What everyday citizens can do to claim power on the internet | Fadi Chehadé and Bryn Freedman

42,717 views

2018-11-20 ・ TED


New videos

What everyday citizens can do to claim power on the internet | Fadi Chehadé and Bryn Freedman

42,717 views ・ 2018-11-20

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Doris Mangalu Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
Bryn Freedman: So you said that in the 20th century,
0
12461
3411
Bryn Freedman: Kwahiyo umesema kua karne ya ishirini,
00:15
global power was in the hands of government.
1
15896
2821
nguvu ya ulimwengu ilikua mikononi mwa serikali.
00:18
At the beginning of this digital century,
2
18741
2469
Mwanzoni mwa karne hii ya dijitali,
00:21
it really moved to corporations
3
21234
1761
ilihamia kweli kwenye mashirika
00:23
and that in the future, it would move to individuals.
4
23019
3905
na kua huko mbeleni, ingehamia kwa watu binafsi.
00:26
And I've interviewed a lot of people,
5
26948
1786
Na nimeshahoji watu wengi,
00:28
and they say you're wrong,
6
28758
1852
na wanasema haupo sahihi,
00:30
and they are betting on the companies.
7
30634
2119
na wanaweka dau kwenye makampuni.
00:32
So why are you right,
8
32777
1659
Hivyo kwanini upo sahihi,
00:34
and why are individuals going to win out?
9
34460
2483
na kwanini watu binafsi wataenda kushinda?
00:37
Fadi Chehadé: Because companies cater to individuals,
10
37419
2549
Fadi Chehade: Kwa sababu makampuni yanahudumia watu,
00:39
and we as the citizenry
11
39992
2033
na sisi kama raia
00:42
need to start understanding that we have a big role
12
42049
4491
tunahitaji kuanza kuelewa kua tuna jukumu kubwa
kwenye kuunda jinsi dunia itakavyotawaliwa kusonga mbele.
00:46
in shaping how the world will be governed, moving forward.
13
46564
3036
00:49
Yes, indeed, the tug of war right now is between governments,
14
49624
4267
Kweli kabisa, mvutano wa sasa ni kati ya serikali,
00:53
who lost much of their power to companies
15
53915
3070
zilizopoteza nguvu zao nyingi kwa makampuni
00:57
because the internet is not built around the nation-state system
16
57009
4258
kwa sababu intaneti haijajengwa karibu na mfumo wa taifa la taifa
01:01
around which governments have power.
17
61291
2040
kote ambayo serikali zina nguvu.
01:03
The internet is transnational.
18
63355
1857
Intaneti ni ya mataifa.
01:05
It's not international, and it's not national,
19
65236
3039
Sio ya kimataifa, na sio ya kitaifa,
01:08
and therefore the companies became very powerful.
20
68299
2840
na kwa sababu hiyo makampuni yamekua na nguvu sana.
01:12
They shape our economy.
21
72028
1874
Yana unda uchumi wetu.
01:13
They shape our society.
22
73926
1992
Yana unda jamii yetu.
01:15
Governments don't know what to do.
23
75942
1643
Serikali hazijui cha kufanya.
01:17
Right now, they're reacting.
24
77609
2016
Sasa hivi, zinaitikia.
01:19
And I fear that if we do not, as the citizenry --
25
79649
3294
Na nina hofu kua tukishindwa, kama raia --
01:22
which are, in my opinion, the most important leg of that stool --
26
82967
4748
ambao ni, kwa maoni yangu,mguu wa muhimu zaidi kwenye kigoda hicho --
01:27
don't take our role,
27
87739
1522
usichukue jukumu letu
01:29
then you are right.
28
89285
1193
halafu ndo utapatia.
01:30
The detractors, or the people telling you that businesses will prevail, are right.
29
90502
4761
Wapinzani, au watu wanaokuambia kua biashara itafanikiwa, wamepatia.
01:35
It will happen.
30
95287
1151
Itatokea.
01:36
BF: So are you saying that individuals will force businesses
31
96462
3832
BF: Kwahio unasema kua watu watalazimisha biashara
01:40
or business will be forced to be responsive,
32
100318
2508
au biashara italazimika kua na majibu,
01:42
or is there a fear that they won't be?
33
102850
3373
au kuna uwoga kua hawataweza?
01:46
FC: I think they will be.
34
106247
1372
FC: Nadhani wataweza.
01:47
Look at two weeks ago,
35
107643
1850
Angalia wiki mbili zilizopita,
01:49
a small company called Skip winning over Uber and Lyft and everyone
36
109517
4412
kampuni ndogo iitwayo Skip iliyoshinda Uber na Lyft na kila mtu
01:53
to actually get the license for the San Francisco scooter business.
37
113953
4928
ili ki halisi kupata leseni kwa biashara ya pikipiki San Francisco.
01:59
And if you read why did Skip win,
38
119232
2166
Na kama ukisoma kwanini Skip ilishinda,
02:01
because Skip listened to the people of San Francisco,
39
121422
2896
kwa sababu Skip ilisikiliza watu wa San Francisco,
02:04
who were tired of scooters being thrown everywhere,
40
124342
2849
waliokua wamechoka pikipiki kua kila mahali,
02:07
and actually went to the city and said,
41
127215
2674
na kweli kwenda mjini na kusema,
02:09
"We will deploy the service,
42
129913
2166
"Tutapeleka hio huduma,
lakini tutajibu mahitaji ya watu
02:12
but we will respond to the people's requirements
43
132103
3056
02:15
that we organize ourselves around a set of rules."
44
135183
3070
kua tutaandaa wenyewe kuzungukia aina za kanuni."
02:18
They self-governed their behavior, and they won the contract
45
138277
3366
Wamejitawala tabia zao, na wakashinda mkataba
02:21
over some very powerful companies.
46
141667
2040
dhidi ya makampuni yenye nguvu.
02:23
BF: So speaking of guidelines and self-governance,
47
143731
3566
BF: Hivyo kuongelea kuhusu miongozo na kujitawala,
02:27
you've spent an entire lifetime creating guidelines and norms
48
147321
4021
umetumia maisha yako yote kutengeneza miongozo na kanuni
kwa ajili ya intaneti.
02:31
for the internet.
49
151366
1698
Unafikiri hizo siku zimeisha?
02:33
Do you think those days are over?
50
153088
1739
02:34
Who is going to guide, who is going to control,
51
154851
2762
Nani ataongoza, nani atatawala,
02:37
and who is going to create those norms?
52
157637
2151
na nani atatengeneza hizo kanuni?
02:39
FC: The rules that govern the technology layers of the internet
53
159812
5360
FC: Kanuni zitakazotawala vipande vya teknolojia vya intaneti
02:45
are now well put in place,
54
165196
2683
sasa zimewekwa sehemu nzuri,
02:47
and I was very busy for a few years setting those rules
55
167903
3452
na nilikua nikishughulika miaka kadhaa kupanga hizo kanuni
02:51
around the part of the internet that makes the internet one network.
56
171379
4117
kuzunguka sehemu za intaneti zinazofanya intaneti kua mtandao mmoja.
02:55
The domain-name system, the IP numbers,
57
175520
2485
Mfumo wa jina la kikoa, number za IP,
zote hizo ziko katika nafasi.
02:58
all of that is in place.
58
178029
1716
02:59
However, as we get now into the upper layers of the internet,
59
179769
4334
Hata hivyo, tunavyoenda sasa kwenye vipande vya juu vya intaneti,
mambo yanayotuathiri mimi na wewe kila siku --
03:04
the issues that affect me and you every day --
60
184127
2826
03:06
privacy, security, etc. --
61
186977
2802
faragha, usalama, nk. --
03:09
the system to create norms for those unfortunately is not in place.
62
189803
7000
mfumo wa kujenga kanuni kwa hizo bahati mbaya haziko kwenye nafasi.
Hivyo tunatatizo.
03:17
So we do have an issue.
63
197109
1604
03:18
We have a system of cooperation and governance
64
198737
3650
Tuna mfumo wa ushirikiano na utawala
03:22
that really needs to be created right now
65
202411
2834
unaohitaji kujengwa kweli sasa hivi
03:25
so that companies, governments and the citizenry can agree
66
205269
4731
ili makampuni, serikali na raia wanaweza kukubaliana
jinsi hii dunia ya kidijitali inavyokua inaendelea.
03:30
how this new digital world is going to advance.
67
210024
2342
03:32
BF: So what gives a digital company any incentive?
68
212390
3182
BF: Hivyo nini kinachoipa kampuni ya dijitali motisha yoyote?
03:35
Let's say -- Facebook comes to mind --
69
215596
2025
Tuseme -- Facebook inaingia akilini --
03:37
they would say they have their users' best interests at heart,
70
217645
2945
watasema wanahisia bora kwa watumiaji wao kwenye moyo,
03:40
but I think a lot of people would disagree with that.
71
220614
2539
lakini nafikiri watu wengi hawakubaliani na hilo.
03:43
FC: It's been very difficult to watch how tech companies have reacted
72
223177
5908
FC: Ilikua ngumu sana kuangalia jinsi kampuni za teknolojia zilivyoitikia
03:49
to the citizenry's response to their technologies.
73
229109
3039
kwa majibu ya raia kuhusu teknolojia zao.
03:52
And some of them, two or three years ago, basically dismissed it.
74
232791
3684
Na wengine wao, miaka miwili au mitatu iliopita, kimsingi waliipotezea.
03:56
The word that I heard in many board rooms is, "We're just a technology platform.
75
236499
5365
Neno nililosikia kwenye vyumba vya bodi vingi ni, "Sisi ni jukwaaa la teknolojia tu.
04:01
It's not my issue if my technology platform
76
241888
2888
Sio suala langu kama jukwaa langu la teknolojia
04:04
causes families to go kill their girls in Pakistan.
77
244800
2811
linasababisha familia kuua mabinti zao Pakistan.
04:07
It's not my issue. It's their problem.
78
247635
2287
Sio suala langu. Ni tatizo lao.
04:09
I just have a technology platform."
79
249946
1969
Nina jukwaa la teknolojia tu."
04:11
Now, I think we are now entering a stage
80
251939
3215
Sasa, nafikiri tunaanza kuingia hatua
04:15
where companies are starting to realize this is no longer sustainable,
81
255178
5311
ambapo makampuni yameanza kutambua hii sio tena endelevu,
04:20
and they're starting to see the pushback
82
260513
2166
na yameanza kuona pingamizi
04:22
that's coming from people, users, citizens,
83
262703
3135
hio inatoka kwa watu, watumiaji, wananchi,
04:25
but also governments that are starting to say,
84
265862
2614
lakini pia serikali zinazoanza kusema,
04:28
"This cannot be."
85
268500
1563
"Hii haiwezekani."
Hivyo nafikiri kuna ukomavu unaoanza kukaa,
04:30
So I think there is a maturity that is starting to set,
86
270087
5429
04:35
especially in that Silicon Valley area,
87
275540
2474
hasa kwenye hilo eneo la Silicon Valley,
04:38
where people are beginning to say, "We have a role."
88
278038
4523
ambapo watu wameanza kusema, "Tunajukumu."
04:42
So when I speak to these leaders, I say,
89
282585
2556
Hivyo ninapoongea na hawa viongozi, nasema,
04:45
"Look, you could be the CEO, a very successful CEO of a company,
90
285165
3853
"Ona, unaweza kua mkurugenzi mtendaji, mwenye mafanikio sana kwenye kampuni,
04:49
but you could also be a steward."
91
289042
2071
lakini unaweza pia kua karani."
04:51
And that's the key word.
92
291669
1213
Na hilo ni neno la msingi.
04:52
"You could be a steward of the power you have
93
292906
3552
"Unaweza kua karani wa mamlaka uliyonayo
04:56
to shape the lives and the economies of billions of people.
94
296482
3912
kuunda maisha na uchumi wa mabilioni ya watu.
05:00
Which one do you want to be?"
95
300967
1584
Ni ipi unataka kua?"
05:03
And the answer is, it's not one or the other.
96
303218
2603
Na jibu ni, sio moja wala lingine.
05:06
This is what we are missing right now.
97
306568
2481
Hiki ndicho tunachokosa sasa hivi.
Hivyo pale mtu mzima kama Brad Smith, raisi wa Microsoft,
05:09
So when an adult like Brad Smith, the president of Microsoft,
98
309073
4028
05:13
said a few months ago,
99
313125
1488
alivyosema miezi iliopita,
05:14
"We need a new set of Geneva Conventions
100
314637
2920
"Tunahitaji seti mpya za Mapatano ya Geneva
05:17
to manage the security of the digital space,"
101
317581
2689
kusimamia ulinzi wa eneo la dijitali,"
05:20
many of the senior leaders in Silicon Valley
102
320294
3667
viongozi wengi wakubwa wa Silicon Valley
05:23
actually spoke against his words.
103
323985
3317
kweli waliongea kupinga maneno yake.
05:27
"What do you mean, Geneva Convention?
104
327326
1836
"Unamaanisha nini, Mapatano ya Geneva?
05:29
We don't need any Geneva Conventions. We self-regulate."
105
329186
2947
Hatuhitaji mapatano yoyote ya Geneva. Tunajipatanisha wenyewe."
05:32
But that mood is changing,
106
332157
2108
Lakini hisia inabadilika,
05:34
and I'm starting to see many leaders say,
107
334289
3206
na nimeanza kuona viongozi wengi wakisema,
05:37
"Help us out."
108
337519
1295
"Tusaidie."
05:39
But here lies the conundrum.
109
339201
2053
Lakini hapa kumekua na fumbo.
05:41
Who is going to help those leaders do the right thing?
110
341909
2913
Nani ataenda kuwasaidia hao viongozi kufanya jambo sahihi?
05:44
BF: So who is going to help them?
111
344846
2579
BF: Hivyo nani ataenda kuwasaidia?
05:47
Because I'd love to interview you for an hour,
112
347449
4136
Kwa sababu ningependa kukuhoji kwa lisaa,
05:51
but give me your biggest fear and your best hope
113
351609
5229
lakini niambie hofu yako kubwa na tumaini lako kubwa
05:56
for how this is going to work out.
114
356862
1881
kwa jinsi hii itakavyoenda kufanikiwa.
06:00
FC: My biggest hope is that we will become each stewards
115
360981
6739
FC: Tumaini langu kubwa ni kua tutakua wote makarani
06:07
of this new digital world.
116
367744
1590
wa hii dunia mpya ya dijitali
06:09
That's my biggest hope,
117
369358
1381
Hilo ndo tumaini langu kubwa,
06:10
because I do think, often, we want to put the blame on others.
118
370763
5024
kwa sababu nafikiri, mara nyingi, tunataka kulaumu wengine.
06:15
"Oh, it's these CEOs. They're behaving this way."
119
375811
2401
"Oh, ni hawa wakurugenzi. Wanatabia hizi."
"Hizi serikali hazifanyi ya kutosha."
06:18
"These governments are not doing enough."
120
378236
2000
Lakni vipi kuhusu sisi?
06:20
But how about us?
121
380260
1664
06:21
How is each of us actually taking the responsibility to be a steward
122
381948
5072
Namna gani kila mmoja wetu kiukweli kuchukua wajibu wa kua karani
wa eneo la dijitali tunaloishi?
06:27
of the digital space we live in?
123
387044
2229
06:29
And one of the things I've been pushing on university presidents
124
389297
3223
Na moja ya vitu nilivyokua nikisukuma kwa maraisi wa chuo
06:32
is we need every engineering and science and computer science student
125
392544
4340
ni tunahitaji kila mwanafunzi wa uhandisi na sayansi na sayansi ya kompyuta
06:36
who is about to write the next line of code
126
396908
2535
anaekaribia kuandika mstari unaofata wa kanuni
06:39
or design the next IoT device
127
399467
2309
au kubuni kifaa kijacho cha IoT
06:41
to actually have in them a sense of responsibility and stewardship
128
401800
4827
ili kweli kuwe ndani yao na hali ya uwajibikaji na ukarani
06:46
towards what they're building.
129
406651
1509
kuelekea hicho wanachojenga.
06:48
So I suggested we create a new oath,
130
408184
2396
Hivyo nikadokeza tujenge kiapo kipya,
06:50
like the Hippocratic Oath,
131
410604
1659
kama kiapo cha Hippocrates,
06:52
so that every student entering an engineering program
132
412287
2928
ili kila mwanafunzi anaeingia programu ya uhandisi
06:55
takes a technocratic oath or a wisdom oath
133
415239
3601
anachukua kiapo cha teknokratiki au kiapo cha hekima
06:58
or some oath of commitment to the rest of us.
134
418864
2913
au kiapo cha ahadi kwa sisi wengine.
07:01
That's my best hope, that we all rise.
135
421801
2676
Hilo ndilo tumaini langu kubwa, kua tutainuka.
07:04
Because governments and businesses will fight over this power game,
136
424501
4913
Kwa sababu serikali na mabiashara yatapigania nguvu juu ya huu mchezo wa madaraka,
07:09
but where are we?
137
429438
1534
lakini tuko wapi?
07:10
And unless we play into that power table,
138
430996
4452
Na mpaka tucheze kwenye hio meza ya madaraka,
07:15
I think we'll end up in a bad place.
139
435472
2899
ninafikiri tutaishia kwenye sehemu mbaya.
07:18
My biggest fear?
140
438395
1275
Hofu yangu kubwa?
07:21
My biggest fear, to be very tactical today,
141
441392
2864
Hofu yangu kubwa, kuwa mbunifu sana leo,
07:24
what is keeping me up at night
142
444280
2239
nini kinachoniweka macho usiku
07:26
is the current war between the West, the liberal world,
143
446543
5714
ni vita inayoendelea kati ya Magharibi, dunia huria,
07:33
and China,
144
453304
1509
na China,
07:34
in the area of artificial intelligence.
145
454837
2277
kwenye eneo la ufahamu bandia.
Kuna vita vya ukweli vinaendelea,
07:37
There is a real war going on,
146
457138
2246
07:39
and for those of us who have lived through the nuclear nonproliferation age
147
459408
4991
na kwa wale wenzangu walioishi kupita kipindi cha kutokuenea kwa nyuklia
07:44
and saw how people agreed
148
464423
2364
na kuona jinsi watu walivyokubaliana
07:46
to take some very dangerous things off the table,
149
466811
2790
kuchukua vitu vya hatari sana visiweze kujadiliwa,
07:50
well, the Carnegie Endowment just finished a study.
150
470787
3323
basi, Taasisi ya Carnegie imemaliza tu tafiti.
07:54
They talked to every country that made nuclear weapons
151
474490
2731
Wameongea na kila nchi iliyotengeneza silaha za nyuklia
07:57
and asked them,
152
477245
1777
na wakawauliza,
"Ni 'silaha' gani ya kidijitali ungeweza kutoa kwenye mjadala
07:59
"Which digital 'weapon' would you take off the table
153
479046
5759
08:04
against somebody else's schools or hospitals?"
154
484829
2594
dhidi ya shule na hospitali za mtu mwingine?"
08:07
And the answer --
155
487828
1199
Na jibu --
kutoka kwenye kila nguvu ya nyuklia -- mpaka kwenye hili swali ilikua,
08:09
from every nuclear power -- to this question was,
156
489051
3444
08:13
nothing.
157
493447
1150
hakuna kitu.
08:15
That's what I'm worried about ...
158
495693
1793
Hicho ndicho nina wasiwasi nacho ...
Ule usilaha wa nafasi ya dijitali,
08:18
The weaponization of the digital space,
159
498161
2920
na mbio ya kufika huko.
08:21
and the race to get there.
160
501105
1612
08:22
BF: Well, it sounds like you've got a lot of work to do,
161
502741
2795
BF: Basi, inaonekana una kazi nyingi ya kufanya,
08:25
and so do the rest of us.
162
505560
1571
na hata sisi wengine.
08:27
Fadi, thank you so much. I really appreciate it.
163
507155
2686
Faidi, asante sana. nimethamini kweli.
08:29
FC: Thank you.
164
509865
1151
FC: Asante.
08:31
(Applause)
165
511040
2539
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7