What should electric cars sound like? | Renzo Vitale

70,870 views ・ 2019-01-31

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Doris Mangalu
00:13
Let's start with silence.
0
13289
2084
Tuanze na ukimya.
00:23
Silence is one of the most precious conditions for humans,
1
23028
4485
Ukimya ni hali yenye thamani kwa wanadamu,
00:27
because it allows us to feel the depth of our presence.
2
27537
3364
kwa sababu inatufanya kuhisi kina cha uwepo wetu.
00:32
This is one of the reasons why the advent of electric cars
3
32072
3238
Hii ni moja ya sababu kwanini ujio wa gari za umeme
00:35
has generated lots of enthusiasm among people.
4
35334
2873
umetengeneza hamasa kubwa kwa watu.
00:38
For the first time, we could associate the concept of cars
5
38679
4377
Kwa mara ya kwanza, tuliweza husisha muundo wa gari
00:43
with the experience of silence.
6
43080
1761
na mazoea ya ukimya.
00:45
Cars can finally be quiet:
7
45824
2025
Magari hatimaye yanaweza kuwa kimya:
00:48
peace in the streets,
8
48770
1453
amani katika mitaa,
00:50
a silent revolution in the cities.
9
50247
2412
mapinduzi ya ukimya katika majiji.
00:56
(Hum)
10
56762
6381
(Hum)
01:05
But silence can also be a problem.
11
65659
2167
Lakini unaweza pia kuwa tatizo.
01:08
The absence of sound, in fact, when it comes to cars,
12
68801
3978
Ukosefu wa sauti, kwa hakika, unapokuja katika gari,
01:12
it can be quite dangerous.
13
72803
1285
inaweza kuwa hatari sana.
01:14
Think of blind people,
14
74907
2039
Fikiria watu wasiiona,
01:16
who can't see a car which is approaching.
15
76970
2183
wasioweza kuona gari linalowasogelea.
01:20
And now, if it's electric, they can't even hear it.
16
80666
2629
Na sasa, kama ni la umeme, hawawezi kabisa kulisikia.
01:24
Or think of every one of us as we are walking around the city,
17
84038
3360
Au fikiria kuhusu kila mmoja wetu tunapotembea katika jiji,
01:27
we are absorbed in our thoughts, and we detach from the surroundings.
18
87422
3901
tumezama katika mawazo yetu, na tumeachana na mazingira.
01:32
In these situations, sound can become our precious companion.
19
92630
4397
Katika hali hii, sauti inaweza kuwa mshiriki mwenye thamani.
01:38
Sound is one of the most wonderful gifts of our universe.
20
98552
4532
Sauti ni moja ya zawadi murua katika ulimwengu.
01:43
Sound is emotion
21
103108
1198
Sauti ni hisia
01:45
and sound is sublime,
22
105259
1563
na sauti ni utukufu,
01:48
and when it comes to cars, sound is also information.
23
108329
3319
na inapokuja kwenye gari, sauti pia ni taarifa.
01:53
In order to protect pedestrians
24
113606
1930
Ili kuweza kuwalinda watembea kwa miguu
01:55
and to give acoustic feedback to the drivers,
25
115560
2975
na kutoa mrejesho wa sauti kwa madereva,
01:58
governments around the world have introduced several regulations
26
118559
4212
serikali dunia kote wameunda namna baadhi za udhibiti
02:02
which prescribe the presence of a sound for electric vehicles.
27
122795
3809
ambazo zinawajibisha uwepo wa sauti katika magari ya umeme.
02:07
In particular, they require minimum sound levels
28
127454
3794
Katika uhalisia, zinahitaji sauti kiasi kidogo
02:11
at specific frequency bands
29
131272
2169
katika mrudio wa mawimbu mahususi
02:13
up to the speed of 30 kilometers per hour.
30
133465
2539
hadi kilomita 30 kwa saa.
02:17
Besides this speed,
31
137798
1231
Ukiachana na kasi,
02:19
the natural noise of the car is considered as sufficient.
32
139053
3657
sauti halisi ya gari huchukiliwa kama ya kutosha.
02:24
These regulations have generated different reactions
33
144999
3587
Sheria hizi zimetengeneza maoni tofauti
02:28
among those who favor sounds and those who fear the presence
34
148610
3977
kati ya wale ambao wanahitaji sauti na wale walio na hofu ya uwepo
02:32
of too much noise in the city.
35
152611
1673
wa kelele nyingi katika jiji.
02:35
However, I don't see it as the noise of the car.
36
155739
4690
Hata hivyo, Sioni kwamba ni kelele ya gari.
02:41
I rather see it as the voice of the car.
37
161792
3248
Naona kwamba ni sauti ya gari.
02:46
And this is one of my biggest challenges, and privileges, at the same time.
38
166422
3587
Na hii ndiyo changamoto yangu kubwa, na kipaumbele, kwa wakati mmoja.
02:50
I design the voice of electric cars.
39
170954
2396
Ninarasimu sauti ya gari za umeme.
02:55
We all know how a combustion engine sounds like,
40
175800
3479
Tunaelewa namna gani injini za moto zinavyotoa mlio,
02:59
and we do actually also know how an electric engine sounds like.
41
179303
3322
na pia tunaelewa namna gani gari za umeme zinavyotoa mlio.
03:03
Think of the electric tramway.
42
183276
2159
Fikiria kuhusu mkokoteni wa umeme.
03:05
As soon as it moves,
43
185459
1214
Pale unapotembea,
03:06
it creates this ascending high-frequency pitch sound,
44
186697
3799
hutengeneza sauti inayopanda ambayo ni kali,
03:10
which we called "whistling" sound.
45
190520
1867
ambayo tunaita sauti ya "filimbi".
03:13
However, if we would just amplify this sound,
46
193907
3342
Hata hivyo, kama tutaweza kuongeza sauti hii,
03:17
we would still not be able to fulfill the legal requirements.
47
197273
3786
hatutaweza kufikia kanuni zilizowekwa.
03:21
That's also why we need to compose new sound.
48
201083
3365
Ndiyo maana tunahitaji kutengeneza sauti mpya.
03:25
So how do we go after it?
49
205481
2070
Sasa tunafanyaje?
03:29
In many cities, the traffic is already very chaotic,
50
209178
3538
Katika majiji mengi, msongamano wa magari una vurugu sana,
03:32
and we don't need more chaos.
51
212740
1612
na hatuhitaji vurugu nyingine.
03:35
But the streets of the 21st century are a great case study
52
215221
5077
Lakini mitaa ya karne ya 21 hutupa somo zuri sana
03:40
teeming with transience, cross purposes and disarray.
53
220322
3730
zikitiririka kutangatanga, na mvurugiko.
03:45
And this landscape offers a great opportunity
54
225337
3255
Na uwanda huu unatoa nafasi nzuri
03:48
for developing new solutions on how to reduce this chaos.
55
228616
4190
ya kutengeneza fumbuzi mpya za namna ya kuondoa hizi vurugu.
03:54
I have conceived a new approach that tries to reduce the chaos
56
234663
4470
Nimeunda namna mpya ya kujaribu kupunguza huu mvurugano
03:59
by introducing harmony.
57
239157
1767
kwa kuleta mlingano.
04:02
Since many people don't know how an electric car could sound like,
58
242898
4143
Vile kwamba watu wengi hawafahamu namna ambavyo gari la umeme linatoa sauti,
04:07
I have to define, first of all, a new sound world,
59
247065
4289
Natakiwa kufafanua, kwanza ya yote, dunia mpya ya sauti,
04:11
something that doesn't belong to our previous experience
60
251378
3653
jambo ambalo halipo katika mazoea ya nyuma
04:15
but creates a reference for the future.
61
255055
2466
lakini linatengeneza kumbukumbu ya kesho.
04:19
Together with a small team, we create lots of sonic textures
62
259072
4325
Pamoja na timu ndogo, tunatengeneza sauti za kusikika na wanadamu
04:23
that are able to transmit emotion.
63
263421
3738
ambazo zinaweza safirisha hisia.
04:28
Just like a painter with colors,
64
268064
2173
Kama vile mchoraji na rangi,
04:30
we are able to connect feelings and frequencies
65
270261
4473
tunaweza kuunganisha hisia na mrudio wa mawimbi
04:34
so that whenever one is approaching a car,
66
274758
2480
ili kwamba pale mtu anaposogelea gari,
04:37
we can feel an emotion
67
277262
1815
tunaweza kujisikia hisia
04:39
which, besides fulfilling the legal requirements,
68
279101
3906
ambazo, ukiachalia kwamba zinafuata matakwa ya serikali,
04:43
speaks also about the character and the identity of the car.
69
283031
3951
pia huongea kuhusu tabia na utambulisho wa gari.
04:49
I call this paradigm "sound genetics."
70
289837
3104
Naita namna hii "jenetikia ya sauti."
04:54
With sound genetics, I define, first of all, an aesthetic space of sound,
71
294433
5644
Na jenetikia ya sauti, naelezea, kwanza kuliko yote, nafasi ya sauti,
05:00
and at the same time, I search for new, innovative methods
72
300101
4202
na wakati huo huo, natafuta njia mpya za ufumbuzi
05:04
for generating soundscapes that we don't know,
73
304327
2813
za kutengeneza mazingira ya sauti ambayo hatufahamu,
05:08
soundscapes that allow us to envision abstract worlds,
74
308533
4658
mazingira ya sauti yanayoturuhusu kuwaza dunia ya kufikirika,
05:14
to make them tangible and audible.
75
314083
2045
kuipa uhalisia na yenye kusikika.
05:18
Sound genetics is based on three steps.
76
318420
3007
Jenetikia ya sauti inahusiana na hatua tatu.
05:22
The first one is the definition of a sonic organism,
77
322266
3693
Ya kwanza ni kuelezea kiumbe anayesikia,
05:27
the second one is a description of sonic variations,
78
327313
3579
cha pili ni kudadafua mabadiliko ya sauti,
05:31
and the third one is the composition of sound genes.
79
331884
4246
na ya tatu ni utengenezaji wa jeni za sauti.
05:38
The description of a sonic organism is based on a cluster of properties
80
338732
5695
Maelezo ya kiumbe anayesikia yanatokana na muunganiko wa tabia
05:44
that every sound that I compose should have.
81
344451
3377
za kila sauti ninayotengeneza inakua nayo.
05:50
[Sound is moving.]
82
350804
1513
[Sauti inasafiri]
05:52
I transfer to a small sound entity, such as the sound of a car,
83
352341
5260
Nasafirisha katika sauti ndogo, kama vile sauti ya gari,
05:58
the power of the motion of music,
84
358410
2929
nguvu ya mrindimo wa muziki,
06:01
so that sound can move so.
85
361363
1594
ili sauti inaweza safiri.
06:04
[Sound is acting.]
86
364313
1385
[Sauti inatenda.]
06:05
And just like a dancer on a stage,
87
365722
1919
Na kama kwa mchezaji katika jukwaa,
06:07
sound will project trajectories of sound in the air.
88
367665
4230
sauti itatengeneza njia katika hewa.
06:14
[Sound is memory.]
89
374287
1151
[Sauti ni kumbukumbu.]
06:15
And it's not just about the sound of a car.
90
375462
2163
Na siyo tu kuhusu sauti ya gari.
06:18
It's the memory of my father coming back home.
91
378448
2975
Ni kumbukumbu ya baba yangu akirudi nyumbani.
06:23
[Sound is hypnotizing.]
92
383737
1537
[Sauti inavutia.]
06:25
And sound has the power to create an unexpected sense of wonder,
93
385298
5651
Na sauti ina nguvu ya kutengeneza maajabu yasiyotegemewa,
06:30
which hypnotizes.
94
390973
1427
ambayo huvutia.
06:34
And ultimately,
95
394004
1167
Na kwa ujumla,
06:35
[Sound is superhuman.]
96
395195
1475
[sauti ni binadamu wa ajabu.]
06:36
sound goes beyond the human condition,
97
396694
2000
sauti huenda zaidi ya hali ya kibinadamu,
06:38
because it allows us to transcend.
98
398718
2643
kwa sababu inaturuhusu sisi kujongea.
06:44
As a second step, we define the sonic variations.
99
404544
4301
Katika hatua ya pili, tunaeleza mabadiliko ya sauti.
06:49
[Identity prism]
100
409297
1174
[Prizmu ya utambuzi]
06:50
Just like humans, where different bodies generate different voices,
101
410495
4099
Kama vile wanadamu, ambapo miili hutengeneza sauti mbalimbali,
06:54
also different car shapes have a different acoustic behavior
102
414618
5254
na pia maumbo mbalimbali ya gari yana tabia mbalimbali za sauti
06:59
which depends on the geometry and the materials.
103
419896
2769
ambazo hutegemea maombi na malighafi.
07:03
So we have to know, first of all, how this car propagates the sound outside
104
423849
6214
Hivyo tunapaswa kujua, kwanza kabisa, jinsi gari hili husafirisha sauti nje
07:10
by means of acoustic measurements.
105
430087
1912
namna ya vipimo vya sauti.
07:13
And just like a single voice is able to produce different tones and timbres,
106
433650
5793
Na kama vile sauti moja inaweza kutoa mirindimo ya sauti mbalimbali,
07:19
at the same time, we produce different sonic variations
107
439467
3445
na kwa wakati huohuo, tunatengeneza utofauti mbalimbali wa sauti
07:22
within a space of eight words that I defined.
108
442936
4293
katika nafasi ya maneno nane ambayo naelezea.
07:28
And some of them are, to me, really important,
109
448074
2847
Na baadhi yao, kwangu, ni muhimu sana,
07:30
such as the concept of "visionary,"
110
450945
2264
kama vile suala la "maono,"
07:33
of "elegance," of "dynamic," of "embracing."
111
453233
3416
ya "utashi," ya "mabadiliko," ya "kufumbata."
07:39
And once we have defined these two aspects,
112
459757
3174
Na pale tutapoweza kuelezea hizi namna mbili,
07:42
we have what I call the identity prism,
113
462955
3056
tunakuwa tumepata ninaoita mche wa utambuzi,
07:46
which is something like the sonic identity card of a car.
114
466035
4181
ambao ni kama kadi ya utambuzi wa sauti ya gari.
07:53
And as a third step, we enter the world of the sound design,
115
473056
4914
Na katika hatua ya tatu, tunaingia katika dunia ya utengenezaji wa sauti,
07:59
where the sound genes are composed
116
479046
2785
ambapo jeni za sauti zinatengenezwa
08:01
and a new archetype is conceived.
117
481855
2343
na muundo mpya unatengenezwa.
08:05
Now let me show you another example
118
485610
2463
Sasa ngoja nikuonyeshe mfano mwingine
08:08
of how I transform a sound field into a melody.
119
488097
4266
wa namna ya kubadili sauti kuwa mlio
08:13
Think that I am a violin player on stage.
120
493847
2715
Fikiria kua mimi ni mpiga fidla jukwaani.
08:16
If I would start to play the violin,
121
496586
1746
Kama nitaanza kupiga fidla,
08:18
I would generate a sound field which would propagate in this hall,
122
498356
3976
Nitatengeneza sauti ambayo itatembea katika ukumbi huu,
08:22
and at some point, the sound field would hit the side walls
123
502356
3739
na kwa wakati huo huo, sauti itagonga kuta
08:26
and would be scattered all over the place.
124
506119
3569
na itasambaa hapa kote.
08:29
And this is how it looked like.
125
509712
1581
Na ndivyo itavyoonekana.
08:31
Some time ago, I captured several ways of sound to hit side walls.
126
511317
5848
Muda fulani uliopita, nilinasa namna baadhi ya sauti inavyogonga kuta.
08:38
And last year, I was asked by the Bavarian Radio Symphony Orchestra
127
518321
4103
Na mwaka jana, niliombwa na bendi ya Bavarian Radio Symphony
08:42
to compose ringtones that they were going to play.
128
522448
3832
kutengeneza milio ambayo wangeipiga.
08:46
So one of them, I had the idea to start from this sound field.
129
526820
4383
Katika mmoja wao, niliwaza kuanza na mrindimo wa sauti.
08:51
I took a section,
130
531728
1894
Nilichukua kipande,
08:53
I superimposed the section over the distribution
131
533646
2762
Nikakijumuisha katika mgawanyo
08:56
of the musicians onstage,
132
536432
2274
wa wanamuziki wakiwa jukwaani,
08:58
and then I followed the blooming of the sound field
133
538730
2830
na kisha nikifata mrindimo wa sauti
09:01
by means of three parameters:
134
541584
1423
kwa namna ya vipimo vitatu:
09:04
time, intensity and frequency.
135
544146
1639
muda, kiasi na mrudio wa mawimbi.
09:06
Then I wrote down all the gradients for each instrument,
136
546996
4862
Kisha nikaandika ulalo wa kila kifaa,
09:11
and as you can see, for instance,
137
551882
1591
na unaweza kuona, kwa mfano,
09:13
the piece will start with the string section playing very softly,
138
553497
4462
vipande vitaanza na kipande cha uzi kikipiga kwa umororo,
09:17
and then it's going to have a crescendo as the brasses, the woods will jump in,
139
557983
5963
na kisha kitaanza ongezeka pale shaba, mbao zitapoanza sikika,
09:23
and the melody will end with a harp and a piano
140
563970
3957
na mlio utaishia na kinubi na kinanda
09:27
playing on the highest range.
141
567951
2174
zikilia katika kiwango cha juu.
09:34
Let's listen how it sounded like.
142
574457
2343
Tusikilize inalia vipi.
09:39
(Ethereal music)
143
579495
6864
(Mziki wa mbinguni)
09:56
(Music ends)
144
596240
1150
(Muziki unaisha)
09:59
So this is the sound of my alarm clock, actually, in the morning.
145
599895
3227
Kwa hiyo huu ni mlio wa saa yangu inayoniamsha, kiukweli, asubuhi.
10:03
(Laughter)
146
603146
1150
(Kicheko)
10:05
And now let's go back to electric cars.
147
605707
2359
Na sasa turudi katika gari za umeme.
10:09
And let's listen to the first example that I showed you.
148
609338
5444
Na kisha tusikilize mfano wa kwanza ambao nimewaonyesha.
10:20
(Hum)
149
620089
7000
(Hum)
10:28
And now I would like to show you how a potential sound,
150
628600
5080
Na sasa nitawaonyesha namna gani mlio muhimu,
10:33
based on the sound genetics for electric cars, could sound like.
151
633704
4769
ambao unatokana na jini ya sauti kwa ajili ya gari za umeme, itasikika hivi.
10:39
(Ethereal music)
152
639926
3587
(Muziki wa mbinguni)
10:43
(Pitch rises with acceleration)
153
643537
6300
(Kiwango kinapanda na kuongezeka mwendo)
10:52
Cars are a metaphor of time, distance and journey,
154
652365
6770
Gari ni mifano inayohusiana na muda, umbali na safari,
10:59
of setting out and returning,
155
659159
3121
ya kuondoka na kurudi,
11:02
of anticipation and adventure,
156
662304
2781
ya shauku na safari,
11:05
but, at the same time, of intelligence and complexity,
157
665109
5135
lakini, kwa wakati huo huo, na utashi na utata,
11:10
of human intuition and accomplishment.
158
670268
2966
ya uelewa wa binadamu na mafanikio.
11:13
And the sound has to glorify all that.
159
673258
2492
Na sauti imetukuza hayo yote.
11:17
I see cars both as living creatures
160
677690
4196
Naona magari yote kama viumbe vinavyoishi
11:21
and as highly complex performative art installations.
161
681910
4055
na vifaa vilivyotengenezwa na sanaa tata sana.
11:27
The sounds that we envision through sound genetics
162
687984
3601
Sauti ambazo tunaziunda kupitia sauti za jenetikia
11:31
allow us not only to celebrate this complexity
163
691609
3678
sio tu zinaturuhusu kufurahia utata huu
11:36
but also to make the world a more elegant and safe space.
164
696735
4762
bali pia kufanya dunia iwe sehemu maridadi na yenye usalama.
11:42
Thank you.
165
702070
1152
Asante.
11:43
(Applause)
166
703246
3079
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7