"Dead Romance" | Boy Girl Banjo

55,645 views ・ 2018-08-17

TED

Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Clarence Bitegeko Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
(Banjo plays)
0
12860
5530
(Banjo inalia)
00:25
(Banjo and guitar play)
1
25123
4804
(Banjo na gitaa vinalia)
00:33
(Sings) Is this what it's like
2
33965
3331
(Anaimba) Je hivi ndivyo inavyokuwa
00:37
to be alive?
3
37320
1310
kuwa hai?
00:39
I reached the point of no return
4
39382
2601
Nimefikia mahali siwezi rudi
00:42
and I don't know if I've been burned
5
42007
2639
na sijui kama nimeungua
00:44
from the burned bridges in my life,
6
44670
2806
kutoka kwa madaraja yaliyoteketea katika maisha yangu,
00:47
thinkin' you were wrong
7
47500
1178
nikidhani hukuwa sahihi
00:48
and I was right.
8
48702
1165
na nilikuwa sahihi,
00:49
Maybe I messed up,
9
49891
2629
Labda nilifanya makosa,
00:52
either way it's too late for us.
10
52544
2190
kwa namna yoyote tumeshachelewa sana
00:54
'Cause baby I'm old with regret,
11
54758
2811
sababu mpenzi nimezeeka na majuto,
00:57
wishin' I could hold you and just forget.
12
57593
2471
nikitamani ningekushikilia na kusahau tu.
01:00
Since I can't I'll just be home but homesick,
13
60088
2842
Ila siwezi nitakuwa tu nyumbani huku nikitamani nyumbani,
01:02
wishin' you were mine and I didn't hurt you like I did.
14
62954
3242
nikitamani ungekuwa wangu na sikukuumiza kama nilivyofanya.
01:06
Can't go back to when we had a chance,
15
66220
2268
Hatuwezi kurudi pale ambapo tulikuwa na nafasi,
01:08
wishin' I could have a shot at real romance.
16
68512
2428
Nikitamani ningejaribu mapenzi ya kweli.
01:10
Now I realize all the things I could have had were in your cold hands.
17
70964
4042
Sasa nagundua vitu vyote ningewezapata vilikuwa kwenye mikono yako baridi.
01:15
I'm a fool for a dead romance.
18
75030
2362
Mi mpumbavu kwa mapenzi yaliyokufa.
01:17
Gone, gone, gone.
19
77913
5339
Yamekwenda, yamekwenda, yamekwenda.
01:25
I'm a fool for a dead romance.
20
85589
2383
Mi mpumbavu kwa mapenzi yaliyokufa.
01:28
Gone, gone, gone.
21
88589
5440
Yamekwenda, yamekwenda, yamekwenda.
01:36
I'm a fool for a dead romance.
22
96255
2224
Mi mpumbavu kwa mapenzi yaliyokufa.
01:38
Is this what it's like to fantasize
23
98503
5376
Je hivi ndivyo inavyokuwa kuwaza
01:43
about a love that never was alive outside my mind or distance?
24
103903
5756
juu ya penzi ambalo halikuwahi kuwa hai nje ya akili zangu au umbali?
01:49
With time I clearly lost my sight,
25
109683
2258
Kadiri ya muda, hakika nilipoteza upeo,
01:51
thinkin' I was wrong to ever leave your side.
26
111965
2326
nikidhani nilikosea kuondoka pembeni yako.
01:54
But time's the harshest judge,
27
114315
2612
Lakini muda ni hakimu katili,
01:56
makes us think we were in love.
28
116951
2067
hutufanya tudhani tulikuwa kwenye penzi.
01:59
And now
29
119042
1156
Na sasa
02:00
I'm old with regret,
30
120222
1520
Nimezeeka na majuto
02:01
wishin' I could hold you and just forget.
31
121766
2678
nikitamani ningekushikilia na kusahau tu.
02:04
Since I can't I'll just be home but homesick,
32
124468
2737
Ila siwezi nitakuwa tu nyumbani huku nikitamani nyumbani,
02:07
wishin' you were mine and I didn't hurt you like I did.
33
127229
3044
nikitamani ungekuwa wangu na sikukuumiza kama nilivyofanya.
02:10
Can't go back to when we had a chance,
34
130297
2433
Hatuwezi kurudi pale ambapo tulikuwa na nafasi,
02:12
wishin' I could have a shot at real romance.
35
132754
2248
Nikitamani ningejaribu mapenzi ya kweli.
02:15
Now I realize all the things I could have had were in your cold hands.
36
135026
4234
Sasa nagundua vitu vyote ningewezapata vilikuwa kwenye mikono yako baridi.
02:19
I'm a fool for a dead romance.
37
139284
2144
Mi mpumbavu kwa mapenzi yaliyokufa.
02:22
Gone, gone, gone.
38
142031
5367
Yamekwenda, yamekwenda, yamekwenda.
02:29
I'm a fool for a dead romance.
39
149824
2125
Mi mpumbavu kwa mapenzi yaliyokufa.
02:32
(Banjo and guitar play)
40
152707
6030
(Banjo na gitaa vinalia)
02:52
And baby I'm old with regret,
41
172933
2106
Na mpenzi nimezeeka na majuto
02:55
wishin' I could hold you and just forget.
42
175063
2492
nikitamani ningekushikilia na kusahau tu.
02:57
Since I can't I'll just be home but homesick,
43
177579
2868
Ila siwezi nitakuwa tu nyumbani huku nikitamani nyumbani,
03:00
wishin' you were mine and I didn't hurt you like I did.
44
180471
3119
nikitamani ungekuwa wangu na sikukuumiza kama nilivyofanya.
03:03
Can't go back to when we had a chance,
45
183614
2296
Hatuwezi kurudi pale ambapo tulikuwa na nafasi,
03:05
wishin' I could have a shot at real romance.
46
185934
2271
Nikitamani ningejaribu mapenzi ya kweli.
03:08
Now I realize all the things I could have had were in your cold hands.
47
188229
4267
Sasa nagundua vitu vyote ningewezapata vilikuwa kwenye mikono yako baridi.
03:12
I'm a fool for a dead romance.
48
192520
2072
Mi mpumbavu kwa mapenzi yaliyokufa.
03:15
Gone, gone, gone.
49
195357
5512
Yamekwenda, yamekwenda, yamekwenda.
03:23
I'm a fool for a dead romance.
50
203002
2382
Mi mpumbavu kwa mapenzi yaliyokufa.
03:25
Gone, gone, gone.
51
205916
5463
Yamekwenda, yamekwenda, yamekwenda.
03:33
I'm a fool for a dead romance.
52
213740
2038
Mi mpumbavu kwa mapenzi yaliyokufa.
03:35
Is this what it's like?
53
215802
3647
Je, hivi ndivyo inavyokuwa?

Original video on YouTube.com
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7