Can you solve the giant iron riddle? - Alex Gendler

2,586,373 views ・ 2018-11-27

TED-Ed


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Clarence Bitegeko Reviewer: Nelson Simfukwe
Familia ya majitu makubwa unayoifanyia kazi
00:07
The family of giants you work for
0
7881
2360
00:10
is throwing a fancy dinner party,
1
10241
2190
imeandaa karamu ya kuvutia,
00:12
and they all want to look their best.
2
12431
2320
na wote wataka kuonekana wakiwa katika uzuri wao
00:14
But there’s a problem –
3
14751
1270
Lakini kuna tatizo moja -
00:16
the elder giant’s favorite shirt is wrinkled!
4
16021
3220
shati pendwa la kubwa la majitu limejikunja
00:19
To fix it, you’ll need to power up…
5
19241
2390
Kurekebisha, unatakiwa kuwasha...
00:21
the Giant Iron.
6
21631
2250
Pasi Kubwa.
00:23
The iron needs two giant batteries to work.
7
23881
3040
Pasi inahitaji betri mbili kubwa kufanya kazi.
00:26
You just had 4 working ones
8
26921
1850
Ulikuwa na 4 tu zifanyazo kazi
00:28
and 4 dead ones in separate piles,
9
28771
2740
na 4 mbovu katika marundo tofauti.
00:31
but it looks like the baby giant mixed them all up.
10
31511
3260
Lakini inaonekana mtoto wa majitu amezichanganya zote.
00:34
You need to get the iron working and press the giant shirt, fast –
11
34771
3790
Unatakiwa kufanya pasi ifanye kazi na kunyoosha shati kubwa, haraka -
00:38
or you’ll end up being the main course tonight!
12
38561
3190
au utaishia kuwa mlo mkuu usiku huu!
00:41
How can you test the batteries
13
41751
1650
Unawezaje kupima betri
00:43
so that you’re guaranteed to get a working pair in 7 tries or less?
14
43401
4970
ili uwe na uhakika wa kupata jozi nzima katika majaribio 7 au pungufu?
00:48
Pause the video now if you want to figure it out for yourself
15
48371
3630
Simamisha video sasa kama unataka kupiga hesabu mwenyewe
00:52
Answer in 3
16
52001
1040
Jibu ndani ya: 3
00:53
Answer in 2
17
53041
1160
Jibu ndani ya: 2
00:54
Answer in 1
18
54201
1460
Jibu ndani ya: 1
00:55
You could, of course, take all eight batteries
19
55671
2192
Ungeweza kuchukua betri zote nane
00:57
and begin testing the 28 possible combinations.
20
57863
3300
na kuanza kujaribu miungano yote 28 iwezekanayo.
01:01
You might get lucky within the first few tries.
21
61163
2620
Unaweza bahatika ndani ya majaribio machache ya kwanza
01:03
But if you don’t, moving the giant batteries that many times
22
63783
3350
Lakini usipobahatika, kuhamisha betri kubwa mara nyingi hivyo
01:07
will take way too long.
23
67133
1760
kutachukua muda mrefu sana.
01:08
You can’t rely on luck –
24
68893
1520
Huwezi kutegemea bahati
01:10
you need to assume the worst possibility and plan accordingly.
25
70413
4550
unatakiwa kufikiria matokeo mabaya kabisa na kupanga ipasavyo.
01:14
However, you don’t actually need to test every possible combination.
26
74963
4838
Hata hivyo, huhitaji kujaribu kila muungano unaowezekana
01:19
Remember – there are four good batteries in total,
27
79801
3519
Kumbuka kuna betri 4 nzima kwa ujumla,
01:23
meaning that any pile of six you choose
28
83320
2740
ikimaanisha kuwa rundo lolote la 6 utakalochagua
01:26
will have at least two good batteries in it.
29
86060
2890
litakuwa na walau betri mbili nzima ndani yake.
01:28
That doesn’t help you right away,
30
88950
1680
Hiyo haikusaidii papo hapo,
01:30
since testing all six batteries could still take as many as 15 tries.
31
90630
4570
sababu kujaribu betri zote sita kunaweza kuchukua hata majaribu 15
01:35
But it does give you a clue to the solution –
32
95200
2999
Lakini inakupa dokezo kuelekea ufumbuzi -
01:38
dividing the batteries into smaller subsets narrows down the possible results.
33
98199
5510
kugawa betri katika sehemu ya seti ndogo ndogo inapunguza idadi ya matokeo
01:43
So instead of six batteries,
34
103718
1980
Kwa hiyo badala ya betri sita
01:45
let’s take any three.
35
105698
1930
tuchukue betri tatu zozote.
01:47
This group has a total of three possible combinations.
36
107628
3670
kundi hili lina jumla ya miungano mitatu inayowezekana
01:51
Since both batteries have to be working for the iron to power up,
37
111298
3470
Kwa kuwa betri zote zatakiwa kufanya kazi ili pasi iwake,
01:54
a single failure can’t tell you whether both batteries are dead, or just one.
38
114768
4890
Kushindwa mara moja hakuwezi kukwambia kama betri zote mbovu au moja tu.
01:59
But if all three combinations fail,
39
119658
2530
Lakini miungano yote mitatu ikishindwa,
02:02
then you’ll know this group has either one good battery, or none at all.
40
122188
5090
hapo utajua kuwa kundi hili lina aidha betri moja nzima au zote mbovu
02:07
Now you can set those three aside
41
127278
2315
Sasa unaweza kuziweka hizo tatu pembeni
02:09
and repeat the process for another three batteries.
42
129593
3170
na kurudia mchakato huo kwa betri nyingine tatu
02:12
You might get a match, but if every combination fails again,
43
132763
3780
Unaweza kupata zinazoendana, lakini miungano yote ikishindikana tena,
02:16
you’ll know this set can have no more than one good battery.
44
136543
3710
utajua kuwa seti hii haina zaidi ya betri moja nzima.
02:20
That would leave only two batteries untried.
45
140253
2900
Hiyo itaacha betri mbili tu ambazo hazijajaribiwa.
02:23
Since there are four good batteries in total
46
143153
2330
Kwa kuwa kuna betri nne nzima kwa ujumla
02:25
and you’ve only accounted for two so far,
47
145483
2780
na umetambua mbili tu hadi sasa
02:28
both of these remaining ones must be good.
48
148263
2840
mbili zilizobakia lazima zitakuwa nzima tu.
02:31
Dividing the batteries into sets of 3, 3, and 2
49
151103
3590
Kugawa betri katika seti za 3, 3, na 2
02:34
is guaranteed to get a working result in 7 tries or less,
50
154693
4080
kunatoa hakika kupata jibu sahihi katika majaribio 7 au pungufu
02:38
no matter what order you test the piles in.
51
158773
2990
bila kujali mpangilio unaojaribia marundo.
02:41
With no time to spare, the iron comes to life,
52
161763
2930
Bila kuwa na muda wa ziada, pasi inawaka,
02:44
and you manage to get the shirt flawlessly ironed.
53
164693
3070
na unaweza kufanya shati lipigwe pasi vizuri.
02:47
The pleased elder and his family show up to the party dressed to the nines
54
167763
4337
Mkubwa wa majitu aliyeridhika na familiaye wataingia karamuni wakivalia maridadi sana
02:52
… well, almost.
55
172100
2300
....naam, karibia.
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7