To detect diseases earlier, let's speak bacteria's secret language | Fatima AlZahra'a Alatraktchi

69,633 views

2019-04-19 ・ TED


New videos

To detect diseases earlier, let's speak bacteria's secret language | Fatima AlZahra'a Alatraktchi

69,633 views ・ 2019-04-19

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

00:00
Translator: Leslie Gauthier Reviewer: Camille Martínez
0
0
7000
Translator: Doris Mangalu Reviewer: Julie Mbeyella
00:13
You don't know them.
1
13992
1325
Hauwajui.
00:16
You don't see them.
2
16150
1286
Hauwaoni.
00:18
But they're always around,
3
18405
2003
Lakini daima wapo wanazunguka,
00:21
whispering,
4
21404
1680
wananong'oneza,
00:23
making secret plans,
5
23108
1814
wakitengeneza mipango ya siri,
00:25
building armies with millions of soldiers.
6
25700
3682
wakijenga jeshi la mamilioni ya wanajeshi.
00:30
And when they decide to attack,
7
30826
1791
Na wanapoamua kushambulia,
00:33
they all attack at the same time.
8
33435
2262
wanashambulia kwa wakati mmoja.
00:39
I'm talking about bacteria.
9
39130
1779
Ninaongelea kuhusu bakteria.
00:40
(Laughter)
10
40933
1325
(Kicheko)
00:42
Who did you think I was talking about?
11
42282
1855
Mlidhani ninaongelea kuhusu nani?
00:46
Bacteria live in communities just like humans.
12
46401
3194
Bakteria wanaishi kwenye jamii kama tu binadamu.
00:49
They have families,
13
49619
1273
Wana familia,
00:50
they talk,
14
50916
1151
wanaongea,
00:52
and they plan their activities.
15
52091
1842
na wanapanga shughuli zao.
00:53
And just like humans, they trick, deceive,
16
53957
2657
Na kama tu binadamu, wanahila, waongo,
00:56
and some might even cheat on each other.
17
56638
2134
na wengine hata wanadanganyana wenyewe.
01:00
What if I tell you that we can listen to bacterial conversations
18
60127
3847
Je kama nikikuambia kua tunaweza kusikiliza mazungumzo ya bakteria
01:03
and translate their confidential information into human language?
19
63998
3574
na kutafsiri taarifa zao za siri kuwa lugha ya binadamu?
01:08
And what if I tell you that translating bacterial conversations can save lives?
20
68255
4798
Na kama je nikiwaambia kuwa kutafsiri mazungumzo ya bakteria kutaokoa maisha?
01:14
I hold a PhD in nanophysics,
21
74519
1771
Nina PhD ya nanofizikia,
01:16
and I've used nanotechnology to develop a real-time translation tool
22
76314
4376
na nimetumia teknolojia ya nano kuunda chombo cha kutafsiri cha muda halisi
01:20
that can spy on bacterial communities
23
80714
2319
kinachoweza kupeleleza kwenye jamii za bakteria
01:23
and give us recordings of what bacteria are up to.
24
83057
2916
na kutupa rekodi za nini bakteria wanafanya.
01:28
Bacteria live everywhere.
25
88123
1596
Bakteria wanaishi kila sehemu.
01:29
They're in the soil, on our furniture
26
89743
2329
Wako kwenye udongo, kwenye samani zetu
01:32
and inside our bodies.
27
92096
1311
na ndani ya miili yetu.
01:34
In fact, 90 percent of all the live cells in this theater are bacterial.
28
94083
4539
Ki ukweli, asilimia 90 ya seli zote hai kwenye huu ukumbi ni bakteria.
01:39
Some bacteria are good for us;
29
99915
1599
Baadhi ya bakteria ni wazuri kwetu;
01:41
they help us digest food or produce antibiotics.
30
101538
3212
wanatusaidia kumeng'enya chakula au kutengeneza dawa.
01:44
And some bacteria are bad for us;
31
104774
2092
Na baadhi ya bakteria na wabaya kwetu:
01:46
they cause diseases and death.
32
106890
1894
wanasababisha magonjwa na kifo.
01:49
To coordinate all the functions bacteria have,
33
109794
2416
Kushirikisha kazi zote bakteria walizonazo,
01:52
they have to be able to organize,
34
112234
2072
wanatakiwa wawe na uwezo wa kupanga,
01:54
and they do that just like us humans --
35
114330
2041
na wanafanya hivyo kama tu sisi binadamu --
01:56
by communicating.
36
116395
1159
kwa mawasiliano.
01:58
But instead of using words,
37
118751
1475
Lakini badala ya kutumia maneno,
02:00
they use signaling molecules to communicate with each other.
38
120250
2942
wanatumia molekuli za ishara kuwasiliana wenyewe kwa wenyewe.
Bakteria wanapokuwa wachche,
02:04
When bacteria are few,
39
124083
1257
02:05
the signaling molecules just flow away,
40
125364
2743
molekuli za ishara zinatiririka nje,
02:08
like the screams of a man alone in the desert.
41
128131
2505
kama kelele za mtu peke yake jangwani.
02:11
But when there are many bacteria, the signaling molecules accumulate,
42
131518
3992
Lakini kukiwa na bakteria wengi, molekuli za ishara zinajikusanya,
02:15
and the bacteria start sensing that they're not alone.
43
135534
2992
na bakteria wanaanza kuhisi kuwa hawapo peke yao.
02:19
They listen to each other.
44
139309
1334
Wanasikilizana wenyewe.
02:21
In this way, they keep track of how many they are
45
141459
2816
Kwa njia hii, wanapima wako wangapi
02:24
and when they're many enough to initiate a new action.
46
144299
3321
na wanapokuwa wengi wa kutosha kuanzisha hatua mpya.
02:28
And when the signaling molecules have reached a certain threshold,
47
148575
3857
Na pale molekuli za ishara zinafika kizingiti flani,
02:32
all the bacteria sense at once that they need to act
48
152456
3121
bakteria wote wanahisi kwa mara moja kua wanahitaji kutenda
02:35
with the same action.
49
155601
1318
kwa tendo hilo hilo.
02:37
So bacterial conversation consists of an initiative and a reaction,
50
157967
4326
Hivyo mazungumzo ya bakteria yanakuwa na mwanzo na jibu,
02:42
a production of a molecule and the response to it.
51
162317
3072
uzalishaji wa molekuli na majibu yake.
02:47
In my research, I focused on spying on bacterial communities
52
167094
3340
Kwenye utafiti wangu, nimelenga kupeleleza kwenye jamii za bakteria
02:50
inside the human body.
53
170458
1403
ndani ya mwili wa binadamu.
02:52
How does it work?
54
172343
1245
Inafanyaje kazi?
02:54
We have a sample from a patient.
55
174385
1915
Tunasampuli kutoka kwa mgonjwa.
02:56
It could be a blood or spit sample.
56
176324
2538
Inaweza kuwa ni sampuli ya damu au mate.
02:59
We shoot electrons into the sample,
57
179304
2537
Tunapiga elektroni ndani ya sampuli,
03:01
the electrons will interact with any communication molecules present,
58
181865
3920
elektroni zitaingilia na molekuli zozote za mazungumzo zilizopo,
03:05
and this interaction will give us information
59
185809
2381
na huu muingiliano utatupa taarifa
03:08
on the identity of the bacteria,
60
188214
1891
ya aina ya bakteria,
03:10
the type of communication
61
190129
1671
aina ya mawasiliano
03:11
and how much the bacteria are talking.
62
191824
2293
na kiasi gani bakteria wanazungumza.
03:16
But what is it like when bacteria communicate?
63
196269
2321
Lakini inakuaje pale bakteria wakizungumza?
03:19
Before I developed the translation tool,
64
199747
3760
Kabla sijaunda chombo cha kutafsiri,
03:23
my first assumption was that bacteria would have a primitive language,
65
203531
3846
dhana yangu ya kwanza ilikua bakteria watakua na lugha ya halisi,
03:27
like infants that haven't developed words and sentences yet.
66
207401
3178
kama vichanga ambao bado hawajaunda maneno na sentensi.
03:31
When they laugh, they're happy; when they cry, they're sad.
67
211208
2921
Wanapocheka, wanafuraha; wanapolia, wanahuzuni.
03:34
Simple as that.
68
214153
1150
Rahisi kama hivyo.
03:36
But bacteria turned out to be nowhere as primitive as I thought they would be.
69
216008
4115
Lakini bakteria walionekana kutokuwa karibu na halisi kama nilivyodhani.
03:40
A molecule is not just a molecule.
70
220615
2240
Molekuli sio tu molekuli.
03:42
It can mean different things depending on the context,
71
222879
2754
Inaweza kumaanisha vitu tofauti kulingana na muktadha,
03:46
just like the crying of babies can mean different things:
72
226404
2942
kama tu vilio vya watoto vinavyomaanisha vitu tofauti:
03:49
sometimes the baby is hungry,
73
229370
1770
saa nyingine mtoto ana njaa,
03:51
sometimes it's wet,
74
231164
1194
saa nyingine amelowa,
03:52
sometimes it's hurt or afraid.
75
232382
2019
saa nyingine ameumia au anaogopa.
03:54
Parents know how to decode those cries.
76
234425
2350
Wazazi wanajua jinsi ya kusoma hivi vilio.
03:57
And to be a real translation tool,
77
237624
1882
Na kua chombo kizuri cha kutafsiri,
03:59
it had to be able to decode the signaling molecules
78
239530
2973
kinatakiwa kiwe na uwezo wa kusoma molekuli za ishara
04:02
and translate them depending on the context.
79
242527
4061
na kuzitafsiri kulingana na muktadha.
04:07
And who knows?
80
247497
1151
Na nani anajua?
04:08
Maybe Google Translate will adopt this soon.
81
248672
2161
Labda Tafsiri ya Google inaweza kuiptisha hii.
04:10
(Laughter)
82
250857
2369
(Kicheko)
04:14
Let me give you an example.
83
254386
1718
Hebu niwape mfano.
04:16
I've brought some bacterial data that can be a bit tricky to understand
84
256128
3589
Nimeleta baadhi ya taarifa za bakteria zinazoweza kuwa ngumu kuelewa
04:19
if you're not trained,
85
259741
1151
kama hauna mafunzo,
04:20
but try to take a look.
86
260916
1345
lakini jaribu kuangalia.
04:23
(Laughter)
87
263548
1919
(Kicheko)
04:26
Here's a happy bacterial family that has infected a patient.
88
266959
3477
Hii ni familia ya bakteria yeye furaha ambayo imemshambulia mgonjwa.
04:32
Let's call them the Montague family.
89
272261
2033
Wacha tuwaite familia ya Montague.
04:35
They share resources, they reproduce, and they grow.
90
275920
3461
Wanatumia wote rasilimali, wanazaliana, wanakua.
04:40
One day, they get a new neighbor,
91
280294
1979
Siku moja, wanapata mgeni mpya,
04:44
bacterial family Capulet.
92
284746
1767
familia ya bakteria Capulet.
04:46
(Laughter)
93
286537
1150
(Kicheko)
04:48
Everything is fine, as long as they're working together.
94
288157
2790
Kila kitu ni sawa, alimradi wanafanya kazi kwa pamoja.
04:52
But then something unplanned happens.
95
292377
3006
Lakini kitu kisichopangwa kinatokea.
04:56
Romeo from Montague has a relationship with Juliet from Capulet.
96
296449
4218
Romeo wa Montague anakua na mahusiano na Juliet wa Capulet.
05:00
(Laughter)
97
300691
1150
(Kicheko)
05:02
And yes, they share genetic material.
98
302978
2895
Na ndio, wanagawiana chembe za urithi.
05:05
(Laughter)
99
305897
2109
(Kicheko)
05:10
Now, this gene transfer can be dangerous to the Montagues
100
310630
2751
Sasa, uhamisho wa kinasaba unaweza kuwa hatari kwa wakina Montague
05:13
that have the ambition to be the only family in the patient they have infected,
101
313405
4066
waliokuwa na matarajio ya kuwa familia pekee kwenye mgonjwa waliomshambulia,
05:17
and sharing genes contributes
102
317495
1424
kugawana chembe za urithi kunachangia
05:18
to the Capulets developing resistance to antibiotics.
103
318943
2834
kwa wakina Capulet kutengeneza kinga kwa dawa.
05:23
So the Montagues start talking internally to get rid of this other family
104
323747
4645
Hivyo wakina Montague wanaanza kuongea kwa ndani kuondoa hii familia nyingine
05:28
by releasing this molecule.
105
328416
1722
kwa kutoa molekuli hii.
05:30
(Laughter)
106
330688
1150
(Kicheko)
05:32
And with subtitles:
107
332700
1362
Na kwa maelezo:
05:34
[Let us coordinate an attack.]
108
334372
1606
[Hebu turatibu shambulizi.]
05:36
(Laughter)
109
336002
1291
(Kicheko)
05:37
Let's coordinate an attack.
110
337639
1791
Hebu turatibu shambulizi.
05:41
And then everybody at once responds
111
341148
3100
Na kila mtu mara moja akaitikia
05:44
by releasing a poison that will kill the other family.
112
344272
4323
kwa kutoa sumu itakayoua ile familia nyingine.
05:48
[Eliminate!]
113
348619
1768
[Ondoa!]
05:52
(Laughter)
114
352129
2132
(Kicheko)
05:55
The Capulets respond by calling for a counterattack.
115
355338
4393
Wakina Capulet wakajibu kwa kuita shambulizi la kujibu.
05:59
[Counterattack!]
116
359755
1156
[Shambulia!]
06:00
And they have a battle.
117
360935
1425
Na wakawa na vita.
06:04
This is a video of real bacteria dueling with swordlike organelles,
118
364090
4618
Hii ni video ya bakteria wa ukweli wakipigana na viumbe kama upanga,
06:08
where they try to kill each other
119
368732
1613
ambapo wanajaribu kuuana
06:10
by literally stabbing and rupturing each other.
120
370369
2838
kwa kuchomana kihalisi na kupasuana wenyewe.
06:14
Whoever's family wins this battle becomes the dominant bacteria.
121
374784
3961
Familia ya yeyote atakayeshinda hii vita anakuwa bakteria mkuu.
06:20
So what I can do is to detect bacterial conversations
122
380360
3279
Hivyo ninachoweza kufanya ni kuchunguza mazungumzo ya bakteria
06:23
that lead to different collective behaviors
123
383663
2032
yanayopelekea tabia tofauti za kwa pamoja
06:25
like the fight you just saw.
124
385719
1435
kama ugomvi mliyouona.
06:27
And what I did was to spy on bacterial communities
125
387633
2917
Na nilichofanya ni kupeleleza kwenye jamii za bakteria
06:30
inside the human body
126
390574
2043
ndani ya mwili wa binadamu
06:32
in patients at a hospital.
127
392641
1716
kwenye wagonjwa hospitalini.
06:34
I followed 62 patients in an experiment,
128
394737
2470
Nilifuatilia wagonjwa 62 kwenye jaribio,
06:37
where I tested the patient samples for one particular infection,
129
397231
3748
ambapo nilipima sampuli ya mgonjwa kwa aina moja ya shambulizi,
06:41
without knowing the results of the traditional diagnostic test.
130
401003
3329
bila kujua majibu ya vipimo vya kawaida.
06:44
Now, in bacterial diagnostics,
131
404356
4220
Basi, kwenye upimaji wa bakteria,
06:48
a sample is smeared out on a plate,
132
408600
1981
sampuli inasambazwa kwenye kisahani,
06:50
and if the bacteria grow within five days,
133
410605
3124
na kama bakteria watakua ndani ya siku tano,
06:53
the patient is diagnosed as infected.
134
413753
2364
mgonjwa anagunduliwa kama ameathirika.
06:57
When I finished the study and I compared the tool results
135
417842
2819
Nilipomaliza utafiti na kulinganisha majibu ya chombo
07:00
to the traditional diagnostic test and the validation test,
136
420685
3238
na vipimo vya kawaida na vipimo vya kuhakikisha,
07:03
I was shocked.
137
423947
1400
nilishtuka.
07:05
It was far more astonishing than I had ever anticipated.
138
425371
3711
Ilikua inashangaza zaidi kuliko nilivyowahi kutarajia.
07:10
But before I tell you what the tool revealed,
139
430011
2139
Ila kabla sijawaambia nini chombo kilionyesha,
07:12
I would like to tell you about a specific patient I followed,
140
432174
2994
ningependa kuwaambia kuhusu mgonjwa mahsusi niliomfuatilia,
07:15
a young girl.
141
435192
1167
binti mdogo.
07:16
She had cystic fibrosis,
142
436803
1450
Alikua na cystic fibrosis,
07:18
a genetic disease that made her lungs susceptible to bacterial infections.
143
438277
3740
ugonjwa wa kurithi uliofanya mapafu yake kuathiriwa kirahisi na bakteria.
07:22
This girl wasn't a part of the clinical trial.
144
442837
2396
Huyu binti hakua sehemu ya majaribio.
07:25
I followed her because I knew from her medical record
145
445257
2827
Nilimfuatilia kwa sababu nilijua kutoka kwenye taarifa zake
07:28
that she had never had an infection before.
146
448108
2100
kua hakuwahi kupata mashambulizi kabla.
07:31
Once a month, this girl went to the hospital
147
451453
2105
Mara moja kwa mwezi, huyu binti alienda hospitali
07:33
to cough up a sputum sample that she spit in a cup.
148
453582
2654
kuweka sampuli ya kohozi ambayo alitemea kwenye kikombe.
07:36
This sample was transferred for bacterial analysis
149
456916
3126
Hii sampuli ilisafirishwa kwa uchunguzi wa bakteria
07:40
at the central laboratory
150
460066
1930
huko maabara kuu
07:42
so the doctors could act quickly if they discovered an infection.
151
462020
3466
ili madaktari watende haraka iwapi wangekuta shambulizi.
07:46
And it allowed me to test my device on her samples as well.
152
466099
2874
Iliniruhusu mimi kupima chombo changu kwa sampuli zake pia.
07:49
The first two months I measured on her samples, there was nothing.
153
469355
3412
Miezi miwili ya mwanzo nilipima sampuli zake, hakukua na kitu.
07:53
But the third month,
154
473794
1167
Lakini mwezi wa tatu,
07:54
I discovered some bacterial chatter in her sample.
155
474985
2656
Niligundua mazungumzo ya bakteria kwenye sampuli yake.
07:58
The bacteria were coordinating to damage her lung tissue.
156
478473
3112
Bakteria walikua wanashirikiana kuharibu tishu ya pafu lake.
08:02
But the traditional diagnostics showed no bacteria at all.
157
482534
4011
Lakini vipimo vya kawaida havikuonyesha bakteria kabisa.
08:07
I measured again the next month,
158
487711
1919
Nilipima tena mwezi ujao,
08:09
and I could see that the bacterial conversations became even more aggressive.
159
489654
3628
na niliona kua yale mazungumzo ya bakteria yamekua makali zaidi.
08:14
Still, the traditional diagnostics showed nothing.
160
494167
2752
Bado, vipimo vya kawaida havikuonyesha chochote.
08:18
My study ended, but a half a year later, I followed up on her status
161
498456
3644
Utafiti wangu ukaisha, lakini nusu mwaka baadae, nikafuatilia hali yake
08:22
to see if the bacteria only I knew about had disappeared
162
502124
3241
kuona kama bakteria niliowajua pekee walipotea
08:25
without medical intervention.
163
505389
2015
bila muingilio wa tiba.
08:28
They hadn't.
164
508350
1150
Hawakupotea.
08:30
But the girl was now diagnosed with a severe infection
165
510020
2833
Yule binti sasa alikua amegundulika na mashambulio makali
08:32
of deadly bacteria.
166
512877
1318
ya bakteria wabaya.
08:35
It was the very same bacteria my tool discovered earlier.
167
515511
4078
Walikua ni wale wale bakteria chombo changu kiligundua kabla.
08:40
And despite aggressive antibiotic treatment,
168
520537
2496
Na licha ya ukali wa dawa za kutibu,
08:43
it was impossible to eradicate the infection.
169
523057
2529
ilikua inashindikana kuondoa mashambulizi.
08:46
Doctors deemed that she would not survive her 20s.
170
526816
3082
Madaktari waliona kua asingeweza kufikia miaka ya 20.
08:52
When I measured on this girl's samples,
171
532404
2105
Nilipopima kwenye sampuli ya binti huyu,
08:54
my tool was still in the initial stage.
172
534533
2199
kifaa changu kilikua kwenye hatua za mwanzo.
08:56
I didn't even know if my method worked at all,
173
536756
2699
Sikujua hata kama njia yangu ilifanya kazi kabisa,
08:59
therefore I had an agreement with the doctors
174
539479
2147
hivyo nikawa na makubaliano na madaktari
09:01
not to tell them what my tool revealed
175
541650
1861
kutowaambia chombo changu kilichoonyesha
09:03
in order not to compromise their treatment.
176
543535
2140
ili kutokuharibu matibabu yao.
Hivyo nilipoona haya majibu ambayo hata hayakuwa yamehakikishwa,
09:06
So when I saw these results that weren't even validated,
177
546111
2803
09:08
I didn't dare to tell
178
548938
1352
sikudhubutu kusema
09:10
because treating a patient without an actual infection
179
550314
2807
ka sababu kutibu mgonjwa bila mashambulizi halisi
09:13
also has negative consequences for the patient.
180
553145
2610
pia ina matokeo mabaya kwa mgonjwa.
09:17
But now we know better,
181
557092
1622
Lakini sasa tunajua bora,
09:18
and there are many young boys and girls that still can be saved
182
558738
3399
na kuna wavulana na wasichana wadogo wengi bado wanaweza kuokolewa
09:23
because, unfortunately, this scenario happens very often.
183
563172
3424
kwa sababu, bahati mbaya, hii hali inatokea mara nyingi.
09:26
Patients get infected,
184
566620
1543
Wagonjwa wanaathirika,
09:28
the bacteria somehow don't show on the traditional diagnostic test,
185
568187
3477
bakteria kwa namna flani hawaonekani kwenye vipimo vya kawaida,
09:31
and suddenly, the infection breaks out in the patient with severe symptoms.
186
571688
3852
na ghafla, maambukizi yanatokea ndani ya mgojwa na dalili kali.
09:35
And at that point, it's already too late.
187
575564
2158
Na kwenye mda huo, tayari tumechelewa.
09:39
The surprising result of the 62 patients I followed
188
579219
3554
Majibu ya kushangaza ya wagonjwa 62 niliowafuatilia
09:42
was that my device caught bacterial conversations
189
582797
2543
yalikua chombo changu kilishika mazungumzo ya bakteria
09:45
in more than half of the patient samples
190
585364
2216
kwa zaidi ya nusu ya sampuli za wagonjwa
09:47
that were diagnosed as negative by traditional methods.
191
587604
2931
ambao walikua wamegundulika bila kitu kwa njia za upimaji za kawaida.
09:51
In other words, more than half of these patients went home thinking
192
591501
3554
Kwa maneno mengine, zaidi ya nusu ya hawa wagonjwa walirudi nyumbani wakiwaza
09:55
they were free from infection,
193
595079
1685
kua wako huru na maambukizi,
09:56
although they actually carried dangerous bacteria.
194
596788
2748
japokuwa kihalisi walibeba bakteria hatari.
10:01
Inside these wrongly diagnosed patients,
195
601257
2297
Ndani ya wagonjwa waliopimwa vibaya,
10:03
bacteria were coordinating a synchronized attack.
196
603578
3020
bakteria walikuwa wanaandaa shambulizi la kuambatanishwa.
10:07
They were whispering to each other.
197
607530
1688
Walikua wananong'onezana.
10:09
What I call "whispering bacteria"
198
609892
1631
Ninachoita "mnong'ono wa bakteria"
10:11
are bacteria that traditional methods cannot diagnose.
199
611547
3004
ni bakteria ambao njia za kawaida za upimjai haziwezi kuona.
10:15
So far, it's only the translation tool that can catch those whispers.
200
615383
3943
Mpaka sasa, ni chombo cha kutafsiri tu kinachoweza kudaka hao wanong'onezaji.
10:20
I believe that the time frame in which bacteria are still whispering
201
620364
3403
Ninaamini kua mda uliopo ambao bakteria bado wananong'onezana
10:23
is a window of opportunity for targeted treatment.
202
623791
2987
ni nafasi nzuri ya matibabu ya malengo.
10:27
If the girl had been treated during this window of opportunity,
203
627608
3133
Kama yule binti angekua ametibiwwa kwenye kuu mda wenye nafasi,
10:30
it might have been possible to kill the bacteria
204
630765
2501
ingekua inawezekana kuua bakteria
10:33
in their initial stage,
205
633290
1465
kwenye hatua yao ya mwanzo,
10:34
before the infection got out of hand.
206
634779
2106
kabla maambukizi kuwa nje ya uwezo.
10:39
What I experienced with this young girl made me decide to do everything I can
207
639131
3971
Nilichopitia na huyu binti mdogo kumenifanya niamue kufanya ninachoweza
10:43
to push this technology into the hospital.
208
643126
2205
kusukuma hii teknolojia kwenye hospitali.
10:46
Together with doctors,
209
646212
1151
Pamoja na madaktari,
10:47
I'm already working on implementing this tool in clinics
210
647387
2969
tayari ninafanya kazi kutumia hiki kifaa kwenye kliniki
10:50
to diagnose early infections.
211
650380
1822
kutambua maambukizi ya kwanza.
10:53
Although it's still not known how doctors should treat patients
212
653319
3244
Japo bado haijajulikana jinsi madaktari watatibu wagonjwa
10:56
during the whispering phase,
213
656587
1813
kwenye kipindi cha mnong'ono,
10:58
this tool can help doctors keep a closer eye on patients in risk.
214
658424
3703
hiki kifaa kinaweza kusaidia madaktari kuwa makini na wagonjwa kwenye hatari.
11:02
It could help them confirm if a treatment had worked or not,
215
662548
3282
Kinaweza kuwasaidia kuhakikisha kama tiba imefanya kazi au la,
11:05
and it could help answer simple questions:
216
665854
2764
na inaweza kusaidia kujibu maswali rahisi:
11:08
Is the patient infected?
217
668642
1730
Mgonjwa ana mashambulizi?
11:10
And what are the bacteria up to?
218
670396
1810
Na bakteria wako wanapanga nini?
11:12
Bacteria talk,
219
672958
1787
Bakteria wanaongea,
11:14
they make secret plans,
220
674769
2026
wanatengeneza mipango ya siri,
11:16
and they send confidential information to each other.
221
676819
2823
na wanatumiana taarifa za siri.
11:20
But not only can we catch them whispering,
222
680253
2679
Lakini sio tu kuawaangalia wenyewe wakinong'onezana,
11:22
we can all learn their secret language
223
682956
2467
sisi sote tunaweza kujifunza lugha ya siri
11:25
and become ourselves bacterial whisperers.
224
685447
2879
na kua wenyewe wanong'onezi wa bakteria.
11:28
And, as bacteria would say,
225
688973
1714
Na, kama bakteria wangesema,
11:31
"3-oxo-C12-aniline."
226
691656
3098
"3-oxo-C12-aniline."
11:35
(Laughter)
227
695763
1168
(Kicheko)
11:36
(Applause)
228
696955
1085
(Makofi)
11:38
Thank you.
229
698064
1184
Asanteni.
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7