Why I study the most dangerous animal on earth -- mosquitoes | Fredros Okumu

74,279 views ・ 2018-02-20

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Doris Mangalu Reviewer: Nelson Simfukwe
00:12
I guess because I'm from Tanzania
0
12960
1616
Nahisi sababu nimetoka Tanzania
00:14
I have a responsibility to welcome all of you once again.
1
14600
2680
nina wajibu wa kuwakaribisha wote kwa mara nyingine.
00:18
Thank you for coming.
2
18360
1376
Asanteni kwa kuja.
00:19
So, first of all, before we start,
3
19760
1656
Kwanza kabisa, kabla hatujaanza,
00:21
how many of you in the audience
4
21440
1496
wangapi wenu kwenye hadhira
00:22
have been in the past a victim of this bug here?
5
22960
2760
wamekuwa kipindi cha nyuma waathirika wa mdudu huyu hapa?
00:28
We apologize on behalf of all the mosquito catchers.
6
28120
3096
Tunaomba msamaha kwa niaba ya wakamata mbu wote.
00:31
(Laughter)
7
31240
1816
(Kicheko)
00:33
Ladies and gentlemen,
8
33080
1256
Mabibi na mabwana,
00:34
imagine getting seven infectious mosquito bites every day.
9
34360
3600
fikiria kuumwa na mbu saba wenye maambukizi kila siku.
00:39
That's 2,555 infectious bites every year.
10
39000
4400
Hizo ni umo 2,555 yenye maambukizi kila mwaka.
00:44
When I was in college, I moved to the Kilombero River valley
11
44360
3616
Nilipokua chuo, nilihamia bonde la mto la Kilombero
00:48
in the southeastern part of Tanzania.
12
48000
2656
eneo la kusini-mashariki la Tanzania.
00:50
This is historically one of the most malarious zones
13
50680
3136
Hii kihistoria ni moja ya kanda zenye malaria zaidi
00:53
in the world at that time.
14
53840
1696
kwenye dunia kwa muda huo.
00:55
Life here was difficult.
15
55560
2440
Maisha hapo yalikuwa magumu.
00:58
In its later stages
16
58920
1856
Kwenye hatua zake za baadae
01:00
malaria manifested with extreme seizures locally known as degedege.
17
60800
3800
malaria ilibainika na kifafa kilichokithiri kilichoitwa degedege.
01:05
It's killed both women and men, adults and children,
18
65360
2696
Kimeua wote wanawake kwa wanaume, wakubwa na wadogo,
01:08
without mercy.
19
68080
1776
bila huruma.
01:09
My home institution, Ifakara Health Institute,
20
69880
2296
Taasisi yangu ya nyumbani, Taasisi ya Afya Ifakara
01:12
began in this valley in the 1950s
21
72200
1976
ilianza kwenye hili bonde miaka ya 1950
01:14
to address priority health needs for the local communities.
22
74200
3080
kuzungumzia mahitaji ya afya yenye kipaumbele kwa jamii ya ndani.
01:17
In fact, the name Ifakara refers to a place you go to die,
23
77960
3520
Ki kweli, jina Ifakara lina maanisha sehemu unaenda kufa,
01:22
which is a reflection of what life used to be here
24
82280
2416
ambayo inaonyesha jinsi maisha yalivyokua hapa
01:24
in the days before organized public health care.
25
84720
2600
kwenye siku kabla ya kupanga huduma za afya ya umma.
01:28
When I first moved here,
26
88240
1256
Mwanzoni nilipohamia hapa,
01:29
my primary role was to estimate
27
89520
1496
jukumu la msingi lilikua kukadiria
01:31
how much malaria transmission was going on across the villages
28
91040
3520
ni kiasi cha maambukizi ya malaria yanayoendelea katika vijiji
01:35
and which mosquitoes were transmitting the disease.
29
95160
2760
na ni mbu gani waliokuwa wakisambaza ugonjwa.
01:38
So my colleague and myself came
30
98800
2296
Hivyo mimi na mwenzangu tukaenda
01:41
30 kilometers south of Ifakara town across the river.
31
101120
3080
kilomita 30 kusini mwa mji wa Ifakara kupitia mto.
01:44
Every evening we went into the villages with flashlights and siphons.
32
104560
4576
Kila jioni tulienda kwenye vijiji na tochi na mabomba.
01:49
We rolled up our trousers,
33
109160
1560
Tulikunja suruali zetu,
01:51
and waited for mosquitoes that were coming to bite us
34
111520
3176
na kungojea mbu ambao walikuja kutung'ata
01:54
so we could collect them
35
114720
1576
ili tuweze kuwakusanya
01:56
to check if they were carrying malaria.
36
116320
1858
kuwaangalia kama wamebeba malaria.
01:58
(Laughter)
37
118202
1014
(Kicheko)
01:59
My colleague and myself selected a household,
38
119240
2176
Mimi na mwenzangu tulichagua kaya,
02:01
and we started inside and outside, swapping positions every half hour.
39
121440
3840
na tukaanza ndani na nje, tukibadilishana nafasi kila nusu saa.
02:06
And we did this for 12 hours every night for 24 consecutive nights.
40
126440
3760
Na tulifanya hivi kwa masaa 12 kila usiku kwa usiku 24 mfululizo.
02:11
We slept for four hours every morning
41
131160
2416
Tulilala kwa masaa manne kila asubuhi
02:13
and worked the rest of the day,
42
133600
1496
na kufanya kazi siku nzima,
02:15
sorting mosquitoes, identifying them and chopping off their heads
43
135120
3016
kuchambua mbu, kuwatambua na kukata vichwa vyao
02:18
so they could be analyzed in the lab
44
138160
1736
ili waweze kuchanganua maabara
02:19
to check if they were carrying malaria parasites
45
139920
2255
kuangalia kama wanabeba vimelea vya malaria
02:22
in their blood mouthparts.
46
142199
1577
kwenye damu ya midomo yao.
02:23
This way we were able to not only know how much malaria was going on here
47
143800
3976
Hii njia tunaweza kutokujua tu kiasi gani cha malaria kinaendelea hapa
02:27
but also which mosquitoes were carrying this malaria.
48
147800
2896
lakini pia mbu gani walibeba hii malaria.
02:30
We were also able to know
49
150720
1256
Tumeweza pia kujua
02:32
whether malaria was mostly inside houses or outside houses.
50
152000
3776
kama malaria ilikua nyingi nje au ndani ya nyumba.
02:35
Today, ladies and gentlemen, I still catch mosquitoes for a living.
51
155800
3160
Leo, mabibi na mabwana, bado ninakamata mbu kama kazi.
02:39
But I do this mostly to improve people's lives and well-being.
52
159720
3640
Lakini nafanya hivi mara nyingi kuboresha maisha ya watu na hali njema.
02:44
This has been called by some people the most dangerous animal on earth --
53
164280
4296
Hii imeitwa na baadhi ya watu kua mnyama wa hatari zaidi duniani --
02:48
which unfortunately is true.
54
168600
2056
ambayo kwa bahati mbaya ni kweli.
02:50
But what do we really know about mosquitoes?
55
170680
2560
Lakini ni nini tunachojua hasa kuhusu mbu?
02:54
It turns out we actually know very little.
56
174360
2400
Inaonekana kwa kweli tunajua kidogo sana.
02:58
Consider the fact that at the moment our best practice against malaria
57
178080
4336
Zingatia ukweli kua wakati huu njia yetu bora dhidi ya malaria
03:02
are bednets -- insecticide treated bednets.
58
182440
2776
ni vyandarua -- vyandarua vyenye dawa ya wadudu.
03:05
We know now that across Africa
59
185240
1576
Tunajua kua katika Afrika
03:06
you have widespread resistance to insecticides.
60
186840
2936
una upinzani ulioenea kwa dawa ya wadudu.
03:09
And these are the same insecticides,
61
189800
1736
Na hizi ndizo zilezile dawa za wadudu
03:11
the pyrethroid class, that are put on these bednets.
62
191560
2440
za darasa la pyrethroid, zilizo kwenye vyandarua.
03:14
We know now that these bednets protect you from bites
63
194560
3096
Tunajua kua hivi vyandarua vinakulinda using'atwe
03:17
but only minimally kill the mosquitoes that they should.
64
197680
2880
lakini vinaua kidogo tu mbu wanaotakiwa.
03:21
What it means is that we've got to do more to be able to get to zero.
65
201560
3656
Kinachomaanisha ni kua tunatakiwa kufanya zaidi kuweza kufikia sifuri.
03:25
And that's part of our duty.
66
205240
1520
Na hio ni sehemu ya kazi yetu.
03:28
At Ifakara Health Institute
67
208920
1336
Kwenye Taasisi ya Afya Ifakara
03:30
we focus very much on the biology of the mosquito,
68
210280
3176
tunalenga sana kwenye biolojia ya mbu,
03:33
and we try to do this so we can identify new opportunities.
69
213480
3696
na tunajaribu kufanya hivi ili kutambua nafasi mpya.
03:37
A new approach.
70
217200
1336
Mtazamo mpya.
03:38
New ways to try and get new options
71
218560
2856
Njia mpya kujaribu kupata suluhisho mpya
03:41
that we can use together with things such as bednets
72
221440
2496
ambazo tunaweza kutumia pamoja na vitu kama vyandarua
03:43
to be able to get to zero.
73
223960
1296
kuweza kufikia sifuri.
03:45
And I'm going to share with you a few examples
74
225280
2176
Nitaenda kuwashirikisha mifano michache
03:47
of the things that my colleagues and myself do.
75
227480
2200
ya vitu ambavyo wenzangu na mimi tunafanya.
03:50
Take this, for example.
76
230600
1616
Chukua hii, kwa mfano.
03:52
Mosquitoes breed in small pools of water.
77
232240
2840
Mbu huzaliana kwenye mabwawa madogo ya maji.
03:56
Not all of them are easy to find --
78
236320
1696
Sio wote ni rahisi kupatikana --
03:58
they can be scattered across villages,
79
238040
2256
wanaweza kutawanyika katika vijiji,
04:00
they can be as small as hoofprints.
80
240320
2520
wanaweza kua ndogo kama alama za kwato.
04:03
They can be behind your house or far from your house.
81
243720
2896
Zinaweza kua nyuma ya nyumba yako au mbali na nyumba yako.
04:06
And so, if you wanted to control mosquito larvae,
82
246640
2576
Na hivyo, kama unataka kuthibiti mabuu ya mbu,
04:09
it can actually be quite difficult to get them.
83
249240
2400
kwa kweli inaweza kua ngumu kabisa kuzipata.
04:12
What my colleagues and I have decided to do
84
252520
2240
Wenzangu na mimi tulichoamua kufanya
04:15
is to think about what if we used mosquitoes themselves
85
255600
2616
ni kufikiri je tukitumia mbu wenyewe
04:18
to carry the insecticides from a place of our choice
86
258240
3096
kubeba dawa ya wadudu kutoka sehemu ya chaguo letu
04:21
to their own breeding habitats
87
261360
1896
mpaka kwenye mazingira yao ya kuzaliana
04:23
so that whichever eggs they lay there shall not survive.
88
263280
3600
ili mayai yoyote watakayotaga pale yasiishi.
04:28
This is Dickson Lwetoijera.
89
268160
1895
Huyu ni Dickson Lwetoijera.
04:30
This is my colleague who runs this show at Ifakara.
90
270079
2697
Huyu ni mwenzangu anaeendesha tamasha hili Ifakara.
04:32
And he has demonstrated cleverly that you can actually get mosquitoes
91
272800
3256
Na ameonyesha kwa ustadi kua unaweza kwa kweli kupata mbu
04:36
to come to the place where they normally come to get blood
92
276080
2736
kuja kwenye eneo ambalo kawaida wanapata damu
04:38
to pick up a dose of sterilants or insecticide,
93
278840
4056
kuchagua kiasi cha dawa za kusafisha au dawa ya wadudu,
04:42
carry this back to their own breeding habitat
94
282920
2136
kuzirudisha kwenye mazingira yao ya kuzaliana
04:45
and kill all their progeny.
95
285080
1600
na kuua kizazi chao wenyewe.
04:48
And we have demonstrated that you can do this
96
288000
2136
Na tumeonyesha kua unaweza kufanya hivi
04:50
and crush populations very, very rapidly.
97
290160
2280
na kuponda wakazi kwa haraka sana sana.
04:53
This is beautiful.
98
293440
1720
Hii ni nzuri.
04:56
This is our mosquito city.
99
296160
1560
Hili ni jiji letu la mbu.
04:58
It is the largest mosquito farm
100
298560
2696
Ni shamba kubwa la mbu kuliko yote
05:01
available in the world for malaria research.
101
301280
2280
linalopatikana duniani kwa tafiti za malaria.
05:04
Here we have large-scale self-sustaining colonies of malaria mosquitoes
102
304720
4336
Hapa tuna kiasi kikubwa cha jamii inayojiendesha yenyewe ya mbu wa malaria
05:09
that we rear in these facilities.
103
309080
1616
ambao tunakuza kwenye hivi vituo.
05:10
Of course, they are disease-free.
104
310720
1816
Bila shaka, hawa hawana magonjwa.
05:12
But what these systems allow us to do
105
312560
1816
Hii mifumo inachoturuhusu kufanya
05:14
is to introduce new tools and test them immediately,
106
314400
3656
ni kuanzisha zana mpya na kuzijaribu mara moja,
05:18
very quickly,
107
318080
1216
haraka sana,
05:19
and see if we can crush these populations or control them in some way.
108
319320
3320
na kuona kama tutaponda haya makazi au kuzidhibiti kwa njia nyingine.
05:23
And my colleagues have demonstrated
109
323080
1696
Wenzangu wote wameonyesha
05:24
that if you just put two or three positions
110
324800
2176
kua ukiweka tu nafasi mbili au tatu
05:27
where mosquitoes can go pick up these lethal substances,
111
327000
2936
ambazo mbu wanaweza kwenda kuokota hivi vitu vya hatari,
05:29
we can crush these colonies in just three months.
112
329960
2440
tutaponda hizi jamii ndani ya miezi mitatu tu.
05:33
That's autodissemination, as we call it.
113
333520
1960
Hio tunaita, usambazaji wa kujitegemea.
05:36
But what if we could use
114
336400
1560
Lakini inakuaje tukitumia
05:38
the mosquitoes' sexual behavior
115
338920
1920
tabia za ngono za mbu
05:42
to also control them?
116
342040
1776
na kuzitawala?
05:43
So, first of all I would like to tell you
117
343840
1976
Hivyo, kwanza kabisa ningependa kuwaambia
05:45
that actually mosquitoes mate in what we call swarms.
118
345840
3240
kua ki ukweli mbu wanajamiiana kwenye tunachoita makundi.
05:49
Male mosquitoes usually congregate
119
349560
2296
Mbu dume kawaida wanakusanyika
05:51
in clusters around the horizon, usually after sunset.
120
351880
3200
kwenye makundi karibu na upeo wa macho, kawaida baada ya jua kuzama.
05:55
The males go there for a dance,
121
355640
1976
Madume wanaenda pale kucheza dansi,
05:57
the females fly into that dance
122
357640
1656
majike wanaelekea kwenye hio dansi
05:59
and select a male mosquito of their choice,
123
359320
2736
na kuchagua mbu wa kiume wa chaguo lao,
06:02
usually the best-looking male in their view.
124
362080
2776
kawaida dume linalovutia kwa mtazamo wao.
06:04
They clump together and fall down onto the floor.
125
364880
2376
Wanashikana pamoja na kuamguka chini kwenye sakafu.
06:07
If you watch this, it's beautiful.
126
367280
1656
Ukitazama hii, ni nzuri sana.
06:08
It's a fantastic phenomenon.
127
368960
2016
Ni jambo la ajabu.
06:11
This is where our mosquito-catching work gets really interesting.
128
371000
4216
Hapa ndipo kazi yetu ya ukamataji mbu unakua wa kuvutia mno.
06:15
What we have seen, when we go swarm hunting in the villages,
129
375240
3696
Tulichokiona, tunapoenda kuwinda makundi vijijini,
06:18
is that these swarm locations tend to be at exactly the same location
130
378960
3536
ni kwamba haya maeneo ya vikundi huwa yanakua kwenye eneo lilelile kabisa
06:22
every day, every week, every month,
131
382520
2456
kila siku, kila wiki, kila mwezi,
06:25
year in, year out.
132
385000
1536
kwa mwaka mzima.
06:26
They start at exactly the same time of the evening,
133
386560
3176
Wanaanza kabisa mda ule ule jioni,
06:29
and they are at exactly the same locations.
134
389760
2416
na wanakua kabisa kwenye maeneo yale yale.
06:32
What does this tell us?
135
392200
1256
Hii inatuambia nini?
06:33
It means that if we can map all these locations across villages,
136
393480
3256
Ina maanisha kama tukiwa na ramani ya maeneo yote haya katika vijiji,
06:36
we could actually
137
396760
1616
tunaweza kabisa
06:38
crush these populations by just a single blow.
138
398400
3136
kuponda haya makazi kwa pigo moja tu.
06:41
Kind of, you know, bomb-spray them or nuke them out.
139
401560
2960
Kama vile, kuwawekea bomu la dawa au kuwatoa na nyuklia.
06:45
And that is what we try to do with young men and women
140
405440
2576
Na ndio tunachotaka kufanya na vijana wakike na wakiume
06:48
across the villages.
141
408040
1216
katika vijiji.
06:49
We organize these crews, teach them how to identify the swarms,
142
409280
3200
Tunaandaa hawa wafanyakazi, kuwafundisha jinsi ya kutambua makundi,
06:53
and spray them out.
143
413360
1376
na kuwapulizia nje.
06:54
My colleagues and I believe we have a new window
144
414760
2616
Wenzangu na mimi tunaamini tuna mwangaza mpya
06:57
to get mosquitoes out of the valley.
145
417400
1920
ya kutoa mbu nje ya bonde.
07:01
But perhaps the fact that mosquitoes eat blood, human blood,
146
421120
3680
Lakini pengine ukweli kua mbu wanakula damu, damu ya binadamu,
07:05
is the reason they are the most dangerous animal on earth.
147
425520
2960
ndio sababu ni mnyama wa hatari sana duniani.
07:09
But think about it this way --
148
429760
1456
Lakini fikiria hio hivi --
07:11
mosquitoes actually smell you.
149
431240
1720
mbu ki kweli wanakunusa.
07:14
And they have developed
150
434200
2056
Na wamekuza
07:16
incredible sensory organs.
151
436280
2040
viungo vya hisia vya ajabu.
07:19
They can smell from as far sometimes as 100 meters away.
152
439760
3680
Wanaweza kunusa kwa umbali mara nyingine wa mita 100.
07:24
And when they get closer,
153
444040
1256
Na wanaposogea karibu,
07:25
they can even tell the difference between two family members.
154
445320
2976
wanaweza hata kuona tofauti kati ya watu wa familia mbili.
07:28
They know who you are based on what you produce
155
448320
2216
Wanajua wewe ni nani kadri na unachozalisha
07:30
from your breath, skin, sweat and body odor.
156
450560
3200
kutoka kwenye pumzi, ngozi, jasho na harufu ya mwili.
07:34
What we have done at Ifakara
157
454400
1376
Tulichokifanya Ifakara
07:35
is to identify what it is in your skin, your body, your sweat or your breath
158
455800
3656
ni kutambua kilicho kwenye ngozi yako, mwili wako, jasho lako au pumzi
07:39
that these mosquitoes like.
159
459480
1286
ambazo hawa mbu wanapenda.
07:41
Once we identified these substances, we created a concoction,
160
461120
3216
Mara moja baada ya kutambua hivi vitu, tuliunda mchanganyiko,
07:44
kind of a mixture, a blend of synthetic substances
161
464360
3136
kama mkorogo, mchangamano wa vitu vilivyotengenezwa
07:47
that are reminiscent of what you produce from your body.
162
467520
2656
ambavyo vina kumbukumbu ya unachozalisha mwilini mwako.
07:50
And we made a synthetic blend
163
470200
2176
Na tunatengeneza mchangamano wa kutengenezwa
07:52
that was attracting three to five times more mosquitoes than a human being.
164
472400
4080
ambayo ilivutia mbu watatu mpaka watano zaidi ya binadamu.
07:57
What can you do with this?
165
477440
1256
Utafanya nini na hili?
07:58
You put in a trap, lure a lot of mosquitoes and you kill them, right?
166
478720
3256
Unaweka kwenye mtego, shawishi mbu wengi na kuwaua, ndio?
08:02
And of course, you can also use it for surveillance.
167
482000
2456
Na bila shaka, unaweza pia ukatumia kwa ufuatiliaji.
08:04
At Ifakara
168
484480
1776
Katika Ifakara
08:06
we wish to expand our knowledge on the biology of the mosquito;
169
486280
4080
tunataka kupanua maarifa yetu kwenye biolojia ya mbu;
08:11
to control many other diseases, including, of course, the malaria,
170
491120
3096
kudhibiti magonjwa mengi zaidi, ikiwemo, bila shaka, malaria,
08:14
but also those other diseases that mosquitoes transmit
171
494240
2576
lakini pia magonjwa mengine yanayosambazwa na mbu
08:16
like dengue, Chikungunya and Zika virus.
172
496840
2200
kama dengue, Chikungunya na kirusi cha Zika.
08:19
And this is why my colleagues, for example --
173
499800
2136
Na hii ndio maana wenzangu, kwa mfano --
08:21
we have looked at the fact
174
501960
1256
tumeangalia kwenye ukweli
08:23
that some mosquitoes like to bite you on the leg region.
175
503240
3576
kua baadhi ya mbu wanapenda kukung'ata eneo la mguu.
08:26
And we've now created these mosquito repellent sandals
176
506840
2960
Na sasa tumeunda hivi viatu vya kuzuia mbu
08:30
that tourists and locals can wear when they're coming.
177
510240
2720
ambavyo watalii na wenyeji wanaweza kuvaa wanapokuja.
08:33
And you don't get bitten --
178
513560
1336
Na hauwezi kung'atwa --
08:34
this gives you 'round the clock protection
179
514920
2000
hii inakupa ulinzi masaa yote
08:36
until the time you go under your bednet.
180
516944
2152
mpaka mda unaingia kwenye chandarua chako.
08:39
(Applause)
181
519120
1856
(Makofi)
08:41
My love-hate relationship with mosquitoes continues.
182
521000
2576
Uhusiano wangu wa upendo na chuki na mbu unaendelea.
08:43
(Laughter)
183
523600
1096
(Kicheko)
08:44
And it's going to go a long way, I can see.
184
524720
2496
Na utaendelea kwa mda mrefu, ninaona.
08:47
But that's OK.
185
527240
1456
Lakini ni sawa.
08:48
WHO has set a goal of 2030 to eliminate malaria from 35 countries.
186
528720
5136
WHO imeweka lengo la 2030 kuondoa malaria kwenye nchi 35.
08:53
The African Union has set a goal
187
533880
1576
Muungano wa Afrika umeweka lengo
08:55
of 2030 to eliminate malaria from the continent.
188
535480
3136
la 2030 kuondoa malaria kwenye bara.
08:58
At Ifakara we are firmly behind these goals.
189
538640
2616
Ifakara tupo imara nyuma ya haya malengo.
09:01
And we've put together a cohort of young scientists,
190
541280
3336
Na tumeweka pamoja utafiti wa kundi wa wanasayansi vijana,
09:04
male and female,
191
544640
1536
wanaume na wanawake,
09:06
who are champions,
192
546200
1216
ambao ni mabingwa,
09:07
who are interested in coming together to make this vision come true.
193
547440
3440
ambao wana nia wa kuja pamoja kufanya hili ono kua kweli.
09:11
They do what they can
194
551760
1936
Wanafanya wanachoweza
09:13
to make it work.
195
553720
1280
ili ifanye kazi.
09:16
And we are supporting them.
196
556640
1856
Na tunawaunga mkono.
09:18
We are here to make sure that these dreams come true.
197
558520
2936
Tuko hapa kuhakikisha kua hizi ndoto zinakua kweli.
09:21
Ladies and gentlemen,
198
561480
1696
Mabibi na mabwana,
09:23
even if it doesn't happen in our lifetime,
199
563200
2840
hata kama isipotokea kwenye maisha yetu,
09:27
even if it doesn't happen
200
567120
1440
hata kama isipotokea
09:29
before you and me go away,
201
569400
1856
kabla wewe na mimi hatujaondoka,
09:31
I believe that your child and my child
202
571280
2560
ninaamini kua mtoto wako na mtoto wangu
09:34
shall inherit a world free of malaria transmitting mosquitoes
203
574600
3256
watarithi dunia iliyohuru na mbu waenezao malaria
09:37
and free of malaria.
204
577880
1216
na huru na malaria.
09:39
Thank you very much, ladies and gentlemen.
205
579120
2016
Asanteni sana, mabibi na mabwana.
09:41
(Applause)
206
581160
3896
(Makofi)
09:45
Thank you.
207
585080
1256
Asante.
09:46
Kelo Kubu: OK, Fredros.
208
586360
1360
Kelo Kubu: Sawa, Fredros.
09:48
Let's talk about CRISPR for a bit.
209
588560
2056
Tuongelee kuhusu CRISPR kidogo.
09:50
(Laughter)
210
590640
1416
(Kicheko)
09:52
It's taken the world by storm,
211
592080
2256
Imechukua dunia kwa tufani,
09:54
it promises to do amazing things.
212
594360
3000
imeahidi kufanya vitu vya kushangaza.
09:58
What do you think of scientists using CRISPR to kill off mosquitoes?
213
598200
4640
Unafikiria nini juu ya wanasayansi wanaotumia CRISPR kuua mbu?
10:03
Fredros Okumu: To answer this question, let's start from what the problem is.
214
603520
3640
Fredros Okumu: Kujibu swali hili, tuanze kwenye nini ndio tatizo.
10:08
First of all, we're talking about a disease that still kills --
215
608760
3496
Kwanza kabisa, tunaongelea kuhusu ugonjwa ambao bado unaua --
10:12
according to the latest figures we have from WHO --
216
612280
2416
kadri ya takwimu za karibuni tulizonazo kutoka WHO --
10:14
429,000 people.
217
614720
2216
watu 429,000.
10:16
Most of these are African children.
218
616960
1760
Wengi wao ni watoto wa Afrika.
10:19
Of course, we've made progress,
219
619600
1496
Bila shaka, tumefanya maendeleo.
10:21
there are countries that have achieved
220
621120
1856
kuna nchi zilizofanikiwa
10:23
up to 50-60 percent reduction in malaria burden.
221
623000
3600
mpaka asilima 50-60 imepungua ya mzigo wa malaria.
10:26
But we still have to do more to get to zero.
222
626920
2080
Lakini tunahitaji kufanya zaidi kufikia sifuri.
10:29
There is already proof of principle
223
629360
2176
Tayari kuna ushahidi wa kanuni
10:31
that gene-editing techniques, such as CRISPR,
224
631560
3216
kua mbinu za kuhariri kinasaba kama CRISPR,
10:34
can be used effectively
225
634800
2616
zinaweza kutumika kiufanisi
10:37
to transform mosquitoes so that either they do not transmit malaria --
226
637440
3600
kubadilisha mbu ili aidha wasisambaze malaria --
10:41
we call this population alteration --
227
641800
1976
tunaita hii mabadiliko ya wakazi --
10:43
or that they no longer exist,
228
643800
2080
au wasiendelee kuwepo,
10:46
population suppression.
229
646760
1736
ukandamizaji wa wakazi.
10:48
This is already proven in the lab.
230
648520
1896
Hii tayari imethibitishwa kwenye maabara.
10:50
There is also modeling work
231
650440
2416
Kuna kazi pia ya muundo
10:52
that has demonstrated that even if you were to release
232
652880
2576
ambayo imeonyesha kua hata kama ungetoa
10:55
just a small number of these genetically modified mosquitoes,
233
655480
3096
idadi ndogo tu ya hawa mbu waliobadilishwa vinasaba,
10:58
that you can actually achieve elimination very, very quickly.
234
658600
3296
kua ungetimiza ki ukweli kuondoa kwa haraka sana.
11:01
So, CRISPR and tools like this offer us some real opportunities --
235
661920
3936
Hivyo, CRISPR na zana kama hizi zinatoa nafasi za ukweli --
11:05
real-life opportunities to have high-impact interventions
236
665880
3976
nafasi za maisha halisi kuwa na misaada yenye athari za juu
11:09
that we can use in addition to what we have now
237
669880
2696
ambayo tunaweza kutumia tukiongezea na tulichonacho sasa
11:12
to eventually go to zero.
238
672600
1656
ili hatimae kufikia sifuri.
11:14
This is important.
239
674280
1656
Hii ni muhimu.
11:15
Now, of course people always ask us --
240
675960
2976
Sasa, bila shaka watu wanatuuliza sisi --
11:18
which is a common question,
241
678960
1336
ambalo ni swali la kawaida,
11:20
I guess you're going to ask this as well --
242
680320
2056
nakisia utauliza hili pia --
11:22
"What happens if you eliminate mosquitoes?"
243
682400
2056
"Nini kitatokea kama utaondoa mbu?"
11:24
KK: I won't ask then, you answer.
244
684480
1616
KK: Basi sitouliza, wewe jibu.
11:26
FO: OK. In respect to this, I would just like to remind my colleagues
245
686120
4056
FO: Sawa. Kwa hali ya hili, ningependa tu kukumbusha wenzangu
11:30
that we have 3,500 mosquito species in this world.
246
690200
4416
kua tuna aina ya mbu 3,500 hapa duniani.
11:34
Maybe more than that.
247
694640
1296
Labda ata zaidi ya hao.
11:35
About 400 of these are Anophelenes,
248
695960
2016
Karibia 400 wa hawa ni Anophelene
11:38
and only about 70 of them have any capacity to transmit malaria.
249
698000
3856
na karibia 70 tu wa hao wanauwezo wowote wa kusambaza malaria.
11:41
In Africa, we're having to deal with three or four of these as the major guys.
250
701880
3776
Afrika, tunakua tunapambana na tatu au nne ya hawa kama jamaa wakuu.
11:45
They carry most -- like 99 percent of all the malaria we have.
251
705680
3816
Wanabeba zaidi -- kama asilimia 99 ya malaria tuliyonayo.
11:49
If we were to go out with gene editing like CRISPR,
252
709520
2896
Kama tungetakiwa kutoka na kuhariri kinasaba kama CRISPR,
11:52
if we were to go out with gene drives to control malaria,
253
712440
2696
kama tungetakiwa kutoka na mwendesho wa kinasaba kuthibiti malaria,
11:55
we would be going after only one or two.
254
715160
2096
tungekua tunaenda kwa moja au mbili tu.
11:57
I don't see a diversity problem with that.
255
717280
2496
Sioni tatizo la utofauti na hilo.
11:59
But that's personal view.
256
719800
1376
Lakini huo ni mtazamo binafsi.
12:01
I think it's OK.
257
721200
1216
Nafikiri ni sawa.
12:02
And remember, by the way,
258
722440
1256
Na kumbuka, japo kuwa,
12:03
all these years we've been trying to eliminate these mosquitoes effectively
259
723720
3696
miaka yoye hii tumekua tukijaribu kuondoa hawa mbu kwa ufanisi
12:07
by spraying them -- our colleagues in America have sprayed with --
260
727440
4056
kwa kuwafukiza -- wenzetu wa Marekani wamewafukiza na --
12:11
really bomb-spraying these insects out of the villages.
261
731520
2616
kweli kuwapa hawa wadudu bomu la dawa kuwatoa vijijini.
12:14
In Africa we do a lot of household spraying.
262
734160
2936
Afrika tunafanya mengi kwenye kufukiza nyumbani.
12:17
All these are aimed solely at killing the mosquitoes.
263
737120
2680
Zote hizi zinalenga tu kwenye kuua mbu.
12:20
So there's really no problem if we had a new tool.
264
740280
2496
Hivyo hakuna kweli tatizo kama tukiwa na zana mpya.
12:22
But having said that, I have to say
265
742800
1696
Ila na kusema hivyo, lazima niseme
12:24
we also have to be very, very responsible here.
266
744520
2296
sisi pia tunatakiwa tuwajibike, sana hapa.
12:26
So there's the regulatory side, and we have to partner with our regulators
267
746840
3456
Hivyo kuna upande wa udhibiti, na tunatakiwa kuungana na waagizaji
12:30
and make sure that everything that we do is done correctly,
268
750320
2976
na kuhakikisha kua kila kitu tunachofanya kinakua sahihi,
12:33
is done responsibly
269
753320
1616
kinafanywa kwa kuwajibika
12:34
and that we also have to do independent risk assessments,
270
754960
2696
na kua tunatakiwa pia kutathmini hatari za kujitegemea
12:37
to just make sure
271
757680
1256
na kuhakikisha tu
12:38
that all these processes do not fall into the wrong hands.
272
758960
3256
kua michakato yote hii haiangukii kwenye mikono mibaya.
12:42
Thank you very much.
273
762240
1216
Asante sana.
12:43
KK: Thank you.
274
763480
1216
KK: Asante.
12:44
(Applause)
275
764720
3360
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7