How to motivate people to do good for others | Erez Yoeli

232,311 views ・ 2018-12-27

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Doris Mangalu
00:13
How can we get people to do more good,
0
13440
3056
Namna gani tunaweza wafanya watu kutenda mema zaidi,
00:16
to go to the polls, give to charity, conserve resources,
1
16520
4336
kwenda katika uchaguzi, kujitolea msaada, kutunza rasilimali,
00:20
or even to do something as simple as washing their mugs at work
2
20880
3336
au hata kufanya kitu rahisi kama kuosha vikombe vyao wakiwa kazini
00:24
so that the sink isn't always full of dirty dishes?
3
24240
2381
ili sinki lisiwe muda wote limejaa vyombo vichafu?
00:26
(Laughter)
4
26645
2011
(Kicheko)
00:28
(Applause)
5
28680
4336
(Makofi)
00:33
When I first started working on this problem,
6
33040
2136
Nilipoanza kushughulikia hili tatizo,
00:35
I collaborated with a power company
7
35200
1896
Nilishirikiana na kampuni ya nishati
00:37
to recruit customers for a program that prevents blackouts
8
37120
3536
kuwapa mafunzo wateja kuhusu programu inayozuia kukatika kwa umeme
00:40
by reducing energy demand during peaks.
9
40680
2000
kwa kupunguza mahitaji ya nishati kipindi cha juu.
00:43
The program is based on a tried-and-true technology.
10
43600
2616
Programu imetengenezwa na teknolojia iliyojaribiwa na ya ukweli.
00:46
It's one the Obama administration even called
11
46240
2376
Ni ambayo hata utawala wa Obama uliita
00:48
"the cornerstone to modernizing America's electrical grid."
12
48640
3120
"jiwe la msingi la kuleta ukisasa katika mfumo wa umeme Amerika."
00:52
But, like so many great technological solutions,
13
52880
3496
Lakini, kama ilivyo mifumo mingi mikubwa ya teknlolojia,
00:56
it has a key weakness:
14
56400
1440
huwa na udhaifu:
00:59
people.
15
59760
1200
watu.
01:01
People need to sign up.
16
61720
1240
Watu wanahitaji kujisajili.
01:04
To try to get people to sign up, the power company sent them a nice letter,
17
64000
3536
Ili kufanya watu wajisajili, kampuni iliwatumia wateja barua nzuri,
01:07
told them about all the program's benefits,
18
67560
2016
kuwaambia kuhusu faida zote za programu,
01:09
and it asked them to call into a hotline if they were interested.
19
69600
3056
na kuwaambia wapige huduma kwa wateja kama wangependa.
01:12
Those letters went out,
20
72680
1696
Barua zilitumwa,
01:14
but the phones, they were silent.
21
74400
2760
lakini simu, zilikuwa kimya.
01:18
So when we got involved, we suggested one small change.
22
78080
2760
Hivyo tulivyohusishwa, tulipendekeza badiliko moja dogo.
01:21
Instead of that hotline,
23
81360
1896
Badala ya simu ya huduma kwa wateja,
01:23
we suggested that they use sign-up sheets that they'd post near the mailboxes
24
83280
4616
tulipendekeza watumie karatasi za kujisajili zitakazotumwa kwenye sanduku za barua zilizokaribu
01:27
in people's buildings.
25
87920
1240
katika majengo ya watu.
01:30
This tripled participation.
26
90120
2760
Hii iliongeza walioshiriki kwa mara tatu.
01:35
Why?
27
95160
1200
Kwanini?
01:37
Well, we all know people care deeply about what others think of them,
28
97680
4216
Sasa, wote tunajua watu wanajali sana kuhusu kile wengine wanachofikiri juu yao,
01:41
that we try to be seen as generous and kind,
29
101920
2656
kua tunajaribu kuonekana kama tuna heshima na tunaojali,
01:44
and we try to avoid being seen as selfish or a mooch.
30
104600
2720
na tunajaribu kuepuka kuonekana kama wabinafsi au mabaradhuli.
01:48
Whether we are aware of it or not, this is a big part of why people do good,
31
108120
4416
Iwe tunatambua au la, hii ni nafasi kubwa ya kwanini watu wanatenda mema,
01:52
and so small changes that give people more credit for doing good,
32
112560
5216
hivyo mabadiliko madogo ambayo huwapa watu sifa kwa kutenda mema,
01:57
those changes can make a really big difference.
33
117800
2336
hayo mabadiliko yanaweza leta utofauti mkubwa.
02:00
Small changes like switching from a hotline,
34
120160
2896
Mabadiliko madogo kama kubadili kutoka simu ya huduma kwa wateja,
02:03
where nobody will ever find out about your good deed,
35
123080
3016
ambapo hamna mtu atayeweza tambua kuhusu mwenendo wako mwema,
02:06
to a sign-up sheet
36
126120
1736
hadi kwenye karatasi ya kujisajili
02:07
where anyone who walks by can see your name.
37
127880
3120
ambapo kila mtu anayepita anaweza kuona jina lako.
02:12
In our collaborations with governments, nonprofits, companies,
38
132520
3176
Katika ushirikiano na serikali, mashirika ya kujitolea, makampuni,
02:15
when we're trying to get people to do more good,
39
135720
2816
tunajaribu kuwafanya watu kufanya mema zaidi,
02:18
we harness the power of reputations.
40
138560
2400
tunavuna nguvu ya sifa.
02:22
And we have a simple checklist for this.
41
142000
2376
Na tuna karatasi rahisi ya kuangalia hili.
02:24
And in fact, you already know the first item on that checklist.
42
144400
3240
Kwa uwazi, tayari unatambua kitu cha kwanza katika listi hiyo.
02:28
It's to increase observability,
43
148960
2296
Ni katika kuongeza uangalizi,
02:31
to make sure people find out about good deeds.
44
151280
2720
kuhakikisha watu wanatambua kuhusu matendo mema.
02:35
Now, wait a minute, I know some of you are probably thinking,
45
155440
2896
Sasa, subiri kidogo, najua baadhi yenu pengine mnawaza,
02:38
there's no way people here thought,
46
158360
1696
hakuna namna watu hapa wangefikiri,
02:40
"Oh, well, now that I'm getting credit for my good deed,
47
160080
2656
"Oh, kwa vile sasa ninapata sifa kwa matendo mema,
02:42
now it's totally worth it."
48
162760
1336
matendo yangu yana thamani."
02:44
And you're right.
49
164120
1456
Upo sahihi.
02:45
Usually, people don't.
50
165600
1240
Kawaida, watu hawadhani hivyo.
02:47
Rather, when they're making decisions in private,
51
167760
3056
Bali, pale wanapofanya maamuzi wakiwa peke yao,
02:50
they worry about their own problems,
52
170840
1736
huwa na hofu kuhusu matatizo yao,
02:52
about what to put on the table for dinner or how to pay their bills on time.
53
172600
4136
kuhusu nini cha kuweka mezani mda wa kula au jinsi ya kulipa ankara zao kwa wakati.
02:56
But, when we make their decision more observable,
54
176760
3096
Lakini, pale tunapofanya maamuzi yao kuwa wazi zaidi,
02:59
they start to attend more to the opportunity to do good.
55
179880
3080
wanaanza kutumia nafasi ya kufanya mema zaidi.
03:03
In other words, what's so powerful about our approach
56
183760
2816
Kwa maneno mengine, kilicho na nguvu sana kuhusu njia yetu
03:06
is that it could turn on people's existing desire to do good,
57
186600
4856
ni kwamba inaweza ongeza mshawasha wa kutenda mema,
03:11
in this case, to help to prevent a blackout.
58
191480
2080
kwa suala hili, kuzuia kukatika kwa umeme.
03:15
Back to observability.
59
195160
1656
Turudi katika uangalizi.
03:16
I want to give you another example.
60
196840
1856
Nataka niwape mfano mwingine.
03:18
This one is from a collaboration
61
198720
1736
Huu unatoka katika ushirikiano
03:20
with a nonprofit that gets out the vote,
62
200480
2376
na taasisi isiyo ya kibiashara inayohamasisha upigaji kura,
03:22
and it does this by sending hundreds of thousands of letters every election
63
202880
3576
na inafanya hivi kwa kutuma mamia ya maelfu ya barua kila uchaguzi
03:26
in order to remind people and try to motivate them to go to the polls.
64
206480
3320
ili kuwakumbusha watu na kujaribu kuwashawishi kwenda katika uchaguzi.
03:30
We suggested adding the following sentence:
65
210760
2160
Tulishauri kuongezwa kwa hii sentensi:
03:34
"Someone may call you to find out about your experience at the polls."
66
214440
3400
"Unaweza pigiwa simu na mtu na kuulizwa ni namna gani uliuona uchaguzi."
03:38
This sentence makes it feel more observable when you go to the polls,
67
218520
3400
Sentensi hii inafanya uangalizi zaidi unapoenda katika uchaguzi,
03:43
and it increased the effect of the letter by 50 percent.
68
223040
3040
na inaongeza matokeo ya barua kwa asilimia 50.
03:48
Making the letter more effective reduced the cost of getting an additional vote
69
228680
3736
Kufanya barua kuwa fanisi zaidi kuli- punguza gharama za kupata kura ya nyongeza
03:52
from 70 dollars down to about 40 dollars.
70
232440
1960
kutoka dola 70 hadi takribani dola 40.
03:55
Observability has been used to do things
71
235200
1936
Uangalizi umetumika kufanya vitu
03:57
like get people to donate blood more frequently
72
237160
2656
kama kufanya watu kuchangia damu mara kwa mara
03:59
by listing the names of donors on local newsletters,
73
239840
2976
kwa kuorodhesha majina ya wachangiaji katika vijarida,
04:02
or to pay their taxes on time
74
242840
1640
au kulipa kodi kwa wakati
04:05
by listing the names of delinquents on a public website.
75
245440
2816
kwa kuorodhesha majina ya wakwepaji katika tovuti ya umma.
04:08
(Laughter)
76
248280
1840
(Kicheko)
04:12
What about this example?
77
252200
1200
Vipi kuhusu huu mfano?
04:14
Toyota got hundreds of thousands of people to buy a more fuel-efficient car
78
254560
4056
Toyota ina mamia ya maelfu ya watu wa kununua magari yatumiayo mafuta vizuri
04:18
by making the Prius so unique ...
79
258640
3616
kwa kufanya gari la Prius kuwa tofauti ...
04:22
(Laughter)
80
262280
1600
(Kicheko)
04:24
that their good deed was observable from a mile away.
81
264800
2680
kua matendo yao mema yalionekana kutokea umbali wa maili.
04:28
(Laughter)
82
268040
2816
(Kicheko)
04:30
Alright, so observability is great,
83
270880
2375
Sawa, kwa hivyo uangalizi ni bora,
04:33
but we all know, we've all seen
84
273279
3537
lakini wote tunajua, wote tumejionea
04:36
people walk by an opportunity to do good.
85
276840
2160
watu huipitiliza nafasi ya kufanya mema.
04:40
They'll see somebody asking for money on the sidewalk
86
280080
3296
Watamuona mtu akiomba hela pembeni ya njia
04:43
and they'll pull out their phones and look really busy,
87
283400
2616
na watatoa simu zao na kuonekana wapo bize sana,
04:46
or they'll go to the museum and they'll waltz right on by the donation box.
88
286040
3560
au watakwenda makumbusho na watachakacha pembeni ya boksi la mchango.
04:50
Imagine it's the holiday season
89
290320
2096
Fikiria kwamba ni muda wa mapumziko
04:52
and you're going to the supermarket, and there's a Salvation Army volunteer,
90
292440
3696
na unakwenda supamaketi, na kuna mtu anayejitolea katika jeshi la wokovu,
04:56
and he's ringing his bell.
91
296160
1256
na anapiga kengele yake.
04:57
A few years ago, researchers in San Diego
92
297440
1976
Miaka kadhaa iliyopita, watafiti wa San Diego
04:59
teamed up with a local chapter from the Salvation Army
93
299440
3456
waliungana na tawi la wenyeji kutoka jeshi la wokovu
05:02
to try to find ways to increase donations.
94
302920
2200
kutafuta njia za kuongeza michango.
05:06
What they found was kind of funny.
95
306240
1620
Walichogundua kilikuwa kinafurahisha.
05:08
When the volunteer stood in front of just one door,
96
308680
2400
Wanaojitolea waliposimama mbele ya mlango mmoja,
05:12
people would avoid giving by going out the other door.
97
312040
2560
watu walikwepa kuchangia kwa kutokea mlango mwingine.
05:16
Why?
98
316880
1200
Kwanini?
05:19
Well, because they can always claim, "Oh, I didn't see the volunteer,"
99
319080
3696
Kwa sababu muda wote walidai, "Oh, sijamuona mtu wa kujitolea,"
05:22
or, "I wanted to get something from over there,"
100
322800
2256
au, "Nilikuwa nafata kitu fulani kule,"
05:25
or, "That's where my car is."
101
325080
1400
au, "Gari langu lipo huko."
05:27
In other words, there's lots of excuses.
102
327560
1920
Kwa maneno mengine, kuna sababu nyingi.
05:30
And that brings us to the second item on our checklist:
103
330640
2976
Na hilo linatupeleka katika kitu cha pili katika listi yetu:
05:33
to eliminate excuses.
104
333640
1720
kuondoa visingizio.
05:36
In the case of the Salvation Army,
105
336800
1656
Katika suala la jeshi la wokovu,
05:38
eliminating excuses just means standing in front of both doors,
106
338480
3256
kuondoa visingizio ina maana kusimama katika milango yote,
05:41
and sure enough, when they did this,
107
341760
2056
na hakika, walipofanya hivi,
05:43
donations rose.
108
343840
1200
michango iliongezeka.
05:47
But that's when things got kind of funny,
109
347280
2176
Lakini ndipo ambapo vitu vilianza kuchekesha,
05:49
even funnier.
110
349480
1200
kuchekesha zaidi.
05:51
The researchers were out in the parking lot,
111
351960
2536
Watafiti walikuwa nje katika eneo la kuegesha magari,
05:54
and they were counting people as they came in and out of the store,
112
354520
3176
na walikuwa wakihesabu watu walipoingia na kutoka katika duka,
05:57
and they noticed that when the volunteers stood in front of both doors,
113
357720
3816
na waligundua kua pale wanaojitolea waliposimama mbele ya milango yote,
06:01
people stopped coming out of the store at all.
114
361560
2176
watu waliacha kutoka nje ya duka kabisa.
06:03
(Laughter)
115
363760
3056
(Kicheko)
06:06
Obviously, they were surprised by this, so they decided to look into it further,
116
366840
4136
Kihalisia, walishangazwa na hili, hivyo waliamua kuangalia kwa undani,
06:11
and that's when they found that there was actually a third, smaller utility door
117
371000
5096
na ndipo waligundua kwamba kulikuwa na mlango mdogo wa wafanyakazi
06:16
usually used to take out the recycling --
118
376120
1976
kawaida hutoa bidhaa za kutengeneza upya --
06:18
(Laughter)
119
378120
1536
(Kicheko)
06:19
and now people were going out that door in order to avoid the volunteers.
120
379680
3496
na sasa watu walikuwa wanatokea mlango huo ili kukwepa wanaojitolea.
06:23
(Laughter)
121
383200
2360
(Kicheko)
06:26
This teaches us an important lesson though.
122
386320
2320
Hii inatufundisha somo muhimu.
06:30
When we're trying to eliminate excuses, we need to be very thorough,
123
390480
3536
Pale tunapojaribu kuondoa visingizio, tunatakiwa kuwa makini,
06:34
because people are really creative in making them.
124
394040
2376
kwa sababu watu ni wabunifu kweli kuvitengeneza.
06:36
(Laughter)
125
396440
2200
(Kicheko)
06:41
Alright, I want to switch to a setting
126
401760
1856
Sawa, nataka kuhamia katika mpangilio
06:43
where excuses can have deadly consequences.
127
403640
2200
ambapo visingizio vinakuwa na madhara ya mauti.
06:48
What if I told you that the world's deadliest infectious disease has a cure,
128
408160
3720
Inakuwaje kama ningekuambia kwamba ugonjwa wa kuambukiza unaoua sana una tiba,
06:52
in fact, that it's had one for 70 years,
129
412960
2936
kiuwazi, ilikuwa na tiba moja kwa miaka 70,
06:55
a good one, one that works almost every time?
130
415920
2200
iliyo bora, ifanyayo kazi karibia kila wakati?
06:59
It's incredible, but it's true.
131
419920
1560
Ni ajabu, lakini ni kweli.
07:02
The disease is tuberculosis.
132
422400
1976
Ugonjwa huu ni kifua kikuu.
07:04
It infects some 10 million people a year,
133
424400
2296
Huambukiza watu milioni 10 kwa mwaka,
07:06
and it kills almost two million of them.
134
426720
2120
na huua takribani watu milioni mbili yao.
07:09
Like the blackout prevention program, we've got the solution.
135
429680
4056
Kama ilivyo programu ya kuzuia kukatika kwa umeme, tumepata suluhisho.
07:13
The problem is people.
136
433760
1240
Tatizo ni watu.
07:16
People need to take their medication
137
436000
1736
Watu wanatakiwa kunywa dawa
07:17
so that they're cured,
138
437760
1896
ili waweze kupona,
07:19
and so that they don't get other people sick.
139
439680
2160
na pia wasiweze ambukiza watu wengine.
07:23
For a few years now, we've been collaborating
140
443520
2136
Miaka michache sasa, tumekuwa tukishirikiana
07:25
with a mobile health startup called Keheala
141
445680
2296
na taasisi mpya ya afya iitwayo Keheala
07:28
to support TB patients as they undergo treatment.
142
448000
2680
kusaidia wagonjwa wa kifua kikuu wakipata matibabu.
07:31
Now, you have to understand, TB treatment, it's really tough.
143
451280
3096
Sasa, unatakiwa kuelewa, matibabu ya kifua kikuu, ni magumu sana.
07:34
We're talking about taking a really strong antibiotic
144
454400
2576
Tunaongelea kuhusu kunywa dawa kali sana
07:37
every single day for six months or more.
145
457000
2336
kila siku kwa miezi sita au zaidi.
07:39
That antibiotic is so strong that it will make you feel sick.
146
459360
2896
Dawa hiyo ni kali sana mpaka itakufanya ujisikie mgonjwa.
07:42
It will make you feel nauseous and dizzy.
147
462280
1976
Itakufanya ujisikie kichefuchefu na homa.
07:44
It will make your pee turn funny colors.
148
464280
1920
Itafanya mkojo kuwa na rangi za ajabu.
07:46
It's also a problem because you have to go back to the clinic
149
466720
2896
Ni tatizo pia kwa sababu unatakiwa kurudi tena kliniki
07:49
about every week in order to get more pills,
150
469640
2416
karibuni kila wiki ili kupata dawa zaidi,
07:52
and in sub-Saharan Africa or other places where TB is common,
151
472080
3456
na Afrika ya kusini mwa Sahara au sehemu ambapo kifua kikuu ni janga,
07:55
now you're talking about going someplace pretty far,
152
475560
2456
sasa unaongelea kuhusu kwenda sehemu ya mbali kweli,
07:58
taking tough and slow public transport,
153
478040
3016
na kupanda usafiri wa jumuiya ambao upo taratibu,
08:01
maybe the clinic is inefficient.
154
481080
2056
pengine kliniki haina ufanisi.
08:03
So now you're talking about taking a half day off of work every week
155
483160
3216
Sasa unaongelea kuhusu kuchukua nusu siku kazini kila wiki
08:06
from a job you desperately can't afford to lose.
156
486400
2880
kwenye kazi usiyoweza kumudu kuipoteza.
08:09
It's even worse when you consider the fact that there's a terrible stigma,
157
489920
3496
Ni mbaya zaidi ukizingatia ukweli kwamba kuna unyanyapaa wa kutisha,
08:13
and you desperately don't want people to find that you have the disease.
158
493440
3416
na kwa namna yoyote hutaki watu watambue kwamba una ugonjwa.
08:16
Some of the toughest stories we hear are actually from women
159
496880
2856
Baadhi ya simulizi tunazosikia huwa zinasimuliwa na wanawake
08:19
who, in these places where domestic violence can be kind of common,
160
499760
3536
ambao, katika sehemu hizi ambapo ukatil wa kijinsia ni suala la kawaida,
08:23
they tell us that they have to hide it from their husbands
161
503320
2736
wanatuambia kwamba wanahitajika kuficha kwa waume zao
08:26
that they're coming to the clinic.
162
506080
1640
kwamba wanakwenda kliniki.
08:29
So it's no surprise that people don't complete treatment.
163
509800
2800
Hivyo siyo jambo la kushangaza kua watu hawamalizi tiba.
08:33
Can our approach really help them?
164
513840
2136
Mikakati yetu inaweza kuwasaidia kweli?
08:36
Can we really get them to stick it out?
165
516000
1880
Tutawasaidia kweli kupona?
08:40
Yeah.
166
520040
1200
Ndiyo.
08:42
Every day, we text patients to remind them to take their medication,
167
522080
4096
Kila siku, tunawatumia wagonjwa ujumbe wa simu kuwakumbusha kunywa dawa,
08:46
but if we stopped there,
168
526200
1536
lakini kama tungekwama pale,
08:47
there'd be lots of excuses.
169
527760
2056
kungekuwa na visingizio vingi.
08:49
"Well, I didn't see the text."
170
529840
1456
"Basi, sikuona ujumbe."
08:51
Or, "You know, I saw the text, but then I totally forgot,
171
531320
2695
Au, "Unajua, niliona ujumbe, ila nikasahau kabisa
08:54
put the phone down and I just forgot about it."
172
534039
2217
niliweka simu chini na nikasahau."
08:56
Or, "I lent the phone out to my mom."
173
536280
1800
Au, "Nilimuazima mama yangu simu."
08:59
We have to eliminate these excuses
174
539600
2016
Tunatakiwa kuondokana na hivi visingizio
09:01
and we do that by asking patients
175
541640
2016
na tunafanya hivyo kwa kuwauliza wagonjwa
09:03
to log in and verify that they've taken their medication.
176
543680
2960
kujiandikisha na kuthibitisha kwamba wamekunywa dawa.
09:07
If they don't log in, we text them again.
177
547680
2256
Kama wasipojisajili, tunawatumia ujumbe tena.
09:09
If they don't log in, we text them yet again.
178
549960
2096
Kama hawajisajili, tunawatumia ujumbe tena.
09:12
If, after three times, they still haven't verified,
179
552880
3216
Kama, baada ya mara tatu bado hawajathibitisha,
09:16
we notify a team of supporters
180
556120
1816
tunawajulisha timu ya wahisani
09:17
and that team will call and text them
181
557960
2256
na timu hiyo itawapigia na kuwatumia ujumbe
09:20
to try to get them back on the wagon.
182
560240
1800
ili waweze kunywa dawa.
09:22
No excuses.
183
562960
1200
Hamna visingizio.
09:25
Our approach, which, admittedly, uses all sorts of behavioral techniques,
184
565520
3776
Mkakati wetu, ambao, kwa kukubali, unatumia njia zote za kuelewa tabia,
09:29
including, as you've probably noticed, observability,
185
569320
3216
ukijumuisha, kama ambavyo umegundua, uangalizi,
09:32
it was very effective.
186
572560
1240
ulikuwa na ufanisi sana.
09:34
Patients without access to our platform
187
574800
2176
Wagonjwa wasiopata huduma yetu
09:37
were three times more likely not to complete treatment.
188
577000
3160
walikuwa na nafasi mara tatu zaidi kutomaliza tiba yao.
09:43
Alright,
189
583520
1376
Sawa,
09:44
you've increased observability,
190
584920
1536
umeongeza uangalizi.
09:46
you've eliminated excuses,
191
586480
2216
umeondoa visingizio,
09:48
but there's still a third thing you need to be aware of.
192
588720
2640
lakini kuna jambo la tatu ambalo unatakiwa litambua.
09:52
If you've been to Washington, DC or Japan or London,
193
592800
3256
Kama umewahi fika Washington, DC au Japan au London,
09:56
you know that metro riders there
194
596080
1696
unajua kua waendesha treni kule
09:57
will be very careful to stand on the right-hand side of the escalator
195
597800
3456
huwa waangalifu kusimama kwenye upande wa kulia wa kiinuzi
10:01
so that people can go by on the left.
196
601280
1920
ili watu waweze kupita upande wa kushoto
10:04
But unfortunately, not everywhere is that the norm,
197
604160
2376
Lakini bahati mbaya, si kote kuna huo utaratibu,
10:06
and there's plenty of places where you can just stand on both sides
198
606560
3176
na kuna sehemu nyingi ambapo unaweza kusimama pande zote
10:09
and block the escalator.
199
609760
1256
na kuzuia kiinuzi.
10:11
Obviously, it's better for others
200
611040
1616
Hakika, ni bora kwa wengine
10:12
when we stand on the right and let them go by,
201
612680
2296
tunaposimama upande wa kulia na kuwaacha wapite,
10:15
but we're only expected to do that some places.
202
615000
2720
lakini tunategemewa kufanya hivyo baadhi ya sehemu.
10:18
This is a general phenomenon.
203
618720
1416
Hii ni suala la jumla.
10:20
Sometimes we're expected to do good
204
620160
2056
Wakati mwingine tunagemewa kufanya mema
10:22
and sometimes not,
205
622240
1816
na wakati mwingine si hivyo,
10:24
and it means that people are really sensitive to cues
206
624080
3376
na inamaanisha kua watu wanachukulia uzito sana suala la foleni
10:27
that they're expected to do good in a particular situation,
207
627480
2960
na wanategemewa kufanya mema katika suala kama hilo,
10:31
which brings us to the third and final item on our checklist:
208
631600
3696
ambapo inatupeleka katika jambo la tatu na la mwisho katika listi yetu:
10:35
to communicate expectations,
209
635320
1776
kufanya mawasiliano ya mategemeo,
10:37
to tell people,
210
637120
1416
kuwaambia watu,
10:38
"Do the good deed right now."
211
638560
2080
"Fanya jambo jema sasa hivi."
10:42
Here's a simple way to communicate expectations;
212
642680
2256
Hii ni njia rahisi ya kuwasilisha mategemeo;
10:44
simply tell them, "Hey, everybody else is doing the good deed."
213
644960
3176
kwa urahisi waambie, "Jamani, kila mtu anafanya matendo mema."
10:48
The company Opower sends people in their electricity bill
214
648160
4176
Kampuni ya Opower hutumia watu katika ankara zao za umeme
10:52
a small insert that compares their energy consumption
215
652360
2776
maelezo madogo ambayo hulinganisha matumizi yao ya nishati
10:55
with that of people with similarly sized homes.
216
655160
3240
na wale walio na nyumba ambazo zinafanana ukubwa na wao.
10:59
And when people find out that their neighbors are using less electricity,
217
659000
3456
Na pale watu wanapogundua kwamba majirani zao wanatumia umeme kidogo,
11:02
they start to consume less.
218
662480
1896
wanaanza kutumia umeme kidogo pia.
11:04
That same approach, it's been used to get people to vote or give to charity
219
664400
3656
Mkakati huo, umetumika kuwafanya watu kupiga kura au kutoa misaada
11:08
or even reuse their towels in hotels.
220
668080
2120
au kutumia tena mataulo katika hoteli.
11:12
What about this one?
221
672240
1200
Vipi kuhusu hili?
11:14
Here's another way to communicate expectations;
222
674240
2496
Hii ni namna nyingine ya kuwasilisha mategemeo;
11:16
simply do it by saying, "Do the good deed" just at the right time.
223
676760
4080
kwa urahisi fanya kwa kusema, "Tenda yaliyo mema" kwa mda unaofaa.
11:23
What about this one?
224
683840
1200
Vipi kuhusu hii?
11:26
This ticker reframes
225
686320
2616
Hii inatengeneza picha
11:28
the kind of mundane task of turning off the lights
226
688960
2816
ya namna ya kidunia ya kuzima taa
11:31
and turns it instead into an environmental contribution.
227
691800
2840
na kuwasha katika mchango wa kimazingira.
11:36
The bottom line is, lots of different ways to do this,
228
696320
2816
Hitimisho ni kwamba, njia nyingi za kufanya hili,
11:39
lots of ways to communicate expectations.
229
699160
2056
namna nyingi za kuwasilisha mategemeo.
11:41
Just don't forget to do it.
230
701240
1286
Usisahau kufanya.
11:43
And that's it.
231
703320
1296
Hivyo tu.
11:44
That's our checklist.
232
704640
1200
Hiyo ndiyo listi yetu.
11:48
Many of you are working on problems with important social consequences,
233
708440
4336
Wengi wenu mnashughulikia matatizo muhimu yaliyo na madhara kwa jamii,
11:52
and sometimes you might need to motivate people to do more good.
234
712800
3400
na muda mwingine mnaweza hitaji kuwahamasisha watu kutenda mema.
11:57
The tools you learned today can help you with this.
235
717520
3016
Somo la leo linaweza kukusaidia kwa hilo.
12:00
And these tools, they don't require that you raise additional funds
236
720560
3176
Na somo hili, haliihitaji kufanya harambee ya kuongeza fungu
12:03
or that you develop any more fancy technologies.
237
723760
2896
au kuunda teknolojia iliyo na nakshi.
12:06
They just require harnessing reputations
238
726680
2776
Inahitaji kuweza kupata sifa
12:09
by increasing observability, eliminating excuses
239
729480
3416
kwa kuongeza uangalizi, kuondoa visingizio
12:12
and communicating expectations.
240
732920
1600
na kuwasilisha mategemeo.
12:16
Thank you.
241
736120
1216
Asante.
12:17
(Applause)
242
737360
4440
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7