What if we eliminated one of the world's oldest diseases? | Caroline Harper

82,281 views ・ 2018-07-18

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
00:13
I'd like you to imagine, just for a moment,
0
13380
3238
Ningependa utafakari, kwa muda mfupi,
00:16
that your eyelashes grew inwards instead of outwards,
1
16642
5054
Kuwa kope zako zinakua kuingia ndani badala ya nje,
00:21
so that every time you blinked,
2
21720
2301
Kwa hiyo kila wakati ukipepesa macho,
00:24
they would scrape the front of your eyeballs,
3
24045
3096
Zinakwaruza mtoto wa jicho
00:27
damaging the corneas,
4
27165
1777
zikiharibu chamba cha jicho
00:28
so that slowly and painfully, you went blind.
5
28966
3720
Kwa hiyo taratibu na kwa maumivu makali unakuwa kipofu.
00:33
Well, that's what happens to a person who has trachoma.
6
33307
3810
Hivyo ndivyo inavyotokea kwa mtu mwenye ugonjwa wa trakoma
00:37
Now, this little boy here, Pamelo, from Zambia, he has trachoma.
7
37607
5169
Huyu mvulana hapa, Pamelo kutoka Zambia ana trakoma
00:42
And if we don't do anything, he's going to go blind.
8
42800
3443
Kama hatutafanya chochote, atakuwa kipofu
00:46
Trachoma is a curious disease.
9
46700
2192
Trakoma ni ugonjwa unaotibika
00:48
It's a bacterial infection that's passed from person to person
10
48916
4160
Ni maambukizi ya bakteria yanayotoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine
00:53
and by flies.
11
53100
1421
yanayosambazwa na nzi.
00:55
The repeated infection will scar your eyelids
12
55057
3814
Maambukizi ya mara kwa mara yanasababisha makovu katika kope zako
00:58
so that they contract and they turn inside out.
13
58895
4318
inasababisha kusinyaa na kope kugeuka ndani nje.
01:03
It particularly affects women,
14
63879
1912
Huathiri sana wanawake.
01:05
because they have the contact with children.
15
65815
2356
kwa sababu wanagusana na watoto.
01:08
So what you'll often see in places like Ethiopia
16
68569
3524
Kwa hiyo utachokiona katika sehemu kama Ethiopia
01:12
are girls who have tweezers like this around their necks,
17
72117
4728
ni wasichana walio na koleo kama hii katika shingo zao,
01:16
and they use them to pluck out their eyelashes.
18
76869
3117
na wanazitumia kuchomoa kope zao.
01:20
But of course, that only gives them temporary respite,
19
80482
2644
Lakini hata hivyo, inawapa nafuu ya muda mfupi tu,
01:23
because they just grow back more vicious than before.
20
83150
3559
kwa sababu zinakuwa tena kwa kasi ya haraka sana kuliko mwanzo.
01:27
There are around two million people in the world
21
87538
4078
Kuna watu takribani milioni mbili duniani
01:31
who are blind or visually impaired because of trachoma.
22
91640
3063
ambao ni wapofu au wana uono hafifu kwa sababu ya trakoma.
01:35
And we believe there may be as many as 200 million people
23
95283
4342
Na tunaamini wanaweza kuwepo wengi zaidi hadi watu milioni 200
01:39
who are at risk.
24
99649
1150
ambao wapo katika hatari.
01:41
Now, it's a very old disease.
25
101418
2285
Sasa, ni ugonjwa mkongwe sana.
01:44
What you can see is a photo of a wall of a tomb in Northern Sudan.
26
104188
5108
Unachoona ni picha ya ukuta wa kaburi huko Sudani Kaskazini.
01:49
A colleague and I were traveling in a very remote village,
27
109855
2972
Mimi na rafiki tulikuwa tukisafiri vijiji vya mbali,
01:52
and we asked an old man to take us down into a little tomb.
28
112851
3537
na tukamuomba mzee mmoja kutupeleka kwenye kaburi dogo.
01:56
Now, on the wall, we saw two eyes.
29
116955
2850
Sasa, kwenye ukuta, tuliona macho mawili.
01:59
One is crying,
30
119829
1316
Moja likitoa machozi,
02:01
and you can see there are tweezers next to it.
31
121169
2588
na unaweza kuona kuna koleo pembeni yake.
02:04
Simon said to me, "My God, do you think that's trachoma?"
32
124127
3515
Simon aliniambia, "Mungu wangu, unadhani hiyo ni trakoma?"
02:08
So we sent this picture to the British Museum,
33
128103
3066
Kwa hiyo tuliituma hii picha kwenye makumbusho ya Uingereza,
02:11
and they confirmed that, yes, this is trachoma.
34
131523
2931
na walithibitisha kwamba, ndiyo, hii ni trakoma.
02:14
So, thousands of years ago,
35
134879
2285
Hivyo, maelfu ya miaka iliyopita,
02:17
the ancient Nubians were painting pictures of trachoma
36
137188
3826
wana wa kale wa Kinubia walikuwa wakichora picha za trakoma
02:21
on the walls of their tomb.
37
141038
1864
kwenye kuta za makaburi yao.
02:22
And the tragedy is
38
142926
2000
Na cha kuhuzunisha ni
02:24
that disease is still rampant in that area today.
39
144950
3322
kwamba ugonjwa huu bado unaathiri eneo hilo mpaka leo.
02:28
And the crazy thing is, we know how to stop it.
40
148980
3549
Na jambo linaloudhi ni, tunajua namna ya kuzuia ugonjwa.
02:33
And what's great is that the trachoma community have all come together
41
153171
4877
Na jambo zuri ni kwamba jamii zote zenye tatizo la trakoma zimeungana pamoja
02:38
to pool their efforts.
42
158072
1765
kushirikisha juhudi zao.
02:40
We don't compete; we collaborate.
43
160157
3142
Hatushindani; tunashirikiana.
02:43
I have to tell you, that's not always the case
44
163712
2204
Nataka nikwambie, sio suala muda wote
02:45
in my experience in the NGO world.
45
165940
2614
katika uzoefu wangu wa dunia ya taasisi zisizo za kiserikali.
02:50
We've created something
46
170149
1823
Tumeunda taasisi
02:51
called the International Coalition for Trachoma Control.
47
171996
3797
inaitwa International Coalition for Trachoma Control.(Muungano wa Kimataifa wa Kuzuia Trakoma)
02:56
And together, we've developed a strategy to fight it.
48
176298
3924
Na pamoja, tumeweka mkakati wa kupambana na trakoma.
03:00
This strategy is called the SAFE strategy,
49
180719
2945
Huuna mkakati unaitwa mkakati wa SAFE,
03:03
and it's been approved by the World Health Organization.
50
183688
3333
na umethibitishwa na Shirika la Afya Duniani.
03:07
The "S" stands for "surgery."
51
187434
2364
"S" inamaanisha "surgery"(upasuaji)
03:10
It's very straightforward procedure
52
190292
2031
Ni utaratibu rahisi wa mara moja
03:12
to turn the eyelids back the right way.
53
192347
2363
kurekebisha kope katika hali yake ya kawaida.
03:15
We train nurses to do it,
54
195141
2000
Tunawafundisha manesi kufanya huu upasuaji,
03:17
and they use local anesthetics.
55
197165
2047
na wanatumia ganzi za kawaida.
03:19
And as you can see, you can do it in somebody's front porch, if need be.
56
199236
4555
Na kama unavyoweza kuona, unaweza ukaufanyia kwenye kibaraza cha mwenye nyumba, kama inahitajika.
03:24
Then "A" stands for "antibiotics."
57
204688
2769
Kisha "A" inamaanisha "antibiotics"(dawa viuavijasumu).
03:27
These are donated by Pfizer,
58
207982
2778
Hizi zinatolewa kama msaada na Pfizer,
03:30
who also pay for those drugs to be transported to the port in-country.
59
210784
4960
ambae analipia kwa ajili ya kusafirisha hizo dawa kwenye bandari ya nchi husika.
03:35
From there, they're taken to the villages,
60
215768
3286
Kutokea pale, zinapelekwa vijijini,
03:39
where hundreds of thousands of community volunteers
61
219078
4817
ambapo mamia ya maelfu ya wanajamii wanaojitolea
03:43
will distribute those drugs to the people.
62
223919
3032
husambaza dawa hizo kwa watu.
03:47
Now, we train those volunteers,
63
227696
2437
Sasa, huwa tunawafundisha wanaojitolea,
03:50
and we also help the ministries with all that complex logistics.
64
230157
4064
na pia tunasaidia wizara katika namna nzima ya kuendesha zoezi.
03:54
And every one of those volunteers has a pole like this.
65
234819
4837
Na kila mtu anaejitolea ana mlingoti kama huu.
04:00
It's called a "dose pole."
66
240526
1734
Unaitwa "mlingoti wa tiba."
04:02
This one's from Cameroon.
67
242606
1666
Huu umetokea Cameroon.
04:04
And you can see it's marked different colors,
68
244759
2430
Na unaweza kuona umewekewa alama zenye rangi mbalimbali,
04:07
and you can tell how many pills you should give somebody,
69
247213
3570
na unaweza jua ni vidonge vingapi unaweza mpatia mgonjwa.
04:10
based on how tall they are.
70
250807
1800
kulingana na kimo chao.
04:14
"F" stands for "face washing."
71
254442
2439
"F" inamaanisha "face washing"(kuosha uso).
04:17
Now, we used to have trachoma in the UK and in the US.
72
257498
3698
Sasa, tuliwahi kuwa na trakoma katika nchi za Marekani na Uingereza.
04:21
In fact, President Carter,
73
261220
1992
Katika uhalisia, Rais Carter,
04:23
he talks about how trachoma was a real problem in Georgia
74
263236
3817
anaongelea namna gani trakoma ilikuwa ni tatizo kubwa maeneo ya Georgia
04:27
when he was a little boy.
75
267077
1525
alipokuwa mdogo.
04:29
And in the UK, the famous eye hospital, Moorfields,
76
269046
3983
Na Uingereza, hospitali maarufu ya macho, Moorfields,
04:33
was originally a trachoma hospital.
77
273053
2267
hapo mwanzo ilikuwa ni hospitali ya trakoma.
04:36
What we do is teach kids like this how important it is to wash their faces.
78
276039
5847
Tunachofanya ni kufundisha watoto kwamba ni muhimu kuosha nyuso zao.
04:42
And finally, "E" stands for "environment,"
79
282976
3000
Na mwisho, "E" inamaanisha "environment"(mazingira),
04:46
where we help the communities build latrines,
80
286000
2880
ambapo tunasaidia jamii kujenga vyoo,
04:48
and we teach them to separate their animals from their living quarters
81
288904
3849
na tunawafundisha kuwatenganisha wanyama wao mbali na nyumba wanapoishi
04:52
in order to reduce the fly population.
82
292777
2600
kwa ajili ya kupunguza mazalia ya nzi.
04:56
So we know how to tackle the disease.
83
296190
3277
Kwa hiyo tunafahamu namna ya kuushinda ugonjwa.
04:59
But we need to know where it is.
84
299491
2269
Lakini tunahitaji kujua upo wapi.
05:01
And we do,
85
301784
1374
Na tunafahamu,
05:03
because a few years ago, Sightsavers led an incredible program
86
303182
4603
Kwa sababu miaka michache iliyopita, taasisi ya Sightsavers waliongoza zoezi bora sana
05:07
called the Global Trachoma Mapping Project.
87
307809
2872
liitwalo the Global Trachoma Mapping Project(Ramani ya Dunia ya Trakoma).
05:11
It took us three years,
88
311158
2305
Ilituchukua miaka mitatu,
05:13
but we went through 29 countries,
89
313487
3353
na tulitembea katika nchi 29,
05:16
and we taught local health workers to go district by district,
90
316864
5048
na tuliwafundisha watumishi wa afya kutembelea wilaya baada ya wilaya,
05:21
and they examined the eyelids of over two and a half million people.
91
321936
5023
na walichunguza kope za watu zaidi ya milioni mbili na nusu,
05:27
And they used Android phones in order to download the data.
92
327380
3917
na walitumia simu za Android kwa ajili ya kupakua taarifa.
05:31
And from that, we were able to build a map
93
331776
2777
Na kuanzia hapo, tuliweza kutengeneza ramani
05:34
that showed us where the disease was.
94
334577
2524
inayoonyesha wapi ugonjwa ulipo.
05:37
Now, this is a very high-level map
95
337125
2422
Sasa, hii ni ramani ya ngazi ya juu
05:39
that shows you which countries had a problem with trachoma.
96
339571
3785
ambayo inaonyesha nchi gani zina tatizo la trakoma.
05:43
And you may ask me, "Well, does this strategy actually work?"
97
343380
3831
Na unaweza kuniuliza, "Sasa, mkakati huu unafanya kazi kweli?"
05:47
Yes, it does.
98
347634
1190
Ndiyo, unafanya kazi.
05:49
This map shows you the progress that we've made to date.
99
349426
3353
Hii ramani inaonyesha hatua tulizopiga mpaka sasa.
05:52
The green countries believe they've already eliminated trachoma,
100
352803
4072
Nchi za kijani zinaamini kwamba zimeshaondoa trakoma,
05:56
and they have either been through or are in the process of
101
356899
2984
na washapata au wapo katika hatua za
05:59
having that validated by the WHO.
102
359907
2711
kupata uthibitisho wa kutokomeza ugonjwa toka kwa WHO.
06:02
Countries in yellow have the money they need,
103
362642
2627
Nchi za njano wana fedha wanazohitaji,
06:05
they have the resources to eliminate trachoma.
104
365293
3270
wana rasilimali kwa ajili ya kuondoa trakoma.
06:08
And some of them are really nearly there.
105
368937
2477
Na baadhi ya wanakaribia
06:11
But the red countries, they don't have enough funding.
106
371795
3079
Lakini nchi nyekundu, hawana fedha za kutosha.
06:14
They cannot eliminate trachoma unless they get more.
107
374898
3365
Hawawezi kuondoa trakoma kama wasipopata fedha zaidi.
06:18
And we're quite concerned, though, that the progress to date may stall.
108
378721
4386
Na tunaona kwamba unatuhusu, ingawa, muendelezo umekwama mpaka sasa.
06:23
So when we were talking to the Audacious ideas guys,
109
383857
4777
Kwa hiyo tulivyokuwa tukiongelea kuhusu mradi wa Audacious,
06:28
we asked ourselves:
110
388658
1786
tulijiuliza maswali:
06:30
If we really, really pushed ourselves over the next four or five years
111
390468
4468
Kama kweli, tukiweza kujisukuma ndani ya miaka minne au mitano ijayo
06:34
and we had the money,
112
394960
1833
na tukawa na fedha,
06:36
what do we think we could achieve?
113
396817
2047
tunadhani tunaweza fanikisha mambo gani?
06:39
Well, we believe that we can eliminate trachoma
114
399523
4849
Hata hivyo, tunaamini kwamba tunaweza kuondoa trakoma
06:44
in 12 African countries
115
404396
2420
katika nchi 12 za Kiafrika
06:47
and across the Americas
116
407245
3176
na katika nchi za America
06:50
and all across the Pacific.
117
410445
2252
na kote katika Pacific.
06:53
And we can make significant progress
118
413150
3022
Na tunaweza fanya mabadiliko makubwa
06:56
in two countries which have the highest burden of the disease,
119
416196
3795
katika nchi mbili ambazo zina mzigo wa magonjwa,
07:00
which is Ethiopia and Nigeria.
120
420015
2770
ambazo ni Ethiopia na Nigeria.
07:03
And in doing all of that,
121
423237
2072
Katika kufanya hayo yote,
07:05
we can leverage more than two billion dollars' worth of donated drugs.
122
425333
5682
tunaweza kupata zaidi ya dawa zenye thamani ya kiasi cha dola za Kimarekani bilioni mbili(shilingi za Kitanzania takribani trilioni nne)
07:11
(Applause)
123
431039
6214
(Makofi)
07:17
Now, this map here shows you the impact that we'll have --
124
437277
2776
Sasa, hii ramani inakuonyesha mafanikio tutayopata --
07:20
look how many countries are going green.
125
440077
2318
angalia nchi ngapi zinazoelekea kuwa kijani.
07:22
And there, you can see progress in Ethiopia and Nigeria.
126
442419
3048
Na hapo, utaweza kuona maendeleo katika nchi za Ethiopia na Nigeria.
07:25
Now, yes, there are some countries that are still red.
127
445491
2921
Sasa, bado kuna nchi ambazo ni nyekundu.
07:28
These are mainly countries which are in conflict --
128
448436
2801
Hizi ni nchi ambazo zipo katika migogoro --
07:31
places like Yemen, South Sudan -- where it's very difficult to work.
129
451261
3789
sehemu kama Yemen, Sudani Kusini -- ambapo ni ngumu kufanya kazi.
07:35
So, we have the team, the strategy and the map.
130
455555
4785
Kwa hiyo, tuna timu, mkakati na ramani.
07:40
And we also have the relationships with the governments
131
460364
4072
Na pia tuna mahusiano na serikali
07:44
so that we can make sure that our program is coordinated
132
464460
3902
kwa hiyo tunaweza kuhakikisha kwamba zoezi linaunganishwa
07:48
with other disease-control programs,
133
468386
2287
na mazoezi mengine yanayohusiana na kupambana na magonjwa,
07:50
so that we can be efficient.
134
470697
1867
ili kuongeza ufanisi zaidi.
07:53
Wouldn't it be amazing if we could do this?
135
473449
4231
Haitakuwa nzuri kama tutaweza kufanya hivi?
07:57
We'd have trachoma on the run.
136
477704
2254
Tuna ugonjwa wa trakoma bado.
07:59
We would be on the home straight
137
479982
2335
Tungeweza kuwepo nyumbani
08:02
to eliminate this disease from the whole world.
138
482341
3374
na kuweza kuondoa ugonjwa huu duniani kote.
08:06
But before I finish, I just want to share with you
139
486800
2913
Lakini kabla sijamaliza, nataka kuwashirikisha
08:09
some words from the founder of Sightsavers,
140
489737
2503
maneno baadhi kutoka kwa muanzilishi wa taasisi ya Sightsavers
08:12
a guy called Sir John Wilson.
141
492264
2283
bwana mmoja anayeitwa Sir John Wilson
08:14
Now, he was blinded at the age of 12.
142
494571
2393
Sasa, alipata upofu akiwa na miaka 12.
08:16
And he said,
143
496988
1297
Na alisema,
08:18
"People don't go blind by the million.
144
498309
2600
"Watu hawapati upofu wakiwa mamilioni.
08:21
They go blind one by one."
145
501468
2698
Wanapata upofu mmoja kwa mmoja."
08:24
And in the excitement of being able to say
146
504658
2544
Na shauku ya kuweza kusema kwamba
08:27
we've got rid of trachoma for the whole country,
147
507226
3424
tumeweza kuondokana na trakoma kwa nchi nzima,
08:30
let's not forget that, actually, this is a devastating disease
148
510674
4619
tusisahau ya kwamba, kwa uhalisia, hii ugonjwa mbaya sana
08:35
that destroys the lives of individual people.
149
515317
3038
ambao unaharibu maisha ya watu wengi.
08:39
People like Twiba.
150
519156
1501
Watu kama Twiba.
08:40
Now, I met Twiba last year in Tanzania.
151
520681
2600
Sasa, nilikutana na Twiba mwaka jana nchini Tanzania.
08:43
She had had trachoma for as long as she could remember.
152
523618
3245
Alikuwa na trakoma katika muda wote anaoweza kukumbuka.
08:46
And a couple of months before I met her, she'd had the operation.
153
526887
3406
Na miaka kadhaa kabla sijaonana nae, alifanyiwa upasuaji.
08:50
It's no exaggeration to say
154
530660
2474
Sio kitu cha kukuza kusema
08:53
that this had totally transformed her life.
155
533158
3293
kwamba upasuaji huu umebadili maisha yake moja kwa moja.
08:57
We'd saved the sight that she had left, and she was free of pain.
156
537198
3983
Tumeokoa uono, na ameondokana na maumivu,
09:01
She could sleep.
157
541515
1532
Anaweza kulala.
09:03
She could work, she could socialize.
158
543071
2158
Anaweza kufanya kazi, na pia kujumuika na wenzake.
09:05
And she said to me,
159
545848
1300
Na aliniambia,
09:08
"I have my life back."
160
548222
1888
"Nimerudishiwa maisha yangu tena."
09:10
And it was impossible not to be moved by her story.
161
550587
3466
Na ni vigumu kutohamasika kutokana na hadithi ya maisha yake.
09:14
But there are so many Twibas.
162
554445
2317
Lakini wengi waliopo kama Twiba.
09:16
I want to find all the Twibas,
163
556786
2540
Nataka niwatafute watu wote kama Twiba,
09:19
and I don't want anyone to go blind in agony anymore.
164
559350
3272
na sitaki mtu yoyote awe mpofu na mwenye maumivu tena.
09:23
Now, you know, there are so many intractable problems in this world.
165
563138
5165
Sasa, unajua, kuna matatizo mengi sana duniani ambayo ni magumu kutatua.
09:29
But this is not one of them.
166
569333
1720
Lakini hili siyo mojawapo.
09:31
This is something that we can solve.
167
571602
2952
Hili ni tatizo ambalo tunaweza kulitatua.
09:34
And we can ensure
168
574983
1500
Na tunaweza hakikisha
09:36
that kids like this can grow up free from the fear of trachoma.
169
576507
5268
kwamba watoto kama hawa wanakua katika mazingira yasiyo na trakoma.
09:42
So, for the sake of kids like this,
170
582261
3365
Kwa hivyo, kwa ajili ya watoto kama hawa,
09:45
and for the sake of people like Twiba,
171
585650
2387
na kwa ajili ya watu kama Twiba,
09:48
let's get rid of trachoma.
172
588849
2503
tuondokane na trakoma.
09:52
Do you think we can?
173
592391
2111
Unadhani tunaweza?
09:55
Well, yeah, if we really, really want to.
174
595010
2667
Ndiyo, kama kweli tunataka.
09:58
Yes, we can.
175
598121
1486
Ndiyo tunaweza.
10:00
So thank you.
176
600060
1167
Asante!
10:01
(Applause)
177
601251
5507
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7