From death row to law graduate | Peter Ouko

62,324 views ・ 2018-02-26

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
I want to tell you a story about Manson.
0
12794
2126
Nataka niwaambie hadithi inayomuhusu Manson.
00:17
Manson was this 28-year-old interior designer,
1
17214
4093
Manson alikuwa mpamba mandhari ya ndani ya nyumba mwenye miaka 28,
00:21
a father to a loving daughter,
2
21331
1818
baba mwenye binti anayempenda,
00:23
and a son
3
23572
2079
na mvulana
00:25
who found himself behind bars due to a broken-down judicial system.
4
25675
3756
aliyejikuta akiingia jela kutokana na mfumo mbovu wa mahakama.
00:30
He was framed for a murder he didn't commit
5
30516
3212
Alisingiziwa mauaji ambayo hakuyatenda
00:33
and was sentenced to the gallows.
6
33752
1847
na kuhukumiwa kunyongwa.
00:36
There were two victims of this murder -- the victim who actually died in the murder
7
36855
4016
Walikuwepo wahanga wawili wa mauaji haya --mhanga mmoja aliyefariki kwenye mauaji
00:40
and Manson, who had been sentenced to prison
8
40895
2681
na Manson, ambaye alifungwa gerezani
00:43
for an offense which he did not commit.
9
43600
1938
kwa kosa ambalo hakutenda.
00:47
He was locked up in a cell, eight by seven,
10
47419
2372
Aliwekwa kwenye chumba cha jela, nane kwa saba,
00:49
with 13 other grown-up men
11
49815
1587
na watu wazima wengine 13
00:52
for 23 and a half hours a day.
12
52262
1872
kwa masaa 23 na nusu kwa siku.
00:55
Food was not guaranteed that you'd get.
13
55188
3405
Hakukuwa na uhakika wa kupata chakula.
00:59
And I remember yesterday,
14
59688
1261
Na nakumbuka jana,
01:00
as I walked into the room where I was,
15
60973
3073
nikiwa naingia kwenye chumba ambacho nilikuwepo,
01:04
I imagined the kind of cell that Manson would have been living in.
16
64070
3340
Nilitafakari namna chumba cha jela ambacho Manson alikuwa akiishi.
01:07
Because the toilet --
17
67434
1400
Kwa sababu msalani --
01:09
The row of the small rooms
18
69371
1309
Mstari wa vyumba vidogo
01:10
that were there were slightly bigger than the eight-by-seven cell.
19
70704
3338
uliokuwepo pale ulikuwa mkubwa kidogo zaidi ya chumba cha jela cha ukubwa wa nane kwa saba.
01:14
But being in that cell as he awaited the executioner --
20
74551
2595
Lakini kuwepo ndani ya jela ile akimsubiri mnyongaji --
01:17
because in prison, he did not have a name --
21
77170
2293
kwa sababu ndani ya jela, hakuwa na jina --
01:20
Manson was known by a number.
22
80292
1840
Manson alikuwa akijulikana kwa namba.
01:22
He was just a statistic.
23
82625
1269
Alikuwa ni moja ya takwimu.
01:25
He did not know how long he would wait.
24
85751
2064
Hakujua ni kwa muda gani angesubiri.
01:28
The wait could have been a minute,
25
88323
1754
Muda wa kusubiri ungewezekana kuwa dakika,
01:30
the executioner could have come the next minute,
26
90101
2270
mnyongaji angeweza kuja dakika inayofuata,
01:32
the next day,
27
92395
1373
siku inayofuata,
01:33
or it could have taken 30 years.
28
93792
1721
au ingechukua miaka 30.
01:37
The wait had no end.
29
97511
1334
Ngoja ngoja haikuwa na mwisho.
01:40
And in the midst of the excruciating pain,
30
100194
2881
Na katika maumivu makali ya uchungu,
01:43
the mental torture,
31
103099
1266
mateso ya kiakili,
01:46
the many unanswered questions that Manson faced,
32
106061
2734
maswali mengi yasiyo na majibu aliyokumbana nayo Manson,
01:50
he knew he was not going to play the victim.
33
110411
2411
alijua kwamba hatotakiwa kuwa mhanga.
01:53
He refused to play the role of the victim.
34
113331
2317
Alikataa kuwa mhanga.
01:56
He was angry at the justice system that had put him behind bars.
35
116497
3366
Alighadhabishwa na mfumo wa mahakama uliomuingiza jela.
02:01
But he knew the only way he could change that justice system
36
121188
2929
Lakini aligundua kwamba njia pekee ya kubadili mfumo wa haki
02:04
or help other people get justice
37
124141
2213
au kusaidia wengine kupata haki
02:06
was not to play the victim.
38
126378
1421
ni kukataa kuwa mhanga.
02:09
Change came to Manson when he decided to embrace forgiveness
39
129435
4238
Mabadiliko yalikuja kwa Manson alipoamua kujifunza kusamehe
02:13
for those who had put him in prison.
40
133697
1750
kwa wale waliomuingiza jela.
02:17
I speak that as a fact.
41
137784
2159
Naongea hilo likiwa ni ukweli.
02:20
Because I know who Manson is.
42
140776
1632
Kwa sababu namfahamu Manson.
02:24
I am Manson.
43
144403
1150
Mimi ni Manson.
02:26
My real name is Peter Manson Ouko.
44
146546
2266
Jina langu halisi ni Peter Manson Ouko.
02:30
And after my conviction,
45
150260
1523
Na baada ya hukumu yangu,
02:31
after that awakening of forgiveness,
46
151807
2400
baada ya kupata uamsho wa kusamehe,
02:35
I had this move
47
155318
1150
Nilisonga mbele
02:37
to help change the system.
48
157826
1443
katika kusaidia kubadili mfumo.
02:40
I already decided I was not going to be a victim anymore.
49
160318
2864
Nilishaamua kwamba sitakuwa mhanga tena.
02:44
But how was I going to help change a system
50
164276
2309
Lakini ni kwa namna gani nitasaidia kubadili mfumo
02:46
that was bringing in younger inmates every day
51
166609
3111
ambao ulikuwa ukiwafunga jela vijana wadogo kila siku
02:49
who deserve to be with their families?
52
169744
1857
ambao wanastahili kuwa na familia zao?
02:52
So I started mobilizing my colleagues in prison, my fellow inmates,
53
172862
3857
Kwa hiyo nilianza kuwaunganisha rafiki zangu nikiwa jela, wafungwa wenzangu,
02:56
to write letters and memoranda to the justice system,
54
176743
4207
kuandika barua na nakala pacha kwa mfumo wa haki,
03:00
to the Judicial Service Commission,
55
180974
2127
kwenda kamisheni ya huduma za mahakama,
03:03
the numerous task forces that had been set up
56
183125
3111
baadhi ya mamlaka za dola zilizopo
03:06
in our country, Kenya,
57
186260
1674
katika nchi yetu, Kenya,
03:07
to help change the constitution.
58
187958
1809
kusaidia kubadili katiba.
03:10
And we decided to grasp at those --
59
190260
2539
Na tuliamua kushikilia katika hayo --
03:12
to clutch at those straws, if I may use that word --
60
192823
3111
kufumbata mirija hiyo, kama naweza tumia hilo neno --
03:15
if only to make the justice system work,
61
195958
2397
ili mradi tu kufanya mfumo wa haki utende kazi sawa,
03:18
and work for all.
62
198379
1150
na kwa wote.
03:21
Just about the same time,
63
201029
1937
N a katika muda huo huo,
03:22
I met a young university graduate from the UK,
64
202990
2825
Nilikutana na mhitimu wa chuo mdogo anayetokea Uingereza,
03:25
called Alexander McLean.
65
205839
1600
anayeitwa Alexander McLean.
03:28
Alexander had come in with three or four of his colleagues from university
66
208228
3485
Alexander alikuja na wahitimu wenzie watatu au wanne kutoka chuo
03:31
in their gap year,
67
211737
1166
katika mwaka wa mapumziko,
03:32
and they wanted to help assist,
68
212927
2333
na walitaka kusaidia,
03:35
set up a library in Kamiti Maximum Prison,
69
215284
3086
kutengeneza maktaba katika jela ya Kamiti,
03:38
which if you Google,
70
218394
1152
ambayo ukitafuta katika Google,
03:39
you will see is written as one of the 15 worst prisons in the world.
71
219570
3197
utaona pameandikwa ni moja ya jela 15 mbaya duniani.
03:43
That was then.
72
223784
1150
Hiyo ilikuwa kipindi hicho.
03:45
But when Alexander came in,
73
225307
1453
Lakini Alexander alipokuja,
03:46
he was a young 20-year-old boy.
74
226784
1896
alikuwa na miaka 20.
03:48
And I was on death row at that time.
75
228704
1801
Na nilikuwa nikingojea hukumu ya kifo muda ule.
03:51
And we took him under our wing.
76
231696
1810
Na alijiunga nasi.
03:53
It was an honest trust issue.
77
233530
2769
Ilikuwa ni suala la uaminifu.
03:56
He trusted us, even though we were on death row.
78
236323
2254
Alituamini, pamoja na kwamba tulihukumiwa adhabu ya kifo.
03:59
And through that trust,
79
239157
1245
Na kupitia uaminifu huo,
04:00
we saw him and his colleagues from the university
80
240426
2596
tulimuona yeye na wenzie aliotoka nao chuo
04:03
refurbish the library with the latest technology
81
243046
3635
wakikarabati maktaba kwa kutumia teknolojia ya kisasa
04:06
and set up the infirmary to very good standards
82
246705
3944
na kuweka zahanati katika hali nzuri
04:10
so that those of us falling sick in prison
83
250673
2785
ili kwamba wale kati yetu ambao wataumwa wakiwa jela
04:13
would not necessarily have to die in indignity.
84
253482
2873
hawatokufa kwa kukosa heshima.
04:17
Having met Alexander,
85
257950
2214
Kwa kuonana na Alexander,
04:20
I had a chance,
86
260188
1159
Nilipata nafasi,
04:21
and he gave me the opportunity and the support,
87
261371
3412
na alinipa nafasi na msaada,
04:24
to enroll for a university degree at the University of London.
88
264807
3305
wa kujiunga na shahada ya chuo katika chuo cha London.
04:28
Just like Mandela studied from South Africa,
89
268958
2381
Kama vile Mandela alivyosoma akiwa Afrika Kusini,
04:31
I had a chance to study at Kamiti Maximum Security Prison.
90
271363
3238
Nilipata nafasi ya kusoma nikiwa jela ya Kamiti.
04:35
And two years later,
91
275498
1666
Na miaka miwili baadaye,
04:37
I became the first graduate of the program
92
277188
2508
Nilikuwa muhitimu wa kwanza wa programu
04:39
from the University of London from within the prison system.
93
279720
3484
kutokea chuo cha London nikiwa ndani ya mfumo wa jela.
04:44
Having graduated, what happened next --
94
284744
1920
Baada ya kuhitimu, kipi kilifuata --
04:46
(Applause)
95
286688
3505
(Makofi)
04:50
Thank you.
96
290217
1150
Asante.
04:51
(Applause)
97
291391
1083
(Makofi)
04:52
Having graduated,
98
292498
1492
Baada ya kuhitimu,
04:54
now I felt empowered.
99
294014
1400
nilijihisi kuwezeshwa.
04:56
I was not going to play the helpless victim.
100
296014
2444
Nilikuwa tena siyo mhanga nisiye na msaada.
04:58
But I felt empowered not only to assist myself,
101
298823
2754
Lakini nilijihisi kuwezeshwa sio tu kwa kujisaidia mwenyewe,
05:01
to prosecute my own case,
102
301601
1849
kushughulikia kesi yangu,
05:03
but also to assist the other inmates
103
303474
3055
lakini pia kusaidia wafungwa wengine
05:06
who are suffering the similar injustices that have just been spoken about here.
104
306553
3833
ambao wanapitia mfumo mbovu unaofanana na huu ambao umeongelewa hapa.
05:11
So I started writing legal briefs for them.
105
311490
2397
Kwa hiyo nilianza kuwaandikia nakala ya kisheria.
05:13
With my other colleagues in prison, we did as much as we could.
106
313911
3498
Na mwenzangu niliyekuwa nae jela, tulifanya kila linalowezekana.
05:19
That wasn't enough.
107
319743
1347
Hiyo haikutosha.
05:23
Alexander McLean
108
323022
1912
Alexander McLean
05:24
and his team at the African Prisons Project
109
324958
3730
na timu yake ya mradi wa jela zilizopo Afrika
05:28
decided to support more inmates.
110
328712
1897
waliamua kusaidia wafungwa wengi zaidi.
05:30
And as I'm speaking to you today,
111
330919
1614
Na ninapoongea na wewe leo.
05:32
there are 63 inmates and staff in the Kenya Prison Service
112
332561
4135
wapo wafungwa na maofisa 63 katika huduma ya jela za Kenya
05:36
studying law at the University of London through distance learning.
113
336720
3325
wakisoma sheria katika chuo cha London kwa kupitia kujifunza kwa umbali.
05:40
(Applause)
114
340903
5031
(Makofi)
05:45
These are changemakers who are being motivated
115
345958
3754
Kuna waleta mabadiliko ambao wanahamishwa
05:49
not only to assist the most indolent in society,
116
349736
3143
sio tu kusaidia walio wanyonge katika jamii,
05:52
but also to help the inmates and others get access to justice.
117
352903
3738
lakini pia kusaidia wafungwa na wengine kupata nafasi katika haki.
05:59
Down there in my prison cell, something kept stirring me.
118
359125
3248
Katika chumba cha jela nilichokuwepo, kuna kitu kilikuwa kikinikoroga.
06:03
The words of Martin Luther King kept hitting me.
119
363584
2517
Maneno ya Martin Luther King yalikuwa yakinijia.
06:07
And he was always telling me, "Pete, if you can't fly,
120
367822
2985
Na alikuwa akiniambia muda wote, "Pete, kama huwezi kupaa,
06:12
you can run.
121
372370
1150
unaweza kukimbia.
06:14
And if you can't run,
122
374395
1865
Na kama huwezi kukimbia,
06:16
you can walk.
123
376284
1150
unaweza kutembea.
06:18
But if you can't walk,
124
378133
1992
Lakini kama huwezi kutembea,
06:20
then you can crawl.
125
380149
1477
unaweza kutambaa.
06:22
But whatever it is, whatever it takes,
126
382331
2262
Lakini vyovyote, namna yoyote itavyogharimu,
06:24
just keep on moving."
127
384617
1333
endelea kusonga mbele."
06:26
And so I had this urge to keep moving.
128
386831
2341
Kwa hiyo nikawa na shauku ya kusonga mbele.
06:29
I still have this urge to keep moving in whatever I do.
129
389196
2754
Bado nina hii shauku ya kusonga mbele katika kila ninalofanya.
06:31
Because I feel the only way we can change our society,
130
391974
3444
Kwa sababu nahisi njia pekee tunayoweza kubadili jamii yetu,
06:35
the only way we can change the justice system --
131
395442
2276
njia pekee tunayoweza kubadili mfumo wa haki --
06:37
which has really improved in our country --
132
397742
2009
ambao umekuwa na maboresho makubwa nchini kwetu --
06:39
is to help get the systems right.
133
399775
1627
ni kusaidia kuweka mifumo sawa.
06:42
So, on 26th October last year, after 18 years in prison,
134
402300
3372
Kwa hiyo, mnamo tarehe 26 mwezi Oktoba mwaka uliopita, baada ya kutumikia miaka 18 jela,
06:47
I walked out of prison on presidential pardon.
135
407482
2404
Nilitoka jela kwa msamaha wa raisi.
06:51
I'm now focused on helping APP -- the African Prisons Project --
136
411061
3246
Sasa hivi nimejikita katika kusaidia APP -- mradi wa jela zilizopo Afrika --
06:54
achieve its mandate of training and setting up
137
414331
3061
kufanikisha matwaka yake ya mafunzo na kuweka
06:57
the first law school and legal college behind bars.
138
417416
3487
shule ya kwanza ya sheria na haki ndani ya jela.
07:01
Where we are going to train --
139
421569
1437
Ambapo tutafundisha --
07:03
(Applause)
140
423030
3912
(Makofi)
07:06
Where we are going to train inmates and staff
141
426966
3524
Ambapo tutafundisha wafungwa na maofisa
07:10
not only to assist their fellow inmates,
142
430514
2277
sio tu kwa ajili ya kusaidia wafungwa wenzao,
07:12
but to assist the entire wider society of the poor
143
432815
3095
lakini kusaidia jamii nzima ya masikini
07:15
who cannot access legal justice.
144
435934
2082
ambao hawawezi kupata msaada wa kisheria na haki.
07:19
So as I speak before you today,
145
439180
2423
Kwa hiyo ninaongea mbele yenu leo,
07:21
I stand here in the full knowledge that we can all reexamine ourselves,
146
441627
5571
Nasimama hapa nikiwa na maarifa kamili kwamba tunaweza kujitathmini wenyewe,
07:27
we can all reexamine our situations,
147
447222
2762
tunaweza tathmini hali zetu,
07:30
we can all reexamine our circumstances
148
450008
2533
tunaweza wote kutathmini namna zetu
07:33
and not play the victim narrative.
149
453959
2267
na kutoelezea kuhusu wahanga.
07:36
The victim narrative will not take us anywhere.
150
456792
2198
Kuelezea kuhusu wahanga hakutatupeleka popote pale.
07:40
I was behind bars, yeah.
151
460149
1600
Nilikuwa jela, ndiyo.
07:42
But I never felt and I was not a prisoner.
152
462958
2328
Lakini sijawahi kujihisi na sikuwa mfungwa.
07:48
The basic thing I got to learn
153
468236
2325
Kitu cha msingi nilichojifunza
07:50
was that if I thought,
154
470585
2278
ni kwamba kama ningewaza,
07:52
and if you think, you can,
155
472887
2182
na kama unawaza, unaweza,
07:55
you will.
156
475093
1150
utaweza.
07:56
But if you sit thinking that you can't,
157
476601
2745
Lakini kama unakaa unawaza hauwezi,
07:59
you won't.
158
479370
1150
hautaweza.
08:01
It's as simple as that.
159
481593
1533
Ni rahisi kama hivyo.
08:04
And so I'm encouraged by the peaceful revolutionaries
160
484259
2501
Na ninapata tumaini kutokana na mapinduzi ya amani
08:06
I've heard on this stage.
161
486784
1276
niliyosikia katika hatua hii.
08:08
The world needs you now, the world needs you today.
162
488633
2801
Dunia inakuhitaji sasa, dunia inakuhitaji leo.
08:12
And as I finish my talk,
163
492394
2588
Na ninapomaliza hii hotuba yangu,
08:15
I'd just like to ask each and every single one of you here,
164
495006
3248
Ninapendelea kuuliza kila mmoja wenu hapa,
08:19
wonderful thinkers, changemakers, innovators,
165
499744
3881
wasomi wakuu, waleta mabadiliko, wavumbuzi,
08:23
the wonderful global citizens we have at TED,
166
503649
3103
watu wote kutoka ulimwenguni mliopo hapa TED,
08:26
just remember the words of Martin Luther King.
167
506776
2483
kumbuka maneno ya Martin Luther King.
08:29
Let them continue ringing in your heart and your life.
168
509958
2587
Yaache yaendelee kusikika katika moyo na maisha yako.
08:33
Whatever it is,
169
513252
1783
Vyovyote ilivyo,
08:35
wherever you are,
170
515059
1626
popote ulipo,
08:36
whatever it takes,
171
516709
1683
chochote inachogharimu,
08:38
keep on moving.
172
518416
1151
endelea mbele.
08:39
Thank you.
173
519591
1159
Asante.
08:40
(Applause)
174
520774
3377
(Makofi)
08:44
Thank you.
175
524175
1151
Asante.
08:45
(Applause)
176
525350
4261
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7