How I unlearned dangerous lessons about masculinity | Eldra Jackson

100,044 views ・ 2019-01-30

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Doris Mangalu Reviewer: Nelson Simfukwe
00:14
Big boys don't cry.
0
14135
1738
Wavulana wakubwa hawalii.
00:17
Suck it up.
1
17217
1187
Imezee.
00:19
Shut up and rub some dirt on it.
2
19558
1674
Kaa kimya na ufutie vumbi juu yake.
00:22
Stop crying before I give you something to cry about.
3
22462
2674
Acha kulia kabla sijakupa kitu cha kulilia.
00:26
These are just a few of the phrases
4
26258
1858
Hizi ni baadhi tu ya vishazi
00:28
that contribute to a disease in our society,
5
28140
3174
vinavyochangia kwenye ugonjwa ndani ya jamii yetu,
00:31
and more specifically, in our men.
6
31338
1959
na hasa zaidi, kwa wanaume wetu.
00:34
It's a disease that has come to be known as "toxic masculinity."
7
34595
4074
Ni ugonjwa uliokuja kujulikana kama "sumu ya uwanaume."
00:40
It's one I suffered a chronic case of,
8
40044
2547
Ni moja niliyoteseka kwa kesi sugu,
00:42
so much so that I spent 24 years of a life sentence in prison
9
42615
4659
kiasi kwamba nilitumia miaka 24 ya kifungo cha maisha gerezani
00:47
for kidnapping, robbery, and attempted murder.
10
47298
3045
kwa utekaji nyara, wizi, na jaribio la mauaji.
00:52
Yet I'm here to tell you today that there's a solution for this epidemic.
11
52298
3801
Bado nipo hapa kuwaambia leo kuwa kuna suluhisho la hili janga.
00:57
I know for a fact the solution works, because I was a part of human trials.
12
57494
4015
Najua suluhisho linafanya kazi kwa sababu nilikua kwenye majaribio ya binadamu.
01:03
The solution is a mixture of elements.
13
63239
2357
Suluhisho ni mchanganyiko wa mambo.
01:06
It begins with the willingness to look at your belief system
14
66496
3667
Inaanza na nia ya kuangalia mfumo wa imani yako
01:10
and how out of alignment it is
15
70187
2250
na jinsi imetoka nje ya mpangilio
01:12
and how your actions negatively impact not just yourself,
16
72461
3291
na jinsi matendo yako yana athari za hasi sio tu kwako,
01:15
but the people around you.
17
75776
1304
na pia watu wanaokuzunguka.
01:18
The next ingredient is the willingness to be vulnerable with people
18
78349
4040
Sehemu inayofuata ni nia ya kukabiliwa na watu
01:23
who would not just support you, but hold you accountable.
19
83522
3523
ambao hawatakusaidia tu, bali watakufanya uwajibike.
01:28
But before I tell you about this,
20
88839
1642
Ila kabla sijakuambia kuhusu hili,
01:30
I need to let you know that in order to share this,
21
90505
3302
Ninahitaji kukujulisha kua ili niwashirikishe hili,
01:34
I have to bare my soul in full.
22
94846
2626
ninatakiwa kufunua roho yangu kikamilifu.
01:38
And as I stand here,
23
98267
2047
Na ninaposimama hapa,
01:40
with so many eyes fixed on me,
24
100338
1809
na macho mengi yakiniangalia,
01:43
I feel raw and naked.
25
103238
2401
najisikia mbichi na mtupu.
01:48
When this feeling is present,
26
108046
1644
Pale hisia hii inapokuwepo,
01:49
I'm confident that the next phase of healing is on the horizon,
27
109714
3840
ninajiamini kua hatua ijayo ya uponyaji inawadia,
01:55
and that allows me to share my story in full.
28
115422
2277
na inaniruhusu kushirikisha hadithi kikamilifu.
01:59
For all appearances' sake, I was born into the ideal family dynamic:
29
119362
4927
Kwa ajili ya muonekano wote, nilizaliwa kwenye familia ya hali bora:
02:04
mother, father, sister, brother.
30
124805
2134
mama, baba, dada, kaka.
02:07
Bertha, Eldra Jr., Taydama and Eldra III.
31
127671
4952
Bertha, Eldra mdogo, Taydama na Eldra wa tatu.
02:12
That's me.
32
132647
1150
Huyo ni mimi.
02:14
My father was a Vietnam veteran who earned a Purple Heart
33
134978
3009
Baba yangu alikua mwanajeshi wa Vietnam mwenye Moyo wa Zambarau
02:18
and made it home to find love, marry, and begin his own brood.
34
138011
4032
na kurudi nyumbani kupata upendo, kuoa, na kuanzisha kizazi chake.
02:23
So how did I wind up serving life in the California prison system?
35
143273
3253
Sasa niliishiaje kutumikia maisha kwenye gereza la California?
02:28
Keeping secrets,
36
148066
1270
Kutunza siri,
02:30
believing the mantra that big boys don't cry,
37
150527
2635
kuamini mantra kua wavulana wakubwa hawalii,
02:34
not knowing how to display any emotion confidently other than anger,
38
154594
4111
kutokujua jinsi ya kuonyesha hisia yoyote kwa ujasiri zaidi ya hasira,
02:41
participating in athletics
39
161199
1476
kushiriki kwenye riadha
02:42
and learning that the greater the performance on the field,
40
162699
2853
na kujifunza kua ukubwa wa utendaji uwanjani,
02:45
the less the need to worry about the rules off it.
41
165576
2538
udogo wa hitaji la kua na wasiwasi juu ya kanuni zake.
02:48
It's hard to pin down any one specific ingredient
42
168486
2826
Ni ngumu kuwekea msumari sehemu moja maalumu
02:51
of the many symptoms that ailed me.
43
171336
2506
ya dalili nyingi zilizoniuguza.
02:55
Growing up as a young black male in Sacramento, California in the 1980s,
44
175613
4102
Nikikua kama kijana mweusi wa kiume Sacramento, California miaka ya 1980.
02:59
there were two groups I identified as having respect:
45
179739
2857
kulikua na makundi mawili niliyoyatambua kua na heshima:
03:03
athletes and gangsters.
46
183555
2438
wanamichezo na majambazi.
03:07
I excelled in sports,
47
187463
1513
Nilishinda kwenye michezo,
03:10
that is until a friend and I chose to take his mom's car for a joyride and wreck it.
48
190210
4531
mpaka rafiki yangu alipouchukua gari la mama yake na kuliendesha na kuliharibu.
03:16
With my parents having to split the cost of a totaled vehicle,
49
196502
3171
Na wazazi wangu wakigawanya gharama za gari lililoharibika,
03:20
I was relegated to a summer of household chores and no sports.
50
200555
4873
nilitelekezwa kwenye likizo ya kazi za nyumbani na bila michezo.
03:26
No sports meant no respect.
51
206873
2222
Bila michezo ilimaanisha bila heshima.
03:30
No respect equaled no power.
52
210592
2400
Bila heshima ni sawa na bila nguvu.
03:34
Power was vital to feed my illness.
53
214103
3365
Nguvu ilikua muhimu kulisha ugonjwa wangu.
03:38
It was at that point the decision to transition from athlete to gangster
54
218129
6223
Ilikua kwenye hatua hiyo uamuzi wa kubadilika kutoka mwanamichezo kuwa jambazi
03:44
was made and done so easily.
55
224376
2417
ulifanywa na kukamilika kirahisi sana.
03:48
Early life experiences had set the stage for me to be well-suited
56
228199
4190
Uzoefu wa maisha wa mapema uliweka jukwaa kwa mimi kufaa sana
03:54
to objectify others,
57
234080
1643
kushusha hadhi za wengine,
03:57
act in a socially detached manner,
58
237635
2323
kuwa na tabia inayojitenga kijamii,
03:59
and above all else, seek to be viewed as in a position of power.
59
239982
3817
na zaidi ya yote, kutafuta kuonekana kwenye sehemu ya nguvu.
04:05
A sense of power
60
245721
1296
Hisia ya nguvu
04:07
(Sighs)
61
247499
2880
(Akiguna)
04:11
equaled strength in my environment,
62
251331
2501
nguvu sawa kwenye mazingira yangu,
04:13
but more importantly, it did so in my mind.
63
253856
2173
muhimu zaidi, ilifanya hivyo kweye akili yangu.
04:16
My mind dictated my choices.
64
256916
1991
Akili yangu iliamuru maamuzi yangu.
04:20
My subsequent choices put me on the fast track to prison life.
65
260138
3507
Maamuzi ya baadae yaliniweka kwenye njia ya haraka ya maisha gerezani.
04:25
And even once in prison, I continued my history
66
265278
2794
Na hata nilivyokuwa gerezani, niliendelea na historia yangu
04:28
of running over the rights of others,
67
268096
2078
ya kuponda haki za wengine,
04:32
even knowing that that was the place that I would die.
68
272220
3320
hata kujua kua hiyo ni sehemu ambayo ningeweza kufa.
04:35
Once again, I wound up in solitary confinement
69
275564
3295
Mara nyingine, nikaishia kwenye kifungo cha upweke
04:39
for stabbing another prisoner nearly 30 times.
70
279748
2770
kwa kumchoma mfungwa mwingine karibia mara 30.
04:44
I'd gotten to a place where I didn't care how I lived or if I died.
71
284403
3349
Nilifikia sehemu ambapo sikujali jinsi nilivyoishi au kama ningekufa.
04:49
But then, things changed.
72
289946
1385
Lakini, vitu vikabadilika.
04:52
One of the best things that happened in my life to that point
73
292340
2858
Moja ya vitu bora vilivyotokea kwa hatua hiyo ya maisha yangu
04:55
was being sent to New Folsom Prison.
74
295222
1853
ilikuwa kupelekwa kwenye gereza la New Folsom.
04:57
Once there, I was approached to join a group called Inside Circle.
75
297789
4453
Nilipokua pale, nilifatwa kujiunga kikundi kiitwacho Duara la Ndani.
05:03
Initially, I was hesitant to join a group referred to around the yard
76
303693
3969
Mwanzoni nilisita kujiunga na kundi linalojulikana maeneno ya uga
05:07
as "hug-a-thug."
77
307686
1789
kama "mkumbatie-mhuni."
05:09
(Laughter)
78
309499
3236
(Kicheko)
05:12
Initially, yeah, that was a little much,
79
312759
4712
Mwanzoni, kweli, ilikuwa imezidi kidogo,
05:17
but eventually, I overcame my hesitancy.
80
317495
2478
lakini hatimaye, nikashinda usitaji wangu.
05:20
As it turned out, the circle was the vision of a man named Patrick Nolan,
81
320803
5707
Kama ilivyoonekana, duara lilikuwa ndoto ya mtu mmoja aitwae Patrick Nolan,
05:26
who was also serving life
82
326534
1934
ambae pia alikuwa anatumikia maisha
05:28
and who had grown sick and tired of being sick and tired
83
328492
4346
na ambae alikuwa amechoshwa na kuchoka
05:32
of watching us kill one another
84
332862
1776
kutuona sisi tukiuana wenyewe
05:35
over skin color,
85
335598
1293
juu ya rangi ya ngozi,
05:37
rag color,
86
337931
1159
rangi ya tambara,
05:40
being from Northern or Southern California,
87
340870
2818
kutokea Kaskazini au Kusini mwa California,
05:44
or just plain breathing in the wrong direction on a windy day.
88
344878
3182
au tu kuhema kwa wazi kwenye muelekeo mbaya siku yenye upepo.
05:49
Circle time is men sitting with men
89
349416
2729
Muda wa duara ni wanaume kukaa na wanaume
05:52
and cutting through the bullshit,
90
352169
1635
na kukata kati kwenye upuuzi,
05:55
challenging structural ways of thinking.
91
355287
2389
kushindanisha njia za mifumo ya kufikiri.
05:58
I think the way that I think
92
358346
1834
Ninafikiri jinsi ninavyofikiri
06:00
and I act the way that I act
93
360204
1575
na ninatenda jinsi ninavyotenda
06:02
because I hadn't questioned that.
94
362874
1666
kwa sababu sijajiuliza hilo.
06:06
Like, who said I should see a woman walking down the street,
95
366104
2919
Kama, nani kasema ninapomuona mwanamke akitembea mtaani,
06:10
turn around and check out her backside?
96
370555
1992
nigeuke na kuangalia makalio yake?
06:13
Where did that come from?
97
373531
1230
Hiyo imetokea wapi?
06:15
If I don't question that, I'll just go along with the crowd.
98
375864
3238
Kama nisipouliza hilo, nitafuata tu mkumbo.
06:21
The locker-room talk.
99
381706
1364
Misemo ya chumba cha kubadilisha.
06:23
In circle, we sit and we question these things.
100
383896
2953
Kwenye duara, tunakaa na kuuliza haya mambo.
06:26
Why do I think the way that I think?
101
386873
1868
Kwanini ninafikiri jinsi ninavyofikiri?
06:28
Why do I act the way that I act?
102
388765
1710
Kwanini ninatenda jinsi ninavyotenda?
06:31
Because when I get down to it, I'm not thinking,
103
391087
2539
Kwa sababu ninapoangalia kwa umakini, sifikirii,
06:34
I'm not being an individual,
104
394340
1570
siwi kama mtu binafsi,
06:35
I'm not taking responsibility for who I am
105
395934
2642
sichukui wajibu wa mimi ni nani
06:38
and what it is I put into this world.
106
398600
1913
na ni nini ninachoweka kwenye hii dunia.
06:42
It was in a circle session that my life took a turn.
107
402233
2951
Ilikua kwenye kipindi cha duara ambapo maisha yangu yaligeuka.
06:45
I remember being asked who I was,
108
405208
2357
Nakumbuka kuulizwa mimi ni nani,
06:47
and I didn't have an answer,
109
407589
1421
na sikuwa najibu,
06:49
at least not one that felt honest
110
409913
1858
angalau hata moja lililokuwa kweli
06:51
in a room full of men who were seeking truth.
111
411795
3042
kwenye chumba kilichojaa wanaume waliokuwa wakitafuta ukweli.
06:54
It would have been easy to say,
112
414861
1743
Ingekua rahisi kusema,
06:56
"I'm a Blood,"
113
416628
1712
"Mimi ni Mwanakundi,"
06:58
or, "My name is Vegas,"
114
418364
2232
au, "Jina langu ni Vegas,"
07:01
or any number of facades I had manufactured to hide behind.
115
421396
3388
au idadi yeyote ya ngao nilizotengeneza kujifichia.
07:05
It was in that moment and in that venue that the jig was up.
116
425651
4111
Ilikua kwenye huo muda na hiyo sehemu ambapo ngoma ilipoisha.
07:11
I realized that as sharp as I believed I was,
117
431362
2413
Niligundua kuwa kadri nilivyoamini nilikua mkali,
07:13
I didn't even know who I was
118
433799
2085
nilikua hata sijui nilikua nani
07:15
or why I acted the way that I acted.
119
435908
1985
au kwanini nilitenda jinsi nilivyotenda.
07:21
I couldn't stand in a room full of men who were seeking to serve and support
120
441007
4095
Sikuweza kusimama kwenye chumba kilichojaa wanaume waliotaka kuhudumia na kusaidia
07:25
and present an authentic me.
121
445126
1944
na kuwasilisha mimi niliye halisi.
07:29
It was in that moment that I graduated to a place within
122
449825
3315
Ilikuwa kwenye huo mda nilipohitimu kwenye sehemu ya ndani
07:33
that was ready for transformation.
123
453164
1780
ambayo ilikua tayari kwa mabadiliko.
07:36
For decades,
124
456317
1724
Kwa miongo,
07:38
I kept being the victim of molestation at the hands of a babysitter a secret.
125
458065
4090
niliweka kuwa muathirika wa ubakaji kwenye mikono ya yaya kama siri.
07:43
I submitted to this under the threat of my younger sister being harmed.
126
463277
3675
Nilitii kwa hili chini ya tishio la mdogo wangu wa kike kuumizwa.
07:46
I was seven, she was three.
127
466976
1967
Nilikua na miaka saba, alikua na mitatu.
07:50
I believed it was my responsibility to keep her safe.
128
470281
3111
Ninaamini ilikua wajibu wangu kumweka salama.
07:56
It was in that instant
129
476620
2166
Ilikuwa papo hapo
07:58
that the seeds were sown for a long career of hurting others,
130
478810
4222
kuwa mbegu zilipopandwa kwa kazi ndefu ya kuumiza wengine
08:03
be it physical, mental or emotional.
131
483056
2833
iwe kimwili, kiakili au kihisia.
08:07
I developed, in that instant,
132
487604
3039
Nilitengeneza kwa mara moja,
08:11
at seven years old,
133
491707
1591
katika miaka saba,
08:13
the belief that going forward in life,
134
493322
1871
imani ya kuendelea mbele na maisha,
08:15
if a situation presented itself where someone was going to get hurt,
135
495217
4479
kama hali ilijiwasilisha yenyewe ambapo mtu angeenda kuumia,
08:19
I would be the one doing the hurting.
136
499720
1809
ingekua ni mimi wa kuumiza.
08:22
I also formulated the belief that loving put me in harm's way.
137
502520
4350
Niliunda pia imani kuwa kupenda kuliniweka kwenye njia ya madhara.
08:27
I also learned that caring about another person made me weak.
138
507874
3960
Nilijifunza pia kujali kuhusu mtu mwingine kulinifanya niwe dhaifu.
08:33
So not caring, that must equal strength.
139
513376
2746
Hivyo kutokujali, lazima iwe sawa na nguvu.
08:38
The greatest way to mask a shaky sense of self
140
518110
2745
Njia kuu ya kufunika hisia binafsi zisizo imara
08:40
is to hide behind a false air of respect.
141
520879
2143
ni kuwa nyuma ya hewa ya uongo ya heshima.
08:44
Sitting in circle resembles sitting in a fire.
142
524480
2579
Kukaa kwenye duara kunafanana na kukaa kwenye moto.
08:47
It is a crucible that can and does break.
143
527654
2826
Ni chombo ambacho kinaweza na kinavunjika.
08:52
It broke my old sense of self,
144
532542
2126
Ilivunja hisia zangu binafsi za zamani,
08:55
diseased value system
145
535573
3211
mfumo wa thamani wenye ugonjwa
08:58
and way of looking at others.
146
538808
1699
na namna ya kuangalia wengine.
09:02
My old stale modes of thinking were invited into the open
147
542245
4710
Njia zangu za kizamani na zilizokauka za kufikiri zilikaribishwa kwenye uwazi
09:06
to see if this is who I wanted to be in life.
148
546979
2182
kuona kama hivi ndivyo nilivyotaka kuwa maishani.
09:10
I was accompanied by skilled facilitators
149
550112
2526
Nilifuatana na wawezeshaji wenye ujuzi
09:12
on a journey into the depths of myself
150
552662
2729
kwenye safari ya kina cha mimi mwenyewe
09:15
to find those wounded parts that not only festered
151
555415
4636
kutafuta hizo sehemu zilizojeruhiwa ambazo hazikuweka tu jipu
09:20
but seeped out to create unsafe space for others.
152
560075
3293
ila pia zilitiririka nje kuumba sehemu isiyo salama kwa wengine.
09:25
At times, it resembled an exorcism,
153
565957
3024
Mara nyingine, ilifanana kama zinguo,
09:29
and in essence, it was.
154
569005
1941
na kimsingi, ilikuwa hivyo.
09:30
There was an extraction of old, diseased ways of thinking,
155
570970
4352
Kulikua na utoaji wa njia za zamani, zenye ugonjwa wa kufikiri,
09:35
being and reacting
156
575346
2634
kuwa na kuguswa
09:38
and an infusion of purpose.
157
578004
1672
na upenyezaji wa madhumuni.
09:40
Sitting in those circles saved my life.
158
580775
2134
Kuwa kwenye duara kuliokoa maisha yangu.
09:44
I stand here today as a testament to the fact of the power of the work.
159
584749
4477
Nasimama hapa leo kama ushahidi wa ukweli wa nguvu ya hiyo kazi.
09:53
I was paroled in June 2014,
160
593241
2833
Nilitoka gerezani kwa masharti Juni 2014,
09:56
following my third hearing before a panel of former law-enforcement officials
161
596098
4064
kufuatia usikilizaji kesi wa tatu na jopo la maafisa wa utekelezaji sheria wa zamani
10:00
who were tasked with determining my current threat level to society.
162
600186
3682
ambao walikua na kazi ya kuamua kiwango changu cha tishio kwenye jamii.
10:05
I stand here today for the first time since I was 14 years old
163
605079
5135
Nasimama hapa leo kwa mara ya kwanza tangu nilivyokuwa miaka 14
10:10
not under any form of state supervision.
164
610238
2475
nikiwa sipo chini ya namna yoyote ya usimamizi wa nchi
10:13
I'm married to a tremendous woman named Holly,
165
613211
2239
Nimemuoa mwanamke mkubwa aitwae Holly,
10:15
and together, we are raising two sons
166
615474
2173
na kwa pamoja, tunalea wavulana wawili
10:17
who I encourage to experience emotions in a safe way.
167
617671
5151
ambao ninawahamasisha kupata uzoefu wa hisia kwa njia salama.
10:24
I let them hold me when I cry.
168
624053
2771
Ninawaruhusu wanishike ninapolia.
10:26
They get to witness me not have all the answers.
169
626848
3293
Wanapata kunishuhudia mimi nisipokua na majibu yote.
10:30
My desire is for them to understand
170
630165
2245
Nina tamani kwa wao kuelewa
10:32
that being a man is not some machismo caricature,
171
632434
3532
kuwa kua mwanaume sio namna ya ugumu wa kibonzo.
10:36
and that characteristics usually defined as weaknesses
172
636990
4199
na kua tabia mara nyingi zinazofafanuliwa kama udhaifu
10:41
are parts of the whole healthy man.
173
641213
2007
ni sehemu za mwanaume mzima mwenye afya.
10:44
So today, I continue to work not just on myself,
174
644066
3142
Hivyo leo, naendelea kufanya kazi sio tu kwangu mwenyewe,
10:47
but in support of young males in my community.
175
647232
2667
ila kwenye kusaidia vijana wa kiume kwenye jamii yangu.
10:51
The challenge is to eradicate this cycle
176
651225
3111
Changamoto ni kutokomeza huu mzunguko
10:56
of emotional illiteracy and groupthink
177
656986
2529
wa ujinga wa hisia na wazokundi
10:59
that allows our males to continue to victimize others as well as themselves.
178
659539
5285
unaoruhusu vijana wetu kuendelea kuathiri wengine pamoja na wenyewe.
11:05
As a result of this,
179
665475
2148
Matokeo ya haya,
11:07
they develop new ways of how they want to show up in the world
180
667647
3950
wanaendeleza njia mpya za jinsi wanataka kutokea kwenye dunia
11:11
and how they expect this world to show up on their behalf.
181
671621
2769
na jinsi wanategemea hii dunia kutokea kwa niaba yao.
11:15
Thank you.
182
675303
1151
Asanteni.
11:16
(Applause)
183
676478
4180
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7