The powerful stories that shaped Africa | Gus Casely-Hayford

72,718 views ・ 2017-11-10

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Nelson Simfukwe Reviewer: Leah Ligate
00:13
Now, Hegel -- he very famously said
0
13007
2985
Sasa, Hegel -- alikuwa na usemi maarufu
00:16
that Africa was a place without history,
1
16016
2807
kuwa Afrika ilikuwa ni sehemu bila historia,
00:18
without past, without narrative.
2
18847
2088
bila nyakati za kale, bila hadithi.
00:20
Yet, I'd argue that no other continent has nurtured, has fought for,
3
20959
5828
Bado, nitasema kwamba hakuna bara ambalo limekuza, limepigania,
00:26
has celebrated its history more concertedly.
4
26811
3468
limesherehekea historia yake kwa vifijo.
00:30
The struggle to keep African narrative alive
5
30303
3069
Harakati za kuhakikisha simulizi za Afrika zinabaki hai
00:33
has been one of the most consistent
6
33396
2091
zimekuwa ni mojawapo ya harakati endelevu
00:35
and hard-fought endeavors of African peoples,
7
35511
2909
na zilizopiganiwa kwa juhudi za watu wa Afrika,
00:38
and it continues to be so.
8
38444
1973
na inaendelea kuwa hivyo.
00:40
The struggles endured and the sacrifices made to hold onto narrative
9
40441
4711
Harakati zilizofanyika na kujitoa mhanga kutunza hadithi hizi
00:45
in the face of enslavement, colonialism, racism, wars and so much else
10
45176
6049
kwa mtazamo wa ukoloni wa kitumwa , ubaguzi wa rangi, vita na vingine vingi
00:51
has been the underpinning narrative
11
51249
2011
vimekuwa uthibitisho wa hadithi hizi
00:53
of our history.
12
53284
1269
katika historia yetu.
00:55
And our narrative has not just survived the assaults
13
55434
3161
Na simulizi zetu bado hazijaweza kushinda mateso
00:58
that history has thrown at it.
14
58619
1795
ambayo historia imesababisha.
01:00
We've left a body of material culture,
15
60438
3722
Tumeacha mwili wa nyenzo ya utamaduni,
01:04
artistic magistery and intellectual output.
16
64184
3893
mamlaka ya sanaa, na matokeo ya weledi.
01:08
We've mapped and we've charted and we've captured our histories
17
68101
4636
Tumeweka ramani na chati na tumeweza kuinasa historia yetu
01:12
in ways that are the measure of anywhere else on earth.
18
72761
3782
katika namna ambazo ni kipimo cha popote pengine duniani.
01:17
Long before the meaningful arrival of Europeans --
19
77063
4556
Zamani sana kabla ya kuwasili kwa watu wa Ulaya --
01:21
indeed, whilst Europe was still mired in its Dark Age --
20
81643
3540
hakika, wakati Ulaya ilikuwa bado katika dimbwi wakati wa Zama za Giza --
01:25
Africans were pioneering techniques in recording, in nurturing history,
21
85207
5384
Waafrika walikuwa wakivumbua njia za kurekodi, na kukuza historia,
01:31
forging revolutionary methods for keeping their story alive.
22
91287
4773
kuunda njia za mapinduzi kwa ajili ya kutunza hidithi zao iendelee kuwa hai.
01:36
And living history, dynamic heritage --
23
96823
2962
Na historia inayoishi, urithi unaokua --
01:39
it remains important to us.
24
99809
2312
inabaki kuwa muhimu kwetu.
01:42
We see that manifest in so many ways.
25
102145
3720
Tunaona hili likijidhihirisha katika njia nyingi.
01:46
I'm reminded of how, just last year -- you might remember it --
26
106576
4848
Inanikumbusha jinsi, mwaka jana tu -- mnaweza kukumbuka --
01:51
the first members
27
111448
1171
wanachama wa kwanza
01:52
of the al Qaeda-affiliated Ansar Dine
28
112643
2425
wa kundi linalohusiana na al Qaeda l a Ansar Dine
01:55
were indicted for war crimes and sent to the Hague.
29
115092
3222
walishtakiwa kwa makosa ya kivita na kupelekwa the Hague
01:58
And one of the most notorious was Ahmad al-Faqi,
30
118338
4558
Na mmojwapo mwenye sifa mbaya alikuwa Ahmad al-Faqi,
02:02
who was a young Malian,
31
122920
1444
aliyekuwa ni kijana raia wa Mali
02:04
and he was charged, not with genocide,
32
124388
2126
na alishtakiwa kwa mauaji ya kimbari
02:06
not with ethnic cleansing,
33
126538
1916
na sio utakaso wa kikabila,
02:08
but with being one of the instigators of a campaign
34
128478
3815
lakini pamoja na kuwa mchochezi wa kampeni
02:12
to destroy some of Mali's most important cultural heritage.
35
132317
4421
ya kuharibu moja ya urithi muhimu wa utamaduni nchini Mali.
02:16
This wasn't vandalism;
36
136762
1798
Huu haukuwa uharibifu;
02:18
these weren't thoughtless acts.
37
138584
2197
hayakuwa matendo yasiyo ya kufikiri.
02:21
One of the things that al-Faqi said
38
141389
1829
Moja ya vitu ambavyo al-Faqi alisema
02:23
when he was asked to identify himself in court
39
143242
2933
alipoulizwa kujitambulisha mahakamani
02:26
was that he was a graduate, that he was a teacher.
40
146199
2863
alisema kwamba yeye ni mhitimu wa chuo, alikuwa ni mwalimu.
02:29
Over the course of 2012, they engaged in a systematic campaign
41
149661
5633
Katika kipindi cha mwaka 2012, walishiriki katika kampeni ya
02:35
to destroy Mali's cultural heritage.
42
155318
3239
kuharibu urithi wa utamaduni wa Mali.
02:39
This was a deeply considered waging of war
43
159142
4325
Hii ilichukuliwa kama kuanzisha vita
02:43
in the most powerful way that could be envisaged:
44
163491
2683
katika njia yenye nguvu sana ingeweza kutanabahika:
02:46
in destroying narrative, in destroying stories.
45
166198
3362
katika kuharibu simulizi, katika kuharibu hadithi.
02:50
The attempted destruction of nine shrines,
46
170210
3363
Walijaribu kuharibu hekalu tisa,
02:53
the central mosque
47
173597
1494
za msikiti wa kati
02:55
and perhaps as many as 4,000 manuscripts
48
175115
3493
na labda maandiko mengi zaidi ya 4000
02:58
was a considered act.
49
178632
2343
ilipangwa kufanyika hivyo.
03:01
They understood the power of narrative to hold communities together,
50
181729
5352
Walielewa nguvu ya simulizi katika kufanya jamii kuishi pamoja,
03:07
and they conversely understood that in destroying stories,
51
187105
4218
na walielewa fika kwamba kwa kuharibu hadithi,
03:11
they hoped they would destroy a people.
52
191347
2915
walikuwa na matumaini wataharibu na watu.
03:14
But just as Ansar Dine and their insurgency
53
194286
3497
Lakini kama ilivyo kwa Ansar Dine na uasi wao
03:17
were driven by powerful narratives,
54
197807
3216
waliendeshwa na simulizi zenye nguvu,
03:21
so was the local population's defense of Timbuktu and its libraries.
55
201047
4357
kama ilivyo kwa wakazi wa Timbuktu walivyolinda maktaba zao.
03:25
These were communities who've grown up with stories of the Mali Empire;
56
205428
4230
Hizi ni jamii ambazo zimekulia katika hadithi za dola ya Mali;
03:29
lived in the shadow of Timbuktu's great libraries.
57
209682
3161
waliishi katika kivuli cha maktaba kuu za Timbuktu.
03:32
They'd listened to songs of its origin from their childhood,
58
212867
3857
Wamesikiliza nyimbo asilia kuanzia utotoni,
03:36
and they weren't about to give up on that
59
216748
2742
na hawakuwa tayari kukata tamaa katika hilo
03:39
without a fight.
60
219514
1582
bila kupambana.
03:41
Over difficult months of 2012,
61
221120
3212
Katika miezi migumu ya 2012,
03:44
during the Ansar Dine invasion,
62
224356
3952
wakati wa uvamizi wa Ansar Dine,
03:48
Malians, ordinary people, risked their lives
63
228332
3826
Watu wa Mali, wakazi wa kawaida, walihatarisha maisha yao
03:52
to secrete and smuggle documents to safety,
64
232182
3469
kwa kuficha nyaraka katika sehemu iliyo salama,
03:56
doing what they could to protect historic buildings
65
236628
3306
kufanya lile linalowezekana kulinda majengo ya kihistoria
03:59
and defend their ancient libraries.
66
239958
2300
na kulinda maktaba zao za kale.
04:02
And although they weren't always successful,
67
242282
2654
Na ingawa si muda wote walifanikiwa,
04:04
many of the most important manuscripts were thankfully saved,
68
244960
3683
maandiko mengi muhimu yaliwezwa kutunzwa salama,
04:08
and today each one of the shrines that was damaged during that uprising
69
248667
4905
na leo kila moja ya hekalu ambalo liliharibiwa nyakati za machafuko
04:13
have been rebuilt,
70
253596
1792
limekarabatiwa tena,
04:15
including the 14th-century mosque that is the symbolic heart of the city.
71
255412
5218
ukijumuisha na msikiti wa karne ya 14 ambao ndiyo alama ya kitovu cha jiji.
04:20
It's been fully restored.
72
260654
1816
Umekarabatiwa kikamilifu.
04:22
But even in the bleakest periods of the occupation,
73
262494
4405
Lakini hata katika nyakati za machafuko ya utekaji,
04:26
enough of the population of Timbuktu simply would not bow
74
266923
5393
idadi kubwa ya watu wa Timbuktu hawakusalimu amri
04:32
to men like al-Faqi.
75
272340
1867
kwa watu kama al-Faqi.
04:34
They wouldn't allow their history to be wiped away,
76
274231
3063
Hawakuweza kuruhusu historia yao ifutike,
04:37
and anyone who has visited that part of the world,
77
277318
3267
na yoyote ambaye amewahi kuzuru sehemu hiyo ya dunia,
04:40
they will understand why,
78
280609
1828
ataweza kuelewa ni kwanini,
04:42
why stories, why narrative, why histories are of such importance.
79
282461
5133
kwanini hadithi, kwanini simulizi zina umuhimu huo mkubwa.
04:47
History matters.
80
287618
2336
Historia ina umuhimu.
04:49
History really matters.
81
289978
2738
Historia ina muhimu sana.
04:53
And for peoples of African descent,
82
293227
2236
Na kwa walio na nasaba ya Afrika,
04:55
who have seen their narrative systematically assaulted over centuries,
83
295487
5618
ambao wameshuhudia simulizi zao zikinyanyaswa katika karne,
05:01
this is critically important.
84
301129
2527
Hii ni muhimu sana.
05:04
This is part of a recurrent echo across our history
85
304131
4048
Hii ni sehemu inayojirudia katika katika historia yetu
05:08
of ordinary people making a stand for their story, for their history.
86
308203
5307
ya watu wa kawaida kusimama kwa ajili ya hadithi zao, historia yao.
05:14
Just as in the 19th century,
87
314385
1669
Ilipofika karne ya 19,
05:16
enslaved peoples of African descent in the Caribbean
88
316078
3969
Waafrika waliofanywa watumwa katika visiwa vya Caribbean
05:20
fought under threat of punishment,
89
320071
2314
walipambana chini ya tishio la adhabu,
05:22
fought to practice their religions, to celebrate Carnival,
90
322409
4151
walipambana kuamini katika dini zao, kusherehekea,
05:26
to keep their history alive.
91
326584
2735
kuweka historia yao hai.
05:29
Ordinary people were prepared to make great sacrifices,
92
329343
3880
Watu wa kawaida walijiandaa kujitoa mhanga kwa kiasi kikubwa,
05:33
some even the ultimate sacrifice,
93
333247
3226
wengine hata kufanya sadaka za juu kabisa,
05:36
for their history.
94
336497
1390
kwa ajili ya historia yao.
05:38
And it was through control of narrative
95
338965
2445
Na ilikuwa kupitia udhibiti wa simulizi
05:41
that some of the most devastating colonial campaigns were crystallized.
96
341434
4336
ambapo baadhi ya kampeni za kutisha za ukoloni zilitatuliwa.
05:45
It was through the dominance of one narrative over another
97
345794
3855
Ilikuwa kupitia utawala wa simulizi moja dhidi ya nyingine
05:49
that the worst manifestations of colonialism became palpable.
98
349673
4555
kwamba uovu uliotokana na ukoloni ukawa dhahiri.
05:54
When, in 1874, the British attacked the Ashanti,
99
354795
3893
Ambapo, mwaka 1874, Waingereza waliwashambulia watu wa dola ya Ashanti,
05:58
they overran Kumasi and captured the Asantehene.
100
358712
3628
Walitawala Kumasi na kukamata watu wa Asantehene.
06:02
They knew that controlling territory and subjugating the head of state --
101
362364
4773
Walijua kwamba kudhibiti mipaka na kumsumbua kiongozi wao --
06:07
it wasn't enough.
102
367161
1557
haikuwa inatosha.
06:08
They recognized that the emotional authority of state
103
368742
3524
Walitambua kwamba hisia za mamlaka ya taifa
06:12
lay in its narrative
104
372290
1823
zipo katika simulizi zake
06:15
and the symbols that represented it,
105
375118
2562
na alama ambazo inawakilisha,
06:17
like the Golden Stool.
106
377704
1362
kama Kigoda cha Dhahabu.
06:19
They understood that control of story was absolutely critical
107
379706
5467
Walielewa kwamba udhibiti wa hadithi ulikuwa muhimu sana
06:25
to truly controlling a people.
108
385197
2247
katika kuwadhibiti watu.
06:27
And the Ashanti understood, too,
109
387468
2079
Na watu wa Ashanti walielewa, pia,
06:29
and they never were to relinquish the precious Golden Stool,
110
389571
4410
na hawakuwa tayari hata kidogo kuachia Kigoda cha Dhahabu cha thamani,
06:34
never to completely capitulate to the British.
111
394005
4585
kusalimu amri kwa Waingereza.
06:39
Narrative matters.
112
399289
2344
Hadithi ni muhimu.
06:41
In 1871, Karl Mauch, a German geologist working in Southern Africa,
113
401657
5658
Mwaka 1871, Karl Mauch, mwanajeolojia aliyefanya kazi zake Afrika Kusini,
06:47
he stumbled across an extraordinary complex,
114
407339
4057
alikutana na jengo lisilo la kawaida
06:51
a complex of abandoned stone buildings.
115
411420
2726
jengo la mawe lililokuwa limetelekezwa.
06:54
And he never quite recovered from what he saw:
116
414170
3316
Na hakuweza kuunda upya ambacho aliona:
06:57
a granite, drystone city,
117
417510
3233
mwamba, jiji la jiwekavu,
07:00
stranded on an outcrop above an empty savannah:
118
420767
3801
likiwa limekwama na kuchomoza juu ya uwanda usio na kitu:
07:04
Great Zimbabwe.
119
424592
1728
Zimbabwe Kuu.
07:07
And Mauch had no idea who was responsible
120
427073
3492
Na Mauch hakutambua nani aliyehusika
07:10
for what was obviously an astonishing feat of architecture,
121
430589
5066
na usanifu wa jengo ulio dhahiri kuwa maridadi,
07:15
but he felt sure of one single thing:
122
435679
3543
lakini alikuwa na uhakika wa jambo moja:
07:19
this narrative needed to be claimed.
123
439246
3790
hizi hadithi zilitakiwa kuelezwa.
07:23
He later wrote that the wrought architecture of Great Zimbabwe
124
443060
3844
Baadaye aliandika kuhusu usanifu wa mabaki ya Zimbabwe Kuu
07:26
was simply too sophisticated,
125
446928
2739
liliokuwa na ustadi wa hali ya juu,
07:29
too special to have been built by Africans.
126
449691
3533
mahususi mno kuweza kujengwa na Waafrika.
07:33
Mauch, like dozens of Europeans that followed in his footsteps,
127
453248
4527
Mauch, kama ilivyo kwa Wazungu wengi ambao walifata nyayo zake,
07:37
speculated on who might have built the city.
128
457799
2780
walikisia ni nani ambaye alikuwa amejenga jiji lile.
07:40
And one went as far as to posit,
129
460603
3214
Na mmoja alienda mbali hadi kufikia kudai,
07:43
"I do not think that I am far wrong if I suppose that that ruin on the hill
130
463841
5725
"Sidhani kama nitakuwa nakosea sana kama nikiwaza kwamba mabaki ya kilima kile
07:49
is a copy of King Solomon's Temple."
131
469590
2551
yameiga hekalu ya Mfalme Suleimani."
07:52
And as I'm sure you know, Mauch,
132
472165
1731
Na nina uhakika mnafahamu, Mauch,
07:53
he hadn't stumbled upon King Solomon's Temple,
133
473920
2944
hajawahi kwea hekalu ya Mfalme Suleimani,
07:56
but upon a purely African complex of buildings
134
476888
3546
lakini ameona jengo mahususi na maridadi la Kiafrika
08:00
constructed by a purely African civilization
135
480458
3627
liliojengwa na uungwana wa Kiafrika
08:04
from the 11th century onward.
136
484109
1956
kuanzia karne ya 11 na kuendelea.
08:06
But like Leo Frobenius, a fellow German anthropologist
137
486089
4151
Lakini kama ilivyo kwa Leo Frobenius, mwanaanthrolojia kutoka Ujerumani
08:10
who speculated some years later,
138
490264
2345
ambaye aliyekisia miaka kadhaa baadaye,
08:12
upon seeing the Nigerian Ife Heads for the very first time,
139
492633
4007
baada ya kuona Vichwa vya kabila la Ife Nigeria kwa mara ya kwanza,
08:16
that they must have been artifacts from the long-lost kingdom of Atlantis.
140
496664
5407
alisema vinyago hivi lazima vitakuwa vya falme za kale za Atlantis.
08:22
He felt, just like Hegel,
141
502095
2577
Alihisi, kama vile ilivyokuwa kwa Hegel,
08:24
an almost instinctive need to rob Africa of its history.
142
504696
5739
mazoea ya kuhitaji wa kupotosha historia ya Afrika.
08:31
These ideas are so irrational,
143
511216
2406
Haya mawazo ni ya upuuzi,
08:33
so deeply held,
144
513646
1813
yaliyoshikiliwa,
08:35
that even when faced with the physical archaeology,
145
515483
3199
kana kwamba yanapokutana na akiolojia,
08:38
they couldn't think rationally.
146
518706
2009
hayawezi kuwa na maana.
08:40
They could no longer see.
147
520739
1998
Hawakuweza kuona.
08:42
And like so much of Africa's relationship with Enlightenment Europe,
148
522761
4181
Na kama ilivyo kwa mahusiano ya Kiafrika katika Ulaya iliyopevuka,
08:46
it involved appropriation, denigration and control of the continent.
149
526966
5783
ilijumuisha ugawaji, bughudha na udhibitu wa bara.
08:52
It involved an attempt to bend narrative to Europe's ends.
150
532773
4740
Ilijumuisha jaribio la kupindisha simulizi kukidhi makusudi ya Ulaya.
08:57
And if Mauch had really wanted to find an answer to his question,
151
537955
4193
Na kama Mauch alivyotaka kutafuta jibu la swali lake,
09:02
"Where did Great Zimbabwe or that great stone building come from?"
152
542172
4654
"Wapi ambapo Zimbabwe Kuu au lile jengo kubwa la jiwe lilitokea?"
09:06
he would have needed to begin his quest
153
546850
2200
hakuwa na budi kuanza kutafuta jibu lake
09:09
a thousand miles away from Great Zimbabwe,
154
549074
2689
maili elfu moja kutokea Zimbabwe Kuu,
09:11
at the eastern edge of the continent, where Africa meets the Indian Ocean.
155
551787
3819
mwishoni mashariki ya bara, ambapo Afrika inakutana na Bahari ya Hindi.
09:15
He would have needed to trace the gold and the goods
156
555630
3208
Alitakiwa kufatilia dhahabu na bidhaa
09:18
from some of the great trading emporia of the Swahili coast to Great Zimbabwe,
157
558862
4815
kutoka baadhi ya dola maarufu za biashara za pwani ya Waswahili hadi Zimbabwe kuu,
09:23
to gain a sense of the scale and influence
158
563701
3459
kupata uhalisia wa kiwango na ushawishi
09:27
of that mysterious culture,
159
567184
1880
wa huo utamaduni wa kistaajabisha,
09:29
to get a picture of Great Zimbabwe as a political, cultural entity
160
569088
5182
kupata picha ya Zimbwabwe Kuu kama utambulisho wa kisiasa na kitamaduni
09:34
through the kingdoms and the civilizations
161
574294
3441
kupitia falme na ustaarabu
09:37
that were drawn under its control.
162
577759
2459
ambao ulitokana na mamlaka yake.
09:40
For centuries, traders have been drawn to that bit of the coast
163
580242
5035
Kwa karne, wafanyabiashara wamekuwa wakivutiwa kuja pwani
09:46
from as far away as India and China and the Middle East.
164
586463
4746
kutokea mbali sehemu kama India na China na Mashariki ya Kati.
09:51
And it might be tempting to interpret,
165
591233
2687
Na inatamanisha kutafsiri ya kwamba,
09:53
because it's exquisitely beautiful, that building,
166
593944
3110
kwa sababu ya umaridadi wake, lile jengo,
09:57
it might be tempting to interpret it
167
597078
2988
inatamanisha kulitafsiri
10:00
as just an exquisite, symbolic jewel,
168
600090
3528
kama kito maridadi, kinachoashiri,
10:03
a vast ceremonial sculpture in stone.
169
603642
2888
kinyago kikubwa cha sherehe katika jiwe.
10:07
But the site must have been a complex
170
607022
3157
Lakini eneo hilo lilikuwa tata
10:10
at the center of a significant nexus of economies
171
610203
4555
katikati ya kiungo muhimu cha uchumi
10:14
that defined this region for a millennium.
172
614782
3081
ambapo imeelezea eneo hili kwa milenia
10:18
This matters.
173
618395
1716
Hii inajalisha.
10:20
These narratives matter.
174
620135
2039
Hizi simulizi ni muhimu.
10:22
Even today, the fight to tell our story is not just against time.
175
622198
5041
Hata leo, mapigano ya kueleza hadithi zetu hayapingani na muda.
10:27
It's not just against organizations like Ansar Dine.
176
627263
3723
Hayapingani na taasisi kama Ansar Dine.
10:31
It's also in establishing a truly African voice
177
631010
4074
Ni katika kuanzisha sauti ya kweli ya Waafrika
10:35
after centuries of imposed histories.
178
635108
2848
baada ya karne ya historia za kuwekwa.
10:38
We don't just have to recolonize our history,
179
638775
3431
Hatuna haja ya kuitawala kikoloni historia yetu,
10:42
but we have to find ways to build back the intellectual underpinning
180
642230
4874
bali kutafuta njia za kujenga upya ugunduzi wa utaalamu
10:47
that Hegel denied was there at all.
181
647128
2185
ambao Hegel alikataa uwepo wake.
10:49
We have to rediscover African philosophy,
182
649866
2720
Tunatakiwa kuitambua upya filosophia ya Kiafrika,
10:52
African perspectives, African history.
183
652610
4002
Mtazamo wa Kiafrika, historia ya Kiafrika.
10:57
The flowering of Great Zimbabwe -- it wasn't a freak moment.
184
657651
3510
Kuchanua kwa Zimbabwe Kuu -- haukuwa muujiza.
11:01
It was part of a burgeoning change across the whole of the continent.
185
661185
3973
Ilikuwa ni ya sehemu ya mabadiliko yanayokua barani kote.
11:05
Perhaps the great exemplification of that was Sundiata Keita,
186
665182
4326
Pengine kielelezo kikubwa cha hili ilikwa ni Sundiata Keita,
11:09
the founder of the Mali Empire,
187
669532
2193
muanzilishi wa dola ya Mali,
11:11
probably the greatest empire that West Africa has ever seen.
188
671749
3940
pengine ni dola yenye nguvu kuliko zote ambayo Afrika Magharibi imeshuhudia.
11:15
Sundiata Keita was born about 1235,
189
675713
3098
Sundiata Keita alizaliwa mwaka 1235 ,
11:18
growing up in a time of profound flux.
190
678835
3457
alikulia katika nyakati kuu.
11:22
He was seeing the transition between the Berber dynasties to the north,
191
682928
3848
Alishuhudia mpito kati ya utawala wa kiukoo wa Berber hadi kaskazini,
11:26
he may have heard about the rise of the Ife to the south
192
686800
3270
atakuwa aliwahi sikia kuhusu kukua kwa dola ya Ife upande wa kusini
11:30
and perhaps even the dominance of the Solomaic Dynasty
193
690094
5117
na pengine hata utawala wa dola ya kikukoo ya Solomaic
11:35
in Ethiopia to the east.
194
695235
1703
huko Ethiopia upande wa mashariki.
11:37
And he must have been aware that he was living through a moment
195
697516
3636
Na lazima alikuwa akitambua kwamba alikuwa akiishi katika nyakati
11:41
of quickening change,
196
701176
1695
za mabadiliko yanayokwenda haraka,
11:42
of growing confidence in our continent.
197
702895
2760
za kukua kwa ujasiri katika bara letu.
11:46
He must have been aware of new states
198
706370
3165
Lazima alitambua kuhusu mataifa mapya
11:49
that were building their influence
199
709559
2464
ambao walikuwa wakijenga ushawishi wao
11:52
from as far afield as Great Zimbabwe and the Swahili sultanates,
200
712047
5268
kutokea mbali kama Zimbabwe Kuu na Masultani wa Kiswahili,
11:57
each engaged directly or indirectly beyond the continent itself,
201
717339
6247
kila mmoja alichangia barani moja kwa moja au pasipo moja kwa moja,
12:03
each driven also to invest in securing their intellectual and cultural legacy.
202
723610
5430
kila mmoja aliwekeza katika kulinda maarifa yao na urithi wa utamaduni.
12:09
He probably would have engaged in trade with these peer nations
203
729794
3428
Pengine alikuwa akifanya biashara na haya mataifa ya wenzake
12:13
as part of a massive continental nexus
204
733246
3503
katika muda wa muunganiko wa bara
12:16
of great medieval African economies.
205
736773
2234
nyakati za uchumi mkubwa wa Afrika.
12:19
And like all of those great empires,
206
739608
3599
Na kama ilivyo kwa hizi dola zote kubwa,
12:23
Sundiata Keita invested in securing his legacy through history
207
743231
5601
Sundiata Keita aliwekeza katika kulinda urithi wake kupitia historia
12:28
by using story --
208
748856
1602
katika kutumia hadithi --
12:31
not just formalizing the idea of storytelling,
209
751744
5693
si katika kuweka rasmi wazo ya kuhadithia,
12:37
but in building a whole convention
210
757461
2677
lakini katika kujenga kanuni nzima
12:40
of telling and retelling his story
211
760162
3361
kuhadithia na kuhadithia tena hadithi zake
12:43
as a key to founding a narrative
212
763547
2417
kama ufunguo wa kutambua hadithi
12:45
for his empire.
213
765988
1595
za dola yake.
12:47
And these stories, in musical form,
214
767607
3345
Na hizi hadithi, katika mfumo wa muziki,
12:50
are still sung today.
215
770976
3355
mpaka leo zinaimbwa.
12:55
Now, several decades after the death of Sundiata,
216
775371
3304
Sasa, miongo kadhaa baada ya kifo cha Sundiata,
12:58
a new king ascended the throne,
217
778699
2399
mfalme mpya alichukua dola,
13:01
Mansa Musa, its most famous emperor.
218
781122
4163
Mansa Musa, mfalme maarufu wa dola hiyo.
13:05
Now, Mansa Musa is famed for his vast gold reserves
219
785309
3157
Sasa, Mansa Musa ni maarufu kwa dhahabu nyingi aliyojilimbikizia
13:08
and for sending envoys to the courts of Europe and the Middle East.
220
788490
4017
na kwa kutuma wajumbe kwenye mahakama za Ulaya na Mashariki ya Kati.
13:13
He was every bit as ambitious as his predecessors,
221
793238
4023
Alikuwa ni mtu mwenye malengo na imara kama waliomtangulia,
13:17
but saw a different kind of route of securing his place in history.
222
797285
4267
lakini aliona njia tofauti ya kulinda nafasi yake katika historia.
13:21
In 1324, Mansa Musa went on pilgrimage to Mecca,
223
801576
4007
Mwaka 1324, Mansa Musa alikwenda kwenye hija mjini Mecca,
13:25
and he traveled with a retinue of thousands.
224
805607
3331
na alisafiri na maelfu ya wafuasi.
13:28
It's been said that 100 camels each carried 100 pounds of gold.
225
808962
6658
Inasemekana kwamba ngamia 100 kila mmoja alibeba ratili 100 za dhababu.
13:35
It's been recorded that he built a fully functioning mosque
226
815644
3516
Imeandikwa kwamba alijenga msikiti ulio kamili
13:39
every Friday of his trip,
227
819184
2167
kila ijumaa katika safari yake,
13:41
and performed so many acts of kindness,
228
821375
3121
na kufanya matendo mengi ya kikarimu,
13:44
that the great Berber chronicler, Ibn Battuta, wrote,
229
824520
3839
kwamba bohari mkuu wa dola ya Berber, Ibn Battuta, aliandika,
13:48
"He flooded Cairo with kindness,
230
828383
2959
"Aliifurika Cairo kwa ukarimu,
13:51
spending so much in the markets of North Africa and the Middle East
231
831366
3537
alitumia sana katika masoko ya Afrika ya Kaskazini na Mashariki ya Kati
13:54
that it affected the price of gold into the next decade."
232
834927
4188
kiasi kwamba iliathiri bei ya dhahabu katika muongo uliofatia."
14:00
And on his return,
233
840081
1547
Na wakati anarudi,
14:01
Mansa Musa memorialized his journey
234
841652
3446
Mansa Musa aliacha historia ya safari yake
14:05
by building a mosque at the heart of his empire.
235
845885
5257
kwa kujenga msikiti kwenye kitivo cha dola yake.
14:11
And the legacy of what he left behind,
236
851792
2646
Na urithi wa alioacha nyuma,
14:14
Timbuktu,
237
854462
1677
Timbuktu,
14:16
it represents one of the great bodies of written historical material
238
856163
5260
inawakilisha moja ya mihimili muhimu ya historia iliyoandikwa
14:21
produced by African scholars:
239
861447
2183
iliyoandaliwa na wanazuoni wa Kiafrika:
14:23
about 700,000 medieval documents,
240
863654
3222
zapata nyaraka 700,000 za kale,
14:26
ranging from scholarly works to letters,
241
866900
3199
kuanzia kazi za wanazuoni hadi barua,
14:30
which have been preserved often by private households.
242
870123
3048
ambazo zimetunzwa mara nyingi na nyumba za watu binafsi.
14:33
And at its peak, in the 15th and 16th centuries,
243
873195
3483
Na katika kilele chake, mnamo karne ya 15 na ya 16,
14:36
the university there was as influential
244
876702
3988
chuo kule kilikuwa na ushawishi
14:40
as any educational establishment in Europe,
245
880714
3046
kama taasisi nyingine yoyote barani Ulaya,
14:43
attracting about 25,000 students.
246
883784
2994
kuvutia yapata wanafunzi 25,000.
14:46
This was in a city of around 100,000 people.
247
886802
3566
Hii ilitokea katika jiji la watu wapatao 100,000.
14:50
It cemented Timbuktu as a world center of learning.
248
890392
5178
Iliweka msingi wa kuifanya Timbuktu kuwa kituo cha dunia cha mafunzo.
14:55
But this was a very particular kind of learning
249
895594
4207
Lakini huu ulikuwa mfumo mahususi wa kujifunza
14:59
that was focused and driven by Islam.
250
899825
3228
ambao ulilenga na kuendeshwa kwa Kiislam.
15:03
And since I first visited Timbuktu,
251
903594
2243
Na tangu mara ya kwanza nitembelee Timbuktu,
15:05
I've visited many other libraries across Africa,
252
905861
2861
Nimetembelea maktaba nyingi barani Afrika,
15:08
and despite Hegel's view that Africa has no history,
253
908746
5295
na licha ya mtazamo wa Hegel kusema Afrika haina historia,
15:14
not only is it a continent with an embarrassment of history,
254
914065
4213
sio tu kwamba ni bara lenye historia ya kuaibisha,
15:18
it has developed unrivaled systems for collecting and promoting it.
255
918302
4830
limeweza kutengeneza mifumo ya kipekee ya kukusanya na kuistawisha.
15:23
There are thousands of small archives,
256
923634
2821
Kuna maelfu ya hifadhi ndogo za nyaraka,
15:26
textile drum stores,
257
926479
1898
ghala za malighafi za vitambaa,
15:28
that have become more than repositories of manuscripts and material culture.
258
928401
4871
ambazo zimekuwa zikitunza nyaraka na malighafi za utamaduni.
15:33
They have become fonts of communal narrative,
259
933296
3139
Zimekuwa herufi za simulizi za jamii,
15:36
symbols of continuity,
260
936459
2260
alama ya muendelezo,
15:38
and I'm pretty sure that many of those European philosophers
261
938743
3126
na nina uhakika kwamba wengi wa wanafilosofia wa Ulaya
15:41
who questioned an African intellectual tradition
262
941893
3497
ambao walihoji utamaduni wa Kiafrika
15:45
must have, beneath their prejudices,
263
945414
2877
lazima, chini ya ubaguzi wao,
15:48
been aware of the contribution of Africa's intellectuals
264
948315
5191
watakuwa wanatambua mchango wa maarifa ya Kiafrika
15:53
to Western learning.
265
953530
1333
kwa kujifunza Kimagharibi.
15:54
They must have known
266
954887
1238
Lazima walitambua
15:56
of the great North African medieval philosophers
267
956149
2828
kuhusu wanafilosophia wa kale wa Afrika ya Kaskazini
15:59
who had driven the Mediterranean.
268
959001
2492
ambao waliongoza Mediterranian.
16:01
They must have known about and been aware of
269
961517
3111
Watakuwa wanatambua na kujua kuhusu
16:04
that tradition that is part of Christianity, of the three wise men.
270
964940
5029
utamaduni ambao ni sehemu ya Ukristo, kuhusu mabwana watatu wenye hekima.
16:09
And in the medieval period, Balthazar, that third wise man,
271
969993
3989
na katika zama za kati, Balthazar, bwana wa tatu,
16:14
was represented as an African king.
272
974006
2703
aliwakilishwa kama mfalme wa Kiafrika.
16:16
And he became hugely popular
273
976733
2604
Na alikuja kuwa maarufu sana
16:19
as the third intellectual leg of Old World learning,
274
979361
3985
kama mguu wa tatu wa kisomi wa mafunzo ya Dunia ya Zamani,
16:23
alongside Europe and Asia, as a peer.
275
983370
3498
pamoja na Ulaya na Asia, kama wenzake.
16:27
These things were well-known.
276
987652
3876
Haya yalikuwa yakifahamika fika.
16:31
These communities did not grow up in isolation.
277
991552
3624
Hizi jamii hazikukulia katika kutengwa.
16:35
Timbuktu's wealth and power developed because the city became
278
995200
4109
Utajiri na nguvu ya Timbuktu ulikua kwa sababu jiji lilikuja kuwa
16:39
a hub of lucrative intercontinental trade routes.
279
999333
4080
kitovu cha misafara ya biashara iliyo na faida kati ya mabara.
16:43
This was one center
280
1003437
2166
Hiki kilikuwa kituo kimoja
16:45
in a borderless, transcontinental,
281
1005627
2550
katika bara lisilo na mipaka, kwa safari za mabara,
16:48
ambitious, outwardly focused, confident continent.
282
1008201
3887
lililo na malengo, lenye mtazamo dhahiri na kujiamini.
16:52
Berber merchants, they carried salt and textiles
283
1012874
3922
Wafanyabiashara wa dola ya Berber , walibeba chumvi na vitambaa
16:56
and new precious goods and learning down into West Africa
284
1016820
3800
na bidhaa mpya zenye thamani na kuelekea Afrika ya Magharibi
17:00
from across the desert.
285
1020644
2556
kupitia katika jangwa.
17:03
But as you can see from this map
286
1023224
3471
Lakini kama unavyoona katika ramani hii
17:06
that was produced a little time after the life of Mansa Musa,
287
1026719
4245
ambayo ilitengenezwa muda mfupi baada ya maisha ya Mansa Musa,
17:10
there was also a nexus of sub-Saharan trade routes,
288
1030988
4602
kulikuwa pia na muunganiko wa njia za biashara kusini mwa jangwa la Sahara,
17:15
along which African ideas and traditions
289
1035614
3260
ambapo mawazo ya Waafrika na tamaduni
17:18
added to the intellectual worth of Timbuktu
290
1038898
3623
ziliongezea katika maarifa ya thamani ya Timbuktu
17:22
and indeed across the desert to Europe.
291
1042545
2980
na hakika katika jangwa kuelekea Ulaya.
17:26
Manuscripts and material culture,
292
1046420
3730
Nyaraka na malighafi za utamaduni,
17:30
they have become fonts of communal narrative,
293
1050174
4927
zimekuja kuwa maandishi ya simulizi za jamii,
17:35
symbols of continuity.
294
1055125
2043
alama ya muendelezo.
17:37
And I'm pretty sure that those European intellectuals
295
1057192
4711
Na nina uhakika kuwa wale wasomi wa Ulaya
17:41
who cast aspersions on our history,
296
1061927
3734
ambao wanasengenya historia yetu,
17:45
they knew fundamentally about our traditions.
297
1065685
3915
walijua kiundani kuhusu utamaduni wetu.
17:50
And today, as strident forces like Ansar Dine and Boko Haram
298
1070155
4710
Na leo, majeshi kama Ansar Dine na Boko Haram
17:54
grow popular in West Africa,
299
1074889
1913
yanapata nguvu Afrika ya Magharibi,
17:56
it's that spirit of truly indigenous, dynamic, intellectual defiance
300
1076826
5610
ni uzalendo wa kutoka moyoni, ulio na msukumo, upinzani wa kisomi
18:02
that holds ancient traditions in good stead.
301
1082460
2954
ambao unashikilia utamaduni wa kale katika hali njema.
18:05
When Mansa Musa made Timbuktu his capital,
302
1085438
3199
Wakati Mansa Musa alipoifanya Timbuktu kuwa mji wake mkuu,
18:08
he looked upon the city as a Medici looked upon Florence:
303
1088661
3978
aliangalia jiji hili kama familia ya Medici ilivyo kwa jiji la Florence:
18:12
as the center of an open, intellectual, entrepreneurial empire
304
1092663
5059
kama kitovu kilicho wazi, cha kisomi, kwa dola ya kijasiriamali
18:17
that thrived on great ideas wherever they came from.
305
1097746
3317
ambayo ilifanikiwa kwa mawazo makuu popote pale yalipotokea.
18:21
The city, the culture,
306
1101087
2249
Jiji,utamaduni,
18:23
the very intellectual DNA of this region
307
1103360
3118
vinasaba vya maarifa ya eneo hili
18:26
remains so beautifully complex and diverse,
308
1106502
3693
vinabaki kuwa maridadi mno na vilivyo vya kila aina,
18:30
that it will always remain, in part,
309
1110219
2669
kwamba siku zote itabaki, katika nafasi,
18:32
located in storytelling traditions that derive from indigenous,
310
1112912
4312
iliyopo katika utamaduni wa kusimulia hadithi uliotoka kwa wenyeji,
18:37
pre-Islamic traditions.
311
1117248
1765
tamaduni za kabla ya Uislamu.
18:39
The highly successful form of Islam that developed in Mali became popular
312
1119037
5607
Mfumo wa Uislamu uliopata mafanikio sana uliochipuka Mali ulipata maarufu
18:44
because it accepted those freedoms
313
1124668
2049
kwa sababu ulikubali uhuru
18:46
and that inherent cultural diversity.
314
1126741
2482
na unadhifu wa mchanganyiko wa tamaduni.
18:49
And the celebration of that complexity,
315
1129247
2427
Na seherehe za aina ya mfumo huo,
18:51
that love of rigorously contested discourse,
316
1131698
4025
ule upendo halisi wa maongezi ya ushidani,
18:55
that appreciation of narrative,
317
1135747
1844
heshima ya simulizi,
18:57
was and remains, in spite of everything,
318
1137615
3274
ulikuwa na unabaki kuwa, japokuwa na yote,
19:00
the very heart of West Africa.
319
1140913
3410
kuwa ndiyo moyo wa Afrika Magharibi.
19:04
And today, as the shrines and the mosque vandalized by Ansar Dine
320
1144347
4582
Na leo, mahekalu na misikiti iliyohujumiwa na Ansar Dine
19:08
have been rebuilt,
321
1148953
1157
imejengwa upya,
19:10
many of the instigators of their destruction have been jailed.
322
1150134
3827
wengi walioshiriki katika uharibifu huu wamefungwa gerezani.
19:13
And we are left with powerful lessons,
323
1153985
2902
Na tumebaki na somo kubwa la kujifunza,
19:16
reminded once again of how our history and narrative
324
1156911
4356
linalokumbusha tena jinsi gani historia yetu na simulizi
19:21
have held communities together for millennia,
325
1161291
3907
imeunganisha jamii pamoja kwa milenia,
19:25
how they remain vital in making sense of modern Africa.
326
1165222
3726
jinsi gani inabaki kuwa muhimu katika kuleta maana ya Afrika ya kisasa.
19:29
And we're also reminded
327
1169906
1510
Na tunakumbushwa
19:31
of how the roots of this confident, intellectual, entrepreneurial,
328
1171440
5024
ni jinsi gani mizizi ya ujasiri huu, wa kisomi, wa kijasiriamali
19:36
outward-facing, culturally porous, tariff-free Africa
329
1176488
4784
inayotazama nje, iliyo na tamaduni pole, Afrika isiyotoza chochote
19:41
was once the envy of the world.
330
1181296
2466
hapo zamani ilionewa wivu na dunia.
19:44
But those roots, they remain.
331
1184181
2570
Lakini mizizi hiyo, bado ipo.
19:46
Thank you very much.
332
1186775
1213
Asante sana.
19:48
(Applause)
333
1188012
4150
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7