Fun, Fierce and Fantastical African Art | Wanuri Kahiu | TED

54,202 views ・ 2017-09-12

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
Mama yangu ni daktari wa watoto,
00:12
So, my mother's a pediatrician,
0
12804
2964
00:15
and when I was young, she'd tell the craziest stories
1
15792
3814
na nilipokuwa mdogo, alikuwa akisimulia hadithi za kusisimua
00:19
that combined science with her overactive imagination.
2
19630
3223
zilizojumuisha sayansi na fikira zake zilizo hai kuliko kawaida.
00:23
One of the stories she told was that if you eat a lot of salt,
3
23444
4151
Moja ya hadithi alizonisimulia ni kuwa ukila chumvi nyingi,
00:27
all of the blood rushes up your legs,
4
27619
3669
damu itapanda kutoka miguuni kwako,
00:31
through your body,
5
31312
1252
kupitia mwili wako wote,
00:32
and shoots out the top of your head,
6
32588
2079
na kutoka nje ya mwili juu ya kichwa chako,
00:34
killing you instantly.
7
34691
1702
na kukuua mara moja.
00:36
(Laughter)
8
36417
1060
(Kicheko)
00:37
She called it "high blood pressure."
9
37501
1812
Aliita "shinikizo la damu"
00:39
(Laughter)
10
39337
1644
(Kicheko)
00:41
This was my first experience with science fiction,
11
41005
2910
Hii ilikuwa mara yangu ya kwanza kusikia hadithi ya sayansi ya kufikirika,
00:43
and I loved it.
12
43939
1285
na niliipenda.
00:45
So when I started to write my own science fiction and fantasy,
13
45771
3127
Kwa hiyo nilipoanza kuandika hadithi zangu mwenyewe za sayansi ya kufikirika,
00:48
I was surprised that it was considered un-African.
14
48922
2494
Nilishangaa kwamba ilichukuliwa kama si Uafrika.
00:52
So naturally, I asked, what is African?
15
52114
2615
Kwa uhalisia, niliuliza, Uafrika ni nini?
00:54
And this is what I know so far:
16
54753
1860
Na hili ndilo ninalojua kwa sasa:
00:57
Africa is important.
17
57555
1522
Afrika ni muhimu.
00:59
Africa is the future.
18
59843
1431
Afrika ndiyo kesho.
01:01
It is, though.
19
61298
1266
Ni kweli, ingawa.
01:03
And Africa is a serious place where only serious things happen.
20
63074
4323
Na Afrika ni sehemu makini ambapo vitu makini pekee hutokea.
01:07
So when I present my work somewhere, someone will always ask,
21
67421
4475
Kwa hiyo nikiwakilisha kazi yangu sehemu fulani, mtu fulani lazima atauliza,
01:11
"What's so important about it?
22
71920
2571
"Ina umuhimu gani hasa?
01:14
How does it deal with real African issues
23
74515
2519
Inashughulika vipi na matatizo halisi ya Kiafrika
01:17
like war, poverty, devastation or AIDS?"
24
77058
5368
kama vita, umasikini, uharibifu au UKIMWI?"
01:22
And it doesn't.
25
82450
1209
Na haishughuliki na hayo mambo.
01:24
My work is about Nairobi pop bands that want to go to space
26
84107
5337
Kazi yangu ni kuhusu bendi ya muziki wa pop ambayo inataka kwenda anga la juu
01:29
or about seven-foot-tall robots
27
89468
3128
au kuhusu roboti mwenye urefu wa futi saba
01:32
that fall in love.
28
92620
1472
ambaye anatokea kupenda.
01:34
It's nothing incredibly important.
29
94493
3213
Si vitu muhimu kwa kiasi kikubwa.
01:37
It's just fun, fierce and frivolous,
30
97730
3383
Ni vitu vya kufurahisha, visivyo na umuhimu na vya kijinga,
01:41
as frivolous as bubble gum --
31
101137
2611
visivyo na umuhimu kama peremende --
01:43
"AfroBubbleGum."
32
103772
1335
"AfroBubbleGum"
01:46
So I'm not saying that agenda art isn't important;
33
106241
3265
Si kwamba nasema kwamba mjadala wa sanaa sio muhimu;
01:49
I'm the chairperson of a charity
34
109530
2275
Mimi ni mwenyekiti wa mfuko wa kujitolea
01:51
that deals with films and theaters that write about HIV and radicalization
35
111829
6957
ambao unashughulika na filamu na maigizo ambapo huandika kuhusu UKIMWI na msimamo mkali.
01:58
and female genital mutilation.
36
118810
2263
na ukeketaji kwa wanawake.
02:01
It's vital and important art,
37
121097
2281
Ni sanaa muhimu mno,
02:03
but it cannot be the only art that comes out of the continent.
38
123402
3552
lakini si sanaa pekee inayotokea katika bara hili.
02:08
We have to tell more stories
39
128192
2336
Tunatakiwa kusema hadithi zaidi
02:10
that are vibrant.
40
130552
1415
ambazo ni za kutetemesha.
02:13
The danger of the single story is still being realized.
41
133097
3951
Hatari ya hadithi bado inatambulika.
02:17
And maybe it's because of the funding.
42
137879
1819
Na pengine ni kwa sababu ya michango.
02:19
A lot of art is still dependent on developmental aid.
43
139722
3903
Aina nyingi za sanaa bado zinategemea misaada ya maendeleo.
02:23
So art becomes a tool for agenda.
44
143649
2866
Kwa hiyo sanaa inakuwa zana ya mjadala.
02:27
Or maybe it's because we've only seen one image of ourselves for so long
45
147730
4418
Au kwa sababu tumeona taswira moja tu ya sisi wenyewe kwa muda mrefu
02:32
that that's all we know how to create.
46
152172
2447
na hiyo ndiyo pekee tunayoweza kutengeneza.
02:34
Whatever the reason, we need a new way,
47
154643
3173
Kwa sababu yoyote ile, tunahitaji njia mpya,
02:37
and AfroBubbleGum is one approach.
48
157840
1845
na AfroBubbleGum ni moja ya njia.
02:40
It's the advocacy of art for art's sake.
49
160391
3296
Ni mwakilishi wa sanaa kwa ajili ya sanaa.
02:44
It's the advocacy of art that is not policy-driven
50
164489
2996
Ni mwakilishi wa sanaa ambayo haiongozwi na sera
02:47
or agenda-driven
51
167509
1532
au mjadala
02:49
or based on education,
52
169065
1939
au inayotegemea elimu,
02:51
just for the sake of imagination:
53
171028
3366
ni kwa ajili ya fikira:
02:54
AfroBubbleGum art.
54
174418
1553
Sanaa ya AfroBubbleGum.
02:56
And we can't all be AfroBubbleGumists.
55
176649
2386
Na hatuwezi wote kuwa watu wa AfroBubbleGum.
02:59
We have to judge our work for its potential poverty porn pitfalls.
56
179059
4046
Tunatakiwa kutathmini kazi zetu kutokana mashimo ya kudhihirisha taswira ya umasikini.
03:03
We have to have tests that are similar to the Bechdel test,
57
183129
3253
Tunatakiwa kuwa na majaribio yanayorandana na jaribio la Bechdel,
03:09
and ask questions like:
58
189184
1713
na kuuliza maswali kama:
03:11
Are two or more Africans in this piece of fiction healthy?
59
191475
3568
Kuna waafrika wawili au zaidi wenye afya katika kipande hiki cha kufikirika?
03:16
Are those same Africans financially stable and not in need of saving?
60
196916
5195
Waafrika haohao wapo imara kiuchumi na hawahitaji kuweka akiba?
03:23
Are they having fun and enjoying life?
61
203193
2888
Wanaburudika na kufurahia maisha?
03:26
And if we can answer yes to two or more of these questions,
62
206105
3098
Na kama tutajibu ndiyo mara mbili au zaidi katika maswali haya,
03:29
then surely we're AfroBubbleGumists.
63
209227
1971
basi kwa uhakika sisi ni AfroBubbleGumists.
03:31
(Laughter)
64
211855
1549
(Kicheko)
03:33
(Applause)
65
213428
4777
(Makofi)
03:38
And fun is political,
66
218229
1489
Na furaha ni siasa,
03:40
because imagine if we have images of Africans who were vibrant
67
220267
4252
kwa sababu fikiria kwamba tuna taswira ya waafrika ambao walikuwa wanasisimua
03:44
and loving and thriving
68
224543
2043
na wenye upendo na uhimilivu
03:46
and living a beautiful, vibrant life.
69
226610
2288
na wanaoishi maisha mazuri na ya kusisimua.
03:48
What would we think of ourselves then?
70
228922
2381
Tungewaza nini kuhusu nafsi zetu?
03:51
Would we think that maybe we're worthy of more happiness?
71
231327
2847
Tungewaza labda tunastahili furaha zaidi?
03:54
Would we think of our shared humanity through our shared joy?
72
234799
3839
Tungewaza ubinadamu wetu tunaoshirikishana kupitia furaha tunayoshirikishana?
03:59
I think of these things when I create.
73
239387
1930
Huwa ninawaza kuhusu hivi vitu ninapofanya utunzi.
04:01
I think of the people and the places that give me immeasurable joy,
74
241767
3201
Ninawaza kuhusu watu na sehemu ambazo hunipa furaha isiyo na kipimo,
04:04
and I work to represent them.
75
244992
1983
na ninafanya kazi kuwawakilisha.
04:06
And that's why I write stories
76
246999
1637
Na ndiyo maana ninaandika hadithi
04:08
about futuristic girls that risk everything to save plants
77
248660
4470
kuhusu msichana anayewaza kesho ambaye anajihatarisha kwa kila namna ili kuokoa mimea
04:13
or to race camels
78
253154
2229
au kufanya mbio za ngamia
04:15
or even just to dance,
79
255407
2440
au hata kucheza tu,
04:17
to honor fun,
80
257871
1721
kwa ajili ya heshima ya furaha,
04:19
because my world is mostly happy.
81
259616
2123
kwa sababu dunia yangu huwa na furaha mara nyingi.
04:21
And I know happiness is a privilege in this current splintered world
82
261763
3770
Na ninajua furaha ni upendeleo katika dunia ya sasa iliyogawanyika.
04:25
where remaining hopeful requires diligence.
83
265557
3754
ambapo kubaki na matumaini kunahitaji bidii.
04:31
But maybe, if you join me in creating, curating and commissioning
84
271105
5343
Lakini labda, kama utaungana na mimi, kutengeneza, kuhariri na kutoa vibali kwa
04:36
more AfroBubbleGum art,
85
276472
2029
sanaa zaidi ya AfroBubbleGum,
04:38
there might be hope for a different view of the world,
86
278525
2778
kutakuwa na matumaini kwa mtazamo tofauti wa dunia,
04:41
a happy Africa view
87
281327
2156
mtazamo wa furaha wa Afrika
04:43
where children are strangely traumatized
88
283507
2028
ambapo watoto wanaweweseshwa kwa namna isiyojulikana
04:45
by their mother's dark sense of humor,
89
285559
1943
kutokana na ucheshi wa mama zao ambao ni wa kutisha,
04:47
(Laughter)
90
287526
1037
(Kicheko)
04:48
but also they're claiming fun, fierce and frivolous art
91
288587
4562
Lakini pia ni sanaa inayochekesha, isiyo na umuhimu na ya kijinga
04:53
in the name of all things unseriously African.
92
293173
4205
katika majina ya vitu vyote ambavyo ni vya Kiafrika.
04:57
Because we're AfroBubbleGumists
93
297910
2622
Kwa sababu sisi ni AfroBubbleGumists
05:00
and there's so many more of us than you can imagine.
94
300556
2853
na tupo wengi sana kuliko unavyoweza kufikiria.
05:03
Thank you so much.
95
303910
1204
Asante sana.
05:05
(Applause)
96
305138
3831
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7