Why should you read Flannery O’Connor? - Iseult Gillespie

401,301 views ・ 2019-01-29

TED-Ed


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Julie Mbeyella Reviewer: Doris Mangalu
00:06
A garrulous grandmother and a roaming bandit face off on a dirt road.
0
6407
4290
Bibi muongeaji na mhalifu anayezurura wakizozana katika barabara chafu.
00:10
A Bible salesman lures a one-legged philosopher into a barn.
1
10697
4101
Muuza Biblia anampeleka mwanafalsafa mwenye mguu mmoja bandani.
00:14
A traveling handyman teaches a deaf woman her first word on an old plantation.
2
14798
5483
Fundi anaesafiri anamfundisha mwanamke kiziwi neno lake la kwanza shambani.
00:20
From her farm in rural Georgia,
3
20281
2192
Kutoka shambani kwake vijijini Georgia,
00:22
surrounded by a flock of pet birds,
4
22473
2200
akizungukwa na kundi la ndege wa kufugwa,
00:24
Flannery O’Connor scribbled tales of outcasts,
5
24673
2860
Flannery O'Connor aliandika simulizi za waliotengwa,
00:27
intruders and misfits staged in the world she knew best:
6
27533
4270
wavamizi na wasioleweka waliunda dunia aliyoifahamu vizuri:
00:31
the American South.
7
31803
1839
Marekani Kusini.
00:33
She published two novels,
8
33642
1620
Alichapisha riwaya mbili,
00:35
but is perhaps best known for her short stories,
9
35262
2720
lakini anajulikana zaidi kwa simulizi zake fupi,
00:37
which explored small-town life with stinging language, offbeat humor,
10
37982
4580
ambazo zilichunguza maisha ya mji mdogo kwa lugha kali, na ucheshi usio wa kawaida,
00:42
and delightfully unsavory scenarios.
11
42562
2986
na mazingira ya kufurahisha yenye karaha.
00:45
In her spare time O’Connor drew cartoons,
12
45548
2910
Kwenye muda wake wa ziada O'Connor alichora katuni,
00:48
and her writing is also brimming with caricature.
13
48458
2710
na uandishi wake pia umejaa masihara.
00:51
In her stories, a mother has a face “as broad and innocent as a cabbage,”
14
51168
5660
Kwenye simulizi zake, mama na sura "pana na ya upole kama kabichi",
00:56
a man has as much drive as a “floor mop,”
15
56828
3509
mwanaume ana nguvu sana kama "dekio la sakafuni",
01:00
and one woman’s body is shaped like “a funeral urn.”
16
60337
4110
na mwili wa mwanamke mmoja una umbo kama "chombo cha kuzika".
01:04
The names of her characters are equally sly.
17
64447
2560
Majina ya wahusika wake yamejawa ujanja.
01:07
Take the story “The Life You Save May be Your Own,”
18
67007
3130
Chukulia simulizi "Maisha Unayoyaokoa Yanaweza Kuwa ya Kwako",
01:10
where the one-handed drifter Tom Shiftlet wanders into the lives
19
70137
3290
ambapo mtembezi mwenye mkono mmoja Tom Shiftlet anaenda kwenye maisha
01:13
of an old woman named Lucynell Crater
20
73427
2340
ya ajuza mmoja aitwae Lucynell Crater
01:15
and her deaf and mute daughter.
21
75767
1880
na binti yake ambaye ni kiziwi na bubu.
01:17
Though Mrs. Crater is self-assured,
22
77647
2060
Japo mama Carter anajiamini,
01:19
her isolated home is falling apart.
23
79707
2620
nyumba yake iliyojitenga inaanguka.
01:22
At first, we may be suspicious of Shiftlet’s motives
24
82327
2900
Mwanzoni, tunaweza kushuku nia za Shiflet
01:25
when he offers to help around the house,
25
85227
2030
alipojitolea kusaidia kwenye nyumba,
01:27
but O’Connor soon reveals the old woman to be
26
87257
2440
lakini O'Connor anaenda kuonyesha kuwa yule ajuza ni
01:29
just as scheming as her unexpected guest–
27
89697
2870
mjanja kama mgeni wake asiotarajiwa-
01:32
and rattles the reader’s presumptions about who has the upper hand.
28
92567
3570
na kutikisa mategemeo ya msomaji kuhusu nani ana faida zaidi.
Kwa O'Connor, hamna somo lililokuwa na kizuizi.
01:36
For O’Connor, no subject was off limits.
29
96137
2710
01:38
Though she was a devout Catholic,
30
98847
1650
Japo alikuwa ni Mkatoliki aliyejitoa,
01:40
she wasn’t afraid to explore the possibility
31
100497
2310
hakuogopa kufuatilia uwezekano
01:42
of pious thought and unpious behavior
32
102807
2330
wa mawazo mema na tabia isiyo njema,
01:45
co-existing in the same person.
33
105137
2020
inayokuwepo kwa mtu mmoja.
01:47
In her novel The Violent Bear it Away,
34
107157
2440
Kwenye riwaya yake ya Wajeuri Wanaiondolea Mbali,
01:49
the main character grapples with the choice to become a man of God –
35
109597
3520
mhusika mkuu anatingwa na mawazo ya kuwa mtu wa Mungu -
lakini pia anawasha moto na kuua.
01:53
but also sets fires and commits murder.
36
113117
2680
01:55
The book opens with the reluctant prophet in a particularly compromising position:
37
115797
4470
Kitabu kinaanza na nabii amaesita akiwa kwenye nafasi yenye utata:
02:00
“Francis Marion Tarwater’s uncle had been dead for only half a day
38
120267
4060
"Mjomba wa Francis Marion Tarwater alikua amekufa kwa nusu siku tu
02:04
when the boy got too drunk to finish digging his grave.”
39
124327
3261
pale huyo mvulana alipolewa sana akashindwa kumalizia kuchimba kaburi lake".
02:07
This leaves a passerby to “drag the body from the breakfast table
40
127588
3720
Hii inamuacha mpita njia "kuvuta mwili kutoka kwenye meza ya chai
02:11
where it was still sitting and bury it […]
41
131308
2000
ambapo ulikuwa umekaa bado na kuuzika [...]
02:13
with enough dirt on top to keep the dogs from digging it up.”
42
133308
3850
na udongo wa kutosha kwa juu kuzuia mbwa kuufukua".
02:17
Though her own politics are still debated,
43
137158
2020
Japokuwa siasa zake bado ni za kulumbana,
02:19
O’Connor’s fiction could also be attuned to the racism of the South.
44
139178
4060
bunilizi ya O'Connor inaweza pia kulinganishwa na ubaguzi wa Kusini.
02:23
In “Everything that Rises Must Converge,”
45
143238
2550
Kwenye "Kila Kinachopanda Lazima Kikutane",
02:25
she depicts a son raging at his mother’s bigotry.
46
145788
2950
anaelezea mvulana anayechukizwa na upendeleo wa mama yake.
02:28
But the story reveals that he has his own blind spots
47
148738
2810
Lakini simulizi inaelezea kuwa ana mapungufu yake
02:31
and suggests that simply recognizing evil
48
151548
2370
na inasema kwamba kuyagundua mabaya tu
02:33
doesn’t exempt his character from scrutiny.
49
153918
2719
haitetei tabia yake kutokuthibitiwa.
02:36
Even as O’Connor probes the most unsavory aspects of humanity,
50
156637
3420
Hata O'Connor anavyochunguza mambo potofu ya ubinadamu,
anaacha mlango wa ukombozi wazi kidogo.
02:40
she leaves the door to redemption open a crack.
51
160057
2860
02:42
In “A Good Man is Hard to Find,”
52
162917
2200
Kwenye "Mwanaume Mzuri ni Mgumu Kupata",
02:45
she redeems an insufferable grandmother for forgiving a hardened criminal,
53
165117
4000
anamkomboa ajuza anayeteseka kwa kumsamehe mshitakiwa aliyekubuhu,
hata anavyoikaribia familia yake.
02:49
even as he closes in on her family.
54
169117
2590
02:51
Though we might balk at the price the woman pays for this redemption,
55
171707
3280
Japo tunaweza kushtushwa na malipo anayolipa huyu mama kusamehewa,
02:54
we’re forced to confront the nuance in moments
56
174987
2140
tunalazimika kukabiliana na yanayoendelea kwenye mda
02:57
we might otherwise consider purely violent or evil.
57
177127
3520
tunapoweza kuzingatia kuwa ukatili au ubaya.
03:00
O’Connor’s mastery of the grotesque
58
180647
2044
Uwezo wa O'Connor wa ajabu
03:02
and her explorations of the insularity and superstition of the South
59
182691
3890
na tafiti zake za kujitenga na ushirikina wa Kusini
03:06
led her to be classified as a Southern Gothic writer.
60
186581
3060
ulimpelekea kutambuliwa kama mwandishi wa Kigothi wa Kusini.
03:09
But her work pushed beyond the purely ridiculous
61
189641
2335
Lakini kazi yake ilisogea kupita tabia za kijinga kabisa
03:11
and frightening characteristics associated with the genre
62
191976
2980
na za kutisha zilizohusishwa na huo mtindo
03:14
to reveal the variety and nuance of human character.
63
194956
3590
kuvumbua tofauti na mchanganyiko wa tabia za binadamu.
03:18
She knew some of this variety was uncomfortable,
64
198546
2380
Alijua baadhi ya hii tofauti ilileta karaha,
03:20
and that her stories could be an acquired taste –
65
200926
2390
na kuwa hadithi zake zingekuwa na ladha inayohitajika -
03:23
but she took pleasure in challenging her readers.
66
203316
3220
lakini alisikia raha kuwachanganya wasomaji wake,
03:26
O’Connor died of lupus at the age of 39,
67
206536
2820
O'Connor alikufa kwa lupus akiwa na miaka 39,
03:29
after the disease had mostly confined her to her farm in Georgia for twelve years.
68
209356
4430
baada ya ugonjwa kumweka shambani mwake Georgia kwa miaka kumi na mbili.
03:33
During those years,
69
213786
1120
Kwenye miaka hiyo,
03:34
she penned much of her most imaginative work.
70
214906
2860
aliandika kazi zake nyingi alizokuwa akiwaza.
03:37
Her ability to flit between revulsion and revelation
71
217766
2940
Uwezo wake wa kuhama kati ya maudhi na uvumbuzi
03:40
continues to draw readers to her endlessly surprising fictional worlds.
72
220706
4210
unaendelea kuvutia wasomaji kwenye dunia yake ya kufikirika isiyoisha.
03:44
As her character Tom Shiftlet notes,
73
224916
2264
Kama mhusika Tom Shirlet anavyosema,
03:47
the body is “like a house:
74
227180
2400
mwili ni "kama nyumba:
03:49
it don’t go anywhere,
75
229580
1310
haiendi popote,
03:50
but the spirit, lady, is like an automobile:
76
230890
2890
lakini roho, mwanamke, ni kama gari moto:
03:53
always on the move.”
77
233780
2020
daima lipo kwenye mwendo".
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7