How Africa can keep rising | Ngozi Okonjo-Iweala

99,150 views ・ 2016-09-03

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Leah Ligate Reviewer: Joachim Mangilima
Simulizi za Afrika inayokua zinapata changamoto
00:12
The narrative of a rising Africa is being challenged.
0
12480
3856
00:16
About 10 years ago, I spoke about an Africa,
1
16360
4456
Karibia miaka 10 iliyopita Niliongea kuhusu Afrika,
00:20
an Africa of hope and opportunity,
2
20840
2696
Afrika yenye matumaini na fursa,
00:23
an Africa of entrepreneurs,
3
23560
1936
Afrika ya wajasiriamali,
00:25
an Africa very different from the Africa that you normally hear about
4
25520
3456
Afrika tofauti kabisa na Afrika ambayo umezoaea kusikia
ya vifo, umaskini na magonjwa.
00:29
of death, poverty and disease.
5
29000
2776
00:31
And that what I spoke about,
6
31800
2056
Na kile nilichokiongelea,
00:33
became part of what is known now as the narrative of the rising Africa.
7
33880
5456
ikawa sehemu ya kile kinachojulikana sasa kama hadithi ya Afrika inayokua.
00:39
I want to tell you two stories about this rising Africa.
8
39360
3336
Nataka niwaambie hadithi mbili kuhusu hii Afrika inayokua.
00:42
The first has to do with Rwanda,
9
42720
1776
Ya kwanza inaihusisha Rwanda,
00:44
a country that has gone through many trials and tribulations.
10
44520
3416
nchi ambayo imepitia majaribu mengi na dhiki.
00:47
And Rwanda has decided to become the technology hub, or a technology hub
11
47960
4496
Na Rwanda ikaamua kuwa kitovu cha teknolojia, au kitovu cha teknolojia
00:52
on the continent.
12
52480
1336
kwenye bara la Afrika.
00:53
It's a country with mountainous and hilly terrain,
13
53840
3016
Ni nchi yenye milima na ardhi ya eneo lenye vilima,
00:56
a little bit like here,
14
56880
1216
kidogo kama hapa,
hivyo ni vigumu sana kupeleka huduma kwa watu.
00:58
so it's very difficult to deliver services to people.
15
58120
3176
01:01
So what has Rwanda said?
16
61320
1696
Hivyo Rwanda imesema nini?
Ili kuweza kuokoa maisha, itajaribu kutumia ndege zisizo na rubani
01:03
In order to save lives, it's going to try using drones
17
63040
3656
01:06
to deliver lifesaving drugs, vaccines and blood
18
66720
3216
kupeleka madawa ya kuokoa maisha, chanjo na damu
01:09
to people in hard-to-reach places
19
69960
2016
kwa watu katika sehemu zisizo fikika
wakishirikiana na kampuni inayoitwa Zipline,
01:12
in partnership with a company called Zipline,
20
72000
2496
01:14
with UPS, and also with the Gavi, a global vaccine alliance.
21
74520
4536
pamoja na UPS, na pia Gavi shirika la kimataifa la chanjo.
Katika kufanya hivi, itaokoa maisha.
01:19
In doing this, it will save lives.
22
79080
2376
01:21
This is part of the type of innovation we want to see in the rising Africa.
23
81480
5296
Hii ni sehemu ya ubunifu tunayotaka kuona katika Afrika inayokua.
01:26
The second story has to do with something
24
86800
2536
Hadithi ya pili inahusiana na jambo
01:29
that I'm sure most of you have seen or will remember.
25
89360
3016
ambalo ninauhakika wengi wenu mmeona au mtakumbuka.
01:32
Very often, countries in Africa suffer drought and floods,
26
92400
3896
Mara nyingi, nchi za Afrika zimeteseka na ukame na mafuriko,
01:36
and it's getting more frequent because of climate change effects.
27
96320
3696
na inaongezeka zaidi kwasababu ya athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Wakati haya yanapotokea, kawaida husubiri nchi za kimataifa kuchanga fedha.
01:40
When this happens, they normally wait for international appeals to raise money.
28
100040
5696
01:45
You see pictures of children with flies on their faces,
29
105760
3376
Unaona picha za watoto wakiwa na nzi kwenye nyuso zao
mizoga ya wanyama waliokufa na kadhalika.
01:49
carcasses of dead animals and so on.
30
109160
2496
01:51
Now these countries, 32 countries, came together
31
111680
3016
Sasa nchi hizi, nchi 32, zilikutana pamoja
01:54
under the auspices of the African Union
32
114720
2456
chini ya mwamvuli wa Umoja wa Afrika
01:57
and decided to form an organization called the African Risk Capacity.
33
117200
5016
na kuamua kuunda shirika linaloitwa Africa Risk Capacity.
02:02
What does it do?
34
122240
1216
Linafanya nini?
02:03
It's a weather-based insurance agency,
35
123480
2096
Ni wakala wa bima wa hali ya hewa
02:05
and what these countries do is to pay insurance each year,
36
125600
4376
na nchi hizi zinachofanya ni kulipa bima kila mwaka,
karibia dola milioni 3 kwa mwaka kutoka kwenye rasilimali zao,
02:10
about 3 million dollars a year of their own resources,
37
130000
2936
02:12
so that in the event they have a difficult drought situation or flood,
38
132960
4816
ili kwamba endapo wanakumbwa na hali ya ukame mgumu au mafuriko,
02:17
this money will be paid out to them,
39
137800
2616
fedha hizi zitalipwa kuwasaidia
02:20
which they can then use to take care of their populations,
40
140440
2736
ambazo wanaweza kuzitumia kuwatunza wananchi wao
02:23
instead of waiting for aid to come.
41
143200
2776
badala ya kusubiri msaada kuja.
Shirika la African Risk Capacity mwaka jana lilipa dola milioni 26
02:26
The African Risk Capacity last year paid 26 million dollars
42
146000
4216
02:30
to Mauritania, Senegal and Niger.
43
150240
2496
kwa Mauritania, Senegal na Niger.
02:32
This enabled them to take care of 1.3 million people affected by drought.
44
152760
5456
Hii iliwawezesha kuwatunza watu milioni 1.3 walioathirika na ukame.
02:38
They were able to restore livelihoods,
45
158240
2336
Waliweza kurudisha tena maisha yao,
02:40
buy fodder for cattle, feed children in school
46
160600
2696
kununua majani ya n'gombe kulisha watoto mashuleni
02:43
and in short keep the populations home instead of migrating out of the area.
47
163320
5776
kuwafanya wananchi wabaki nyumbani badala ya kuhama nje ya eneo.
Hivyo hizi ni aina za hadithi
02:49
So these are the kinds of stories
48
169120
1856
za Afrika iliyotayari kuchukua majikumu yake yenyewe,
02:51
of an Africa ready to take responsibility for itself,
49
171000
3616
02:54
and to look for solutions for its own problems.
50
174640
3176
na kutafuta suluhisho kwa matatizo yake yenyewe.
02:57
But that narrative is being challenged now
51
177840
2496
Ila simulizi hizo zinapata changamoto sasa
03:00
because the continent has not been doing well in the last two years.
52
180360
4816
kwasababu bara letu halijafanya vema kwa miaka miwili iliyopita.
03:05
It had been growing at five percent per annum
53
185200
2936
Ilikuwa inakua kwa kiwango cha asilimia 5 kwa mwaka
kwa muongo mmoja na nusu uliopita
03:08
for the last one and a half decades,
54
188160
1936
lakini utabiri wa mwaka huu ulikuwa asilimia tatu. Kwanini?
03:10
but this year's forecast was three percent. Why?
55
190120
2776
03:12
In an uncertain global environment, commodity prices have fallen.
56
192920
4176
kwa mazingira ya ulimwengu yanavyobadilika bei za bidhaa zimeshuka.
Uchumi wa nchi nyingi bado unaendeshwa na bidhaa,
03:17
Many of the economies are still commodity driven,
57
197120
3176
03:20
and therefore their performance has slipped.
58
200320
2560
na hivyo utendaji wake umeteleza
03:23
And now the issue of Brexit doesn't make it any easier.
59
203480
3976
Na sasa suala la kujitoa kwa Uingereza haifanyi iwe rahisi
03:27
I never knew that the Brexit could happen
60
207480
3616
Sikujua kama Uingereza ingejitoa
na hilo lingekuwa moja ya vitu ambavyo vingeleta kutokuwa na uhakika ulimwenguni
03:31
and that it could be one of the things that would cause global uncertainty
61
211120
4136
03:35
such as we have.
62
215280
1296
kama tulivyo.
03:36
So now we've got this situation,
63
216600
2176
Hivyo sasa tuna hii hali
03:38
and I think it's time to take stock
64
218800
2856
na ninafikiri ni wakati wakuangalia
03:41
and to say what were the things that the African countries did right?
65
221680
4856
na kusema ni vitu gani ambavyo nchi za Afrika zilifanya sahihi?
03:46
What did they do wrong?
66
226560
1640
Kipi walikosea?
03:48
How do we build on all of this and learn lessons
67
228840
2456
Tutajengaje kwenye haya yote na kujifunza
03:51
so that we can keep Africa rising?
68
231320
2800
ili kwamba tuendeleze Afrika inayokua?
03:54
So let me talk about six things that I think we did right.
69
234720
3360
Hivyo ngoja niongelee kuhusu mambo sita ninayofikiri tulifanya sahihi.
03:58
The first is managing our economies better.
70
238720
3296
La kwanza ni kusimamia uchumi wa nchi zetu vizuri
Miaka ya 80 na 90 ni miongo iliyopotea, wakati Afrika haikuwa ikifanya vizuri,
04:02
The '80s and '90s were the lost decades, when Africa was not doing well,
71
242040
4256
04:06
and some of you will remember an "Economist" cover
72
246320
3616
na baadhi yenu mtakumbuka ukurasa wa mbele wa gazeti la "Economist"
04:09
that said, "The Lost Continent."
73
249960
2016
lililosema, "Bara lililopotea"
Ila miaka ya 2000 watunga sera walijifunza
04:12
But in the 2000s, policymakers learned
74
252000
4096
kwamba wanahitaji kusimamia mazingira ya uchumi vizuri zaidi,
04:16
that they needed to manage the macroeconomic environment better,
75
256120
4256
04:20
to ensure stability,
76
260400
1536
kuhakikisha uthabiti,
04:21
keep inflation low in single digits,
77
261960
2616
kushusha mfumuko wa bei kufika tarakimu moja,
04:24
keep their fiscal deficits low, below three percent of GDP,
78
264600
5576
kushusha nakisi ya bajeti, chini ya asilimia tatu ya Pato la Taifa,
04:30
give investors, both domestic and foreign,
79
270200
3896
wape wawekezaji, wote wa ndani na wageni,
aina ya uthabiti ili wawe na imani ya kuwekeza kwenye chumi hizi.
04:34
some stability so they'll have confidence to invest in these economies.
80
274120
3816
04:37
So that was number one.
81
277960
1496
Hivyo hiyo ilikuwa namba moja.
04:39
Two, debt.
82
279480
1336
Mbili, deni.
04:40
In 1994, the debt-to-GDP ratio of African countries was 130 percent,
83
280840
5696
Mwaka 1994, urari wa deni la Pato la taifa wa nchi za Kiafrila ulikuwa asilimia 130,
04:46
and they didn't have fiscal space.
84
286560
2256
na hawakuwa na nafasi ya fedha nakisi
04:48
They couldn't use their resources to invest in their development
85
288840
3016
Hawakuweza kutumia rasilimali zao kuwekeza kwenye maendeleo yao
04:51
because they were paying debt.
86
291880
1456
kwakuwa walikuwa wanalipa deni
04:53
There may be some of you in this room who worked to support African countries
87
293360
4736
kwaweza kuwa na baadhi yenu humu ndani mliofanyakazi kusaidia nchi za Afrika
kupata unafuu wa madeni.
04:58
to get debt relief.
88
298120
1296
04:59
So private creditors, multilaterals and bilaterals came together
89
299440
4456
Hivyo wadai binafsi, wa pande mbalimbali na pande mbili waliunganika
05:03
and decided to do the Highly Indebted Poor Countries Initiative
90
303920
3616
na kuamua kuanzisha mpango wa Nchi Fukara zenye Mzigo wa madeni
05:07
and give debt relief.
91
307560
1256
na kutoa unafuu wa madeni.
05:08
So this debt relief in 2005
92
308840
2096
Hivyo unafuu huu wa madeni mwaka 2005
05:10
made the debt-to-GDP ratio fall down to about 30 percent,
93
310960
3936
ulifanya urari wa deni kwa Pato la taifa kushuka hadi takriban asilimia 30,
05:14
and there was enough resources to try and reinvest.
94
314920
3896
na kulikuwa na rasilimali za kutosha kujaribu na kuwekeza upya.
05:18
The third thing was loss-making enterprises.
95
318840
2456
Kitu cha tatu kilikuwa makampuni yaliyopata hasara
05:21
Governments were involved in business
96
321320
2056
Serikali zilishiriki katika biashara
05:23
which they had no business being in.
97
323400
2256
ambazo hawakupaswa kuzifanya.
05:25
And they were running businesses, they were making losses.
98
325680
3096
Na walikuwa wanaendesha biashara, walikuwa wanapata hasara.
05:28
So some of these enterprises were restructured,
99
328800
2736
Hivyo baadhi ya makampuni haya yaliundwa upya,
05:31
commercialized, privatized or closed,
100
331560
2416
kuwa kibiashara,kubinafsishwa au kufungwa,
na kupunguza mzigo mkubwa kwa serikali.
05:34
and they became less of a burden on government.
101
334000
3200
Kitu cha nne kilikuwa kitu cha kuvutia sana
05:38
The fourth thing was a very interesting thing.
102
338080
2400
05:41
The telecoms revolution came,
103
341200
2296
Mapinduzi ya makampuni ya simu yakaja,
05:43
and African countries jumped on it.
104
343520
2576
na nchi za Kiafrika zikarukia.
Mwaka 2000, laini za simu zilikuwa milioni 11
05:46
In 2000, we had 11 million phone lines.
105
346120
2616
05:48
Today, we have about 687 million mobile lines on the continent.
106
348760
5336
Leo, tuna takriban laini milioni 687 za simu za mkononi barani.
Na hi imetuwezesha
05:54
And this has enabled us
107
354120
1816
05:55
to go, move forward with some mobile technology
108
355960
2656
kwenda na kusonga mbele na teknolojia ya simu za mkononi
05:58
where Africa is actually leading.
109
358640
2616
ambapo Afrika hakika inaongoza.
06:01
In Kenya, the development of mobile money --
110
361280
2536
Nchini Kenya, maendeleo ya kutuma fedha kwa simu
06:03
M-Pesa, which all of you have heard about --
111
363840
2776
M-Pesa, ambayo nyote mmesikia habari zake--
06:06
it took some time for the world to notice that Africa was ahead
112
366640
3456
ilichukua muda kwa dunia kuona kwamba Afrika ipo mbele
katika hii teknolojia.
06:10
in this particular technology.
113
370120
1536
06:11
And this mobile money is also providing a platform
114
371680
3216
na hii kutuma pesa kwa simu za mkononi pia inatoa jukwaa
06:14
for access to alternative energy.
115
374920
2456
kwa upatikanaji wa nishati mbadala
06:17
You know, people who can now pay for solar
116
377400
3496
Unajua, watu wanaoweza sasa kulipia sola
06:20
the same way they pay for cards for their telephone.
117
380920
4216
kwa njia wanayotumia kulipia kwa kadi kwenye simu zao.
Hivyo haya yalikuwa maendeleo mazuri sana kitu ambacho kilikwenda sahihi.
06:25
So this was a very good development, something that went right.
118
385160
4520
06:30
We also invested more in education and health, not enough,
119
390240
4496
Tuliwekeza zaidi kwenye elimu na afya, isivyo vyakutosha,
06:34
but there were some improvements.
120
394760
1656
lakini kulikuwa na maboresho.
06:36
250 million children were immunized in the last one and a half decades.
121
396440
5520
Watoto milioni 25 walipata chanjo katika muogo mmoja nanusu uliopita.
06:42
The other thing was that conflicts decreased.
122
402520
3376
Kitu kingine ilikuwa kwamba migogoro ilipungua.
06:45
There were many conflicts on the continent.
123
405920
2056
Kulikuwa na migogoro mingi barani.
Wengi wenu mnafahamu hilo.
06:48
Many of you are aware of that.
124
408000
1456
06:49
But they came down, and our leaders even managed to dampen some coups.
125
409480
4816
Lakini ilipungua, na viongozi wetu waliweza hata kufifiza mapinduzi.
06:54
New types of conflicts have emerged, and I'll refer to those later.
126
414320
4056
Aina mpya ya migogoro imeibuka, na nitaielezea hiyo baadaye.
06:58
So based on all this, there's also some differentiation on the continent
127
418400
3616
Hivyo kutokana na yote haya, pia kuna baadhi ya utofautishaji barani
ambao nataka muufahamu,
07:02
that I want you to know about,
128
422040
1456
07:03
because even as the doom and gloom is here,
129
423520
2496
kwasababu pamoja na kuwa
kuna baadhi ya nchi-- Cote d'Ivoire, Kenya, Ethiopia
07:06
there are some countries -- Côte d'Ivoire, Kenya, Ethiopia,
130
426040
3976
Tanzania na Senegal zinafanya vizuri kwa sasa
07:10
Tanzania and Senegal are performing relatively well at the moment.
131
430040
4280
Lakini tulikosea wapi?
07:15
But what did we do wrong?
132
435120
2136
07:17
Let me mention eight things.
133
437280
1376
Ngoja nitaje mambo nane.
07:18
You have to have more things wrong than right.
134
438680
2176
Unapaswa kuwa umekosea zaidi kuliko kupatia.
07:20
(Laughter)
135
440880
1456
(Kicheko)
07:22
So there are eight things we did wrong.
136
442360
2376
Hivyo kuna mambo nane tulikosea.
07:24
The first was that even though we grew, we didn't create enough jobs.
137
444760
3520
La kwanza ilikuwa pamoja na kukua hatukutengeneza ajira za kutosha.
07:28
We didn't create jobs for our youth.
138
448800
1896
Hatukutengeneza ajira kwa vijana wetu.
07:30
Youth unemployment on the continent is about 15 percent,
139
450720
2936
Ukosefu wa ajira kwa vijana barani ni karibia asilimia 15,
07:33
and underemployment is a serious problem.
140
453680
3040
na upungufu wa ajira ni tatizo kubwa.
07:37
The second thing that we did is that the quality of growth was not good enough.
141
457400
5536
Jambo la pili tulichofanya ni kuwa kiwango cha ukuaji hakikuwa kizuri vyakutosha
07:42
Even those jobs we created were low-productivity jobs,
142
462960
3536
Hata ajira zilizoundwa zilikuwa ni ajira zenye tija ndogo sana,
07:46
so we moved people from low-productivity agriculture
143
466520
3496
hivyo tulihamisha watu kutoka kilimo duni kisicho na tija
kwenda biashara zisizo na tija na kufanyia kazi sekta isiyo rasmi
07:50
to low-productivity commerce and working in the informal sector
144
470040
3936
katika maeneo ya mijini.
07:54
in the urban areas.
145
474000
1720
07:56
The third thing is that inequality increased.
146
476240
3800
Jambo la tatu ni kwamba kukosekana kwa usawa kuliongezeka.
08:00
So we created more billionaires.
147
480600
4976
Hivyo tuliunda mabilionea zaidi.
08:05
50 billionaires worth 96 billion dollars
148
485600
2696
mabilionea 50 wenye thamani ya dola bilioni 96
08:08
own more wealth than the bottom 75 million people on the continent.
149
488320
4840
wanamiliki utajiri zaidi kuliko watu milioni 75 wa chini barani.
08:13
Poverty,
150
493920
1576
Umaskini,
08:15
the proportion of people in poverty -- that's the fourth thing -- did decrease,
151
495520
4376
uwiano wa watu katika umaskini-- hilo ni jambo la nne--ulipungua
08:19
but the absolute numbers did not because of population growth.
152
499920
4096
lakini namba halisi hazikupungua kwasababu ya ongezeko la idadi ya watu.
Na ongezeko la idadi ya watu ni jambo
08:24
And population growth is something
153
504040
2576
08:26
that we don't have enough of a dialogue about on the continent.
154
506640
3416
ambalo hatujafanyia mazungumzo ya kutosha barani.
Na ninafikiri tutahitaji kulielewa na kulifanyia kazi
08:30
And I think we will need to get a handle on it,
155
510080
3136
08:33
particularly how we educate girls.
156
513240
3256
haswa jinsi ya kuelimisha wasichana.
08:36
That is the road to really working on this particular issue.
157
516520
4640
Hiyo ndio njia haswa kufanyia kazi hasusan kwenye suala hili.
08:41
The fifth thing is that we didn't invest enough in infrastructure.
158
521880
6816
Jambo la tano ni kwamba hatukuwekeza vya kutosha kwenye miundombinu.
08:48
We had investment from the Chinese.
159
528720
2096
Tulikuwa na uwekezaji kutoka kwa Wachina.
08:50
That helped some countries, but it's not enough.
160
530840
3216
Ambao ulisaidia baadhi ya nchi, lakini haitoshi.
Utumiaji wa umeme barani Afrika
08:54
The consumption of electricity in Africa on the continent
161
534080
3336
08:57
in Sub-Saharan Africa is equivalent to Spain.
162
537440
3576
Kusini mwa jangwa la Sahara Afrika ni sawasawa na Hispania.
Utumiaji kwa ujumla ni sawasawa na ule wa Hispania
09:01
The total consumption is equivalent to that of Spain.
163
541040
3456
09:04
So many people are living in the dark,
164
544520
2656
Hivyo watu wengi wanaishi gizani,
09:07
and as the President of the African Development Bank said recently,
165
547200
3576
na kama Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika alivyosema hivi karibuni,
09:10
Africa cannot develop in the dark.
166
550800
2280
Afrika haiwezi kuendelea gizani.
Kitu kingine ambacho hatujafanya
09:14
The other thing we have not done
167
554120
2136
09:16
is that our economies retain the same structure
168
556280
5416
ni kwamba chumi zetu zimeshikilia muundo uliofanana
09:21
that we've had for decades.
169
561720
1616
ambao tumekuwa nao kwa miongo.
09:23
So even though we've been growing,
170
563360
1656
Hivyo pamoja na kwamba tumekua
muundo wa chumi zetu haujabadilika kwa kiasi kikubwa.
09:25
the structure of the economies has not changed very much.
171
565040
2696
09:27
We are still exporting commodities,
172
567760
2576
Bado tunauza bidhaa nchi za nje
09:30
and exporting commodities is what? It's exporting jobs.
173
570360
3856
na kuuza bidhaa nchi za nje ni nini? kuuza ajira nchi za nje.
09:34
Our manufacturing value-added is only 11 percent.
174
574240
3296
Ongezeko la thamani ya uzalishaji wetu ni asilimia 11 tu
09:37
We are not creating enough decent manufacturing jobs for our youth,
175
577560
4536
Hatuundi ajira za kutosha kwenye uzalishaji kwa vijana wetu,
na biashara kati yetu ni kidogo.
09:42
and trade among ourselves is low.
176
582120
2616
09:44
Only about 12 percent of our trade is among ourselves.
177
584760
3496
Takriban asilimi 12 tu ya biashara kati yetu sisi wenyewe
09:48
So that's another serious problem.
178
588280
2696
Hivyo hilo ni tatizo lingine zito sana.
Kisha utawala bora.
09:51
Then governance.
179
591000
2096
Utawala bora ni suala zito.
09:53
Governance is a serious issue.
180
593120
2416
09:55
We have weak institutions,
181
595560
2216
Tuna taasisi dhaifu,
09:57
and sometimes nonexistent institutions, and I think this gives way for corruption.
182
597800
5016
na wakati mwingine taasisi hewa, ninafikiri hii inaleta mwanya wa rushwa.
10:02
Corruption is an issue that we have not yet gotten a good enough handle on,
183
602840
5216
Rushwa ni suala ambalo bado hatujalimudu kiasi cha kutosha,
na tunatakuwa kupambana kufa na kupona,
10:08
and we have to fight tooth and nail,
184
608080
2616
10:10
that and increased transparency in the way we manage our economies
185
610720
3576
hiyo na ongezeko la uwazi katika jinsi tunavyosimamia chumi zetu
10:14
and the way we manage our finances.
186
614320
2456
na jinsi tunavyosimamia fedha zetu.
10:16
We also need to be wary of new conflicts,
187
616800
4736
Tunahitaji pia kujihadhari na migogoro mipya,
10:21
new types of conflicts,
188
621560
1936
aina mpya ya migogoro,
10:23
such as we have with Boko Haram in my country, Nigeria,
189
623520
3216
kama tuliyonayo na Boko Haram katika nchi yangu, Nigeria,
10:26
and with Al-Shabaab in Kenya.
190
626760
2056
Na Al-Shabaab nchini Kenya.
10:28
We need to partner with international partners,
191
628840
3336
Tunahitaji kushirikiana na washiriki wa kimataifa,
10:32
developed countries, to fight this together.
192
632200
2856
nchi zilizoendelea, kupambana juu ya hili pamoja.
Ama sivyo, tunaunda ukweli mpya
10:35
Otherwise, we create a new reality
193
635080
1896
ambao sio aina tunayotaka kwa Afrika inayokua.
10:37
which is not the type we want for a rising Africa.
194
637000
3256
10:40
And finally, the issue of education.
195
640280
3536
Na mwisho, ni suala la elimu.
10:43
Our education systems in many countries are broken.
196
643840
3296
Mifumo yetu ya elimu katika nchi nyingi imevunjika.
Hatuundi aina ya stadi zinazohitajika kwa siku za usoni
10:47
We are not creating the types of skills needed for the future.
197
647160
4536
10:51
So we have to find a way to educate better.
198
651720
2640
Hivyo tunatakiwa tutafute njia ya kutoa elimu kwa ubora.
10:54
So those are the things that we are not doing right.
199
654920
2720
Hivyo hayo ni mambo ambayo hatufanyi kwa usahihi.
10:58
Now, where do we go from there?
200
658240
2400
Sasa, tunaenda wapi kutokea hapo?
11:01
I believe that the way forward is to learn to manage success.
201
661240
4696
Ninaamini njia ya kusongambele ni kujifunza kusimamia mafanikio.
11:05
Very often, when people succeed or countries succeed,
202
665960
3736
Mara nyingi, watu wanapofanikiwa au nchi zinapofanikiwa
11:09
they forget what made them succeed.
203
669720
2200
husahau kullichowafanya wafanikiwe.
11:12
Learning what you're successful at,
204
672680
2536
Kujifunza kile unachoweza kufanikiwa,
11:15
managing it and keeping it is vital for us.
205
675240
2416
kukisimamia na kukitunza ni jambo muhimu kwetu.
11:17
So all those things I said we did right,
206
677680
2216
Hivyo vitu vyote nilivyosema tulifanya sahihi,
11:19
we have to learn to do it right again, keep doing it right.
207
679920
3896
tunatakiwa kujifunza kuvifanya kwa usahihi tena, na kuviendeleza.
11:23
Managing the economy while creating stability is vital,
208
683840
3576
Kusimamia uchumi wakati unaunda ustawi ni muhimu,
11:27
getting prices right, and policy consistency.
209
687440
3496
kupata bei sahihi na sera thabiti.
11:30
Very often, we are not consistent.
210
690960
2376
Mara nyingi hatuna uthabiti
11:33
One regime goes out, another comes in
211
693360
2256
Mfumo wa utawala mmoja ukitoka unaingia mwingine
11:35
and they throw away even the functioning policies that were there before.
212
695640
3456
na wanatupa mbali hata sera zilizokuwa zinafanyakazi vizuri awali
Hii inafanya nini?
11:39
What does this do?
213
699120
1256
11:40
It creates uncertainty for people, for households,
214
700400
2376
Inaleta sintofahamu kwa watu, kaya
11:42
uncertainties for business.
215
702800
1376
sintofahamu kwa biashara
11:44
They don't know whether and how to invest.
216
704200
2696
Hawajui jinsi na wakati wa kuwekeza.
11:46
Debt: we must manage the success we had in reducing our debt,
217
706920
4336
Deni: tunatakiwa tusimamie' mafanikio tuliyopata katika kupunguza deni letu,
11:51
but now countries are back to borrowing again,
218
711280
2536
lakini sasa nchi zimerudia katika kukopa tena,
11:53
and we see our debt-to-GDP ratio beginning to creep up,
219
713840
3416
na tumeona urari wa deni kwa Pato la taifa unaanza kupanda tena,
11:57
and in certain countries,
220
717280
1456
na katika baadhi ya nchi,
11:58
debt is becoming a problem, so we have to avoid that.
221
718760
2496
deni linakuwa ni tatizo, hivyo tunatakiwa tuliepuke.
12:01
So managing success.
222
721280
1456
Hivyo usimamizi wa mafanikio
12:02
The next thing is focusing with a laser beam
223
722760
2656
Kinachofuata ni kuwa makini sana
12:05
on those things we did not do well.
224
725440
1856
na yale mambo ambayo hatukufanya vizuri.
12:07
First and foremost is infrastructure.
225
727320
1856
Kitu cha kwanza kabisa ni miundombinu
12:09
Yes, most countries now recognize they have to invest in this,
226
729200
3576
Ndio, nchi nyingi sasa zinatambua zinahitaji kuwekeza kwenye hili,
12:12
and they are trying to do the best they can to do that.
227
732800
2616
na zinajaribu kufanya kadiri ziwezavyo kufanya hivyo.
12:15
We must.
228
735440
1216
Lazima.
12:16
The most important thing is power.
229
736680
1656
Kitu muhimu sana ni umeme.
12:18
You cannot develop in the dark.
230
738360
2256
Huwezi kuendelea katika giza.
12:20
And then governance and corruption:
231
740640
2256
Na kisha utawala bora na rushwa:
12:22
we have to fight.
232
742920
1216
tunatakiwa tupambane.
Tunatakiwa kuendesha nchi zetu kwa uwazi.
12:24
We have to make our countries transparent.
233
744160
2776
12:26
And above all, we have to engage our young people.
234
746960
3576
Pamoja na yote hayo, lazima tuwashirikishe vijana.
12:30
We have genius in our young people.
235
750560
2216
Tuna ubunifu katika vijana wetu
12:32
I see it every day.
236
752800
1256
Ninauona kila siku.
Ndio kinachoniamsha asubuhi na kujisikia tayari kwenda.
12:34
It's what makes me wake up in the morning and feel ready to go.
237
754080
3536
12:37
We have to unleash the genius of our young people,
238
757640
2376
Tunatakiwa tusibanie ubunifu katika vijana wetu,
tusiwazibie njia, tuwaunge mkono kuunda na ugunduzi
12:40
get out of their way, support them to create and innovate
239
760040
3256
12:43
and lead the way.
240
763320
1216
na kuongoza njia.
12:44
And I know that they will lead us in the right direction.
241
764560
2696
Na ninajua kwamba watatuongoza katika mwelekeo sahihi.
12:47
And our women, and our girls:
242
767280
2176
Na wanawake wetu, na wasichana wetu:
12:49
we have to recognize that girls and women are a gift.
243
769480
3056
tunatakiwa tutambue kwamba wanawake na wasichana ni zawadi.
12:52
They have strength,
244
772560
1496
Wana nguvu,
na tunatakiwa tusiwabanie hiyo nguvu
12:54
and we have to unleash that strength
245
774080
2136
12:56
so that they can contribute to the continent.
246
776240
2936
ili waweze kutoa mchango wao barani.
12:59
I strongly believe that when we do all of these things,
247
779200
3816
Nina amini kwa nguvu kwamba tukifanya hayo yote,
tutakuta kwamba simulizi za Afrika inayokua
13:03
we find that the rising Africa narrative
248
783040
3216
13:06
is not a fluke.
249
786280
1576
sio ubabaishaji.
13:07
It's a trend.
250
787880
1240
ni harakati.
13:09
It's a trend, and if we continue, if we unleash our youth,
251
789720
3816
Ni harakati, na tukiendelea, tusipowabania vijana wetu,
13:13
if we unleash our women,
252
793560
1336
tusipowabania wanawake wetu,
13:14
we may step backwards sometimes,
253
794920
2016
wakati mwingine tunaweza kurudi nyuma,
13:16
we may even step sideways,
254
796960
1896
tunaweza pia kukaa pembezoni,
13:18
but the trend is clear.
255
798880
1616
lakini harakati ziko wazi.
13:20
Africa will continue to rise.
256
800520
2016
Afrika itaendelea kukua.
13:22
And I tell you businesspeople in the audience,
257
802560
3736
Na ninawaambia wafanyabiashara mliopo kwenye hadhira hii,
13:26
investment in Africa is not for today, is not for tomorrow,
258
806320
3456
uwekezaji Afrika sio kwa ajili ya leo, sio kwa ajili ya kesho,
13:29
it's not a short-term thing, it's a longer term thing.
259
809800
3256
sio kitu cha muda mfupi, ni kitu cha muda mrefu.
Lakini ikiwa hamtawekeza Afrika,
13:33
But if you are not invested in Africa,
260
813080
2416
13:35
then you will be missing
261
815520
1416
basi mtakuwa mnakosa
13:36
one of the most important emerging opportunities in the world.
262
816960
4256
mojawapo ya fursa zinazoibuka duniani.
13:41
Thank you.
263
821240
1216
Asante.
13:42
(Applause)
264
822480
2520
(Makofi)
13:51
Kelly Stoetzel: So you mentioned corruption in your talk,
265
831227
2669
Kelly Stoetzel: Umegusia rushwa katika mazungumzo yako
13:53
and you're known, well-known as a strong anticorruption fighter.
266
833920
3496
na unafahamika vizuri kuwa mpambanaji thabiti wa rushwa.
13:57
But that's had consequences.
267
837440
2536
Lakini hiyo ilikuwa na matokeo yake.
Watu walijibu mashambulizi, na mama yako alitekwa nyara.
14:00
People have fought back, and your mother was kidnapped.
268
840000
2936
14:02
How have you been handling this?
269
842960
1560
Umewezaje kulimudu hili?
14:05
Ngozi Okonjo-Iweala: It's been very difficult.
270
845280
2176
Ngozi Okonjo-Iweala: Imekuwa ngumu sana.
14:07
Thank you for mentioning the issue of the kidnap of my mother.
271
847480
4336
Asante kwa kugusia suala la kutekwa nyara mama yangu
14:11
It's a very difficult subject.
272
851840
2576
Ni mada ngumu sana.
14:14
But what it means is that when you fight corruption,
273
854440
3856
Lakini inachomaanisha ni kwamba unapopambana na rushwa,
14:18
when you touch the pockets of people who are stealing money,
274
858320
3416
unapogusa mifuko ya watu wanaoiba pesa,
14:21
they don't just keep quiet.
275
861760
1856
hawanyamazi kimya tu.
14:23
They fight back, and the issue for you is when they try to intimidate you,
276
863640
3656
Watajibu mashambulizi, na suala kubwa ni wanapojaribu kutumia vitisho
14:27
do you give up, or do you fight on?
277
867320
3456
unakata tamaa, au unaendeleza mapambano?
14:30
Do you find a way to stay on and fight back?
278
870800
3136
Unatafuta njia ya kubakia na kujibu mashambulizi?
14:33
And the answer that I had with the teams I worked with
279
873960
4256
Na jibu nililokuwa nalo nikiwa na timu zilizofanya nazo kazi
14:38
is we have to fight on.
280
878240
1776
ni kuendeleza mapambano
Tunatakiwa kuunda hizo taasisi.
14:40
We have to create those institutions.
281
880040
1816
14:41
We have to find ways to stop these people
282
881880
3216
Tunatakiwa kutafuta njia ya kuwazuia hawa watu
waache kuchukua urithi wa baadaye.
14:45
from taking away the heritage of the future.
283
885120
3176
14:48
And so that's what we did.
284
888320
1896
Na hicho ndicho tulichofanya.
14:50
And even out of government, we continued to make that point.
285
890240
3616
Na hata nje ya serikali, tuliendelea kuweka msisitizo.
14:53
In our countries, nobody, nobody is going to fight corruption
286
893880
3976
Katika nchi zetu, hakuna, hakuna atakaye pambana na rushwa
14:57
for us but us.
287
897880
1536
isipokuwa sisi wenyewe.
14:59
And therefore, that comes with consequences,
288
899440
2216
kwa hiyo, hilo linakuja na matokeo,
15:01
and we just have to do the best we can.
289
901680
1896
na tunatakiwa kufanya kadiri tuwezavyo.
15:03
But I thank you and thank TED for giving us a voice
290
903600
3416
Lakini nakushukuru na kuwashukuru TED kutupa sauti
kuwaambia hao watu, hamtashinda,
15:07
to say to those people, you will not win,
291
907040
3296
15:10
and we will not be intimidated.
292
910360
2336
na hatutatishika
15:12
Thank you.
293
912720
1216
Asante.
15:13
(Applause)
294
913960
1216
(Makofi)
15:15
Kelly Stoetzel: Thank you so much for your great talk and important work.
295
915200
3466
Kelly Stoetzel: Asante sana kwa mazungumzo yako mazuri na kazi muhimu.
15:18
(Applause)
296
918690
3370
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7