Creativity builds nations | Muthoni Drummer Queen

33,985 views ・ 2019-10-22

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Joachim Mangilima
00:12
Between 2004 and 2008,
0
12667
2726
Kati ya mwaka 2004 na 2008,
00:15
I unsuccessfully tried to get into the Kenyan music industry.
1
15417
3934
Nilijaribu bila mafanikio kuingia katika biashara ya muziki ya Kenya.
00:19
But the recurring answer from producers
2
19375
2684
Lakini jibu lililokuwa likijirudia kutoka kwa watayarishaji wa muziki
00:22
was I was not Kenyan enough.
3
22083
2310
lilikuwa kwamba sikuwa Mkenya vya kutosha.
00:24
Meaning what?
4
24417
1267
Inamaanisha nini?
00:25
I didn't sing fully in the slang derivative of Kiswahili
5
25708
3268
Sikuimba lugha za mtaani zitokanazo na Kiswahili vile ipasavyo
00:29
and I didn't sing enough party tracks,
6
29000
2309
na sikuimba nyimbo za kujirusha vya kutosha,
00:31
so they said Kenyans wouldn't listen to a Kenyan who sounded like me.
7
31333
3625
hivyo walisema Wakenya hawatomsikiliza Mkenya aimbaye kama mimi.
00:36
This idea of otherism,
8
36042
1934
Dhana ya kubaguana,
00:38
the exclusion of a person
9
38000
1476
kumtenga mtu
00:39
based on their perceived deviation from the norms,
10
39500
2893
kutokana na mtazamo wao ulio tofauti na desturi,
00:42
goes to the root of the problems in Kenya.
11
42417
2684
unakwenda hadi katika mizizi ya matatizo nchini Kenya.
00:45
And it runs deep.
12
45125
1542
Na unakwenda ndani zaidi.
00:47
Kenya was invented by colonialists in 1895,
13
47667
3184
Kenya ilianzishwa na wakoloni mnamo mwaka 1895,
00:50
and with it, came the erasure of our identity
14
50875
2851
na katika hilo, ndipo ulitokea upotevu wa utambulisho wetu
00:53
and the class system built on otherism.
15
53750
2559
na mfumo wa madaraja uliojengwa katika ubaguzi
00:56
So by 1963, when we received our independence,
16
56333
3393
Hivyo hadi mwaka 1963, tulipopata uhuru wetu,
00:59
these ideas had already become the new normal.
17
59750
3143
hizi dhana zilikuwa tayari zimechukuliwa kawaida.
01:02
Now, we've tried a lot of different ways to move forward since.
18
62917
2976
Sasa, tangu hapo tumejaribu namna mbalimbali kuweza kusonga mbele.
01:05
We have a common language, currency, infrastructure,
19
65917
2767
Tuna lugha moja, fedha moja na miundombinu,
01:08
basically all the things that make a country a country.
20
68708
2935
kimsingi yale yote ambayo yanafanya nchi kuwa nchi
01:11
But all these efforts at nation-building
21
71667
2351
Lakini juhudi hizi zote katika ujenzi wa taifa
01:14
do not go to the heart of the matter.
22
74042
2226
hazifiki katika kiini cha tatizo.
01:16
Which is this:
23
76292
1267
Ambacho ni:
01:17
we cannot build what we do not truly love.
24
77583
2851
hatuwezi tengeneza kile ambacho hatuna mapenzi ya dhati kwake.
01:20
And we cannot love until we love ourselves.
25
80458
3976
Na hatuwezi kupenda mpaka tutapojipenda wenyewe.
01:24
The thing we have to heal, us Kenyans,
26
84458
2435
Kitu ambacho tunatakiwa kupona, sisi Wakenya,
01:26
is our lack of self-love,
27
86917
1684
ni kushindwa kujipenda wenyewe,
01:28
our deep self-hate
28
88625
2018
chuki yetu binafsi ya ndani
01:30
and our existential identity crisis.
29
90667
3226
na janga letu lililopo la ukosefu wa utambulisho.
01:33
And this is the work of nation-building
30
93917
2517
Na hii ni kazi ya kujenga taifa
01:36
that only the creative industry can do.
31
96458
2584
ambayo wasanii pekee ndiyo wanaweza kufanya.
01:40
The idea that Kenya can only include some of us
32
100417
2934
Suala la kwamba Kenya inaweza kujumuisha baadhi yetu tu
01:43
led me to found a music festival in 2008 called Blankets and Wine,
33
103375
4143
lilinipelekea mimi kuanzisha tamasha la muziki mwaka 2008 liitwalo Blankest and Wine,
01:47
to give a platform to myself and other misfits.
34
107542
3059
kuweza kujipa jukwaa na pia kwa wale wengine wanaobaguliwa .
01:50
Ten years later, we've programmed over 200 bands
35
110625
2434
Miaka kumi baadaye, tumeweza kuhusisha bendi zaidi ya 200
01:53
and put at least 100,000 dollars
36
113083
2268
na kuweka si chini ya dola 100,000
01:55
directly into the hands of artists and managers,
37
115375
2976
moja kwa moja katika mikono ya wasanii na mameneja,
01:58
who have in turn spent it on technicians, rehearsals,
38
118375
3309
ambao wamezitumia kwa mafundi mitambo, kufanyia mazoezi,
02:01
music videos and other things along the music value chain.
39
121708
3851
kutengeneza video za muziki na mambo mengine pamoja na thamani ya mlolongo wa muziki.
02:05
Our platform has allowed for multiple Kenyan identities to exist,
40
125583
4185
Jukwaa letu limewezesha Wakenya wengi katika muziki kuweza kupata nafasi,
02:09
while inspiring the industry to discover and engage
41
129792
2476
pamoja na kuhamasisha biashara ya muziki kutambua na kuwaunganisha
02:12
the wide variety of Kenyan music.
42
132292
2726
namna mbalimbali za muziki wa Kenya.
02:15
What we do is necessary but insufficient.
43
135042
3226
Tunachokifanya ni muhimu lakini bado hakitoshelezi.
02:18
And we must urgently pivot into a live music circuit.
44
138292
3642
Na lazima kwa haraka tuweze egemea katika mfumo wa kupiga muziki mubashara.
02:21
But there are other ways music can help heal the nation.
45
141958
4143
Lakini kuna njia nyingine muziki unaweza saidia kuponya taifa.
02:26
According to a 2018 state of media report,
46
146125
2934
Kutokana na ripoti za mwaka 2018 za chombo cha habari cha serikali,
02:29
traditional radio is sill by far the biggest distributor of ideas in Kenya,
47
149083
4393
redio za kiasili ndizo chanzo kikubwa sana cha usambazaji wa mawazo nchini Kenya,
02:33
with 47 percent of Kenyans still choosing radio first.
48
153500
3893
ikiwa kwamba asilimia 47 ya Wakenya bado wanaipa redio kipaumbele.
02:37
This presents an opportunity.
49
157417
2309
Hii inaleta fursa.
02:39
We can use radio to help Kenyans hear the diversity that is Kenya.
50
159750
4143
Tunaweza tumia redio kuwasaidia Wakenya kusikiliza maudhui mbalimbali yaliyopo Kenya.
02:43
We can reserve 60 percent of all programing on Kenyan radio
51
163917
3476
Tunaweza kutenga asilimia 60 ya vipindi vyote katika redio za Kenya
02:47
for Kenyan music.
52
167417
1684
kwa ajili ya muziki wa Kenya.
02:49
We can break down ethnic barriers
53
169125
1643
Tunaweza vunja mipaka ya kikabila
02:50
by playing Kenyan music done in English, Kiswahili
54
170792
3101
kwa kupiga muziki wa Kenya unaoimbwa kwa Kiingereza, Kiswahili
02:53
and other ethnic languages,
55
173917
1767
na lugha nyinginezo za kiasili,
02:55
on what is now single-language ethnic radio.
56
175708
3726
katika redio ambayo kwa sasa ni redio ya lugha moja tu ya kikabila.
02:59
Radio can help stimulate interest and demand
57
179458
3018
Redio inaweza tumika kuamsha shauku na uhitaji
03:02
for Kenyan music by Kenyans,
58
182500
2684
wa muziki wa Kenya kwa Wakenya,
03:05
while also providing the much-needed incomes
59
185208
2685
pia tukiweza kupata kipato kinachohitajika
03:07
by way of royalties.
60
187917
1601
katika namna ya hakimiliki.
03:09
But more importantly,
61
189542
1642
Lakini kilicho muhimu zaidi,
03:11
radio can help us build a more inclusive narrative about Kenya.
62
191208
3976
redio inaweza kutusaidia kutengeneza hadithi inayotujumuisha kuhusu Kenya.
03:15
For you cannot love what you do not know exists.
63
195208
3250
Kwa vile huwezi kupenda kile ambacho haufahamu kama kipo.
03:19
Other creative industries too can do the work.
64
199583
3185
Wabunifu wengine wanaweza pia fanya hii kazi.
03:22
When you consider that 41 percent of Kenyans
65
202792
2101
Ukitazama kwamba asilimia 41 ya Wakenya
03:24
still choose TV as their primary medium,
66
204917
2351
bado wanachagua runinga kama chanzo cha msingi cha habari na burudani,
03:27
it's obvious that film has a huge potential.
67
207292
3601
ni kweli kwamba filamu ina thamani kubwa.
03:30
The meager resources that have been put into the sector
68
210917
2572
Rasilimali hafifu ambayo tayari imekuwa sekta
03:33
have already produced world-class acts,
69
213513
1880
imeweza kutengeneza waigizaji wa hadhi ya kidunia,
03:35
like Lupita Nyong'o and Wanuri Kahiu,
70
215417
2142
kama Lupita Nyong'o na Wanuri Kahiu,
03:37
but we are going to need a lot more incentives and investments
71
217583
3226
lakini tunahitajika kuwa na rasilimali na uwekezaji
03:40
to make filming in Kenya easier,
72
220833
2060
kuweza kufanya utengenezaji wa filamu kuwa rahisi,
03:42
so more Kenyan stories can get on the Kenyan TV
73
222917
3226
hivyo kufanya hadithi nyingi za Kenya kuweza kuonekana katika runinga za Kikenya
03:46
and spark off the really difficult conversations
74
226167
2476
na kuleta cheche katika maongezi yaliyo magumu
03:48
we need to have with one another.
75
228667
2517
ambayo tunahitaji kuyaongea.
03:51
We're going to need to grow a lot more home-grown stars,
76
231208
4310
Tutahitajika kutengeneza wasanii wengi nyota wa nyumbani,
03:55
so we can reverse the idea
77
235542
2017
ili kubadili muelekeo wa dhana
03:57
that we have to blow up abroad
78
237583
1976
kwamba tunatakiwa kuonekana nchi za nje
03:59
before we get the acceptance and validation of home.
79
239583
3334
kabla ya kukubalika nyumbani.
04:04
Fashion too can do the work.
80
244417
2059
Mitindo pia inaweza kufanya juhudi.
04:06
We need to make it possible
81
246500
1518
Tunatakiwa kuhakikisha tunaweza
04:08
to affordably mass-produce Kenyan clothes for Kenyan consumers,
82
248042
3267
kumudu kwa unafuu kutengeneza nguo za Kikenya kwa wingi kwa wateja wengine wa Kikenya,
04:11
so we don't all have to rely on second-hand imports.
83
251333
3292
ili tusiweze tegemea mitumba inayoingizwa nchini.
04:15
The first running shoe made in Kenya
84
255625
1809
Kiatu cha kwanza cha kufanya mazoezi kitachotengenezwa Kenya
04:17
needs to be a local and global success
85
257458
2226
kinahitajika kuwa na mafanikio ya nyumbani na katika ulimwengu
04:19
as an ode to Kenyan excellence,
86
259708
2226
katika heshima ya Wakenya,
04:21
epitomized by Kenyan runners, who are literally world-class.
87
261958
4810
kikiwakilishwa na wakimbiaji wa Kikenya, ambao wana hadhi ya kidunia.
04:26
For these ideas to come to life,
88
266792
2517
Ili kuweza fanya haya mawazo kuwa na uhai,
04:29
jobs will be created,
89
269333
1643
ajira zitaweza kutengenezwa,
04:31
and Kenyan ideas will be exported.
90
271000
2434
na mawazo ya Kikenya yataweza kwenda nje ya Kenya.
04:33
But more importantly,
91
273458
1935
Lakini lililo muhimu zaidi,
04:35
Kenyans may finally consider themselves worthy
92
275417
3059
Hatimaye Wakenya wataweza kujiona wenye thamani
04:38
of the love that we reserve for others.
93
278500
2625
kutokana na upendo tulionao kwa wengine.
04:42
Kenya's creative industry is dynamic,
94
282167
2684
Soko la ubunifu la Kenya ni lile lenye msukumo,
04:44
cosmopolitan, forward-looking,
95
284875
1851
kimataifa, linalotazama mbele,
04:46
and without a doubt,
96
286750
1268
na bila shaka,
04:48
a true manufacturing industry of the immediate future.
97
288042
3125
soko la uzalishaji la kesho lililo la ukweli.
04:52
But its true power lies in its ability to help heal the psyche of Kenya,
98
292000
5559
Lakini ni kweli nguvu ipo katika uwezo wa kusaidia kuponya akili ya Kenya,
04:57
so we can finally build a nation for real.
99
297583
3292
ili hatimaye tuweze kujenga taifa kwa uhalisia.
05:01
Thank you.
100
301958
1268
Asante.
05:03
(Applause)
101
303250
5476
(Makofi)
05:08
(Applause)
102
308750
2518
(Makofi)
05:11
For this song, I'd like us all to take a minute
103
311292
2559
Kwa wimbo huu, naomba wote tuchukue dakika moja
05:13
and think about immigrant communities,
104
313875
2601
na kutafakari kuhusu jamii ya wahamiaji,
05:16
and especially refugee immigrant communities,
105
316500
3184
na hususani jamii ya wakimbizi,
05:19
and the daily struggle they have to endure,
106
319708
2726
na magumu ya kila siku ambayo wanahitajika kupitia,
05:22
building a life with dignity and meaning
107
322458
1976
kujenga maisha kwa heshima na maana
05:24
away from everything they have loved and known.
108
324458
3101
mbali kutoka katika yote waliyoyapenda na kuyafahamu.
05:27
If you feel any empathy for this idea,
109
327583
2643
Kama unahisi huruma kwa wazo hili,
05:30
I ask to see your fist up in the air with me.
110
330250
2309
Naomba nione kiganja chako hewani pamoja nami.
05:32
(Music)
111
332583
1685
(Muziki)
05:34
"Million voice."
112
334292
1250
"Sauti milioni."
05:36
The mandem make some noise
113
336708
3018
Watu wanapaza sauti
05:39
With a million, million voice
114
339750
3309
Na sauti milioni
05:43
All the mandem make some noise
115
343083
3018
Watu wote paza sauti
05:46
With a million, million voice
116
346125
3184
Na sauti milioni
05:49
Can't stop I, won't stop I
117
349333
3143
Siwezi acha, sitaacha
05:52
With a million, million voice
118
352500
3184
na sauti milioni, sauti milioni
05:55
Can't stop I, won't stop I
119
355708
3185
Siwezi acha, sitaacha
05:58
With a million, million voice
120
358917
2851
na sauti milioni, sauti milioni
06:01
This one dedicated to my people building something
121
361792
3101
Hii ni hususani kwa watu wangu wote wanaotengeneza kitu fulani
06:04
Working hard to make sure that their children will lack for nothing
122
364917
3226
Wakijituma kuhakikisha kwamba watoto wao hawatokosa chochote
06:08
When them people come around and treat them like they're basic
123
368167
3101
Pale ambapo watu watakuja na kuwachukulia kama vile ni watu wasiostahili
06:11
I just want to LOL and tell them to consider all their options
124
371292
4101
Nataka kucheka kwa nguvu na kuwaambia kuangalia machaguo yao yote
06:15
Caution, natural distortion
125
375417
2267
Angalizo, uvurugaji asilia
06:17
You can't even kill us we survive even abortion
126
377708
3185
Hamuwezi kututoa uhai tumeweza kushinda hata kutolewa mimba
06:20
Say we cannot make it, watch us how we make it
127
380917
3142
Unasema hatuwezi fanikiwa, tutazame namna gani tunavyofanikisha
06:24
Watch us in a minute come and run and overtake it
128
384083
3185
Tutazame kwa dakika njoo na kimbia ili kutupita
06:27
TED, clap!
129
387292
1601
TED, piga makofi!
06:28
Can't have enough of it
130
388917
3184
Hatuwezi tosheka
06:32
This our only way of life
131
392125
3226
Hii ndiyo namna pekee ya maisha yetu
06:35
Keeping, keeping on the grind
132
395375
2125
Kupambana, kupambana kwa nguvu
06:38
TED, will you clap like this.
133
398542
2375
TED, unaweza piga makofi kama hivi.
06:41
Can't have enough of it
134
401750
3268
Hatuwezi tosheka
06:45
This our only way of life
135
405042
3017
Hii ndiyo namna pekee ya maisha yetu
06:48
Keeping, keeping on the grind
136
408083
2042
Kupambana, kupambana kwa nguvu
06:51
Keeping, keeping on the grind
137
411292
2226
Kupambana, kupambana kwa nguvu
06:53
The mandem make some noise
138
413542
2976
Watu paza sauti
06:56
Like a million, million voice
139
416542
3226
Kama vile sauti milioni
06:59
All the mandem make some noise
140
419792
3101
Watu wote paza sauti
07:02
With a million, million voice
141
422917
3184
Na sauti, sauti milioni
07:06
Can't stop I, won't stop I
142
426125
3143
Hatuwezi acha, hatutaacha
07:09
With a million, million voice
143
429292
3184
Na sauti milioni, sauti milioni
07:12
Can't stop I, won't stop I
144
432500
3184
Hatuwezi acha, hatutaacha
07:15
With a million, million voice
145
435708
3393
Na sauti milioni,
07:19
Can I be your leader
146
439125
1518
Naweza kuwa kiongozi wenu
07:20
Can I be your Caesar
147
440667
1726
Naweza kuwa Kaesari wenu
07:22
If I show you how to make some more will you pledge allegiance
148
442417
3059
Kama nikiwaonyesha namna ya kufanya zaidi mtaonyesha heshima
07:25
Is it always either
149
445500
1601
Ni mara zote
07:27
Me or you or neither
150
447125
1643
mimi au wewe au si yoyote
07:28
If I show you where I'm coming from, will you take a breather?
151
448792
3059
Kama nikikuonyesha wapi natokea, unaweza kuvuta pumzi?
07:31
Cos what you'll find -- what you'll find
152
451875
3434
Kwa sababu utakitambua -- ambacho utakitambua
07:35
What you'll find guarantee will blow your mind!
153
455333
2935
Ambacho utakitambua kitastaajabu akili yako!
07:38
I'll blow your mind -- I'll blow your mind
154
458292
3226
Nitastaajabu akili yako -- nitastaajabu akili yako
07:41
And then you'll see the reason I stay on my grind
155
461542
3017
Na kisha utatambua sababu kwa nini napambana
07:44
Would you clap!
156
464583
1268
Utapiga makofi!
07:45
Can't have enough of it
157
465875
3018
Siwezi tosheka nayo
07:48
It's our only way of life
158
468917
3142
Hii ndiyo namna yetu ya maisha
07:52
Keeping, keeping on the grind
159
472083
1959
Kupambana, kupambana
07:55
Keeping, keeping on the grind
160
475292
3226
Kupambana, kupambana
07:58
Can't have enough of it
161
478542
3142
Siwezi tosheka
08:01
It's our only way of life
162
481708
3185
Hii ndiyo namna ya maisha ya maisha
08:04
Keeping, keeping on the grind
163
484917
3351
Kupambana, kupambana
08:08
Keeping, keeping on the grind
164
488292
2059
Kupambana, kupambana
08:10
The mandem make some noise
165
490375
3518
Watu paza sauti
08:13
(Cheering)
166
493917
4559
(Watu wanashangilia)
08:18
(Applause)
167
498500
6393
(Makofi)
08:24
This next one is partly in Kiswahili,
168
504917
3059
Nyimbo inayofuata ina Kiswahili ndani yake,
08:28
which is what we speak in Kenya.
169
508000
2518
ambayo ndiyo lugha tunaongea nchini Kenya.
08:30
And it's about female friendship
170
510542
3351
Na unahusu urafiki wa wanawake
08:33
and female power.
171
513917
1517
na nguvu ya mwanamke
08:35
And girls coming together to build something that lasts,
172
515458
3226
Na wasichana wanaungana pamoja kutengeneza kitu ambacho kitadumu,
08:38
a true legacy and intergenerational worth.
173
518708
3226
urithi halisi na uthamani wa kizazi mchanganyiko.
08:41
"Suzie Noma."
174
521958
1292
"Suzie Noma."
08:44
(Drum music)
175
524582
5976
(Muziki wa ngoma)
08:50
Sitting at the corner
176
530582
1519
Tumekaa kwenye kona
08:52
Me and Suzie Noma
177
532125
1476
Mimi na Suzie Noma
08:53
We ain't got no worries we are looking like the owners
178
533625
2976
Hatuna wasiwasi wowote tunaonekana kama wamiliki
08:56
Sipping on Coronas
179
536625
1476
Tukinywa taratibu Corona
08:58
Looking at the phone as
180
538125
1518
Tukitazama simu
08:59
All them pretty boys come and tell us how they want us
181
539667
2976
wakati ambapo wavulana wote watanashati wanatufata na kutueleza namna gani wanatuhitaji
09:02
Mambo ni kungoja, aki mtangoja
182
542667
2976
Mambo ni kungoja, aki mtangoja
09:05
Sinaga matime za kuwaste na vioja
183
545667
2976
Sinaga matime za kuwaste na vioja
09:08
Planning how we want to take over the world soon
184
548667
2976
Napanga namna gani tunataka kuiteka dunia hivi karibuni
09:11
Riding on the drums and the clap while the bass goes
185
551667
3309
Tukipiga ngoma na makofi pale ambapo besi linalia
09:15
Hey! Shake it down shake it down like
186
555000
3351
Hapo! Chezesha mpaka chini chezesha mpaka chini kama vile
09:18
Wait till you, wait till you see my
187
558375
2601
Subiri mpaka, subiri mpaka uone
09:21
Hey! Shake it down shake it down like
188
561000
2708
Hapo! Chezesha mpaka chini chezesha mpaka chini kama vile
09:24
Wait till you, wait till you see my
189
564417
2500
Subiri mpaka, subiri mpaka uone
09:28
If you really know it and you really wanna show it
190
568167
2559
Kama unaifahamu na unataka kweli kuionyesha
09:30
Be the way to go
191
570750
3351
Kuwa njia ya kwenda
09:34
Go and grab somebody, move your body, show somebody
192
574125
2643
Nenda na mkamate mtu, nyonga mwili wako, muoneshe
09:36
Be the way to go
193
576792
3083
Kuwa njia ya kwenda
09:40
On this I know, all this I know, all this I know
194
580708
5000
Kwa hili najua, haya yote najua, haya yote najua
09:46
On this I know, all this I know, all this I know
195
586708
4935
Kwa hili najua, haya yote najua, haya yote najua
09:51
Iyo!
196
591667
1851
Iyo!
09:53
Scheming at the corner
197
593542
1601
Tunapanga mpango wa siri kwenye kona
09:55
Me and Suzie Noma
198
595167
1476
Mimi na Suzie Noma
09:56
We ain't got no money but we do it how we wanna
199
596667
2934
Hatuna pesa lakini tunafanya namna tunavyotaka
09:59
Painting our nails checking our mails as
200
599625
3018
Tunapaka rangi kucha zetu na kuangalia barua pepe wakati
10:02
All them pretty boys wanna have us but they fail like
201
602667
2934
Wavulana wote wazuri wanataka kuwa nasi lakini wanashindwa
10:05
Aki mtangoja, leo mtangoja
202
605625
3018
Aki mtangoja, leo mtangoja
10:08
Saa hii tukoworks hakunaga za vioja
203
608667
2934
Saa hii tuko na kazi hakunaga za vioja
10:11
Planning how we want to take over the world soon
204
611625
3018
Tunapanga namna ya kuipindua dunia hivi karibuni
10:14
Riding on the drums and the clap while the bass goes boom
205
614667
4059
Tunapiga ngoma na makofi wakati besi inalia kama
10:18
Shake it down shake it down like
206
618750
2643
Chezesha mpaka chini chezesha mpaka chini kama vile
10:21
Wait till you, wait till you see my
207
621417
2601
Subiri mpaka, subiri mpaka uone
10:24
Hey! Shake it down shake it down like
208
624042
2541
Hapo!Chezesha kama vile chezesha kama vile
10:27
Wait till you, wait till you see my
209
627417
2333
Subiri mpaka, subiri mpaka uone
10:31
If you really know it and you really wanna show it
210
631333
2435
Kama kweli unaijua na unataka kweli kuonyesha
10:33
Be the way to go
211
633792
3309
Kuwa namna ya kwenda
10:37
Go and grab somebody, move your body, show somebody
212
637125
2601
Nenda na kamata mtu, nyonga mwili wako, muonyeshe mtu
10:39
Be the way to go
213
639750
3934
Kuwa namna ya kwenda
10:43
On this I know, all this I know, all this I know
214
643708
5000
Kwa hili najua, haya yote najua, haya yote najua
10:49
On this I know, all this I know, all this I know
215
649708
5643
Kwa hili najua, haya yote najua, haya yote najua
10:55
And now you whine your waist
216
655375
2768
Na sasa unazungusha kiuno chako
10:58
And now you screw your face
217
658167
3184
Na sasa unakunja uso wako
11:01
Exaggerate your waist
218
661375
2726
Unazungusha kiuno chako
11:04
Resuscitate the place
219
664125
3143
Unaamsha sehemu hii
11:07
Na wale wako fifty fifty comsi
220
667292
3017
Na wale wako fifty fifty comsi
11:10
Na wale wako fiti pia sisi
221
670333
2768
Na wale wako fiti pia sisi
11:13
Tuko tu sawa mdogo mdogo yaani
222
673125
2976
Tuko tu sawa mdogo mdogo yaani
11:16
Hallelu-yawa tumeiva design
223
676125
3018
Hallelu-yawa tumeiva kiaina
11:19
If you really know it, and you really wanna show it
224
679167
2559
Kama kweli unajua, na unataka kuonyesha
11:21
Be the way to go
225
681750
3351
Kuwa namna ya kwenda
11:25
Go and grab somebody, move your body, show somebody
226
685125
2601
Nenda na kamata mtu, nyonga mwili wako, muonyeshe mtu
11:27
Be the way to go
227
687750
3934
Kuwa namna ya kwenda
11:31
On this I know, all this I know, all this I know
228
691708
5976
Kwa hili njajua, haya yote najua, haya yote najua
11:37
On this I know, all this I know, all this I know
229
697708
5185
Kwa hili njajua, haya yote najua, haya yote najua
11:42
Iyo!
230
702917
2517
Iyo!
11:45
(Cheering)
231
705458
3018
(Watu wanashangilia)
11:48
(Applause)
232
708500
6375
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7