Where do your online returns go? | Aparna Mehta

84,421 views ・ 2018-12-13

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Doris Mangalu
00:13
Hi. My name is Aparna.
0
13563
1937
Habari! Jina langu ni Aparna.
00:16
I am a shopaholic --
1
16118
2345
Ni mnunuzi wa kupindukia --
00:18
(Laughter)
2
18487
1147
(Kicheko)
00:19
and I'm addicted to online returns.
3
19658
2806
pia ni mraibu wa marudisho ya mtandaoni.
00:22
(Laughter)
4
22488
1479
(Kicheko)
00:25
Well, at least I was.
5
25513
1872
Basi, angalau nilikuwa hivyo.
00:27
At one time, I had two or three packages of clothing delivered to me
6
27830
5016
Wakati mmoja, nilikuwa na vifurushi viwili au vitatu vya nguo vilivyoletwa kwangu
00:32
every other day.
7
32870
1834
kila siku.
00:34
I would intentionally buy the same item
8
34728
2766
Kwa makusudi nilinunua bidhaa ile ile
00:37
in a couple different sizes and many colors,
9
37518
3297
katika ukubwa tofauti na rangi mbalimbali,
00:40
because I did not know what I really wanted.
10
40839
2788
kwa sababu sikujua nini nilichohitaji haswa.
00:43
So I overordered, I tried things on, and then I sent what didn't work back.
11
43651
5172
Hivyo niliagiza zaidi, nilijaribisha vitu, na nilirudisha visivyonifaa.
00:50
Once my daughter was watching me return some of those packages back,
12
50331
3969
Binti yangu alipokuwa akiniangalia nikirudisha baadhi ya vifurushi,
00:54
and she said, "Mom, I think you have a problem."
13
54324
2301
alisema, "Mama, nadhani una tatizo."
00:56
(Laughter)
14
56649
1391
(Kicheko)
00:58
I didn't think so.
15
58698
1168
Sikudhani hivyo.
00:59
I mean, it's free shipping and free returns, right?
16
59890
2598
Yaani, kusafirisha ni bure na kurudisha ni bure, ndio?
01:02
(Laughter)
17
62512
1225
(Kicheko)
01:04
I didn't even think twice about it,
18
64424
1992
Sikuwaza kabisa mara mbili kuhusu hilo,
01:07
until I heard a statistic at work that shocked me.
19
67214
4601
mpaka niliposikia takwimu kazini ambayo ilinishitua.
01:12
You see, I'm a global solutions director for top-tier retail,
20
72431
3813
Mimi ni mkurugenzi wa ufumbuzi kimataifa kwa wateja wa rejareja wa ngazi ya juu,
01:16
and we were in a meeting with one of my largest customers,
21
76268
3271
na tulikuwa katika mkutano na mmoja wa wateja wangu wakubwa,
01:19
discussing how to streamline costs.
22
79563
2513
tukijadili ni namna gani tunaweza nyoosha gharama.
01:22
One of their biggest concerns was managing returns.
23
82482
3253
Moja ya hoja yao kubwa ilikuwa ni kusimamia urudishaji bidhaa.
01:26
Just this past holiday season alone,
24
86218
3244
Kwa likizo hii tu iliyopita,
01:29
they had 7.5 million pieces of clothing returned to them.
25
89486
5289
walikuwa na nguo takribani milioni 7.5 zilizorudishwa kwao.
01:36
I could not stop thinking about it.
26
96212
2089
Sikuweza kuacha kulifikiria hili jambo.
01:38
What happens to all these returned clothes?
27
98325
2426
Kipi kinatokea kwa hizi nguo zote zinazorudishwa?
01:41
So I came home and researched.
28
101310
2912
Kwa hiyo nilirudi nyumbani na nikafanya utafiti.
01:44
And I learned that every year,
29
104818
3613
Na kugundua kwamba kila mwaka,
01:48
four billion pounds of returned clothing ends up in the landfill.
30
108455
6098
paundi bilioni nne za nguo zinazorudishwa huishia jalalani.
01:55
That's like every resident in the US did a load of laundry last night
31
115864
6008
Ambapo ni sawa na kila mkazi wa Marekani kufua nguo nyingi usiku wa jana
02:01
and decided to throw it in the trash today.
32
121896
2050
na kuamua kuzitupa katika taka siku ya leo.
02:05
I was horrified.
33
125278
2164
Nilishtushwa.
02:08
I'm like, "Of all people,
34
128363
2197
Nikasema, "Katika watu wote,
02:10
I should be able to help prevent this."
35
130584
2183
Natakiwa kuweza kuzuia jambo hili."
02:12
(Laughter)
36
132791
1138
(Kicheko)
02:13
My job is to find solutions to logistical issues like these --
37
133953
4922
Kazi yangu ni kutafuta suluhu katika miamala kama hii --
02:18
not create them.
38
138899
1312
siyo kutengeneza matatizo.
02:20
So this issue became very personal to me.
39
140937
3637
Kwa hiyo hili swala likawa binafsi sana kwangu.
02:25
I said, "You know what? We have to solve this."
40
145011
2682
Nilisema, "Unajua nini? Tunatakiwa suluhisha hili."
02:27
And we can, with some of the existing systems we already have in place.
41
147717
4697
Na tunaweza, tukitumia baadhi ya mifumo ambayo tunayo tayari.
02:33
And then I started to wonder: How did we get here?
42
153289
3223
Na nilianza kujiuliza: Tumefikaje hapa?
02:36
I mean, it was only like six years ago when a study recommended
43
156936
4717
Namaanisha, ilikuwa miaka sita tu iliyopita ambapo tafiti moja ilidai
02:41
that offering free online returns would drive customers to spend more.
44
161677
4599
kua kutoa marudisho ya bure mtandaoni itapelekea wateja kununua zaidi.
02:46
We started seeing companies offering free online returns
45
166814
3428
Tulianza kuona makampuni yakitoa marudisho ya bure mitandaoni
02:50
to drive more sales and provide a better experience.
46
170266
3514
ili kupelekea mauzo zaidi na huduma bora.
02:54
What we didn't realize
47
174611
1652
Ambacho hatukutambua
02:56
is that this would lead to more items being returned as well.
48
176287
3672
ni kwamba hii itapelekea kurudishwa kwa bidhaa nyingi vile vile.
03:01
In the US, companies lost $351 billion in sales
49
181075
6988
Nchini Marekani, makampuni yalipoteza dola bilioni 351 katika mauzo
03:08
in 2017 alone.
50
188087
2168
kwa mwaka 2017 pekee.
03:11
Retailers are scrambling to recover their losses.
51
191067
3069
Wauzaji wa rejareja wanapambana kuondoa hasara zao.
03:15
They try to place that returned item online to be sold again,
52
195382
3474
Wanajaribu kuweka kua bidhaa zinazorudishwa mtandaoni ziuzwe tena,
03:18
or they'll sell it to a discount partner
53
198880
2162
au wataziuza kwa mtoa punguzo
03:21
or a liquidator.
54
201066
1254
au dalali.
03:22
Basically, if companies cannot find a place for this item
55
202818
3719
Kimsingi, kama kampuni haziwezi kupata sehemu kwa ajili hii bidhaa
03:26
quickly and economically,
56
206561
2173
kwa haraka na unafuu,
03:28
its place becomes the trash.
57
208758
2123
inaishia kwenda kuwa taka.
03:32
Suddenly, I felt very guilty for being that shopper,
58
212413
4604
Ghafla, nilijisikia hatia kwa kuwa mnunuzi wa aina hiyo,
03:37
somebody who contributes to this.
59
217041
2199
mtu ninayechangia katika hili.
03:39
Who would have thought my innocent shopping behavior
60
219659
3024
Nani angewaza kwamba tabia yangu nzuri ya kufanya manunuzi
03:42
would be hurting not only me,
61
222707
2129
ingeniumiza sio mimi tu,
03:45
but our planet as well?
62
225693
1608
lakini sayari yetu vilevile?
03:48
And as I thought about what to do,
63
228400
2564
Na nikiwa nawaza nini cha kufanya,
03:50
I kept thinking:
64
230988
1302
Niliendelea kuwaza:
03:52
Why does the item have to be returned to the retailer in the first place?
65
232783
4948
Kwanini bidhaa zinatakiwa kurudishwa kwa muuzaji tangu mwanzo?
03:58
What if there was another way,
66
238454
2779
Inakuwaje kama kungekuwa na njia mbadala,
04:01
a win-win for everyone?
67
241972
2557
inayofaidisha pande zote?
04:05
What if when a person is trying to return something,
68
245348
4070
Inakuwaje kama mtu anajaribu kurudisha kitu fulani,
04:09
it could go to the next shopper who wants it,
69
249442
3156
kiende kwa mnunuzi anayefuata mwenye uhitaji nacho,
04:12
and not the retailer?
70
252622
1382
na siyo muuzaji?
04:14
What if, instead of a return,
71
254990
3111
Inakuwaje kama, badala ya kurudisha,
04:18
they could do what I call a "green turn"?
72
258847
4881
wangeweza kufanya ninachokiita "kona kijani"?
04:24
Consumers could use an app to take pictures of the item
73
264783
3967
Watumaiji wanaweza kutumia programu kupiga picha ya bidhaa
04:28
and verify the condition while returning it.
74
268774
3156
na kuhakikisha hali ya bidhaa wakati wa kurudisha.
04:31
Artificial intelligence systems could then sort these clothes by condition --
75
271954
5115
Mifumo ya akili bandia itaweza kupanga nguo hizi kutokana na hali --
04:37
mint condition or slightly used --
76
277093
2284
hali ifananayo na upya au iliyotumika kidogo --
04:39
and direct it to the next appropriate person.
77
279401
2634
na kupeleka kwa mtu mwingine ambaye anafaa.
04:42
Mint-condition clothes could automatically go to the next buyer,
78
282059
3727
Nguo zenye hali nzuri zitaenda moja kwa moja kwa mnunuzi anayefuata,
04:45
while slightly used clothes could be marked down
79
285810
2659
na wakati zilizotumika kidogo zitawekewa alama
04:48
and offered online again.
80
288493
1702
na kutolewa ofa mtandaoni tena.
04:50
The retailer can decide the business rules
81
290686
2311
Muuzaji anaweza kuamua sheria za biashara
04:53
on the number of times a particular item can be resold.
82
293021
3811
katika mara ngapi bidhaa husika inaweza kuuzwa tena.
04:57
All that the consumer would need to do is obtain a mobile code,
83
297616
4404
Mnunuzi atatakiwa tu kupata tarakimu maalumu,
05:02
take it to the nearest shipping place to be packed and shipped,
84
302044
3600
kuzipeleka sehemu ya usafirishaji iliyo karibu kwa kupakiwa na kusafirishwa,
05:05
and off it goes from one buyer to the next,
85
305668
3183
na inatoka kuanzia mnunuzi mmoja kwenda mwingine,'
05:08
not the landfill.
86
308875
1452
sio jalalani.
05:11
Now you will ask,
87
311565
1575
Sasa utauliza,
05:13
"Would people really go through all this trouble?"
88
313164
2658
"Kweli watu watataka shida hii yote?"
05:16
I think they would if they had incentives,
89
316359
3359
Nadhani wanaweza kufanya kama wangepata motisha,
05:19
like loyalty points or cash back.
90
319742
2932
kama alama za uaminifu na kurudishiwa fedha.
05:22
Let's call it "green cash."
91
322698
2210
Tuiite "pesa ya kijani."
05:25
There would be a whole new opportunity to make money
92
325419
3153
Kutakuwa na nafasi pana mpya ya kupata pesa
05:28
from this new customer base looking to buy these returns.
93
328596
3943
kutoka kwa hawa wateja wanaohitaji kununua hizi bidhaa zinazorudishwa.
05:33
This system would make a fun thing like shopping
94
333026
3315
Mfumo huu utatengeneza jambo la kufurahisha kama ununuzi
05:36
a spiritual experience
95
336365
1776
jaribu la kiroho
05:38
that helps save our planet.
96
338165
2645
ambalo linasaidia kuokoa sayari yetu.
05:40
(Applause)
97
340834
2600
(Makofi)
05:49
This is doable
98
349144
1397
Hili linawezekana
05:50
and would probably take six months to weave some of our existing systems
99
350565
4050
na angalau itachukua miezi sita kusuka baadhi ya mifumo yetu ambayo ipo
05:54
and run a pilot.
100
354639
1307
na kufanya majaribio.
05:57
Even before any of these logistical systems are in place,
101
357208
3736
Hata kabla ya mifumo hii ya miamala kuwa katika mahala husika,
06:00
each of us shoppers can act now,
102
360968
3040
kila mnunuzi anaweza chukua hatua sasa,
06:05
if every single adult in the US made a few small changes
103
365820
5183
kama kila mtu mzima Marekani afanye mabadiliko kidogo
06:11
to our shopping behavior.
104
371027
1416
kwenye tabia yetu ya ununuzi.
06:13
Take the extra time to research and think --
105
373128
3789
Chukua muda wa ziada kutafiti na kuwaza --
06:17
Do I really need this item?
106
377539
2014
Nahitaji bidhaa hii?
06:20
No: Do I really want this item? --
107
380425
3109
Hapana: Kweli naitaka bidhaa hii? --
06:24
before making a purchase.
108
384884
1630
kabla ya kufanya manunuzi.
06:26
And if every one of us adults in the US
109
386978
3043
Na kama kila mtu mzima nchini Marekani
06:30
returned five less items this year,
110
390045
3585
angerudisha chini ya bidhaa tano mwaka huu,
06:33
we would keep 240 million pounds of clothes out of the landfill.
111
393654
6108
tungeepusha paundi milioni 240 za nguo kuwepo katika jalala.
06:40
Six percent reduction, just like that.
112
400443
2316
Pungufu kwa asilimia sitini, hivyo tu.
06:44
This environmental problem that we have created
113
404125
3879
Hili tatizo la kimazingira ambalo tumelitengeneza
06:48
is not thousands of years away;
114
408028
1816
halipo mbali miaka elfu moja;
06:50
it's happening today,
115
410416
1729
linatokea leo,
06:52
and must stop now to prevent growing landfills across the globe.
116
412169
4618
na linatakiwa kukoma sasa ili kuzuia majalala yanayokua ulimwenguni.
06:58
I want to leave my daughter and my daughter's daughter
117
418184
3171
Ninataka kuwaachia binti yangu na binti wa binti yangu
07:01
a better and cleaner place than I found it,
118
421379
2843
sehemu bora na safi kuliko nilivyoikuta mimi,
07:04
so I have not only stopped overordering,
119
424912
3068
kwa siyo tu kwamba nimeacha kuagiza kuliko kawaida,
07:08
I recycle religiously as well.
120
428004
2027
Ninarejeleza kiimani vile vile.
07:10
And you can, too. It's not difficult.
121
430604
2530
Na unaweza, pia. Sio ngumu.
07:13
Before we fill our shopping carts and our landfills
122
433739
3904
Kabla hatujajaza toroli zetu za manunuzi na jalala zetu
07:17
with extra items that we don't want,
123
437667
2631
na bidhaa ambazo hatuna uhitaji nazo,
07:20
let's pause next time we are shopping online
124
440322
3616
tusite kwanza tukiwa tunafanya manunuzi mtandaoni
07:23
and think twice about what we all hopefully really do want:
125
443962
5684
na kuwaza mara mbili kuhusu kile ambacho kweli tunakitaka:
07:29
a beautiful Earth to call home.
126
449670
2335
dunia maridhawa tunayoweza kuita nyumbani.
07:32
Thank you.
127
452394
1162
Asante.
07:33
(Applause)
128
453580
3266
(Makofi na shangwe)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7