The key to a better malaria vaccine | Faith Osier

41,877 views ・ 2018-11-06

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Doris Mangalu Reviewer: Nelson Simfukwe
00:13
There are 200 million clinical cases
0
13754
4666
Kuna kesi milioni 200 za ki-kliniki
00:18
of falciparum malaria in Africa every year,
1
18444
4403
za malaria ya falsiparam Afrika kila mwaka,
00:22
resulting in half a million deaths.
2
22871
2920
iliyosababisha vifo nusu millioni.
00:26
I would like to talk to you about malaria vaccines.
3
26395
3809
Ningependa kuongea nanyi kuhusu chanjo ya malaria.
00:30
The ones that we have made to date are simply not good enough.
4
30807
5598
Ambazo tumetengeneza mpaka sasa hazina ubora wa kutosha.
00:36
Why?
5
36998
1150
Kwanini?
00:38
We've been working at it for 100 plus years.
6
38474
3984
Tumeifanyia kazi kwa miaka 100 na zaidi.
00:42
When we started, technology was limited.
7
42950
3606
Tulivyoanza, teknolojia ilikuwa duni.
00:46
We could see just a tiny fraction of what the parasite really looked like.
8
46966
6881
Tuliweza kuona sehemu ndogo tu ya jinsi kimelea kinavyoonekana.
00:54
Today, we are awash with technology,
9
54466
3365
Leo, tunamiminika na teknolojia,
00:57
advanced imaging and omics platforms --
10
57855
4055
upiga picha ulioendelea na jukwaa la omiks --
01:01
genomics, transcriptomics, proteomics.
11
61934
4210
genomiksi, transkriptomiksi, proteomiksi.
01:06
These tools have given us a clearer view
12
66620
3873
Hizi zana zimetupa mtazamo wa wazi
01:10
of just how complex the parasite really is.
13
70517
4293
wa jinsi kimelea kilivyo na utata.
01:15
However, in spite of this,
14
75365
2627
Hata hivyo, licha ya hili,
01:18
our approach to vaccine design has remained pretty rudimentary.
15
78016
5500
mbinu yetu ya kubuni chanjo imebakia kuwa ya msingi.
01:24
To make a good vaccine, we must go back to basics
16
84040
4420
Kutengeneza chanjo nzuri, tunalazimika kurudi kwenye misingi
01:28
to understand how our bodies handle this complexity.
17
88484
4525
kuelewa jinsi miili yetu ina shughulikia huu utata.
01:34
People who are frequently infected with malaria
18
94460
4197
Watu wanaoambukizwa na malaria mara kwa mara
01:38
learn to deal with it.
19
98681
1467
hujifunza kukabiliana nayo.
01:40
They get the infection, but they don't get ill.
20
100689
3301
Wanapata maambukizi, lakini hawaumwi.
01:44
The recipe is encoded in antibodies.
21
104688
3619
Maagizo yameandikwa kwenye kinga mwili.
01:48
My team went back to our complex parasite,
22
108903
3984
Timu yangu ilirudi kwenye kimelea chetu tata,
01:52
probed it with samples from Africans who had overcome malaria
23
112911
4928
kikachunguzwa na sampuli kutoka kwa Waafrika walioishinda malaria
01:57
to answer the question:
24
117863
1825
kujibu swali:
01:59
"What does a successful antibody response look like?"
25
119712
4047
"Mwitikio uliofanikiwa wa kingamwili unafananaje?"
02:04
We found over 200 proteins,
26
124212
3302
Tumepata zaidi ya protini 200,
02:07
many of which are not on the radar for malaria vaccines.
27
127538
4213
nyingi ambazo haziko kwenye rada ya chanjo ya malaria.
02:12
My research community may be missing out important parts of the parasite.
28
132141
5182
Jamii yangu ya utafiti inaweza kukosa sehemu muhimu za kimelea.
02:18
Until recently, when one had identified a protein of interest,
29
138283
5265
Mpaka hivi karibuni, pale mmoja alipotambua protini yenye umuhimu,
02:23
they tested whether it might be important for a vaccine
30
143572
3603
walijaribu kama itakuwa muhimu kwa chanjo
02:27
by conducting a cohort study.
31
147199
2429
kwa kuongoza utafiti wa kundi.
02:30
This typically involved about 300 participants in a village in Africa,
32
150307
5572
Hii kawaida inahusisha washiriki takribani 300 kwenye kijiji cha Afrika,
02:35
whose samples were analyzed to see
33
155903
2809
ambao sampuli zao zilichambuliwa kuona
02:38
whether antibodies to the protein would predict who got malaria
34
158736
5706
kama kingamwili kwa protini zingetabiri nani kapata malaria
02:44
and who did not.
35
164466
1246
na nani hakupata.
02:46
In the past 30 years,
36
166323
2103
Katika miaka 30 iliyopita,
02:48
these studies have tested a small number of proteins
37
168450
4778
hizi tafiti zimejaribu namba ndogo ya protini
02:53
in relatively few samples
38
173252
2372
kwenye kiasi kichache cha sampuli
02:55
and usually in single locations.
39
175648
2667
na kawaida kwenye eneo moja moja.
02:58
The results have not been consistent.
40
178782
3079
Majibu hayakuwa thabiti.
03:02
My team essentially collapsed 30 years of this type of research
41
182956
6081
Timu yangu kimsingi ilivunja miaka 30 ya aina hii ya tafiti
03:09
into one exciting experiment, conducted over just three months.
42
189061
4941
kwenye jaribio moja la kusisimua, liliyofanywa zaidi ya miezi mitatu tu.
03:14
Innovatively, we assembled 10,000 samples
43
194609
4222
Kiubunifu, tulikusanya sampuli 10,000
03:18
from 15 locations in seven African countries,
44
198855
4413
kutoka maeneo 15 kwenye nchi saba za Afrika,
03:23
spanning time, age and the variable intensity
45
203292
4222
ikiwa na upeo wa muda, umri na kiwango kinachotofautiana
03:27
of malaria experienced in Africa.
46
207538
2682
cha malaria kilichozoeleka Afrika.
03:30
We used omics intelligence to prioritize our parasite proteins,
47
210585
5659
Tulitumia akili za omiks kuipa kipaumbele protini za vimelea,
03:36
synthesize them in the lab
48
216268
2000
kuziunganisha maabara
03:38
and in short, recreated the malaria parasite on a chip.
49
218292
4804
na kiufupi, tulijenga upya kimelea cha malaria kwenye chenga.
03:43
We did this in Africa, and we're very proud of that.
50
223585
3467
Tulifanya hivi Afrika, na tuna fahari sana juu ya hilo.
03:47
(Applause)
51
227379
6175
(Makofi)
03:53
The chip is a small glass slide,
52
233578
3111
Hiyo chenga ni chembe ndogo ya bilauri,
03:56
but it gives us incredible power.
53
236713
2396
lakini inatupa nguvu ya ajabu.
04:00
We simultaneously gathered data on over 100 antibody responses.
54
240007
6167
Wakati huo huo tulikusanya takwimu ya zaidi ya majibu 100 ya kingamwili.
04:06
What are we looking for?
55
246592
1600
Nini tunachotafuta?
04:08
The recipe behind a successful antibody response,
56
248679
4635
Mchanganyiko maalumu unaohusu mrejesho kamilifu wa kingamwili,
04:13
so that we can predict what might make a good malaria vaccine.
57
253338
4365
ili tuweze kutabiri nini kinafanya chanjo nzuri ya malaria.
04:18
We're also trying to figure out
58
258680
1873
Tunajaribu pia kufikiri
04:20
exactly what antibodies do to the parasite.
59
260577
3547
nini hasa kingamwili inafanya kwenye kimelea.
04:24
How do they kill it?
60
264482
1555
Jinsi wanavyoviua?
04:26
Do they attack from multiple angles? Is there synergy?
61
266061
3722
Wanashambulia kutoka pembe nyingi? Kuna ushirikiano?
04:29
How much antibody do you need?
62
269807
2000
Ni kiasi gani cha kingamwili kinahitajika?
04:32
Our studies suggest that having a bit of one antibody won't be enough.
63
272188
5889
Tafiti zetu zinaonyesha kua kukiwa na moja kingamwili kidogo haitoshi.
04:38
It might take high concentrations of antibodies
64
278458
3183
Inaweza kuchukua viwango vya juu vya kingamwili
04:41
against multiple parasite proteins.
65
281665
2516
dhidi ya protini nyingi za vimelea.
04:44
We're also learning that antibodies kill the parasite in multiple ways,
66
284673
5015
Tunajifunza pia kingamwili huua kimelea kwa njia nyingi,
04:49
and studying any one of these in isolation may not adequately reflect reality.
67
289712
5944
na kusoma moja ya hizo yenyewe inaweza isionyeshe ukweli wa kutosha.
04:56
Just like we can now see the parasite in greater definition,
68
296454
4476
Kama tu jinsi tunaona sasa kimelea kwa maelezo zaidi,
05:00
my team and I are focused
69
300954
1992
timu yangu na mimi tumelenga
05:02
on understanding how our bodies overcome this complexity.
70
302970
4737
kwenye kuelewa jinsi miili yetu inashinda utata huu.
05:08
We believe that this could provide the breakthroughs that we need
71
308012
4437
Tunaamini kua hii italeta mafanikio tunayohitaji
05:12
to make malaria history through vaccination.
72
312473
3736
na kufanya malaria iwe historia kupitia chanjo.
05:16
Thank you.
73
316719
1151
Asanteni.
05:17
(Applause)
74
317894
1703
(Makofi)
05:19
(Cheers)
75
319621
2396
(Shangwe)
05:22
(Applause)
76
322041
5752
(Makofi)
05:27
Shoham Arad: OK, how close are we actually to a malaria vaccine?
77
327817
3487
Shoham Arad: Sawa, tuko karibu kiasi gani kupata chanjo cha malaria?
05:32
Faith Osier: We're just at the beginning of a process
78
332281
2857
Faith Osier: Tuko mwanzo tu wa mchakato huu
05:35
to try and understand what we need to put in the vaccine
79
335162
3984
kujaribu kuelewa nini tunahitaji kuweka kwenye chanjo
05:39
before we actually start making it.
80
339170
2533
kabla hatujaanza kuitengeneza kweli.
05:41
So, we're not really close to the vaccine, but we're getting there.
81
341727
3833
Hivyo, hatukokaribu sana na chanjo, lakini tunaelekea huko.
05:45
SA: And we're hopeful.
82
345584
1241
SA: Na tuna matumaini.
05:46
FO: And we're very hopeful.
83
346849
1800
FO: Na tuna matumaini kweli.
05:49
SA: Tell me about SMART, tell me what does it stand for
84
349323
3246
SA: Niambie kuhusu SMART, niambie inasimama kwa nini
05:52
and why is it important to you?
85
352593
2040
na kwanini ni muhimu kwako?
05:54
FO: So SMART stands for South-South Malaria Antigen Research Partnership.
86
354657
6383
FO: SMART ni Ushirikiano wa Tafiti ya Antijeni za Malaria Kusini-Kusini.
06:01
The South-South is referring to us in Africa,
87
361477
4262
Ile Kusini-Kusini inarejea kwa sisi wa Afrika,
06:05
looking sideways to each other in collaboration,
88
365763
4505
tukiangalia upande wa kila mmoja kwa ushirikiano,
06:10
in contrast to always looking to America and looking to Europe,
89
370292
4206
tofauti na kuangalia daima kwa Marekani na kuangalia kwa Ulaya,
06:14
when there is quite some strength within Africa.
90
374522
3037
wakati kabisa kuna nguvu fulani ndani ya Afrika.
06:17
So in SMART,
91
377997
1164
Hivyo kwenye SMART,
06:19
apart from the goal that we have, to develop a malaria vaccine,
92
379185
3940
licha ya lengo tulilonalo, kuendeleza chanjo ya malaria,
06:23
we are also training African scientists,
93
383149
2445
tunafundisha pia wanasayansi wa Kiafrika,
06:25
because the burden of disease in Africa is high,
94
385618
3229
kwa sababu mzigo wa ugonjwa Afrika uko juu,
06:28
and you need people who will continue to push the boundaries
95
388871
3963
na unahitaji watu watakaoendelea kusukuma mipaka
06:32
in science, in Africa.
96
392858
1658
kwenye sayansi, ndani ya Afrika.
06:34
SA: Yes, yes, correct.
97
394540
2046
SA: Ndio, ndio, ni kweli.
06:36
(Applause)
98
396610
3191
(Makofi)
06:40
OK, one last question.
99
400053
1548
Sawa, swali moja la mwisho.
06:41
Tell me, I know you mentioned this a little bit,
100
401625
2754
Niambie, najua umeongelea hili kidogo,
06:44
but how would things actually change if there were a malaria vaccine?
101
404403
3254
lakini ni vipi hasa vitu vitabadilika kama kutakua na chanjo ya malaria?
06:48
FO: We would save half a million lives every year.
102
408732
3738
FO: Tungeokoa nusu milioni ya maisha kila mwaka.
06:53
Two hundred million cases.
103
413256
1826
Kesi milioni mia mbili.
06:55
It's estimated that malaria costs Africa 12 billion US dollars a year.
104
415106
6808
Imekadiriwa kua malaria inagharimu Afrika dola za Kimarekani bilioni 12 kwa mwaka.
07:02
So this is economics.
105
422278
1396
Hivyo hii ni uchumi.
07:03
Africa would simply thrive.
106
423698
2268
Afrika ingestawi kirahisi.
07:06
SA: OK. Thank you, Faith.
107
426626
1501
SA: Sawa. Asante, Faith.
07:08
Thank you so much.
108
428151
1198
Asante sana.
07:09
(Applause)
109
429373
1396
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7