16:51
a joint session of Congress, last year.
347
1011160
3000
katika kikao cha pamoja cha bunge la Marekani
16:55
And we were meeting in that room,
348
1015160
2000
Kwa tukawa tunakutana katika hicho chumba,
16:58
the statue room.
349
1018160
2000
katika chumba cha sanamu
17:00
About 300 of them were there.
350
1020160
2000
watu kama 300 walikuwa pale.
17:03
And I said, "There's one thing that we have in common in this room,
351
1023160
4000
na nikasema." kuna kitu moja ambacho wote hapa tunacho,
17:07
all of us together, whether Republican or Democrat,
352
1027160
2000
wote sisi hapa, bila kujali ni mmwanachama wa chama cha Republican au Democrat,
17:10
or whoever."
353
1030160
2000
au vyovyote vile."
17:12
I said, "We're all going to die.
354
1032160
2000
nikasema,"sis wote ipo siku tutakufa.
17:14
And we have that in common with all these great men of the past
355
1034160
3000
na hicho ndicho kitu tulicho nacho sisi wote pamoja na watu mahiri wa zamani.
17:17
that are staring down at us."
356
1037160
3000
ambao wanatuangalia kutoka juu."
17:21
And it's often difficult for young people
357
1041160
2000
na mara nyingi ni ngumu sana kwa vijana
17:23
to understand that.
358
1043160
2000
kuelewa hilo.
17:26
It's difficult for them to understand that they're going to die.
359
1046160
3000
ni vigumu kwa wao kuelewa kuwa ipo siku watakuja kufa.
17:30
As the ancient writer of Ecclesiastes wrote,
360
1050160
4000
Mwandishi wa kitabu Mhubiri aliandika,
17:34
he said, there's every activity under heaven.
361
1054160
3000
alisema, kuna kila shughuli chini ya mbingu.
17:38
There's a time to be born,
362
1058160
3000
kuna wakati wa kuzaliwa,
17:41
and there's a time to die.
363
1061160
2000
na kuna wakati wa kufa.
17:43
I've stood at the deathbed
364
1063160
3000
nimekuwa nikiwa pembeni wakati umauti ulipowakaribia
17:46
of several famous people,
365
1066160
2000
watu maarufu mbalimbali
17:48
whom you would know.
366
1068160
2000
ambao baadhi yenu mtakuwa mnawajua.
17:50
I've talked to them.
367
1070160
2000
nimeongea nao.
17:52
I've seen them in those agonizing moments
368
1072160
2000
nimeona kipindi hiki cha mashaka yao
17:54
when they were scared to death.
369
1074160
3000
walipokuwa na uoga usiokuwa wa kawaida.
17:57
And yet, a few years earlier,
370
1077160
3000
lakini, miaka michache kabla,
18:01
death never crossed their mind.
371
1081160
2000
kifo hakikuwa katika mawazo yao kabisa.
18:03
I talked to a woman this past week
372
1083160
3000
niliongea na mwanamke mmoja, wiki iliyopita
18:07
whose father
373
1087160
2000
ambaye baba yake
18:10
was a famous doctor.
374
1090160
2000
alikuwa ni daktari maarufu.
18:13
She said he never thought of God, never talked about God,
375
1093160
3000
Alisema hakuwa anawaza kuhusu Mungu, wala kuongea chochote kuhusu Mungu,
18:16
didn't believe in God. He was an atheist.
376
1096160
3000
hakuamini kabisa kuhusu Mungu. alikuwa ni mtu asiyeamini kwamba Mungu yupo.
18:21
But she said,
377
1101160
2000
Lakini akasema
18:23
as he came to die,
378
1103160
2000
alipokuwa anakaribia kufa,
18:25
he sat up on the side of the bed one day,
379
1105160
4000
alikaa pembeni ya kitanda siku moja,
18:29
and he asked the nurse if he could see the chaplain.
380
1109160
3000
na akamwuliza muuguzi kama anaweza kumwona mchungaji.
18:32
And he said, for the first time in his life
381
1112160
2000
akasema, kwa mara ya kwanza katika maisha yake
18:34
he'd thought about the inevitable,
382
1114160
3000
aliwaza kuhusu jambo hili lisiloepukika,
18:39
and about God.
383
1119160
2000
na kuhusu Mungu.
18:41
Was there a God?
384
1121160
2000
Je Mungu yupo?
18:45
A few years ago, a university student asked me,
385
1125160
3000
Miaka michache iliyopita,mwanafunzi wa chuo kikuu aliniuliza,
18:49
"What is the greatest surprise in your life?"
386
1129160
3000
"Kipi kimekushangaza sana katika maisha yako?"
18:52
And I said, "The greatest surprise in my life
387
1132160
2000
nikajibu,"kitu kilichonishangaza sana katika maisha yangu
18:54
is the brevity of life.
388
1134160
3000
ni ufupi wa maisha.
18:57
It passes so fast."
389
1137160
3000
yanapita haraka sana."
19:02
But it does not need to have to be that way.
390
1142160
2000
Lakini haihitaji kuwa hivyo.
19:04
Wernher von Braun,
391
1144160
3000
Wernher von Braun,
19:07
in the aftermath of World War II concluded, quote:
392
1147160
3000
muda mfupi baada ya vita ya pili ya dunia alisema,
19:10
"science and religion are not antagonists.
393
1150160
3000
"Sayansi na dini sio maadui.
19:13
On the contrary, they're sisters."
394
1153160
3000
kinyume chake, hawa ni kama mtu na dada yake."
19:17
He put it on a personal basis.
395
1157160
2000
Akajaribu kuweka katika uhusiano wa karibu hivyo.
19:19
I knew Dr. von Braun very well.
396
1159160
3000
Nilimjua Dr. von Braun vizuri sana.
19:22
And he said, "Speaking for myself,
397
1162160
2000
Na akasema,"Nikiongea kama mimi,
19:24
I can only say that the grandeur of the cosmos
398
1164160
3000
naweza kusema kuwa uzuri wa anga
19:27
serves only to confirm
399
1167160
2000
unathibitisha
19:29
a belief in the certainty of a creator."
400
1169160
3000
uhakika wa muumbaji."
19:32
He also said,
401
1172160
2000
akasema pia,
19:34
"In our search to know God,
402
1174160
2000
"katika kutafuta kwetu kumjua Mungu,
19:36
I've come to believe that the life of Jesus Christ
403
1176160
3000
nimeamini kuwa maisha ya Yesu Kristo
19:40
should be the focus of our efforts and inspiration.
404
1180160
3000
yanatakiwa yawe ndiyo mwongozo wa juhudi zetu.
19:44
The reality of this life and His resurrection
405
1184160
2000
Ukweli wa maisha haya na kufufuka kwake
19:46
is the hope of mankind."
406
1186160
3000
ni tumaini la wanadamu."
19:49
I've done a lot of speaking in Germany
407
1189160
2000
Nimehubiri mara nyingi Ujerumani
19:51
and in France, and in different parts of the world --
408
1191160
3000
na Ufaransa, na katika sehemu mbalimbali duniani --
19:54
105 countries it's been my privilege to speak in.
409
1194160
3000
nimepata neema ya kuhubiri katika nchi 105.
19:59
And I was invited one day to visit
410
1199160
3000
Na nilialikwa siku moja kumtembelea
20:03
Chancellor Adenauer,
411
1203160
2000
Waziri mkuu Adenauer,
20:05
who was looked upon as sort of the founder of modern Germany,
412
1205160
3000
ambaye alikuwa ni baba wa taifa la kisasa la ujerumani,
20:10
since the war.
413
1210160
2000
baada ya vita
20:12
And he once -- and he said to me,
414
1212160
2000
na akaniambia
20:14
he said, "Young man." He said,
415
1214160
2000
Kijana,
20:16
"Do you believe in the resurrection of Jesus Christ?"
416
1216160
3000
Je unaamini katika kufufuka kwa Yesu Kristo?"
20:20
And I said, "Sir, I do."
417
1220160
2000
nikasema,Ndio Bwana mkubwa."
20:22
He said, "So do I."
418
1222160
2000
akasema,"hata mimi pia."
20:24
He said, "When I leave office,
419
1224160
2000
Akasema,"Nitakapoondoka madarakani,
20:26
I'm going to spend my time writing a book
420
1226160
3000
nitaandika kitabu
20:29
on why Jesus Christ rose again,
421
1229160
3000
kwa nini Yesu Kristo alifufuka,
20:32
and why it's so important to believe that."
422
1232160
3000
na umuhimu wa kuamini hivyo."
20:38
In one of his plays,
423
1238160
2000
Katika moja ya maigizo yake,
20:40
Alexander Solzhenitsyn
424
1240160
2000
Alexander Solzhenitsyn
20:43
depicts a man dying,
425
1243160
2000
anaonyesha mtu anayekufa,
20:45
who says to those gathered around his bed,
426
1245160
3000
anayewaambia waliokuwa wamezunguka kitanda chake,
20:48
"The moment when it's terrible to feel regret
427
1248160
2000
"wakati mbaya wa kuwa na majuto
20:50
is when one is dying."
428
1250160
3000
ni wakati ambapo mtu anapokuwa anakufa."
20:53
How should one live in order not to feel regret when one is dying?
429
1253160
4000
Mtu aishije ili aiwe na majuto wakati wa kufa?
20:58
Blaise Pascal
430
1258160
2000
Blaise Pascal
21:00
asked exactly that question
431
1260160
2000
aliuliza swali
21:02
in seventeenth-century France.
432
1262160
2000
katika karne ya 17, ufaransa
21:04
Pascal has been called the architect
433
1264160
2000
Pascal anahesabika kama mtengenezaji
21:06
of modern civilization.
434
1266160
2000
wa ustaarabu wa kisasa.
21:09
He was a brilliant scientist
435
1269160
2000
Alikuwa ni mwanasayansi mahiri
21:11
at the frontiers of mathematics,
436
1271160
2000
katika eneo la hisabati,
21:13
even as a teenager.
437
1273160
2000
hata alipokuwa kijana.
21:16
He is viewed by many as the founder of the probability theory,
438
1276160
3000
Anajulikana na wengi kama mwanzilishi wa kanuni ya uwezekano wa kitu fulani kutokea
21:20
and a creator of the first model of a computer.
439
1280160
4000
na mwanzilishi wa mfumo wa kwanza wa kompyuta.
21:24
And of course, you are all familiar with
440
1284160
2000
na najua mnaelewa
21:26
the computer language named for him.
441
1286160
3000
lugha ya kompyuta iliyoitwa kwa jina lake.
21:29
Pascal explored in depth our human dilemmas
442
1289160
2000
Pascal alitafiti matatizo makuu matatu ya wanadamu
21:31
of evil, suffering and death.
443
1291160
4000
ya uovu,mateso na kifo
21:35
He was astounded
444
1295160
3000
alishangazwa sana
21:38
at the phenomenon we've been considering:
445
1298160
3000
na vitu ambavyo tumekuwa tukitafakari
21:41
that people can achieve extraordinary heights
446
1301160
2000
kwamba watu wanaweza kupata mafanikio makubwa sana
21:43
in science, the arts and human enterprise,
447
1303160
3000
katika sayansi,sanaa na biashara,
21:46
yet they also are full of anger, hypocrisy
448
1306160
3000
lakini wakawa wamejaa hasira,unafiki
21:49
and have -- and self-hatreds.
449
1309160
3000
na kujichukia wenyewe.
21:53
Pascal saw us as a remarkable mixture
450
1313160
2000
Pascal alituona sisi kuwa ni mchanganyiko
21:55
of genius and self-delusion.
451
1315160
3000
wa umahiri sana na kujidanganya kwingi.
21:58
On November 23,
452
1318160
2000
Novemba 23,
22:00
1654,
453
1320160
2000
1654
22:03
Pascal had a profound religious experience.
454
1323160
3000
Pascal alikutana na hali ya kipekee ya kiroho.
22:07
He wrote in his journal these words:
455
1327160
3000
aliandika katika jarida lake maneno haya:
22:10
"I submit myself,
456
1330160
2000
"najikabidhi,
22:12
absolutely,
457
1332160
2000
kabisa
22:15
to Jesus Christ, my redeemer."
458
1335160
3000
kwa Yesu Kristo,mwokozi wangu."
22:18
A French historian said,
459
1338160
2000
Mwanahistoria wa kifaransa alisema
22:20
two centuries later,
460
1340160
3000
karne mbili baadae,
22:23
"Seldom has so mighty an intellect
461
1343160
2000
"ni mara chache sana mtu msomi
22:26
submitted with such humility
462
1346160
3000
akajishusha kwa unyenyekevu kiasi hicho
22:29
to the authority of Jesus Christ."
463
1349160
3000
kwa mamlaka ya Yesu Kristo."
22:33
Pascal came to believe not only the love and the grace of God
464
1353160
3000
Pascal sio tu aliamini juu ya upendo na neema ya Mungu
22:36
could bring us back into harmony,
465
1356160
3000
kuwa vinaweza kuturudisha katika furaha,
22:41
but he believed
466
1361160
2000
lakini aliamini
22:43
that his own sins and failures could be forgiven,
467
1363160
3000
kuwa dhambi zake na kushindwa kwake kunaweza kusamehewa
22:46
and that when he died he would go to a place called heaven.
468
1366160
3000
na kuwa akifa ataenda mbinguni
22:51
He experienced it in a way that went beyond
469
1371160
2000
hali hii ilikuwa ni zaidi
22:53
scientific observation and reason.
470
1373160
2000
ya utafiti wowote wa kisayansi
22:55
It was he who penned the well-known words,
471
1375160
3000
alikuwa ni yeye aliyesema maneno haya,
22:58
"The heart has its reasons,
472
1378160
2000
"Moyo una sababu zake,
23:01
which reason knows not of."
473
1381160
3000
sababu ambazo hauzijui."
23:04
Equally well known is Pascal's Wager.
474
1384160
3000
Kingine kinachojulikana sana ni kanuni ya Pascal ya uwepo wa Mungu
23:07
Essentially, he said this: "if you bet on God,
475
1387160
3000
alisema." kama ukikubali kuwa Mungu yupo,
23:11
and open yourself to his love,
476
1391160
2000
na ukajiachia moyo wako kupokea upendo wake
23:13
you lose nothing, even if you're wrong.
477
1393160
3000
hautapoteza chochote hata kama utakuwa umekosea.
23:16
But if instead you bet that there is no God,
478
1396160
3000
lakini ukisema hakuna Mungu,
23:20
then you can lose it all, in this life and the life to come."
479
1400160
3000
unaweza ukapoteza yote,katika maisha ya sasa na yajayo."
23:25
For Pascal, scientific knowledge
480
1405160
2000
Kwa Pascal,maarifa ya Sayansi
23:27
paled beside the knowledge of God.
481
1407160
3000
yalikuwa nyuma sana ya neno la Mungu.
23:31
The knowledge of God was far beyond
482
1411160
2000
Maarifa ya Mungu yalikuwa mbali sana
23:33
anything that ever crossed his mind.
483
1413160
3000
na chochote kilichokuja katika mawazo yake.
23:36
He was ready to face him
484
1416160
2000
alikuwa tayari kukutana naye
23:38
when he died at the age of 39.
485
1418160
3000
alipokufa akiwa na miaka 39.
23:41
King David lived to be 70,
486
1421160
2000
Mfalme Daudi aliishi mpaka kufika miaka 70
23:43
a long time in his era.
487
1423160
3000
muda mrefu katika kizazi chake.
23:46
Yet he too had to face death,
488
1426160
3000
lakini na yeye alikutana na kifo,
23:49
and he wrote these words:
489
1429160
2000
na akaandika maneno haya:
23:51
"even though I walk through the valley of the shadow of death,
490
1431160
4000
"Naam,nijapopita katika bonde la uvuli wa mauti,
23:55
I will fear no evil,
491
1435160
2000
Sitaogopa mabaya,
23:57
for you are with me."
492
1437160
2000
Kwa maana,wewe upo pamoja nami."
23:59
This was David's answer to three dilemmas
493
1439160
3000
hili lilikuwa ni jibu la Daudi kwa matatizo haya matatu
24:02
of evil, suffering and death.
494
1442160
3000
ya uovu, mateso na kifo.
24:05
It can be yours, as well,
495
1445160
3000
jibu hili linaweza likawa lako pia,
24:09
as you seek the living God
496
1449160
2000
unapomtafuta Mungu aliye hai
24:11
and allow him to fill your life
497
1451160
2000
na kumruhusu ajaze maisha yako
24:13
and give you hope for the future.
498
1453160
3000
na kukupa tumaini la maisha ya baadaye.
24:18
When I was 17 years of age,
499
1458160
2000
nilipokuwa na miaka 17,
24:22
I was born and reared on a farm in North Carolina.
500
1462160
3000
Nilizaliwa na kukua katika shamba huko North Carolina.
24:26
I milked cows every morning, and I had to milk the same cows every evening
501
1466160
2000
nilikamua maziwa ya ng'ombe kila asubuhi na jioni
24:28
when I came home from school.
502
1468160
2000
niliporudi nyumbani kutoka shule.
24:30
And there were 20 of them that I had --
503
1470160
2000
kulikuwa na ng'ombe 20
24:32
that I was responsible for,
504
1472160
3000
ambao nilitakiwa niwahudumie,
24:35
and I worked on the farm
505
1475160
3000
na pia nilikuwa nafanya shughuli za kilimo shambani
24:38
and tried to keep up with my studies.
506
1478160
3000
na kujaribu kuendelea na masomo.
24:41
I didn't make good grades in high school.
507
1481160
3000
sikupata matokeo mazuri shule ya sekondari,
24:44
I didn't make them in college, until
508
1484160
3000
kwa hiyo sikuweza kwenda chuoni, mpaka
24:47
something happened in my heart.
509
1487160
2000
kitu kilipotokea katika moyo wangu.
24:49
One day, I was faced face-to-face
510
1489160
3000
siku moja,nilikutana uso kwa uso
24:53
with Christ.
511
1493160
2000
na Kristo.
24:55
He said, "I am the way, the truth and the life."
512
1495160
3000
akaniambia,' mimi ni njia ya kweli na uzima."
24:59
Can you imagine that? "I am the truth.
513
1499160
3000
hebu jaribu kuwaza, mimi ni kweli.
25:02
I'm the embodiment of all truth."
514
1502160
3000
mimi ndio huo ukweli wote."
25:05
He was a liar.
515
1505160
2000
Alikuwa ni mwongo.
25:09
Or he was insane.
516
1509160
2000
au alikuwa amechanganyikiwa.
25:12
Or he was what he claimed to be.
517
1512160
2000
au alikuwa ni yule ambaye amesema kuwa ndiye.
25:14
Which was he?
518
1514160
2000
alikuwa ni nani?
25:16
I had to make that decision.
519
1516160
2000
ilibidi nifanye huo uamuzi.
25:18
I couldn't prove it.
520
1518160
2000
sikuweza kuthibitisha
25:20
I couldn't take it to a laboratory
521
1520160
2000
sikuweza kufanya utafiti katika maabara
25:22
and experiment with it.
522
1522160
2000
na kufanya majaribio.
25:24
But by faith I said, I believe him,
523
1524160
3000
lakini kwa imani,nikasema ninamwamini,
25:28
and he came into my heart
524
1528160
3000
na aliingia moyoni mwangu
25:31
and changed my life.
525
1531160
2000
na kubadilisha maisha yangu.
25:33
And now I'm ready,
526
1533160
3000
na sasa niko tayari,
25:36
when I hear that call,
527
1536160
2000
nitakaposikia kuitwa,
25:38
to go into the presence of God.
528
1538160
3000
kwenda katika uwepo wa Mungu.
25:41
Thank you, and God bless all of you.
529
1541160
2000
Asante,na Mungu awabariki wote.
25:43
(Applause)
530
1543160
10000
(makofi)
25:54
Thank you for the privilege. It was great.
531
1554160
2000
Asante kwa neema hii.ilikuwa ni nzuri
25:56
Richard Wurman: You did it.
532
1556160
2000
Richard Wurman:asante kwa kufanikisha hili.
25:58
Thanks.
533
1558160
1000
Asante.
26:00
(Applause)
534
1560160
15000
(makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7