Why Black girls are targeted for punishment at school -- and how to change that | Monique W. Morris

111,399 views

2019-02-05 ・ TED


New videos

Why Black girls are targeted for punishment at school -- and how to change that | Monique W. Morris

111,399 views ・ 2019-02-05

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
When I was in the sixth grade, I got into a fight at school.
0
12680
3280
Nilipokuwa darasa la sita, nilijikuta nikigombana shuleni.
00:16
It wasn't the first time I'd been in a fight,
1
16880
2256
Haikuwa mara ya kwanza kugombana,
00:19
but it was the first time one happened at school.
2
19160
2480
lakini ilikuwa mara ya kwanza kutokea shuleni.
00:22
It was with a boy who was about a foot taller than me,
3
22320
3536
Niligombana na mvulana ambaye alikuwa mrefu zaidi yangu kwa futi moja,
00:25
who was physically stronger than me
4
25880
1936
ambaye alikuwa na nguvu zaidi yangu
00:27
and who'd been taunting me for weeks.
5
27840
2240
aliyekuwa akinitania kwa wiki kadhaa.
00:31
One day in PE, he stepped on my shoe and refused to apologize.
6
31000
4816
Siku moja tukiwa katika somo la mazoezi ya viungo, alinikanyaga na kukataa kuomba radhi.
00:35
So, filled with anger, I grabbed him and I threw him to the ground.
7
35840
4456
Hivyo, nikiwa nimejaa hasira, nilimkamata na kumuangusha chini.
00:40
I'd had some previous judo training.
8
40320
1736
Niliwahi kujifunza judo.
00:42
(Laughter)
9
42080
2880
(Kicheko)
00:46
Our fight lasted less than two minutes,
10
46920
3016
Mapigano yetu yalichukua si zaidi ya dakika mbili,
00:49
but it was a perfect reflection of the hurricane
11
49960
2256
lakini ilikuwa ni taswira murua ya kimbunga
00:52
that was building inside of me
12
52240
1896
kilichokuwa kikijijenga ndani mwangu
00:54
as a young survivor of sexual assault
13
54160
2056
nikiwa kama muhanga wa unyanyasaji wa kingono
00:56
and as a girl who was grappling with abandonment
14
56240
2376
na kama msichana ambaye nilikuwa nikipambana na kutelekezwa
00:58
and exposure to violence in other spaces in my life.
15
58640
3096
na kuwepo katika vurugu katika nafasi nyingine ya maisha yangu.
01:01
I was fighting him,
16
61760
1536
Nilikuwa napigana nae,
01:03
but I was also fighting the men and boys that had assaulted my body
17
63320
3816
lakini pia nilikuwa napigana na wanaume na wavulana ambao walinyanyasa mwili wangu
01:07
and the culture that told me I had to be silent about it.
18
67160
3200
na utamaduni ulioniambia nilitakiwa kuwa kimya kuhusu hili.
01:11
A teacher broke up the fight
19
71240
1576
Mwalimu aliamua mapigano
01:12
and my principal called me in her office.
20
72840
2536
na mkuu wa shule aliniita ofisini mwake.
01:15
But she didn't say, "Monique, what's wrong with you?"
21
75400
2480
Lakini hakusema, "Monique, una tatizo gani?"
01:19
She gave me a moment to collect my breath
22
79480
3136
Alinipa wasaa wa kukusanya pumzi yangu
01:22
and asked, "What happened?"
23
82640
1960
na kuuliza, "Kipi kimetokea?"
01:26
The educators working with me led with empathy.
24
86440
2976
Wakufunzi wangu waliongoza kwa huruma.
01:29
They knew me.
25
89440
1216
Walinifahamu.
01:30
They knew I loved to read, they knew I loved to draw,
26
90680
3296
Na walitambua nilipenda kusoma, walijua nilipenda kuchora,
01:34
they knew I adored Prince.
27
94000
1800
walijua nilimpenda Prince.
01:37
And they used that information to help me understand
28
97040
2816
Na walitumia taarifa hizo kunisaidia kuelewa
01:39
why my actions, and those of my classmate, were disruptive
29
99880
2816
kwanini matendo yangu, na ya mwanafunzi mwenzangu
01:42
to the learning community they were leading.
30
102720
2080
hayakuwa mazuri katika shule wanayoiongoza.
01:45
They didn't place me on suspension;
31
105760
2536
Hawakunipa adhabu ya kukaa nyumbani;
01:48
they didn't call the police.
32
108320
1560
hawakuita polisi.
01:50
My fight didn't keep me from going to school the next day.
33
110680
2720
Ugomvi wangu haukunizuia mimi kwenda shuleni siku iliyofuatia.
01:54
It didn't keep me from graduating; it didn't keep me from teaching.
34
114520
3400
Haikunizuia mimi kumaliza masomo; Haikunizuia mimi kufundisha.
02:00
But unfortunately, that's not a story that's shared by many black girls
35
120120
3816
Lakini kwa bahati mbaya, hiyo si hadithi ambayo inasemwa na mabinti wengi weusi
02:03
in the US and around the world today.
36
123960
1800
nchini Marekani na duniani kote leo hii.
02:06
We're living through a crisis in which black girls
37
126640
2376
Tunaishi katika janga ambalo wasichana weusi
02:09
are being disproportionately pushed away from schools ---
38
129040
2736
wanasukumwa mbali na shule ---
02:11
not because of an imminent threat they pose to the safety of a school,
39
131800
3576
siyo kutokana na hatari wanayoweza kusababisha shuleni,
02:15
but because they're often experiencing schools
40
135400
2176
lakini kwa sababu wamezoea kuona shule
02:17
as locations for punishment and marginalization.
41
137600
2800
kama maeneo ya adhabu na unyanyapaa.
02:21
That's something that I hear from black girls around the country.
42
141160
4496
Hicho ndicho kitu ninachosikia kutoka kwa wasichana weusi duniani kote.
02:25
But it's not insurmountable.
43
145680
1976
Lakini si kwamba hakizuiliki.
02:27
We can shift this narrative.
44
147680
1560
Tunaweza badili hadithi hii.
02:30
Let's start with some data.
45
150640
1640
Tuanze na taarifa.
02:33
According to a National Black Women's Justice Institute analysis
46
153400
3056
Kutokana na utafiti wa Taasisi ya Taifa ya Haki za Wanawake Weusi
02:36
of civil rights data
47
156480
1216
Ihusuyo haki za binadamu
02:37
collected by the US Department of Education,
48
157720
2976
uliokusanywa na Kitengo cha Elimu,
02:40
black girls are the only group of girls who are overrepresented
49
160720
2976
wasichana weusi ni kundi pekee la wasichana ambalo huwakilishwa maradufu
02:43
along the entire continuum of discipline in schools.
50
163720
2440
sambamba na mwendelezo mzima wa adhabu mashuleni.
02:47
That doesn't mean that other girls aren't experiencing exclusionary discipline
51
167360
4096
Haimaanishi kwamba wasichana wengine hawakumbani na adhabu
02:51
and it doesn't mean that other girls aren't overrepresented
52
171480
3616
na haimaanishi kwamba wasichana wengine hawawakilishwi maradufu
02:55
at other parts along that continuum.
53
175120
2296
katika mambo mengine sambamba na huo mwendelezo.
02:57
But black girls are the only group of girls
54
177440
2016
Lakini wasichana weusi ni kundi pekee la wasichana
02:59
who are overrepresented all along the way.
55
179480
2000
ambalo huwakilishwa maradufu katika nyanja nzima.
03:02
Black girls are seven times more likely than their white counterparts
56
182960
4136
Wasichana weusi hukumbana na hilo mara saba zaidi kuliko wasichana wenzao weupe
03:07
to experience one or more out-of-school suspensions
57
187120
2696
kupatwa na kufukuzwa shule kwa muda mara moja au zaidi
03:09
and they're nearly three times more likely than their white and Latinx counterparts
58
189840
4096
na wapo karibuni mara tatu zaidi kuliko wenzao ambao ni weupe au Walatina
03:13
to be referred to the juvenile court.
59
193960
2040
kupelekwa mahakama za watoto.
03:16
A recent study by the Georgetown Center on Poverty and Inequality
60
196720
3976
Tafiti ya hivi karibuni iliyofanywa na Kituo Cha Georgetown kinachoshughulika na Umasikini na Ukosefu wa Usawa
03:20
partially explained why this disparity is taking place
61
200720
3136
Walichambua kwa juu juu kwanini ukosefu wa usawa unatokea
03:23
when they confirmed that black girls experience
62
203880
2256
ambapo waliafiki kwamba wasichana weusi wanakumbana
03:26
a specific type of age compression,
63
206160
2376
na namna fulani ya mminyo wa umri,
03:28
where they're seen as more adult-like than their white peers.
64
208560
3120
ambapo wanaonekana kama watu wazima kuliko wenzao ambao ni weupe.
03:32
Among other things, the study found
65
212640
2016
Ukijumuisha na mambo mengine, walitambua kwamba
03:34
that people perceive black girls to need less nurturing,
66
214680
4056
watu wanawachukulia wasichana weusi kwamba wanahitaji malezi kidogo,
03:38
less protection, to know more about sex
67
218760
3016
ulinzi duni, kujua zaidi kuhusu ngono
03:41
and to be more independent than their white peers.
68
221800
3000
na kujitegemea zaidi kuliko wenzao ambao ni weupe.
03:46
The study also found
69
226120
1696
Utafiti ulionyesha
03:47
that the perception disparity begins when girls are as young as five years old.
70
227840
5736
kwamba ukosefu wa usawa wa mtazamo huanza pale wasichana wanapokuwa wadogo katika miaka mitano.
03:53
And that this perception and the disparity increases over time
71
233600
4216
Na kwamba huu mtazamo unongezeka kadiri muda unavyokwenda
03:57
and peaks when girls are between the ages of 10 and 14.
72
237840
3080
na hufika juu zaidi pale wasichana wanapokuwa na umri wa katika ya miaka 10 na 14.
04:01
This is not without consequence.
73
241920
1800
Hii huja na madhara.
04:05
Believing that a girl is older than she is can lead to harsher treatment,
74
245000
4456
Kuamini kwamba msichana ni mkubwa zaidi ya umri wake huleta namna ya matunzo yenye akili,
04:09
immediate censure when she makes a mistake
75
249480
2616
hatua kali anapofanya kosa
04:12
and victim blaming when she's harmed.
76
252120
2160
na kumlaumu pale anapopatwa na janga.
04:15
It can also lead a girl to think that something is wrong with her,
77
255200
3296
Na inaweza pelekea msichana kuona kwamba kuna kitu hakipo sawa kwake,
04:18
rather than the conditions in which she finds herself.
78
258520
2560
ukiachana na mazingira ambayo anajikuta.
04:22
Black girls are routinely seen as too loud, too aggressive,
79
262880
3896
Wasichana kwa kawaida huonekana wana kelele, wenye vurugu,
04:26
too angry, too visible.
80
266800
1880
wenye hasira, wanaoonekana sana.
04:29
Qualities that are often measured in relation to nonblack girls
81
269560
3456
Vipengele vya ubora ambavyo kwa kawaida hupimwa ukilinganisha na wale wasio weusi
04:33
and which don't take into consideration what's going on in this girl's life
82
273040
3936
na ambavyo havijali yanayotokea katika maisha ya msichana huyu
04:37
or her cultural norms.
83
277000
2016
au utamaduni wake.
04:39
And it's not just in the US.
84
279040
1976
Na siyo tu Marekani.
04:41
In South Africa,
85
281040
1576
Afrika Kusini,
04:42
black girls at the Pretoria Girls High School
86
282640
2136
wasichana katika shule ya Sekondari ya Pretoria
04:44
were discouraged from attending school with their hair in its natural state,
87
284800
3616
walikatzwa kwenda shuleni wakiwa na nywele za asili,
04:48
without chemical processing.
88
288440
1816
bila kuziweka kemikali.
04:50
What did those girls do?
89
290280
1616
Wasichana hao walifanya nini?
04:51
They protested.
90
291920
1320
Walipinga.
04:54
And it was a beautiful thing to see the global community for the most part
91
294080
3496
Na ilikuwa kitu cha kuvutia kuona ulimwengu katika kiasi kikubwa
04:57
wrap its arms around girls as they stood in their truths.
92
297600
2920
ikiwakumbatia wasichana pale waliposimama katika ukweli wao.
05:01
But there were those who saw them as disruptive,
93
301320
2336
Lakini kuna wale waliowaona kama wavuruga amani,
05:03
largely because they dared to ask the question,
94
303680
2656
kwa sababu walithubutu kuuliza swali,
05:06
"Where can we be black if we can't be black in Africa?"
95
306360
3016
"Ni wapi ambapo tutakuwa weusi kama hatuwezi kuwa weusi Africa?"
05:09
(Laughter)
96
309400
1856
(Kicheko)
05:11
(Applause)
97
311280
2336
(Makofi)
05:13
It's a good question.
98
313640
1440
Ni swali zuri.
05:16
Around the world,
99
316400
2176
Duniani kote,
05:18
black girls are grappling with this question.
100
318600
2120
wasichana weusi wanapambana na swali hili.
05:21
And around the world,
101
321520
1816
Na duniani kote,
05:23
black girls are struggling to be seen, working to be free
102
323360
3496
wasichana wanapambana kuonekana, wanahangaika kuwa huru
05:26
and fighting to be included
103
326880
1616
na wanapambana kujumuishwa
05:28
in the landscape of promise that a safe space to learn provides.
104
328520
3400
katika mazingira ya ahadi kwamba nafasi salama ya kujifunza inapotolewa,
05:32
In the US, little girls, just past their toddler years,
105
332800
3256
Nchini Marekani, wasichana wadogo, wanapopita miaka ya kuwa wachanga,
05:36
are being arrested in classrooms for having a tantrum.
106
336080
2720
wanakamatwa darasani kwa kuwa na ghadhabu.
05:39
Middle school girls are being turned away from school
107
339520
2976
Wasichana wa shule za sekondari wanafukuzwa shuleni
05:42
because of the way they wear their hair naturally
108
342520
2776
kwa sababu ya namna ambavyo huweka nywele zao katika uhalisia
05:45
or because of the way the clothes fit their bodies.
109
345320
2400
au kwa sababu ya namna nguo zinavyobana miili yao.
05:48
High school girls are experiencing violence
110
348520
2056
Wasichana wa sekondari hukumbana na vurugu
05:50
at the hands of police officers in schools.
111
350600
2480
katika mikono ya askari wakiwa shuleni.
05:53
Where can black girls be black without reprimand or punishment?
112
353760
4320
Wapi ambapo wasichana weusi watakuwa weusi bila kugombezwa au adhabu?
06:00
And it's not just these incidents.
113
360120
2616
Na siyo tu matukio haya.
06:02
In my work as a researcher and educator,
114
362760
2056
Katika kazi yangu nikiwa kama mtafiti na mwalimu,
06:04
I've had an opportunity to work with girls like Stacy,
115
364840
3376
Nilipata nafasi ya kufanya kazi na wasichana kama Stacy,
06:08
a girl who I profile in my book "Pushout,"
116
368240
2536
msichana ambaye nimemtaja katika kitabu changu cha "Pushout,"
06:10
who struggles with her participation in violence.
117
370800
2960
ambaye anapambana na ujumuikaji wake katika vurugu.
06:15
She bypasses the neuroscientific and structural analyses
118
375360
4776
Anakwepa uchambuzi wa sayansi ya nuroni
06:20
that science has to offer
119
380160
1416
ambayo sayansi inaelezea
06:21
about how her adverse childhood experiences inform
120
381600
3416
kuhusu namna gani utoto wake wenye matatizo unaainisha
06:25
why she's participating in violence
121
385040
2056
kwanini anashiriki katika ugomvi
06:27
and goes straight to describing herself as a "problem child,"
122
387120
3256
na kwenda moja kwa moja kujielezea kama "mtoto mwenye matatizo,"
06:30
largely because that's the language that educators were using
123
390400
2896
kikubwa ni kwa sababu hiyo ndiyo lugha ambayo wakufunzi walitumia
06:33
as they routinely suspended her.
124
393320
1880
pale kila wakati walipokuwa wakimtoa shuleni.
06:37
But here's the thing.
125
397360
1616
Lakini jambo ni hili.
06:39
Disconnection and the internalization of harm grow stronger in isolation.
126
399000
5216
Kutengwa na ongezeko la hatari hukua zaidi katika upweke.
06:44
So when girls get in trouble, we shouldn't be pushing them away,
127
404240
3056
Kwa hiyo wasichana wanapokuwa katika hatari, haitakiwi kuwatenga mbali,
06:47
we should be bringing them in closer.
128
407320
1800
tunatakiwa kuwaleta karibu nasi.
06:50
Education is a critical protective factor
129
410520
2216
Elimu ni jambo muhimu linaloleta usalama
06:52
against contact with the criminal legal system.
130
412760
2560
dhidi ya mfumo wa kuzuia uhalifu.
06:56
So we should be building out policies and practices
131
416400
2416
Kwa hiyo inatakiwa kuunda sera zetu na hatua
06:58
that keep girls connected to their learning,
132
418840
2096
zinazowafanya wasichana kuunganika na kujifunza kwao,
07:00
rather than pushing them away from it.
133
420960
1856
kuliko kuwasukuma mbali na mfumo huo.
07:02
It's one of the reasons I like to say that education is freedom work.
134
422840
3960
Ni moja ya sababu ambayo nitapenda kusema kwamba elimu ni kazi ya uhuru.
07:08
When girls feel safe, they can learn.
135
428680
2480
Pale wasichana wanahisi wapo salama, wanaweza kujifunza.
07:12
When they don't feel safe, they fight,
136
432280
2616
Wanapohisi hawapo salama, wanapigana,
07:14
they protest, they argue, they flee, they freeze.
137
434920
5000
wanapinga, wanabishana, wanakimbia,hawaendelei mbele.
07:21
The human brain is wired to protect us when we feel a threat.
138
441120
3216
Ubongo wa mwanadamu umetengenezwa kutulinda pale tunapohisi hatari.
07:24
And so long as school feels like a threat,
139
444360
2056
Na inapokuwa kwamba shule inaonekana kama ni hatari,
07:26
or part of the tapestry of harm in a girl's life,
140
446440
2736
au sehemu inayokandamiza maisha ya msichana,
07:29
she'll be inclined to resist.
141
449200
1960
lazima atachukua hatua kupambana.
07:31
But when schools become locations for healing,
142
451920
3216
Lakini pale shule inapokuwa sehemu ya uponyaji,
07:35
they can also become locations for learning.
143
455160
2240
pia inaweza kuwa sehemu ya kujifunza.
07:38
So what does this mean for a school to become a location for healing?
144
458720
3736
Ina maana gani shule kuwa sehemu ya uponyaji?
07:42
Well, for one thing, it means that we have to immediately discontinue
145
462480
3256
inamaanisha kwamba tunatakiwa mara moja kusimamisha
07:45
the policies and practices that target black girls for their hairstyles or dress.
146
465760
4376
sera na hatua ambazo zinalenga wasichana weusi kutokana na mitindo yao ya nywele au mavazi.
07:50
(Applause)
147
470160
5936
(Makofi)
07:56
Let's focus on how and what a girl learns
148
476120
4056
Tuangalie namna gani na kipi msichana anachojifunza
08:00
rather than policing her body in ways that facilitate rape culture
149
480200
3856
kuliko kuweka sera ambazo zinawezesha utamaduni wa ubakaji
08:04
or punish children for the conditions in which they were born.
150
484080
3000
au kuadhibu watoto kulingana na mazingira ambayo wamezaliwa nayo.
08:08
This is where parents and the community of concerned adults can enter this work.
151
488960
3800
Hapa ndipo wazazi na jamii ya wanaohusika wanaweza ingia katika kazi hii.
08:13
Start a conversation with the school
152
493680
1816
Anzisha maongezi na shule
08:15
and encourage them to address their dress code
153
495520
2696
na wape ushauri katika kuweka mifumo ya uvaaji
08:18
and other conduct-related policies as a collaborative project,
154
498240
3136
na taratibu nyingine ziwe ni hatua za kujadili kwa pamoja,
08:21
with parents and students,
155
501400
1936
na wazazi na wanafunzi,
08:23
so as to intentionally avoid bias and discrimination.
156
503360
3200
ili kwa makusudi kuepukana na unyanyapaa.
08:27
Keep in mind, though,
157
507480
1216
Kumbuka, ingawa,
08:28
that some of the practices that harm black girls most are unwritten.
158
508720
3216
kwamba mambo mengi ambayo huumiza wasichana weusi hayapo katika maandishi.
08:31
So we have to continue to do the deep, internal work to address the biases
159
511960
4296
Kwa hiyo tunatakiwa kwenda ndani zaidi, kazi ya kina ya kuongelea unyanyapaa
08:36
that inform how, when and whether we see black girls for who they actually are,
160
516280
4656
ambao unaelezea namna, wakati gani na vile tunavyowaona wasichana weusi walivyo,
08:40
or what we've been told they are.
161
520960
1600
au kipi walichoambiwa kuhusu walivyo.
08:44
Volunteer at a school
162
524159
2097
Jitolee katika shule
08:46
and establish culturally competent and gender responsive discussion groups
163
526280
4816
na anzisha majadiliano ya utamaduni na jinsia
08:51
with black girls, Latinas, indigenous girls
164
531120
2976
na wasichana weusi au walatino.
08:54
and other students who experience marginalization in schools
165
534120
3456
na wanafunzi wengi wanaokumbana na kutengwa mashuleni
08:57
to give them a safe space
166
537600
1256
kuwapa nafasi salama
08:58
to process their identities and experiences in schools.
167
538880
3040
ya kuchambua utambuzi wao na wanavyoishi mashuleni.
09:03
And if schools are to become locations for healing,
168
543000
2736
Na kama shule itakuwa ni sehemu ya uponyaji,
09:05
we have to remove police officers
169
545760
2176
tunatakiwa kuondoa maafisa wa polisi
09:07
and increase the number of counselors in schools.
170
547960
2576
na kuongeza washauri mashuleni.
09:10
(Applause)
171
550560
6080
(Kicheko)
09:18
Education is freedom work.
172
558520
2400
Elimu ni kazi ya kupigania uhuru.
09:22
And whatever our point of entry is, we all have to be freedom fighters.
173
562160
3840
Na vyovyote vile hoja yetu ilivyo, wote tunatakiwa kuwa wapigania uhuru.
09:27
The good news is that there are schools
174
567160
1896
Habari njema ni kwamba kuna shule
09:29
that are actively working to establish themselves
175
569080
2576
ambazo zinafanya kazi kujiimarisha
09:31
as locations for girls to see themselves as sacred and loved.
176
571680
3720
kama sehemu ya wasichana kujiona kuwa ni wa thamani na wanaopendwa.
09:36
The Columbus City Prep School for Girls in Columbus, Ohio, is an example of this.
177
576360
5136
Shule ya Jiji la Columbus ya wasichana iliyopo Columbus, Ohio ni mfano wa hili.
09:41
They became an example the moment their principal declared
178
581520
2736
Wamekuwa mfano pale ambapo mkuu wao shule alitangaza
09:44
that they were no longer going to punish girls for having "a bad attitude."
179
584280
3560
kwamba hawatoendelea kuwaadhibu wasichana kwa kuwa na "tabia mbaya."
09:49
In addition to building --
180
589320
2456
Katika nyongeza ya kujenga --
09:51
Essentially, what they did is they built out a robust continuum
181
591800
2976
Kwa umuhimu, walichofanya ni njia za
09:54
of alternatives to suspension, expulsion and arrest.
182
594800
3456
mbadala za kusimamishwa au kufukuzwa shuleni au kukamatwa na polisi.
09:58
In addition to establishing a restorative justice program,
183
598280
4056
Katika kuanzisha mfumo wa kurudisha haki,
10:02
they improved their student and teacher relationships
184
602360
2496
waliboresha mahusiano kati ya wanafunzi na walimu
10:04
by ensuring that every girl has at least one adult on campus
185
604880
2936
kwa kuhakikisha kwamba kila msichana anakuwa na angalau mtu mzima mmoja shuleni
10:07
that she can go to when she's in a moment of crisis.
186
607840
2896
ambaye anaweza kumfuata pale anapokuwa katika tatizo.
10:10
They built out spaces along the corridors of the school and in classrooms
187
610760
3456
Wamejenga nafasi katika korido za shule na madarasani
10:14
for girls to regroup, if they need a minute to do so.
188
614240
2480
kwa ajili ya wasichana kukutana
10:17
And they established an advisory program that provides girls with an opportunity
189
617400
3816
Na wameanzisha programu ya ushauri ambayo inasaidia wasichana na nafasi
10:21
to start every single day with the promotion of self-worth,
190
621240
4216
kuanza kila siku wakiamini thamani yao binafsi,
stadi ya kuwasiliana na namna ya kuweka malengo yao.
10:25
communication skills and goal setting.
191
625480
2160
Katika shule hii,
10:28
At this school,
192
628440
1256
wanajaribu kuelewa utoto ulio na majanga wa msichana husika
10:29
they're trying to respond to a girl's adverse childhood experiences
193
629720
3616
badala ya kuwakataa.
10:33
rather than ignore them.
194
633360
1496
Wanawaleta karibu; hawawatengi.
10:34
They bring them in closer; they don't push them away.
195
634880
2840
Na matokeo yake, kiasi cha adhabu na kufukuzwa shule kimepungua,
10:38
And as a result, their truancy and suspension rates have improved,
196
638520
3376
na wasichana wanafika shuleni wakiwa na utayari wa kujifunza
10:41
and girls are arriving at school increasingly ready to learn
197
641920
3016
kwa sababu wanatambua walimu wanawajali.
10:44
because they know the teachers there care about them.
198
644960
2736
Hiyo ina maana.
10:47
That matters.
199
647720
1200
Shule ambazo zinajumuisha sanaa na michezo katika mtaala wao
10:49
Schools that integrate the arts and sports into their curriculum
200
649960
3336
au wanajenga utaratibu wa kuleta mabadiliko,
10:53
or that are building out tranformative programming,
201
653320
2776
kama vile kuleta upya haki, kuwaza sahihi na utulivu wa akili,
10:56
such as restorative justice, mindfulness and meditation,
202
656120
3736
hutoa nafasi kwa wasichana kurekebisha mahusiano yao na wengine,
10:59
are providing an opportunity for girls to repair their relationships with others,
203
659880
4736
lakini pia kwa wao binafsi.
11:04
but also with themselves.
204
664640
1880
Kuweza kupambana na maisha tata ya nyuma
11:07
Responding to the lived, complex and historical trauma
205
667360
3536
ambayo wanafunzi wetu wamepitia
11:10
that our students face
206
670920
1496
huhitaji wote sisi kuamini katika ahadi ya watoto na vijana
11:12
requires all of us who believe in the promise of children and adolescents
207
672440
4536
kujenga mahusiano, nyenzo za kujifunza,
11:17
to build relationships, learning materials,
208
677000
3136
rasilimali watu na fedha na nyenzo nyinginezo
11:20
human and financial resources and other tools
209
680160
3576
ambazo zinawapa watoto nafasi ya kupona, ili kwamba waweze kujifunza.
11:23
that provide children with an opportunity to heal, so that they can learn.
210
683760
4360
Shule zetu zinatakiwa kuwa sehemu ambazo tunajali wasichana wetu waliopo katika hatari
11:30
Our schools should be places where we respond to our most vulnerable girls
211
690360
4536
kama muhimu katika kutengeneza utamaduni chanya wa shule.
11:34
as essential to the creation of a positive school culture.
212
694920
3600
Uwezo wetu wa kuona ahadi zake unatakiwa kuwa bora zaidi
11:40
Our ability to see her promise should be at its sharpest
213
700080
3616
pale anapotupwa katika umasikini na uraibu;
11:43
when she's in the throws of poverty and addiction;
214
703720
2856
pale anapoumizwa kwa kutumiwa kingono
11:46
when she's reeling from having been sex-trafficked
215
706600
2376
au anapotoka katika namna nyingine za vurugu;
11:49
or survived other forms of violence;
216
709000
2576
anapokuwa katika sauti yake kuu,
11:51
when she's at her loudest,
217
711600
2656
au katika ukimya kabisa.
11:54
or her quietest.
218
714280
1200
Tunatakiwa kumsaidia kielimu
11:57
We should be able to support her intellectual
219
717280
2496
na kihisia pia
11:59
and social-emotional well-being
220
719800
2016
haijalishi kaptula yake ipo magotini au katikati ya mapaja au juu zaidi.
12:01
whether her shorts reach her knees or stop mid-thigh or higher.
221
721840
3960
Inaonekana kama amri kuu katika dunia
12:08
It might seem like a tall order in a world
222
728680
2376
ikiwa imechimbiwa chini zaidi kwenye siasa za uoga
12:11
so deeply entrenched in the politics of fear
223
731080
2456
kutazama shule kama sehemu ambazo wasichana wanaweza pona na kufanikiwa,
12:13
to radically imagine schools as locations where girls can heal and thrive,
224
733560
4776
lakini inatakiwa tuwe imara zaidi vya kutosha kuweka hili kama lengo letu.
12:18
but we have to be bold enough to set this as our intention.
225
738360
2800
Kama tutaweza fanya katika mtazamo huu wa elimu ikiwa kama kazi ya uhuru,
12:22
If we commit to this notion of education as freedom work,
226
742400
3896
tunaweza badili mazingira ya elimu
12:26
we can shift educational conditions
227
746320
2296
ili kwamba kusiwe na msichana, hata yule aliye katika hatari kubwa kati yetu,
12:28
so that no girl, even the most vulnerable among us,
228
748640
3656
ambaye atafukuzwa shuleni.
12:32
will get pushed out of school.
229
752320
1696
Na hii maana yake ni ushindi kwetu sote.
12:34
And that's a win for all of us.
230
754040
2576
Asante.
12:36
Thank you.
231
756640
1256
(Makofi)
12:37
(Applause)
232
757920
5840
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7