What if all US health care costs were transparent? | Jeanne Pinder

402,046 views ・ 2019-03-11

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Clarence Bitegeko Reviewer: Doris Mangalu
00:12
So, a little while ago,
0
12815
2052
Kitambo kidogo hapo nyuma,
00:14
members of my family had three bits of minor surgery,
1
14891
3043
watu wa familia yangu walikuwa na upasuaji mdogo mara 3 hivi,
00:17
about a half hour each,
2
17958
1565
wa kama nusu saa kwa kila mmoja,
00:19
and we got three sets of bills.
3
19547
2077
na tulipata seti tatu za bili.
00:22
For the first one, the anesthesia bill alone was 2,000 dollars;
4
22011
4226
Kwa ule wa kwanza, madai ya nusukaputi pekee yalikuwa dola 2,000;
00:26
the second one, 2,000 dollars;
5
26261
2380
ule wa pili, dola 2,000;
00:28
the third one, 6,000 dollars.
6
28665
2769
ule wa tatu, dola 6,000.
00:32
So I'm a journalist. I'm like, what's up with that?
7
32311
3878
Sasa mimi ni mwanahabari. Nikawa kama, sasa kuna nini kwani?
00:37
I found out that I was actually, for the expensive one,
8
37022
3074
Nikagundua kuwa, nilipewa gharama za juu,
00:40
being charged 1,419 dollars for a generic anti-nausea drug
9
40120
5819
kulipishwa dola 1,419 kwa dawa ya nusukaputi ya kawaida
00:45
that I could buy online for two dollars and forty-nine cents.
10
45963
3553
ambayo ningeweza kununua mtandaoni kwa dola mbili na senti arobaini.
00:50
I had a long and unsatisfactory argument with the hospital,
11
50782
3115
Nilikuwa na mabishano marefu na yasiyoridhisha na hospitali,
00:53
the insurer and my employer.
12
53921
2600
mtoa bima na mwajiri.
00:56
Everybody agreed that this was totally fine.
13
56545
2789
Kila mmoja alikubali kuwa hii ilikuwa sawa kabisa.
00:59
But it got me thinking, and the more I talked to people, the more I realized:
14
59855
3663
Lakini ilinifanya nifikirie, na kadri nilivyoongea na watu, niligundua zaidi:
01:03
nobody has any idea what stuff costs in health care.
15
63542
2707
hakuna anayefahamu gharama za vitu katika huduma za afya.
01:06
Not before, during or after that procedure or test
16
66273
3086
Siyo kabla, katikati, au baada ya huduma au vipimo
01:09
do you have any idea what it's going to cost.
17
69383
2276
una wazo lolote nini itakuwa gharama.
01:11
It's only months later that you get an "explanation of benefits"
18
71683
3435
Ni baada tu ya miezi kadhaa ndipo utapata "maelezo ya mafao"
01:15
that explains exactly nothing.
19
75142
2157
ambayo hayaelezei chochote.
01:17
So this came back to me a little while later.
20
77801
2604
Kwa hiyo hili lilikuja tena kwangu baadaye kidogo
01:20
I had volunteered for a buyout from the New York Times,
21
80429
2606
Nilijitolea kuacha kazi kwa malipo kutoka New York Times
01:23
where I had worked for more than 20 years as a journalist.
22
83059
2833
ambapo nilifanya kazi kwa zaidi ya miaka 20 kama mwanahabari.
01:26
I was looking for my next act.
23
86254
2093
Nilikuwa natafuta shughuli nyingine.
01:28
It turned out that next act was to build a company
24
88705
2645
Ikaotokea kuwa shughuli nyingine ni kuunda kampuni
01:31
telling people what stuff costs in health care.
25
91374
2376
kuwaambia watu gharama za vitu kwenye huduma za afya
01:34
I won a "Shark Tank"-type pitch contest to do just that.
26
94128
3306
Nilishinda shindano la simulizi kama "Shark Tank" ili kufanya hivyo.
01:37
Health costs ate up almost 18 percent of our gross domestic product last year,
27
97826
4272
Gharama za afya zimepanda hadi asilimia 18 ya pato la taifa kwa mwaka jana,
01:42
but nobody has any idea what stuff costs.
28
102122
2713
lakini hakuna anayefahamu gharama za vitu.
01:45
But what if we did know?
29
105225
1682
Lakinii ingekuwaje tungefahamu?
01:48
So we started out small.
30
108145
1659
Kwahiyo tulianza kidogo.
01:49
We called doctors and hospitals
31
109828
1745
Tuliita madaktari na mahospitali
01:51
and asked them what they would accept as a cash payment for simple procedures.
32
111597
4493
na kuwauliza wangekubali kiasi gani pesa taslim kwa ajili ya matibabu madogo.
01:57
Some people were helpful.
33
117075
1790
Watu wengine walikuwa na msaada.
01:58
A lot of people hung up on us.
34
118889
1853
Wengi walitukatia mawasiliano.
02:00
Some people were just plain rude.
35
120766
2111
Wengine walikuwa jeuri tu.
02:02
They said, "We don't know,"
36
122901
1922
Walisema, "Hatujui,"
02:04
or, "Our lawyers won't let us tell you that,"
37
124847
2542
au, "Wanasheria wetu hawawezi kuturuhusu kuwaambia,"
02:07
though we did get a lot of information.
38
127899
1874
ingawa tulipata taarifa nyingi.
02:10
We found, for example, that here in the New York area,
39
130207
2674
tuligundua, kwa mfano, kuwa hapa eneo la New York,
02:12
you could get an echocardiogram for 200 dollars in Brooklyn
40
132905
4090
unaweza kupata kipimo cha moyo kwa dola 200 Brooklyn
02:17
or for 2,150 dollars in Manhattan, just a few miles away.
41
137019
4970
au kwa dola 2,150 Manhattan, maili chache tu pembeni.
02:22
New Orleans, the same simple blood test,
42
142961
2519
New Orleans, vipimo hivyo hivyo rahisi vya damu,
02:25
19 dollars over here,
43
145504
2272
dola 19 hapa,
02:27
522 dollars just a few blocks away.
44
147800
3205
dola 522 vitalu vichache tu pembeni.
02:31
San Francisco, the same MRI,
45
151755
2715
San Francisco, kipimo cha MRI,
02:34
475 dollars
46
154494
2317
dola 475
02:36
or 6,221 dollars just 25 miles away.
47
156835
4860
au dola 6,221 maili 25 tu pembeni.
02:42
These pricing variations existed for all the procedures
48
162822
3268
Tofauti hizi za bei zilikuwepo kwa matibabu ya aina zote
02:46
and all the cities that we surveyed.
49
166114
2045
na miji yote iliyofanyiwa utafiti.
02:49
Then we started to ask people to tell us their health bills.
50
169165
2853
Kisha tukaanza kuwauliza watu watuambie madai ya ya matibabu.
02:52
In partnership with public radio station WNYC here in New York,
51
172512
3753
Kwa kushirikiana na redio stesheni ya kijamii WNYC hapa New York,
02:56
we asked women to tell us the prices of their mammograms.
52
176289
2932
tuliuliza wanawake watuambie bei za kipimo cha saratani ya matiti.
02:59
People told us nobody would do that, that it was too personal.
53
179624
3279
Watu walituambia hakuna atakayesema, ilikuwa jambo binafsi sana.
03:03
But in the space of three weeks,
54
183490
1779
Lakini ndani ya wiki tatu,
03:05
400 women told us about their prices.
55
185293
3171
wanawake 400 walituambia juu ya bei zake,
03:09
Then we started to make it easier for people to share their data
56
189272
3084
Kisha tukaanza kufanya kuwa rahisi kwa watu kutoa taarifa zao
03:12
into our online searchable database.
57
192380
2702
katika kanzi data yetu ya mtandaoni inayopekulika.
03:15
It's sort of like a mash-up of Kayak.com and the Waze traffic app for health care.
58
195106
5138
Ni mfano wa Kayak.com na zana tumizi ya Waze pamoja kwa ajili ya huduma za afya.
03:20
(Laughter)
59
200268
1049
(Kicheko)
03:21
We call it a community-created guide to health costs.
60
201341
2907
Tunaiita mwongozo wa jumuiya wa gharama za matibabu.
03:24
Our survey and crowdsourcing work grew into partnerships
61
204272
2635
Utafiti wetu na ukusanyaji taarifa kutoka uma ukapelekea ubia
03:26
with top newsrooms nationwide --
62
206931
1866
na vyombo vikubwa vya habari kitaifa
03:28
in New Orleans, Philadelphia,
63
208821
2072
ndani ya New Orleans, Philadelphia,
03:30
San Francisco, Los Angeles, Miami and other places.
64
210917
3711
San Francisco, Los Angeles, Miami na sehemu nyingine.
03:35
We used the data to tell stories about people who were suffering
65
215212
3923
Tulitumia data kusimulia juu ya watu waliokuwa wakiteseka
03:39
and how to avoid that suffering, to avoid that "gotcha" bill.
66
219159
3820
na jinsi gani kuepuka mateso hayo, kuepuka madai ya "nimekudaka".
03:44
A woman in New Orleans saved nearly 4,000 dollars using our data.
67
224579
3842
Mwanamke mmoja wa New Orleans aliokoa karibu dola 4,000 kwa kutumia data zetu.
03:49
A San Francisco contributor saved nearly 1,300 dollars
68
229147
3311
Mchangiaji wa San Francisco aliokoa karibu dola 1,300
03:52
by putting away his insurance card
69
232482
1801
kwa kuiweka mbali kadi yake ya bima
03:54
and paying cash.
70
234307
1450
na kulipa pesa taslimu.
03:56
There are a lot of people who are going to in-network hospitals
71
236513
3028
Kuna watu wengi wanaokwenda kwenye hospitali zililizo mtandaoni
03:59
and getting out-of-network bills.
72
239565
1629
na kupata bili za nje ya mtandao.
04:01
And then there was the hospital that continued to bill a dead man.
73
241838
3209
Na pia kuna hospitali ambazo ziliendelea kudai mtu aliyekufa.
04:05
We learned that thousands of people wanted to tell us their prices.
74
245071
3152
Tulijifunza kuwa maelfu ya watu walitaka kutuambia bei zao.
04:08
They want to learn what stuff costs,
75
248247
1729
Wanataka kujua gharama za vitu,
04:10
find out how to argue a bill,
76
250000
1634
kujua namna kuhoji juu ya bili,
04:11
help us solve this problem that's hurting them and their friends and families.
77
251658
4270
kutusaidia kutatua hili tatizo linaloumiza wao, rafiki na familia zao.
04:15
We talked to people who had to sell a car to pay a health bill,
78
255952
2976
Tuliongea na watu waliofikia kuuza gari ili kulipa bili ya afya,
04:18
go into bankruptcy,
79
258952
1387
na kufilisika
04:20
skip a treatment because of the cost.
80
260363
2273
kuacha matibabu kwa sababu ya gharama.
04:23
Imagine if you could afford the diagnosis
81
263230
2660
Fikiria ungeweza kumudu gharama za uchunguzi
04:25
but not the cure.
82
265914
1516
lakini siyo matibabu.
04:29
We set off a huge conversation about costs
83
269589
2162
Tulianzisha majadiliano makubwa juu ya gharama
04:31
involving doctors and hospitals, yes, but also their patients,
84
271775
3751
tukihusisha madaktari, mahospitali, ndiyo, na wagonjwa wao,
04:35
or as we like to call them, people.
85
275550
2191
au tunavyopenda kuwaita, watu.
04:37
(Laughter)
86
277765
1904
(Kicheko)
04:41
We changed policy.
87
281519
1151
Tulibadili sera.
04:42
A consumer protection bill that had been stalled
88
282694
2326
Mswada wa kulinda walaji ambao ulikuwa umesimama
04:45
in the Louisiana legislature for 10 years
89
285044
2123
katika bunge la Louisiana kwa miaka 10
04:47
passed after we launched.
90
287191
1842
ulipita baada ya sisi kuzindua.
04:50
Let's face it:
91
290797
1151
Tukabiliane nayo:
04:51
this huge, slow-rolling public health crisis
92
291972
2395
janga hili kubwa na linalokuwa taratibu la afya ya jamii
04:54
is a national emergency.
93
294391
1867
ni dharura ya kitaifa.
04:56
And I don't think government's going to help us out anytime soon.
94
296649
3146
Na sidhani kama serikali itatusaidia wakati wowote hivi karibuni.
05:00
But what if the answer was really simple:
95
300652
2148
Lakini vipi jibu lingekuwa rahisi sana:
05:02
make all the prices public all the time.
96
302824
3020
fanya bei zote wazi wakati wote.
05:06
Would our individual bills go down? Our health premiums?
97
306605
3666
Je bili zetu zitapungua? Ada ya bima ya afya?
05:11
Be really clear about this:
98
311749
1722
Kuwa wazi juu ya hili:
05:13
this is a United States problem.
99
313495
1910
hili ni tatizo la Marekani.
05:15
In most of the rest of the developed world,
100
315429
2055
Katika nchi nyingi nyingine zilizoendelea,
05:17
sick people don't have to worry about money.
101
317508
2759
wagonjwa hawahitaji kuwa na wasiwasi juu ya pesa.
05:20
It's also true that price transparency will not solve every problem.
102
320291
4018
Ni kweli pia kuwa uwazi wa bei hautatatua kila tatizo.
05:24
There will still be expensive treatments,
103
324333
2806
Bado kutakuwa na matibabu ya gharama,
05:27
huge friction from our insurance system.
104
327163
2692
msuguano mkubwa na mfumo wetu wa bima.
05:29
There will still be fraud
105
329879
1680
Bado kutakuwa na udanganyifu
05:31
and a massive problem with overtreatment and overdiagnosis.
106
331583
3371
na tatizo kubwa la matibabu yaliyozidi na uchunguzi uliopitiliza.
05:35
And not everything is shoppable.
107
335537
2615
Na si kila kitu kinanunulika.
05:38
Not everybody wants the cheapest appendectomy
108
338176
2454
Si kila mtu anataka upasuaji kidoletumbo wa bei rahisi
05:40
or the cheapest cancer care.
109
340654
1851
au matibabu saratani ya bei rahisi.
05:43
But when we talk about these clear effects,
110
343513
2155
Lakini tunapoongelea athari hizi za wazi,
05:45
we're looking at a real issue that's actually very simple.
111
345692
3527
tunaangalia jambo la halisi kabisa ambalo ni rahisi sana
05:50
When we first started calling for prices,
112
350394
1954
Tulipoanza kuulizia bei,
05:52
we actually felt like we were going to be arrested.
113
352372
2479
tulihisi kabisa kama tungekuja kukamatwa.
05:55
It seemed kind of transgressive to talk about medicine and health care
114
355162
3592
Ilionekana kama ni kwenda kinyume kuongelea dawa na huduma za afya
05:58
in the same breath,
115
358778
1345
kwa pamoja,
06:00
and yet it became liberating,
116
360147
1552
na bado ilileta ukombozi,
06:01
because we found not only data
117
361723
2312
sababu tulipata siyo taarifa tu
06:04
but also good and honest people out there in the system
118
364059
2641
bali pia watu wazuri na waaminifu katika mfumo uliopo
06:06
who want to help folks get the care they need
119
366724
2144
ambao wanataka kusaidia watu kupata huduma wanazohitaji
06:08
at a price they can afford.
120
368892
1418
katika bei wanazoweza kuzimudu.
06:11
And it got easier to ask.
121
371631
1875
Na ilizidi kuwa rahisi kuuliza.
06:13
So I'll leave you with some questions.
122
373530
2081
Hivyo, nitawaacha na maswali.
06:15
What if we all knew what stuff cost in health care in advance?
123
375635
3329
Ingekuwaje kama wote tungejua gharama za huduma za afya mapema?
06:19
What if, every time you Googled for an MRI,
124
379983
3187
Ingekuwaje, kila wakati ungetafuta MRI kwa google,
06:23
you got drop-downs telling you where to buy and for how much,
125
383194
3400
ungepata orodha ya wapi ununue na kwa kiasi gani,
06:26
the way you do when you Google for a laser printer?
126
386618
2457
namna unavyokua unatafuta kichapishi kupitia google?
06:30
What if all of the time and energy and money that's spent hiding prices
127
390094
4244
Ingekuwaje kama muda wote na nguvu na pesa inayotumika kuficha bei
06:34
was squeezed out of the system?
128
394362
1984
vingeondolewa kwenye mfumo.
06:37
What if each one of us could pick the $19 test every time
129
397188
3199
Ingekuwaje kama kila mmoja wetu angechagua uchunguzi wa $19 kila wakati
06:40
instead of the $522 one?
130
400411
2337
badala ya ule wa $522?
06:43
Would our individual bills go down?
131
403384
1738
Je bili zetu zingepungua?
06:45
Our premiums?
132
405146
1403
Ada za bima?
06:46
I don't know, but if you don't ask, you'll never know.
133
406573
2848
Sijui, lakini usipouliza, hutojua kamwe.
06:49
And you might save a ton of money.
134
409445
1870
Na unaweza kuokoa pesa nyingi.
06:51
And I've got to think that a lot of us and the system itself
135
411767
3539
Na nimekuwa nikifikiria kuwa wengi wetu na mfumo wenyewe
06:55
would be a lot healthier.
136
415330
1582
tungekuwa na afya zaidi.
06:57
Thank you.
137
417676
1188
Asanteni.
06:58
(Applause)
138
418888
3828
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7