The hidden opportunities of the informal economy | Niti Bhan

76,948 views ・ 2017-12-11

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
The informal markets of Africa are stereotypically seen
0
12901
3931
Masoko ya Afrika yasiyo rasmi huwekewa kasumba kwa kuonekana
00:16
as chaotic and lackadaisical.
1
16856
1847
vile yana kasheshe na goigoi.
00:19
The downside of hearing the word "informal"
2
19234
2653
Ubaya wa kusikia neno "yasiyo rasmi"
00:21
is this automatic grand association we have,
3
21911
2669
hutokana na jumuiya inayojiendesha ya misaada tuliyonayo,
00:24
which is very negative,
4
24604
1626
ambayo ina mitazamo hasi sana,
00:26
and it's had significant consequences and economic losses,
5
26254
4509
na ilikuwa na madhara makubwa katika kuanguka kwa uchumi,
00:30
easily adding -- or subtracting -- 40 to 60 percent of the profit margin
6
30787
5486
kuongeza kirahisi -- au kupunguza -- asilimia 40 hadi 60 ya ukomo wa faida
00:36
for the informal markets alone.
7
36297
2836
kwa masoko yasiyo rasmi pekee.
00:39
As part of a task of mapping the informal trade ecosystem,
8
39157
4302
Ikiwa moja ya jukumu la kuweka ramani ya mzunguko wa biashara zisizo rasmi,
00:43
we've done an extensive literature review
9
43483
2533
tumetengeneza machapisho kwa kina
00:46
of all the reports and research on cross-border trade in East Africa,
10
46040
4951
ya ripoti zote na tafiti kwenye biashara za mipakani katika ukanda wa Afrika Mashariki,
00:51
going back 20 years.
11
51015
1811
tukirudi nyuma hadi miaka 20.
00:52
This was to prepare us for fieldwork to understand what was the problem,
12
52850
4334
Hii ilikuwa ni kwa ajili ya kutuandaa kwa ajili ya kazi ya kwenda kutathmini tatizo ni nini,
00:57
what was holding back informal trade in the informal sector.
13
57208
4162
kipi kilichokuwa kinarudisha nyuma biashara isiyo rasmi katika sekta isiyo rasmi.
01:01
What we discovered over the last 20 years was,
14
61990
3504
Tulichogundua katika miaka 20 iliyopita ni kwamba,
01:05
nobody had distinguished between illicit --
15
65518
3753
hakuna aliyeweza kutofautisha kati ya magendo --
01:09
which is like smuggling or contraband in the informal sector --
16
69295
4445
ambayo ni sawa na upenyeshaji mali isiyo halali au iliyopigwa marufuku katika sekta isiyo rasmi --
01:13
from the legal but unrecorded,
17
73764
2340
na mali halali ambayo haikuwekwa katika kumbukumbu
01:16
such as tomatoes, oranges, fruit.
18
76128
3005
kama nyanya, machungwa, matunda.
01:19
This criminalization --
19
79697
2320
Uhalifu huu --
01:22
what in Swahili refers to as "biashara," which is the trade or the commerce,
20
82041
5198
ambao kwa kiswahili unafahamika kama "biashara," ambao ni biashara,
01:27
versus "magendo," which is the smuggling or contraband --
21
87263
3434
ukilinganisha na "magendo", ambayo upenyeshaji bidhaa usio halali --
01:30
this criminalization of the informal sector,
22
90721
3521
uhalifu katika sekta isiyo rasmi,
01:34
in English, by not distinguishing between these aspects,
23
94266
3869
kwa Kiingereza, bila kutofautisha nyanja hizi,
01:38
easily can cost each African economy between 60 to 80 percent addition
24
98159
5593
kwa urahisi inaweza kugharimu kila uchumi wa Afrika kati ya asilimia 60 hadi 80 ukiongezea
01:43
on the annual GDP growth rate,
25
103776
2768
katika ukuaji wa pato la taifa kwa mwaka,
01:46
because we are not recognizing the engine
26
106568
3734
kwa sababu hatujambua injini
01:50
of what keeps the economies running.
27
110326
2574
inayofanya uchumi kuendelea.
01:52
The informal sector is growing jobs at four times the rate
28
112924
3477
Sekta isiyo rasmi inaongeza ajira mara nne katika kiasi
01:56
of the traditional formal economy,
29
116425
1942
cha uchumi ulio rasmi,
01:58
or "modern" economy, as many call it.
30
118391
2557
au uchumi wa "kisasa", kama wengi wauitavyo.
02:00
It offers employment and income generation opportunities
31
120972
3466
Hutoa nafasi za ajira na kuweza kujipatia kipato
02:04
to the most "unskilled" in conventional disciplines.
32
124462
3697
kwa wale wengi ambao hawana "ujuzi wa darasani" katika nyanja mbalimbali za taaluma.
02:08
But can you make a french fry machine out of an old car?
33
128183
3636
Lakini, je unaweza kutengeneza mashine ya kukaanga chipsi kutokana na gari bovu?
02:12
So, this, ladies and gentlemen,
34
132403
3461
Kwa hiyo, hili, mabibi na mabwana,
02:15
is what so desperately needs to be recognized.
35
135888
3216
ni jambo ambalo linatakiwa kutambuliwa kwa shauku kubwa.
02:19
As long as the current assumptions hold that this is criminal,
36
139128
4258
Ambapo mtazamo wa sasa uliopo kuhusu sekta hii ni uhalifu,
02:23
this is shadow,
37
143410
1227
hiki ni kivuli,
02:24
this is illegal,
38
144661
1618
hii si halali,
02:26
there will be no attempt at integrating the informal economic ecosystem
39
146303
4460
hakutakiwa na madhumuni ya kuunganisha mzunguko wa uchumi usio rasmi
02:30
with the formal or even the global one.
40
150787
2948
na ule ulio rasmi au hata ule wa kiulimwengu.
02:34
I'm going to tell you a story of Teresia,
41
154968
2804
Nitawaeleza hadithi inayomuhusu Teresia,
02:37
a trader who overturned all our assumptions,
42
157796
4076
mfanyabiashara ambaye anapindua mitazamo yetu yote,
02:41
made us question all the stereotypes that we'd gone in on,
43
161896
3350
anatufanya kuhoji kasumba zetu zote tulizokuwa nazo,
02:45
based on 20 years of literature review.
44
165270
2906
ukihusisha na ripoti ya miaka 20 nyuma.
02:49
Teresia sells clothes under a tree in a town called Malaba,
45
169675
5489
Teresia anauza nguo chini ya mti katika mji unaoitwa Malaba,
02:55
on the border of Uganda and Kenya.
46
175188
2096
katika mpaka wa Uganda na Kenya.
02:57
You think it's very simple, don't you?
47
177876
2169
Unadhani ni rahisi sana, au sivyo?
03:00
We'll go hang up new clothes from the branches,
48
180810
2657
Tutakwenda ning'iniza nguo mpya kwenye matawi,
03:03
put out the tarp, settle down, wait for customers,
49
183491
2932
tutatandika turubai, kisha kuketi chini, kusubiri wateja,
03:06
and there we have it.
50
186447
1345
na hivyo ndivyo inakuwa.
03:07
She was everything we were expecting according to the literature,
51
187816
3385
Alikuwa ni mtu ambaye tuliona anarandana na yale yaliyomo katika ripoti,
03:11
to the research,
52
191225
1268
katika tafiti,
03:12
right down to she was a single mom driven to trade,
53
192517
3777
alikuwa ni mama mjane anayefanya biashara,
03:16
supporting her kids.
54
196318
1488
akilea watoto wake.
03:19
So what overturned our assumptions?
55
199092
2610
Ni kipi kilibadili udhanifu wetu?
03:21
What surprised us?
56
201726
1519
Kipi kilitushangaza?
03:23
First, Teresia paid the county government market fees
57
203269
3722
Kwanza, Teresia analipia kodi ya serikali ya soko la mkoa
03:27
every single working day
58
207015
1831
kila siku anayofanya biashara
03:28
for the privilege of setting up shop under her tree.
59
208870
3253
kutokana na kuweka biashara chini ya mti wake.
03:32
She's been doing it for seven years,
60
212147
2051
Amekuwa akifanya hivi kwa miaka saba,
03:34
and she's been getting receipts.
61
214222
1922
na amekuwa akipewa risiti.
03:36
She keeps records.
62
216560
1477
Anatunza kumbumkumbu.
03:38
We're seeing not a marginal,
63
218061
3167
Tunamuona asiye hafifu,
03:41
underprivileged,
64
221252
1347
masikini,
03:42
vulnerable African woman trader by the side of the road -- no.
65
222623
5816
mwanamke asiye na uwezo anayefanya biashara pembezoni mwa barabara -- hapana.
03:48
We were seeing somebody who's keeping sales records for years;
66
228463
4099
Tunamuona mfanyabiashara ambaye anatunza kumbukumbu za mauzo kwa miaka;
03:52
somebody who had an entire ecosystem of retail that comes in from Uganda
67
232586
6321
mtu ambaye amekuwa na mzunguko wote wa biashara za rejareja zitokazo Uganda
03:58
to pick up inventory;
68
238931
2315
hadi orodha ya uchukuaji;
04:01
someone who's got handcarts bringing the goods in,
69
241270
3862
aliye na mkokoteni unaoleta bidhaa,
04:05
or the mobile money agent who comes to collect cash
70
245156
2916
au wakala wa mfumo wa fedha wa simu anayekuja kuchukua pesa taslimu
04:08
at the end of the evening.
71
248096
1428
kila mwisho wa jioni.
04:09
Can you guess how much Teresia spends, on average,
72
249548
4408
Unaweza kisia ni kiasi gani Teresia hutumia, kwa wastani,
04:13
each month on inventory --
73
253980
2597
kila mwezi katika uorodheshaji bidhaa --
04:16
stocks of new clothes that she gets from Nairobi?
74
256601
2673
shehena ya nguo mpya ambazo anapata kutoka Nairobi?
04:19
One thousand five hundred US dollars.
75
259819
2190
Dola za Kimarekani elfu moja na mia tano.
04:22
That's around 20,000 US dollars invested in trade goods and services
76
262525
5440
Ambayo ni takribani dola za Kimarekani 20,000 zilizowekezwa kwenye katika bidhaa za biashara na huduma
04:27
every year.
77
267989
1555
kila mwaka.
04:29
This is Teresia,
78
269568
1450
Huyu ni Teresia,
04:31
the invisible one,
79
271042
1397
asiyeonekana,
04:32
the hidden middle.
80
272463
1280
aliyefichwa katikati.
04:34
And she's only the first rung of the small entrepreneurs,
81
274442
4093
Na huyu ni mtu wa ngazi ya kwanza ya wajasiriamali wadogo,
04:38
the micro-businesses that can be found in these market towns.
82
278559
4091
biashara ndogo ndogo zinazopatikana katika masoko ya ya miji hii.
04:42
At least in the larger Malaba border, she's at the first rung.
83
282674
4884
Angalau katika mpaka mkubwa wa Malaba, yupo katika ngazi ya kwanza.
04:48
The people further up the value chain
84
288523
2636
Watu wa mbele zaidi wanathamini mlolongo huu
04:51
are easily running three lines of business,
85
291183
3045
na kwa rahisi wanafanya biashara tatu,
04:54
investing 2,500 to 3,000 US dollars every month.
86
294252
5091
wakiwekeza dola za Kimarekani kati ya 2500 hadi 3000 kila mwezi.
04:59
So the problem turned out that it wasn't the criminalization;
87
299772
3980
Kwa hiyo tatizo lilikuja gundulika kwamba halikuwa uhalifu;
05:03
you can't really criminalize someone you're charging receipts from.
88
303776
4645
huwezi kumtuhumu mtu ambaye unamtoza na kumpa risiti.
05:08
It's the lack of recognition of their skilled occupations.
89
308957
5390
Ni ukosefu wa kutambua ujuzi wa kazi zao.
05:15
The bank systems and structures have no means to recognize them
90
315048
3996
Mifumo ya kibenki haina njia ya kuwatambua
05:19
as micro-businesses,
91
319068
1488
kama wafanyabiashara ndogo ndogo.
05:20
much less the fact that, you know,
92
320580
2578
pasipo kukataa ukweli, unajua,
05:23
her tree doesn't have a forwarding address.
93
323182
2208
mti wake hauna anuani.
05:25
So she's trapped in the middle.
94
325912
2326
Kwa hiyo amebanwa katikati.
05:28
She's falling through the cracks of our assumptions.
95
328262
2431
Anaangukia katika mpasuko wa dhana zetu.
05:30
You know all those microloans to help African women traders?
96
330717
3539
Unaijua ile mikopo midogo midogo ya kusaidia wanawake wa Kiafrika ambao ni wafanyabiashara?
05:34
They're going to loan her 50 dollars or 100 dollars.
97
334646
2830
Watampa mkopo wa dola za Kimarekani 50 au 100.
05:37
What's she going to do with it?
98
337500
1606
Atafanyia nini kiasi hiki?
05:39
She spends 10 times that amount every month
99
339130
2342
Anatumia mara 10 ya kiasi hicho kila mwezi
05:41
just on inventory --
100
341496
1602
katika uorodheshaji tu.
05:43
we're not talking about the additional services
101
343122
2287
hatuongelei huduma nyingine za ziada
05:45
or the support ecosystem.
102
345433
1834
au mzunguko wote.
05:47
These are the ones who fit neither the policy stereotype
103
347864
3588
Hawa ni wale ambao hawastahili kuwepo katika kasumba ya sera
05:51
of the low-skilled and the marginalized,
104
351476
2404
ya walio na ujuzi mdogo au wale duni,
05:53
nor the white-collar, salaried office worker
105
353904
2871
wala si mwajiriwa, ofisa anayelipwa mshahara
05:56
or civil servant with a pension
106
356799
1861
au mtumishi aliye na pensheni
05:58
that the middle classes are allegedly composed of.
107
358684
3372
ambapo ndipo watu wa kipato cha kati walipo.
06:02
Instead, what we have here are the proto-SMEs
108
362080
4552
Badala yake, tulichonacho hapa ni mifano ya viwanda vidogo na vya kati
06:06
these are the fertile seeds of businesses and enterprises
109
366656
3795
hizi ni mbegu zilizo na rutuba za biashara na viwanda
06:10
that keep the engines running.
110
370475
1943
ambazo zinafanya injini iendelee kutembea.
06:12
They put food on your table.
111
372442
1735
Vinaleta chakula mezani.
06:14
Even here in this hotel, the invisible ones --
112
374201
3073
Hata hapa katika hotel hii, wasioonekana --
06:17
the butchers, the bakers the candlestick makers --
113
377298
3452
wachinjaji nyama, watengeneza mikate na watengeneza mishumaa --
06:20
they make the machines that make your french fries
114
380774
2393
wanatengeneza mashine ambazo zinatengeneza chipsi
06:23
and they make your beds.
115
383191
1226
na wanatengeneza vitanda vyako,
06:24
These are the invisible businesswomen trading across borders,
116
384441
3405
Hawa ni wanawake ambao hawaonekani wanaofanya biashara mipakani,
06:29
all on the side of the road,
117
389037
2369
pembezoni mwa barabara,
06:31
and so they're invisible to data gatherers.
118
391430
2918
hawaonekani kwa watu wanaokusanya taarifa.
06:34
And they're mashed together with the vast informal sector
119
394704
3656
Na wanawekwa pamoja katika sekta kubwa isiyo rasmi
06:38
that doesn't bother to distinguish between smugglers and tax evaders
120
398384
5073
ambayo haihangaiki kutofautisha watu wanaopenyesha bidhaa na wakwepa kodi
06:43
and those running illegal whatnot,
121
403481
2608
na wale wanaofanya biashara za magendo,
06:46
and the ladies who trade,
122
406113
2031
na wanawake wanaofanya bashara,
06:48
and who put food on the table and send their kids to university.
123
408168
4145
na wale wanaoleta chakula mezani na kuwasomesha watoto zao hadi chuo kikuu
06:52
So that's really what I'm asking here.
124
412337
3225
Kwa hiyo hili ndilo ninalouliza hapa.
06:55
That's all that we need to start by doing.
125
415586
2835
Hayo ndiyo tunatakiwa kuanza kufanya.
06:58
Can we start by recognizing the skills, the occupations?
126
418868
4609
Je tunaweza kuanza kwa kutambua ujuzi, kazi?
07:03
We could transform the informal economy by beginning with this recognition
127
423501
4624
Tunaweza kubadili uchumi wa sekta isiyo rasmi kwa kuanza na utambuzi huu
07:08
and then designing the customized doorways for them to enter
128
428149
4681
na kisha kutengeneza milango ya wao kupita
07:12
or integrate with the formal,
129
432854
2209
na kushirikiana na sekta iliyo rasmi,
07:15
with the global,
130
435087
1304
na ulimwengu,
07:16
with the entire system.
131
436415
1711
na mfumo mzima.
07:18
Thank you, ladies and gentlemen.
132
438150
1564
Asante, mabibi na mabwana.
07:19
(Applause)
133
439738
3721
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7