What a scrapyard in Ghana can teach us about innovation | DK Osseo-Asare

72,563 views ・ 2018-08-30

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
00:13
Come with me to Agbogbloshie,
0
13650
2660
Twende pamoja sehemu iitwayo Agbogbloshie
00:16
a neighborhood in the heart of Accra,
1
16334
2786
eneo lililopo katikati ya jiji la Accra,
00:19
named after a god that lives in the Odaw River.
2
19144
3504
sehemu ambayo imepewa jina la miungu inayoishi mto wa Odaw.
00:23
There's a slum, Old Fadama,
3
23503
2814
kuna kitongoji duni na kongwe, Fadama,
00:26
built on land reclaimed from the Korle Lagoon,
4
26341
3775
uliojengwa kwenye ardhi iliyochukuliwa toka kwa Korle Lagoon,
00:30
just before it opens into the Gulf of Guinea.
5
30140
2704
kabla ya kufunguka kwenye ghuba ya Guinea.
00:33
There's a scrapyard here where people take apart all kinds of things,
6
33908
4108
Kuna jalala la vifaa chakavu hapa ambapo watu hufungua kila aina ya kitu,
00:38
from mobile phones to computers,
7
38040
2330
kuanzia simu za mkononi hadi kompyuta,
00:40
automobiles to even entire airplanes.
8
40394
2757
magari na hata ndege nzima.
00:43
Agbogbloshie's scrapyard is famous
9
43936
2539
jalala la Agbogbloshie ni maarufu
00:46
because it has become a symbol of the downside of technology:
10
46499
4479
kwa sababu pamekuwa ni ishara ya athari ya teknolojia:
00:51
the problem of planned obsolescence.
11
51002
2629
tatizo litokanalo na mpango wa utupaji wa vifaa vilivyokwisha muda wa matumizi.
00:54
It's seen as a place where devices from around the world end their life,
12
54203
5139
Inaonekana ni kama sehemu ambayo vifaa kutoka duniani kote hufikia mwisho wa maisha yake,
00:59
where your data comes to die.
13
59366
2801
ambapo taarifa zako zinakwenda kufa.
01:03
These are the images that the media loves to show,
14
63754
2770
Hizi ni picha ambazo vyombo vya habari hupenda kuonyesha,
01:06
of young men and boys burning wires and cables
15
66548
4822
za vijana wa kiume na wavulana wakiunguza nyaya
01:11
to recover copper and aluminum,
16
71394
2721
ili kuweza kupata shaba na alumini,
01:14
using Styrofoam and old tires as fuel,
17
74139
3399
kwa kutumia Styrofoam na matairi chakavu kama mafuta,
01:17
seriously hurting themselves and the environment.
18
77562
3066
wakijiumiza sana wao na mazingira.
01:21
It's a super-toxic process,
19
81993
2091
Ni mchakato wenye madhara makubwa mno,
01:24
producing pollutants that enter the global ecosystem,
20
84108
3877
uchafuzi ambao unaharibu mazingira ya ulimwengu,
01:28
build up in fatty tissue
21
88009
2116
unaojijenga katika tishu za mafuta
01:30
and threaten the top of the food chain.
22
90149
2446
na kutishia ngazi ya juu ya mlolongo wa chakula.
01:33
But this story is incomplete.
23
93950
2587
Lakini hadithi hii haijakamilika.
01:38
There's a lot we can learn from Agbogbloshie,
24
98943
2859
Kuna mengi tunaweza kujifunza kutokea Agbogbloshie,
01:41
where scrap collected from city- and nationwide is brought.
25
101826
4529
ambapo vifaa chakavu vinakusanywa kutokea majiji yote kitaifa na kuletwa hapo.
01:46
For so many of us,
26
106727
1722
Kwa wengi wetu,
01:48
our devices are black boxes.
27
108473
2221
vifaa vyetu ni sanduku za taarifa.
01:50
We know what they do,
28
110718
1415
Tunajua zinafanya nini,
01:52
but not how they work or what's inside.
29
112157
2690
lakini hatufahamu zifanyavyo kazi au kuna nini ndani yake.
01:55
In Agbogbloshie, people make it their business
30
115792
2485
Katika mji wa Agbogbloshie, watu hufanya hii ni biashara yao
01:58
to know exactly what's inside.
31
118301
2057
kwa kujua hasa yaliyomo ndani.
02:00
Scrap dealers recover copper, aluminum, steel, glass, plastic
32
120382
5536
Mawakala wa vifaa chakavu hupata shaba, alumini, chuma cha pua, kioo, plastiki
02:05
and printed circuit boards.
33
125942
1940
na sakiti za kuchapisha.
02:07
It's called "urban mining."
34
127906
1922
Inaitwa "uchimbaji madini wa mjini."
02:09
It's now more efficient for us to mine materials from our waste.
35
129852
5204
Ni rahisi sasa kwetu kupata madini na malighafi kutokana na uchafu wetu.
02:16
There is 10 times more gold, silver, platinum, palladium
36
136310
4520
Kuna dhahabu, fedha, platini, paladi mara kumi zaidi
02:20
in one ton of our electronics
37
140854
2356
katika tani moja ya vifaa vyetu vya kielectroniki
02:23
than in one ton of ore mined from beneath the surface of the earth.
38
143234
3958
kuliko katika tani moja ya mtapo wa jiwe la madini lililochimbwa kutoka chini ya ardhi.
02:29
In Agbogbloshie,
39
149600
1571
Mjini Agbogbloshie,
02:31
weight is a form of currency.
40
151195
2080
uzito ni mfumo wa fedha.
02:33
Devices are dissected to recover materials, parts and components
41
153918
5006
Vifaa hufunguliwa ili kupata malighafi na vipande
02:38
with incredible attention to detail,
42
158948
1816
kwa uangalifu mkubwa mno,
02:40
down to the aluminum tips of electric plugs.
43
160788
3128
mpaka chini kwenye ncha za plagi ya umeme zilizotengenezwa kwa aluminum.
02:45
But scrap dealers don't destroy components that are still functional.
44
165759
4125
Lakini wakala wa vifaa chakavu hawaharibu vifaa vidogo ambavyo bado vinafanya kazi.
02:49
They supply them to repair workshops like this one in Agbogbloshie
45
169908
4018
Huvipeleka kwenye karakana za matengenezo kama hii hapa mjini Agbogbloshie
02:53
and the tens of thousands of technicians across the country
46
173950
4493
na makumi ya mamia ya mafundi nchini kote
02:58
that refurbish electrical and electronic equipment,
47
178467
4091
ambao hukarabati vifaa vya umeme na kielectroniki,
03:02
and sell them as used products to consumers that may not be able to buy
48
182582
3788
ambao huviuza kama bidhaa zilizotumika kwa wateja ambao hawawezi kununua
03:06
a new television or a new computer.
49
186394
2148
televisheni au kompyuta mpya.
03:10
Make no mistake about it, there are young hackers in Agbogbloshie --
50
190463
3214
Usifanye makosa katika hili, kuna wadukuzi wadogo mjini Agbogbloshie --
03:13
and I mean that in the very best sense of that word --
51
193701
2844
Na ninamaanisha kwamba katika uhalisia wa neno hilo --
03:17
that know not only how to take apart computers
52
197315
2696
sio kwamba tu wanajua kufungua kompyuta.
03:20
but how to put them back together, how to give them new life.
53
200035
3251
wanajua kuzifunga tena, na wanajua namna ya kuzipa maisha mapya ziendelee kufanya kazi.
03:23
Agbogbloshie reminds us that making is a cycle.
54
203817
3779
Agbogbloshie inatukumbusha kwamba kutengeneza ni mzunguko.
03:27
It extends to remaking and unmaking
55
207620
3252
Inaenda hadi katika kutengeneza tena na kufungua
03:30
in order to recover the materials that enable us to make something anew.
56
210896
3933
ili kuweza kuokoa vifaa ambavyo vinatuwezesha kutengeneza kitu kipya.
03:35
We can learn from Agbogbloshie,
57
215472
1928
Tunaweza kujifunza kutoka Agbogbloshie,
03:37
where cobblers remake work boots,
58
217424
3851
ambapo mafundi viatu hukarabati buti za kazi,
03:41
where women collect plastic from all over the city,
59
221299
3340
ambapo wakina mama hukusanya plastiki kutokea pande zote za jiji,
03:44
sort it by type,
60
224663
1498
hupanga kwa aina,
03:46
shred it, wash it
61
226185
1949
hukata, kuosha
03:48
and ultimately sell it back as feedstock to factories
62
228158
3090
na kuuza tena kwa viwanda
03:51
to make new clothing,
63
231272
1368
ili kutengeneza nguo mpya,
03:52
new plastic buckets
64
232664
1767
ndoo mpya za plastiki
03:54
and chairs.
65
234455
1161
na viti.
03:56
Steel is stockpiled separately,
66
236444
2433
Chuma cha pua hupangwa peke yake,
03:58
where the carcasses of cars and microwaves and washing machines
67
238901
3930
ambapo machuma ya magari na majiko ya mionzi na mashine za kufulia
04:02
become iron rods for new construction;
68
242855
2294
hugeuka kuwa nguzo za chuma kwa ujenzi mpya;
04:05
where roofing sheets become cookstoves;
69
245173
2551
ambapo mabati hugeuka kuwa majiko ya kupikia;
04:07
where shafts from cars become chisels
70
247748
3551
ambapo mipini ya magari hugeuka kuwa patasi
04:11
that are used to scrap more objects;
71
251323
3507
ambazo hutumika kuchambua malighafi katika vifaa chakavu;
04:14
where aluminum recovered from the radiators of fridges
72
254854
4273
ambapo alumini inayopatikana kutoka kwenye majokofu
04:19
and air conditioners
73
259151
2723
na kiyoyozi
04:21
are melted down
74
261898
1336
huyeyushwa
04:23
and use sand casting to make ornaments for the building industry,
75
263258
4054
na kujazwa katika vitengeneza umbo kwa ajili ya kupata mapambo yatumikayo katika sekta ya ujenzi,
04:27
for pots which are sold just down the street in the Agbogbloshie market
76
267336
3931
au vyungu ambavyo huuzwa kwenye mitaa ya masoko ya Agbogbloshie
04:31
with a full array of locally made ovens, stoves and smokers,
77
271291
6336
na wingi wa majiko yaliyotengenezwa kienyeji,
04:37
which are used every day
78
277651
1538
ambayo hutumika kila siku
04:39
to make the majority of palm nut soups,
79
279213
3406
kutengeneza supu ya mbegu za mchikichi,
04:42
of tea and sugar breads,
80
282643
1877
kuchemsha chai na mikate ya sukari,
04:44
of grilled tilapia in the city.
81
284544
1951
kuchoma samaki.
04:47
They're made in roadside workshops like this one by welders like Mohammed,
82
287322
4827
Yanatengenezwa katika karakana zilizopo pembezoni mwa barabara na mafundi kuchomelea kama Mohammed,
04:52
who recover materials from the waste stream
83
292173
2519
ambaye hupata malighafi kutoka katika vifaa vilivyotupwa
04:54
and use them to make all kinds of things,
84
294716
2008
na kutumia kutengeneza kila aina ya vitu,
04:56
like dumbbells for working out out of old car parts.
85
296748
2960
mfano vinyanyua uzito kwa ajili ya mazoezi vitokanavyo na vifaa chakavu vya magari.
04:59
But here's what's really cool:
86
299732
1492
Lakini hili ndilo jambo la kufurahisha:
05:01
the welding machines they use look like this,
87
301248
2339
mashine za kuchomelea wanazotumia kama hii,
05:03
and they're made by specially coiling copper
88
303611
4235
zinatengenezwa kwa shaba maalumu zilizoviringishwa
05:07
around electrical steel recovered from old transformer scrap.
89
307870
6054
kwenye chuma cha pua kilichotokana na transfoma chakavu.
05:14
There's an entire industry just next to Agbogbloshie
90
314630
3420
Kuna kiwanda pembeni kidogo ya Agbogbloshie
05:18
making locally fabricated welding machines that power local fabrication.
91
318074
4579
ambapo wanatengeneza mashine za kuchomelea ambazo hutumika kutengeneza vifaa.
05:23
What's really cool as well is that there's a transfer of skills and knowledge
92
323549
3809
Uzuri ni kwamba kuna mabadilishano ya utaalamu na maarifa
05:27
across generations,
93
327382
1430
kutoka kizazi kimoja kwenda kinachofuata,
05:28
from masters to apprentices,
94
328836
1974
kutokea kwa mwalimu kwenda kwa mwanafunzi,
05:30
but it's done through active learning, through heuristic learning,
95
330834
3719
lakini inawezekana kwa kujifunza kwa vitendo,
05:34
learning by doing and by making.
96
334577
1947
kujifunza kwa kufanya na kutengeneza.
05:36
And this stands in sharp contrast
97
336548
2217
Na hii inadhihirisha utofauti uliopo kutokana na
05:38
to the experience of many students in school,
98
338789
2409
uzoefu wa wanafunzi wengi mashuleni,
05:41
where lecturers lecture,
99
341222
1609
ambapo walimu hufundisha ubaoni,
05:42
and students write things down and memorize them.
100
342855
2705
na wanafunzi huandika vitu na kuvikariri.
05:46
It's boring, but the real problem is
101
346099
2875
Inachosha, lakini tatizo halisi ni
05:48
this somehow preempts their latent or their inherent entrepreneurial power.
102
348998
6114
kwamba hali hii huondoa uwezo wa nguvu yao ya kijasiriamali.
05:55
They know books but not how to make stuff.
103
355525
2260
Wanajua vitabu na sio namna ya kutengeneza vitu.
05:58
Four years ago, my cofounder Yasmine Abbas and I asked:
104
358872
4094
Miaka minne iliyopita, mimi na mwanzilishi mwenzangu Yasmine Abbas tuliuliza:
06:02
What would happen if we could couple
105
362990
2359
Kipi kitatokea kama tukiunganisha
06:05
the practical know-how of makers in the informal sector
106
365373
3636
utaalamu wa kiufundi walionao waliopo katika sekta isiyo rasmi
06:09
with the technical knowledge of students and young professionals
107
369033
4746
na maarifa ya kiufundi waliyonayo wanafunzi na vijana wataalamu
06:13
in STEAM fields --
108
373803
1393
katika nyanja ya STEM --
06:15
science, technology, engineering, arts and mathematics --
109
375220
3797
sayansi, teknolojia, uhandisi na hisabati --
06:19
to build a STEAM-powered innovation engine
110
379041
3365
kutengeneza mfumo wa ukuzaji ubunifu unaoendeshwa na nyanja hizi
06:22
to drive what we call "Sankofa Innovation," which I'll explain.
111
382430
4057
ili kuendesha kitu kiitwacho "Ugunduzi wa Sankofa," nitaelezea.
06:27
We took forays into the scrapyard
112
387656
3757
Tulivamia majalala vya vifaa chakavu
06:31
to look for what could be repurposed,
113
391437
2844
kuangalia kipi tunaweza kukipa umaana wake tena,
06:34
like DVD writers that could become laser etchers,
114
394305
2921
kama viandishi vya DVD vinavyoweza tumika kuchapa maneno kwenye metali
06:37
or the power supplies of old servers
115
397250
3662
au kifaa cha kusambaza nguvu ya umeme katika seva
06:40
for a start-up in Kumasi making 3D printers out of e-waste.
116
400936
3955
kwa ajili ya kampuni iliyoanzishwa Kumasi ambayo inatengeneza vichapishi vya 3D kutokana na taka za kielectroniki.
06:45
The key was to bring together young people from different backgrounds
117
405453
3734
Maana yetu ilikuwa ni kuleta pamoja vijana wadogo kutoka katika hali mbalimbali
06:49
that ordinarily never have anything to do with each other,
118
409211
3507
ambapo kwa kawaida hawana chochote kinachoweza kuwaunganisha pamoja,
06:52
to have a conversation about how they could collaborate
119
412742
3720
kufanya maongezi ya namna ambavyo wanaweza kushirikiana
06:56
and to test and develop new machines and tools
120
416486
4109
kujaribu na kuunda machine na vifaa vipya
07:00
that could allow them to shred and strip copper instead of burning it,
121
420619
3911
ambapo itawasaidia kukata na kuchuna shaba badala ya kuchoma moto,
07:04
to mold plastic bricks and tiles,
122
424554
3154
kuunda matofali na marumaru,
07:07
to build new computers out of components recovered from dead electronics,
123
427732
5554
kutengeneza kompyuta mpya kutokana na vifaa vinavyotokana na mashine za kielectroniki zisizofanya kazi,
07:13
to build a drone.
124
433310
1848
kuunda ndege ndogo zinazoendeshwa kwa rimoti.
07:16
And here you can see it flying for the first time in Agbogbloshie.
125
436142
4628
Na hapa unaweza kuiona ikipaa kwa mara ya kwanza katika Agbogbloshie.
07:22
(Applause)
126
442460
3974
(Makofi)
07:27
Yasmine and I have collaborated with over 1,500 young people,
127
447129
4177
Mimi na Yasmine tumeshirikiana na zaidi ya vijana wadogo 1500,
07:31
750 from STEAM fields,
128
451330
3351
750 wakitokea katika nyanja ya STEM,
07:34
and over 750 grassroots makers and scrap dealers
129
454705
4553
na zaidi ya 750 ambao ni mawakala wa vifaa chakavu
07:39
from Agbogbloshie and beyond.
130
459282
2045
kutokea Agbogbloshie na sehemu nyinginezo.
07:41
They've joined hands together to develop a platform
131
461351
4507
Wameungana pamoja kutengeneza jukwaa
07:46
which they call Spacecraft,
132
466665
2956
linalofahamika kama Spacecraft,
07:49
a hybrid physical and digital space for crafting,
133
469645
3617
sehemu ambayo ni mchanganyiko wa eneo halisi na eneo la kidijitali kwa ajili ya uundaji,
07:53
more of a process than a product,
134
473286
2941
zaidi kuhusu mchakato kuliko bidhaa,
07:56
an open architecture for making,
135
476251
3884
ujenzi huru wa utengenezaji,
08:00
which involves three parts:
136
480159
1681
ambao unahusisha namna tatu:
08:01
a makerspace kiosk, which is prefab and modular;
137
481864
3004
kibanda cha mtengenezaji, ambapo ni utengenezaji na uundaji;
08:04
tool kits which can be customized based on what makers want to make;
138
484892
4202
vifaa ambavyo vinaweza rekebishwa kulingana na kile anachotaka kuunda mtengenezaji;
08:09
and a trading app.
139
489118
1532
na programu ya uchuuzi.
08:10
We built the app specifically with the needs of the scrap dealers
140
490674
3692
Tumetengeneza programu hii mahususi kwa mahitaji ya mawakala wa vifaa chakavu
08:14
in mind first,
141
494390
1421
tukiwaweka akilini kwanza,
08:15
because we realized that it was not enough to arm them with information
142
495835
4474
kwa sababu tulitambua kwamba haikutosha kuwapa taarifa
08:20
and upgraded technology
143
500333
1614
na teknolojia ya kisasa
08:21
if we wanted them to green their recycling processes;
144
501971
3220
kama tulitaka wafanye mchakato wa kurudisha malighafi uwe salama kwa mazingira;
08:25
they needed incentives.
145
505215
1912
walihitaji motisha.
08:27
Scrap dealers are always looking for new scrap and new buyers
146
507151
3643
Wakala wa vifaa chakavu muda wote wanatafuta vifaa chakavu na wanunuzi wapya
08:30
and what interests them is finding buyers who will pay more
147
510818
4181
na wanachofurahia ni kupata mnunuzi ambaye atalipa zaidi
08:35
for clean copper than for burnt.
148
515023
2365
kwa shaba safi kuliko iliyochomwa moto.
08:38
We realized that in the entire ecosystem,
149
518213
2750
Tuligundua kwamba katika mzunguko mzima,
08:40
everyone was searching for something.
150
520987
2469
kila mtu alikuwa akitafuta kitu fulani.
08:43
Makers are searching for materials, parts, components, tools, blueprints
151
523480
6044
Watengenezaji wanatafuta malighafi
08:49
to make what it is they want to make.
152
529548
2065
za kutengeneza vifaa wanavyotaka kutengeneza.
08:51
They're also finding a way to let customers and clientele
153
531962
3635
Pia wanatafuta namna ya kuwataarifu wateja
08:55
find out that they can repair a blender
154
535621
2191
kutambua kwamba wanaweza kurekebisha mashine ya kusaga matunda na mboga
08:57
or fix an iron
155
537836
1470
au kurekebisha pasi mbovu
08:59
or, as we learned yesterday, to make a french fry machine.
156
539330
3253
au, kama tulivyojifunza jana, kutengeneza mashine ya kukaanga chipsi.
09:03
On the flip side, you find that there are end users
157
543496
3286
Katika upande mwingine, utagundua kwamba kuna watumiaji wa mwisho
09:06
that are desperately looking for someone that can make them a french fry machine,
158
546806
3918
ambao kwa hali na mali wanatafuta mtu ambaye atawatengenezea mashine za kukaanga chipsi,
09:10
and you have scrap dealers who are looking how they can collect this scrap,
159
550748
3713
na una wakala wa vifaa chakavu ambao wanatafuta namna wa kukusanya vifaa chakavu,
09:14
process it, and turn it back into an input for new making.
160
554485
3952
kuvichakata, na kurudisha katika hali yake ya upya.
09:18
We tried to untangle that knot of not knowing
161
558461
3042
Tulijaribu kufungua fundo la kukosa ufahamu
09:21
to allow people to find what they need to make what they want to make.
162
561527
3431
kuwafanya watu kutafuta wanachohitaji ili kutengeneza wanachotaka tengeneza.
09:24
We prototyped the makerspace kiosk in Agbogbloshie,
163
564982
3662
Tulitengeneza kibanda cha uundaji cha mfano katika Agbogbloshie,
09:28
conceived as the opposite of a school:
164
568668
2798
ikionyesha utofauti wa shule:
09:31
a portal into experiential and experimental making
165
571490
3834
sehemu ambayo ni ya kutengeneza kwa kufanya majaribio
09:35
that connects local and global
166
575348
2077
ambayo inaunganisha kwetu na ulimwengu
09:37
and connects making with remaking and unmaking.
167
577449
3483
na inaunganisha kutengeneza, pamoja na kukarabati na kufungua vifaa.
09:41
We made a rule that everything had to be made from scratch
168
581831
3304
Tulitengeneza sharti ambalo linasema kila kitu kinatakiwa kutengenezwa kuanzia mwanzoni
09:45
using only materials made in Ghana
169
585159
2407
kwa kutumia malighafi zilizotengenezwa Ghana
09:47
or sourced from the scrapyard.
170
587590
1864
au zilizopatikana kwenye jalala la vyuma chakavu.
09:50
The structures essentially are simple trusses which bolt together.
171
590136
4614
Muundo unatokana na mihimili ambayo inaungwa pamoja na bolti.
09:54
It takes about two hours to assemble one module with semi-skilled labor,
172
594774
4803
Huchukua takribani masaa mawili kukusanya jengo moja kwa mjengaji mwenye utaalamu wa kati,
09:59
and by developing tooling and jigs and rigs,
173
599601
3114
na kwa kutengeneza vifaa,
10:02
we were able to actually build these standardized parts
174
602739
3543
tunaweza kutengeneza hivi vipande vya kuunda jengo
10:06
within this ecosystem of artisanal welders
175
606306
3344
ndani ya mzunguko wa ufundi wa fani ya uchomeleaji vyuma
10:09
with the precision of one millimeter --
176
609674
1925
katika usahihi wa milimita moja --
10:12
of course, using made-in-Agbogbloshie welding machines,
177
612637
3035
Kwa uhakika, tukitumia mashine za kuchomelea zilizotengenezwa Agbogbloshie,
10:15
as well as for the tools,
178
615696
1443
na vile vile kwa vifaa,
10:17
which can lock, the toolboxes, and stack to make workbenches,
179
617163
3615
ambavyo vinaweza kufungwa, na kutengeneza mahala pa kufanyia kazi,
10:20
and again, customized based on what you want to make.
180
620802
2628
na tena, kufunga kwa kulingana na unachotaka kutengeneza.
10:23
We've tested the app in Agbogbloshie
181
623827
3052
Tumeijaribu programu ndani ya Agbogbloshie
10:26
and are getting ready to open it up to other maker ecosystems.
182
626903
3496
na tupo tayari kuizindua kwa mizunguko ya watengenezaji sehemu nyingine.
10:30
In six months, we'll have finished three years of testing
183
630826
3689
Ndani ya miezi sita, tutakuwa tumemaliza miaka mitatu ya kujaribu
10:34
the makerspace kiosk,
184
634539
1662
kibanda chetu cha uundaji,
10:36
which I have to admit, we've subjected to some pretty horrific abuse.
185
636225
4097
ambapo inabidi nikubali, tumefanya uharibifu wa kutisha sana.
10:40
But it's for a good cause,
186
640346
1929
Lakini kwa maana iliyo nzuri,
10:42
because based on the results of that testing,
187
642299
2245
kwa sababu kutokana na matokeo ya majaribio yetu,
10:44
we've been able to redesign an upgraded version of this makerspace.
188
644568
5315
tumeweza kufanya maboresho ya kibanda cha uundaji.
10:49
If a fab lab is large, expensive, and fixed in place,
189
649907
5619
Kama maabara ya uundaji ni kubwa, iliyo ghali, na ipo mahala isipohamishika,
10:55
think of this as the counterpoint:
190
655550
2024
waza hili kama ulinganishi:
10:58
something low-cost,
191
658273
1818
kile kilicho cha gharama ya chini,
11:00
which can be locally manufactured,
192
660828
3163
ambacho kinaweza tengenezwa kienyeji,
11:04
which can be expanded and kitted out incrementally
193
664015
3595
ambacho kinaweza kuongezwa vifaa na nafasi
11:07
as makers acquire resources.
194
667634
2295
pale mtengenezaji anapopata vifaa vipya.
11:09
You can think of it as a toolshed,
195
669953
2850
Unaweza kuwaza ni kama vile kijisehemu cha vifaa,
11:12
where makers can come and check out tools
196
672827
3125
ambapo watengenezaji wanaweza kuja na kuchukua vifaa
11:15
and take them via handcart
197
675976
2362
na kuweka katika toroli la kusukuma na mkono
11:18
to wherever they want in the city to make what it is they want to make.
198
678362
3359
popote pale watakapo ndani ya jiji kutengeneza kile wanachotaka kutengeneza.
11:21
And moving into the next phase, we're planning to also add
199
681745
2947
Na kuelekea katika hatua nyingine, pia tunapanga kuongeza
11:24
ceiling-mounted CNC bots,
200
684716
2864
roboti waliofungwa kwenye dari,
11:27
which allow makers to cocreate together with robots.
201
687604
3777
ambapo itasaidia watengenezaji kutengeneza pamoja na roboti.
11:31
Ultimately, this is a kit of parts,
202
691405
2258
Kwa uhakika, hii ni zana ya vifaa
11:33
which can be assembled locally within the informal sector
203
693687
3369
ambayo inaweza kusanywa kawaida katika sekta isiyo rasmi
11:37
using standardized parts
204
697080
1831
kwa kutumia vifaa vya wastani
11:38
which can be upgraded collectively through an open-source process.
205
698935
3706
ambavyo vinaweza boreshwa kwa pamoja kupitia mchakato huru na wazi.
11:46
In totality, this entire makerspace system
206
706800
2367
Kwa ujumla, huu mfumo mzima wa sehemu ya uundaji
11:49
tries to do five things:
207
709191
1714
unajaribu kufanya vitu vitano:
11:50
to enable emerging makers to gather the resources they need
208
710929
5200
kuwasaidia watengenezaji wanaochipukia kukusanya rasilimali wanazohitaji
11:56
and the tools to make what they want to make;
209
716153
2164
na vifaa vya kutengeneza wanachotaka kuunda;
11:58
to learn by doing and from others;
210
718341
2858
kujifunza kwa kufanya na kwa wengine pia;
12:01
to produce more and better products;
211
721223
2971
kutengeneza bidhaa nyingi na zilizo bora;
12:04
to be able to trade to generate steady income;
212
724218
2724
kuweza kufanya biashara na kutengeneza kipato imara;
12:06
and ultimately, to amplify not only their reputation as a maker,
213
726966
3837
na mwishoni, kuongeza nguvu si tu katika sifa yao kama watengenezaji,
12:10
but their maker potential.
214
730827
1550
lakini pia uwezo wao wa utengenezaji.
12:13
Sankofa is one of the most powerful Adinkra symbols of the Akan peoples
215
733266
4528
Sankofa ni moja ya ishara za Adinkra zenye nguvu za watu wa Akan
12:17
in Ghana and Cote d'Ivoire,
216
737818
1348
nchini Ghana and Cote d'Ivoire,
12:19
and it can be represented as a bird reaching onto its back to collect an egg,
217
739190
5312
na inaweza kumaanisha ndege anayegeuka nyuma ili kukusanya yai,
12:24
a symbol of power.
218
744526
1218
ishara ya nguvu.
12:27
It translates literally from the Twi as "return and get it,"
219
747331
3138
Inamaanisha kwamba "rudi nyuma na pata" kutokea kwa Twi
12:30
and what this means is that if an individual or a community or a society
220
750493
4733
na hii ina maana kwamba kama mtu au jamii
12:35
wants to have a successful future, they have to draw on the past.
221
755250
4756
anataka kuwa na mafanikio siku za mbeleni, anatakiwa vuta kwa yale yaliyopita.
12:40
To acquire and master existing ways of doing,
222
760030
3542
Kujipatia na kuzoea namna iliyopo ya ufanyaji vitu,
12:43
access the knowledge of their ancestors.
223
763596
2318
kutumia maarifa ya mhenga.
12:45
And this is very relevant
224
765938
1215
Na hii ni halisi
12:47
if we want to think about an inclusive future for Africa today.
225
767177
4386
kama leo tunataka kuwaza kuhusu Afrika ya kesho.
12:51
We have to start from the ground up,
226
771587
2403
Tunatakiwa kuanzia chini kuelekea juu,
12:54
mining what already works for methods and for models,
227
774014
4003
kuchimbua kile ambacho tayari kinafanya kazi kwa namna na mifano,
12:58
and to think about how might we be able to connect,
228
778041
4132
na kuwaza ni namna gani tunaweza kuunganisha,
13:02
in a kind of "both-and," not "either-or" paradigm,
229
782197
4112
katika namna ya "vyote-pamoja" na sio "hiki-au kile",
13:06
the innovation capacity of this growing network
230
786333
3586
uwezo wa uvumbuzi wa mtandao huu unaokua
13:09
of tech hubs and incubators across the continent
231
789943
3245
wa vitovu vya teknolojia na sehemu za kutoa mafunzo barani
13:13
and to rethink beyond national boundaries and political boundaries,
232
793212
4591
na kuwaza tena zaidi ya mipaka ya kitaifa na kisiasa,
13:17
to think about how we can network innovation in Africa
233
797827
4290
kuwaza kuhusu namna gani tunaweza kutengeneza mtandao wa uvumbuzi barani Afrika
13:22
with the spirit of Sankofa
234
802141
2519
katika moyo wa Sankofa
13:24
and the existing capacity of makers at the grassroots.
235
804684
4444
na uwezo uliopo wa watengenezaji waliopo katika ngazi ya chini.
13:30
If, in the future, someone tells you
236
810033
1788
Kama, siku za mbeleni, mtu atakuambia
13:31
Agbogbloshie is the largest e-waste dump in the world,
237
811845
3540
Agbogbloshie ni jalala kubwa duniani la vifaa vibovu vya kielectroniki,
13:35
I hope you can correct them
238
815409
2232
Nina imani unaweza kumrekebisha
13:37
and explain to them that a dump is a place where you throw things away
239
817665
4544
na kumueleza kwamba jalala ni sehemu ambayo unatupa vitu
13:42
and leave them forever;
240
822233
1368
na kuviacha milele;
13:43
a scrapyard is where you take things apart.
241
823625
2211
yadi ya vifaa chakavu ni sehemu unayovifungua vifaa hivi.
13:45
Waste is something that no longer has any value,
242
825860
3217
Uchafu ni kitu ambacho hakina thamani tena,
13:49
whereas scrap is something that you recover
243
829101
2634
ambapo kifaa chakavu ni kitu ambacho kinakupa malighafi
13:51
specifically to use it to remake something new.
244
831759
3780
mahususi kwa kutumia kutengeneza kifaa kingine kipya.
13:57
Making is a cycle,
245
837523
1407
Utengenezaji ni mzunguko,
13:59
and African makerspaces are already pioneering and leading
246
839676
5043
na sehemu za uundaji vifaa zilizopo Afrika tayari zinaongoza
14:05
circular economy at the grassroots.
247
845969
2638
katika uchumi mzunguko katika ngazi ya chini.
14:09
Let's make more and better together.
248
849128
2245
Tutengeneza zaidi na kilicho bora pamoja.
14:11
Thank you.
249
851397
1167
Asante.
14:12
(Applause)
250
852588
3449
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7