You may be accidentally investing in cigarette companies | Bronwyn King

90,238 views ・ 2018-08-22

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

Translator: Brian Bosire Reviewer: Nelson Simfukwe
00:13
In 2001, I was a brand new, shiny doctor, planning to save the world.
0
13540
5368
Mwaka 2001, nilikuwa daktari mpya aliyenuia kukomboa ulimwengu.
00:19
My first job was working for three months on a lung cancer unit.
1
19563
4267
Kazi yangu ya kwanza ilikuwa kufanya kazi katika kitengo cha saratani ya mapafu kwa miezi mitatu.
00:24
Nearly all of my patients were smokers or ex-smokers,
2
24241
3396
00:27
and most of them had started smoking when they were children
3
27661
3516
00:31
or in their early teens.
4
31201
1722
au katika miaka yao ya mapema ya ujana.
00:33
And despite living in a beautiful, wealthy country,
5
33427
3587
. Licha yakuishi katika nchi yenye mazingira ya kupendeza na utajiri,
00:37
with access to the most sophisticated medicines,
6
37038
3738
00:40
nearly every single one of my patients died.
7
40800
3000
karibu kila mmoja wa wagonjwa wangu alifariki.
00:44
Everyone knows tobacco is bad,
8
44331
1945
Kila mtu anafahamu kuwa tumbaku ni mbaya,
00:46
but when you see the impact firsthand, day-by-day,
9
46300
3055
lakini ukijionea maafa yake mara ya kwanza, siku hadi siku,
00:49
it leaves a very deep impression.
10
49379
2420
inakuacha na mtazamo yakinifu.
00:52
Ten years later, I'm a radiation oncologist,
11
52895
3277
Miaka kumi baadaye, mimi ni mtaalam wa mionzi,
00:56
fully aware of the suffering caused by tobacco.
12
56196
3301
mwenye ufahamu timilifi kuhusu maafa ya tumbaku.
00:59
I'm sitting at the hospital cafeteria, having my first ever meeting
13
59990
3999
Nimeketi kwenye mkahawa wa hospitali, kwenye mkutano wangu wa kwanza
01:04
with a representative from my superannuation fund.
14
64013
3072
na mwakilishi kutoka kwa uwekezaji wangu wa kustaafu.
01:07
It was thrilling, I'm sure you can imagine.
15
67109
2071
Ulikuwa wa kusisimua. Nina imani mnaweza kuufikiria.
01:09
(Laughter)
16
69204
1540
(Kicheko)
01:10
He tells me I'm in the default option.
17
70768
2611
Akanieleza ya kuwa nimeainishwa katika chaguo la msingi.
01:13
And I said, "Option? Does that mean there are other options?"
18
73403
3157
01:16
He looked at me, rolled his eyes, and said,
19
76584
3722
01:20
"Well, there is this one greenie option
20
80330
2976
"Kuna chaguo la kufana
01:23
for people who have a problem with investing in mining, alcohol or tobacco."
21
83330
4619
kwa watu ambao wanashida na uwekezaji katika uchimbaji, pombe au tumbaku."
01:29
I said, "Did you just say tobacco?"
22
89307
1699
01:31
He said, "Yes."
23
91030
1150
Akasema, "Ndio."
01:32
I said, "So, are you telling me I'm currently investing in tobacco?"
24
92673
3444
Nikasema, "Unaniambia, nimewekeza kwa tumbaku?"
01:36
And he said, "Oh, yes, everyone is."
25
96141
2928
Akasema, "Ndio, na kila mtu pia."
01:40
When you invest in a company, you own part of that company.
26
100292
3816
Unapowekeza katika kampuni, unamiliki sehemu ya hiyo kampuni.
01:44
You want that company to grow and succeed and thrive.
27
104589
3460
Unataka hiyo kampuni ikuwe na ifane.
01:48
You want that company to attract new customers,
28
108073
2492
Unataka hiyo kampuni ivutie wateja wapya,
01:50
you want that company to sell more of its products.
29
110589
2643
unataka hiyo kampuni iuze bidhaa zake zaidi.
01:54
And when it comes to tobacco,
30
114046
1555
Na ikija kwa tumbaku,
01:55
I couldn't think of anything that I wanted less.
31
115625
3267
singefikiria mbadala na hayo.
01:59
Now, I know you can only see one person standing here
32
119846
2509
Sasa hivi najua munaweza kuona mtu mmoja amesimama hapa,
02:02
on this big red dot, on this enormous stage.
33
122379
3000
kwa alama hii kubwa nyekundu katika jukwaa hii kubwa.
02:05
But instead, I would like you to imagine
34
125942
3092
Lakini badala yake, ningependa ufikirie
02:09
that you're looking at seven million people
35
129942
3572
ya kuwa unuatazama watu milioni saba
02:13
crammed up here beside me today.
36
133538
3039
waliojaa hapa kando yangu leo.
02:17
Seven million people across the world have died as a result of tobacco
37
137538
6753
Watu milioni saba wameiaga dunia kutokana na maafa ya tumbaku
02:24
in the past year alone.
38
144315
2357
mwaka uliopita pekee.
02:27
Just imagine, if a brand new industry were launched today,
39
147776
2826
Hebu fikiria kama sekta mpya ingalizinduliwa leo,
02:30
and by the end of next June,
40
150626
1460
na mwisho wa mwezi Juni,
02:32
that industry's products had killed seven million people.
41
152110
4906
bidhaa zake ziuziwe watu milioni saba.
02:37
Would any of us invest in that new, deadly industry?
42
157539
4621
02:43
Tobacco is one of the most pressing global issues of our time,
43
163186
4079
02:47
and most of us are far more complicit in the problem than we may realize.
44
167289
4859
02:53
So, the super fund representative explained to me
45
173420
2485
02:55
that tobacco companies would be found
46
175929
1968
ya kuwa kampuni za tumbaku zitapatikana
02:57
in the international shares portion of my portfolio.
47
177921
4045
katika hisa zangu za kimataifa.
03:02
So I asked him, "Well, which international shares do I have?"
48
182386
3337
Hivyo nikamuuliza, "Ni hisa zipi za kimataifa ninazo?"
03:06
He got back to me two weeks later with this list:
49
186220
3048
Alinijibu wiki mbili baadaye na orodha hii:
03:09
my number one holding in international shares
50
189292
3886
nambari moja kwa hisa za kimataifa
03:13
was British American Tobacco.
51
193202
1933
ilikuwa ni British American Tobacco.
03:15
Number two, Imperial Tobacco.
52
195805
2420
Nambari mbili, Imperial Tobacco.
03:18
Number four, Philip Morris.
53
198575
1991
Nambari nne, Philip Morris.
03:21
And number five, the Swedish Match company.
54
201165
2721
Na nambari tano, Swedish Match Company.
03:23
Four of the top five companies were tobacco companies,
55
203910
2699
Nne ya kampuni tano zilikuwa ni kampuni za tumbaku,
03:26
my investments, an oncologist.
56
206633
2253
uwekezaji wangu kama oncologist
03:29
And then I realized it wasn't just me.
57
209458
2302
Na nikagundua kuwa si mimi pekee.
03:31
It was all members of my super fund.
58
211784
1888
Ilikuwa ni kila mwanachama wa huo mfuko.
03:34
And then I realized it wasn't just my super fund, it was all of them.
59
214125
3253
Na hapo nikagundua kuwa si malipo yangu
03:37
And then I realized, it wasn't just superannuation funds,
60
217402
2684
ya uzeeni pekee, ni zote. Na nikagundua kuwa
03:40
it was banks, insurers and fund managers.
61
220110
3094
si uwekezaji wa malipo ya uzeeni, ni mabenki, bima
03:43
And then I realized it wasn't just Australia.
62
223228
2873
na mifuko. Na nikagundua kuwa
03:46
It was the entire global finance sector,
63
226125
2912
si Australia pekee bali ni ulimwengu mzima wa sekta ya fedha,
03:49
completely tangled up with the tobacco industry.
64
229061
2635
zinazohusishwa na sekta ya tumbaku.
03:51
The industry that makes products that kill seven million people every year.
65
231720
5207
Sekta inayotengeneza bidhaa inayoua watu milioni saba
03:57
So I started discussing the issue with my superannuation fund,
66
237475
3167
kila mwaka. Hivyo nikaanza kuzungumza kuhusu swala hili na uwekezaji
04:00
and I've been discussing it ever since.
67
240666
2110
wa pesa zangu za uzeeni, na nimekuwa namuzungumzo nao tangu hapo.
04:03
Finance leaders have many challenging issues to deal with, these days.
68
243125
3738
Viongozi wa fedha wanachangamoto
04:06
So I suggest they adopt a framework
69
246887
2801
zakukabiliana nazo siku hizi. Hivyo ninashauri wavumbua mfumo
04:09
that clearly articulates why it is reasonable
70
249712
3119
unaodhihirisha kwa uwazi kwanini
04:12
to take a strong position on tobacco.
71
252855
2381
ni muhimu kuchukua hatua dhidi ya tumbaku.
04:15
I suggest finance leaders ask a suite of three questions
72
255847
4602
Ninashauri viongozi wa fedha waulize mfumo wa
04:20
of any company in which they might invest our money.
73
260473
3533
maswali matatu wa kampuni yoyote watakoekeza fedha zetu.
04:24
Question one:
74
264465
1524
Swali moja:
04:26
Can the product made by the company be used safely?
75
266013
4617
Bidhaa inayotengezwa na kampuni
04:31
"No" is the answer for tobacco companies.
76
271156
2880
yaweza kutumika salama? "La" ndilo jibu kwa makampuni ya tumbaku.
04:34
Zero is the only safe number of cigarettes for a human being.
77
274060
3422
Sufuri ndiyo tarakimu salama ya idadi za sigara kwa binadamu.
04:37
It could not be more black and white.
78
277506
2166
Haiwezi elezwa zaidi kwa uwazi.
04:40
Question two:
79
280291
1524
Swali la pili:
04:41
Is the problem caused by the company so significant on a global level
80
281839
5048
Hilo tatizo linalosababishwa
04:46
that it is subject to a UN treaty or convention?
81
286911
3266
na kampuni, linamaafa ulimwenguni, hadi ikawa swala la mkataba wa UN?
04:50
"Yes" is the answer for tobacco.
82
290974
2119
"Ndio" ndilo jibu kwa tumbaku.
04:53
Indeed there is a UN tobacco treaty
83
293117
2984
Kwa kweli kuna mkata ba UN wa tumbaku
04:56
that has been ratified by 180 countries.
84
296125
3426
ambao umethibitishw na nchi 180.
05:00
The treaty was created
85
300215
1707
Mkataba uliundwa
05:01
because of the catastrophic global impact of tobacco.
86
301946
3667
kwa sababu ya janga
05:06
The current forecast is that the world is on track
87
306192
4044
la maafa ya tumbaku. Utabili wa sasa ni kuwa
05:10
for one billion tobacco-related deaths this century.
88
310260
4390
ulimwengu unaelekea, idadi ya bilioni moja ya
05:15
One billion deaths.
89
315292
1266
vifo husika na tumbaku karne hii. Vifo bilioni moja.
05:16
There's only seven billion of us.
90
316998
2200
Tuko watu bilioni saba.
05:20
Question three relates to the concept of engagement.
91
320085
3883
Swali la tatu ni dhana ya usimamizi.
05:24
Many financial organizations genuinely want to be good corporate citizens.
92
324355
3817
Mashirika mengi ya kifedha yana nia ya kikweli kuwa raia wa ushirika.
05:28
They want to use their shareholder power
93
328577
2746
Wanataka kutumia nguvu zao za mbia
05:31
to sit down with companies, engage with them,
94
331347
2310
kuketi na makampuni, na kuwashirikisha,
05:33
and encourage them to do better things.
95
333681
2126
na kuwahimiza kufanya mambo bora.
05:35
So the question is:
96
335831
1556
Kwa hivyo swali ni:
05:37
Can engagement with the company be an effective lever for change?
97
337411
4781
Ushirikiano na makumpini haya
05:43
"No" is the answer for tobacco companies.
98
343026
2801
mwafaka wa mabadilisho? "La" ndilo jibu kwa kampuni za tumbaku.
05:46
Engagement with the tobacco industry is futile.
99
346153
2621
Ushirikiano na sekta ya tumbaku ni bure.
05:49
The only acceptable outcome would be
100
349157
1778
Matokeo ambayo yatakubalika ni
05:50
if tobacco companies ceased their primary business.
101
350959
3334
kama kampuni za tumbaku zitasitisha
05:54
In fact, engagement with the tobacco industry
102
354712
2680
biashara yao. Kwa kweli, ushirikiano na sekta ya tumbaku
05:57
has never led to less human death.
103
357416
3820
haujawahi punguza idadi ya vifo.
06:02
When we consider that framework, three simple questions,
104
362387
3277
Tunapofikiria kuhusu mfumo huo, maswali matatu rahisi,
06:05
we can see that is reasonable and defensible
105
365688
3405
tunaweza ona kuwa hilo ni nzuri na inawezatekelzwa
06:09
to take a strong position and exclude investment in the tobacco industry.
106
369117
5176
kuchukua hatua dhabiti na kutenga uwekezaji katika sekta ya tumbaku.
06:15
In addition to the UN tobacco treaty,
107
375663
2365
Zaidi ya mkataba wa UN tumbaku.
06:18
there is, in fact, another global treaty that demands that we act on tobacco.
108
378052
4322
kunayo, kwa kweli, mkataba mwengine
06:22
In 2015, the UN adopted the Sustainable Development Goals.
109
382972
4772
wa ulimwengu unaoshurutisha tukabiliane na tumbaku. Mwaka wa 2015,
06:28
Now, we're talking about tobacco,
110
388069
1635
UN ilipitisha Malengo Endelevu. Sasa tunazungumzia tumbaku,
06:29
and I know you're going to jump straight to number three:
111
389728
2739
na najua utaenda moja kwa moja
06:32
good health and well-being.
112
392491
1316
hadi nambari tatu; afya bora na ustawi.
06:33
And indeed, ramping up tobacco control regulation
113
393831
2313
Na kwa hakika, kuboresha
06:36
is essential if we're going to achieve that goal.
114
396168
2351
udhibithi wa matumizi ya tumbaku, ni msingi kama
06:38
However, look a bit more deeply,
115
398543
2336
tunaelekea kutimiza malengo. Hata hivyo,
06:40
and you will find that 13 of the 17 goals cannot be achieved
116
400903
5031
tazama kwa kina zaida, na utapata 13 kati ya
06:45
unless there is a major shake-up of the tobacco industry.
117
405958
3596
17 hayawezi kutimilika hadi kuwe na mabadiliko
06:50
Personally, my favorite goal is number 17:
118
410323
2989
makubwa katika sekta ya tumbaku. Mimi binafsi, lengo ninalopendelea
06:53
partnerships for the goals.
119
413336
1800
zaidi ni nambari 17: ushirikiano kwa malengo.
06:55
At present, we have the entire global health sector doing everything it can
120
415478
5682
Leo, tunazo sekta za afya ulimwenguni
07:01
to help the tidal wave of patients suffering as a result of tobacco.
121
421184
3893
zinazofanya kadri ya uwezo wao kusaidia wagonjwa wanaoteseka
07:05
But that said, in the past year alone, seven million people have died,
122
425450
3302
kutokana na tumbaku. Licha ya hayo kusemwa,
07:08
so clearly, that is not enough.
123
428776
1936
mwaka ulipoita pekee, watu milioni saba wamefariki,
07:11
We also have governments aligned on tobacco, 180 of them,
124
431323
3564
hilo halitoshi. Pia kuna serikali
07:14
busily trying to implement the provisions of the UN tobacco treaty.
125
434911
3999
zinazojihusisha na tumbaku, 180 kati yaozilizo katika harakati
07:18
But that, too, is not enough.
126
438934
2444
ya kutekeleza mahitaji ya mkataba wa tumbaku wa UN.
07:22
If the global finance sector continues to lend money to tobacco companies,
127
442038
6301
Lakini hilo pia halitoshi. Ikiwa sekta fedha
07:28
to invest in tobacco companies,
128
448363
2357
ulimwenguni itaendelea kupeana fedha kwa kampuni za tumbaku,
07:30
and to strive to profit from tobacco companies,
129
450744
2992
kuwekeza katika tumbaku, na kutahidi kunufaika
07:33
we are working against each other.
130
453760
2267
kutoka kwao, tunafanya kazi dhidi ya kila mmoja.
07:36
Now, if we are going to disrupt
131
456411
2388
Sasa ikiwa tutaenda kuharibu
07:38
what doctors call "the global tobacco epidemic,"
132
458823
3699
kile madaktari wanaita
07:42
we need every sector of society to stand side by side
133
462546
4118
"janga la ulimwengu la tumbaku." tunahitaji kila sekta ya jamii
07:46
and be part of the solution.
134
466688
1867
kushirikiana na kuwa sehemu ya suluhisho.
07:49
So I call on finance leaders
135
469385
2246
Kwa hivyo nawaalika viongozi wa fedha
07:51
to implement a framework to deal with sensitive issues.
136
471655
3730
kutekeleza mfumo wakupambana na maswala nyeti.
07:55
And I call on them to uphold global conventions.
137
475409
3340
Na pia nawaalika mikataba ya ulimwengu.
07:59
But in addition, there are business risks.
138
479307
2691
Lakini kuongezea, kuna hatari za kibiashara.
08:02
Pure financial risks, associated with being invested in the tobacco industry
139
482022
4698
Hatari ya kifedha zinazohusika na uwekezaji katika
08:06
over the long term,
140
486744
1412
sekta ya tumbaku kwa muda mrefu,
08:08
and I ask finance leaders to consider them.
141
488180
3069
nawaomba viongozi wa fedha
08:12
The first risk is that fewer and fewer people will smoke,
142
492006
4091
wazitazame. Hatari ya kwanza ni kuwa watu wachache
08:16
as a result of increasing tobacco regulation.
143
496121
3067
watavuta sigara, kutokana na kuongezeka kwa taratibu za tumbaku.
08:19
When these warnings were put on cigarette packets in Canada,
144
499891
3695
Wakati onyo hizi ziliwekwa kwenye pakiti za sigara Canada,
08:23
[Tobacco can make you impotent]
145
503610
1562
[Tumbaku inaweza kufanya ukose kuzalisha]
08:25
the first response of smokers was to give them right back to the salespeople
146
505196
3678
jibu la kwanza la wavuta sigara
08:28
and say, "Could you please just give me the ones that say they'll kill me?"
147
508898
3583
ni kuzirudisha kwa wauzaji na kusema, "Tafadhali unaweza nipa zile zinzaosema zinaeza kuniua?"
08:32
(Laughter)
148
512505
1553
(Kicheko)
08:34
Regulation gets noticed, regulation reduces consumption,
149
514082
3737
Utaratibu unaonwa,
08:37
and we have 180 countries committed to more regulation.
150
517843
4464
utaratibu unapunguza matumizi, kuna nchi 180 ambazo zimajitolea
08:43
Let's talk about litigation and the risk that presents.
151
523061
3127
kwenye utaratibu huu. Tuzungumze kuhusu maswala ya sheria
08:46
At present, it's the business model of the tobacco industry
152
526664
4143
maafa yanyokabidhiwa. Kwa sasa, ni mfumo wa biashara
08:50
that is being challenged.
153
530831
1667
wa sekta ya tumbaku unaopingwa.
08:53
Currently, the tobacco industry externalizes all of the health costs
154
533133
4923
Kwa sasa, sekta ya tumbaku
08:58
associated with tobacco.
155
538080
1904
zinazohusika na tumbaku.
09:00
Governments pay, communities pay, you pay, I pay.
156
540326
3388
Serikali zinalipa, jamii zinalipa,
09:04
The tobacco industry externalizes all those costs,
157
544222
4027
unalipa, ninalipa. Sekta ya tumbaku
09:08
with an estimated one trillion US dollars per year.
158
548273
3809
kwa pesa takriban trilioni moja dola za Marekani.
09:12
Yet they internalize and privatize the profits.
159
552527
3200
Na bado wanabinafsisha faida.
09:16
In 2015, in Quebec province,
160
556614
2906
Mwaka 2015, jimbo la Quebec,
09:19
the courts determined that the tobacco industry
161
559544
2207
mahakama ilidhihirisa kuwa sekta ya tumbaku
09:21
was indeed responsible for those health costs,
162
561775
2800
ilikuwaimesababisha hayo maafa ya afya
09:24
and ordered them to pay 15 billion US dollars.
163
564599
2476
na ikaishurutisha kulipa dola bilioni 15 za Marekani.
09:27
That case is under appeal.
164
567457
1779
Hiyo kesi iko katika mahakama ya rufaa.
09:29
But it begs the question, why should any of us, in any country,
165
569260
6119
Lakini swali ni, mbona yeyote kati
09:35
be paying for the costs of the tobacco industry?
166
575403
3475
yetu wa nchi yoyote, alipe gharama ya sekta ya tumbaku?
09:40
Let's move on to supply chain and the risk there.
167
580301
3761
Tusonge kwa ugavi na maafa huko.
09:44
It is not well known
168
584086
1873
Haijulikani vyema
09:45
that the tobacco industry significantly relies on child labor.
169
585983
5499
ya kuwa sekta ya tumbaku inategemea
09:53
In March 2017, the International Labour Organization
170
593394
3374
ajira kwa watoto. Machi 2017, Shirika la Kazi Duniani
09:56
issued a report which stated:
171
596792
2786
lilitoa ripoti iliyosema:
09:59
"In tobacco-growing communities, child labor is rampant."
172
599602
5063
"Kwa jamii zinazokuwa tumbaku, ajira kwa watoto imeenea."
10:05
The US Department of Labor
173
605499
1492
Wizara ya Marekani ya Ajira,
10:07
currently lists 16 countries that use children to produce tobacco leaf.
174
607015
6484
kwa sasa imeorodhesha mataifa
10:14
Scrutiny of supply chains is intensifying,
175
614155
2468
watoto kukuza matawi ya tumbaku. Ukaguzi wa magavi unaimarishwa,
10:16
and that cannot continue to escape public attention.
176
616647
3230
na hilo linawdza endelea kuepuka uma.
10:20
Finally, there is also reputation risk to consider
177
620218
3177
Mwisho, kuna hatari ya sifa inayotazamiwa
10:23
for individuals and organizations that continue to maintain an affiliation
178
623419
4991
kwa watu binafsi na mashirika yanayoendelea kuwa na huo uhusiano
10:28
with the tobacco industry.
179
628434
1508
na sekta ya tumbaku.
10:29
In countless surveys,
180
629966
1721
Kwa kura ya maoni kadhaa,
10:31
the tobacco industry ranks as the world's least reputable industry.
181
631711
4200
sekta ya tumbaku inaorodheshwa
10:36
Let's just look at the impact on children.
182
636640
2279
kama sekta yenye sifa dhaidu. Tutazema maafa yake kwa watoto.
10:39
Globally, every single day,
183
639355
3628
Ulimwenguni, kila siku,
10:43
it is estimated that 100,000 children start smoking.
184
643007
5419
inatathminiwa kuwa watoto 100,000 walianza kuvuta sigara.
10:48
That's enough children to fit inside the Melbourne Cricket Ground.
185
648807
3841
Hiyo ni idadi tosha ya watoto kujaza Melbourne Cricket Ground.
10:53
And most of those children are from the poorest communities on earth.
186
653188
3611
Na baadhi ya hao watoto ni wakazi wa mataifa maskini duniani.
10:57
Here in Australia, the average age that people start smoking
187
657252
4698
Hapa Australia, miaka ya wastani watu huanza kuvuta sigara
11:01
is 16 years and two months.
188
661974
2571
ni miaka 16 hadi miezi miwili.
11:05
They look pretty young to me, but the worst thing here
189
665338
2541
Kwangu ni wachanga zaidi, na jambo mbaya zaidi hapa ni
11:07
is that while we don't have data from every country on earth,
190
667903
2888
ingali hatuna tarakimu kutoka kwa kila nchi duniani,
11:10
we believe that is the oldest age.
191
670815
2158
tunaamini kuwa huo ndio umri mkubwa.
11:13
Everywhere else is younger.
192
673427
2221
Kila mahali ni umri mdogo.
11:16
Now for the good news.
193
676760
1809
Sasa kwa habari njema.
11:18
Things are changing.
194
678593
1309
Mambo yanabadilika.
11:19
The finance sector is coming to the party.
195
679926
2675
Sekta ya fedha inahusishwa.
11:22
After around 2,000 meetings with finance leaders,
196
682974
3238
Baada ya mikutano takriban 2,000 na viongozi wa fedha,
11:26
primarily in the cafés of Melbourne and Sydney
197
686236
2540
haswaa katika mikahawa ya Melbourne na Sydney
11:28
and London and Paris and New York and all across the globe,
198
688800
3507
na London na Paris na New York na kote ulimwenguni,
11:32
momentum, moving away from investment in the tobacco industry,
199
692331
3971
kasi, kutoka katika uwekezaji katika sekta ya tumbaku,
11:36
is starting to snowball.
200
696326
1745
inaanza kutambulika.
11:38
Finance leaders are alarmed when they're presented with the facts,
201
698095
3191
Viongozi wa fedha hushtuka
11:41
and overwhelmingly, they want to be part of the solution.
202
701310
3491
wakikabidhiwa na ukweli wa mambo, na kwa wingi, wanataka kuwa
11:45
Here, in Australia, we now have
203
705357
2990
sehemu ya suluhisho. Hapa Australia, sasa tuna
11:48
10,636,101 superannuation accounts
204
708371
6651
10,636,101 akauti za mifuko ya ziada
11:55
that are tobacco-free.
205
715046
1340
ambazo hazihusiki na tumbaku.
11:56
That one is mine, by the way.
206
716410
1728
Hiyo ni yangu.
11:58
(Applause)
207
718162
6915
(Makofi)
12:05
There is still a lot of work to be done,
208
725101
1913
Bado kuna kazi mingi ya kufanywa,
12:07
but I've watched the conversation go from "Should we go tobacco-free?"
209
727038
3618
lakini nimetazama mazungumzo yakitoka
12:10
to "Why haven't we done it yet?"
210
730680
1920
"Tuelekee bila kuhusika na tumbaku?" hadi "Mbona hatijafanya hilo bado?"
12:13
In the past year alone,
211
733174
1214
Mwaka uliopita pekee,
12:14
major tobacco-free moves have been made by leading financial organizations
212
734412
4254
hatua za kutohusika na
12:18
in eight different countries.
213
738690
2095
tumbaku zimefanywa na mashirika ya kifedha makuu kwa nchi nane tofauti
12:20
In Australia, New Zealand, the Netherlands, Sweden,
214
740809
3038
Australia, New Zealand, Uholanzi, Uswidi
12:23
Denmark, France, Ireland and the USA.
215
743871
3063
Denmark, Ufaransa, Ireland na Marekani.
12:26
By sovereign wealth funds, fund managers, pension funds,
216
746958
3302
Meneja wa fedha za utawala huru, mfuko wa pensheni,
12:30
banks, insurers and reinsurers.
217
750284
2301
mabenki na bima.
12:32
Since tobacco-free portfolios began,
218
752609
2135
Tangu uwekezaji usiohitaji tumbaku uanze,
12:34
more than six billion dollars has been redirected
219
754768
3378
zaidi ya dola bilioni sita
12:38
away from investment in the tobacco industry.
220
758170
3137
zimeekezwa kwingineko kutoka kwa uwekezaji katika
12:41
The case study is well and truly proven.
221
761331
2667
sekta ya tumbaku. Utafiti huu umeithibithishwa.
12:45
When making the tobacco-free announcement in March this year,
222
765069
3103
Akitoa tangazo Machi mwaka huu
12:48
the CEO of AMP Capital said,
223
768196
2873
Mkurugenzi Mtendaji wa AMP Capital alisema,
12:51
"We are not prepared to deliver investment returns
224
771093
3706
"Hatuko tayari kurudisha uwekezaji
12:54
at any cost to society."
225
774823
2325
kwa gharama yoyote kwa jamii."
12:58
And that is the question we need to ask ourselves.
226
778117
2539
Na hilo ndilo swali tunapaswa kujiuliza.
13:01
Is there no baseline standard below which we will not sink
227
781030
4682
Je, hamna kiwango cha msingi tunaweza kitiri
13:05
to make profit?
228
785736
1150
kutengeneza faida?
13:08
Along the way, I've had a lot of help and incredible support.
229
788363
2968
Katika safari hiyo,
13:11
Now, if you're trying to do something,
230
791355
1833
nimepata usaidizi na ushirikisho mkubwa. Sasa kama tunajaribu
13:13
I highly recommend that you have a princess on your team.
231
793212
2889
unajaribu kufanya kitu, ningekushauri
13:16
Her Royal Highness, Princess Dina Mired,
232
796871
2301
uwe na malkia katika timu yako. Mkuu wa kifalme,
13:19
is the global ambassador for this work.
233
799196
2841
Malkia Dina Mired, ndiye balozi wa kimataifa
13:22
We also have a lord, a knight, a former premier,
234
802061
2851
wa kazi hii. Pia tunaye bwana, knight,
13:24
a former federal minister and a stack of CEOs.
235
804936
3005
waziri mkuu wa zamani, waziri wa shirikisho wa zamani,
13:28
But the capacity to change things
236
808373
2143
na baadhi ya mameneja wa utendaji. Lakini uwezo wa kubadilisha
13:30
does not rest exclusively with these highly influential people.
237
810540
3972
mambo haubaki tu kwa watu wenye ushawishi.
13:34
The power to do that is with all of us.
238
814992
3031
Uwezo huo uko nasi sote.
13:38
Everyone here can be part of the solution.
239
818696
2643
Kila mmoja hapa anaweza kuwa sehemu ya utatuzisuluhisho.
13:41
In fact, everyone here must be part of the solution.
240
821363
3900
Kila mmoja hapa anapaswa kuwa sehemu ya suluhisho.
13:45
Most people in this room own companies
241
825809
4047
Baadhi ya watu kwenye chumba hichi wanamiliki makampuni
13:49
via their superannuation funds, their banks and their insurers.
242
829880
4267
kupitia mfuko wao wa malipo, benki zao na wanaowatolea huduma za bima
13:54
And it is time for us to ask them:
243
834483
2790
Na ni wakati wetu kuwauliza:
13:57
Are they investing our money in companies that make products
244
837297
4252
Wanaekeza hela zetu kwa makumpini yanayotengeneza bidhaa
14:01
that kill seven million people every year?
245
841573
2745
zitakazowaua watu milioni saba kila mwaka?
14:04
It's your money.
246
844342
1270
Ni hela zako.
14:05
It's my money, it's our money.
247
845636
1687
Ni hela zako,
14:07
And that is a very reasonable question.
248
847347
3198
ni hela zetu. Na hilo ni swali
14:11
Pretty cramped up here,
249
851379
1595
nzuri sana. Nafasi hapa yapunguzwa,
14:13
with seven million people beside me today.
250
853824
2558
na watu milioni saba kando yangu.
14:16
But if we don't act now, and act together,
251
856823
3269
Tusipochukua hatu sasa, na tuchukue hatua pamoja,
14:20
we'll need to make way for one billion people
252
860116
3380
itatulazimu tutengeneze nafasi ya watu bilioni moja
14:23
before the end of this century.
253
863520
2067
kabla ya mwisho wa karne hii.
14:25
And this is a very big stage.
254
865960
2405
Na hili ni jukwaa kubwa.
14:28
But there is no more room.
255
868841
1960
Lakini hakuna nafasi ya ziada.
14:30
Thank you.
256
870825
1167
Asanteni.
14:32
(Applause)
257
872016
4872
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7