We can fight terror without sacrificing our rights | Rebecca MacKinnon

63,181 views ・ 2016-10-14

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Leah Ligate Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
There's a big question at the center of life
0
12888
2134
Kuna swali kubwa katikati ya maisha yetu
katika demokrasia yetu leo:
00:15
in our democracies today:
1
15046
1914
00:16
How do we fight terror without destroying democracies,
2
16984
3345
Tunapambanaje na ugaidi bila kuharibu demokrasia,
00:20
without trampling human rights?
3
20353
2523
bila kukanyaga haki za binadamu?
00:23
I've spent much of my career working with journalists,
4
23594
4595
Nimetumia muda mwingi wa kazi yangu kufanyakazi na waandishi wa habari,
00:28
with bloggers,
5
28213
1158
na waandishi wa blogu,
00:29
with activists,
6
29395
1314
na wanaharakati,
00:30
with human rights researchers all around the world,
7
30733
2615
na watafiti wa haki za binadamu duniani kote.
00:33
and I've come to the conclusion
8
33372
2110
na nimefikia hitimisho
00:35
that if our democratic societies do not double down
9
35506
4645
kwamba ikiwa jamii zetu za kidemokrasia hazita simama kidete
katika kulinda na kutetea haki za binadamu,
00:40
on protecting and defending human rights,
10
40175
2983
00:43
freedom of the press
11
43182
1400
uhuru wa vyombo vya habari
00:44
and a free and open internet,
12
44606
2416
na mtandao wa intaneti huru na wazi;
00:47
radical extremist ideologies are much more likely to persist.
13
47932
5861
itikadi zenye siasa kali zinaweza kuendelea kuwepo
00:54
(Applause)
14
54537
2445
(Makofi)
OK, nimemaliza. Asanteni sana.
00:57
OK, all done. Thank you very much.
15
57006
1684
00:58
No, just joking.
16
58714
1159
Hapana, natania.
00:59
(Laughter)
17
59897
1409
(Kicheko)
01:01
I actually want to drill down on this a little bit.
18
61716
2893
Ninataka kuendelea kuchambua kwenye hili suala kidogo.
01:04
So, one of the countries that has been on the frontlines of this issue
19
64965
5747
Kwahiyo, nchi mojawapo ambayo imekuwa mstari wa mbele kwa suala hili
01:10
is Tunisia,
20
70736
1230
ni Tunisia,
01:12
which was the only country to come out of the Arab Spring
21
72325
3516
ambayo ni nchi pekee iliyotoka kwenye nchi za mapinduzi ya Uarabuni
01:15
with a successful democratic revolution.
22
75865
2598
kwa mafanikio ya mapinduzi kidemokrasia.
01:18
Five years later,
23
78967
1265
Miaka mitano baadaye,
01:20
they're struggling with serious terror attacks
24
80256
2836
wanapambana na mashambulio makubwa ya kigaidi
na kuenea kwa wanaojiunga na ISIS.
01:23
and rampant ISIS recruitment.
25
83116
2713
01:25
And many Tunisians are calling on their government
26
85853
2784
Na raia wengi wa Tunisia wanaitaka serikali yao
01:28
to do whatever it takes to keep them safe.
27
88661
3060
kufanya chochote inachoweza wawe salama.
01:32
Tunisian cartoonist Nadia Khiari
28
92686
3028
Mchora katuni wa Tunisia Nadia Khiari
01:35
has summed up the situation with this character who says,
29
95738
4275
amejumuisha hali iliyopo kutumia mhusika anayesema,
"Sijali chochote kuhusu haki za binadamu.
01:40
"I don't give a damn about human rights.
30
100037
2579
01:42
I don't give a damn about the revolution.
31
102640
2851
Sijali chochote kuhusu mapinduzi.
01:45
I don't give a damn about democracy and liberty.
32
105515
3456
Sijali chochote kuhusu demokrasia na uhuru
01:49
I just want to be safe."
33
109587
1590
Ninachotaka ni kuwa salama."
01:53
"Satisfied?" asked his jailer.
34
113672
2342
"Umeridhika?" aliuliza aliyemfunga
01:56
"You're safe now."
35
116896
1309
"Uko salama sasa."
01:58
If the Tunisian people can figure out
36
118941
2755
Ikiwa watu wa Tunisia wanaweza kugundua
02:01
how to deal with their terrorism problem
37
121720
2063
jinsi ya kushughulikia tatizo lao la ugaidi
02:03
without ending up in this place,
38
123807
2422
bila kuishia sehemu hii,
02:06
they will be a model not only for their region,
39
126771
2683
watakuwa mfano wa kuigwa si kwa eneo lao tu
02:09
but for all of us.
40
129478
1368
bali kwetu sote.
02:12
The reality is that civil society, journalists and activists
41
132402
4036
Ukweli ni kwamba jamii za kiraia, waandishi wa habari na wanaharakati
02:16
are coming under attack from extremist groups on the one hand,
42
136462
4829
wanashambuliwa zaidi na makundi yenye siasa kali kwa upande mmoja,
02:21
and, in many countries,
43
141315
1730
na katika nchi nyingi,
pia kutoka kwenye serikali zao wenyewe.
02:23
also from their own governments.
44
143069
2435
02:25
We're seeing bloggers and journalists being jailed,
45
145528
3392
Tunaona waandishi wa blogu na waandishi wa habari wakifungwa,
02:28
charged and intimidated
46
148944
1438
wakishtakiwa na kutishwa
02:30
by their own governments,
47
150406
1518
na serikali zao wenyewe,
02:31
many of which are allies with the West in the war on terror.
48
151948
3395
wengi ambao wanashirikiana na nchi za Magharibi katika vita vya ugaidi
02:35
Just three examples.
49
155785
1637
Nitatoa mifano mitatu.
02:37
A friend and former colleague of mine,
50
157446
1856
Rafiki yangu na mshirika wangu zamani,
02:39
Hisham Almiraat,
51
159326
1232
Hisham Almiraat,
02:40
has been charged with threatening state security,
52
160582
3044
ameshtakiwa kwa kutishia usalama wa taifa,
02:43
along with six other activists in Morocco.
53
163650
2949
pamoja na wanaharakati wengine sita nchini Morocco.
Mwanablogu wa Saudi Raif Badawi amefungwa na kuchapwa viboko
02:47
The Saudi blogger Raif Badawi has been jailed and flogged
54
167144
4473
02:51
for insulting Islam and criticizing the Saudi regime on his blog.
55
171641
5772
kwa kuutusi Uislamu na kukosoa utawala wa Saudi kwenye blogu yake.
02:57
More recently, the Turkish representative for Reporters Without Borders,
56
177437
5490
Hivi karibuni ,mwakilishi wa Uturuki kwa Waandishi wa habari Wasio na Mipaka,
03:02
Erol Önderoglu,
57
182951
1847
Erol Onderoglu,
03:04
has been detained and charged with spreading terrorist propaganda,
58
184822
4744
amewekwa kizuizini na kushtakiwa kwa kueneza propaganda za kigaidi,
03:09
because he and some other activists have been supporting Kurdish media.
59
189590
4462
kwakuwa yeye na wanaharakati wengine wanaunga mkono vyombo vya habari Kurdi.
Hatua za kupinga ugaidi haraka zinageuka kandamizi kwa taifa
03:15
Anti-terror measures quickly turn into state repression
60
195025
3687
03:18
without strong protection for minority communities
61
198736
3076
bila ulinzi madhubuti kwa jamii ya walio wachache
03:22
and for peaceful debate;
62
202297
2041
na kwa mdahalo wa amani;
03:24
this needs to be supported by a robust, independent local media.
63
204729
4996
hii inahitaji kuungwa mkono na chombo huru cha habari
03:29
But while that's not really happening,
64
209749
2304
Lakini kwa kuwa hiyo haitokei,
Washington inaungana na Silicon Valley pamoja na Hollywood
03:32
Washington is teaming up with Silicon Valley and with Hollywood
65
212077
3991
03:36
to pour millions -- hundreds of millions of dollars --
66
216701
4376
kuweka mamilioni-- mamia ya mamilioni ya dola
katika kinachoitwa "kupinga - ujumbe"
03:41
into what's called "counter-messaging,"
67
221101
2587
03:43
a fancy word for propaganda.
68
223712
1979
neno la kistaarabu kwa propaganda.
Kupinga kwa propaganda za kigaidi kuenea kwenye mitandao yote ya intaneti
03:46
To counter the terrorist propaganda spreading all over the internet,
69
226154
5879
03:52
in Europe, Internet Referral Units are being set up,
70
232614
3746
barani Ulaya, Vitengo vya rufaa ya intaneti vinaanzishwa,
03:56
so that people can report on extremist content that they find
71
236384
3977
ili kwamba watu waweze kutoa taarifa kuhusu habari za siasa kali watakazoona
04:00
and get it censored.
72
240385
1407
na kufanya zidhibitiwe
04:02
The problem is,
73
242191
1360
Tatizo ni,
04:03
that all of this propaganda, monitoring and censorship
74
243575
4605
kwamba propaganda zote hizi ufuatiliaji na udhibiti
04:08
completely fails to make up for the fact
75
248204
4583
umeshindwa kabisa kuona kwamba
04:13
that the people who are the most credible voices,
76
253236
5074
wale watu ambao wana sauti zinazoaminika,
04:18
who can present credible ideas and alternative solutions
77
258334
4085
wanaoweza kuwakilisha mawazo yanayoaminika na njia mbadala
04:22
to real economic, social and political problems in their community
78
262443
4101
kwa matatizo ya kweli kiuchumi kijamii na kisiasa kwenye jumuiya zao
04:26
that are causing people to turn to extremism in the first place,
79
266568
4283
ambao wanaosababisha watu wageukie kwenye siasa kali mwanzoni
04:30
are being silenced by their own governments.
80
270875
2816
wananyamazishwa na serikali zao wenyewe.
04:34
This is all adding up to a decrease in freedom across the world.
81
274214
4562
Hii inaongezea kushuka kwa uhuru pande zote duniani.
04:39
Freedom House,
82
279801
1176
Nyumba ya Uhuru
shirika la haki za binadamu,
04:41
the human rights organization,
83
281001
2030
limetoa tarrifa kwamba mwaka 2015 ni kilele cha mwaka wa 10 mfululizo
04:43
reports that 2015 marks the 10th straight year in a row
84
283055
4336
04:47
of decline in freedom worldwide.
85
287415
3056
wa kushuka kwa uhuru duniani.
04:50
And this is not just because of the actions
86
290495
2396
Na hii sio tu kwasababu ya matendo
04:52
of authoritarian governments.
87
292915
2031
ya serikali za kimabavu.
04:54
It's also because democratic governments
88
294970
2497
Ni kwasababu pia serikali za kidemokrasia
04:57
are increasingly cracking down on dissenters,
89
297491
4303
zinazongeza kuwasaka wapinzani,
05:01
whistle-blowers
90
301818
1168
watoa taarifa
na waandishi wa habari za uchunguzi.
05:03
and investigative journalists.
91
303010
1913
05:04
UN Secretary General Ban Ki-Moon has warned
92
304947
2434
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki- Moon alionya
05:07
that "preventing extremism and promoting human rights go hand-in-hand."
93
307405
4437
kwamba "kuzuia siasa kali na kukuza haki za binadamu vinaenda sambamba."
05:11
It's not to say that governments shouldn't keep us safe --
94
311866
2804
Sio kusema kwamba serikali zisituweke salama--
05:14
of course they should --
95
314694
1151
inabidi wafanye hivyo--
05:15
but we need public oversight, transparency
96
315869
2595
ila tunahitaji ungalizi wa uwazi kwa umma
05:18
and accountability to the rule of law.
97
318488
2241
na uwajibikaji kwenye utawala wa sheria.
05:20
Meanwhile,
98
320753
1152
Wakati huo huo,
05:21
extremists are literally killing off civil society in some countries.
99
321929
3873
wenye siasa kali huwa wanaua jamii ya raia katika baadhi ya nchi.
05:26
Since 2013 in Bangladesh,
100
326198
2534
Tangu mwaka 2013 nchini Bangladesh,
05:28
over a dozen secular bloggers and community activists
101
328756
4516
zaidi ya mabloga kwa idadi kubwa na wanaharakati wa jamii
05:33
have been literally slaughtered by extremists
102
333296
2933
wamechinjwa kabisa na wafuasi wa siasa kali
05:36
while the government has done very little.
103
336253
2344
huku serikali ikichukua hatua kidogo sana.
Kutoka mji wa Raqqa Syria,
05:39
From the city of Raqqa in Syria,
104
339008
2947
05:41
people like Ruqia Hassan and Naji Jerf have been assassinated
105
341979
4576
watu kama Ruqia Hassan na Naji Jerf wameuwawa
05:46
for their reporting out of ISIS-controlled territory.
106
346579
3015
kwa kutoa kwao taarifa nje ya himaya zinazodhibitiwa na ISIS.
05:50
The citizen media group called Raqqa is Being Slaughtered Silently
107
350315
5584
Kundi la wanahabari wanaoitwa Raqqa Inauwawa Kimya Kimya
05:55
relies on strong encryption to send out their reports
108
355923
4219
linategemea taarifa zilizodhibitiwa usiri kutuma ripoti zao
na kujikinga wenyewe mbali na vizuizi na kupelelezwa.
06:00
and shield themselves from interception and surveillance.
109
360166
3412
Bado mamlaka katika nchi kama Marekani,
06:04
Yet authorities in countries like the United States,
110
364057
2750
06:06
the United Kingdom and many other democracies
111
366831
2543
Uingereza na nyingine nyingi za demokrasia
06:09
are seeking to use the law
112
369398
1853
zinatafuta kutumia sheria
06:11
to either weaken or outright ban strong encryption,
113
371275
4457
ya aidha kudhoofisha au kuzuia kabisa udhibiti mkubwa wa usiri kwenye taarifa
06:15
because the bad guys are using it, too.
114
375756
2180
kwasababu watu wabaya wanautumia pia
06:18
We have got to fight for the right of citizens to use strong encryption.
115
378465
4260
Tunatakiwa tupiganie haki ya wananchi kutumia udhibiti mkubwa wa usiri.
06:22
Otherwise, dissent and investigative journalism
116
382749
3630
ama sivyo, upinzani na uandishi wa habari za uchunguzi
06:26
are going to become even more difficult
117
386403
2399
utapelekea kuwa na ugumu zaidi
06:28
in even more places.
118
388826
1464
katika sehemu nyingi zaidi.
06:30
And the bad guys -- the criminals and terrorists --
119
390654
2471
na watu wabaya--wahalifu na magaidi--
bado wataendelea kutafuta njia za kuwasiliana
06:33
are still going to find ways to communicate.
120
393149
2260
06:35
Kudos to the companies that are standing up
121
395433
2639
Pongezi kwa makampuni ambayo yanasimamia
haki ya watumiaji wake kutumia usiri
06:38
for their users' right to use encryption.
122
398096
2454
06:41
But when it comes to censorship,
123
401595
2266
Lakini inapokuja kwenye udhibiti,
06:43
the picture is much more troubling.
124
403885
2311
haileti picha nzuri.
06:46
Yes, there's a real problem
125
406610
1818
Ndio, kunatatizo kubwa
06:48
of extremist content spreading all over the internet.
126
408452
3263
la taarifa za siasa kali kuenea kote kwenye mitandao ya intaneti
06:51
And Facebook, YouTube and Twitter are among the many companies
127
411739
3533
Na Facebook, YouTube na Twitter ni kati ya makampuni mengi
06:55
who report having taken down hundreds of thousands of pieces of content
128
415296
4427
ambayo wameripoti kushusha mamia ya maelfu ya vipande vya taarifa
06:59
and deactivating accounts
129
419747
1580
na kuzima akaunti
07:01
that are connected to the extremist's speech.
130
421351
2480
ambazo zinahusianishwa na maneno ya siasa kali
07:03
The problem is their enforcement mechanisms are a complete black box,
131
423855
4320
Tatizo ni utaratibu wao wa kutekeleza sheria haueleweki kabisa
07:08
and there is collateral damage.
132
428199
1988
na kuna uharibifu mkubwa.
07:10
Take, for example, Iyad el-Baghdadi,
133
430211
2718
Kwa mfano, lyad el- Baghdadi,
07:13
an activist who makes fun of ISIS on Twitter.
134
433516
2636
mwanaharakati anayekejeli ISIS kupitia Twitter.
akaunti yake ilizimwa,
07:16
He had his account deactivated,
135
436176
1816
kwasababu jina la ubini wake linafanana na kiongozi mkubwa wa ISIS.
07:18
because he shares a surname with a prominent ISIS leader.
136
438016
3525
07:22
Last December,
137
442220
1151
Disemba iliyopita,
07:23
a number of women named Isis,
138
443395
1619
wanawake wenye majina ya Isis,
ambalo pia ni jina la Mungu wa kike Misri
07:25
which also happens to be the name of an Egyptian goddess,
139
445038
3452
07:28
had their accounts deactivated.
140
448514
1883
akaunti zao zilizimwa
07:30
And this woman,
141
450742
1616
Na huyu mwanamke,
07:32
who lives in the United States and is a computer programmer,
142
452382
3105
anayeishi nchini Marekani na ni Programa wa Kompyuta
07:35
reported on Twitter about her deactivation on Facebook,
143
455511
3726
aliripoti juu mtandao wa Twitter kuhusu kuzimiwa kwenye Facebook
07:39
managed to get enough media attention to have her account reinstated.
144
459261
3693
aliweza kuonwa na vyombo vya habari na kufanya wamrudishie akaunti yake.
07:42
But that's the thing -- she had to get media attention.
145
462978
2688
Ila hicho ndio alichofanya-- kuonwa na vyombo vya habari
Na waandishi wa habari hawaponi
07:46
And journalists aren't immune.
146
466020
1509
07:47
David Thomson,
147
467553
1174
David Thomson,
07:48
an expert on terrorism and reporter for Radio France International,
148
468751
3398
mtaalamu wa ugaidi na mtangazaji wa Radio ya Kimataifa ya Ufaransa,
ripoti zake zilifutwa kwenye akaunti yake Facebook
07:52
had reports deleted from his Facebook account
149
472173
3563
07:55
and had his account deactivated for several days,
150
475760
2789
na akaunti yake ikazimwa kwa siku chache,
07:58
because they contained pictures of ISIS flags,
151
478573
3901
kwasababu zilikuwa na picha zenye bendera za ISIS,
08:02
even though he was just reporting on ISIS,
152
482498
2056
ingawa alikuwa anaripoti kuhusu ISIS
08:04
not promoting it.
153
484578
1178
sio kuhamasisha.
08:06
And then we have stories from people like this Egyptian man,
154
486253
2989
Na pia tuna hadithi kutoka kwa watu kama mtu wa Misri,
08:09
Ahmed Abdellahy,
155
489266
1617
Ahmed Abdellahy,
08:10
who reported recently in an event in Washington DC
156
490907
5143
aliyeripoti hivi karibuni tukio la Washington DC
kuwa majadiliano yake na wenye siasa kali--
08:16
that some of his arguments with extremists --
157
496074
2174
08:18
he now spends his time on social media arguing with ISIS followers,
158
498272
6313
hutumia muda wake kwenye mitandao ya jamii kujadiliana na wafuasi wa ISIS
08:24
trying to get them to turn away --
159
504609
2007
kujaribu kuwabadili mawazo--
baadhi ya majadiliano yake na wenye siasa kali hufutwa,
08:27
some of his arguments with these extremists get deleted,
160
507141
4995
ambapo anaamini kuna athari katika kuyakinga
08:32
which he believes has the effect of shielding them
161
512160
3047
08:35
from alternative points of view.
162
515231
1887
kutoka kwenye mtazamo mwingine.
08:38
It's unclear whether Facebook even knows the extent
163
518217
4385
Haiko wazi ikiwa mtandao wa Facebook kama unaelewa kiasi
08:42
of the collateral damage,
164
522626
1512
cha uharibifu mkubwa,
au makampuni mengine pia.
08:44
or the other companies as well.
165
524162
1832
08:46
But we do know that journalism, activism and public debate
166
526558
3614
Lakini tunajua kwamba uandishi wa habari uanaharakati na mijadala ya umma
08:50
are being silenced in the effort to stamp out extremist speech.
167
530196
4120
inanyamazishwa katika juhudi za kuweka muhuri maneno ya siasa kali.
08:55
So with these companies having so much power over the public discourse,
168
535398
4241
Hivyo kwa makampuni haya kuwa na nguvu sana kuhusu mihadhara ya umma,
08:59
they need to be held accountable.
169
539663
1594
yanahitaji kuwajibishwa.
09:01
They need to carry out impact assessment
170
541281
2881
Yanahitaji kufanya tathmini yakinifu
09:04
to identify and fix the problems that we're clearly seeing.
171
544186
4517
na kuainisha na kutatua matatizo ambayo tunayaona wazi.
09:08
They need to be more transparent about their enforcement mechanisms,
172
548727
3776
Yanahitaji kuwa wazi zaidi kuhusu njia zao za utekelezaji sheria,
09:12
and they need to have clear appeal and grievance mechanisms,
173
552527
3402
na wanahitaji kuwa wazi kwa mbinu za ukataji rufaa na kutoa malalamiko,
09:15
so people can get their content reinstated.
174
555953
2344
ili watu waweze kurudishiwa vitu walivyoandika.
09:18
Now, I've been talking for the last 10 minutes
175
558640
3193
Sasa, nimekuwa nikiongea kwa dakika kumi zilizopita
09:21
about how governments and companies are making it more difficult
176
561857
4115
kuhusu jinsi serikali na makampuni wanavyoleta ugumu zaidi
09:25
for people like these.
177
565996
1336
kwa watu kama hawa.
09:27
This is a picture of members of the citizen media network,
178
567356
3483
Hii ni picha ya wanachama wa mtandao wa vyombo vya habari vya raia,
09:30
Global Voices,
179
570863
1151
Sauti za Dunia,
niliyosaidia kuanzisha miaka 10 iliyopita
09:32
that I helped to cofound over 10 years ago
180
572038
2093
na rafiki yangu Ethan Zuckerman.
09:34
with my friend, Ethan Zuckerman.
181
574155
1996
Inafurahisha, karibia miaka 5 iliyopita mara baada ya Mapinduzi ya Uarabuni,
09:36
Interestingly, about 5 years ago, right after the Arab Spring,
182
576175
4470
09:40
the data scientist Gilad Lotan
183
580669
2657
mwanasayansi wa data Gilad Lotan
09:43
created a network map of the people in Global Voices
184
583350
4917
aliunda ramani ya mtandao wa watu katika Sauti za Dunia
09:48
who were heavy users of Twitter during the Arab Spring.
185
588291
2922
waliokuwa wakitumia Twitter wakati wa Mapinduzi ya Uarabuni.
09:51
And he found that many of these people served as key information nodes
186
591237
5218
Na aligundua kwamba wengi wa hawa watu walitumika kama kiungo cha mawasiliano
09:56
between activists and journalists
187
596479
1864
kati ya wanaharakati na waandishi
09:58
throughout the Tunisian and Egyptian revolution.
188
598367
3025
kipindi chote cha mapinduzi ya Tunisia na Misri.
10:01
We've got to make sure that these people not only survive,
189
601416
4711
Tunatakiwa tuhakikishe kwamba watu hawa hawaendelei kuishi tu,
10:06
but are able to continue to thrive.
190
606706
2486
bali wanaweza kuendelea kufanikiwa.
10:09
Many of them are still active,
191
609216
1654
Wengi wao bado wanafanya kazi,
10:10
other than the ones who have gone to jail
192
610894
2076
zaidi ya wale waliokwenda jela
10:12
or have been driven into hiding or exile.
193
612994
2919
au wako mafichoni au vizuizini.
10:16
All around the world,
194
616668
1356
Duniani kote,
10:18
people who are sick and tired of fear and oppression
195
618510
3317
watu ambao wamechoshwa na hofu na kuonewa
10:21
are linking up in their communities and across borders.
196
621851
3450
wanaunganika katika jumuia zao na kuvuka mipaka.
10:25
We've got to do everything we can to push our governments and companies
197
625325
4263
Tunatakiwa tufanye kila tunachoweza kusukuma serikali zetu na makampuni
10:29
to do a better job of protecting their rights.
198
629612
2936
kufanya kazi bora zaidi katika kulinda haki zao.
10:32
We've also got to be more mindful
199
632572
1985
Tunatakiwa pia tuwe wafikirivu zaidi
10:34
about how our own personal, political, consumer and business choices
200
634581
4845
kuhusu jinsi sisi wenyewe, kisiasa, wateja na chaguzi za biashara
10:39
affect people like these around the world.
201
639450
2669
zinavyoathiri watu kama hawa duniani kote.
Pia, ikiwa unafuatilia taarifa za habari
10:43
Also, if you follow the news,
202
643112
2432
10:45
it's pretty clear that that alone isn't going to be enough.
203
645568
3268
inaonyesha wazi kwamba hiyo pekee haitoshi.
10:49
We've got to take personal responsibility by joining --
204
649694
3760
Tunatakiwa tuchukue wajibu binafsi kwa kujiunga--
10:53
or at very least, actively supporting --
205
653478
2858
au hata kidogo kuunga mkono--
10:56
the growing ecosystem of individuals and groups
206
656919
3521
mazingira ya ukuaji wa makundi binafsi
11:00
who are fighting for social justice,
207
660464
2086
ambayo yanapigania hakijamii,
11:02
environmental sustainability,
208
662574
2063
mazingira endelevu,
11:04
government accountability,
209
664661
1563
uwajibikaji wa serikali
11:06
human rights, freedom of the press
210
666248
1877
haki za binadamu, uhuru wa habari
na intaneti huru na wazi,
11:08
and a free and open internet,
211
668149
1556
11:09
all around the world.
212
669729
1756
duniani kote
11:11
I believe that, ultimately, we can overcome
213
671509
4711
Nina amini kwamba, hatimaye tunaweza kuishinda
11:16
the digitally empowered networks of extremism, demagoguery and hate.
214
676244
6458
mitandao ya kidigitali iliyowezeshwa ya siasa kali, siasa za fujo na chuki.
11:23
But ...
215
683379
1180
Lakini...
tunatakiwa tufanye hivi kwa kuongeza mitandao ya dunia
11:25
we've got to do this by really beefing up the global networks
216
685104
6724
11:31
of citizens around the world,
217
691852
1788
ya raia duniani kote,
11:33
powered by people who are working hard every day,
218
693664
3780
ikiwezeshwa na watu ambao hufanya kazi kwa bidii kila siku,
11:37
and taking personal risk
219
697468
1765
na kuchukua hatua hatarishi
11:39
for a future world that is more peaceful, just, open and free.
220
699714
5450
kwa dunia ya kesho ambayo ni ya amani zaidi, yenye haki, wazi na huru.
11:45
Thanks very much for listening.
221
705541
1529
Asanteni sana kwa kusikiliza.
(Makofi)
11:47
(Applause)
222
707094
8517
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7