Why should you read sci-fi superstar Octavia E. Butler? - Ayana Jamieson and Moya Bailey

420,395 views

2019-02-25 ・ TED-Ed


New videos

Why should you read sci-fi superstar Octavia E. Butler? - Ayana Jamieson and Moya Bailey

420,395 views ・ 2019-02-25

TED-Ed


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Julie Mbeyella Reviewer: Doris Mangalu
00:07
Following a devastating nuclear war,
0
7921
2440
Baada ya vita ya nuklea vya kusikitisha
00:10
Lilith Iyapo awakens after 250 years of stasis
1
10361
4300
Lilith Iyapo anaamka baada ya miaka 250 ya mapumziko
00:14
to find herself surrounded by a group of aliens called the Oankali.
2
14661
4196
kujikuta amezungukwa na kundi la viumbe linaloitwa Oankali.
00:18
These highly evolved beings want to trade DNA
3
18857
2880
Hawa viumbe walioendelea sana walitaka kubadilishana DNA
00:21
by breeding with humans
4
21737
1420
kwa kuzaliana na binadamu
00:23
so that each species’ genes can diversify and fortify the other.
5
23157
4360
ili kila kinasaba cha kiumbe kisambae na kiwe na nguvu kushinda kingine.
00:27
The only alternative they offer is sterilization of the entire human race.
6
27517
4740
Njia pekee wanayotoa ni kinga ya uzazi kwa jamii yote ya binadamu.
00:32
Should humanity take the leap into the biological unknown,
7
32257
3220
Je ubiinadamu utakubali kuingia kwenye biolojia isiyojulikana,
00:35
or hold on to its identity and perish?
8
35477
2850
au wang'ang'anie asili yao na wapotee?
00:38
Questions like this haunt Octavia Butler’s "Dawn,"
9
38327
2990
Maswali kama haya yamejaa kwenye "Dawn" ya Olivia Butler,
00:41
the first in her trilogy "Lilith’s Brood."
10
41317
2900
ya kwanza kwenye simulizi yake ya utatu ya "Lilith's Brood".
00:44
A visionary storyteller who upended science fiction,
11
44217
3020
Msimuliaji anayeona mbali aliyebadilisha bunilizi ya kisayansi,
00:47
Butler built stunning worlds throughout her work–
12
47237
2860
Butler amejenga dunia za kustaajabisha katika kazi yake --
00:50
and explored dilemmas that keep us awake at night.
13
50097
3090
na kufumbua mafumbo yanayotuweka macho usiku.
00:53
Born in 1947,
14
53187
1809
Alizaliwa mwaka 1947,
00:54
Butler grew up shy and introverted in Pasadena, California.
15
54996
4050
Butler alikua na aibu na mpole akiishi Pasadena, California.
00:59
She dreamt up stories from an early age,
16
59046
2340
Aliota hadithi akiwa na umri mdogo,
01:01
and was soon scribbling these scenarios on paper.
17
61386
2920
na punde akaanza kuziandika hizi fikra kwenye karatasi.
01:04
At twelve, she begged her mother for a typewriter
18
64306
2930
Na miaka kumi na mbili, alimuomba mama yake mashine ya kuchapa
01:07
after enduring a campy science fiction film called "Devil Girl From Mars."
19
67236
5020
baada ya filamu ya bunilizi ya sayansi iitwayo "Msichana Shetani kutoka Mars"
01:12
Unimpressed with what she saw,
20
72256
1841
Kutokuvutiwa na alichokiona,
01:14
Butler knew she could tell a better story.
21
74097
2610
Butler alijua angeweza kusimulia simulizi nzuri zaidi.
01:16
Much science fiction features white male heroes
22
76707
2730
Iliyojaa za bunilizi za sayansi wanaume weupe mashujaa
01:19
who blast aliens or become saviors of brown people.
23
79437
3460
wanaolipua viumbe au wanakua wakombozi wa watu weusi.
01:22
Butler wanted to write diverse characters for diverse audiences.
24
82897
3710
Butler alitaka kuandika wahusika tofauti kwa ajili ya watazamaji tofauti.
01:26
She brought nuance and depth to the representation of their experiences.
25
86607
4580
Alileta uelewa na kina kwenye uwakilishaji wa uzoefu wao.
01:31
For Butler,
26
91187
1057
Kwa Butler,
01:32
imagination was not only for planting the seeds of science fiction–
27
92244
3680
ubunifu haukua tu kwa kupanda mbegu za bunilizi za sayansi--
01:35
but also a strategy for surviving an unjust world on one’s own terms.
28
95924
4870
lakini pia njia ya kupona dunia isiyo na haki kwa mapatano ya mtu mwenyewe.
01:40
Her work often takes troubling features of the world
29
100794
2578
Kazi yake huchukua sehemu zenye mateso za duniani
01:43
such as discrimination on the basis of race, gender, class, or ability,
30
103372
4810
kama ubaguaji unaotakana na rangi, jinsia, hali au uwezo,
01:48
and invites the reader to contemplate them in new contexts.
31
108182
3943
na kumkaribisha msomaji kuzitafakari kwenye muktadha mpya.
01:52
One of her most beloved novels,
32
112125
1650
Moja ya riwaya zake zinazopendwa,
01:53
the "Parable of the Sower,"
33
113775
1490
ya "Mithali ya Mpanzi,"
01:55
follows this pattern.
34
115265
1540
Inafwata huu mpangilio.
01:56
It tells the story of Lauren Oya Olamina
35
116805
2760
Inaelezea hadithi ya Lauren Oya Olamina
01:59
as she makes her way through a near-future California, ruined by corporate greed,
36
119565
4210
akielekea njiani kupitia California ya karibuni, iliyoharibiwa na tamaa ya jumla,
02:03
inequality, and environmental destruction.
37
123775
3090
ukosefu wa haki, na uharibifu wa mazingira.
02:06
As she struggles with hyperempathy,
38
126865
1930
Akipambana na huruma kubwa,
02:08
or a condition in the novel that causes her to feel others’ pain,
39
128795
3150
au hali kwenye kitabu inayomfanya asikie uchungu wa wenzie,
02:11
and less often, their pleasure.
40
131945
1910
na mara chache, furaha yao.
02:13
Lauren embarks on a quest with a group of refugees to find a place to thrive.
41
133855
4470
Lauren anaanza safari na kundi la wakimbizi kutafuta sehemu ya kupumzika.
02:18
There, they seek to live in accordance with Lauren’s found religion, Earthseed,
42
138325
4925
Hapo, wanajaribu kuishi kutokana na dini yake aliyoigundua, mbegu-dunia,
02:23
which is based on the principle
43
143250
1580
ambayo inategemea kanuni
02:24
that humans must adapt to an ever-changing world.
44
144830
3410
kua binadamu wanatakiwa wafuate dunia inayobadilika kila mara.
02:28
Lauren’s quest had roots in a real life event–
45
148240
2470
Safari ya Lauren ina mizizi kwenye uhalisi wa maisha-
02:30
California Prop 187,
46
150710
2240
California Prop 187,
02:32
which attempted to deny undocumented immigrants fundamental human rights,
47
152950
4000
ambayo ilijaribu kuzuia wahamiaji bila vibali haki za msingi za kibinadamu,
02:36
before it was deemed unconstitutional.
48
156950
2430
kabla ilionekana kutotambulika kwenye katiba.
02:39
Butler frequently incorporated contemporary news into her writing.
49
159380
3610
Butler siku zote aliweka habari zinazoendelea kwenye uandishi wake.
02:42
In her 1998 sequel to "The Parable of the Sower," "Parable of the Talents,"
50
162990
4370
Kwenye mwendelezo wake mwaka 1998 wa "Mithali ya Mpanzi", "Mithali ya Talanta,"
02:47
she wrote of a presidential candidate
51
167360
1921
aliandika kuhusu mgombea uraisi
02:49
who controls Americans with virtual reality and “shock collars.”
52
169281
4310
anayewatawala Wamarekani kwa ukweli taswira na "mikanda ya umeme."
02:53
His slogan? “Make America great again.”
53
173591
2890
Msemo wake? "Fanya Marekani bora tena."
02:56
While people have noted her prescience,
54
176481
1860
Wakati watu wakitambua utabiri wake,
02:58
Butler was also interested in re-examining history.
55
178341
3320
Butler alivutiwa pia na kufwatilia tena historia.
03:01
For instance, "Kindred" tells the story of
56
181661
2110
Mfano "Jamaa" inaelezea hadithi ya
03:03
a woman who is repeatedly pulled back in time
57
183771
2400
mwanamke anayerudishwa nyuma ya muda mara kwa mara
03:06
to the Maryland plantation of her ancestors.
58
186171
3070
kwenye shamba la Maryland la mababu zake.
03:09
Early on, she learns that her mission is to save the life of the white man
59
189241
4530
Mwanzoni, anagundua kwamba kazi yake ni kuokoa maisha ya mwananume mweupe
03:13
who will rape her great grandmother.
60
193771
1761
ambae atambaka nyanya yake.
03:15
If she doesn’t save him, she herself will cease to exist.
61
195532
4130
Asipomuokoa, yeye mweyewe atasitishwa kuwepo
03:19
This grim dilemma forces Dana to confront the ongoing trauma
62
199664
3410
Haya matatizo makali yanamlazimisha Dana kutazama majanga yanayoendelea
03:23
of slavery and sexual violence against Black women.
63
203074
3610
ya utumwa na ubakaji yanayowakabili wanawake Weusi.
03:26
With her stories of women founding new societies,
64
206684
2650
Na simulizi zake za wanawake kuanzisha jumuiya mpya,
03:29
time travelers overcoming historical strife,
65
209334
2530
wasafiri wa mda wakishinda fitina za kihistoria,
03:31
and interspecies bonding,
66
211864
1910
na viumbe tofauti kushabihiana,
03:33
Butler had a profound influence on the growing popularity of Afrofuturism.
67
213774
4920
Butler alikuwa na ushawishi wa kushangaza kwenye umaarufu unaokua wa Afrofuturism.
03:38
That’s a cultural movement
68
218694
1306
Hio ni harakati ya utamaduni
03:40
where Black writers and artists who are inspired by the past, present and future,
69
220000
4820
ambapo waandishi na wasanii Weusi ambao wanavutiwa na ya nyuma, sasa na ya mbele,
03:44
produce works that incorporate magic, history, technology and much more.
70
224820
5380
kutoa kazi zinazojumuisha mazingaombwe, historia, teknolojia na mengine mengi.
03:50
As Lauren comes to learn in "Parable of the Sower,"
71
230200
2900
Wakati Lauren anakuja kujifunza kwenye "Mithali ya Mpanzi,"
03:53
"All that you touch you Change.
72
233100
2260
"Kila unachogusa unabadilisha.
03:55
All that you Change Changes you.
73
235360
2369
Kila unachobadilisha kinakubadilisha wewe.
03:57
The only lasting truth is Change.”
74
237729
3440
Ukweli pekee usiopinda ni Mabadiliko."
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7