Three ways the universe could end - Venus Keus

2,021,307 views ・ 2019-02-19

TED-Ed


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Julie Mbeyella Reviewer: Doris Mangalu
Tunajua ya kale ya ulimwengu wetu:
00:06
We know about our universe’s past:
0
6828
2910
00:09
the Big Bang theory predicts that all matter, time, and space
1
9738
4520
nadharia ya Mlipuko Mkubwa inatabiri kuwa mata, muda na anga zote
00:14
began in an incredibly tiny, compact state about 14 billion years ago.
2
14258
6340
vilianza kwa hali ya udogo sana, takribani miaka bilioni 14 iliyopita.
00:20
And we know about the present:
3
20598
1835
Nasi tunajua kuhusu sasa:
00:22
scientists’ observations of the movement of galaxies
4
22433
3560
mitazamo ya watafiti ya mienendo ya galaksi
00:25
tell us that the universe is expanding at an accelerated rate.
5
25993
4090
inatuambia kwamba ulimwengu unapanuka kwa kasi sana.
00:30
But what about the future?
6
30085
1610
Je vipi kuhusu mbeleni?
00:31
Do we know how our universe is going to end?
7
31695
3400
Tunajua namna gani ulimwengu wetu utafikia kikomo?
00:35
Cosmologists have three possible answers for this question,
8
35095
3590
Wanakosmolojia wana nadharia tatu za swali hili,
00:38
called the Big Freeze,
9
38685
1730
zinazoitwa Mgando Mkubwa,
00:40
the Big Rip and the Big Crunch.
10
40415
3440
Mraruo Mkubwa na Uchakacho Mkubwa.
00:43
To understand these three scenarios,
11
43855
2360
Kuzielewa hizi nadharia tatu,
00:46
imagine two objects representing galaxies.
12
46215
3670
waza vitu viwili vya kuwakilisha galaksi.
00:49
A short, tight rubber band is holding them together—
13
49885
3540
Kamba ya mpira fupi, iliyokaza inazishikilia pamoja---
00:53
that’s the attractive force of gravity.
14
53425
2810
hiyo ni mvuto wa nguvu ya uvutano.
00:56
Meanwhile, two hooks are pulling them apart—
15
56235
3490
Wakati huo huo, koleo mbili zinaziachanisha---
00:59
that’s the repulsive force expanding the universe.
16
59725
3770
hiyo ni nguvu ya muasi inayofanya ulimwengu usambae.
01:03
Copy this system over and over again,
17
63495
2720
Nakili huu mfumo tena na tena,
01:06
and you have something approximating the real universe.
18
66215
3310
Na una kitu kinachokaribia ulimwengu wa ukweli.
01:09
The outcome of the battle between these two opposing forces
19
69525
3570
Matokeo ya mashindano ya hizi nguvu mbili zinazokinzana
01:13
determines how the end of the universe will play out.
20
73095
3630
inaamua jinsi mwisho wa ulimwengu utakuwaje.
01:16
The Big Freeze scenario is what happens if the force pulling the objects apart
21
76725
5310
Matukio ya Mgando Mkubwa ndiyo yanayotokea kama nguvu inayofanya vitu viachane
01:22
is just strong enough to stretch the rubber band until it loses its elasticity.
22
82035
5530
ina nguvu ya kutosha ya kuisogeza kamba ya mpira hadi ipoteze uvutikaji.
01:27
The expansion wouldn’t be able to accelerate anymore,
23
87565
3206
Kusogea hakutoweza kuongezeka tena,
01:30
but the universe would keep getting bigger.
24
90771
2420
lakini ulimwengu utazidi kuwa mkubwa.
01:33
Clusters of galaxies would separate.
25
93191
2900
Makundi ya galaksi yanaweza kutengana.
01:36
The objects within the galaxies–
26
96091
2250
Vitu vilivyomo kwenye galaksi--
01:38
suns, planets, and solar systems
27
98341
2700
jua, sayari, na mifumo wa jua
01:41
would move away from each other,
28
101041
1630
vingeweza kutengana,
01:42
until galaxies dissolved into lonely objects
29
102671
2910
mpaka galaksi ziyeyuke kuwa vitu vya kipekee
01:45
floating separately in the vast space.
30
105581
2970
vikielea kwa kujitegemea kwenye anga kubwa.
01:48
The light they emit would be redshifted to long wavelengths
31
108551
3410
Mwanga unaotoka ungeweza kuhamishwa kwenye mawimbi marefu
01:51
with very low, faint energies,
32
111961
2620
yenye nguvu kidogo na hafifu,
01:54
and the gas emanating from them would be too thin to create new stars.
33
114581
4700
na gesi inayotoka kwao ingekua nyembamba sana kutengeneza nyota mpya.
01:59
The universe would become darker and colder,
34
119281
2989
Ulimwengu ungekuwa wa giza na wa baridi zaidi,
02:02
approaching a frozen state
35
122270
1380
ukikaribia hali ya kuganda
02:03
also known as the Big Chill,
36
123650
1850
unaojulikanana kama Ubaridi Mkubwa,
02:05
or the Heat Death of the Universe.
37
125500
2880
au kifo cha joto cha Ulimwengu.
02:08
But what if the repulsive force is so strong
38
128380
2960
Lakini inakuwaje kama nguvu muasi ni kubwa sana
02:11
that it stretches the rubber band past its elastic limit,
39
131340
3740
kufanya kamba ya mpira ipanuke kupita kipimo chake,
02:15
and actually tears it?
40
135080
1790
na iichane kabisa?
02:16
If the expansion of the universe continues to accelerate,
41
136870
3120
Kama kutanuka kwa ulimwengu kunazidi kuongezeka,
02:19
it will eventually overcome not only the gravitational force –
42
139990
3770
itaweza kuzidi sio tu nguvu ya uvutano --
02:23
tearing apart galaxies and solar systems–
43
143760
2720
ikichana galaksi na mifumo ya jua--
02:26
but also the electromagnetic, weak, and strong nuclear forces
44
146480
4480
lakini pia na nguvu hafifu ya sumaku umeme,na nguvu za nguvu za nuklia
02:30
which hold atoms and nuclei together.
45
150960
2756
ambayo inashikilia atomu na nuklia pamoja.
02:33
As a result,
46
153716
850
Matokeo yake,
02:34
the matter that makes up stars breaks into tiny pieces.
47
154566
4240
mata inayotengeneza nyota inavunjika katika vipande vidogo.
02:38
Even atoms and subatomic particles will be destroyed.
48
158806
3421
Hata atomu na vipande vidogo vya atomu vitaharibika.
02:42
That’s the Big Rip.
49
162227
2740
Hiyo ni Mraruo Mkubwa.
02:44
What about the third scenario,
50
164967
1640
Vipi kuhusu tukio la tatu,
02:46
where the rubber band wins out?
51
166607
2270
ambapo kamba ya mpira inashinda?
02:48
That corresponds to a possible future
52
168877
2700
Ambayo ina shabihiana na uwezekano wa mbeleni
02:51
in which the force of gravity brings the universe’s expansion to a halt—
53
171577
4340
ambapo nguvu ya uvutano inaletea kusambaa kwa ulimwengu kusimama---
02:55
and then reverses it.
54
175917
2278
Halafu inaigeuza.
02:58
Galaxies would start rushing towards each other,
55
178195
2810
Galaksi zitaanza kukimbizana kukaribiana,
03:01
and as they clumped together
56
181005
1490
na zikijikusanya pamoja
03:02
their gravitational pull would get even stronger.
57
182495
3520
nguvu zao za uvutano zingekua na nguvu zaidi.
03:06
Stars too would hurtle together and collide.
58
186015
3190
Nyota pia zingekusanyika pamoja na kugongana.
03:09
Temperatures would rise as space would get tighter and tighter.
59
189205
4000
Joto lingepanda kadri anga inavyozidi kujibana zaidi.
03:13
The size of the universe would plummet
60
193205
2280
Ukubwa waa ulimwengu ungekua timazi
03:15
until everything compressed into such a small space
61
195485
3680
hadi kila kitu kilichojikusanyika kwenye nafasi ndogo
03:19
that even atoms and subatomic particles would have to crunch together.
62
199165
5000
mpaka hadi chembe za atomu na atomu ndogo vitajikusanyika pamoja.
03:24
The result would be an incredibly dense, hot, compact universe —
63
204165
5501
Matokeo yatakuwa ni ulimwengu mzito, wenye joto na ulio jifunga ---
03:29
a lot like the state that preceded the Big Bang.
64
209666
2680
kama ile hali iliyoitangulia Big Bang.
03:32
This is the Big Crunch.
65
212346
2930
Hii ndiyo Uchakacho Mkubwa.
03:35
Could this tiny point of matter explode in another Big Bang?
66
215276
4300
Je hii sehemu ndogo ya mata inaweza kulipuka kuwa Mlipuko Mkubwa mwingine?
03:39
Could the universe expand and contract over and over again,
67
219576
3843
Ulimwengu unaweza kuongezeka na kujifunga tena na tena,
03:43
repeating its entire history?
68
223419
2310
ikirudia historia yake yote?
03:45
The theory describing such a universe is known as the Big Bounce.
69
225729
4390
Nadharia inayoeleza ulimwengu huo unajulikana kama Mruko Mkubwa.
03:50
In fact, there’s no way to tell how many bounces could’ve already happened—
70
230119
4710
Pia hamna namna ya kujua miruko mingapi imeshatokea tayari---
03:54
or how many might happen in the future.
71
234829
2618
au mingapi itatokea huko mbeleni.
03:57
Each bounce would wipe away any record of the universe’s previous history.
72
237447
5590
Kila mruko itafuta mbali kumbukumbu yeyote ya historia ya ulimwengu ya nyuma.
04:03
Which one of those scenarios will be the real one?
73
243037
2986
Matukio yapi kati ya haya yatakuwa sahihi?
04:06
The answer depends on the exact shape of the universe,
74
246023
3230
Jibu linategemea na umbo halisi la ulimwengu,
04:09
the amount of dark energy it holds,
75
249253
2290
kiasi cha nguvu ya gizai iliyobeba,
04:11
and changes in its expansion rate.
76
251543
2590
na mabadiliko ya kusambaa kwake.
04:14
As of now, our observations suggest that we’re heading for a Big Freeze.
77
254133
4820
Na kwa sasa, mitazamo yetu inapendekeza kua tunaelekea kwenye Mgando Mkubwa.
04:18
But the good news is that we’ve probably got about 10 to the 100th power years
78
258953
5490
Japo habari njema ni kwamba tuna karibia miaka 10 mpaka nguvu ya 100
04:24
before the chill sets in —
79
264443
1790
kabla ya ubaridi kuingia ---
04:26
so don’t start stocking up on mittens just yet.
80
266233
4000
kwahiyo usianze kununua kinga za mkononi bado.
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7