Ruby Sales: How we can start to heal the pain of racial division | TED

39,869 views ・ 2019-03-12

TED


Tafadhali bofya mara mbili manukuu ya Kiingereza hapa chini ili kucheza video.

00:00
Translator: Ivana Korom Reviewer: Joanna Pietrulewicz
0
0
7000
Translator: Doris Mangalu Reviewer: Nelson Simfukwe
00:13
I want to share with you
1
13240
2120
Nataka niwashirikishe
00:17
a moment in my life
2
17200
1840
kipindi cha maisha yangu
00:20
when the hurt and wounds of racism
3
20600
4200
ambapo maumivu na majeraha ya ubaguzi wa rangi
00:25
were both deadly and paralyzing for me.
4
25920
4400
yalikua yanaua na yanapoozesha kwangu.
00:32
And I think what I've learned
5
32240
1960
Na nafikiri nilichojifunza
00:35
can be a source of healing for all of us.
6
35160
4240
kinaweza kua chanzo cha uponyaji kwetu sote.
00:41
When I was 17 years old,
7
41320
4840
Nilipokua na miaka 17,
00:47
I was a college student at Tuskegee University,
8
47920
4800
nilikua mwanafunzi wa chuo cha Tuskegee,
00:54
and I was a worker in the Southern freedom movement,
9
54520
4896
na nilikua mfanyakazi wa harakati ya Uhuru wa Kusini,
00:59
which we call the Civil Rights Movement.
10
59440
2640
ambao tunaita Harakati ya Haki za Kiraia.
01:05
During this time,
11
65720
1640
Kwenye kipindi hiki,
01:08
I met another young 26-year-old,
12
68840
5136
nilikutana na kijana mwingine wa miaka 26,
01:14
white seminary and college student
13
74000
3016
mweupe wa seminari na mwanafunzi wa chuo
01:17
named Jonathan Daniels, from Cambridge, Massachusetts.
14
77040
4360
aitwae Jonathan Daniels, kutoka Cambridge, Massachusetts.
01:22
He and I
15
82160
1240
Yeye na mimi
01:24
were both part of a generation of idealistic young people,
16
84600
5520
tulikua wote sehemu ya kizazi cha vijana wenye mitazamo,
01:31
whose life has been ignited
17
91640
3456
ambao maisha yao yamemulikiwa
01:35
by the freedom fire
18
95120
2456
na moto wa uhuru
01:37
that ordinary black people were spreading around the nation
19
97600
4976
ambao watu weusi wa kawaida walikua wakisambaa nchini
01:42
and throughout the South.
20
102600
1880
na kupitia Kusini.
01:46
We had come to Lowndes County
21
106400
2560
Tulikuja Jimbo la Lowndes
01:50
to work in the movement.
22
110120
2120
kufanya kazi kwenye harakati.
01:53
And it was a nonviolent movement
23
113160
3296
Na ilikua harakati isiyo na fujo
01:56
to redeem the souls of America.
24
116480
2720
kukomboa nafsi ya Marekani.
02:00
We believe that everyone,
25
120800
3616
Tuliamini kua kila mtu,
02:04
both black and white,
26
124440
2536
wote weusi kwa weupe,
02:07
people in the South,
27
127000
1840
watu wa Kusini,
02:09
could find a redemptive pathway
28
129920
2440
wanaweza kupata njia ya ukombozi
02:13
out of the stranglehold of racism
29
133400
3296
toka kwenye ukandamizi wa ubaguzi
02:16
that had gripped them for more than 400 years.
30
136720
3680
ambao ulikua umewakamata kwa zaidi ya miaka 400.
02:24
And on a hot, summer day in August,
31
144920
3800
Na kwenye siku yenye joto ya Agosti,
02:29
Jonathan and I joined a demonstration
32
149720
4016
Jonathan na mimi tuliunga maandamano
02:33
of local young black people,
33
153760
2736
ya vijana weusi wa mtaani,
02:36
who were protesting the exploitation
34
156520
3560
waliokua wakilalamikia dhuluma
02:40
[of] black sharecroppers
35
160960
4896
[za] wagawanya mavuno weusi
02:45
by rich land holders who cheated them out of their money.
36
165880
5160
na matajiri wa ardhi ambao waliwalaghai hela zao.
02:54
We decided to demonstrate alongside them.
37
174920
4200
Tuliamua kuandamana pamoja nao.
02:59
And on the morning that we showed up for the demonstration,
38
179920
3320
Na asubuhi ambayo tulijitokeza kwa ajili ya maandamano,
03:04
we were met with a mob of howling white men
39
184560
4736
tulikutana na kundi la wanaume weupe wakipiga kelele
03:09
with baseball bats, shotguns
40
189320
4120
na bao za mpira, bunduki
03:15
and any weapon that you could imagine.
41
195320
2600
na silaha yeyote unayoweza kuwaza.
03:18
And they were threatening to kill us.
42
198760
2560
Na walikua wanatutishia kutuua.
03:22
And the sheriff, seeing the danger that we faced,
43
202200
5400
Na polisi, akiona hatari tuliyonayo,
03:28
arrested us and put us on a garbage truck
44
208560
5216
alitukamata na kutuweka kwenye gari la taka
03:33
and took us to the local jail,
45
213800
2000
na kutupeleka kwenye jela ya mtaani,
03:37
where we were put in cells
46
217520
3936
ambapo tuliwekwa kwenye vyumba
03:41
with the most inhumane conditions you can imagine.
47
221480
4120
vyenye hali zisio za kibinaadamu unazoweza kuwaza.
03:46
And we were threatened by the jailers
48
226760
3960
Na tulitishiwa na wafungwa
03:51
with drinking water that came from toilets.
49
231880
4240
na maji ya kunywa yaliyotoka chooni.
03:59
We were finally released on the sixth day,
50
239840
3240
Hatimae tuliachiwa siku ya sita,
04:05
without any knowledge, without any forewarning.
51
245800
3296
bila ujuzi wowote, bila onyo lolote.
04:09
Just out of the clear blue sky,
52
249120
2776
Ilitokea tu,
04:11
we were made to leave.
53
251920
1440
tulitolewa.
04:14
And we knew that this was a dangerous sign,
54
254840
3696
Na tulijua hii ilikua ishara ya hatari,
04:18
because Goodman, Schwerner and Chaney had also been forced to leave jail
55
258560
6376
kwa sababu Goodman, Schwermer na Chaney walilazimishwa pia kutoka jela
04:24
and were murdered because no one knew what had happened to them.
56
264960
3520
na waliuwawa kwa sababu hakuna aliejua kilichowatokea.
04:29
And so, despite our fervent resistance,
57
269640
5120
Hivyo, licha ya ukinzani wetu,
04:35
the sheriff made us leave the jail,
58
275520
2856
polisi alitufanya tutoke jela,
04:38
and of course, nobody was waiting for us.
59
278400
2760
na hakika, hakuna aliekua anatungoja.
04:44
It was hot,
60
284040
1680
Ilikua joto,
04:48
one of those Southern days
61
288080
2736
moja ya zile siku za Kusini
04:50
where you could literally feel the pavement --
62
290840
2720
ambapo ungeweza kuhisi lami kabisa --
04:54
the vapor seeping out of the pavement.
63
294960
4040
mvuko ukipenya nje ya lami.
05:00
And the group of about 14 of us
64
300720
3480
Na kundi la karibia watu 14,
05:05
selected Jonathan Daniels,
65
305840
2600
likamchagua Jonathan Daniels,
05:09
Father Morrisroe, who had recently come to the county,
66
309440
4096
Padre Morrisroe, ambae alikuja kwenye jimbo hivi karibuni,
05:13
Joyce Bailey, a local 17-year-old girl
67
313560
5856
Joyce Bailey, binti wa miaka 17
05:19
and I to go and get the drinks.
68
319440
2080
na mimi kwenda kufuata vinywaji.
05:23
When we got to the door,
69
323440
1800
Tulipofika mlangoni,
05:26
a white man was standing in the doorway with a shotgun,
70
326680
4016
mwanaume mweupe alikua amesimama njia ya mlango na bunduki,
05:30
and he said, "Bitch, I'll blow your brains out!"
71
330720
4480
na akasema, "Malaya nitalipua ubongo wako!"
05:36
And before I could even react,
72
336680
3056
Na kabla hata sijajibu,
05:39
before I could even process what was going on,
73
339760
3856
kabla hata sijaelewa kinachoendelea,
05:43
Jonathan intentionally pulled my blouse,
74
343640
3120
Jonathan akavuta nguo yangu kwa makusudi,
05:48
and I fell back, thinking that I was dead.
75
348280
3440
na nikaanguka nyuma, nikifikiri nimekufa.
05:53
And in that instant, when I looked up,
76
353440
3176
Na mara moja, nilipoangalia juu,
05:56
Jonathan Daniels was standing in the line of fire,
77
356640
3800
Jonathan Daniels alikua amesimama mbele ya risasi,
06:01
and he took the blast,
78
361440
2040
na akachukua mlipuko,
06:04
and he saved my life.
79
364840
1880
na akaokoa maisha yangu.
06:15
I was so traumatized
80
375120
3600
Nilikua kwenye mshtuko mkubwa
06:19
and paralyzed by that event,
81
379800
4000
na kupooza kwa tukio hilo,
06:24
where Tom Coleman deliberately,
82
384720
4120
ambapo Tom Coleman kwa makusudi,
06:30
with malicious intent,
83
390160
2080
na nia ya kudhuru,
06:33
killed my beloved friend and colleague,
84
393280
4136
alimuua rafiki yangu mpendwa na mwenzangu,
06:37
Jonathan Myrick Daniels.
85
397440
2920
Jonathan Myrick Daniels.
06:47
On that day,
86
407040
1560
Siku hiyo,
06:50
which was one of the most important days in my life,
87
410400
3280
ambayo ilikua moja ya siku muhimu kwenye maisha yangu,
06:54
I saw both love and hate
88
414800
2400
niliona vyote upendo na chuki
06:58
coming from two very different white men
89
418680
4256
vikitoka kwa wanaume weupe wawili tofauti
07:02
that represented the best and the worst of white America.
90
422960
6040
ambayo ilionyesha ubora na ubaya wa Marekani nyeupe.
07:10
So deep was my hurt
91
430800
1776
Kwa kina sana ulikua uchungu wangu
07:12
at seeing Tom Coleman murder Jonathan before my eyes,
92
432600
4736
wa kumuona Tom Coleman akimuua Jonathan mbele ya macho yangu,
07:17
that I became a silent person,
93
437360
2896
mpaka mikawa mtu mkimya,
07:20
and I did not speak
94
440280
1760
na sikuongea
07:23
for six months.
95
443760
1440
kwa miezi sita.
07:28
I finally learned to touch that hurt in me
96
448360
4696
Hatimae nikajifunza kugusa maumivu ndani yangu
07:33
as I became older
97
453080
2496
kadri nilivyokua mkubwa
07:35
and began to talk about the Southern freedom movement,
98
455600
4376
na nikaanza kuongelea kuhusu maandamano ya uhuru ya Kusini,
07:40
and began to connect my stories
99
460000
2816
na nikaanza kuunganisha hadithi zangu
07:42
with the stories of my other colleagues and freedom fighters,
100
462840
5736
na hadithi za wenzangu na wapigania uhuru,
07:48
who, like me, had faced deadly trauma of racism,
101
468600
5616
ambao, kama mimi, waliona madhara hatari vya ubaguzi wa rangi,
07:54
and who had lost friends along the way,
102
474240
3256
na mabao walipoteza marafiki njiani,
07:57
and who themselves have been beaten and thrown in jail.
103
477520
3800
na ambao wenyewe walipigwa na kutupwa jela.
08:07
It is 50 years later.
104
487200
2400
Ni miaka 50 baadae.
08:13
Many people were beaten and thrown in jail.
105
493280
4280
Watu wengi wanapigwa na kutupwa jela.
08:18
Others were murdered like Jonathan Daniels.
106
498880
3000
Wengine wanauliwa kama Jonathan Daniels.
08:22
And yet, we are still, as a nation,
107
502720
5096
Na bado, sisi bado, kama taifa,
08:27
mired down
108
507840
1960
tumezama chini
08:30
in the quicksand of racism.
109
510760
2160
kwenye udongo wa ubaguzi wa rangi.
08:38
And everywhere I go around the nation,
110
518520
3616
Na kila mahali ninapoenda kuzunguka nchi,
08:42
I see and hear the hurt.
111
522160
3879
ninaona na kusikia yale maumivu.
08:47
And I ask people everywhere,
112
527000
2655
Na ninauliza watu kila mahali,
08:49
"Tell me, where does it hurt?"
113
529679
2521
"Niambie, wapi panauma?"
08:53
Do you see and feel the hurt
114
533600
3496
Unaona na kusikia maumivu
08:57
that I see and feel?
115
537120
1720
ambayo ninaona na kusikia?
09:01
I feel and see the hurt in black and brown people
116
541240
5960
Ninasikia na kuona yale maumivu kwa watu weusi na wa maji ya kunde
09:07
who every day feel the vicious volley of racism
117
547880
6600
ambao kila siku wanasikia gharika la hatari la ubaguzi wa rangi
09:16
and every day have their civil and human rights stripped away.
118
556320
4960
na kila siku haki zao za kiraia na kibinadamu zinachukuliwa.
09:22
And the people who do this use stereotypes and myths
119
562040
5176
Na watu waliofanya hivi wanatumia unyanyapaaji na dhana
09:27
to justify doing it.
120
567240
2120
kuhalalisha kufanya hivyo.
09:33
Everywhere I go,
121
573920
1520
Kila ninapoenda,
09:36
I see and hear women
122
576880
3800
ninaona na kusikia wanawake
09:43
who speak out against --
123
583000
3736
wanaoongelea dhidi --
09:46
who speak out against men who invade our bodies.
124
586760
4280
wanaoongelea dhidi ya wanaume wanaoingilia miili yao.
09:52
These same men who then turn around --
125
592720
3776
Hawa hawa wanaume ambao tena wanageuka --
09:56
the same men who promote racism
126
596520
2496
hawa hawa wanaume wanaochochea ubaguzi wa rangi
09:59
and then turn around and steal our labor and pay us unequal wages.
127
599040
5800
na kisha wanageuka na kutuibia kazi zetu na kutulipa mishahara isiyo na haki.
10:07
I hear and feel the hurt of white men
128
607200
4176
Ninasikia na kuhisi maumivu ya wanaume weupe
10:11
at the betrayal by the same powerful white men
129
611400
4080
waliosalitiwa na wale wale wanaume weupe wenye nguvu
10:16
who tell them that their skin color
130
616760
2920
wanaowaambia kua rangi ya ngozi zao
10:20
is their ticket to a good life and power,
131
620760
3416
ni tiketi ya maisha bora na yenye nguvu,
10:24
only to discover,
132
624200
2816
kuja kugundua,
10:27
as the circle of whiteness narrows,
133
627040
3456
kadri duara la uweupe linavyokua dogo,
10:30
that their tickets have expired
134
630520
3176
ndipo tiketi zao zinapoharibika
10:33
and no longer carry first-class status.
135
633720
3720
na hawabebi tena hadhi ya daraja la kwanza.
10:39
Now that we've touched the hurt,
136
639480
2160
Sasa kwa kua tumegusa maumivu,
10:42
we must ask ourselves,
137
642640
2776
tunalazimika kujiuliza,
10:45
"Where does it hurt
138
645440
1640
"Wapi panapouma
10:48
and what is the source of the hurt?"
139
648480
2600
na nini chanzo cha maumivu hayo?"
10:55
I propose that we must look
140
655440
5176
Ninapendekeza kua ni lazima kuangalia
11:00
deeply into the culture of whiteness.
141
660640
3360
kwa kina kwenye utamaduni wa uweupe.
11:04
That is a river that drowns out all of our identities
142
664960
4776
Ambao ni mto unaozamisha utambulisho wetu wote
11:09
and drowns us in false uniformity to protect the status quo.
143
669760
5520
na inatuzamisha kwenye umoja wa uwongo kulinda hadhi iliopo.
11:16
Notice, everybody, I said culture of whiteness,
144
676760
5136
Tazama, kila mtu, nimesema utamaduni wa uweupe,
11:21
and not white people.
145
681920
2056
na sio watu weupe.
11:24
Because in my estimation,
146
684000
2976
Kwa sababu kwenye makadirio yangu,
11:27
the problem is not white people.
147
687000
2120
tatizo sio watu weupe.
11:30
Instead, it is the culture of whiteness.
148
690120
3440
Badala yake, ni utamaduni wa uweupe.
11:34
And by culture of whiteness,
149
694320
1376
Na kwa utamaduni wa uweupe,
11:35
I mean a systemic and organized set of beliefs,
150
695720
5976
ninamaanisha mfumo na mpangilio wa aina za imani,
11:41
values, canonized knowledge and even religion,
151
701720
6480
thamani, maarifa yenye kanuni na hata dini,
11:49
to maintain a hierarchical, over-and-against power structure
152
709840
5536
kuendeleza uongozi, muundo wa nguvu iliyopitiliza na inayopinga
11:55
based on skin color, against people of color.
153
715400
3600
kulingana na rangi ya ngozi, dhidi ya watu wa rangi.
12:03
It is a culture
154
723640
3800
Ni utamaduni
12:08
where white people are seen as necessary and friendly insiders,
155
728240
6280
ambapo watu weupe wanaonekana kama wa ulazima na urafiki wa ndani,
12:15
while people of color, especially black people,
156
735680
3000
wakati watu wenye rangi, haswa watu weusi,
12:19
are seen as dangerous
157
739720
2640
wanaonekana kama ni hatari
12:23
and threatening outsiders,
158
743760
2816
na wakutishia wa nje,
12:26
who pose a clear and present danger
159
746600
3256
wanaoweka hatari ya wazi na ya sasa
12:29
to the safety and the efficacy
160
749880
3200
kwenye usalama na matokeo
12:35
of the culture of whiteness.
161
755000
2920
ya utamaduni wa uweupe.
12:44
Listen to me and see if you can imagine
162
764880
4296
Nisikilize na uone kama unaweza kuwaza
12:49
the culture of whiteness as a dehumanizing process
163
769200
5336
utamaduni wa uweupe kama harakati inayoondoa utu
12:54
that melts away
164
774560
1456
inayoyeyusha mbali
12:56
all of our multiple and interlocking identities,
165
776040
5936
utambulisho wetu wote wa utofauti na unaofungana,
13:02
such as race, class, gender and sexualities,
166
782000
5816
kama vile taifa, daraja, na jinsia,
13:07
so that ...
167
787840
1200
ilimradi ...
13:10
so that unity is maintained for power.
168
790880
4760
ili umoja uendelee kwa ajili ya nguvu.
13:18
I believe, because I know
169
798640
2400
Ninaamini, kwa sababu ninajua
13:22
and believe that the culture of whiteness
170
802600
4896
na kuamini kua utamaduni wa uweupe
13:27
is a social construct.
171
807520
2040
ni muundo wa kijamii.
13:32
Each of us, from birth to death,
172
812720
3776
Kila mmoja wetu, tunapozaliwa mpaka tunakufa,
13:36
are socialized in this culture.
173
816520
3296
tumejumuika kwenye huu utamaduni.
13:39
And it marks people of color also.
174
819840
3016
Na inaathiri watu wa rangi pia.
13:42
And it makes people of color, like white people,
175
822880
4536
Na inafanya watu wa rangi, kama watu weupe,
13:47
vote against our interests.
176
827440
3240
kuchagua kinyume na mapendeleo yetu.
13:57
Some of you might ask --
177
837080
1456
Baadhi yenu mnaweza kuuliza --
13:58
and my students always tell me I give hard assignments --
178
838560
4256
na wanafunzi wangu wananiambia ninatoa kazi ngumu --
14:02
some of you might ask, and rightfully so,
179
842840
2840
baadhi yenu mnaweza kuuliza, na kwa usahihi kabisa,
14:07
"How do we fix this?
180
847640
2736
"Tunawezaje kurekebisha hili?
14:10
It seems so all-powerful and overwhelming."
181
850400
3240
Inaonekana ina nguvu sana na inatutawala."
14:16
I believe that we must fix it,
182
856920
3176
Ninaamini kua ni lazima kuirekebisha,
14:20
because we cannot humanize our future
183
860120
3456
kwa sababu hatuwezi kuwa na utu mbeleni
14:23
if we continue to be complicit
184
863600
3736
kama tutaendelea kukubaliana
14:27
with the culture of whiteness.
185
867360
2360
na utamaduni wa uweupe.
14:30
Each of us must connect with our authentic selves,
186
870680
5416
Kila mmoja wetu ni lazima aungane na asili yetu wenyewe,
14:36
with our authentic ethnic selves.
187
876120
3256
na asili yetu ya kiutamaduni.
14:39
And we must connect with the other aspects of our identities.
188
879400
4120
Na ni lazima tuungane na mambo mengine ya utambulisho wetu.
14:44
And we must move out of the constructs
189
884960
3416
Na ni lazima tutoke kwenye muundo
14:48
of whiteness, brownness and blackness
190
888400
4616
wa uweupe, umaji-ya-kunde na uweusi
14:53
to become who we are at our fullest.
191
893040
4120
kua jinsi tulivyo kikamili.
15:02
How do we do this?
192
902080
3376
Tunafanyaje hivi?
15:05
I believe that we do this through our collective narratives.
193
905480
4496
Ninaamini tunafanya hivi kwa simulizi zetu kwa pamoja.
15:10
And our collective narratives must contain our individual stories,
194
910000
5160
Na simulizi zetu kwa pamoja zinatakiwa kuwa na hadithi zetu binafsi,
15:16
the arts,
195
916240
2216
sanaa,
15:18
spiritual reflections,
196
918480
2200
tafakari za dini,
15:22
literature,
197
922480
1520
maandiko
15:26
and yes, even drumming.
198
926040
2336
na ndio, hata ngoma.
15:28
(Laughter)
199
928400
1600
(Kicheko)
15:32
It must be a collective telling,
200
932080
3296
Inatakiwa iwe misemo ya pamoja,
15:35
because individual stories just create a paradigm
201
935400
4416
kwa sababu hadithi binafsi hutengeneza namna
15:39
where we are pitting one story against another story.
202
939840
3920
ambapo tutashindanisha hadithi moja dhidi ya nyingine.
15:49
These different models that I have talked about tonight
203
949120
3800
Hii mitindo tofauti niliyoyaongelea usiku wa leo
15:54
I think are essential to providing us a pathway
204
954520
5096
ninafikiri ni muhimu kutupatia njia
15:59
out of the quagmire of racism.
205
959640
4056
nje ya bwawa la ubaguzi wa rangi.
16:03
And I want to talk about another very important model.
206
963720
4936
Na nataka niongelee kuhusu mtindo mwingine wa muhimu sana.
16:08
And that is redemption.
207
968680
2640
Na huo ni ukombozi.
16:12
I believe that movements for racial justice
208
972680
4976
Nina imani kua maandamano ya haki za kirangi
16:17
must be redemptive rather than punitive.
209
977680
4856
zinalazimika kua za ukombozi na sio uhalifu.
16:22
And yes, I believe
210
982560
2856
Na ndio, ninaamini
16:25
that we must provide the possibility of redemption for everyone.
211
985440
4200
kua tunatakiwa kutoa uwezekano wa ukombozi kwa kila mtu.
16:30
And we must be willing,
212
990720
2216
Na tunatakiwa kuwa tayari,
16:32
despite some of the vitriolic language
213
992960
3416
licha ya baadhi ya lugha kali
16:36
that might come from those very people who oppress us,
214
996400
5016
zinazotoka kwa hao hao watu wanaotukandamiza,
16:41
I think that we must listen to them
215
1001440
4536
nafikiri ni lazima tuwasikilize
16:46
and try to figure out where do they hurt.
216
1006000
2920
na kujaribu kuelewa wapi wanapoumia.
16:50
We must do this, I believe,
217
1010120
1896
Ni lazima tufanye hivi, ninaamini,
16:52
because our redemption is tied into their redemption,
218
1012040
5896
kwa sababu ukombozi wetu umefungana na ukombozi wao.
16:57
And we will not be free
219
1017960
2496
Na hatutakua huru
17:00
until we've all been redeemed from unredemptive anger.
220
1020480
4640
mpaka tuwe tumekombolewa kutoka kwenye hasira ya kukosa ukombozi.
17:14
The challenge is not easy.
221
1034200
2200
Changamoto sio rahisi.
17:17
And in a technological society, it grows even more complicated,
222
1037319
5457
Na kwenye jamii ya teknolojia, inakua ina utata zaidi,
17:22
because often we use technologies
223
1042800
2696
kwa sababu mara nyingi tunatumia teknolojia
17:25
to perpetuate the very values of racism that we indulge in every day.
224
1045520
5720
kudumisha thamani za ubaguzi wa rangi ambazo tunaruhusu kila siku.
17:33
We use technology to bully,
225
1053280
2559
Tunatumia teknolojia kuonea,
17:37
to perpetuate hate speech
226
1057119
2240
kuendeleza maongezi ya chuki
17:40
and to degrade each other's humanities.
227
1060720
3440
na kushushiana utu wetu.
17:45
And so I believe that if we're going to humanize the future,
228
1065120
4536
Na hivyo ninaamini kua kama tutaenda kujenga utu mbeleni,
17:49
we must design ways to use technology
229
1069680
3256
ni lazima tupange njia za kutumia teknolojia
17:52
not to degrade us, but to elevate us
230
1072960
3456
bila kutushusha, lakini kutuinua
17:56
so that we can live into the fullest of our capacities.
231
1076440
4376
ili tuweze kuishi kwa ukamili wa uwezo wetu.
18:00
And I believe that technology
232
1080840
2736
Na ninaamini kua teknolojia
18:03
must provide us larger vistas
233
1083600
4256
lazima itupatie mandhari makubwa zaidi
18:07
so that we might engage with each other
234
1087880
2656
ili tuweze kuhusiana wenyewe kwa wenyewe
18:10
and move beyond the segregated spaces that we live in, every day of our lives.
235
1090560
5200
na kusogea zaidi ya maeneo yaliyojitenga ambayo tunaishi, kila siku ya maisha yetu.
18:17
I believe
236
1097880
1480
Ninaamini
18:21
that we can achieve this if we set our minds
237
1101240
4960
kua tunaweza kupata haya kama tukiweka akili zetu
18:27
and hopes on the prize.
238
1107400
2880
na matumaini kwenye tuzo.
18:32
The question before us tonight
239
1112880
2240
Swali mbele yetu usiku wa leo
18:37
is very serious.
240
1117360
1880
ni la muhimu sana.
18:40
It is: "Do you want to be healed?
241
1120840
3400
Nalo ni: "Unataka kupona?
18:45
Do you want to be healed?"
242
1125720
2080
Unataka kupona?"
18:49
Do you want to become whole and live into all of your identities?
243
1129520
5096
Unataka kua mzima na kuishi kwenye utambulisho wako wote?
18:54
Or do you want to continue to cannibalize your multiple identities
244
1134640
6576
Au unataka kuendelea kubagua utambulisho wako mwingi
19:01
and privilege one identity over the other?
245
1141240
2480
na kupendelea utambulisho mmoja juu ya mwingine?
19:07
Do you want to join a long line
246
1147240
3560
Unataka kuunga mstari mrefu
19:12
of generations of people
247
1152240
2480
wa vizazi vya watu
19:15
who believed in the promise of America
248
1155880
3576
walioamini kwenye ahadi ya Marekani
19:19
and had the faith to upbuild democracy?
249
1159480
4440
na walikua na imani ya kujenga zaidi demokrasia?
19:28
Do you want to live into the fullest of your potential?
250
1168760
4656
Unataka kuishi kwenye uwezo wako kamili?
19:33
I certainly do.
251
1173440
1576
Ndio kabisa.
19:35
And I believe you do, too.
252
1175040
1720
Na ninaamini ungependa pia.
19:39
Let me just say, quite seriously,
253
1179920
4136
Wacha niseme tu, kwa uzito kabisa,
19:44
I believe in you.
254
1184080
1640
ninakuamini.
19:47
And despite everything,
255
1187080
1680
Na licha ya kila kitu,
19:49
I still believe in America.
256
1189960
3600
bado ninaamini Marekani.
19:55
I hope that this offering that I've given to you tonight,
257
1195760
3536
Ninatumaini kua hii sadaka niliyowapa usiku wa leo,
19:59
that I've shared with you tonight,
258
1199320
2536
niliyowashirikisha usiku wa leo,
20:01
will provide redemptive pathways
259
1201880
3776
italeta njia za ukombozi
20:05
so that you might claim the fullest of your identity
260
1205680
4576
ili uweze kudai utambulisho wako kikamilifu
20:10
and become a major participant
261
1210280
2816
na kua mshiriki mkubwa
20:13
in humanizing not only the future for yourselves,
262
1213120
5416
kujenga utu sio tu wa kwetu mbeleni,
20:18
but also for our democracy.
263
1218560
2280
lakini pia kwa demokrasia
20:21
Thank you.
264
1221520
1256
Asanteni.
20:22
(Applause)
265
1222800
4200
(Makofi)
Kuhusu tovuti hii

Tovuti hii itakuletea video za YouTube ambazo ni muhimu kwa kujifunza Kiingereza. Utaona masomo ya Kiingereza yanayofundishwa na walimu wa kiwango cha juu kutoka duniani kote. Bofya mara mbili kwenye manukuu ya Kiingereza yanayoonyeshwa kwenye kila ukurasa wa video ili kucheza video kutoka hapo. Manukuu yanasonga katika kusawazishwa na uchezaji wa video. Ikiwa una maoni au maombi yoyote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia fomu hii ya mawasiliano.

https://forms.gle/WvT1wiN1qDtmnspy7